MIKAKATI YA KUELEKEA KUFUNGUA TENA

2y ago
239 Views
2 Downloads
1.67 MB
35 Pages
Last View : 2d ago
Last Download : 2m ago
Upload by : Abram Andresen
Transcription

MIKAKATI YA KUELEKEAKUFUNGUA TENAOrodhahakiki ya mpango wa kufungua tenashuleUsimamizi wa Biashara na FedhaS

JINSI YA KUITUMIA MIKAKATIYA KUELEKEA KUFUNGUATENA.UTANGULIZI:Kufungwa kwa shule kumekuwa na madhara makubwa katika shule duniani kote. Sisi, kwenyemradi wa Opportunity EduFinance, kwa msaada wa timu yetu ya Wataalamu wa Elimu, tumeandaamwongozo huu ili kuwasaidia viongozi wa shule kama vile wewe mwenyewe wakati unaandaamipango ya kufungua tena shule yako pindi masharti yatakapolegezwa.Tunatumaini kuwa hii itakuwa njia nzuri kwako kupanga na kuona jinsi ulivyo tayari kufungua tenashule yako.KINACHOJUMUISHWA KWENYE MWONGOZO:Kila mwongozo unashughulikia moja ya maeneo matano ambayo yatahitaji uzingatiaji na mabadilikokadri unavyotarajia kufungua tena shule yako. Maeneo haya ni: Usimamizi wa Biashara na FedhaUshirikishwaji wa WazaziMazingira Safi na Salama Yanayofaa kwa MafunzoUshirikishaji wa WafanyakaziUfundishaji na UjifunzajiMaeneo matano yamegawanywa katika vipindi vitatu kutegemea wakati ambapo kiongozi wa shuleatakapokuwa anapafikiria kupachukulia hatua. Vipindi vya wakati ni: Kabla ya Kufungua TenaWakati wa Kufungua TenaBaada ya Kufungua TenaKwa kila kipindi cha muda na kwa kila eneo, mwongozo unapendekeza hatua ambazo kiongozi washule anapaswa kuzichukua wakati shule zimefungwa na wakati zinafunguliwa tena.Kila hatua inayopendekezwa katika muda wa vipindi viwili vya kwanza ‘Kabla ya Kufungua Tena’ na‘Wakati wa Kufungua tena’ vimeelezwa kwa kina zaidi chini ya ‘Vifaa vya Kusaidia’ kukuwezeshakupanga ipasavyo kwa ajili ya utekelezaji wa hatua hizi. Kundi la mwisho ‘Baada ya ShuleKufunguliwa Tena’ linatoa mawazo kuhusu ni hatua gani zinazofuata ambazo shule inawezakuchukua baada ya kufungua tena.ORODHAHAKIKI YA MPANGO WA KUFUNGUA TENA SHULE:Wakati utakapomaliza kuchunguza maudhui tunakushauri kuikamilisha Orodhahakiki ya Mpango waKufungua Tena Shule. Orodhahakiki inakuhitaji kufikiria ni nani atawajibika kufanya vitendo fulani –huyu anaweza kuwa mmiliki, mwalimu mkuu, walimu waliotajwa, viongozi wa wafanyakazi,

mameneja wa maeneo, watawala wa shule na wanajamii wa kujitolea. Sehemu ya pili inauliza‘Itafanyika lini’ hapa unaweza kupanga kipindi cha muda kwa ajili ya shughuli zilizopangwa – tareheiliyopangwa au siku za kurudia kama vile kila Jumatatu.USIMAMIZI WA BIASHARA NAFEDHA.Kabla ya Kufungua TenaAkibaFedhaShuleyazaWakati wa KufunguaTenaBaada ya Kufungua TenaBainisha njia mbadala za kuongeza mapato tofauti naada za shule.Bainisha njia ambazo unaweza kupunguza gharama zashule ili kuhakikisha kutokwama kwa uendeshaji washule.Tathmini kiwango chamatumizi yako ya fedha zashule ili kuelewa kamauendeshaji wa shuleutamudu kwa kipindi ganikwa akiba ya fedha iliyopo.AdaShulezaHakikisha uwiano wa adainayokusanywa.Waunganishe wazazi naEndeleza mawasiliano yataasisi za ndani za fedha kawaida na wazazi kuhusukama wateja wa mikopo ya malipo ya ada za shule kwaada ya shule ili kuhakikishawakati.kuna ukusanyaji mkubwawa ada.Anzisha njia za kukusanyaAnzisha njia rahisi zaada za shule wakatimalipo ya awamu kwaukiendelea na uepukaji wa wazazi ambao wamepotezamsongamano mf.kazi/vyanzo vyao vyakukusanyaa fedha kwa njiamapato kutokana naya simu za mikononi.ugonjwa wa korona.FedhaShuleza Hakikisha au pata fedha zakutosha/mtaji wa kazi ilikutekeleza hatua za usafikatika shule.Anzisha kikundi cha akibana uwekezaji kwawafanyakazi ambachokitasaidiwa na kiongozi washule.

KABLA YA KUFUNGUA TENA.BAINISHA NJIA MBADALA ZA KUONGEZA MAPATO TOFAUTI NA ADA ZA SHULE.MuktadhaMapato muhimu zaidi kwa shule ni yale yanayotokana na ada za shule. Hata hivyo, wakati shulezilipofungwa, uwezo wa wazazi kulipa ada za shule uliathiriwa, ambapo hali hiyo imeathiriukusanyaji wa ada na mapato ya shule.Kwa walimu, mshahara kutokana na kufundisha ni chanzo pekee cha mapato. Lakini kutokana naukosefu wa ada za shule zilizokusanywa, uwezo wa shule wa kulipa mshahara pia umeathiriwa.Licha ya changamoto zinazoonekana, wakurugenzi wa shule wanaweza wakajiingiza katikashughuli zingine ambazo zinaweza kuongeza mapato kwa shule.Kutekeleza katika Shule YakoKabla ya kutekeleza shughuli yoyote, viongozi wa shule wanapaswa kuamua ni kazi gani zinazofaakwao katika muktadha wao. Shughuli zifuatazo zinaweza kuwawezesha viongozi wa shulekuongeza mapato yao: Ukulima unaweza kuzalisha mapato kwa kiasi kikubwa kwa ajili ya shule. Ardhi ya shuleinaweza kutumiwa kwa ajili ya shughuli za ukulima ikiwa ni pamoja na upandaji wa mazao namboga za majani. Pia ufugaji wa wanyama unaweza kuanzishwa ili kuongeza katika uzalishajiwa mazao na mboga za majani. Uzalishaji huu unaweza kutumiwa kusaidia programu yautoaji wa chakula shuleni.Kutoa huduma za uegeshaji wa magari ndani ya mazingira ya shule kwa tozo.Kukodisha mali na mabasi ya shule wakati wa likizo. Wakati huu, shule zinaweza kukodishamali zake na mabasi yake ili kuzalisha mapato ya ziada kwa ajili ya shule.Kuanzisha mradi wa madaftari ya masomo katika ngazi ya shule ili kuyauza kwa wazazi.Mradi wa madaftari ya masomo unaweza kufanywa kila mwezi, na wazazi kuyarudishashuleni mwishoni mwa wiki au mwezi kwa ajili ya kusahihishwa. Yawe na mazoezi kulinganana ngazi za wanafunzi.Kuzungumza na benki iliyo karibu yako ili kusaidia mkopo wa mtaji wa kazi ili kuwezeshakifedha uendeshaji wa shule wakati unaanza kupanga mchakato wa kufungua tena.TATHMINI KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO ILI KUELEWA NI KWA MUDA GANISHUGHULI ZA SHULE ZINAWEZA KUENDELEA KWA AKIBA YA FEDHA ILIYOPOSASA.MuktadhaUkokotoaji wa kiwango cha matumizi ya fedha ya shule yako utakusaidia kufanya uamuzi wakimkakati kuhusu ni kwa muda gani unaweza kumudu gharama wakati shule yako ikiwa imefungwa.Hili nila muhimu pia ili kuamua iwapo unaweza kuendelea kuwalipa wafanyakazi na ni kwa mudagani.Kutekeleza katika Shule Yako

Hatua zifuatazo zinahitaji kuchukuliwa katika kukokotoa kiwango cha matumizi ya fedha za shule1) Viongozi wa shule wanapaswa kukokotoa akiba ya fedha kwanza. Hii inajumuisha fedhazilizo mkononi, akaunti ya benki ya shule na bakaa katika akaunti za akiba za shule.2) Kukokotoa fedha za mapato ya kila mwezi zilizotarajiwa wakati shule zimefungwa: Mapatohalisi yaliyotarajiwa yatokane na ada za shule.3) Kukokotoa gharama za kila mwezi wakati shule zimefungwa: Mapato halisi ikiwa ni pamojana mishahara na bili za maji na umeme ambazo ungepaswa kulipa wakati shule zimefungwa(tafadhali angalia pendekezo linalofuata kwa ajili ya orodha yenye maelezo ya gharama)4) Kukokotoa kiwango cha matumizi ya fedha: Hiki hukokotolewa kwa kutoa gharama zako zamwezi kutoka katika mapato yanayotarajiwa ya mwezi. Kiwango cha matumizi ya fedhakitakuwa hasi iwapo mapato yanayotarajiwa kwa mwezi ni sifuri5) Kukokotoa fedha za kulipia madeni: Fedha za kulipia madeni zinakokotolewa kama Akiba yaJumla ya Fedha (imekokotolewa katika hatua ya 1)/ Kiwango cha matumizi ya fedha(kimekokotolewa katika hatua ya 4). Jambo hili huzisaidia shule kuamua ni kwa miezimingapi zinaweza kujiendesha kabla hazijaishiwa na fedha.6) Katika mfano wa hapa chini, fedha za kulipia madeni iwapo shule itaendelea kulipaMishahara kwa 100% ni 725/600 mwezi 1.2 au siku 36.Akiba za FedhaFedha ZilizopoAkaunti ya ShuleAkaunti za Akiba ya ShuleJumla ya Akibaya FedhaKIWANGO CHA FEDHAZILIZOTUMIKAFedha ZinazoingiaAda za Shule zinazotarajiwakupokewaMauzo ya Bustani ya ShuleyametoaJumla ya Fedha zoteZilizoingiaFedha ZinazotokaMishahara ya WalimuMishahara ya WafanyakaziViongoziHudumaMafuta ya basi la shuleMaduka ya vinywajiJumla yaFedha zoteZilizotokaMapato Yaliyozalishwa (auKiwango cha Matumizi yaFedha kama ni hasi)75150500725Kwa MweziShule ikiwa imefunguliwaKwa MweziShule ikiwa imefungwa(Mshahara 100%)Kwa MweziShule ikiwa imefungwa(Mshahara 5035451030000900000720520(600)(420)Ni kwa namna gani ukokotoaji wa kiwango cha matumizi ya fedha huzisaidia shule katika haliambapo akiba za fedha na fedha zinazoingia hupungua mpaka sifuri kutokanana kufungwa kwashule?Kufungwa kwa shughuli za kiuchumi nchi nzima, kumezitumbukiza biashara nyingi katika hasara,ikiwa ni pamoja na shule. Shule nyingi zimetumia akiba zao zote za fedha, hazijakusanya mapatoyoyote kwa namna ya ada za shule tangu shule zilipofungwa mwezi Machi.

Shule zinawezaje kuinua mapato na kiwango cha matumizi ya fedha za shule kitaonekana wapikatika mpango wa shule katika hali hiyo? Angalia njia mbadala za kuongeza mapato: Katika sehemu iliyopita, tumebainisha kwa kinanjia nyingi za kuongeza mapato. Shule zinapaswa kufikiria kuhusu shughuli hizi (ikiwa nipamoja na ukulima, ukodishaji wa mali za shule n.k.) pale ambapo inawezekana ili kuongezaharaka fedha zinazohitajika kwa ajili ya kujipanga shule zitakapofunguliwa tena.Kuacha Kutumia Mali: Shule zifikirie kuacha kutumia au kuuza mali katika kipindi kifupi. Kwamfano, kutokana na utaratibu wa kuepuka msongamano uliopo, shule nyingi zitahitajikakuacha kwa muda matumizi ya mabasi ya shule. Katika mazingira hayo, wakuu wa shulewanaweza kufikiria kuacha kutumia mali hizi ili kuongeza akiba zao za fedha. Mali nyingineyoyote ambayo haitumiki inaweza kuachwa kutumiwa ili kukidhi mtaji wa kazi unaohitajiwana shuleMikopo ya mtaji wa kazi: Benki mahalia zitapaswa kuongeza tena mikopo kwa shule ilikukidhi mahitaji ya haraka ya mtaji wa kazi. Viongozi wa shule wawasiliane na benki zaomahalia ili waombe mikopo ya mitaji ya kazi. Pia shule zinaweza kwenda kwenye vyombovya serikali za mtaa au wizara za elimu kuona kama zinaweza kupata mikopo ya haraka yamuda mfupi au ruzuku ili kukidhi mahitaji ya mtaji wa kazi wa shule.Kuwafikia wazazi: Kudumisha mawasiliano na wazazi ni muhimu ili kuhakikisha kwambawanawarudisha watoto wao shuleni mara shule zitakapofunguliwa tena. Wakuu wa shulewasisite kuwafikia wazazi ambao wanajua wanaweza kuwalipia watoto wao ada zilizobaki zashule.Mara tu shule zinapomudu kujipatia kiasi kidogo cha fedha kwa ajili ya kuongeza akiba ya fedhazao, shule hizo zitapaswa kutathmini kiwango chao cha matumizi ili kuweka vipaumbele vyamatumizi na kuhakikisha kwamba akiba hizi za fedha zinakuwapo hadi shule zitakapopokea malipoya ada yaliyobaki kutoka kwa wazazi. Vilevile, ili kudumisha mtiririko wa kawaida wa mapato, shulezinapaswa kubuni njia mbalimbali zinazoweza kuongeza mapato kwa mtazamo wa muda mrefu.ANGALIA NJIA AMBAZO UNAWEZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA SHULE ILIKUHAKIKISHA UENDESHAJI MZURI WAKATI WA KIPINDI CHA KUFUNGWA KWASHULEMuktadhaKuna uwezekano kwamba shule zinatakiwa kuendelea kufungwa kwa kipindi kirefu. Hili linazihitajishule kuendelea kufundisha na kujifunza kwa masafa na pia kuwalipa walimu wao kwa kadriinavyowezekana. Hili linafanya iwe muhimu sana kwa shule kutafuta njia za kupunguza gharama ilikuhakikisha kwamba shule zinaweza kuendelea wakati wa zuio la kutotoka nyumbani nakufunguliwa pale zuio la kutotoka nyumbani litakapoondolewa.Utekelezaji katika Shule YakoLengo linapaswa kuwa ni kuweka akiba ya fedha nyingi kwa kadri iwezekanavyo. Hili linawezakuzihitaji shule kuandaa orodha na kukokotoa gharama zake zote za kila mwezi. Gharama za kilamwezi zinajumuisha: Mishahara ya wafanyakazi Bili za huduma ikiwa ni pamoja na umeme, maji na kodi za pango Gharama za Basi la Shule

ChakulaVifaa vya shuleAda za UdhibitiMarejesho ya MkopoBaada ya kubainisha gharama za kila mwezi, shule zibainishe gharama ambazo si za lazima nakujaribu kuziondoa wakati wa kipindi cha kufungwa kwa shule. Baadhi ya mifano inajumuisha: Kuchunguza mikataba ya ajira na kutafuta njia za kupunguza mishahara. Hii inawezakujumuisha kuwataka walimu kuchukua mishahara pungufu wakati wa kipindi cha kufungwakwa shule au kuwabadili baadhi ya walimu kuwa walimu wa muda. Iwapo baadhi ya majukumu ni rahisi kubadilishwa au hayahitajiki, fikiria kuzipunguza nafasihizi kwa kipindi cha kufungwa kwa shule. Kwa mfano, wafanyakazi wa utawala Kuzungumza na benki yako kuhusu kuacha kwa muda kurejesha marejesho wakati shulezinapokuwa bado zimefungwa Kuzungumza na mpangishaji wako kuhusu uwezekano wa kupunguza kodi ya pango aukuacha kwa muda kulipa kodi hiyo wakati shule zinapokuwa bado zimefungwaANZISHA NJIA ZA KUKUSANYA ADA ZA SHULE WAKATI UKIENDELEA KUEPUKAMSONGAMANO MF. KWA NJIA YA SIMU ZA MIKONONIMuktadhaWakati shule zimefungwa itakuwa muhimu kuendeleza mawasiliano ya kawaida na wazazikuhusiana na muda wa malipo ya ada za shule. Kwa vile matembezi ya kukutana ana kwa anayamekatazwa, viongozi wa shule wanapaswa kubainisha njia ambazo wanaweza kuwafikia wazazina kukusanya ada kielektroni.Utekelezaji katika Shule YakoTafiti njia mbalimbali kwa ajili ya kukusanya ada za shule kwa masafa na kuamua njia ipi itakuwabora kwa shule yako. Hapa kuna njia za kukusanyia ada za shule wakati ukiendelea kuepukamsongamano: Ujumbe mfupi wa benki unaojumuisha misimbo mifupi na fedha kwa simu za mikononi –Akaunti ya shule iliyosajiliwa ya huduma za fedha kwa simu za mikononi au misimbo mifupiinayohusiana na akaunti za akiba inaweza kuwepo kwa ajili ya malipo ya ada za shule. Jina lamwanafunzi na darasa linaweza kutumika kama kumbukumbu wakati wazazi wanapolipa adaza shule.Ada za shule zinazolipwa kwa namna moja – Kutegemeana na mahali shule ilipo, mahitaji nahali ya shule, ada za shule zingeweza kulipwa kwa namna ya chakula, fueli na huduma zashule ikiwa ni pamoja na useremala, upakaji rangi na upaliliaji.Malipo kupitia Benki – Akaunti ya shule inaweza kutolewa kwa wazazi ili walipe ada za shulemoja kwa moja kwenye akaunti hiyo na slipu za malipo zinaweza kutumwa kwa viongozi washule kwa njia ya WhatsApp. Benki zinaweza kutuma taarifa za kila wiki kwa shule kwa ajiliya uchunguzi zaidi kuhusu malipo ya kila wiki.Malipo ya ada ya shule kupitia kwa wanafunzi wakubwa – Fedha taslimu/hundi zilizowekwakatika bahasha zenye maelezo yaliyoandikwa kwa uwazi juu ya bahasha hizo zinawezakupelekwa na wanafunzi wa sekondari za chini na za juu moja kwa moja kwa mamlaka

zinazohusika ambazo zitaandaa stakabadhi zitakazopelekwa na wanafunzi hao kwa wazaziwao.Mkopo kwa ajili ya malipo ya ada za shule – Mikopo iliyofanywa na wazazi kwa ajili ya malipoya ada za shule kutoka katika taasisi mahalia za fedha kama vile MFI, benki za vijijini nahuduma nyingine za mikopo inaweza kulipwa moja kwa moja katika akaunti za shule nataasisi za fedha kwa niaba ya wazazi.Mifumo ya Benki za Kielektroni – Kulingana na maarifa ya kiteknolojia ya wazazi wa shule,shughuli za benki za kielektroni hujumuisha matumizi ya kadi za benki, uhamishaji wakimtandao na makato ya moja kwa moja yanaweza kutumiwa na wazazi kulipa ada.WAKATI WA KUFUNGUA TENA.ANZISHA UTARATIBU RAHISI WA MALIPO KWA WAZAZI AMBAO WAMEPOTEZAKAZI/VYANZO VYAO VYA MAPATO KUTOKANA NA UGONJWA WA KORONAMuktadhaWazazi wengi watakuwa wamepoteza vyanzo vya mapato kutokana na ugonjwa wa korona. Kamataasisi katika jamii ni muhimu uisaidie jamii kurudi katika hali yake ya kawaida na kuwa na utaratiburahisi zaidi wa malipo ya ada za shule kwa kipindi cha mwanzoni. Hili litakuza taswira yenu kamashule inayojali na utafanya uandikishaji kuwa mkubwa na ukiwawezesha kupata mapato zaidi hapobaadaye.Utekelezaji katika Shule YakoHatua unazoweza kuzichukua kuwasaidia wazazi kwa malipo rahisi ni pamoja na: Mipango ya Malipo – Anzisha mipango ya malipo kwa siku, wiki au hata kwa mwezi kwawazazi ukizingatia wanavyopenda na uwezo wao.Huduma za Shule – Panga na wazazi ambao wangependa kutoa huduma zinazotakiwakwenye shule ili kulipa ada ya shule kidogokidogo. Lenga kufanya bila ya kuathiri uadilifu wamzazi na pia kusababisha usumbufu kwa shule.Malipo Kidogokidogo – Kwa matukio makubwa, panga kwa ajili ya malipo kidogokidogo yawazazi kwa tarehe ya baadaye. Wazazi wenye kumbukumbu nzuri za kulipa ada za shulesiku za nyuma wanapaswa wawe wadau wakubwa wa kupewa kipindi hiki cha unafuu.Utaratibu/makubaliano rasmi (ya maandishi) yanaweza kuandaliwa kuelezea maafikianoyoyote yaliyofanywa.Huduma za Punguzo – Hizi zinaweza kujumuisha punguzo la mara nyingi ambapo wazaziwenye watoto wengi wanaweza kupewa punguzo au wazazi wanalipa mapema ada zawatoto wao wanaweza kupewa punguzo mapema. Hili litawahamasisha wazazi kujitahidikulipa ada.Watambulishe wazazi kwenye taasisi za fedha – Wazazi ambao hawawezi kulipa adakutokana na kupoteza mapato wanaweza kutambulishwa kwenye taasisi za fedha ambazozinaweza kuwasadia kuwapa mikopo kwa ajili ya matumizi au mikopo ya ada za shule.

ORODHAHAKIKI YA MPANGO WAKUFUNGUA TENA SHULE.USIMAMIZI WA BIASHARA NA FEDHAKABLA YA KUFUNGUA TENAAnzisha njia zaMHUSIKAkukusanya ada zaBainisha njiambadala zakuongezamapato tofautina ada za shule.ITAFANYIKA LINIBainisha njiaambazounawezakupunguzagharama zashule ilikuhakikishakutokwama kwauendeshaji washule.MHUSIKATathminikiwango chakocha matumizi yafedha ilikuelewa ni kwamuda ganishughuli zashule zinawezakuendelea kwaakiba ya fedhazilizopo.MHUSIKAHakikisha kunauwiano wa adaza shulezilizokusanywa.MHUSIKAITAFANYIKA LINIshule wakatiukiendelea kuepukamsongamano mf.kupitia huduma zafedha kwa simu zamikononi.Hakikisha au tafutafedha zakutosha/mtaji wakazi ili kutekelezahatua za usafi katikashule.MHUSIKAITAFANYIKA LINIMHUSIKAITAFANYIKA LINIWAKATI WA KUFUNGUA TENAITAFANYIKA LINIITAFANYIKA LINIWaunganishe wazazi MHUSIKAna taasisi mahalia zafedha kama watejawa mikopo ya ada zashule ili kuhakikishaukusanyaji mkubwa ITAFANYIKA LINIwa ada.Anzisha njia rahisi za MHUSIKAmalipo kwa wazaziambao wamepotezakazi/vyanzo vyao vyamapato kutokana naugonjwa wa korona. ITAFANYIKA LINI

MIKAKATI YA KUELEKEAKUFUNGUA TENAOrodhahakiki ya mpango wa kufungua tenashuleMazingira Safi na Salama kwa ajili yaKujifunzaS

MAZINGIRA SAFI NA SALAMA KWAAJILI YA KUJIFUNZA.Kabla ya Kufungua TenaChunguza hatua ambazoKuepukashule inaweza kuchukuaMsongama kuepuka msongamano.noWakati wa KufunguaTenaBadilishamiundombinu/mpango wamadarasa na mabweni ilikurahisisha kuepukamsongamano.Hakikisha usafiri wa shuleunafuata miongozo yakuepuka msongamano;fikiria kusitisha huduma zamabasi.Baada ya Kufungua TenaAnzisha tena usafiri washule kwa kufuatamiongozo ya usafiri salama.Fuata maelekezo ya serikalikwa ajili ya kurahisishakuepuka msongamano.Fikiria mpango wa awamuza kufungua tena kwa ajiliya shule.UtaratibunaUchunguzaji Mpya waUsafiChunguza taratibuzinazohusiana na uvaaji wabarakoa,upimaji wa afya nausafi unaotakiwa naserikali.Wafundishe wafanyakazikuhusu utekelezaji wataratibu za usafi: kuepukamsongamano, kunawamikono, upimaji wa joto nauvaaji barakoa.Simamia utekelezaji wataratibu na hatua mpya ilikuwafanya wanafunzi kuwasalama.Endeleza mwongozo wawazi kuhusu taratibu palewafanyakazi au wanafunziwanapokuwa wagonjwa;tenga chumba chamatibabu shuleni.Anzisha utaratibu wa marakwa mara wa uuaji wavijidudu vya maradhi katikamaeneo ya shule.UelewaSimamia usambaaji waugonjwa wa COVID-19katika eneo mahaliaambako shule ipo, ikiwa nipamoja na idadi yawagonjwa.Hakikisha wafanyakaziwanafahamishwa vizurikuhusu COVID -19 ili kuzuiatetesi za uongo naunyanyapaa wowoteunaoweza kufanywa kwawale waliopona.Simamia usambaaji waugonjwa wa COVID-19ikiwa ni pamoja namiongozo ya kufungwatena kwa shule, iwapokutakuwa na kurudia kwaidadi ya maambukizi.

KABLA YA KUFUNGUA TENA.CHUNGUZA HATUA AMBAZO SHULE INAWEZA KUZICHUKUA ILI KUEPUKAMSONGAMANOMuktadhaKatika nchi ambazo shule tayari zimeshafunguliwa tena baada ya kufungwa kutokana na COVID-19,uepukaji wa msongamano unatekelezwa. Ni muhimu kuelewa hatua madhubuti zinazowezakuanzishwa katika shule yako.Utekelezaji katika Shule YakoKiongozi wa shule au mwakilishi wa wafanyakazi anapaswa kufuatilia hatua za kuepukamsongamano ambazo zinaweza kuanzishwa. Kusikiliza maelekezo kutoka serikalini kunawezakusaidia kutoa ufafanuzi. Hizi ni hatua muhimu au zinazotakiwa kuanzishwa: Kufuta au kuahirisha shughuli za baada ya muda wa darasani ambazo hufanywa wakati wasiku za masomo zenye uwezekano mkubwa wa kujichanganya/msongamano. Kama vileelimu ya mazoezi ya viungo, ziara za ugani, kwaya, mkutano, kujifunza kwa vitendo, shughuliza michezo.Kupunguza kujichanganya wakati wa usafiri. Hili linaweza kujumuisha uondoaji wa mabasi yashule, kuepuka matumizi ya usafiri wa umma, kuwahamasisha wazazi kuwapeleka shuleniwatoto wao ama kwa miguu au kwa magari yao binafsi.Kupunguza urefu wa ratiba. Hili linaweza kujumuisha kuwa na wiki fupi ya kwenda shuleni;siku fupi ya shuleni; wanafunzi kuja kwa kubadilishana siku, kufuta masomo ya asubuhi nausiku.Kuondoa matumizi ya maeneo ya pamoja kwa mfano kulia chakula cha mchana madarasanibadala ya kumbi za chakulaKutekeleza uboreshaji wa sehemu ya kazi kwa wafanyakazi ambako kutafuata hatua zakuepuka msongomano. Hili linaweza kujumuisha kupunguza mikutano ya ana kwa ana aukufuta mikutano, kupunguza kwenda katika ofisi za walimu, kuepuka walimu kusafiri kutokana kwenda shuleni kwa makundiKuwatenganisha wanafunzi wawapo katika maeneo ya kawaida iwapo uondoaji wa maeneoya kawaida hauwezekani: Shule inaweza kuamua kwamba wanafunzi wale na wenzao katikachumba cha chakula tu; kuamua wanafunzi wabaki katika sehemu walizopangiwa za eneo lashule.Matone ya vitakasamikono na mashine za kupimia joto zipangwe katika geti la shule na kilamtoto apimwe. Hakikisha kwamba upimaji unaendelea, watoto waendelee kukaa umbali wameta 4 kutoka kwa mwingine.Kuzuia wageni: Usiruhusu wazazi au wageni wengine; dhibiti wachuuzi kuingia shuleni.Punguza msongamano wakati wa kushusha na kupakia wanafunzi. Ili kufanya hivi:1) Panga muda wa familia kuja, zingatia muda tofauti kama inawezekana.2) Pale ambapo inawezekana kuchukuliwa na kushushwa kwa mtu kufanywe nje.3) Weka alama za kuonekana au vizuizi vya kuelekeza magari na umbali.4) Anzisha mfumo wa alama na michakato ya kupunguza mwingiliano wa familia.

CHUNGUZA HATUA ZINAZOHUSIANA NA UVAAJI WA BARAKOA, UPIMAJI WAAFYA NA USAFI UNAOTAKIWA NA SERIKALIMuktadhaKadri shule zinavyofunguliwa tena, unatakiwa uwe na miongozo iliyo wazi inayotakiwa kutumiwaambayo itawaongoza wadau mbalimbali kuhusu udhibiti wa COVID-19. Miongozo hii inapaswakusambazwa na kuwekwa katika maeneo ya shule ili kuhakikisha kwamba kila mmojaanakumbushwa kuhusu haja ya kujilinda mwenyewe na kuwalinda wengine.Utekelezaji katika Shule YakoMara shule zinapofunguliwa tena, timu ya wadau mbalimbali inapaswa kuwa imeandaa miongozoya usafi & tahadhari shuleni/sera zilizotoka katika miongozo ya idara mbalimbali za serikali kamavile Wizara ya Afya na Wizara ya Elimu kuhusu COVID-19 kwa namna rahisi na kutafsiriwa amakatika lugha ya eneo lile au katika vielelezo.Miongozo hii itasambazwa kwenye jumuiya ya shule kabla ya shule kufunguliwa tena ili kuhakikisha:1. Wanajiandaa vema mapema kwa ajili ya mahitaji yanayotakiwa kama vile aina ya barakoazinazopendekezwa, au mahitaji ya kunawa mikono yanayotakiwa/kutolewa mf. sabuni aumaji.2. Wanatenganisha muda wa shule na kuhamasisha ujifunzaji wa masafa pale inapobidi3. Wanaiga tabia/taratibu mpya zilizoanzishwa na shule kuhusu miongozo ya usalamaHakikisha kwamba MST inaongoza katika kutafiti na kuwaelewesha wafanyakazi wa shule, wazazi,wanafunzi na wageni kufuata miongozo iliyowekwa shuleni kama ilivyoshauriwa na serikali.Zifuatazo ni hatua zinazopaswa kuchukuliwa: Sambaza taarifa zilizo wazi na sahihi kuhusu COVID-19 – bila ya kuingiza woga na wasiwasibali kuhamasisha tahadhari binafsi kwa wadau wote wa shuleTimu ya uwajibikaji ndani ya shule kama vile viranja na walimu – timu ambayo itahakikishakuwa jumuiya ya shule inafuata miongozo na kuitikia dharura kwa wakati.Sheria iliyo wazi ya kutomruhusu mtu asiye na barakoa shuleni – MST ihakikishe kwambawale wote wanaokwenda katika mazingira ya shule wanavaa barakoaFanya maboresho ya utoaji wa huduma za Maji, Afya na Usafi –ongeza idadi ya marudio yakufanya usafi na kuua vijidudu vya maradhi shuleni, boresha udhibiti taka na kuwa na vituovya kunawa mikono pamoja na hatua za jinsi ya kunawa mikono.Programu za chakula hasa kwa wale wanaotoka nje au wanaoleta chakula shuleni – shuleama itoe chakula ili kuepuka magari mengi ya watoa huduma/wazazi wakati wa saa za shuleau kuja na programu ya chakula inayohusiana na usafi wakati chakula kinapoletwa shuleni.

WAKATI WA KUFUNGUA TENA.BADILI MIUNDOMBINU/MPANGILIO WA MADARASA NA MABWENI ILI KUHAKIKISHAUEPUKAJI WA MSONGAMANOMuktadhaMoja ya hatua ya kwanza ambayo shule inapaswa kuichukua wakati inapanga kufungua tena nikubadilisha miundombinu ya darasa ili kuhakikisha kwamba ufundishaji na ujifunzaji unawezakuanza bila ya hatari ya wanafunzi kupatwa na ugonjwa. Fikiria kile ambacho ungetarajiwakukifanya ili ufanye mabadiliko haya na ni walimu/wafanyakazi gani ambao ungewapangiamajukumu hayo.Utekelezaji katika Shule YakoYafuatayo ni mabadiliko ambayo yanaweza kuwa ya muhimu katika shule yako: Punguza/minnya idadi ya watoto katika madarasa. Geuza vyumba visivyotumiwa/visivyo nakitu/vya ziada au maeneo ya wazi kuwa madarasa.Fikiria mipangilio ya kulala katika mabweni – je, vitanda vya chini na juu vinakubalika,wanafunzi walale katika kitanda kimojakimoja?Rekebisha matumizi ya vyoo, hasa wakati wa mapumziko ya chakula cha mchana. Wakati hilini gumu kutekeleza, ni muhimu kuendelea kuepuka msongamano katika maeneo ya pamojakama vile vyoo vya shule. Hili linaweza kuhitaji shule kupanga muda tofauti wa kupumzikakwa madarasa tofauti ili kupunguza msongamano katika vyoo.Kuendelea kuwa na umbali unaoshauriwa kati ya wanajumuiya wa shule (kila serikaliinashauri idadi fulani ya meta) anzisha alama wanaposimama watoto wakati wanapojipangamistari kama vile foleni za chakula cha mchana.Tumia maeneo ya nje kwa ajili ya kusomea kwa kuanzisha madarasa ya nje.Ndani ya darasa panga tena madawati ili kuongeza nafasi, waambie wanafunzi wabakiwamekaa darasani na yapange madawati kuangalia katika uelekeo mmoja (badala ya kuwayanaangaliana) ili kupunguza maambukizo yanayosababishwa na virusi vinavyotokana namatone (mf. kutokana na kuzungumza, kukohoa, kupiga chafya).ZINGATIA MPANGO WA AWAMU YA KUFUNGUA TENA SHULEMuktadhaKutokana na ukali wa ugonjwa wa korona katika eneo lako mahalia, viongozi wa shule hawatawezakuanza madarasa kwa wanafunzi wote wakati wa kufungua tena. Katika matukio hayo, shuleiangalie kwanza mpango wa kuufungua tena kwa awamu, kabla ya kurudisha shughuli zote zashuleUtekelezaji katika Shule YakoKuna njia nyingi mbadala ambazo viongozi wa shule wanaweza kuzichagua wakati wakifikiriampango wa kufungua tena shule kwa awamu.

Kanuni ya namba shufwa na witiri: Nusu ya madarasa waje shuleni katika tarehe zenyenamba witiri katika mwezi, ambapo nusu nyingine waje shuleni katika tarehe zenye nambashufwa katika mweziRatiba ya asubuhi na jioni: Yagawe madarasa katika mikondo miwili. Mkondo mmoja ujeasubuhi na mkondo mwingine uje jioni. Hili linaweza kuwahitaji viongozi wa shule kupunguzasaa za kufundisha kwa kila darasa linalokuja shuleniMadarasa yanayofanya mitihani ya taifa: Shule zinaweza kuanza uendeshaji kwa kuyaitamadarasa yanayofanya mitihani ya taifa tu kwa wakati huo. Usomaji wa nyumbani unawezakuendelea kwa madarasa yaliyobaki mpaka idadi ya wagonjwa katika eneo/mkoaitakapokuwa ya kawaida/itakapopungua, ndipo shule inaweza kurudisha madarasa yote.Mchanganyiko wa ujifunzaji wa nyumbani na wa ana kwa ana: Shule inaweza kuwatakawanafunzi kuja kwa ajili ya kufundishwa sehemu maalumu ya muhtasari, ambapo sehemuziingine wanafunzi wanaweza kufundishwa kwa masafa.ENDELEZA MWONGOZO MZURI WA TARATIBU IWAPO WAFANYAKAZI AUWANAFUNZI WATAKUWA WAGONJWA; TENGA CHUMBA CHA MATIBABUSHULENIMuktadhaIli kuhakikisha kuwa shule yako inaweza kubaki wazi na kuendelea kuaminiwa na wazazi ili waletewatoto wao shuleni ni muhimu kuwa na mwongozo mzuri wa nini kifanyike pale wafanyakazi auwanafunzi wanapokuwa wagonjwa.Utekelezaji katika Shule YakoWasiliana na wafanyakazi na wazazi kuwa hakuna mtu anayeruhusiwa kuja shuleni iwapo ana dalilizozote za COVID-19. Shirika la Afya Duniani (WHO) linasambaza dalili hizo. Dalili za kawaida zaidi ni: Homa Kikohozi kikavu UchovuPia kwa kuzingatia Miongozo ya WHO au ya kitaifa, panga muda ambao wanafunzi wanapaswawasije shuleni.Kwa wale ambao wataumwa wakati wa siku ya shule kunapaswa kuwe na sehemu ya shule ambayoimepangwa kama chumba kilichoandaliwa kwa ajili ya tiba, ambapo wanafunzi na wafanyakaziwanaweza kutengwa na wengine.Vilevile: Endesha tathmini ya vihatarishi kwa wafanyakazi na wanafunzi wote – wale wenye dalili zaawali/ugonjwa. Hakiki na imarisha uhusiano na mawakala wa rufaa na sambaza mawasiliano ya dharura –iwapo kutakuwa na dharura ya COVID.

ORODHAHAKIKI YA MPANGO WAKUFUNGUA TENA SHULE.MAZINGIRA SAFI NA SALAMA KWA AJILI YA UJIFUNZAJIKABLA YA KUFUNGUA TENAMHUSIKAFikiria mpango waMHUSIKAkufungua tenaChunguza hatuashule kwa awamu.ambazo shule inawezakuchukua kuepukamsongamano.ITAFANYIKA LINIChunguza taratibuzinazohusiana na uvaajiwa barakoa,upimaji waafya na usafiunaotakiwa na serikali.MHUSIKAITAFANYIKA LINIDhibiti ueneaji waugonjwa wa COVID -19katika eneo mahalishule ilipo, ikiwa nipamoja na wagonjwa.MHUSIKAITAFANYIKA LINIWAKATI WA KUFUNGUA TENAMHUSIKABadilishamiundombinu/mpangiliowa madarasa namabweni ili kuhakikishauepukaji waITAFANYIKA LINIWafundishewafanyakazikuhusukutekelezataratibu za usafishuleni: kuepukamsongamano,kunawa mikono,upimaji joto nauvaaji wabarakoa.Endelezamwongozo mzurikuhusu taratibupale wafanyakaziau wanafunziwanapokuwawagonjwa; tengachumba chamatibabu shuleni.Panga uuaji wavijidudu vyamaradhi katikamaeneo ya shule.MHUSIKAITAFANYIKA LINIMHUSIKAITAFANYIKA LINIMHUSIKA

msongamano.Hakikisha usafiri washule unafuatamiongozo ya uepukajimsongamano; Fikiriakusitisha huduma zamabasi.ITAFANYIKA LINIMHUSIKAITAFANYIKA LINIITAFANYIKA LINIMHUSIKAHakikishawafanyakaziwamepewa taarifaya kutoshakuhusu COVID-19ili kuzuia tetesi zaITAFANYIKA LINIuongo naunyanyapaawowoteunaohusishwa nawale waliopona.

MIKAKATI YA KUELEKEAKUFUNGUA TENAOrodhahakiki ya mpango wa kufungua tenashuleKufundisha na Kujifunzas

KUFUNDISHA NA KUJIFUNZA.Kabla ya Kufungua TenaMitaalaWakati wa KufunguaTenaSimamianafuatamwongozokutokaserikalini kuhusiana namabadiliko yoyote katikamitaala na ratiba yamitihani.Fanyaustawiwawafanyakazikuwakipaumbele. Wape mudakurekebisha upya s

Kwa kila kipindi cha muda na kwa kila eneo, mwongozo unapendekeza hatua ambazo kiongozi wa shule anapaswa kuzichukua wakati shule zimefungwa na wakati zinafunguliwa tena. . huyu anaweza kuwa mmiliki, mwalimu

Related Documents:

Oct 15, 2019 · 5 TENA at a Glance What does TENA enable? Interoperability between inter-and intra-range assets Elimination of proprietary interfaces to range instrumentation Efficient incremental upgrades to test and training capabilities Integration of Live, Virtual, and Constructive assets (locally or distributed) Sharing and reuse of common capabilities across existing and new

Lindi 6.30-6.50 Chikonji Mwenge kuweka jiwe la msingi Mradi wa Maji. 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 6.50-7.00 10Chikonji Mwenge kuelekea S/M Kineng‟ene. Mkuu wa Wilaya ya Lindi 7.00-8.00 S/M Kineng‟ene. CHAKULA CHA MCHANA 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 8.00-8.15 S/M kineng‟ene Mwenge kuelekea Shule ya Sekondari Mkonge. 15 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 8. .

Comply with the Joint Technical Architecture (JTA) & the High Level Architecture (HLA) Layer 5 Execution & Configuration Tools Foundation Initiative 2010 Product Summary lSelected T&E resource interfaces to TENA lPerformance reports of commercially available communication systems lProcedures for executing synthetic, multi-range tests

5 Where TENA is Used Any situation where test and training data needs to be passed over Internet Protocol (IP) networks to include: Interfacing two or more systems for information exchange Across programming languages and computing platforms Receiving system health & status information Remote command & control of one or more systems Real-time dissemination of instrumentation data

Kuchambua nadharia ya mpango wa utayari wa kuanza shule. Kuandaa azimio la kazi la wiki nne (4) na andalio la somo lenye mwelekeo wa kumjengea mtoto umahiri tarajiwa. Kuweka mikakati ya ufundishaji wa wiki nne(4) kwa ufanisi. Kufanya upimaji na tathmini ya maendeleo ya watoto kwa kutumia mbinu zilizopendekezwa katika mwongozo.

4. Mwanafunzi anatambua kanuni na anajadili sababu za kuwa na kanuni mahususi. *** Wanafunzi wa ELL/DLL wanaweza kudhihirisha dalili za tabia katika lugha yao kuu, au kupitia mikakati isiyohusisha lugha. *** Kiashirio hiki huenda kikaripotiwa na familia. Lengo ni mwanafunzi atambue hali zis

Maisha ndani ya Kristo Yako na: Dhambi Utengamano Kusumbuka Yako na: Amani Uzima wa milele Yesu Kristo. 7 . Kama vile buu anavyogeuka kuwa kipepeo na hamu mpya ya maisha mapya pia sisi tunageuzwa kutoka kwa "ufalme wa giza kuelekea katika ufalme wa Mwana mpendwa wa Mungu ". (Wakolosai 1:13, 14).

The American Revolution, 1763-1783 By Pauline Maier This essay excerpt is provided courtesy of the Gilder Lehrman Institute of American History. INDEPENDENCE The Seven Years’ War had left Great Britain with a huge debt by the standards of the day. Moreover, thanks in part to Pontiac’s Rebellion, a massive American Indian uprising in the territories won from France, the British decided to .