WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MONG ARE

2y ago
563 Views
12 Downloads
1.16 MB
6 Pages
Last View : 8d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Milena Petrie
Transcription

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIAMONG ARE TEACHERS COLLEGEBANDIKA PICHA 4za passport sizeHAPA KWASTAPLER PINSuistumie gundiaina yoyoteS.L.P 215 HAI, KILIMANJARO. SIMU: Mapokezi-0755 679 228 , Msajili-0718 672 064, Mkuu - 0654 314 133, Mkurugenzi-0717 622 555USAJILI: WIZARA: CU.150, NACTE:TLF/013, NECTA E0654, VETA VET/KLM/PR/2013/025MATOKEO YA TAIFA KWETU WA MWISHO WANA DIVISHENI 3 TAZAMA TOVUTI YA NECTA KITUO E.0654 UALIMUNB: Entry qualifications are as instructed by Ministry of Education, Science and Technology,NACTE or VETA depending on course.Ikiwa umetoa fomu hii kwenye mitandao au UMETUMIWA WHATSUP, Ili kuhifadhiwa nafasi tuma MAJINA YAKO,NAMBA YA MTIHANI naSHULE ULIYOSOMA kuja namba 0654314133 na 0717622555 UANDIKISHWE & UHIFADHIWE NAFASI.Ndugu: . Index Number DAY/HOSTEL/BWENI?.Hongera kwa kuhitimu Elimu ya Sekondari.Kwa matokeo yako nimekuchagua kujiunga na chuo hiki,kusoma kozi yaUalimu wa Msingi GRADE 3A /Ualimu wa Chekechea / Diploma ya Ualimu / ICT / Kurudia kidato cha nne/ . Utasoma kwa Mchepuo wa Kiswahili / English Medium: . .Kwa Muda wa: . .Ripoti chuoni wa Bweni:Tarehe: 20/07/2020 saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana.Kutwa Tarehe: 21/07/2020. saa 1:20MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA CHUO TAREHE 20/07/2020MKUU WA CHUO AJAZE HAPA KWA UFUPI-KUSAJILIWA CHUONIApplication Form Namba: .na Imelipiwa kwa Receipt No: Nimeona bankslips za Fomu na za ada za benki ya . za tarehe Jumla Tsh Ameambatanisha picha 4 za rangi hapa pamoja na (Documents) .Atumie Kiti namba: .Jina la Bweni: . Chumba: Kitanda: . Nimempa Admission Number: . .Faili Namba: . Aanze Masomo Tarehe: .Darasa No: .Computer No: Kitambulisho No: .Expiry: Sheria za Chuo: .Medical Form: .Tarehe kuhitimu: Atalipa Ada kwa Awamu ngapi: . Kila Awamu Tsh: . .Mengineyo: Jina: .Saini Tarehe A. KUHUSU CHUO CHETUMong are Teachers College ni chuo cha Ualimu kilichopo Bomang ombe,Wilaya ya Hai,Mkoa waKilimanjaro.Chuo hiki kimesajiliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kwa Namba CU.150 kwa kozi zaUalimu Elimu ya Awali,Ualimu Elimu ya Msingi na Diploma ya Ualimu Elimu ya Sekondari;Baraza la Taifa laElimu ya Ufundi (NACTE) kwa namba TLF/013 kwa Ualimu Elimu ya Msingi ngazi za Cheti mpaka Diploma yaUalimu Elimu ya Msingi (full registration);Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa namba E.0654 kama kituocha Mitihani ya Taifa ya Ualimu wa Awali, Msingi na Sekondari pamoja na VETA (Mong are) kwa nambaVET/KLM/PR/2013/25 kwa kozi za ICT na BIASHARA.Pia chuo kina kituo cha Mitihani ya Taifa ya NECTA kwawatahiniwa wa kujitegemea wa QT na Resitters cha Mong are School Centre chenye usajili namba P.4936 ambapowanafunzi wenye sifa pungufu hupewa nafasi ya kurudia mitihani ya taifa BURE katika kituo chetu ili wawe na sifaza kusoma na kuajiriwa na serikali. Chuo kina campus tatu,moja iliyopo Kambi ya Nyuki kando ya barabara itokayoBomang’ombe kwenda Rundugai ni idara ya Ualimu,iliyopo Magadini kando ya barabara iyo hiyo ni Idara ya Koziza Afya na iliyopo Mjini Bomang ombe,Mkabala na Ofisi za CCM HAI ni kituo cha mitihani ya Taifa ya NECTAna kozi za VETA.Wanaorudia mitihani ya kidato cha 4 wanatakiwa waripoti mapema ili wapewe namba rejea zabaraza la Mitihani,NECTA,ili wasajiliwe mapema ambapo kurudia kidato cha 4 ni BURE kwa wanachuo wetu.ANGALIZO:Tumia fomu hii kwa intake iliyokusudiwa tu na ukiamua kuripoti intake nyingine ufuate taratibu zakehaswa gharama mbalimbali kama ada kulingana na wenzako katika darasa husika tu.Ufikapo Mjini Bomang ombe,Wilaya ya Hai,Kilimanjaro, uliza watu wa bajaji OFISI ZA MONG AREKAMBI YA NYUKI CHUONI au panda magari ya daladala yatokayo Bomang ombe mjini kuelekea Rundugai naumkumbushe kondakta akushushe chuoni Mong are.Ukifika chuoni utaona geti kubwa lenye njia mbili moja yakuingia chuoni na ya pili ya kutoka chuoni na maandishi ya jina la CHUO CHA UALIMU MONG ARE hapogetini.Gharama zote za usafiri wa kuja chuoni na kurudi nyumbani wakati wa likizo ni juu yako mwenyewe .B. KwaMAELEZOMWANACHUO.ANGALIZO-JAZAMAJINASAHIHI ULIYOANDIKAkulipa adaYAumeelewana umekubali kuwa ADA ZIKISHALIPWAHAZIRUDISHWIAU KUHAMISHIWA NECTA.MWINGINE .P a g e 1 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads.

i)Jina la Kwanzaii)iii)Anuani zako za Posta (unakoishi)S.L.P:KUZALIWA.Kijiji:Wilaya:C.Jina la Katii) SIFA ZA KIELIMUShule ya Msingi:Shule ya Sekondari:SomoEngl KiswDaraja/GradeShule ya A-Level:Somo na GREDI UliyopataJina la a?Idadi yaWatotoEmail:URAIA:(Ukiwa na masomo mengine yajaze katika vijiboksi vilivyo wazi)MathsBioChemMwaka Uliohitimu:Mwaka Uliohitimu:PhyGeoHistDarasa:Namba ya Mtihani:Division Points Namba ya Mtihani:Divisheni:Pts:CivMwaka Uliohitimu:ii) KOZI NYINGINEZO ZINAZOKUPA SIFA:Jina la Chuo: Mwaka:Kuanza: Kuhitimu: .Jina la Kozi: . .Ngazi ya Tuzo: AVN: .D. MAELEZO YA MZAZI / MLEZI / MDHAMINI:Majina Kamili: .S.L.P: .MJI: . Shughuli/Kazi: .SIMU: . au Email Adress:(Andika kwa Usahihi): .E. AINA YA KOZI ULIYORUHUSIWA: (Imepigwa alama ya tickSNKOZIMTAALA WAi)ii)iii)iv)v)vi)*viiAstashahada ya Ualimu wa Elimu ya AwaliAstashahada ya Ualimu wa Elimu ya MsingiStashahada ya Ualimu wa Elimu ya SekondariStashahada ya Ualimu wa Elimu ya MsingiUalimu wa shule za Msingi (English Medium)Information Communication TechnologyKurudia Mitihani ya Kidato cha IV au cha VIna kusaini)TickSaini YakoTIETIETIENACTE*TIE / NACTEVETAWizara ya ElimuF. MAHITAJI YA KUANDIKISHWA (ADMISSION REQUIREMENTS)1.2.3.4.5.Uje na Fomu / Barua hii (Joining Instruction) ya kujiunga NDANI YA FLAT FILE DOGO pamoja na;Cheti cha kuzaliwa / Birth Certificate, (ikiwa unacho)Cheti cha kuhitimu Elimu ya Sekondari/School Leaving Certificate, (ikiwa unayo)Cheti cha kufaulu kidato cha 4 au 6 kwa ambao vyeti vimeshatoka na wameshavipata.Picha ndogo 4 za Rangi ya blue background (4 passport size photos) na Sh. 10,000/ za student s Id card.Nb : Ambao hawajapa vyeti mnapokelewa kuendelea na masomo ili msichelewe.G. SARE YA CHUOUnatakiwa kushona sare ya chuo maridadi, nadhifu,ya heshima,yenye kuonyesha maadili ya ualimu.i)MEN (WAVULANA) Mashati 2 mikono mirefu rangi ya blue ya bahari. Suti ya dark blue (bluu iliyokolea sana namba moja) yaani suruali 2 na koti lake. Tai special ndefu ya dark blue yenye mistari mingi ya rangi nyeupe. Viatu vyeusi vya ngozi vyenye kisigino kifupi vyenye kambaii) LADIES (WASICHANA)Mashati 2 mikono mirefu rangi ya blue ya bahariSuti ya kitambaa namba 1 bluu iliyokolea (dark blue number 1 ),yaani Sketi 2 za mshono wa A na koti lake na sio sweta. Taispecial ndefu ya dark blue yenye mistari mingi ya rangi nyeupe. Viatu vyeusi vya ngozi vyenye kisigino kifupi vyenye kambaP a g e 2 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads.

Kitambaa cha suti kimeambatanishwa.Shona suti nzima yenye heshima na isiwe na madoido/urembo usio na msingi na suruali isiwena mifuko miwili nyuma.HAIRUHUSIWI KUMLIPA MTU YEYOTE FEDHA CHUONI kushonewa sare,shona uje nazo au ukifika hapa chuoni kunamafundi wengi waweza kuelewana na unayetaka akushonee .T-shirt moja ni Tsh 15,000/ ofisini uwe na fedha taslimu ununue/ulipie na kupewa pamoja na risiti yako.H. SARE KWA AJILI YA WANACHUO WA KIISLAMUKwa wasichana wa Kiislamu wanaruhusiwa kushona Hijabu,Blauz inatakiwa ipite magoti na iwe pana (short kanzu) yenye rangi yadark blue iliyokolea zisizo na urembo wa aina yoyote.Suruali ya rangi ya dark blue iliyokolea pana na isiwe ya kubana na kitambaa cha kichwani kinapaswa kuwa cha rangi ya dark bluepia. Uje ukiwa umevaa.Kila mwanachuo atajigharamia mwenyewe kuwekewa nembo katika mashati yake ndani ya wiki mojaatakapokuwa ameripoti chuoni.Utaratibu wake utaukuta kwa msajili wa chuo atakayekuandikisha chuoni.I. SARE ZA MICHEZOMavazi kwa ajili ya michezo ni Truck suti, Tshirt yenye nembo ya chuo na raba: Mwanachuo anahitajika kuja na soksi (stockings)rangi ya blue,bukta ya bluu na raba za michezo.Tayarisha sare zako mwenyewe uje kugharamia nembo ya chuo ufikapo chuoni.J. MAVAZI MENGINEYO:Yawe nadhifu na heshima yanayoendana na hadhi ya heshima ya ualimu na siyo vinginevyo.K. MAHITAJI MUHIMU KWA AJILI YA MALAZI NA CHAKULAi.ii.iii.iv.v.viii.Blanketi 2 na chandarua cha mbu.vi.Ndoo mbili ambapo moja ni ya maji nyingineShuka jozi mbili za rangi ya pinkya usafi na kifaa cha kuhifadhia maji yaMto na foronya mbili za rangi ya pinkkunywa.Gum boots za kutumia wakati wa mvuavii.Godoro lenye ukubwa wa futi 21/2 x 6Koti la mvua na mwamvuliKanda mbili ni MARUFUKU kuvaliwa ukumbini,ofisini,darasani na kwenye mikutano yote ya chuo. Nywele bandia,kutiadawa nywele na “Curl” haziruhusiwi uwapo chuoni ila ruksa kusuka.Wanafunzi wa jinsia moja kutoka familia moja wanaruhusiwa kuja na godoro moja la 3 1/2 x 6 badala ya mawili ya 21/2 x 6L. MAHITAJI KWA AJILI YA TAALUMAi.ii.iii.iv.v.Muhula wa kwanza uje na daftari Quire 3 au 4 zisizopungua 12 na vifaa vya kuandikia .Waweza kuja kununuadaftari hizo hapa chuoni ZENYE LOGO kwa bei Tsh. 3,000/ kila daftari.Kila Muhula utatakiwa kutayarisha zana za kufundisha ambazo zitakaguliwa na kupewa alama kama sehemu ya koziyako.Uje na KITABU KIMOJA KATI YA VIFUATAVYO ILI kuchangia hazina katika maktaba yenu ya chuo: --Syllabus au Muhtasari wa Somo lolote elimu ya Msingi au Moduli ya Mafunzo ya ualimu Elimu ya Msingingazi ya Cheti SOMO LOLOTE au Ngazi ya Diploma au ATLASS (Chagua mwenyewe kimoja ).Ream paper MOJA A-4 unapojiunga ,karani AANDIKE MAJINA YAKO NA RISITI NAMBA HAPO JUU.Chaki boksi moja kwa ajili ya kujizoesha kuandika ubaoni, utunze mwenyewe ni zako USIKABIDHI OFISINI.M. KUHUSU MATIBABU NA AFYA YA MWANACHUOi.Unapaswa uje na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) kama hauna utalipia Medical Fee Tsh. 40,000/ na kisha utakuwa unatibiwa na gharama zikizidi utalipia.Ni kwa wanachuo wanaolala chuoni ilawa kutwa wasilipie.Ambatanisha kivuli cha bima hiyo na fomu hii.ii.Matatizo ya kiafya yasiyoelezeka katika fomu ya Afya iliyoambatanishwa hayatakubalika.N. ADA ZILIPWE CRDB BENKI MONG ARE TEACHERS COLLEGE, A/C No.0150459516200 ,WAJAZEHIVI: Jina la Mwanachuo: (JAZA Majina yako kama yalivyoandikwa NECTA) Adm.No: (Jaza:NEW STUDENT)Mwaka wa Masomo: Jaza JULY 2020 INTAKE .Kisha sababu jaza: ADA au VYAKULA au MATIBABU,nkUje na bank pay in slip siku ya kuripoti la sivyo hautapokelewa.Fedha taslimu hazikubaliki na malipo ya fedha taslimu hayatatambulika.Mlipajiharuhusiwi kumpa mtumishi yeyote fedha taslimu na hakuna mtumishi yeyote anayeruhusiwa kupokea fedha taslimu na ukimpa au kumtumiamtumishi yeyote fedha itakuwa kwa makubaliano yenu na siyo ada.Ingia benki kulipa ada zako ukiwa na fomu hii waisome ili Bank pay in slipiwe na Jina la Mwanachuo kama lilivyoandikwa katika cheti chako cha kidato cha nne, Mwaka wa Masomo (Mwaka wa kwanza au wa pili),Kiasi cha Malipo na sababu mfano ADA,au MATIBABU,NECTA,nk.Baada ya kulipa hakikisha unawasilisha bank pay in slip original ofisinindani ya mwezi huo uliolipia uandikiwe risiti.Bank slips zilizopitiliza muda hazitapokelewa bila maelezo ya kina ili kuzuia wanaojaribukughushi na wakibainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao wanaoghushi au kurudia kutumia nakala ya bankslip iyo hiyo zaidi yaP a g e 3 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads.

mara moja.Pia malipo ya M-Pesa,vivuli vya bankslips au uwasilishaji wa bank pay in slip kwa njia ya mtandao au whatsup hazitaandikiwarisiti.Unakumbushwa kuwa ADA IKILIPWA HAIRUDISHWI AU KUHAMISHIWA KWINGINE hivyo ukishalipa umekubaliana na kanunihizi.Ukilipa kwa checque alafu irudishwe au ikataliwe utaongezewa deni la asilimia 50% ya kiasi ulichoandika katika cheque hiyo.USILIPEADA KUPITIA WAKALA yeyote wa mtaani ila NDANI YA CHUO KUNA WAKALA WA BENKI AMBAPO UKIJA UNAWEZAkulipa ada zako BENKI KUPITIA WAKALA HUYU ALIYEKO NDANI YA CHUO CHETU SIKU UTAKAPORIPOTI CHUONI.Ukibainika kukiuka maelekezo haya na kumpa mtumishi yeyote fedha taslimu hata awe muhasibu au mkuu wa chuo,malipo yakohayatatambulika na pia utaongezewa deni kwa asilimia 50 % ya thamani ya kiasi hicho ulichompa mtu taslimu au kumtumia.O. FEE STRUCTURE ( NGAZI YA CHETI / DIPLOMA ) MWAKA 2020ADA KWA WANACHUO WA KUTWA (Ada tu yaani tuition fee and other costs).Kwa mwaka Tsh 780,000/ Chagua awamu unazotaka piga tick na usaini katika chaguo lako Ukilipa kwa awamu moja ni Tsh 780,000/ Ukilipa kwa awamu mbili kila awamu ni Tsh 390,000/ . Ukilipa kwa awamu tatu kila awamu ni Tsh 260,000/ .P. ADA KWA WANACHUO WA HOSTEL (Imejumuisha Ada na hostel)Kwa mwaka Tsh 980,000/ Chagua awamu unazotaka piga tick na usaini katika chaguo lako Ukilipa kwa awamu moja ni Tsh 980,000/ Ukilipa kwa awamu mbili kila awamu ni Tsh 490,000/ Ukilipa kwa awamu tatu kila awamu ni Tsh 326,700/ .Q. ADA KWA WANACHUO WA BWENI (Imejumuisha Ada,malazi na vyakula asubuhi,mchana na jioni)Kwa mwaka Tsh 1,395,000/ Chagua awamu unazotaka piga tick na usaini katika chaguo lako Ukilipa kwa awamu moja ni Tsh 1,395,000/ Ukilipa kwa awamu mbili kila awamu ni Tsh 697,000/ Ukilipa kwa awamu tatu kila awamu ni Tsh 465,000/ .*Malipo yafuatayo yatalipwa kando na ada ,muda utakapofika utajulishwa kwa kuwa mengine kama Uthibiti Ubora yatatagemeamiongozo ya serikali:Mitihani ya kuhitimu,Teaching Practise nje ya chuo, Graduation, Quality Assurance ila Development feekiwango wanacholipa wanachuo wenzako utailipa siku ya kuchukua cheti ukishahitimu na kufaulu.Mengine niyatakayopitishwa na Board ya Chuo au kikao cha wazazi au kama taratibu zilivyo kwa wanachuo wengine. Mwanachuo waDiploma masomo ya Sayansi atachangia gharama za vifaa vya maabara kama atakavyoelekezwa kulingana na uhitaji.i)Hostel au malazi ni ndani ya chuo.Gharama za vyakula: Jinunulie katika cafeteria ya wanachuo hapa chuoni kwa gharama nafuu hivyo kila mwanachuoatajinunulia vyakula kulingana na uhitaji wake mwenyewe.Mfano,chai ni Tsh 200,Vitafunuo kuanzia Sh 200, Wali kuanzia Sh500, Sh. 1,000/ nk hivyo utakula upendavyo ukichagua hostel bila vyakula!Nb:Mwisho wa kutazama TV / SEASON MOVIE/Entertainment katika ukumbi wa chuo ni saa 3 usiku.Ikifika muda huoutatakiwa ukalale na hairuhusiwi yeyote kuzurura popote ndani ya chuo bali kuwepo bwenini na kupumzika bila kelele.THIBITISHO LA MWANACHUONimesoma,nimeelewa na kukubaliana na yote yaliyomo katika fomu/barua hii ikiwemo sheria ZOTE za chuo.Nitafuata sheria zote za chuo zilizopo pamoja na marekebisho yake yatakayofanyika wakati wowote.Jina Saini Tarehe THIBITISHO LA MZAZI / MLEZI / MFADHILINathibitisha kuwa nimesoma,nimeelewa na kukubaliana na yote yaliyomo katika fomu / barua hii na sheria zote.Jina Saini Tarehe AFISA WA MAPOKEZI CHUONI AJAZE HAPA:Fomu hii imekamilika inavyotakiwa na viambatanisho vyote,imesainiwa na mwanachuo,mzazi/mlezi na ana vifaavyote vya masomo vinavyotakiwa.Jina .Saini/Tarehe .Karibu sana Mong are Teachers CollegeP a g e 4 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads.

(USIJAZE CHOCHOTE HAPA-MATUMIZI YA OFISI TU)Payment of Application Form Verified Amount Tsh Paid on Date .Account Sign .Approved to Take Course Tittle Duration of The Course . Semesters .Course Commencement Date . . Ends .Jina la Msajili wa Chuo: .Saini/Tarehe/Muhuri .i)RECEIVED, CHECKED & RECORDED BY: (REGISTRAR ATATUNZA FAILI HILI)SECRETARY:Nimempokea muda unaoruhusiwa / kwa maelekezo ya ., nimeona ushahidi wanyaraka zinazohitajika,malipo na nimempa risiti zake hivyo nimewasilisha faili kwa Afisa Msajili wa chuo.Maelezo mengineyo . . Signature . .Date .ii)Accountant 1 (PAYMENT DETAILS EXTRACTED AND STORED SEPARATELY in General Ledger)Entry Number . Name .Signature . .Date . .iii)REGISTRAR OF STUDENTS : Student s Committment letter seen and signed,filed and admitted No Name . . .Signature Date iv)DEANS OF STUDENTS: Seen,Read and signed all rules and regulations and filed in my office.Name .Signature . .Date .v)PRINCIPAL:Verification number in my office Records is : , All College steps adhered to by ALL.Comments . .Name .Signature . . Date .vi)CONFIRMED BY THE MANAGER:All admissions and financial processes and records seen in their offices.Comments .Signature .Date .MSAJILI AMKUMBUSHE CASHIER AJAZE HAPA NDANI YA SIKU 7 KILA MWANACHUO ANAPOLIPA ADA ZAKE-KATIKA FAILIFirst (Year 1)Term 1Term 2: DAY/HOSTEL/BOARDING: DAY/HOSTEL/BOARDING: .Amount RequiredDate ReceivedReceipt DatedBanked DateReceipt NO.AMTStudent Sign.Registrar SignSecond (Year 2)Term 1:DAY/HOSTEL/BOARDING: .Term 2:DAY/HOSTEL/BOARDING: Amount RequiredDate ReceivedReceipt DatedBanked DateReceipt NO.AMTStudent Sign.Registrar SignVerifying officers BAADA YA KUHITIMU AU MWISHO WA KILA MWAKA:Date NameCommentsOffice TittleSignatureP a g e 5 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads.

GOVERNMENT OF TANZANIAREQUEST FOR MEDICAL EXAMINATIONPART A:TO: The Medical OfficerFrom: Mong are Teachers’ CollegeSimu: 0755679228/0654 314 133 .Name of student as in CSEE Please examine the above named as to his/her physical and mental fitness for a full time teachers course.A:1. (a) Eye – sight(b) Hearing(c) Speech(d) Venereal diseases(e) Leprosy(f) Limbs(g) Epilepsy2. Neuroses3. Other serious diseases.B: Blood Group .Date: Signature: Official ****************************************PART B:MEDICAL CERTIFICATE(To be completed by Government Medical Officer)I have examined the above named student that he/she is physically fit/unfit and mentally *fit/unfit for a full timeTeacher Education Course.(a) Eye – sight .(b) Hearing (c ) Limbs .(d) Speech .(e) Leprosy II. Neuroses .III. Other serious diseases .IV. Pregnancy .Date: .Signature: .Official StampP a g e 6 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads.

P a g e 1 of 6 by Mong are Teachers College, Hai Kilimanjaro,March 2020 www.mongarecollege.ac.tz for Online Downloads. WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MONG ARE TEACHERS COLLEGE S.L.P 215 HAI, KILIMANJARO. SIMU: Mapokezi-0755 679 228 , Msajili-0

Related Documents:

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingi kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadha huu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha

wizara ya elimu, sayansi na teknolojia cheti cha ualimu elimu ya awali matokeo ya mtihani wa mwisho wa muhula wa ii juni 2019 wanachuo wa mwaka wa kwanza i i ja ict ja i ja ills ja u ja ct ja hili ja a ja ia ja o ja ia ja la ni ja i oni e512/283 nicodem herry swetala me 78 a 67 b 74 b 66 b 8

3.0 VIPAUMBELE VYA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI 10. Mheshimiwa Spika, Dira ya Maendeleo ya Taifa (2 025) imelenga kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Katika juhudi za kufikia lengo hili, Wizara ya E

WIZARA YA ELIMU SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI DARASA IV – KAZI YA NYUMBANI KISWAHILI JINA LA MWANAFUNZI: _ MAELEKEZO 1. Kumbuka kuandika majina yako matatu kwa usahihi. 2. Jibu maswali yoe kulingana na maelekezo. 3. Soma maswali kwa ufasaha kabla ya kuyajibu

(2019). Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii Elimu ya Msingi Darasa la III-VII. Dar es Salaam: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha wala kufasiri andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Kamishna wa Elimu,

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Imefadhiliwa na Idara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uingereza (DFID) Agosti, 2017 MPANGO WA UTAYARI WA KUJIUNGA NA ELIMU YA SEKONDARI (MUES) EQUIP-Tanzania. Mpango wa Utayari wa Kujiunga na Elimu ya Sekondari (MU

fedha za kigeni. Hata hivyo, kutokana na maendeleo duni ya sayansi na teknolojia pamoja na kutokuwepo kwa usawa katika soko la dunia kumesababisha pato la nchi kuwa dogo na kufanya vyuo vya elimu ya ualimu kutovutia wanafunzi wengi wa ualimu kujiunga navyo. Jitihada za makusudi zinahitajika i

Brain anatomy, physiology, Stroke & Neurological Assessment Stephanie Drysdale. Stephanie Drysdale. Functions of the Brain FRONTAL PARIETAL OCCIPITAL Personality/Behaviour Planning Decision making Concentration Voluntary motor functions Primary motor cortex (precentral gyrus) Comprehension and language Sensory functions (pain, heat and other sensations .