KCPE REVEALED - KCPE Past Papers - Free KCPE Past Papers

2y ago
613 Views
25 Downloads
360.05 KB
7 Pages
Last View : 12d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Abram Andresen
Transcription

KCPE REVEALEDMTIHANI WA KITAIFAMWAKA - 2020Pinpoint PulJ1inn ljM\ -KISWAHILI LUGHA-202504Saa 1 Oak. 40SOMA KWA MAKINI MAAGIZO YAFUATAYO1Umepewa karatasi hii ya maswali na karatasi ya kujibia. Karatasi hii ina maswali 50.2lkiwa utataka kuandika chochote ambacho si jibu andika katika karatasi hii.3Ukisha chagua jibu lako lionyeshe katika KARATASI YA MAJIBU na wala siyo katika hii ya maswali.4Tumia penseli ya kawaida.5Hakikisha ya kwamba yafuatayo umeandika katika karatasi ya majibuJINSI YA KUTUMIA KARATASI YA MAJIBUNAMBA YAKO YA MTIHANIJINA LAKOJINA LA SHULE YAKOKwa kuchora kistari katika visanduku nyenye namba zinazokuhusu, onyesha namba yako kamili ya mtihani (yaani nambaya shule na zile namba tatu za mtahiniwa) katika sehemu iliyotengewa mwanzo wa karatasi ya majibu.Usitie almha zozote nje ya visanduku.Iweke safi karatasi yako ya majibu.Kwa kila swali 1 - 50 umepewa majibu manne. Majibu hayo yameonyeshwa kwa herufi A, B, C, D. Ni jibu MOJA tu katiya hayo manne ambayo ni sahihi. Chagua jibu hilo.Kwenye karatasi ya majibu, jibu sahihi lionyeshwe kwa kuchora kistari kwenye kisanduku chenye herufi uliochagua kuwandilo jibu.Mfano23. Tegua kitendawili kifuatacho.Ukimcheka anakucheka, ukimwomba anakuombaA kiooB. mwangwiC. kivuliKatika karatasi ya majibu, jibu sahihi ni B mwangwi.!I)D. kasuku.[A] EB-] [C] [D]Katika visanduku vinavyoonyesha majibu ya swali namba 23, kisanduku chenye herufi B ndicho kilichochorwa kistari.Chora kistari chako vizuri, kistari chako kiwe cheusi na kisijitokeze nje ya kisanduku.Kwa kila swali, chora kistari katika kisanduku kimoja tu kati ya visanduku vinne ulivyopewa.- ntKitabu hiki cha maswali kina kurasa 8 zilizopigwa chapa.FUNGUA UKURASA

2Soma vifungu vifuatavyo. Vina nafasi 1 mpaka 15. Kwa kila nafasi, umepewa majibu manne.Chagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.I1i kuwa na jamii 1 , kila mmoja wetu anahitajika 2 . 3 mstari wa mbele katikakuzungumza tu 4 pia katika matendo yetu.Inaeleweka na kila m.tu kuwa 5 ya mja hunenamuungwana ni vitendo. Ni 6 letu kuhakikisha kuwa jamii yetu 7 .Hili linawezekana tu iwapotutakuwa 8 katika kila tulitendalo. Kwa mfano, hatuwezi tukatarajia kuwa na jamii yenye bidiiiwapo sisi ndisi 9 . Hilo haliwezekani.1.A. thabitiB.dhabitiC.mathubutiD.dhaifu2.A. kutolewaB. kujitoaC. kujitiaD. kujitolea3.A.UsiweB. TuweC.MweD. Tusiwe4.A.ingawaB. baliC. lakiniD. mbali5.A. afuaB. desturiC. adaD. kawaida6.A. toleoB. wajibuC. dhimaD. jukumu7.A. imeidilikaB. imeadilikaC. imebaidilikaD. imebainika8A. vielelezoB.tegemeoC. vielezoD. vigezo9.A.tunaolaza damuB.tunaokufa kikondooC. tunaopiga moyo kondeD.tunaojitolea mhangaBaada ya 10 na darasa la nane, niliamua kudurusu zaidi iii nifaulu. Sikutaka kuvuta mkia11 . 12 kuhusu aina 13 maneno kama vile nomino, vitenzi na vielezi ambavyo piahuitwa 14 . Kuna vielezi vingi 15 polepole, upesi, hyumbani na sokoni.10. A.kuunganaB.kuunganishwaC. kujiungaD.kuunga11. A.tenaB.asilaniC. yamkiniD. angalau12. A. NimesomaB.NinasomaC. NilisomaD.Ningesoma13. A. yaB.waC. naD.za14. A.viigiziB.viarifaC. visifaD.viingizi15. A.:B.;C. -D.,202504K C P E Revealed, 2020504

Kutoka swali la 16 - 30, chagua jibu sahihikulingana na maagizo.16. Chagua ukanusho wa: Mgeni aliyewasili anakofia.A. Mgeni asiyewasili ana kofia.B. Mgeni asiyewasili hana kofia.C. Mgeni aliyewasili huna kofia.D. Mgeni aliyewasili hana kofia.17. Tambua sentensi iliyo na kivumishi cha idadikatika orodha.A. Barabara zote zimejaa magari.B. Miti mingi imepandwa na wanafunzi.C. Mwalimu amesahihisha insha mbili.D. Kitabu hiki ni cha mwanafunzi wa pili.18. Tambua matumizi ya 'ki' katika sentensi.Mpishi yule alipika akiimba.A. Kuonyesha vitenzi sambamba.B. Kuonyesha hali endelezi.C. Kuonyesha kufuatana kwa vitendo.D. Kuonyesha hali ya masharti.19. Sentensi ipi iliyo katjka hali ya mazoea kati' . . 'lya ntZl.A. We\ve hukufika mapema tuiivyoelewana.B. Mtoto afikaye shuleni mapema ndiyehuyu."C. Alitern!:, (I huku ameangalia.D. Hungesoma kwa bidii hungefaulu.20. 'maji, chai, uji' ni mfano ya nomino za ainagani?A. N omino za haliB. Nomino za wingiC. NominoambataD. nomino za jamii.21. Tambua nomino ambayo haijalinganishwakwa usahihi na ngeli.A. moyo - U - ZI, U - IB. kipfpeo - KI - VI, A - WAC. ua - LI - YA, U - ZID. moto - U - I U - U'i22. Chagua maelezo ambayo ni sahihi.A. Kitengele ni kiungo cha mkono kati yakiwiko na bega.B. Kwapa ni kiungo cha mwili kilicho juu yabega.C. Nyongo ni kiungo cha mwilikinachopatikana juu ya kiuno.D. Goko ni mfupa wa mbele unaotoka kwenyekifundo cha mguu mpaka kwenye goti.202504323. Orodha ipi ambayo ni ya vihusishi pekee?A. langu, vyao, zakeB. kabla ya, juu ya, baada yaC. licha ya, fauka ya, minghairi yaD. ala, ebo, afanalek24. 'a, e, i, o, u' ni mifano yaA. konsonantiB. silabi fungeC. vokaliD. sautighuna.25. Teua umoja wa: Vita huharibu maendeleoya mataifa.A. Vita huharibu maendeleo ya taifaB. Kita huharibu maendeleo ya taifaC. Vita huharibu endeleo la taifaD. Kita huharibu maendeleo la taifa.26. Jibu lipi ambalo halijalinganishwa kwausahihi?A. fuma - fumuaB. chimba - chimbuaC. pakia - pakuaD. funga - fungua27. Maamkizi gani yatumikayo wakati uliotofautina mengine?A. SabalheriB. ChewaC. UmeamkajeD. Umeshindaje28. Tambua sentensi iliyotumia kiunganishi kwausahihi.A. Nipe aghalabu shilingi hamsini ninunuliekitabu.B. Umeshindwa kuandika aya moja sembuseinsha nzima.C. Mathalani umewasili, tutaanza safari. ·D. Bighairi ya kumnunulia nguo, piaalinuiunulia kalamu.29. Jibu lipi lenye kitenzi kilichoundwa kutokanana sifa?A. cheka - mcheshiB. mwalimu - funzaC. vumilivu - vumiliaD. mjuzi - ujuzi.30. Mtoto ni kwa binadamu kama vilekwa ndege.A. kindaB. kifarangaC. kiotaD. kizimbaK C P E Revealed, 2020504m

4Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali 31-40.Siku moja, mume na mke wakiwa wamekaa pamoja, mume alimwambia mke wake, "Mke wangunimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu, dada zangu na hata baba na mama) tujumuike pamojana kula pamoja. Kesho nitawaalika ili tufurahie nao katika chakula cha mchana, itabidi uandaechakula kwa ajili yao."Mke alijibu kwa m1yonge, "Sawa, Mungu akipenda."Asubuhi ya siku ihyofuata, mume alitoka kwenda katika shughuli yake lakini baada ya saakadhaa alirejea nyumbani. Alimsaili mke wake, "Mke wangu, umeandaa chakula cha mchna kwa ajiliya wageni? Baada ya saa moja watakuwa wameshafika." Mke alijibu, "La. Sijapika madhali nduguzako sio wageni hapa. Watakula chochote wakipatacho." Mumewe alimwambia wa Mungu amsamehe.Alitaka kujua kwa nini mkewe aliyasema hayo ilhali alikuwa amemweleza kuhusu wageni tangu sikuiliyotangulia. Aliuliza kwa nini mke wake hakumwambia kuwa asingepika ilihali wazazi wakewangewasili baada ya muda mfupi.Basi mume ilimbidi aondoke pale nyumbani ili aibu isimfunike na kumzamisha. Baada yadakika kadhaa, mlano ulibishwa. Mke alienda kuufubgua mlango. Alipigwa na butwaa alipokuta kuwawageni waliokuja ni wazazi wake: baba yale, mama yake, dada zake pamoja na kaka zake. Alishtukanusura azimie. Hata hivyo, aliwakaribisha ndani.Baba yake alimwuliza alikokuwa mume wake. Mke alimjibu kwamba alikuwa ametoka dakikachache zilizopita. Baba alimwambia "Mumeo jana alitupa taarifa kuwa leo anatualika hapa tuje kulapamoja chakula cha mchana. Sasa vipi yeye ameondoka? Tendo hili si la busara." Mwanamke yulealishangaa kwa taarifa hiyo. Alianza kufikicha mikono yake huku akipigapiga mguu chini kwakuchanganyikiwa. Ilimbidi aingie ndani na kumpigia mume wake simu. Alimwambia, "Kwa ninihukuniambia kuwa wazazi wangu ndio wanaokuja?"Mume alimjibu, "Wazazi wangu na wazazi wako wote ni kitu kimoja, hawana tofauti."Mke alimwambia mumewe, "Leta chakula huku. Chakula kilichokuwepo ni kichache.Hakitawatosheleza."Mume alimjibu, "Mimi nipo mbali na hao si wageni. Watakula chochote kilichopo namna weweulivyokuwa ukitaka kuwalisha wazazi wangu." Mke alibabaika sana. Mikono yake ilitetemeka hukuakimwomba mumewe msamaha. Aliwaelezea wazazi wake yote yaliyojiri. Nao waliamuru kuwa wazaziwa mume watafutiwe siku ya kuwatembelea wana wao ili waandaliwe mlo.202504K C P E Revealed, 2020504

·31. Kulingana na aya ya kwanza, mumeA. alikumbushwa kuhusu ndugu zake namkewe.B. alijua kuwa mke angekataa kuwahudumiawagem.C. alinuia kuwatendea wema wakwe wake.D. alimwekea mkewe mtego ili amnase.32. Maneno yaliyosemwa na mke, "Sawa,Mungu akipenda", yanaonyeshaA. udhaifu wa mkeB. kutojali kwa mkeC. jinsi mke alivyomtegemea MunguD. uaminifu wa mke.33. Makala haya yamendhihirisha mke kuwa34. Methali gani isiyoweza kumrejelea mkekatika makala haya?A. Ndugu ni kufaana si kufanana.B. Mkuki mtamu kwa nguruwe kwabinadam uchungu:C. Mchimba kisima huingia mwenyewe.D. Kila mwamba ngoma, ngozi huivutakwake.35. Maneno 'itabidi uandae chakula' yanatoamaana zifuatazo isipokuwa20250436. ' . aibu isimfunike na kumzamisha·'yametumia fani gani ya lugha?A. ChukuB. lstiaraC. TashhisiD. Kinaya37. Hali ya mke kupata kwamba wageniwaliokuja walikuwa ni wazazi wake badalaya wazazi wa mume inaweza ikaelezewa kwanahau ipi? MkeA.B.C.D.alikula mwandealikula mwataalikula mukualikula mori38. Makala haya yameonyesha kuwa mumeA. aliwahusudu wazazi wa mkeweB. aliwastahi wazazi wa mkeweC. aliwahadaa wazazi wa mkeweD. aliwadhalilisha wazazi wa mkewe.A. mwenye tamaa, katiliB. mkakamavu, goigoiC. mwenda nguu, mchoyoD. mbinafsi, kaidiA. una hiari ya kuandaa chakulaB. ni lazima uandae chakulaC. huna budi kuandaa chakulaD. ni faradhi uandae chakula.539. Neno 'alimsaili' lina maana gani jinsililivyotumika katika kifungu?A. AlishangazwaB. AlimwulizaC. AlimtulizaD. Alimwagiza40. Kwa mujibu wa aya ya mwisho, si kwelikuwaA. huenda mume hakuwa mbali ilaalikasirishwa na tabia ya mkewe.B. mume alikuwa amegundua kuwa wazaziwa mkewe hawakuwa wageni palenyumbani.C. mke alitetemeka kuonyesha kujutia yalealiyoyatenda.D. mume alimwelewa mkewe na kumpanafasi nyingine.K C P E Revealed, 2020504

6Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali 41 - 50.Wakenya zaidi ya elfu kumi na tano walihusika katika ajali za barabarani mwaka jana. Kati yao elfu tatu namia nne walifariki huku wengine zaidi ya elfu sita mia sita wakipata majeraha mabaya. Jambo la kuhuzunishamno. Hata hivyo, imebainika kuwa huenda magari yaliua watu wengi zaidi mwakajana kuliko idadi hiyo iliyotolewana Mamlaka ya Usalama wa Barabarani. Utafiti umekuwa ukifanywa kila uchao. Wanasayansi sasa wan semakuwa moshi unaotolewa na magari yanayotumia mafuta ya dizeli huenda unachangia katika ongezeko la vifovinavyosababishwa na homa ya mapofu (nimonia).Watafiti kutoka chu,,1 kikuu kimoja walibaini kwamba hewa iliyochafuliwa na moshi wa mafuta ya dizeliinaweka watu katika hatari ya kup,1twa na maradhi ambayo ni hatari ya nimonia. Aidha, utafiti huo unasema kuwawatu wanaopumua hewa iliyo na moshi wa mafuta ya dizeli wanakuwa na uwezekano mkubwa wa kupatwa nanimonia ambayo husababishwa na bakhteria wanaojulikana kama 'Streptococcus pneumonia'.Bakhteria hao ndio husababisha maradhi ya nimonia na homa ya uti wa mgongo. Magonjwa haya huchangiakwa kiasi kikubwa vifo vya watoto wachanga walio chini ya miaka mitano. Kadhalika, husababisha vifo vyamaelfu ya watu wazima kote duniani. Takwimu zilizotolewa zinaonyesha kuwa tangu mwaka wa elfu mbili kumina tano, maradhi ya nimonia yamekuwa yakiongoza kwa kusababisha idadi kubwa ya vifo humu nchini. Licha yahayo, kulingana na ripoti kuhusu hali ya kiuchumi ya mwaka wa elfu mbili, kumi na nane iliyotolewa na Shirikala Takwimu Nchini, waliouawa na maradhi ya nimonia ni karibu mara nne kuliko waliofariki kutokana na ukimwi.U gonjwa wa nimonia uliua watu elfu ishirini na moja, mia mbili tisini na watano na elfu ishirini na mbili,mia nne sabini na watatu katika mwaka wa elfu mbili kumi na sita na elfu mbili kumi na tano mtawalio. Ni wazikama mchana kuwa magonjwa mengine yaliyoangamiza idadi kubwa mwaka wa elfu mbili kumi na saba nimalaria ulioua watu elfu kumi na saba, mia tano hamsini na watu elfu kumi na sita, mia tisa hamsini na watatu.Mnamo mwaka wa elfu mbili na kumi na nane, watu milioni moja na elfu mia nne walienda hospitalinikutibiwa nimonia na mwaka uliotangulia wa elfu mbili, kumi na saba, watu milioni moja na elfu kumi na saba.Watu milioni moja na elfu mia mbili waliitafuta matibabu ya nimonia katika hospitali kote nchini. Takwimu zawizara ya afya zinaoonyeha kuwa watoto elfu mia saba hutibiwa maradhi ya nimonia kila mwaka. Licha yatakwimu hizo zilizotelewa, jambo la kusikitisha ni kwamba karibu asilimia ishirini na tano hufariki kwa sababuhuchelewa kupelekwa hospitalini wanapougua maradhi hayo.Ripoti iliyotolewa na shirika moja lisilo la serikali mnamo mwaka wa elfu mbili kumi na saba, ilionyeshakuwa vipimo visivyotoa matokeo sahihi na uhaba wa dawa za kukabiliana na bakhteria ni miongoni mwa sababuzinazochangia katika ongezeko la vifo vinavyotokana na nimonia. Wanasayansi waliohojiwa walisema kuwaugonjwa huo ukigunduliwa mapema unatibika kwa dawa inayouzwa kwa shilingi mia mbili. Isitoshe chanjo yakukabiliana na maradhi ya nimonia ilianza kutumika humu nchini mnamo mwaka wa elfu mbili, kumi na mojakwa watoto wa kati ya umri wa wiki sita na kumi na nne.Lakini takwimu zilionyesha kuwa zaidi ya watoto elfu mia nne na kumi.na nane wa umri wa miczi kumi namiwili na ishirini na mitatu hawakupewa chanjo hiyo mnamo mwaka wa elfu mbilli kumi na saba. Vifo vilivyotokanana nimonia huenda vikaendelea kushuhudiwa humu nchini kwani takwimu zinaonyesha kuwa kiwango cha mafutaya dizeli yanayotumiwa humu nchini kinaongezeka kila mwaka.202504K C P E Revealed, 2020504

41. Kulingana na aya ya kwanza, imebainika kuwaA. wakenya takriban elfu kumi na tanowalihusika katika ajali za barabaranimwaka jana.B. wakenya zaidi ya elfu kumi na tanowalihusika katika ajali mwaka jana.C. wakenya zaidi ya elfu sita na mia sitawalijeruhiwa katika ajali za barabaranimwaka jana.D. utafiti umekuwa ukifanyika kila uchao ilikutambua idadi ya walioumia katika ajaliya barabarani.42. Ni kweli kuwa moshi unaotolewa na magariyanatumia mafuta ya dizeliA. umechangia katika ongezeko la ajalibarabarani.B. umeongeza maambukizi ya nimonia.C. yanawezekana kuwa umechangia katikaongezeko la vifo visababishwayo nammoma.D. umechangiwa na kukithiri kwa vifo vyahoma ya mapafu.lIliIj43. Neno 'walifariki' halimaanishi kuwaA. waliaga .JuniaB. walienda na ulele ngomaC. walifumwa na mvi wa manayaD. walienda nguu.44. Kifungu kimedhihirisha kuwa vifo vya watotoA. wachanga kwa kiasi kikubwahusababishwa na homa ya mapafu nahoma ya uti wa mgongo.B. wachanga walio chini ya miaka mitanohusababi ha maambukizi ya nimonia.C. wachanga walio juu ya miaka mitanohusababishwa na nimonia na homa ya utiwa mgongo.D. wachanga na watu wazima walio chini yamiaka mitano husababishwa na nimoniana homa-ya uti wa mgongo.45. Maneno 'ni wazi kama mchana'yametumiafani gani ya lugha?A. NahauB. ChukuC. TashbihiD. Tasfida202504746. Makala yameeleza kuwa watu waliouawamwaka wa elfu mbili kumi na tano kutokana.na mmoma mA. 21295B. 22473C. 17553D. 16953.47. '. asilimia ishirini na tano hufariki kwasababu huchelewa kupelekwa hospitalii. 'kauli hii inaweza ikaelezwa kwa rnethali ipi?A. Simba mwenda pole ndiye mla nyama.B. Fisi akimla muwele mzima funga mlango.C. Kifo cha wengi harusi.D. Akutanguliaye chanoni hukuzidi tonge.48. Kulingana na aya ya sita, ni kweli kuwaA. ongezeko la vifo vinavyotokana nanimonia husababishwa na ukosefu wadamu za kukabiliana na bakhteria.B. ukosefu wa dawa na vipimo visivyotoamatokeo ni sababu zinazochangiaongezeko la vifo vya nimonia.C. upungufu wa dawa na vipimo visivyotoamatokeo sahihi na sababu zinginehuchangia ongezeko la vifo vitokanavyona mmoma.D. vifo vinavyotokana na nimonia huchangiauhaba wa dawa na vipimo duni.49. Ongezeko la matumizi ya mafuta ya dizeliA. litaongeza matumizi ya magariB. linaweza likaongeza vifo vinavyotokanana mmomaC. limesababishwa na maambukizi mengi ya.ugonJwa wa mmoma.D. limechangia kutokea kwa ajali nyingi zabarabarani.50. Ili kupunguza vifo vinavyotokana namaambukizi ya nimoniaA. tunafaa kuburni vifaa vinavyotoa matokeosahihi.B. tunafaa kutafuta mikakati kabambe yakuzuia maambuk1zi ya ugonjwa wammoma.C. tunafaa kutafuta dawa za kutosha ili kutibu.ugonJwa wa mmoma.D. tunafaa kuimarisha usafiri ili wagonjwawafikishwe hospitalini mapema.K C P E Revealed, 2020504

Alitaka kujua kwa nini mkewe aliyasema hayo ilhali alikuwa amemweleza kuhusu wageni tangu siku iliyotangulia. Aliuliza kwa nini mke wake hakumwambia kuwa asingepika ilihali wazazi wake wangewasili baada ya muda mfupi. Basi mume ilimbidi aondoke pale nyumbani ili aibu isimfunik

Related Documents:

A.Wageni walifika asubuhi B.Miti hiyo itakatwa kwa shoka C.Mwalimu anafunza Kiswahili D.Wanafunzi wamefika shuleni j 21. Kutokana na nomirio ulezi tutapata kitenzi kipi? A.Malezi B.Lea C.Mzazi D.Mlinzi 22. Shairi len

The answers are lettered A. B. C and D. In each case only ONE of the four answers is correct. Choose the correct answer. 9. On the answer sheet the correct answer is to be shown by drawing a dark line inside the box in which the letter you . KCPE 2013 THE KENYA NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL . (Adapted from Oxford English Course. F.G .

past exam paper & memo n6 about the question papers and online instant access: thank you for downloading the past exam paper and its memo, we hope it will be of help to . we sell previous papers and memos for the subjects mentioned and the papers are between 2014-2019. the papers are

Cambridge Primary Checkpoint_Past Papers Past papers After each test series, you can download Cambridge Primary Checkpoint question papers and mark schemes: English (0844) Where insert texts are copyright, the inserts are not included below. October 2017 These papers are being prepared and will be uploaded soon. May 2017 English - May 2017 Question Paper 1(PDF) 698KB English - May 2017 Mark .

past exam paper & memo n4 about the question papers and online instant access: thank you for downloading the past exam paper and its memo, we hope it will be of help to . between 2014-2019. the papers are in pdf form and each pdf has a minimum of seven different papers. the years for the papers you are purchasing are also included on the website.

5.18 Bilingual translation dictionaries with 10% extra time 67 Chapter 6 Modified papers 69-76 6.1 Modified papers - an overview of the process 69 6.2 Braille papers 72 6.3 Modified enlarged papers 72 6.4 Reasonable adjustments - modified enlarged papers 73 6.5 Coloured/enlarged paper (e.g. A3 unmodified enlarged papers) 73

We take great pleasure in welcoming you to the 37th IEEE Sarnoff Symposium being held in Newark, New Jersey, USA. This year, we received 75 long papers and 12 short papers for review, and accepted 32 long papers and 2 short papers for presentation at the symposium. The acceptance rate was 42.67% for long papers 16.67% for short papers.

Accounting theory also includes the reporting of account-ing and financial information. There has been and will continue to be exten - sive discussion and argumentation as to what these basic assumptions, definitions, principles, and concepts should be; thus, accounting theory is never a final and finished product. Dialogue always continues, particularly as new issues and problems arise. As .