SEIIEMU YA KWANZA: LUGHA - Kenyan Exams

2y ago
213 Views
2 Downloads
561.79 KB
7 Pages
Last View : 13d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Asher Boatman
Transcription

www.kenyanexams.com10.5KISWAHILI SEHEMU YA KWANZA: LUGHATHE KENYA NATIONAL EXAMINATIONSCOUNCILKCPE 2012it-KISWAHILISEIIEMU YA KWANZA:LUGHAMuda: Saa 1 dakika 40MAAGIZO KWA WATAHINIWASOMA KWA MAKINI MAAGIZO YAFUATAYO:II.Umepewa kijitabu hiki cha maswali na karatasi ya kujibia. Kijitabu hiki kina maswali 50.2.Ukiisha kuchagua jibu lako, lionyeshe katika KARATASI YA MAJIBU na wala sio katika kijitabu hik.i cha maswali.3.Tumia penseli ya kawaida.4.Hakikisha ya kwamba umcandika yafuatayo katika karatasi ya rnajibu:NAMBA YAKO YA MTIHANIJINALAKOJINA LA SHULE YAKOJINSI YA KUTUMIA KARATASI YA MAJIBUDAY2Wednesday-14/11/201211.00 am- 12.40 pm5.Kwa kuchora kistari katika visanduku vyenye narnba zinazokuhusu, onyesha namba yako kamili ya mtihani (yaaninarnba ya shule, na zile namba tatu za mtahiniwa) katika sehemu iliyotengwa mwanzo wa karatasi ya rnajibu.6.Usitie alarna zozote nje ya visanduku.7.Iweke safi karatasi yako ya majibu na usiikunje.8.Kwa kila swali l - 50 umcpewa rnajibu manne. Majibu hayo yameonyeshwa kwa herufi A, B, C, D. Ni jibu MOJA tukati ya hayo manne ambalo ni sahihi. Chagua jibu hilo.9.Kwenye karatasi ya majibu, jibu sahihi lionyeshwe kwa kuchora kistari katika kisanduku chenye herufi uliyochaguakuwa ndilo jibu.Mfano:Katika kijitabu cha maswali:21. Chagua jibu lenye ala za muziki pekee.A. filirnbi, udi, mvukuto, chapuoB. njuga, tari, kinubi, fidlaC. harimuni, marimba, rnsondo, rnalebaD. siwa, zeze, upatu, nembo.Jibu sahihi ni BKatika karatasi ya majibu: (AJ[BJ(CJ(DJ -(AJ(BJ(CJ(DJ -[AJ(91(CJ(DJ -(AJ(BJ(CJ(DJ -(A](BJ(CJ(DJKatika visanduku vinavyoonyesha majibu ya swali namba 21, kisanduku chenye herufi B ndicho kilichochorwakistari. - - -I 0. Chora kistari chako vizuri. Kistari chako kiwe cheusi na kisijitokeze nje ya kisanduku.11. Kwa kila swali, chora kistari katika kisanduku kimoja tu kati ya visanduku vinne ulivyopewa.Kijitabu hiki cha maswali kina kurasa 7 zilizopigwa chapa.902504 The Kenya National Examinations Council, 2012111aFUNGUA UKURASA

www.kenyanexams.comMaswali 1 mpaka 15.Soma vifungu vifuatavyo. Vina nafasi 1 hadi 15. Umepewa majibu manne hapo. Chaguajibu lifaa/ozaidi kati ya yale uliyopewa.Kiswahili ni mojawapo ya lugha t wazungumz.aji wengi. Lugha ya Kiswahili l zama zaukoloni.1. Waafrikadhidi ya wakoloni.Hatua ya kukifanya Kiswahili lugha rasmi nchini Kenya i hadhi ya lugha husika.ihapoawali, tunatarajia Kiswahili kutumiwa .6. na Kiingereza katika shughuli za kiofisi. Hata hivyo, .J ;patakuwa na haja ya kutafsiriwa kwa makala mengi kwa Kiswahili.c.wenyeB.D.ilikuwa imetumiwaB.D.kuwahamasisha na kuwalinganishaimeitia forac.imeikwezaD.imeivika kilembaB.Bighairi yac.Mbali naD.Kinyume naB.mkabalac.sadaktaD.sambambahakuna msiba usiokuwa na mwenziweB.hakuna marefu yasiyokuwa na nchahakuna bamvua lisilo usubiD.hakuna kubwa lisoshindwa1.A.yen ye2.A.ingekuwa imetumiwac.ingekuwa ikitumiwaA.kuwatambulisha na kuwaunganishac.kuwadumisha na kuwajenga4.A.imeienezaB.5.A.Licha ya6.A.mtawalia7.A.C.3.Mtoto ana hakiB.L .li., na kumwezeshaD.chenyeilikuwa ikitumiwakuwastawisha na kuwaJenga.2. vizuri ili kuifaa jamii .1!L . Tabia ya mtoto .lL na jamii,ni zao la jamii. Jl. , mtoto ana haki ya lishe bora .U. nguvu,Anastahilihivyo tunaweza kudai kuwa mtotoyaani,zenyekujikinga na maradhi kama vile 15 . Ugonjwa huu husababishwa na kulachakula ambacho kina upungufu wa afuraB.utapiamloc.suruaD.tetekuwanga902504112

www.kenyanexams.comKutoka swa/i la 16 mpaka 30, chaguajibu lililo sahihi.16.17.18.19.Maneno yafuatayo yanafuatana vipi katika kamusi?(i) muhibu(ii) muhtasari(iii) muhali(iv) muhulaA. (iii), (ii), (i), (iv)B. (iii), (i), (ii), (iv)C. (iv), (i), (ii), (iii)D. (iv), (ii), (i), (iii).Umoja wa: "Nywele zao ndefu ziliwavutia," ni:A. Nywele yake ndefu iliwavutia.B. Nywele zake ndefu zilimvutia.C. Unywele wake mrefu uliwavutia.D. Unywele wake mrefu ulimvutia.Chaguajibu lenye nomino zilizo katika ngeli ya1-1 pekee.A. kahawa, fedha;B. chumvi, chupa;C. mali, chai;D. sukari, mvua.Nijibu lipi lenye maelezo sahihi?A. Muundi ni sehemu ya mkono kuanzia beganihadi kwenye kiwiko.B. Kitengele ni sehemu ya mwisho ya mkonoyenye vidole.C. Nyonga ni sehemu yajuu ya kiuno.D. Paji ni sehemu yajuu ya kichwa.23. % kwaA.B.C.D.24.Tikiti, limau na fenesi ni matunda ilhali wimbi,mahindi na mtama ni:A. miti;B. vyakula;C. nafaka;D. mbegu.haijauzwa tena.haikuuzwa tena.haijauzwa tena.haikuuzwa tena.Onyesha sentensi yenye kielezi cha mahali.A. Hukimbizana mara kwa mara.B. Wanafunzi watafuzu mwakani.C. Kambo alisafiri kwa gari.D. Tulielekezwa pembezoni.27.Kiambishi 'ka' katika sentensi: "Alienda shuleniakasome Kiswahili;" kinaonyesha:A. kufuatana kwa matukio;B. kulazimika;C. kusudi;D. kutegemeana kwa matendo.28.Chagua kundi linaloonyesha kitenzikilichoundwa kutokana na kivumishi.A. Mvumilivuuvumilivu;B. Mwarninifuarninika;C. Mapishipikika;D. Wacheshiucheshi.29.Kitara ni upanga mwembamba wa kuongozeagwaride. Kitara vile vile ni:A. sehemu iliyotengenezwa kukaushia mbegu;B. chombo kitumiwacho kufungia mlango;C. nazi changa arnbayo haijawa dafu;D. sehemu inayopandwa mimea au miche.30.Chagua sentensi ambayo imetumia 'na' karnakiunganishi.A. Wafanyakazi wote warneitwa na nokoashambani.B. Wafanyakazi waliokuja wanajulikana nanokoa wao.C. Wafanyakazi na nokoa wao wanalimasharnba.D. Wafanyakazi walikuwa na matumaini yakumwona liwaisiyonunuliwaisiyonunuliwa26.kuuza;Chagua kinyume cha: 'Wageni waliwasili kablaya eropleni kupaa.'A. Wenyeji waliondoka baada ya eropleni kutua.B. Wenyeji waliondoka kabla ya eropleni kutua.C. Wageni waliondoka kabla ya eropleni kutua.D. Wageni waliondoka baada ya eropleni kutua.kwa: "Nyungu iliyonunuliwa iliuzwaNi jibu lipi ambalo si aina ya shairi?A. kibwagizo;B. tathlitha;C. ngonjera;D. tarbia.kutangaza;21.Kukanushatena," ni:A. NyunguB. NyunguC. NyunguD. Nyungu25.20. Hisani ni kwa wema na kunadi ni kwa:A.B.C.D.maneno ni:sudusi sita;tusui sita;tusui tisa;sudusi tisa.902504FUNGUA UKURASA113

www.kenyanexams.comSoma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali 31 mpaka 40.Kuna aina mbili kuu za misitu. Ipo ile ya kiasili kama vile Msitu wa Karura na Msitu waMau. Hali kaclhalika, ipo misitu ya kupandwa kama ile ya Kinale na Webuye. Misitu ni hazinakubwa kwa jamii yoyote ile. Kila mwanajamii anapaswa kujivunia misitu.Misitu husheheni miti ya aina nyingi ambayo, pamoja na kuwa makazi ya wanyama,hutoa vyakula kama vile matunda na majani ambayo huwafaidi binadamu na viumbe wengine.--·Bila misitu binadamu na wanyama wangeangamia.Misitu ni kivutio cha watalii. Watalii kutoka ndani na nje ya nchi huzuru misitu na mbugambalimbali za wanyama kuajabia uzuri wake. Watalii hawa hulipa fedha za kigeni ambazohutumiwa kuanzishia miradi ya kiuchumi kama vile kustawisha miundomsingi.Fauka ya hayo, misitu husafisha hewa n a kurembesha manclhari wanamoishi binadamu.Rangi ya kijani kibichi na maua yenye rangi tofautitofauti huyafanya mazingira kupendeza hatayakitazamwa kwa mbali. Manclhari yasiyo na miti hayakosi urembo tu, bali huwa wazi kiasikwamba hata mapaa ya majengo yaliyo hapo wakati mwingine hupeperushwa na upepo mkali.Vipindi virefu vya jua huwanyima viumbe starehe na huweza kusababisha saratani yangozi kwa binadamu. Miti hufanya vivuli ambavyo huwakinga watu na wanyama dhidi ya mialeya jua. Isitoshe, si ajabu kuwa mahali ambapo pana miti mingi kwa kawaida hupata mvua hatawakati usio wa majira ya mvua kwingineko.Sekta ya tiba imefaidika si haba kutokana na miti. Matabibu wa kienyeji na hata wa kisasahutumia mizizi, majani na magome ya miti kutengenezea dawa. Miti kama vile mwarubainihutibu magonjwa mengi. Hivi sasa magonjwa kama vile bolisukari, shinikizo la damu na ugonjwawa figo yameweza kudbibitiwa kwa kutumia dawa zinazotokana na miti. Inasemekana kuwahata nyoka· humtibu nyoka mwenzake kwa majani !Miti hutumiwa viwandani kutengenezea bidhaa kama vile karatasi na samani. Viwandahivi hutoa ajira kwa maelfu ya raia, hivyo kupunguza makali ya uhaba wa nafasi za kazi nchini.Ni wazi kuwa uhifadhi wa misitu una manufaa tumbi nzima kwa binadamu. Hata hivyo,binadamu mwenyewe ndiye anayeiangamiza misitu yenyewe. Watu wenye mate ya fisi wamekatamiti kiholela kwa ajili ya kupata kuni na kuchomea makaa ya kuuza. La kusikitisha ni kwambawatu hawa hawadiriki kupanda miti mingine kufidia ile waliyoikata. Wengine, kwa kutojuawanajipalia makaa, hupanda miti ambayo inakausha vyanzo vya maji na kuchangia kueneakwa kasi kwa jangwa. Hali kaclhalika, wapo warina asali ambao katika juhudi zao za kurinahusababisha kuteketea kwa misitu.Kifungu cha katiba kinachohusu mazingira na mali ya asili kinasisitiza suala la uhifadhiwa mazingira. Kila mwanajamii basi ana jukumu la kuilinda misitu na kuepuka mazoea ambayoyanaiangamiza, la sivyo tutakuwa tunajichimbia kaburi.902504114

www.kenyanexams.com31. Kulingana na kifungu, mchango wa utalii37. Ni jibu lipi ambalo si sahihi kulingana nakwa jumla ni:A. kuongeza fedha za kigeni kwenye mbuga;B. kuboresha miundomsingi kwenye misitu;C. kuimarisha uchumi wa nchi;D. kuwekeza miradi ya nchi.32.Chagua hasara za kutohifadhi misitu kwamujibu wa kifungu.A. kunyauka kwa majani, kupoteza urembo;B. kuporomoka kwa majengo, kupotezamvuto;C. mahali pakavu, kuchukiza kwa mazingira;D. upepo mkali, kunyauka kwa maua.aya ya nane?A. Ukataji miti unapaswa kuandamana naupandaji miti upya.B. Shughuli yenye faida huweza kuishiakuwajanga.C. Ukosefu wa maarifa unawezakusababisha hasara.D. Jaribio la kupanda miti linastahili- kuepuka panapotolewa maji.38. Kulingana na aya ya mwisho:A. Mazingira huhifadhiwa kupitia kwakifungu cha katiba.B. Mwanajamii hujiletea majuto kwakutoepuka mienendo isiyokubalika.C. Mazingira huharibiwa na hulka zisizofaaza binadamu.D. Mwanajamii anastahili kufuatamshawasha wa katiba.33. Ni jibu lipi sahihi kulingana na kifungu?A. Dawa za kienyeji huponya kabisamagonjwa mengi sugu.B. Kuhifadhi misitu kunaweza kuchangiakuongezeka kwa nafasi za kazi.C. Mahali penye miti mingi hupata mvuainayotegemewa kila mara.D. Kuwa na vipindi vya jua kali kunawezakusababisha saratani.39. Kwa mujibu wa taarifa, 'yamewezakudhibitiwa',A. YamewezaB. YamewezaC. YamewezaD. Yameweza34. Kifungu kinasema kuwa miti hutumiwa:A.B.C.D.kutengenezea kawi na kuwasetiri viumbe;kuunda samani na kuhifadhi maji;kusafishia hewa na kufanikisha majengo;kuvuta mvua na kuburudisha viumbe.ina maana:kuondolewa;kuzuiliwa;kutibiwa yote;kupunguzwa yote.40. Maana ya, 'hawadiriki', kulingana nakifungu ni:A. hawawahi;B. hawaambulii;C. hawarauki;D. hawawazii.35. Maana ya methali, "Mwiba wa kujichomahauambiwi pole," imedhihirika katikakifungu kwa vile:A. Watu ndio wanaojisababishia hali mbayaya ukame kwa kupuuza umuhimu wamiti.B. Watu ndio wanaojisababishia hali mbayaya kiangazi kwa kupuuza umuhimu wami situ.C. Watu ndio wanaojikaushia visima kwakupanda miti isiyofaa.D. Watu ndio wanaojichomea misitu kwakurina pasipostahili.36. Mwandishi anaonyesha kuwa kichocheokikuu cha kukata miti ni:A. kuwa na haja ya kuuza makaa;B. kuwa na hamu ya kupata asali;C. kuwa na tamaa ya mali;D. kuwa na mahitaji ya kuni.FUNGUA UKURASA902504115

www.kenyanexams.comSoma kifungu kifaatacho kisha ujibu maswali 41 mpaka 50.Tenga alilelewa katika mazingira yaliyojaa neema, furaha na uchangamfu. Wazazi wake BwanaMtanga na Bi. Zuhura walikuwa wakwasi wa kutajika katika janibu hizo, si kwa mali tu bali kwa nyoyozao zilizokuwa tayari kila mara kuwakirimu wanakijiji kwa lolote.Bwana Mtanga na Bi. Zuhura hawakulala maskini wakaamka matajiri. Mtanga alianza kazikama tarishi katika Makavazi ya Umma. lngawa hii ilikuwa kazi ya kijungu jiko mekoni, Mtangahakwenda nguu; alijitahidi kwa vyovyote vile kujinyanyua. Akajisajili kwa kozi mbalimbali zausimamizi wa makavazi na kuhitimu vyeti tofautitofauti vikiwemo stashahada na shahada katika masualaya usimamizi wa mashirika ya umma. Jitihada zake zikazaa matunda. Akapandishwa cheo mwaka baadaya mwingine hadi akawa msimamizi wa Makavazi ya Umma. Baadaye akaajiriwa na shirika la MsalabaMwekundu kama Mkrurugenzi wa Huduma za Kijamii.Bi. Zuhura naye, baada ya kuhitimu masomo ya shule ya upili, alisomea taaluma ya ukutubi nabaadaye kuajiriwa katika maktaba ya chuo kikuu cha Tungama. Hapa Zuhura alitambua kuwa amepatanafasi adimu ya kuutia makali ubongo wake. Akajisajili kwa kozi ya ukutubi na kuhitimu shahada yadaraja la kwanza katika taaluma hii. Wakuu wake kazini wakavutiwa na juhudi zake na kumpandishacheo, akawa Mkutubi Mkuu.Wakati Bwana Mtanga na Bi. Zuhura walipokuwa wakijiendeleza kitaaluma na kiuchumi, Tenganaye alikuwa anajikulia tu kama uyoga bila mpalilizi. Nyadhifa za wazazi wake zilimpokonya Tengaushirika wa wazazi wake. Ile michezo yake na wazazi wake kabla ya chajio, yale matembezi ya kilaJumapili . yote yakatoweka. Baba na mama wakawa wanarudi nyumbani baada ya saa nne usiku wakiwawametoka kwenye masomo ya kuupigia msasa ujuzi wao; Jumamosi na Jumapili wana majadiliano nawanafunzi wenzao. Nyakati nyingine wazazi wote wawili walikuwa kwenye safari za kikazi. Nyakatikama hizi Tenga angepelekwa kwa shangazi ambako angekaa na kijakazi wake kwa wiki tatu; anaendashuleni na kurudi huko huko kwa shangazi.Wahenga walisema kwamba, akosaye la mama hata la mbwa huamwa. Pengo la malezi lililoachwana wazazi wa Tenga lilijazwa na walezi wengine, wakiwemo vijakazi, shangazi, marika, walimu, majiranina hata vibonzo! Tenga alijifunza mengi kutokana na walezi hawa. Alifunzwa namna ya kupiganamiereka, kutumia ujanja kujitoa katika matatizo, kutumia maneno makali kujihami alipochokozwa nawenzake, pamoja na mitindo mbalimbali ya kujinadhifisha.Mafunzo ambayo Tenga aliyapata, hasa kutoka kwa marika, yaliutia ila mwenendo na uhusianowake na walimu. Darasani akawa haishi kuvuruga masomo kwani kila mara angetenda kituko ilimwalimu na wanafunzi waubaini uwepo wake. Vituko hivi vilisababisha kudorora kwa alama zake.Walimu wakajaribu kuurekebisha utundu wake Iakini zikawa kama juhudi za mfa-maji. Tabia yaTenga haikuwa ufa tena bali ukuta ambao ulihitaji kujengwa upya. Mkuu wa Idara ya Ushaurina Uelekezaji shuleni ilibidi ahusishwe. Akamhoji Tenga na kupambaukiwa kuwa vitendo vya Tengavilikuwa na asili ambayo ilihitaji kuchunguzwa. Akampendekezea mwalimu wa darasa kuwashirikishawazazi katika kutafuta mbinu za kumwelekeza Tenga zaidi.Bwana Mtanga na mkewe Zuhura walipoambiwa kuhusu hali ya Tenga walipigwa na bumbuazi.Hawakuwa wameyawazia madhara ya kutoshiriki kikamilifu katika malezi ya mtoto wao. Mwalimualiwaambia ya kwamba nusura Tenga aingizwe na wenzake katika matumizi ya dawa za kulevyalakini akakataa na kusema kuwa hata babake hakujaribu kutumia kileo chochote. Wazazi walionahaya na kujilaumu. Hata hivyo walishukuru ya kwamba walimu waliyagundua matatizo haya kablahayajaiangamiza familia yao.902504116·,

www.kenyanexams.com41. Chaguajibu sahihi kwa mujibu wa kifungu.46. Kwa mujibu wa kifungu, Idara ya Ushauri naBwana Mtanga na Bi. Zuhura:A. walimlea Tenga kwa kushauriana,walikuwa mashuhuri;B. walimlea Tenga kwa kuchangamkiana,walikuwa maarufu;C. waliingiliana vyema na majirani,walipenda kusaidia;D. waliingiliana vyema na walimu,walipenda kutoa.Uelekezaji inasaidia katika malezi kwa:A. kuwahoji vijana na kuwaita wazazi wao;B. kutambua matatizo ya vijana na kuonyeshambinu za kuwashirikisha;C. kutambua matatizo ya vijana na kuangaziambinu za kuyasuluhisha;D. kuwahoji vijana na kuwaambia matatizoyao.47. Kulingana na aya ya mwisho, wazazi wa42. Utajiri wa wazazi wa Tenga ulitokana na:Tenga:A. Hawakujua umuhimu wa kuishi karibu namtoto wao.B. Walipuuza umuhimu wa ushirkawa karibu na walezi wao.C. Walipuuza umuhimu wa ushirikawa karibu na mtoto wao.D. Hawakujua umuhimu wa kuishi karibu nawalezi wao.A. uwajibikaji wao katika shughuli zao;B. kupata vyeo katika madarajatofautitofauti;C. kupata shahada na stashahadambalimbali;D. uwajibikaji wao katika taaluma zao.43. Wazo kuu linalojitokeza katika aya ya one nikwamba:A. Jambo lolote likifanywa bila ushirikianohuweza kuleta madhara.B. Jambo lolote likifanywa bila kipimohuweza kuleta madhara.C. Jambo lolote likifanywa bila utulivuhuweza kuleta madhara.D. Jambo lolote likifanywa bila mtazamohuweza kuleta madhara.48. Chagua jibu linaloonyesha sifa za Tenga.A. mcheshi, mwenye kupenda wazazi;B. mwenye mapenzi ya dhati, anayetafutakushirikishwa;C. mchangamfu, mwenye kupenda unadhifu;D. mwenye msimamo imara, anayetafutakutambuliwa.49. Kisawe cha, 'hakwenda nguu,' ni:44. Kifungu kinaonyesha kuwa ukosefu wamalezi bora husababisha:A. kupigana miereka daima iii kupatamaslahi;B. kudhoofika kwa maadili;C. kuharibu masomo darasani iii kuonekanakote;D. kuharibika kwa urafiki.A.B.C.D.hakujitia kapuni;hakujitia hamnazo;hakufa moyo;hakufa kikondoo.50. Maana ya, 'kujihami', kwa mujibu wakifungu ni:A. kujitetea;B. kujinasua;C. kujihadhari;D. kujizatiti.45. "Tabia ya Tenga haikuwa ufa tena ballukuta ambao ulihitaji kujengwa upya."Ina maana:A. Tabia ya Tenga ilikuwa imeharibikakabisa kiasi cha kuhitaji kurekebishwakikamilifu.B. Tabia ya Tenga ilikuwa imeharibikakabisa kiasi cha kuhitaji kushauriwakikamilifu.C. Tabia ya Tenga ilihitaji kushughulikiwakikamilifu.D. Tabia ya Tenga ilihitaji kutambuliwakikamilifu.902504117

patakuwa na haja ya kutafsiriwa kwa makala mengi kwa Kiswahili. 1. A. yen ye B. zenye c. wenye D. chenye 2. A. ingekuwa imetumiwa B. ilikuwa imetumiwa c. ingekuwa ikitumiwa D. ilikuwa ikitumiwa 3. . C. Wageni waliondoka kabla ya eropleni kutua. D. Wageni waliondoka baada ya eropleni kutua. 20. Hisani ni

Related Documents:

inafuata mchango wa baadhi ya wanaisimu wa lugha ya Kiingereza, Kiarabu na Kiswahili walivyobainisha uwepo wa kategoria ya nomino (majina) katika lugha hizi. 1.1.2 Majina Katika Lugha ya Kiingereza Wataalamu mbalimbali wa lugha ya kiingereza wamebainisha kuwepo kw

Kukuza lugha. Aghalabu tungo zote za fasihi hutumia lugha. Isitoshe, fasihi hutumia mbinu nyingi za lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na ukwasi wa lugha. Kuhifadhi mila, tamaduni na itikadi za jamii. Aghalabu kazi za fasihi (hasahasa Fasihi Simulizi) huambatanishwa na desturi mbalim

Legacy currency's ISO currency code AOR Conversion rate 1,000,000 readjusted kwanza 1 kwanza; with effect from 13 December 1999 Currency history 20 January 1954: Introduction of the Angolan escudo; conversion rate: 1 Angolar 1 Angolan escudo 8 January 1977: Introduction of the kwanza (AOK); conversion rate: 1 Angolan escudo 1 kwanza

KI 214 UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI MBINU ZA UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI I. Malengo ya ufundishaji lugha kwa wageni Lengo kubwa ni kwamba ili mwanafunzi aweze kujua lugha hiyo kwa stadi zote za lugha ile. Stadi za lugha ni 1. Kusikiliza 2.kuzungumza

iii) Sauti iv) Ishara za mwili. Ni mfumo wa sauti za nasibu zinazotumiwa na wanadamu katika mawasiliano. Sifa za lugha. i) Hakuna lugha iliyo bora kushinda zingine. –zote ni sawa. ii) Kila lugha ina sifa zake. iii) Lugha hubadilika kutegemea mazingira, aina ya

kila lugha hutumia mfumo fulani wa sauti mahususi katika lugha hiyo pekee. 5. Fonetiki - huchunguza sauti zinazotamkwa na binadamu bila kuzingatia lugha yoyote. 6. Mofolojia - (au sarufi maumbo) ni tawi la isimu linalochunguza maneno ya lugha fulani, aina

KWANZA-KIDATO CHA PILI -KISWAHILI KIDATO 2 Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748 E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com UFAHAMU (ALAMA 15) Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuatia. Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona .

The IELTS Bridge, Dehradun 07302390901 46 D Pathribagh, near SGRR PG College Dehradun Email-theieltsbridge@gmail.com Web- www.theieltsbridge.com Transcript Tips for IELTS Listening Map Labelling 1. Read the instructions carefully - this is so you know what you need to do and the maximum number of words and / or numbers you can use – in this case it is no more than two words. 2. Know the .