UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI

2y ago
449 Views
2 Downloads
776.17 KB
7 Pages
Last View : 9d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Jamie Paz
Transcription

MACHI, 2019MATOKEO YA AWALIUTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWITANZANIA (THIS) 2016 - 2017Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI nchiniTanzania ni utafiti wa kitaifa uliofanyika katika ngaziya kaya kuanzia mwezi Oktoba, 2016 mpaka mweziAgosti, 2017 ili kujua hali ya maambukizi ya VirusiVya UKIMWI (VVU) kitaifa. Utafiti huu ulitoa hudumaza ushauri nasaha, upimaji wa VVU na utoaji wa majibu pia ulikusanya taarifa za kaya na taarifa binafsi zawanakaya, upatikanaji wa huduma na matibabu kwa watu wanaoishi na VVU. Utafiti huu uliopima maambukizimapya ya VVU na kiasi cha VVU mwilini kwa watu wanaoishi na VVU ni wa kwanza kufanyika nchini. Matokeoya utafiti huu yanatoa taarifa katika ngazi ya kitaifa na mikoa kwa ajili ya ufuatiliaji wa udhibiti wa VVU.Utafiti wa THIS wa mwaka 2016-17 umeongozwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tumeya Kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Zanzibar (ZAC), na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto), Wizara ya Afya, Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu, Zanzibar . Utafiti waTHIS umefadhiliwa na Serikali ya Marekani chini ya Mfuko wa Dharura wa Kupambana na UKIMWI (President’sEmergency Plan for AIDS Relief -PEPFAR) na msaada wa kiufundi umetolewa na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa yaKuambukiza cha Marekani (Center for Disease Control and Prevention -CDC) na ‘International Centre for AIDS Careand Treatment Programme (ICAP) at Columbia University’.Utafiti huu umefanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu, Zanzibar na ICAP kwa kushirikianana wadau wengine wakiwemo Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Uhakiki, Ubora na Mafunzo (National HealthLaboratory - Quality Assurance and Training Center -NHL-QATC), Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI (NACP),na Kitengo Shirikishi cha UKIMWI, Kifua Kikuu na Ukoma (ZIHTLP) cha Zanzibar.MATOKEO MUHIMUViashiria vya VVUWanawake95% CI0.340.18-0.500.340.19-0.50Kiwango cha Maambukiziya VVU-Tanzania (%)Miaka 15-49Miaka 15-64Miaka 0-146.26.50.55.7-6.76.0-7.00.2-0.8Kiwango cha Maambukiziya VVU- Tanzania Bara (%)Miaka 15-49Miaka 15-64Miaka 0-146.46.70.50.80.80.0Wanaume95% CIJumla95% .40.00.1-0.80.1-0.80.0-1.9Maambukizi Mapya ya VVUkwa mwaka (%)Miaka 15-49Miaka 15-64Kiwango cha Maambukiziya VVU -Zanzibar (%)Miaka 15-49Miaka 15-64Miaka 0-141

MATOKEO MUHIMUViashiria vya VVUWanawake95% CIWanaume95% CIJumla95% CIKufubazwa kwaVVU Mwilini (%)Miaka .0-23.8**18.44.6-32.3Miaka 0-1495% CI (kiwango cha uhakika) kinaonyesha kwamba makisio yatakuwa ndani ya kigezo sahihi kwa asilimia 95%.Kufubazwa kwa VVU mwilini niwakati ambapo HIV RNA ni chini ya 1,000 kwenye milimita 1 ya plasma kwa watu wenye VVU, Vipimo vya Maambukizi mapya vinatokana na MDRIya siku 130. * inammaanisha 0* Hakuna taarifa za Kufubazwa kwa VVU kwawatoto wa kiume wenye miaka 0-14 kwa sababu ya kutokuwa na sampuli ya kutosha ya kuwezakutoa makadirio katika umri huuMaambukizi mapya ya VVU kwa mwaka kwa watu wenye umri wa miaka 15-64 nchini ni asilimia 0.25 (kwa wanawake ni asilimia0.34 na wanaume ni asilimia 0.17). Hii ni sawa na kusema maambukizi mapya kwa watu wenye umri kati ya miaka 15-64 nchiniTanzania ni takribani watu 72,000 kwa mwaka.Kiwango cha maambukizi ya VVU kwa watu wenye umri wa miaka 15 hadi 64 nchini ni asilimia 5.0 (kwa wanawake ni asilimia6.5 na asilimia 3.5 kwa wanaume). Hii ni sawa na kusema kwa wastani watu milioni 1.4 wenye umri wa miaka 15 hadi 64wanaishi na virusi vya UKIMWI nchini Tanzania.Asilimia 52 ya watu wenye umri wa miaka 15 hadi 64 wanaoishi na virusi vya UKIMWI nchini Tanzania, vipimo vinaoneshakuwa kiasi cha VVU mwilini kimefubazwa (kwa wanawake ni asilimia 57.5 na wanaume ni asilimia 41.2).2

Hali ya maambukizi ya VVU imefikia asilimia12 kwa wanawake wenye umri wa miaka45-49 ikilinganishwa na asilimia 8.4 yawanaume wenye umri wa miaka 40-44.Hali ya maambukizi ya VVU kwa watuwenye umri wa miaka15-24 ni asilimia 1.4(kwa wanawake wenye umri huu niasilimia2.1 na wanaume ni asilimia 0.6). Tofautikubwa ya hali ya maambukizi ya VVU kati yawanawake na wanaume imeonekana zaidikwenye kundi la vijana, ambapo hali yamaambukizi ya VVU kwa wanawake wenyeumri wa miaka 15-19, 20-24, 25-29, 30-34 na35-39 ni mara mbili (au zaidi) ikilinganishwana wanaume wa kundi la umri huo.MkoaKiwango cha maambukizi kwa watu wenye umriwa miaka 15 na zaidi kinatofautiana kimkoa nchiniTanzania kutoka asilimia 11.4 mkoa wa Njombe hadichini ya asilimia moja kwa mkoa wa Lindi niDar es viSimiyuGeitaSongweKaskazini UngujaKusini UngujaMjini MagharibiKaskazini PembaKusini Pemba* Inamaanisha hakuna maambukizi ( 1) au ‘zero cases’3Kiwango cha95% CIMaambukizi ya -11.10.0-0.00.0-0.9

KUFUBAZWA KWA VVU MWILINI KWA WATU WANAOISHI NA VVU, KWA UMRI NA JINSIKiasi cha VVU mwilini kwa watu wenyemaambukizi ya VVU nchini Tanzaniakimefubazwa kwa kiasi kikubwa kwa watuwazima, ambapo asilimia 64.4 ni kwawanawake wenye umri wa miaka 55-64 naasilimia 61.5 ya wanaume wenye umri huo.Kuna tofauti kubwa ya kijinsia yakufubazwa kwa VVU mwilini katikamakundi ya umri ambapo asilimia 47.1na 50.5 ya wanawake wenye umri wamiaka 15-24 na miaka 25-34 virusi vyaovimefubazwa na kwa wanaume wamakundi hayo ya umri ni asilimia 22.2 na25.7 virusi vyao vimefubazwa.KUFUBAZWA KWA VVU MWILINI KWA WATU WANAOISHI NA VVU, KIMKOAKati ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidiwenye maambukizi ya VVU, kufubazwa kwa VVUmwilini kunatofautiana kimkoa nchini Tanzania,kutoka asilimia 66 mkoa wa Kagera na asilimia67‡ mkoa wa Kilimanjaro hadi asilimia 40 mkoawa Shinyanga na asilimia 29‡ mkoa wa Arusha.‡ Inaonesha, namba ya chini ya mstari(denominator) ni chini ya 50† Inaonesha, namba ya chini ya mstari(denominator) ni chini ya 25* inaonyesha hakuna maambukizi4MkoaKufubazwakwa VVU95% CIDodomaArushaKilimanjaroTangaMorogoroPwaniDar es viSimiyuGeitaSongweKaskazini UngujaKusini UngujaMjini MagharibiKaskazini PembaKusini .742.3-46.7*0.0-65.9*0.0-0.0

90–90–90: Lengo la Matarajio Makubwa la Kumaliza Janga la UKIMWIHadi kufikia mwaka 2020, asilimia 90 ya watu wanaoishi na VVU wawe wamejua hali yao ya maambukizi; asilimia 90 yawaliopimwa VVU na kugundulika kuwa wana maambukizi ya VVU wapatiwe dawa za kufubaza makali ya VVU; na asilimia 90ya watu wanaotumia dawa, VVU viwe vimefubazwa.Waliopimwa na Kugundulika na Maambukuzi ya VVUNchini Tanzania, asilimia 60.6 ya watu wanaoishi na VVUwenye umri wa miaka 15-64 wanajua hali zao zamaambukizi ya VVU (kwa wanawake ni asilimia 64.9 nawanaume ni asilimia 52.2).Wanaotumia DawaKati ya watu wanaoishi na VVU wenye umri wa miaka 15-64ambao wanajua hali zao za maambukizi ya VVU, asilimia 93.6walitoa taarifa kwamba wanatumia dawa za kufubaza VVU (kwawanawake ni asilimia 95.3 na wanaume ni asilimia 89.6).Kufubazwa kwa VVUKati ya watu wanaoishi na VVU wenye umri wa miaka 15-64ambao wametoa taarifa kuwa wanatumia dawa za kufubazaVVU, asilimia 87.0 ya watu hao inaonesha kiasi cha VVUkimefubazwa (kwa wanawake ni asilimia 88.0 na wanaume niasilimia 83.2).Utafiti wa THIS umepima pia kiwango cha maambukizi ya Homa ya Ini (Hepatitis) kwa sampuli ya watu wachache ili kupatamakadirio ya kiwango cha maambukizi sugu na ya kawaida ya Homa ya ini aina ya B. Kati ya watu wenye umri wa miaka 15na zaidi, kiwango cha mambukizi ya homa ya ini aina ya B hakina tofauti sana kwa watu wenye maambukizi ya VVU na ambaohawana maambukizi ya VVU. Japokuwa makadirio ya watu wenye VVU (5.2%) yapo juu ukilinganisha na watu wasiokuwa namaambukizi ya VVU (3.4%), Makadirio haya kitakwimu hayana tofauti. Makadirio ya kitaifa ya kiwango cha maambukizi yakawaida au sugu ya homa ya ini aina B ni ya kwanza kutolewa nchini Tanzania na yatatumika kama msingi wa kuendelezamwitikio wa udhibiti wa Homa ya Ini.Hali ya VVU na UmriWanawakeKiwango chaMaambukizi yaHoma ya Ini B95% ClWanaumeKiwango chaMaambukizi yaHoma ya Ini BJumla95% ClKiwango chaMaambukizi yaHoma ya Ini B95% ClWalio na VVUMiaka 15-490**0.0-10.9**4.30.0-11.3Miaka 15 0**0.0 -7.1**5.21.8-8.6Wasio na VVUMiaka 15-493.91.7-6.14.01.1-7.04.02.2-5.8Miaka 15 3.51.7-5.33.40.9-5.83.41.9-4.9Miaka 15-493.71.6-5.84.31.4-7.24.02.3-5.8Miaka 15 3.31.6-5.03.81.4-6.23.52.1-5.0Jumla95% CI (kiwango cha uhakika) kinaonyesha kwamba makisio yatakuwa ndani ya kigezo sahihi kwa asilimia 95%* Matokeo hayajatolewa kwa kuwa idadi ya “denominator” ni chini ya watu 25** Tahadhari, namba ya chini ya mstari (denominator) ya 25-49 casesUpimaji wa vimelea kutambilisha maambukizi ya homa ya ini B unaonyesha kama kuna maambuzi mapya au ya zamani ya homa ya ini B umefanyika katikasampuli ndogo wakilishi ya watu 1,052 wenye umri wa miaka 15-49, na watu 1,310 wenye umri wa miaka 15 na zaidi.5

Inakadiriwa kuwa asilimia 60.6% ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi wanajua hali zao za maambukizi ya VVU ambaponi chilni ya malengo ya UNAIDS ambayo ni asilimia 90. Inahitajika nguvu na programu za upimaji kwa watu wanaoishi na VVU(1st 90) Kuna tofauti ya ukubwa wa tatizo la VVU kimkoa na kijinsia ambalo ninatakiwa lipewe kipaumbele kwenye malengoya kuzuia maambukizi ya VVU na matibabu. Wanawake wana kiwango kikubwa cha maambukizi mapya ya VVU ukilinganisha na wanaume. Kwa mwaka, kunawanawake wawili kwa kila ambukizi jipya la wanaume. Wanaume wana kiwango kidogo cha uelewa wa hali zao za maambukizi kuliko wanawake. Wanaume pia wana kiwangokidogo cha matibabu (90 ya pili) na kufubazwa kwa VVU (90 ya tatu) ukilinganisha na wanawake. Kuzuia maambukizi yaVVU kwa wanawake na vipimo vya haraka vya VVU ukijumlisha na kuunganisha wenye VVU kwenye matibabu pamojakufubazwa kwa VVU miongoni mwa wanaume ni muhimu katika kuzuia maambukizi. Kiwango kidogo cha kufubazwa kwa VVU kwa watoto kinaonesha uhitaji wa jitihada zaidi katika upimaji na matibabu yawatoto wenye VVUKati ya kaya 15,504 zilizostahili kushiriki katika utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI, kaya 14,811 (asilimia 95) zilishirikina kukamilisha mahojiano ya kaya. Kati ya wanawake 19,852 na wanaume 16,235 waliostahili kuhojiwa wenye umri wa miaka15 na zaidi, asilimia 90 ya wanawake na asilimia 85 ya wanaume walihojiwa na kupimwa VVU. Kati ya watoto 10,452 wenyeumri wa miaka 0 – 14 , asilimia 92 walipimwa VVU. Sampuli wakilishi ya watu 1,310 wenye umri wa miaka 15 na zaidi walipimwavimelea vya kutambulisha homa ya ini aina ya B. ili kujua kama kuna maambukizi mapya au ya zamani ya homa ya ini Bumefanyika katika sampuli ndogo wakilishi ya watu 1,052 wenye umri wa miaka 15-49, na watu 1,310 wenye umri wa miaka 15na zaidi.Upimaji wa kiwango cha maambukizi ya VVU ulifanyika kwenye kila kaya iliyoshiriki katika utafiti kwa kutumia kipimo cha VVUkulingana na miongozo ya upimaji ya Tanzania. Kipimo kingine cha damu kilitumika katika maabara ili kuhakiki majibu ya watuwalioonekana kuwa na VVU. Kipimo cha kupima maambukizi mapya na kiasi cha virusi mwilini (HIV 1 Limiting Antigen (Lag)avidity plus viral load and ARV results)) kilitumika kutofautisha maambukizi mapya na ya zamani na kipimo kingine kiitwacho‘CDC Incidence calculator’ kinachotambuliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kilitumika. Njia ya kitakwimu ilitumika katikamakadirio ya sampuli ili kuwakilisha kundi kubwa la watu katika utafiti huu.6

Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI ambao nisehemu ya Mradi wa Kutathmini Matokeo ya UKIMWIkatika Jamii (PHIA) umefanyika kwenye nchi zaidi ya mojakwa kufadhiliwa na PEPFAR kwa ajili ya kutambua hali yamaambukizi ya VVU. Matokeo ya utafiti huu yanapimahali ya maambukizi ya VVU kitaifa na kimkoa pamoja naviashiria vinavyohusiana na VVU, ikijumuisha maendeleoya malengo ya 90-90-90 na pia utatoa miongozo katikasera na ufadhili. Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali laICAP lililopo Chuo kikuu cha Columbia linafanya mradi watafiti za VVU kwa ushirikiano na CDC na wadau wengine.Angalia phia.icap.columbia.edu kwa maelezo ya ziada.Alama ya “CDC” inamilikiwa na Idara ya Afya na Huduma za watu (HHS) ya Serikali ya Marekani kwa ruhusa. Utumiaji wa alama hii sio wa HHS au CDC kwa aina yoyote ya machapisho, au hudumaUtafiti huu umefadhiliwa na Serikali ya Marekani chini ya Mfuko wa Rais wa Dharura wa Kupambana wa UKIMWI (PEPFAR)” kwa kupitia CDC chini ya makubalianonamba U2GGH001226. Matokeo na hitimisho la chapisho hili ni ya waandishi wa chapisho (Authors) na sio lazima yahusianishwe na mashirika yaliyotoa fedha.Matokeo haya yachukuliwe kuwa ni ya awali na yanaweza kubadilika.7

Utafiti wa THIS wa mwaka 2016-17 umeongozwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tume ya Kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Zanzibar (ZAC), na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee . MATOKEO YA AWALI UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI TAN

Related Documents:

Wapemba. Surahii pia inatoa taarifa za awali kuhusu mada ya utafiti ambapo mtafiti ataelezea kuhusu usuli wa mada,tatizo la utafiti,malengo ya utafiti yakiambatana na mswali ya utafiti ,umuhuimu wa utafiti mipaka ya utafiti hatimae hitimisho , haya yote yameelezewa juu ya kuchunguza matumizi ya tafsida katika lahaja

tamko la tatizo la utafiti, lengo kuu na madhumuni mahususi ya utafiti. Aidha maswali ya utafiti, umuhimu wa utafiti, mipaka ya utafiti na mpangilio wa tasnifu pia vimewasilishwa katika sura hii. 1.1 Usuli wa Tatizo la Utafiti Binadamu katika kuishi

na matokeo ya utafiti wa kufuatilia matumizi ya umma/utafiti wa viashiria vya utoajiwa huduma (Service delivery indicator survey) (public expenditure tracking survey) katika sekta ya elimu. ripoti imetolewa wakati ambapo nchi inaingia katika Mpango wa pili wa Kipindi cha Kati (Medium Term Plan—MTP)

uchanganuzi ili kujibu maswali ya utafiti. Matokeo ya utafiti huu yanatarajiwa kukitambulisha Kiwanga kama lugha ya kurejelewa na wanaisimu-linganishi wanapotafitia mifanyiko ya kimofofonolojia katika lugha za Kibantu. Utafiti huu uliendeshwa katika Jimbo dogo la Matungu iliyoko Jimbo la Kakamega nchini Kenya.

4.0 KISWAHILI (102) 4.1 MATOKEO YA MTIHANI WA SOMO LA KISWAHILI Jedwali hili linaonyesha matokeo ya mtihani wa somo la Kiswahili katika muda wa miaka minne (2005 hadi 2008). Jedwali 6: Matokeo ya mtihani wa Kiswahili (2005 - 2008) Mwaka Karatasi Watahiniwa Alama ya Juu Alama ya Wastani Alama ya Tanganisho 2005 1 2 3 Jumla 259,301 40 80

na Nadharia ya Mwitiko wa M somaji na Fasihi Linganishi ndizo zilizotumika katika kuchambua data za utafiti. Mtafiti alitumia nadharia hii kwa lengo la kuwasawiri wahusika na alitumia nadharia ya Fasihi Linganishi kwa lengo la kulinganisha na kulinganua mbinu za usawiri wa wahusika katika riwaya hizi mbili. Matokeo ya utafiti yamebaini kuwa .

mkufunzi anahitajika kuuliza maswali ya utafiti kabla na baada ya kila somo. Matokeo ya utafiti huu yatakusaidia kufanya tathmini kuhusu nini wanafunzi wamejifunza wakati wa kipindi na pia yatakukusaidia pale utakapokuwa unaamua kubadili mpangilio wako wa somo litakalofuata. Utangulizi (Dakika 5)

HSS ASME BPE fittings are ideal for Bioprocessing and Pharmaceutical applications requiring mechanically polished surface finishes to 20 Ra Uin (0.5 Ra Um) ID maximum and 32 Ra Uin (0.8Ra Um) OD maximum. HSS ASME BPE Tubes exceed the requirements of the ASME BPE-2016 specification on dimensions and tolerances and fully meet the ASME BPE-2016 specification for OD and ID surface finishes HSS .