JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU,

2y ago
321 Views
22 Downloads
949.23 KB
90 Pages
Last View : Today
Last Download : 2m ago
Upload by : Adalynn Cowell
Transcription

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIAMUHTASARI WA SOMO LA KISWAHILI ELIMU YA MSINGIDARASA LA III-VII2019

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, 2015Toleo la Kwanza, 2015Toleo la Pili, 2016Toleo la Tatu, 2019ISBN 978-9987-09-056-3Taasisi ya Elimu TanzaniaS.L.P 35094Dar es SalaamSimu:Nukushi:Tovuti:Baruapepe: 255 22 2773005/ 255 22 277 1358 255 22 asari huu urejelewe kama: Taasisi ya Elimu Tanzania. (2015). Muhtasari wa Somo la Kiswahili Elimu ya Msingi Darasa laIII-VII. Dar es Salaam: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha wala kufasiri andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhiniya maandishi ya Kamishna wa Elimu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.ii

YaliyomoDibaji .Orodha ya Majedwali .1.Utangulizi .2.Uhusiano kati ya muhtasari huu na Mtaala wa Elimu ya Msingi .2.1 Malengo ya Elimu ya Msingi Darasa la III-VII.2.2 Umahiri wa Elimu ya Msingi Darasa la III-VII.2.3 Malengo ya Somo la Kiswahili .2.4 Umahiri mkuu na umahiri mahususi katika Somo la Kiswahili .2.5 Ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la Kiswahili .2.6 Upimaji wa ujifunzaji .3.Maudhui ya muhtasari .3.1 Umahiri mkuu .3.2 Umahiri mahususi .3.3 Shughuli za mwanafunzi .3.4 Vigezo vya upimaji .3.5 Viwango vya utendaji .3.6 Idadi ya vipindi .3.7 Maudhui ya Darasa la III .3.8 Maudhui ya Darasa la IV .3.9 Maudhui ya Darasa la V .3.10 Maudhui ya Darasa la VI .3.11 Maudhui ya Darasa la VII .iiiivv111223444445555621385669

DibajiElimu bora ni haki ya kila Mtanzania. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingikuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadhahuu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha na kujifunza Somo la Kiswahili kwakuandaa muhtasari huu. Muhtasari wa Somo la Kiswahili umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi Darasa la I -VIIwa mwaka 2015, toleo la tatu la mwaka 2019. Muhtasari huu unasisitiza kufundisha na kujifunza kunakozingatia ujenzi wa umahirikwa mwanafunzi. Kwa kutumia muhtasari huu, mwanafunzi atajenga stadi za uchunguzi, udadisi, utumiaji wa taarifa za uchunguzina atakuza stadi za ubunifu na ugunduzi wa kisayansi na kiteknolojia.Muhtasari wa Somo la Kiswahili una vipengele mbalimbali vinavyojumuisha umahiri mkuu, umahiri mahususi, shughuli zamwanafunzi, vigezo na viwango vya upimaji pamoja na idadi ya vipindi kwa kila umahiri mahususi. Vipengele hivi vitamsaidiamwalimu kutambua namna ya kufundisha na kupima utendaji wa mwanafunzi kwa kuzingatia ujenzi wa umahiri. Hata hivyo,umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) unaendelea kupewa msisitizo katika Somo la Kiswahili.Mwalimu anatarajiwa kutumia muhtasari huu kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa. Hata hivyo, anaweza kupanga utekelezajiwa muhtasari kwa kuzingatia mazingira yanayomzunguka.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inaendelea kupokea maoni ya kuboresha muhtasari huu kutoka kwa walimu na wadauwengine wa elimu. Maoni yote yapelekwe kwa Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Elimu Tanzania. . Dkt. Lyabwene M. MtahabwaKaimu Kamishna wa ElimuWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojiaiv

Orodha ya majedwaliJedwali Na. 1 Umahiri utakaojengwa kwa mwanafunzi katika Somo la Kiswahili .3Jedwali Na. 2 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la III .6Jedwali Na. 3 Maudhui ya muhtasari Darasa la III .7Jedwali Na. 4 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la IV .21Jedwali Na. 5 Maudhui ya muhtasari Darasa la IV .22Jedwali Na. 6 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la V .38Jedwali Na. 7 Maudhui ya muhtasari Darasa la V .39Jedwali Na. 8 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la VI .56Jedwali Na. 9 Maudhui ya muhtasari Darasa la VI .57Jedwali Na. 10 Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la VII .69Jedwali Na. 11 Maudhui ya muhtasari Darasa la VII .70v

1.UtanguliziMuhtasari wa Somo la Kiswahili umeandaliwa kwa kuzingatia Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2015 toleo la tatu lamwaka 2019. Muundo wa sasa wa Somo la Kiswahili ulianza kutumika mwaka 2016. Muhtasari huu umegawanyika katikasehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza ni utangulizi, sehemu ya pili inahusu uhusiano kati ya muhtasari huu na mtaala waElimu ya msingi na sehemu ya tatu ni maudhui ya muhtasari.Somo la Kiswahili litafundishwa katika ngazi ya Elimu ya Msingi kuanzia Darasa la III hadi la VII. Somo hili linalengakumjengea mwanafunzi maarifa, stadi na mwelekeo utakaomwezesha kukabiliana na mazingira yanayomzunguka katikamaisha ya kila siku.Ufundishaji wa Somo la Kiswahili unalenga kumwezesha mwanafunzi kujenga umahiri wa kuwasiliana katika shughuli zakila siku katika miktadha mbalimbali. Umahiri wa lugha utamwezesha mwanafunzi kujifunza kwa ufanisi. Msisitizo katikasomo hili ni kumwandaa mwanafunzi awe mahiri wa kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kwa ufasaha lugha yaKiswahili.2.Uhusiano kati ya Muhtasari huu na Mtaala wa Elimu ya MsingiMtaala wa Elimu ya Msingi umebainisha mambo mbalimbali ikiwemo umahiri mkuu na umahiri mahususi katika kila somokwa Darasa la III-VII. Muhtasari wa Kiswahili umewasilisha baadhi ya vipengele vya mtaala ambavyo ni malengo ya Elimuya Msingi, umahiri wa Elimu ya Msingi, malengo ya Somo la Kiswahili, umahiri mkuu na mahususi, ufundishaji na ujifunzajiwa Somo la Kiswahili na upimaji wa ujifunzaji. Pamoja na vipengele hivi, muhtasari huu umechakata na kubainisha kwa kinamaudhui, shughuli za mwanafunzi, vigezo vya upimaji, viwango vya utendaji, na idadi ya vipindi. Ufafanuzi huu utamwezeshamwalimu kuelewa na kutumia muhtasari huu kufundisha kwa ufasaha somo la Kiswahili.2.1Malengo ya Elimu ya Msingi Darasa la III-VIIElimu ya Msingi ina madhumuni ya kuwapatia walengwa maarifa, stadi na mielekeo inayohitajika kwa maendeleo yaWatanzania. Malengo makuu ya Elimu ya Msingi ni kumwezesha mwanafunzi:a) kukuza stadi za kusoma, kuandika, kuhesabu na kuwasiliana;b) kuifahamu, kuitumia na kuithamini lugha ya Kiswahili;1

c)d)e)f)g)h)i)j)k)kufahamu misingi ya utawala wa sheria;kuthamini utamaduni wa Kitanzania na wa jamii nyingine;kukuza uwezo wa mwanafunzi kufikiri, kubuni na kutatua matatizo;kutambua umuhimu wa maadili, uadilifu na uwajibikaji kama misingi ya raia mwema;kushiriki katika shughuli za michezo na sanaa pamoja na kuthamini kazi za kisanii;kubaini na kukuza vipaji na vipawa vyake;kuthamini na kupenda kufanya kazi;kutambua, kuthamini na kutumia sayansi na teknolojia; nakujiandaa kwa ngazi nyingine ya elimu pamoja na kujifunza kusiko na kikomo.2.2Umahiri wa Elimu ya Msingi Darasa la III-VIIUmahiri wa Elimu ya Msingi umejikita katika kumwandaa mwanafunzi kuwa na uwezo wa:a) kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa kuzungumza na kuandika;b) kusoma kwa kujiamini na kufahamu maandishi sahili;c) kutumia dhana na kanuni za kihisabati katika maisha ya kila siku;d) kutumia stadi za kisayansi, kiteknolojia na kiufundi katika maisha ya kila siku;e) kutumia vyema utamaduni wake na wa jamii nyingine katika maisha ya kila siku;f) kuheshimu tofauti za kiimani na kiitikadi katika jamii;g) kushiriki katika michezo na shughuli za kisanii;h) kujiheshimu na kuheshimu wengine;i) kutumia misingi ya kizalendo katika maisha ya kila siku;j) kushiriki katika kazi mbalimbali zinazoendana na umri wake;k) kushiriki katika shughuli zinazokuza uwezo wake wa kufikiri kimantiki na kiyakinifu; nal) kushirikiana na wengine kwa kufanya matendo yanayokubalika katika jamii.2.3Malengo ya Somo la KiswahiliMalengo makuu ya ufundishaji wa Somo la Kiswahili kwa mwanafunzi wa Darasa la III-VII ni kumwezesha:a) kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika kwa kutumia lugha ya Kiswahili;b) kutumia Kiswahili fasaha katika miktadha mbalimbali;2

c) kutumia Kiswahili kupata maarifa, stadi na mwelekeo wa kijamii, kiutamaduni, kiteknolojia na kitaaluma kutokandani na nje ya nchi;d) kukuza stadi za mawasiliano ili kumwezesha mwanafunzi kumudu maisha yake;e) kujenga msingi bora na imara wa kujifunza kwa ajili ya elimu ya juu na kujiendeleza binafsi kwa kutumia lugha yaKiswahili; naf) kuifahamu, kuitumia na kuithamini lugha ya Taifa.2.4Umahiri mkuu na umahiri mahususi katika Somo la KiswahiliJedwali Na. 1: Umahiri utakaojengwa kwa mwanafunzi katika Somo la KiswahiliUmahiri mkuu1.0Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali1.11.21.3Umahiri mahususiKutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi,maneno, sentensi na habariKuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadhambalimbaliKutumia maandishi katika mawasiliano kulingana namiktadha mbalimbali2.0Kuonesha uelewa wa jambo alilolisikiliza aukulisoma.2.12.2Kusikiliza na kuonesha uelewa wa jambo alilolisikilizaKusoma kwa ufasaha na kuonesha uelewa wa matinialiyoisoma3.0Kutumia msamiati katika miktadha mbalimbali3.1Kuzungumza kwa kuwasilisha hoja kulingana namiktadha mbalimbaliKutumia maandishi katika kuandaa matini mbalimbaliKusoma na kuchanganua mawazo yaliyowasilishwakatika matini mbalimbali3.23.33

2.5 Ufundishaji na ujifunzaji wa Somo la KiswahiliUfundishaji na ujifunzaji wa Somo la Kiswahili utaongozwa na ujenzi wa umahiri kwa kutumia mbinu shirikishi. Mbinuhizi zitamfanya mwanafunzi kuwa kitovu cha ujifunzaji na mwalimu kuwa mwezeshaji. Aidha, mwanafunzi atajifunzamaudhui yanayolenga kumjengea umahiri unaokusudiwa. Vilevile, mwanafunzi ataweza kutumia lugha ya Kiswahili kwaufasaha katika kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika anapomaliza Elimu ya Msingi.2.6Upimaji wa ujifunzajiUpimaji ni kipengele muhimu katika mchakato mzima wa ufundishaji na ujifunzaji. Upimaji wa Somo la Kiswahiliutafanyika sambamba na masomo mengine yanayofundishwa katika Elimu ya Msingi. Upimaji huu utamwezesha mwalimukupima umahiri wa mwanafunzi wa kujieleza kwa ufasaha katika miktadha mbalimbali kwa kusikiliza, kusoma kwaufasaha, kutafsiri, kujibu maswali ya habari aliyoisoma na kuandika sentensi, habari fupi na hadithi kwa kuzingatia kanuniza uandishi. Aidha, utamwezesha mwalimu kubaini uwezo wa wanafunzi wa kutumia msamiati sahihi katika miktadhambalimbali. Zana zifuatazo zitatumika katika upimaji wa Somo la Kiswahili: mkoba wa kazi, mazoezi, maswali ya anakwa ana, uchunguzi makini, majaribio, hojaji, orodha hakiki, kazi mradi, mitihani ya muhula pamoja na fomu ya ufuatiliaji.3.Maudhui ya muhtasariMaudhui ya muhtasari yamepangwa kwa kila darasa yakihusisha umahiri mkuu, umahiri mahususi, shughuli za mwanafunzi,vigezo vya upimaji, upimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunzi na idadi ya vipindi kwa kila umahiri mahususi.3.1Umahiri mkuuHuu ni uwezo wa kutenda jambo kwa usahihi na kwa ufanisi unaokusudiwa. Umahiri mkuu hujengwa na umahiri mahususiambao nao hujengwa na mwanafunzi kwa kutenda shughuli mbalimbali.3.2Umahiri mahususiHuu ni uwezo unaojengwa na mwanafunzi kwa kutenda kwa ufanisi shughuli mbalimbali zilizolengwa ndani ya muktadhawa umahiri mkuu.4

3.3Shughuli za mwanafunziHivi ni vitendo ambavyo mwanafunzi anapaswa kuvitenda ili kufikia umahiri mahususi uliokusudiwa kwa kuzingatiauwezo na darasa husika.3.4Vigezo vya upimajiHivi ni viwango vya ufanisi wa utendaji wa mwanafunzi ili kufikia umahiri mahususi.3.5Viwango vya utendajiHuu ni upimaji wa kiwango cha ufikiwaji wa vigezo vya upimaji kwa kila shughuli iliyokusudiwa.3.6Idadi ya vipindiHaya ni makadirio ya muda utakaotumika katika ufundishaji na ujifunzaji kwa kuzingatia uzito wa umahiri mahususi nashughuli za kutenda mwanafunzi. Makadirio haya ya muda yamewekwa kwa mfumo wa vipindi ambapo kila kipindi nidakika 40. Idadi ya vipindi kwa somo hili ni vipindi 5 kwa wiki kwa darasa la III-VII. Hata hivyo, mapendekezo haya yaidadi ya vipindi yanaweza kubadilika kulingana na mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji.5

3.7Maudhui ya Darasa la IIIJedwali Na. 2: Umahiri utakaojengwa na mwanafunzi Darasa la IIIUmahiri mkuu1.0 Kuwasiliana katika miktadha mbalimbaliUmahiri mahususi1.1 Kutambua sauti mbalimbali katika matamshi ya silabi, maneno,sentensi na habari1.2 Kuanzisha na kuendeleza mazungumzo katika miktadhambalimbali1.3 Kutumia maandishi katika mawasiliano kulingana na miktadhambalimbali2.0 Kuonesha uelewa wa jambo alilolisikiliza au 2.1 Kusikiliza na kuonesha uelewa wa jambo alilolisikilizakulisoma2.2 Kusoma kwa ufasaha na kuonesha uelewa wa matini aliyoisoma3.0 Kutumia msamiati katika miktadhambalimbali3.1 Kuzungumza kwa kuwasilisha hoja kulingana na miktadhambalimbali3.2 Kutumia maandishi katika kuandaa matini mbalimbali3.3 Kusoma na kuchanganua mawazo yaliyowasilishwa katikamatini mbalimbaliAngalizo: Katika jedwali la maudhui ya muhtasari kwenye kurasa zinazofuata, umahiri mkuu wa kutumia msamiati katika miktadhambalimbali hautasimama peke yake kama umahiri mkuu. Hivyo umahiri huo utajitokeza kama umahiri mahususiunaoingiliana na kila umahiri mahususi ndani ya umahiri mkuu wa kuwasiliana katika miktadha mbalimbali na umahirimkuu wa kusoma kwa ufahamu katika kujenga uwezo wa kujieleza kwa namna mbalimbali.6

Jedwali Na. 3: Maudhui ya muhtasari Darasa la IIIUmahiri mkuuUmahirimahususiShughuli zamwanafunziUpimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunziVigezo vyaupimajiUtendaji chiniya wastaniUtendaji wawastaniUtendajimzuriUtendajimzuri sana1.0 Kuwasiliana 1.1 Kutambuaa) Kutamkakatikasautisauti za gh, py, nz,matamshi yaky na herufisilabi, manenonyingine zenyesentensi namuundo huohabari fupikatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupiSauti za herufimwambatanogh, py, nz, ky naherufi nyinginezinatamkwakatika silabi,maneno, sentensina habari fupikwa ufasahaAnatamkasauti za herufimwambatanochache sanakatika silabiAnatamkasauti za herufimwambatanochache katikasilabi namanenoAnatamkasauti za herufimwambatanonyingikatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupiAnatamkasauti za herufimwambatanonyingi sanakatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupina kuundamanenomapyab) Kutamkasauti za herufimwambatanolw, pw, sw, twna nyinginezenye muundohuo katikasilabi, maneno,sentensi nahabari fupiSauti za herufimwambatanolw, pw, sw, twzinatamkwakatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupikwa kuzingatialafudhi namatamshi sahihiAnatamkasauti za herufimwambatanochache sanakatika silabiAnatamkasauti za herufimwambatanochache katikasilabi namanenoAnatamkasauti zaherufimwambatanonyingikatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupiAnatamka nakuunganishasauti za herufimwambatanonyingi sanakatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupina kuundamaneno mapya7Idadi yavipindi23

Umahiri mkuuUmahirimahususi1.2 Kutumiamatamshisahihi katikakutamkamanenombalimbaliShughuli zamwanafunziVigezo vyaupimajic) Kutamkasauti za herufimwambatanong’w, nyw,shw nanyinginezenyemuundo huokatika silabi,sentensi,maneno nahabari fupia) Kutamkamaneno yenyeherufi ‘s’na ‘th’ kwausahihiUpimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunziUtendaji chiniya wastaniUtendaji wawastaniUtendajimzuriUtendajimzuri sanaSauti za herufimwambatanong’w, nyw, shwna nyinginezenye muundohuo zinatamkwakatika silabi,sentensi manenona habari fupikwa kuzingatialafudhi namatamshi sahihiAnatamkasauti chachesana za herufimwambatanokatika silabiAnatamkasauti chacheza herufimwambatanokatika silabina manenoAnatamkasauti zaherufimwambatanonyingikatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupiAnatamkasauti za herufimwambatanonyingi sanakatika silabi,maneno,sentensi nahabari fupina kuundamanenomapyaManeno yenyeherufi ‘s’ na ‘th’yametamkwakwa usahihiAnatamkamanenomachachesana yenyeherufi ‘s’ na‘th’Anatamkamanenomachacheyenye herufi‘s’ na ‘th’Anatamkamanenomengi yenyeherufi ‘s’ na‘th’Anatamkamanenomengi sanayenye herufi‘s’ na ‘th’ nakuyatungiasentensi8Idadi yavipindi18

Umahiri mkuuUmahirimahususiShughuli zamwanafunziVigezo vyaupimajib) Kutamkamaneno yenyeherufi ‘z’ na‘dh’c) KutamkaUpimaji wa viwango vya utendaji wa mwanafunziUtendaji chiniya wastaniUtendaji wawastaniManeno yenyeherufi ‘z’ na dh’yanatamkwakwa usahihiAnatamkamanenomachachesana yenyeherufi ‘z’Maneno yenyematamshiherufi ‘l’ na ‘r’sahihi yayanatamkwamaneno yenye kwa usahihiherufi ‘l’ na ‘r’9UtendajimzuriUtendajimzuri sanaAnatamkamanenomachacheyenye herufi‘z’ na ‘dh’Anatamkamanenomengi yenyeherufi ‘z’ na‘dh’Anatamkamanenomengi sanayenye herufi‘z’ na ‘dh’kwa usahihina manenomachachesana yenyeherufi ‘l’manenomachacheyenye herufi‘l’ na ‘r’manenomengi yenyeherufi ‘l’ na‘r’manenomengi yenyeherufi ‘

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingi kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadha huu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha

Related Documents:

wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA OF 1977. CHAPTER 2 OF THE LAWS. 2005 . The following is the official Revised version in English of “KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977”. This revised edition of the

vii MUHTASARI Tanzania inakabiliwa na changamoto ya matumizi yasiyo salama ya kemikali na usimamizi usiosalama wa

Utafiti wa THIS wa mwaka 2016-17 umeongozwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tume ya Kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Zanzibar (ZAC), na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee . MATOKEO YA AWALI UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI TAN

kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977; Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025; Mpango wa Taifa wa . /12 hadi 2015/16; Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA II); Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2010 hadi 2015; Malengo ya Maendeleo ya Milenia; Sera ya Taifa

CCM - Chama cha Mapinduzi CHADEMA - Chama cha Demokrasia na Maendeleo CSO - Civil Society Organization CUF - Civic United Front DC - District Council . (NEC). Ibara ya 74(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipa Tume jukumu la kusimamia na kuratibu uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani .

TARP Tanzania Agricultural Research Project TAWIRI Tanzania Wildlife Research Institute TAWLAE Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture and Environment TBC Tanzania Broadcasting Cooperation TBS Tanzania Bureau of Standard TCC Tanzania Communications Commission TCCIA Tanzan

(2019). Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii Elimu ya Msingi Darasa la III-VII. Dar es Salaam: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha wala kufasiri andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Kamishna wa Elimu,