JINA DARASA FASIHI. MUDA : SAA 2 ½ MAAGIZO

2y ago
422 Views
7 Downloads
406.91 KB
6 Pages
Last View : 1m ago
Last Download : 2m ago
Upload by : Wren Viola
Transcription

JINA DARASA102/3KISWAHILI YA 3.FASIHI.MACHI 2019MUDA : SAA 2 ½MAAGIZO-Jibu maswali manne pekee-Swali la kwanza ni la lazima-Maswali hayo mengine yachaguliwe kutoka sehemu nne zilizobaki yaani : Hadithifupi, tamthilia na fasihi simulizi.-Usijibu maswali mawili kutoka sehemu moja1 P a ge

SEHEMU A : RIWAYA – LAZIMA1. Fafanua ufaafu wa anwani „Chozi la Heri‟(al. 20)SEHEMU B TAMTHILIA YA KIGOGO2. Uliona nini kwa huyo zebe wako ? Eti mapenzi!i) Eleza muktadha wa dondoo.(al. 4)ii) Andika mbinu za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo hiliiii) Taja hulka za mnenaji unajitokeza katika dondoo.(al. 4)(al. 2)iv) Mwanamke ni kiumbe wa kukandamizwa. Thibitisha kauli hii ukirekjelea tamthilia. (al. 10)Au3. Ni bayana kwamba viongozi wengi nchi zinazoendelea wamejawa na tama na ubinafsi.Thibitisha kaul hi ukirejelea tamthilia Kigogo(al. 20)4.SEHEMU C: TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI ZINGINESHIBE INATUMALIZA5. “Ndugu yangu kula kunatumaliza”“Kunatumaliza au tunakumaliza”a) Eleza muktadha wa dondoo hili(al. 4)b) Fafanua maana kitamathali katika kauli „Kula tunakumaliza‟(al. 10)c) Kwa mujibu wa hadithi hii, kwa namna gani wasemaji wanadai kula kunawamaliza? (al.6)Aua) „MAME BAKARI‟Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbayakwake, onyesha kwa mifano mwafaka.(al. 10)b) „MASHARTI YA KISASA‟“. mapenzi ni mateso, ni utumwa, ni ukandamizaji, ni ushabiki usio na maana.”2 P a ge

Thibitisha ukweli wa kauli hii kama unavyojitokeza kwenye hadithi.(al. 10)SEHEMU D : USHAIRI A6. MWANA1. Kwani mamangu u ng‟ombe, au u punda wa dobi ?Nakuuliza usambe, nayavunja madhehebiNalia chozi kikombe, uchungu wanisibabiHebu nambieKweli jaza ya kiumbe, ni madhila na mapigo ?MAMA2. Nang‟ona mwana nang‟ona, sitafute angamiyoSinipe kuja sonona, kwa uchungu na kiliyoBabayo mkali sana, kubwa pigo la babayoKwani kelele kunena, huyataki maishayo ?Hilo nakwambia.MWANA3. Sitasakamwa. Kauli, nikaumiza umiyoNikabeba idhilali, nikautweza na moyoSiuvuwati ukweli, hazidisha gugumiyoBaba hafanyi halali, huachi vumiliyoHebu nambie.Kweli jaza ya kiumbe, ni madhila na mapigo ?Nambie ipi sababu, ya pweke kwenda kondeniNini yako matulubu, kulima hadi jioni ?Na jembe ukudhurubu, ukilitua guguniYu wapi wako muhibu, Baba kwani simuoni?Hebu nambie.Kweli jaza ya kiumbe, ni madhila na mapigo ?Baba kwani simuoni, kuelekea shambani?Kutwa akaa nyumbani, na gumzo mitaani.3 P a ge

Hajali hakudhamini, wala haoni huzuni.Mwisho wa haya ni nini ? ewew mama wa imani ?Hebu nambie.Kweli jaza ya kiumbe, ni madhila na mapigo ?Na kule kondeni kwako, ukate kuni kwa shokaUfunge mzigo wako, utosini kujitwikaKwa haraka uje zako, chakula upate pikaUkichelewa vituko, baba anakutandikaHebu nambie.Kweli jaza ya kiumbe, ni madhila na mapigo ?Chakula kilicho ndani, ni jasho lako hakikaKiishapo u mbioni, wapiti kupokapokaUrudi nje mekoni, uanze kushughulikaUkikosa kisirani, moto nyumbani wawakaHebu nambie.Kweli jaza ya kiumbe, ni madhila na mapigo ?MAMAWanitonesha kidonda, cha miaka na miakaUsidhani nayapenda, madhila pia mashakaNakerwa na yake inda, na sasa nimeshachokaNinaanza kijipanga, kwa mapambano hakikaHilo nakwambiaMASWALIa) Mtunzi wa shairi hili alikuwa na dhaimira gani katika kutunga shairi hilib) Shairi hili ni la aina gani. Toa ithibati(al. 2)(al. 2)c) Yataje mambo yoyote matano anayolalamikia mwana (al. 5)d) Eleza kanuni zilizotumika kasarifu ubeti wa tatu(al.5)e) Andika ubeti wa saba kwa lugha tutumbi(al. 4)f) Eleza maana haya yaliyotumika katika shairi hilii)Jaza(al. 1)4 P a ge

ii)Muhibu(al. 1)7. SHAIRI BSoma shairi hili kisaha ujibu maswali1. Punda kalibebe gari, gari limebeba punda.Mwalimu ana pakari, muashi vyuma adundaJaji gonga msumari, sonara osha vidondaKinyume mbele.2. Saramala ahubiti, muhunzi tiba apendaMganga anabiri, baharini anakwendaHata fundi wa magari, anatomea vibandaKinyume mbele3. Wakili anahiyari, biashara kuitendaMtazame askari, akazakaza kitanda,Mkulima mashuhuri, jembe limemshindaKinyume mbele4. Apakasa daktari, ukili anaupindaSeveya kawa jabari, mawe anafundafunda,Hazini wa utajiri, mali yote aiponda,Kinyume mbele5. Msemi huwa hasemi, wa inda hafanyi indaFahali hawasimami, wanene walishakondaWalojitia utemi, maisha yamewavundaKinyume mbele6. Kiwapi cha kukadiri, twavuna shinda kwa shindaTele haitakadiri, huvia tulivyopandaMipango nmehajiri, la kunyooka hupindaKinyume mbele5 P a ge

MASWALIa) Mtunzi aliuwa na malengo gani alipotunga shairi hili? (al. 3)b) Licha ya tarbia, eleza bahari nyingine zinazojitokeza katika shairi hili. (al. 4)c) Eleza namna mtunzi alivyotumia uhuru wake.(al. 5)d) Ni mbinu gani inayotawala shairi hili?(al. 2)e) Uandike ubeti wa nne katika lugha nathari(al. 4)f) Eleza toni ya shairi hili(al. 2)SEHEMU E7. FASIHI SIMULIZI1. Eleza vigozi vinne vya kuandika methali(al. 4)2. Eleza fani zinazozijenga vitendawili vifuatavyo (al. 4)i)Ajenga ingawa hana mikonoii)Jani la mgomba laniambi habari zinazotoka ulimwenguni kotew3. Nini tofauti kati ya misimu na lakabu ? (al. 2)4. I) Miviga ni nini ?(al. 2)ii) Fafanua hasara zozote tano za miviga (al. 5)5. I) Tambua kipera cha maka yafuatayo(al. 2)“ Wewe ni mbumbumbu kiasi kwamba ukiona picha yako kwenye kioo unashangaaulimwona wapi mtu huyo”.i)Ngomezi ni nini?(al. 1)6 P a ge

SEHEMU C: TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI ZINGINE SHIBE INATUMALIZA 5. “Ndugu yangu kula kunatumaliza” “Kunatumaliza au tunakumaliza” a) Eleza muktadha wa dondoo hili (al. 4) b) Fafanua maana kitamathali katika kauli „Kula tunakumaliza‟ (al. 10) c) Kwa mujibu wa hadith

Related Documents:

inayojadiliwa hapa ni: Fasihi ni Hisi, Fasihi ni Kioo cha Jamii, Fasihi ni Mwavuli wa Jamii, na Fasihi ni Zao la Jamii husika na Mielekeo yake ya maisha. 3. Mitazamo inayofafanua Uhusiano wa Fasihi na Jamii Kama lilivyo lengo la makala haya kwamba mchango wake ni kuongeza mchango katika kufafanua uhusiano uliopo baina ya fasihi na jamii.

3. Fafanua mchango wa fasihi simulizi katika fasihi andishi. Wahusika wa fasihi simulizi Fasihi simulizi huweza kujengwa kwa wahusika wafuatao: i) Msimuliaji (Fanani): Huyu ni mhusika katika fasihi simulizi, kazi yake kubwa ni kuwaslisha mawazo aliyonayo kwa hadhira. Msimuliaji hujitahidi kutumia mbinu mbalimbali kwa ajili ya kuijenga kazi yake.

wa somo la Kiswahili wa mwaka 2016 ulioanza kutumika Januari 2017, ambao ulizingatia muhamo wa ruwaza. Aidha, fomati hii imezingatia malengo ya Upimaji wa Elimu Msingi Darasa la Tatu na Darasa la Nne ambayo ni pamoja na kufuatilia kiwango cha ujifunzaji wa wanafunzi wa Darasa la Tatu na Darasa la Nne katika somo la Kiswahili.

c) Fasihi simulizi ni mali ya jamii ilhali fasihi andishi ni mali ya mtu binafsi/mwandishi. d) Fasihi simulizi ina wahusika wa kila aina k.v binadamu, wanyama na ndege, mazimwi na majitu, miungu, mizimu, mashetani na vitu visivyo na uhai k.v. mawe na miti ilhali fasihi andishi ina wahusika binadamu kwa kiasi kikubwa.

Fasihi simulizi imeelezwa kwa namna tofauti na wataalamu mbalimbali wa fasihi. Finnegan (1970) anaeleza kuwa fasihi simulizi ni sanaa ambayo hutegemea msanii ambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalumu. Katika fasili hii Finnegan hajagusia mambo muhimu katika fasihi simulizi kama vile muktadha, namna ya

Kukuza lugha. Aghalabu tungo zote za fasihi hutumia lugha. Isitoshe, fasihi hutumia mbinu nyingi za lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na ukwasi wa lugha. Kuhifadhi mila, tamaduni na itikadi za jamii. Aghalabu kazi za fasihi (hasahasa Fasihi Simulizi) huambatanishwa na desturi mbalim

FASIHI Julai / Agosti 2018 Muda: Saa 2½ MTIHANI AW MWISHO AW MUHULA AW PILI Kidato cha Nne KISAW HILI Karatasi - 102/3 Julai / Agosti 2018 Muda : Saa 2½ MAAGIZO 1. Jibu maswali MANNE pekee. 2. Swali la KWANZA ni la LAZIMA. 3. Kisha chagua maswali mengine matatu kutoka sehemu zilizobakia; yaani Riwaya, Hadithi Fupi, na Ushairi 4.

a variety of therapeutic models is provided in our books Practical Counselling Skills (Geldard and Geldard, 2005, available in the UK and Europe) and Basic Personal Counselling (Geldard and Geldard, 2012, available in Australia and New Zealand). Counselling young people involves different demands from those encountered when counselling adults. By making use of a very wide range of counselling .