JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA

2y ago
553 Views
11 Downloads
959.07 KB
68 Pages
Last View : Today
Last Download : 3m ago
Upload by : Kamden Hassan
Transcription

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIAMUHTASARI WA SOMO LA MAARIFA YA JAMIIELIMU YA MSINGI DARASA LA III-VII

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, 2019Toleo la Kwanza, 2015Toleo la Pili, 2016Toleo la Tatu, 2019ISBN 978-9987-09-059-4Taasisi ya Elimu TanzaniaS.L.P 35094Dar es SalaamSimu: 255 22 2773005Faksi: 255 22 2774420Baruapepe: asari huu urejelewe kama: Taasisi ya Elimu Tanzania. (2019). Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii Elimu ya MsingiDarasa la III-VII. Dar es Salaam: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha wala kufasiri andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhiniya maandishi ya Kamishna wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.ii

YaliyomoUkurasaDibaji . vOrodha ya majedwali . vi1.0Utangulizi . 12.0Uhusiano kati ya Muhtasari huu na Mtaala wa Elimu ya Msingi. 12.1Malengo ya Elimu ya Msingi Darasa la III-VII . 22.2Umahiri wa Elimu ya Msingi Darasa la III-VII. 22.3Malengo ya Somo la Maarifa ya Jamii. 32.4Umahiri mkuu na mahususi. 42.5Ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la Maarifa ya Jamii. 42.6Upimaji wa ujifunzaji. 53.0Maudhui ya muhtasari. 53.1Umahiri mkuu . 53.2Umahiri mahususi . 53.3Shughuli za mwanafunzi . 53.4Vigezo vya upimaji. 63.5Upimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunzi. 63.6Idadi ya vipindi . 63.7Maudhui Darasa la III . 73.8Maudhui Darasa la IV . 173.9Maudhui Darasa la V . 273.10 Maudhui Darasa la VI . 363.11 Maudhui Darasa la VII . 47iii

DibajiElimu bora ni haki ya kila Mtanzania. Wizara ya Elimu ya Sanyansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingikuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadhahuu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuboresha mchakato wa kufundisha na kujifunza Somo la Maarifa ya Jamiikwa kuandaa muhtasari huu. Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya MsingiDarasa la I-II wa mwaka 2015, Darasa la III -VI wa mwaka 2016 na Darasa la III-VII wa mwaka 2019. Muhtasari huu unasisitizakufundisha na kujifunza kunakozingatia ujenzi wa umahiri kwa mwanafunzi. Kwa kutumia muhtasari huu, mwanafunzi atajengastadi za uchunguzi, udadisi, utumiaji wa taarifa za uchunguzi, kukuza stadi za ubunifu na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia.Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii una vipengele mbalimbali vinavyojumuisha umahiri mkuu, umahiri mahususi, shughuli zakutendwa na mwanafunzi, vigezo na viwango vya upimaji pamoja na idadi ya vipindi kwa kila umahiri mahususi. Vipengele hivivitamsaidia mwalimu kutambua namna ya kufundisha na kupima utendaji wa mwanafunzi kwa kuzingatia ujenzi wa umahiri. Hatahivyo, umahiri wa kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK) unaendelea kupewa msisitizo katika Somo la Maarifa ya Jamii.Mwalimu anatarajiwa kutumia muhtasari huu kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa. Hata hivyo, anaweza kupanga utekelezajiwa muhtasari kwa kuzingatia mazingira yanayomzunguka.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inaendelea kupokea maoni ya kuboresha muhtasari huu kutoka kwa walimu na wadauwengine wa elimu. Maoni yote yapelekwe kwa Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Elimu Tanzania.Dkt. Lyabwene M. MtahabwaKamishna wa ElimuWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojiaiv

Orodha ya MajedwaliJedwali Na. 1 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi katika Somo la Maarifa ya Jamii .4Jedwali Na. 2 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la III .7Jedwali Na. 3 Maudhui ya muhtasari Darasa la III .8Jedwali Na. 4 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la IV .17Jedwali Na. 5 Maudhui ya muhtasari Darasa la IV .18Jedwali Na. 6 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la V .27Jedwali Na. 7 Maudhui ya muhtasari Darasa la V .28Jedwali Na. 8 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la VI .36Jedwali Na. 9 Maudhui ya muhtasari Darasa la VI .37Jedwali Na. 10 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la VII .47Jedwali Na. 11 Maudhui ya muhtasari Darasa la VII .48v

vi

1.0UtanguliziMuundo wa sasa wa Somo la Maarifa ya Jamii ulianza mwaka 2016. Katika mwaka huu, Wizara ya Elimu Sayansi naTeknolojia ilibadilisha namna ya kufundisha somo hili. Mabadiliko yaliyojitokeza katika ufundishaji na ujifunzaji wa somohili ni pamoja na kufundisha stadi za Maarifa ya Jamii kwa ujumla wake badala ya ufundishaji wa kimasomo (Jiografia naHistoria) kama ilivyokuwa hapo awali. Tafiti zinaonesha kuwa, kabla ya mwaka 2016 ufundishaji wa kimasomo ulisababishawanafunzi kupata maudhui kwa vipande vipande hivyo kushindwa kujenga umahiri uliotarajiwa.Somo hili linalenga kumjengea mwanafunzi maarifa, stadi na mwelekeo utakaomwezesha kukabiliana na mazingirayanayomzunguka katika maisha ya kila siku. Ufundishaji wa Somo la Maarifa ya Jamii unalenga kumwezesha mwanafunzikujenga umahiri hatua kwa hatua kulingana na darasa husika. Somo la Maarifa ya Jamii linamuandaa wanafunzi kuwa raiabora kwa kuelewa vema muingiliano wa jamii za Tanzania na dunia anamoishi. Pia, kumjengea misingi ya kujitegemeana kujiendeleza katika maisha. Somo hili pia linasisitiza ubunifu katika kutambua fursa zilizopo katika mazingira yake nakuzitumia. Muhtasari huu umegawanywa katika sehemu kuu tatu ambazo ni utangulizi, uhusiano kati ya Muhtasari na Mtaalawa Elimu ya Msingi na maudhui ya muhutasari.2.0Uhusiano kati ya Muhtasari huu na Mtaala wa Elimu ya MsingiMtaala wa Elimu ya Msingi umebainisha mambo mbalimbali ikiwemo umahiri mkuu na umahiri mahususi katika kila somokwa Darasa la III-VII. Muhtasari wa Maarifa ya Jamii umewasilisha baadhi ya vipengele vya mtaala ambavyo ni malengoya Elimu ya Msingi, umahiri wa Elimu ya Msingi, malengo ya Somo la Maarifa ya Jamii, umahiri mkuu na mahususi,ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la Maarifa ya Jamii na upimaji wa ujifunzaji. Pamoja na vipengele hivi, muhtasari huuumechakata na kubainisha kwa kina maudhui, shughuli za kutendwa na mwanafunzi, vigezo vya upimaji, viwango vyautendaji, na idadi ya vipindi. Ufafanuzi huu utamwezesha mwalimu kuelewa na kutumia muhtasari huu kufundisha kwaufasaha Somo la Maarifa ya Jamii.1

2.1Malengo ya Elimu ya Msingi Darasa la III- VIIElimu ya Msingi ina madhumuni ya kuwapatia walengwa maarifa, stadi na mielekeo inayohitajika kwa maendeleo yaWatanzania. Malengo makuu ya Elimu ya Msingi ni kumwezesha mwanafunzi:a) kukuza stadi za kusoma, kuandika, kuhesabu na kuwasiliana;b) kuifahamu, kuitumia na kuithamini lugha ya Kiswahili;c) kufahamu misingi ya utawala wa sheria;d) kuthamini utamaduni wa Kitanzania na wa jamii nyingine;e) kukuza uwezo wa mwanafunzi kufikiri, kubuni, na kutatua matatizo;f) kutambua umuhimu wa maadili, uadilifu na uwajibikaji kama misingi ya raia mwema;g) kushiriki katika shughuli za michezo na sanaa pamoja na kuthamini kazi za kisanii;h) kubaini na kukuza vipaji na vipawa vyake;i) kuthamini na kupenda kufanya kazi;j) kutambua, kuthamini na kutumia sayansi na teknolojia; nak) kujiandaa kwa ngazi nyingine ya elimu pamoja na kujifunza kusiko na kikomo.2.2Umahiri wa Elimu ya Msingi Darasa la III- VIIUmahiri wa Elimu ya Msingi umejikita katika kumwandaa mwanafunzi kuwa na uwezo wa:a) kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa kuzungumza na kuandika;b) kusoma kwa kujiamini na kufahamu maandishi sahili;c) kutumia dhana na kanuni za kihisabati katika maisha ya kila siku;d) kutumia stadi za kisayansi, kiteknolojia na kiufundi katika maisha halisi ya kila siku;e) kutumia utamaduni wake na wa jamii nyingine;f) kuheshimu tofauti za kiimani na kiitikadi katika jamii;2

g)h)i)j)k)l)2.3kushiriki katika michezo na shughuli za kisanii;kujiheshimu na kuheshimu wengine;kutumia misingi ya kizalendo katika maisha ya kila siku;kushiriki katika kazi mbalimbali zinazoendana na umri wake;kushiriki katika shughuli zinazokuza uwezo wake wa kufikiri kimantiki na kiyakinifu; nakushirikiana na wengine kwa kufanya matendo yanayokubalika katika jamii.Malengo ya Somo la Maarifa ya JamiiMalengo makuu ya ufundishaji wa Somo la Maarifa ya Jamii kwa mwanafunzi wa Darasa la III-VII ni:a) kumwezesha mwanafunzi kuwa na maarifa, stadi na mwelekeo utakao mwezesha kutekeleza wajibu wake katika jamiina kuchangia katika maendeleo;b) kuelewa na kuthamini haki za binadamu na umuhimu wake;c) kuelewa, kuthamini na kuendeleza utamaduni unaofaa katika jamii pamoja na kutambua tamaduni za jamii nyinginezinazofaa;d) kuelewa mazingira anamoishi, kuyatunza, kuyahifadhi na kuyatumia katika njia endelevu; nae) kushiriki katika kuleta mabadiliko kiuchumi, kijamii na kisiasa.3

2.42.5Umahiri mkuu na umahiri mahususi katika Somo la Maarifa ya JamiiJedwali Na. 1: Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi katika Somo la Maarifa ya JamiiUmahiri mkuuUmahiri mahususi1. Kutambua matukio yanayotokea katika mazingirayanayomzunguka.1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka.1.2 Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria.1.3 Kutumia elimu ya hali ya hewa katika shughuli za kila siku.2. Kutambua misingi ya uzalendo katika jamii.2.1 Kudumisha utamaduni wa Mtanzania.2.2 Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzunguka.2.3 Kuthamini mashujaa wetu.3. Kutumia ramani na elimu ya anga katika maisha ya kila siku.3.1 Kutumia ramani katika mazingira.3.2 Kufahamu mfumo wa jua.4. Kufuata kanuni za kiuchumi katika shughuli za uzalishaji mali.4.1 Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi.4.2 Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii.4.3 Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku.Ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la Maarifa ya JamiiKufundisha na kujifunza Somo la Maarifa ya Jamii kutaongozwa na ujenzi wa umahiri kwa kutumia mbinu shirikishi.Mbinu hizi zitamfanya mwanafunzi kuwa kitovu cha ujifunzaji na mwalimu akibaki kuwa mwezeshaji. Aidha, ufundishajina ujifunzaji wa maudhui yanayolenga kumjulisha mwanafunzi matukio ya kale ya kihistoria utafanywa kwa utaratibu wakutumia historia ya “usasa” ili kumjulisha ya “ukale”. Hii itamsaidia mwanafunzi kuhusianisha mambo yanayotokea sasa nayale yaliyowahi kutokea hapo kale. Hii ni tofauti na hapo awali ambapo walimu wengi walikuwa wakifundisha matukio yakihistoria kwa kutumia historia ya kale kuijua ya sasa.4

2.6Upimaji wa ujifunzajiUpimaji ni sehemu muhimu katika mchakato wa ufundishaji na ujifunzaji. Kupima kutamwezewa mwalimu kubainikufikiwa au kutofikiwa kwa ujenzi wa umahiri uliokusudiwa. Kupima kutafanyika kwa kutumia zana mbalimbali. Zana hizizitajumuisha mitihani ya kuandika, hojaji, uchunguzi makini, maswali ya ana kwa ana, mkoba wa kazi na orodha hakiki.Upimaji wa maendeleo ya mwanafunzi utahusisha upimaji endelevu na tamati. Upimaji tamati utahusisha pia upimaji wakitaifa ambao utafanyika kwa Darasa la IV na la VII.3.0Maudhui ya muhtasariMaudhui ya Muhtasari yamepangwa kwa kila darasa yakihusisha umahiri mkuu, umahiri mahususi, shughuli za mwanafunzi,vigezo vya upimaji, upimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunzi na idadi ya vipindi kwa kila umahiri mahususi.3.1Umahiri mkuuHuu ni uwezo wa kutenda jambo kwa usahihi na kwa ufanisi unaokusudiwa kwa muda fulani. Umahiri mkuu hujengwa naumahiri mahususi, ambao nao hujengwa na mwanafunzi kwa kutenda shughuli mbalimbali.3.2Umahiri mahususiHuu ni uwezo ambao hujengwa na mwanafunzi kwa kutenda kwa ufanisi shughuli mbalimbali zilizolengwa ndani ya muktadhawa umahiri mkuu.3.3Shughuli za kutendwa na mwanafunziHivi ni vitendo ambavyo mwanafunzi anapaswa kuvitenda ili kufikia umahiri mahususi uliokusudiwa kwa kuzingatia uwezona darasa husika.5

3.4Vigezo vya upimajiHivi ni viwango vya ufanisi wa utendaji wa mwanafunzi ili kufikia umahiri mahususi uliokusudiwa.3.5Upimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunziHuu ni ukusanyaji na uchakataji wa kiwango cha ufikiwaji wa vigezo vya upimaji kwa kila shughuli iliyokusudiwa.3.6Idadi ya vipindiHaya ni makadirio ya muda utakaotumika katika ufundishaji na ujifunzaji kwa kuzingatia uzito wa umahiri mahususi nashughuli za kutenda mwanafunzi. Makadirio haya ya muda yamewekwa kwa mfumo wa vipindi ambapo kila kipindi nidakika 40. Idadi ya vipindi kwa somo hili ni vipindi 3 kwa wiki. Hata hivyo, mapendekezo haya ya idadi ya vipindi yanawezakubadilika kulingana na mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.6

3.7Maudhui Darasa la IIIJedwali Na. 2: Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la IIIUmahiri mkuuUmahiri mahususi1. Kutambua matukio yanayotokea katika mazingirayanayomzunguka.1.1 Kutunza mazingira ya jamii inayomzunguka.1.2 Kutunza kumbukumbu za matukio ya kihistoria.1.3 Kutumia elimu ya hali ya hewa katika shughuli za kila siku.2.1 Kudumisha utamaduni wa Mtanzania.2.2 Kujenga uhusiano mwema kwa jamii inayomzunguka.2.3 Kuthamini mashujaa wetu.2. Kutambua misingi ya uzalendo katika jamii.3. Kutumia ramani na elimu ya anga katika maisha ya kila siku.3.1 Kutumia ramani katika mazingira.3.2 Kufahamu mfumo wa jua.4. Kufuata kanuni za kiuchumi katika shughuli za uzalishajimali.4.1 Kuthamini na kulinda rasilimali za nchi.4.2 Kutambua shughuli za uzalishaji mali katika jamii.4.3 Kutumia stadi za ujasiriamali katika shughuli za kila siku.7

Maudhui ya muhtasari Darasa la IIIJedwali Na 3: Maudhui ya Somo la Maarifa ya Jamii Darasa la IIIUmahiri mkuuUmahirimahususiShughuli zakutendwa namwanafunzi1.0 Kutambua1.1 Kutunzaa) Kufafanua vitumatukiomazingiravinavyoundayanayotokeaya jamiimazingira yakatika mazingirainayomzungukashuleyanayomzungukaUpimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunziVigezo vyaupimajiUtendajichini yawastaniVituvinavyoundamazingira yashule vinafafanuliwa kwausahihiUtendaji wawastaniUtendajimzuriIdadiyaUtendaji mzurivipindisanaAnataja vituvinavyoundamazingira yashuleAnataja nakuelezea vituvinavyoundamazingira yashuleAnafafanua vituvinavyoundamazingira yashule kwa kutoamifano halisi.Anachambuavitu vinavyoundamazingira yashule na kujaribukuelezea faidazakeb) Kufanya usafi DarasaAnafagia tuwa darasalinafanyiwa usafi uchafu katikakwa usahihidarasaAnafagia nakufuta vumbidarasaniAnasafishadarasa kwakufagia, kufutavumbi na buibuikwa ufasaha.Anasafishadarasa na kufagiamazingira ya njeya darasa.c) Kusafishamazingira yaeneo la shuleAnafagiamazingira yashule na kuachauchafu maeneomachacheAnasafishamazingira yashule kwaufasahaAnasafishamazingira yashule, kukasanyataka na kuzizoaAnataja nakuelezea faidaza mazingirasafiAnachambuafaida zamazingira safina kutoa mifanohalisiAnachambuafaida zamazingira safi nakupendekeza njiaza kuyatunzaMazingiraya shuleyanasafishwakwa usahihiAnafagiamazingira yashule na kuachauchafu maeneomengid) KuchambuaFaida zaAnataja faidafaida zamazingira safiza mazingiramazingira safi zinachambuliwa safikwa usahihi832

Umahiri mkuuUmahirimahususiUpimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunziShughuli zakutendwa namwanafunziVigezo vyaupimajie) Kuelezeahatua zakupandanyasi, miti namaua katikamazingiraHatua zakupanda nyasi,miti na mauakatika mazingirazinaelezewakwa usahihif) Kufafanuanamna yakupandana kutunzamaua, miti nanyasi kwenyeviunga vyashuleNamna yakupanda nakutunza maua,miti na nyasikwenye viungavya shuleinafafanuliwaipasavyo1.2 Kutumia Elimu a) Kufafanuaya hali ya hewadhana yakatika shughulijotoridiza kila sikuUtendajichini yawastaniDhana yajotoridiinafafanuliwakwa usahihiAnataja hatuaza kupandanyasi, miti namaua katikamazingiraUtendajimzuriAnaelezeahatua zakupandanyasi, miti namaua katikamazingira kwaufasahaAnataja hatua AnaelezeaAnafafanuaza kupandahatua zahatua zamiti na nyasikupanda nakupanda nakwenye viunga kutunza maua, kutunza maua,vya shulemiti na nyasimiti na nyasikwenye viunga kwenye viungavya shule bila vya shule kwamtiririko.mtiririko nakwa ufasahaAnatambuadhana yajotoridi9Utendaji wawastaniAnaelezeahatua zakupandanyasi, miti namaua katikamazingiraAnaelezeadhana yajotoridi kwakugusiamanenomachachemuhimuAnafafanuadhana yajotoridi kwakugusiamaneno yotemuhimu nakwa ufasahaIdadiyaUtendaji mzurivipindisanaAnaelezea hatuaza kupandanyasi, miti namaua katikamazingira kwakufuata mtiririkoAnafafanuana kujaribukuonesha kwavitendo hatuaza kupanda nakutunza maua,miti na nyasikwenye viungavya shule kwamtiririko sahihiAnafafanuadhana ya jotoridina kujaribukuelezea namnaya kupimajotoridi10

Umahiri mkuu2.0 Ku

(2019). Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii Elimu ya Msingi Darasa la III-VII. Dar es Salaam: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha wala kufasiri andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Kamishna wa Elimu,

Related Documents:

wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA OF 1977. CHAPTER 2 OF THE LAWS. 2005 . The following is the official Revised version in English of “KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977”. This revised edition of the

vii MUHTASARI Tanzania inakabiliwa na changamoto ya matumizi yasiyo salama ya kemikali na usimamizi usiosalama wa

Utafiti wa THIS wa mwaka 2016-17 umeongozwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tume ya Kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Zanzibar (ZAC), na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee . MATOKEO YA AWALI UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI TAN

kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977; Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025; Mpango wa Taifa wa . /12 hadi 2015/16; Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA II); Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2010 hadi 2015; Malengo ya Maendeleo ya Milenia; Sera ya Taifa

CCM - Chama cha Mapinduzi CHADEMA - Chama cha Demokrasia na Maendeleo CSO - Civil Society Organization CUF - Civic United Front DC - District Council . (NEC). Ibara ya 74(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipa Tume jukumu la kusimamia na kuratibu uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani .

TARP Tanzania Agricultural Research Project TAWIRI Tanzania Wildlife Research Institute TAWLAE Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture and Environment TBC Tanzania Broadcasting Cooperation TBS Tanzania Bureau of Standard TCC Tanzania Communications Commission TCCIA Tanzan

Mata kulian Anatomi dan Fisiologi Ternak di fakultas Peternakan merupakan mata kuliah wajib bagi para mahasiswa peternakan dan m.k. ini diberikan pada semester 3 dengan jumlah sks 4 (2 kuliah dan 2 praktikum.Ilmu Anatomi dan Fisiologi ternak ini merupakan m.k. dasar yang harus dipahami oleh semua mahasiswa peternakan. Ilmu Anatomi dan Fisiologi Ternak ini yang mendasari ilmu-ilmu yang akan .