NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

2y ago
264 Views
2 Downloads
6.15 MB
117 Pages
Last View : Today
Last Download : 2m ago
Upload by : Rosemary Rios
Transcription

H U M A NR I G H T SW A T C HNILIKUA NA NDOTO YAKUMALIZA SHULEChangamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

“Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule”Changamoto za Elimu ya Sekondari Tanzania

FEBRUARI 2017ISBN: 978-1-6231-34464“Nilikua na Ndoto ya Kumaliza Shule”Changamoto za Elimu ya Sekondari TanzaniaMuhtasari Na Mapendekezo Muhimu. 1Mbinu za Utafiti. 20I. Historia: Elimu ya Sekondari Tanzania . 23Mfumo wa Elimu ya Tanzania . 25Jitihada za Serikali kuharakisha maendeleo katika Elimu ya Sekondari . 28Dhamira ya Maendeleo ya Kimataifa . 31Vikwazo vya Kijamii na Kiuchumi Vinavyowafanya Watoto Kukosa Shule .32II. Wajibu wa Tanzania kwa Sheria za Kimataifa . 36Haki ya Kupata Elimu ya Sekondari .36Ubora wa Elimu .39Haki ya Elimu Jumuishi na yenye kuzingatia Watu Wenye Mahitaji Maalum. 40Ulinzi dhidi ya Vitendo vya Ukatili ikiwa ni pamoja na Ukatili wa Kijinsia, Adhabu za Viboko naAina ya Adhabu za Kudhalilisha . 41Ulinzi dhidi ya Ndoa za Utotoni na Ajira za Watoto .42III. Vikwazo vya kupata Elimu ya Sekondari . 44Gharama za Elimu ya Sekondari .44Mitihani-Kikwazo cha Kufikia Elimu ya Sekondari . 49Miundombinu Duni ya Shule . 52Usafiri Duni . 54IV. Adhabu za Viboko na Kufedhehesha . 57Adhabu za Viboko kama Utamaduni uliozoeleka Nchini . 57Kuenea kwa Matumizi ya Adhabu za Viboko . 60V. Vikwazo, Ubaguzi na Unyanyasaji dhidi ya Wanafunzi wa Kike . 65Kufukuzwa kwa Wasichana Wajawazito na Wenye Watoto . 66Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Wasichana Shuleni . 72Ukosefu wa Vifaa vya Kutosha vya Usafi na Usimamizi wa Usafi wa Hedhi .78Ukosefu wa Upatikanaji wa Elimu ya Kina ya Uzazi na Kujamiiana . 81

VI. Vikwazo Vinavyowakabili Wanafunzi wenye Ulemavu . 84Ukosefu wa Shule zinazoweza kuhudumia Wanafunzi wenye Ulemavu .87VII. Ukosefu wa Elimu Bora katika Shule za Sekondari . 90Umahiri Duni wa Kufundisha . 91VIII. Ukosefu wa Njia Mbadala za Kupata Elimu kwa Watoto Wanaoacha Shule. 99Mapendekezo . 102Kuhakikisha Upatikanaji wa Elimu ya Sekondari Bure kwa Vijana Wote . 102Kufuta kwa Awamu Matumizi ya Mitihani kama Kigezo cha Kuchagua Wanafunzi kwa Elimu yaSekondari. 102Kuongeza Upatikanaji wa Shule za Sekondari . 103Kuhakikisha Usafiri Salama na Nafuu . 103Kuondoa Adhabu za Viboko na Unyanyasaji wa kijinsia katika Shule . 104Kuondoa Vikwazo vya Kibaguzi na Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Wasichana katika Shule . 104Kuhakikisha Elimu Jumuishi kwa Watoto wote wenye Ulemavu . 106Kuimarisha Ubora wa Elimu katika Shule zote za Sekondari . 107Kusaidia Serikali ya Tanzania katika Jitihada zake za Kutambua Haki ya Elimu ya Sekondari . 108Kuomba Serikali Kufuta Sheria na Sera ambazo Zinakiuka Haki ya Elimu ya Sekondari na Hakinyingine za Mtoto . 108Kuiomba Serikali ya Tanzania Kuzingatia Wajibu wake wa kimataifa na Kikanda . 109Shukrani . 110

MUHTASARI NA MAPENDEKEZO MUHIMUHUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 2017

Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana.Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwana ndoto ya kumaliza shule niende chuonihitimu, na nifanye kazi kama muhasibu.Kama ilivyo kwa vijana mamilioni wa Tanzania, Imani,20, kutoka Mwanza, mkoa wa Kaskazini Magharibiuliyopakana na Ziwa Victoria, alitaka kusoma kadriawezavyo ili aweze kuhitimu, kupata kazi, na awezekujikimu na kusaidia familia yake. Kuanzia miaka 14,wakati alipojiunga na sekondari, alitembea zaidi yasaa moja na nusu kila siku asubui kufika shule:Nilikua nafika shule nikiwa nimechoka sana,nikaanza kuchelewa kila wakati. Ninapofikanimechelewa naadhibiwa.Matarajio ya Imani yalibadilika alipofikia umri wa miaka 16.Alinyanyaswa kingono na mwalimu wake wa mafunzo yaziada, ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya sekondariambaye wazazi wake walimwajiri ili kumfundisha siku zamapumziko mwishoni mwa wiki. Imani alipogunduakwamba ana mimba, alimtaarifu mwalimu wake. Mwalimuakatokomea pasipo julikana.Muuguzi aliwapima mimba wasichana wote shuleni, ilaImani aliweza kukwepa kwenda shule nyakati zote mbiliambazo muuguzi alifanya uchunguzi huo. Mwezi wa tatukatika ujauzito wake, viongozi wa shule waligunduakwamba ni mjamzito. “Ndoto yangu ilisambaratika,”aliwambia shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu,Human Rights Watch. “Nilifukuzwa shule, na pianilifukuzwa kutoka nyumbani nilipokua naishi [kwa dadayangu].Kama wengi wa vijana wasichana nchini Tanzania, Imanialijaribu njia mbalimbali za kurudi masomoni baada yakujifungua mtoto wake, ambae alikua na umri wa miakamitatu wakati Imani alizungumza na shirika la HumanRights Watch.Nilijaribu[kurudi shule]. Nilienda kwenye vituo vingibinafsi ili niweze kufanya mtihani wa kitaifa wakidato cha pili. Nililipia ada ya mtihani kwa walimu,ila walimu walitokomea na fedha zangu[hawakumsajili kufanya mtihani,] hivyo sikuweza kufanyamtihani. Huu ulikua ni mwaka 2015.Wakati Human Rights Watch walivyofanya mahojiano nayemwezi wa kwanza 2016, Imani alikua kaanza mafunzo yakompyuta ambayo yanaendeshwa na shirika dogo ambalosiyo la kiserikali lililoko Mwanza kuhakisha mabinti wengikama yeye wanapata fursa ya kupata elimu kwa maranyingine.****2NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

Picha zote 2016 Elin Martínez/Human Rights WatchMchoro nje ya ofisi za Shirika la Maendeleo ya Jamii la Rafiki,Wilaya ya Kahama, Shinyanga. Mchoro huu unalengakuhamasisha kuhusu unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto wa kikewakiwa njiani kwenda shule, unaonyesha mwanafunzi wa kikeakikataa kupokea pesa kutoka kwa mtu mzima na kusema“Sidanganyiki”.HUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 20173

Eileen (jina la bandia), 21, aliacha shule akiwa kidato cha pili baadaya shule yake kufanya upimaji wa mimba na maafisa wa shule nawazazi kugundua kwamba ni mjamzito. Kwa Tanzania, maafisa washule mara kwa mara huwapima wanafunzi wa kike mimba kwalazima ikiwa ni hatua za kinidhamu kuwafukuza shule wanafunziwenye mimba.4NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

Elimu imekua kipaumbele kitaifa kwa serikali zilizoingiamadarakani tangu uhuru. Tanzania ni kati ya nchi duniayenye idadi kubwa ya vijana, na vijana wake ndiyo nimatarajio makubwa katika kufikia malengo ya nchi yauchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.Uchumi wa nchi, maendeleo ya jamii na ya binadamuyanategemea, kwa sehemu, katika uwezeshwaji na elimu;hii ikiwa ni rasilimali ya kipekee pamoja na ujuziunaotakiwa ili kupeleka mbele malengo ya kitaifa. Elimubora inaweza kuinua familia na jamii kutoka kwenyeumaskini na kuongeza ukuaji wa uchumi wa nchi. Kuhitimuelimu ya sekondari imeonyesha faida kubwa kwa afya yamtu binafsi, ajira, na kujipatia mapato katika maisha yaoyote. Elimu ya sekondari, pamoja na mafunzo ya ufundistadi, yanaweza kuwawezesha vijana kupata ujuzi lainiunaohitajika katika maendeleo endelevu, pamoja na uraiana haki za binadamu, na kuhakikisha upatikanaji wa taarifakulinda afya zao na ustawi. Kwa wasichana, usalama nausawa kwa upatikanaji wa elimu ya sekondari yaweza kuwana nguvu kuweka usawa, kuhakikisha wasichana nawavulana kupata masomo sawa, shughuli mbalimbali nauchaguzi wa kazi.Hata hivyo, mamilioni ya watoto wa kitanzania na vijanahawapati elimu ya sekondari na mafunzo ya ufundi stadi.Inakadiriwa kwamba jumla ya watoto milioni 5.1 wenye umrikati ya miaka 7 hadi 17 hawako mashuleni, ikiwa ni pamojana karibu milioni 1.5 walio katika umri wa kwenda shule yasekondari ngazi ya chini. Watoto wengi wanaishia elimu yamsingi: ni vijana watatu pekee kati ya watano Tanzania auasilimia 52 ya idadi ya wanaopaswa kuwa shule,wameandikishwa elimu ya sekondari ngazi ya chini, nawachache wanamaliza elimu ya sekondari. Elimu rasmi yamafunzo ya ufundi stadi haipatikani kwa watoto wengiwanaohitaji.Badala ya kujiunga na shule, watoto wengi wanaishiakwenye ajira za utotoni, mara nyingi ni za unyonyaji,unyanyasaji, au katika mazingira hatarishi na katikaukiukwaji wa sheria za Tanzania, ili kuongeza kipato chafamilia. Wasichana pia wanakumbana na changamotokutokana na jinsia yao. Karibu wasichana wawili kati yawatano wanaolewa kabla ya kufikia miaka 18, na maelfu yavijana wasichana wanaacha shule kwa sababu ya kupatamimba.Mpaka hivi karibuni, familia nyingi zimeshindwa kupelekawatoto katika shule za sekondari kwa sababu ya kushindwakulipa ada na kukimu mahitaji mengine, mara nyingigharama ni zaidi ya shilingi za kitanzania 100,000 (dola 50)kwa mwaka.Lakini mwezi wa kumi na mbili mwaka 2015, serikali mpyaya Tanzania ilichukua hatua muhimu: ilifuta ada zote zashule na “michango” – ada ya ziada kwa ajili ya gharamaHUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 20175

Fimbo ya mianzi ambayo hutumika na walimu kuchapa wanafunzi darasaniikiwa juu ya dawati katika shule ya sekondari huko Mwanza, KaskaziniMagharibi mwa Tanzania. Human Rights Watch waligundua kwamba walimuwengine huwachapa wanafunzi na fimbo au hata kwa kutumia mikono yaoau vitu vingine.za uendeshaji wa shule. Awali, ada hii ya ziada ilikuakigezo cha kujiunga na elimu ya sekondari ya kidato channe nchini. Kwa mujibu wa serikali, uandikishaji katikashule ya sekondari umeongezeka baada ya kufuta ada.Kufutwa kwa ada ni moja ya hatua muhimu sanakuchukuliwa na serikali ili kutekeleza adhima yake katikamalengo ya elimu. Sera ya Tanzania ya elimu na mafunzo yaufundi stadi inalenga kuongeza upatikanaji wa elimu yamsingi na sekondari, na kuongeza ubora wa elimu.Malengo haya yanaendana na malengo ya maendeleoendelevu (SDGs), mpango wa shirika la umoja wa mataifawenye lengo la kuhakikisha nchi zote zinatoa elimu burekwa watoto, kwa usawa, na elimu bora ya msingi nasekondari ifikapo mwaka 2030. Malengo haya yanaendana6NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

na majukumu ya kimataifa na kitaifa ya haki za binadamukwa Tanzania katika kutekeleza haki ya elimu ya msingi nasekondari kwa wote.Msichana akionyesha alama miguuni kwake zilizotokana na kuchapwaviboko mara kwa mara na walimu shuleni kwake. Aliwaambia Human RightsWatch: “Tuna alama miguuni, wanatupiga mikononi, wanatupiga kichwani”.Lakini ni kati ya baadhi ya hatua za muda mfupi hadi mrefuzinazohitajika ili kutekeleza haki ya kupata elimu yasekondari kwa watoto wote Tanzania. Ripoti hii imehusishamahojiano zaidi ya 220 yaliyofanywa kwa wanafunzi wasekondari, kati ya vijana wa shule, wazazi na wadaumbalimbali wa elimu kutoka kwenye jamii na serikali katikakanda nne za Tanzania bara. Utafiti wa ripoti hii ulifanyikamwaka 2016, ukiambatana na mwaka muhimu kwa nchi yaTanzania baada ya kuchukua hatua ya kutoa elimu ya burekwa elimu ya kidato cha nne na mipango madhubuti kwaajili ya elimu ya sekondari. Hii inaongezea kwenye tafitiHUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 20177

mbili za awali kuhusu unyanyasaji wa watoto na athari zakekwenye elimu ya sekondari na ustawi zilizofanywa nashirika la Human Rights Watch kwa mwaka 2012 na 2014;kazi ya sumu utotoni na athari za zebaki kwa wachimbajiwadogo Tanzania na hakuna njia mbadala. Ndoa za utotonina ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania.Ripoti imeangazia vikwazo muhimu kwenye elimu yasekondari zinazozuia vijana wengi kushindwa kuhitimuelimu ya sekondari, na imetambua maeneo mengi ambayoyanahitaji utekelezaji wa serikali kuhakikisha usawa katikaupatikanaji wa elimu ya sekondari kwa watoto wote.Haswa, ripoti imeangazia sera za serikali ambazo kwa sanazina bagua wasichana, kuwezesha kufukuzwa shulewasichana wajawazito na waliyo olewa, kuwapokonyaelimu pamoja na sera zinazoruhusu viongozi wa shulekuwaadhibisha wanafunzi kikatili na katika hali yakufedhehesha. Sera hizi kwa makusudi kabisa zinaendeleza ubaguzi na unyanyasaji, na kwenda kinyume najuhudi za serikali kutoa elimu kwa wote.Frances (jina la bandia), 21, alihangaika kulipa ada ya shule yasekondari. Alifanya kazi kama mfanyakazi wa ndani ili kujikimukujilipia ada: “ Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 8 mchana nilikuanasoma, kisha kuanzia saa 11 jioni hadi saa 5 usiku nafanya kazi[katika nyumba ya mwajiri wake] na pia siku za mwisho wawiki Nilikua napata shilingi 30,000 [US 14] kwa mwezi ambayo haitoshi kulipa ada ya shule.” Alifeli mtihani wasekondari na kuacha shule kidato cha nne.8NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

HUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 20179

Muhtasari wa matokea ya utafitiwa Human Rights Watch Wanafunzi wengi bado wanapata changamoto yakifedha: Ingawa ada imetolewa mashuleni, wanafunzimaskini wa kitanzania bado hawana uwezo wa kuendashule kwa sababu ya gharama zingine za kielimu.Wazazi wao au walezi hawana uwezo wa kuwalipianauli ya kwenda shule, sare na mahitaji mengine kamavitabu. Endapo shule za sekondari zinapokua mbali,wanafunzi wakati mwingine ina wabidi wapangekwenye hosteli binafsi au wakae mabwenini karibu nashuleni; familia nyingi maskini haziwezi kumudu hili.Hii inakua changamoto kubwa kwa watoto kutokafamilia maskini. Kufutwa kwa ada za shule kumeacha upungufumkubwa sana katika bajeti za shule: Shulezinashindwa kufadhili mahitaji ya muhimu ambayoawali waliweza kulipia kutokana na michango yawazazi (ongezeko la ada lililo lipishwa mashuleni kwaajili kukidhi gharama za uendeshaji), ilihusisha ujenziwa shule na ukarabati, manunuzi ya vifaa vyakufundishia na kuajiri walimu wa ziada. Mtihani wa kitaifa kwa shule ya msingi unazuiaupatikanaji wa elimu ya sekondari: Serikali inadhibitiidadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya sekondarikwa kutegemea ufaulu wa mtihani wa kitaifaunaofanyika ili kuhitimu shule ya msingi. Serikaliinaruhusu wanafunzi waliyofaulu tu kuendelea naelimu ya sekondari na hakuna nafasi ya kurudiamtihani huo, hii ni kumaanisha kwamba watotowanaoshindwa kufaulu hawaweze kuendelea namasomo hivyo wanakomea darasa la saba. Tangumwaka 2012, zaidi ya vijana milioni 1.6 walikataliwakujiunga na elimu ya sekondari kwa sababu yamatokeo yao ya mtihani. Miundombinu mibaya na uhaba wa usafiri mashuleni:Wanafunzi vijijini wanalazimika kusafiri mwendo mrefukwenda shule, na wengi katika maeneo wanayoishihakuna shule za kata. Shule nyingi za sekondarizinaukosefu wa miundombinu, vifaa vya ufundushajina wafanyazi waliohitimu. Serikali haijatimiza malengoyake ya kujenga hosteli kutoa malazi salama kwawasichana karibu na shule. Adhabu kali [viboko] ni tatizo sugu katika shule zasekondari: Viongozi na walimu katika shule nyingimara kwa mara huishia kutoa adhabu kali sana,mazoea ambayo bado ni halali Tanzania ila niukiukwaji wa wajibu wao kimataifa. Wanafunzi wengiwanakabiliwa na ukatili unyanyasaji wa kisaikolojiainayopelekea kufedheheshwa na udhalilishaji. Baadhiya walimu wanawachapa wanafunzi kwa kutumia fimboza miti, mikono yao na vitu vingine.10Wanafunzi wa kike katika shule ya sekondari huko Mwanza,ambao ni walemavu wa macho, wakiongozwa na waalimu waokushuka kilima kikali na chenye kuteleza. Wanafunzi hawahutembea katika ardhi yenye milima na mabonde kutokashuleni kuelekea katika mabweni ya shule.NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

HUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 201711

Mashine zilizokuwa zikitumika na wanafunzi wenye ulemavu wamacho zikiwa zimeharibika na kuweka katika kabati katika shuleya sekondari kwa watoto wenye ulemavu mkoani Shinyanga,kaskani mwa Tanzania. Shule nyingi za sekondari zinakosa vifaavya msaada wa ufundishaji unaohitajika kuwezesha elimukupatikana kwa wanafunzi wote kwa usawa.12NILIKUA NA NDOTO YA KUMALIZA SHULE

HUMAN RIGHTS WATCH FEBRUARI 2017 Mabinti wanakumbana na unyanyasaji wa kijinsia,ubaguzi na kufukuzwa shule kwa sababu ya mimba aukuolewa: Chini ya robo tatu ya wasichana wanaingiashule ya secondary huitimu. Wasichana wengiwanakumbwa na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwawalimu wao. Wengine hunyanyaswa kijinsia namadereva wa mabasi ya shule na watu wazima ambaohutaka ngono baada ya kuwapa zawadi, lifti au pesawakati wakiwa njiani kuelekea shule. Baadhi ya shule,viongozi huwa hawatoi ripoti ya kesi za unyanyasaji wakijinsia polisi na shule nyingi zinakosa mwongozomadhubuti wa kuripoti manyanyaso ya kijinsia. Baadhiau shule nyingi wanalazimisha wasichana kufanyiwaupimaji wa mimba kisha kuwafukuza shule waleambao watakutwa wana ujauzito. Wasichana ambaowameolewa pia ufukuzwa shule kutokana namwongozo wa serikali. Baada ya kuacha shule,wasichana wanapata ugumu sana kurudi kupata elimukwa sababu ya ubaguzi uliopo juu ya wasichanawaliyojifungua, matatizo ya kifedha na kutokuwepo nasera ya kuwasaidia wasichana hao kurudi katikamfumo wa elimu. Wasichana pia wanaukosefu wamazingira safi ya kiafya, ambayo huleta ukosefu wausafi kipindi cha hedhi na kuwafanya kukosa kwendashule wakiwa kwenye hedhi. Elimu ya sekondari bado haipatikani kwa wanafunziwengi wenye ulemavu: Watoto wenye ulemavuwanakumbana na changamoto nyingi na ubaguzikwenye shule za msingi, na ni vijana wachache sanawenye ulemavu ambao wanahudhuria shule zasekondari nchini. Shule nyingi za secondary nchiniTanzania hazifikiki na vijana ambao ni viwete au wenyeulemavu mwingine, na kuna upungufu wamiundombinu ya kuwawezesha wanafunzi wenye ainambalimbali za ulemavu. Wengi wanakosa mahitaji yashule ikiwemo vifaa na walimu waliyohitimu vyema. Ubora wa elimu ya sekondari upo chini ya kiwango:Shule nyingi zinaukosefu wa walimu wa masomo yote,na ukosefu mkubwa ni katika masomo ya hesabu nasayansi. Wanafunzi wakati mwingine huendelea namasomo bila walimu wa masomo haya kwa muda wakipindi kirefu na inawabidi watafute njia mbadala wakujifunza au kulipia mafunzo binasfi ya ziada bilahivyo ni kushindwa kufanya vizuri k

za uendeshaji wa shule. Awali, ada hii ya ziada ilikua kigezo cha kujiunga na elimu ya sekondari ya kidato ch

Related Documents:

“michango” – ada ya ziada kwa ajili ya gharama za uendeshaji wa shule. Awali, ada hii ya ziada ilikua kigezo cha kujiunga na elimu ya . za serikali kutoa e

elimu ya juu, Sayansi na Teknolojia. Ilitoa jumla ya tuzo 119 kwa wanafunzi wa kike kutoka shule 20 zilizofanya vizuri katika masomo ya Sayansi na Hisabati katika mitihani ya kumaliza kidato cha nne mwaka 2006 (18); kidato cha sita mwaka 2006 na 2007 (25); vyuo vikuu, taasisi za serikal

1.1 Tumbo Lisiloshiba Said A. Mohamed 5 1.2 Mapenzi ya Kifaurongo Kenna Wasike -.15 1.3 Shogake Dadangu ana Ndevu Alifa Chokocho 26 1.4 Shibe Inatumaliza Salma Omar Hamad 34 1.5 Mame Bakari Mohammed K. Ghassany 41 1.6 Masharti ya Kisasa 1.7 Ndoto ya Mashaka 1.8 Kidege 1.9 Nizik

Nunua diwani ya TUMBO LISILOSHIBA na Hadithi nyingine kisha usome hadithi zifuatazo na kuandikia muhtasari wa hadithi hizo:Mame Bakari,Mapenzi Kifaurongo,Mtihani wa Maisha,Ndoto ya Mashaka na Mkubwa.Maswali kwenye mtihani wa kiingilio yatatoka

Project proposal 1. Project Name Ndoto Beekeeping 2. Timeframe The Timeframe of this project is 24 months 3. Project summary This project proposal is for the extension of a previously implemented project of which the funding has lapsed. The milgis trust started a bee-keeping project two and a half years ago that was aimed at

A.) ASTM C-923 Resilient Connector Between Reinforced Concrete Manholes Structures, Pipe and Laterals. B.) ASTM C-1244 Standard Test Method For Concrete Sewer Manholes by the Negative Air Pressure (Vacuum) Test C.) ASTM C-478 Standard Specification for Precast Reinforced Concrete Manhole Sections A-LOK PREMIUM ASTM C-923 APPLICATION

“Battle of the Ardennes.” And the Western Allies termed it the “Ardennes Counteroffensive.” But because of the way the map of Western Europe looked at the height of the battle, it became known to his - tory as the “Battle of the Bulge.” It was the winter of 1944–1945, months before the war in Europe would end. Despite the .

massa dapat memperbanyak buku materi ini pada kegiatan pemberdayaan masyarakat, terkait dengan upaya edukasi dan penyebaran informasi obat dan pangan aman melalui persetujuan Badan POM. CEK KIK - Kemasan, Izin Edar dan Kedaluwarsa Satu TIndakan Untuk Masa Depan, Baca Label Sebelum Membeli. Didukung oleh: 1 Daftar Isi 2 8 13 15 21 Obat Obat Tradisional/Jamu Kosmetik Pangan Rokok. 2 Definisi .