Jibu Maswali Yote Kwenye Nafasiulizoachiwawazibaada Ya .

5m ago
259 Views
3 Downloads
357.25 KB
5 Pages
Last View : Today
Last Download : 1m ago
Upload by : Melina Bettis
Share:
Transcription

FORM 2 MID TERM 2 2020KISWAHILIJibu maswali yote kwenye nafasiulizoachiwawazibaada ya kila swali.A. UFAHAMU:Soma makalayafuatayokishaujibu maswali yanayofuatia. Michuano ya mechi yakutafutatimubingwa katika mchezowakabumbubaraniAfrikamwaka wa 2004ilifanyikanchini Tunisia, iliyojanibu ya Afrikakaskazini. Mjimkuuwa Tunisia, Tunisulikuwamahali pa kilaaina za shamrashamra kwa wenyeji na wageni. Michezo hiihuandaliwabaada ya miaka miwili nahuchukuasikukadhamtawalia ingawa panawezakuwa na siku za mapumziko. Mjiulinadhifishwananyugaziliandaliwa kwamichuanohiyo. Michuano hii ilishirikisatimukumina sita. Mataifa yote thelathinina sitahayakushiriki yote kwa sababu ya kushindwa au nyinginezo.Timuzinazoingia katika kinyang’anyirohichohupatikanabaada ya mashindano yamchujo. Hapo, nchihuchezamechi za nyumbani nazile za ugenini. Timuhizihuwakatika makunditofauti.Washindi kutoka kilakikundihushirikimkondowapiliambaohuwawa mchujo wa mechi za nyumbani na ugenini.Madhumuni ya ataifawashiriki, kuburudisha, kuletaufahamikiano katikaNyanja za utamaduni, mitindo ya mavazi, vyakulanakadhalika. Maranyinginenimawindo ya timu kutoka njehasamataifa ya lioshiriki, wamowengiwanaochezeatimu za nchi zaUlayaambakowanapewafulusinyingi.Jambo hili hupokonyabara laAfrikatalantazake! Ukweli ni kwamba vilabuvyanjehuwalipawachezajivizuri navinausimamizi bora kulikoilivyo katika nchinyingibaraniAfrika.Usimamizimbayahufanyahali ya michezokuzorota katika nchi zaAfrika.Kuepukananajambo hili lazima mashinanikuwe na vilabuvinavyosaidiwana kamai au shirikalinalohusinana na mchezohuu. Piani bora kuazishakambi zavijanachipukiziilikupatawachezajiwatokaoinuatimu ya taifa.Michezo hii ya baraniAfrikahuwakigezo cha ujuzinaumahiri wa wachezaji katikakusakatakabumbu. Aghalabuwachezajihutuzwakutokananajuhudizao katika ngazi hiiya kilele. Kwa mfano, mchezajialiyefungamabaomengi aualiyeonyeshaumahiriwakipekee katika michuanohiyohutuzwamedali.Michuano hii huiletanchiandalizifaidanyingi. Kwa mfano, kuborekakwanjia zamawasiliano, kupatawageniwanaotaliimiongonimwa mengine. Baadhi yaCompiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: [email protected] ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

wagenihasamakochahuja kufanya ujasusi juu ya miambawabarahili ambaowatamenyananao katika michuano ya kuwaniakombe laduniainayofanyikabaada ya kilamiakaminne.Nidhamunijambolinalotiliwamaanani sana katika shughuli hiyo. Wakatimwinginekwasababu kadha wa kadha za kinidhamu, mchezaji wa timu fulani huwezakurudishwanyumbani. Miongonimwamakosa haya ni kutumia dawa za kuongezeamisulinguvu,kupigana na ulevi.Mwishowakinyang’anyirohiki Tunisia iliibukatimubingwa nailitunukiwakombe, medali na kitita cha pesa.1. Maswali:(i) Taja faida tatu ambazo nchiandalizi ya mechihizi za kandandahupata.(alama 2)(ii) Kwa nini mchezajihufukuzwa katika kampi?(alama 2)(iii) Sababu zipihufanyawagenikujakutazamamichezo hii?(alama 2)(iv) Timuinayoibukabingwahupewa nini?(alama 2)(v) Eleza maneno haya kamayalivyotumiwa katika taarifa.(a) Fulusinyingi –(alama 4)(b) Kabumbu –(c) Shamrashamra –(d) Kuwania –2. SARUFI(a) Sautini nini?(alama 2)Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: [email protected] ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(b) Kuna sauti aina ngapi? Zitaje.(alama 2)(c) (i) Silabi ni nini?(ii) Neno hili linasilabigani?(labda) –(iii) Andika sentensi hii KKII(d) Akifishasentensi hii:Ann: Musa musaunaitwamusa na nani Ann na mama(alama 3)(e) (i) Eleza maana ya mofimu(alama 1)(ii) Neno hili linamofimungapi? (mwanahewa)(iii) Mofimuzikongapi? Andika mfanowakilamofimu.(f) Hizininomino za ainagani?(i) ‘Oduor –(alama 1)(alama 1)(alama 4)(ii) ‘Miti –(iii) ‘Mchanga –(iv) ‘Jeshi–(g) Fafanua vivumishivilivyopigwamstari.(i) Mtotomwerevuamefuzu(alama 3)(ii) Mahaliganihapa –(iii) Baba yangunihuyu -Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: [email protected] ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(h) Tumiakihusishikifaacho kutoka jedwalikujazapengo (kumbe, ala,alhamdulilah)(alama 1)Nilikufikiria kuwa Rafikimwema weweniaduimkubwa.(i) Jazaviambishivifaavyo:-(alama 4)(i) Huyundi aliye chunguzaulipotupamawe.(ii) Huund mkuki li rushwa.(J) Pambanuasentensi hii kwanjia ya mstari.Mwanafunzimwerevuhusomavitabuvingi.(alama 2)(k) Andika katika hali ya a 2)3. ISIMU JAMII (ALAMA 6)(a) Eleza maana ya lugha.(alama 3)(b) Toa sifa tano za lugha .(alama 4)(i)(ii)(iii)(iv)(v)4. FASIHI SIMULIZI (ALAMA 6)(a) (i) Eleza maana ya kitendawili.(alama 2)Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: [email protected] ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(ii) Andika dhimazozotenne za vitendawili. (alama 4)Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: [email protected] ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

KISWAHILI Jibu maswali yote kwenye nafasiulizoachiwawazibaada ya kila swali. . ulikuwamahali pa kilaaina za shamrashamra kwa wenyeji na wageni. Michezo hii huandaliwabaada ya miaka miwili nahuchukuasikukadhamtawalia ingawa panaweza kuwa na siku za mapumziko. . Mataifa yote thelathinina sita haya