Mwalimuepublishers@gmail. CHOZI LA HERI

2y ago
729 Views
37 Downloads
382.13 KB
14 Pages
Last View : 5d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Lucca Devoe
Transcription

mwalimuepublishers@gmail.CHOZI LA HERIPOSSIBLE KCSE QUESTIONSFOR VIDEOS & MARKING SCHEMESCALL 0705525657Page 1FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.1) "Mwanangu, usimpake tope baba yako. Amekulea kwa miaka yote hii kamamwanawe, japo kwa kweli hakuzaa wewe.”(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)(b)Kwa kurejelea wahusika wengine wanne wa kike katika riwaya,thibitisha matatizo manne yaliyowakumba katika jamii ya Chozi laHeri. (alama 4)2) "Haiwezekani! Hili haliwezekani! Itakuwa kama kile kile kisa cha yulekiongozi wa kiimla wa kike; yule anayesimuliwa katika visakale vya majiranizetu.”(a)Eleza mkutadha wa dondoo hili. (alama 4)(b)Onesha jinsi wahusika wa kike katika riwaya walivyojitahidi kuletamabadiliko yenye(c)manufaa katika nchi ya Wahafidhina. (alama 16)3) ."Ni kweli watu wana haki ya kusamehewa, kwani hakuna binadamu hatammoja aliyekamilika." Kwa kurejelea riwaya, jadili kauli hii.4) "Hakujali kuwa amemwacha mwenzake akitapatapa na maumivu yakusalitiwa." Onesha vile mwandishi ameshughulikia maudhui ya usaliti.Page 2FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.5) ."Mtu anayekusikiliza atadhani kwamba umekulia katika mazingira sawa naSisi wanyonge ambao uwepo wetu unaamuliwa na matajiri."(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)(b)Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika na msemaji wa kauli hii.(Alama 4)(c)Fafanua sifa za mrejelewa katika kauli hii. (Alama 12)6) "Wakati wa mabadiliko umefika. Wimbi la mabadiliko limevamia jamiiyetu." Jadili mabadiliko yaliyotokea na athari zake katika nchi yaWahafidhina.7) Ndio. Sijui kwa nini watu hawa hawajifunzi kutokana na majangayanayowakumba wenzao.(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)(b)Onesha changamoto zilizomkabili msemaji na wenzake katikakuwashughulikia wanaolengwa katika siku za awali. (Alama 6)(c)Fafanua majanga kumi yanayowakabili watu wa rika lawarejelewa katika dondoo. (Alama 108) "Ni kweli binti yangu, kwa kutumia falsafa hii, una haki ya kusema Sisi tuwatoto wa miaka hamsini."(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)Page 3FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.(b)Eleza maana ya kauli: 'tu watoto wa miaka hamsini' kwa mujibuwa dondoo. (alama 2)(c)Tetea ukweli wa kauli hii kwa kurejelea matukio katika riwaya.(alama 14)9) "Nilipojaribu kuukata mkono niliostahili kuubusu yalinifika ya kunifika.(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)(b)Fafanua mambo mbalimbali yaliyomfika anayesema manenokatika dondoo hili. (Alama 8)(c)Ridhaa aliyapitia maisha kama ya mhusika kwenye dondoo.Yataje. (Alama 8)10)"Moja ya mambo yanayijitokeza katika Chozi la Heri ni migogoro yakinasaba." Jadili.11)Heri.Jadili maudhui ya nafasi ya mwanamke katika riwaya ya Chozi la12)"Si kufua, si kupiga deki, si kupika, almradi kila siku ilikuwa na adhazake."a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)b) Eleza mbinu ya lugha ambayo imetumika kwenye dondoo. (alama 2)Page 4FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.c) Eleza kwa kifupi madhila aliyoyataja msemaji. (alama 2)d) Eleza kwa mifano jinsi haki za watoto zimekiukwa katika riwaya yaChozi la Heri. (alama 10)13)"Hakuna msiba usiokuwa na mwenzake."a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)b) Eleza tamathali ya usemi katika dondoo hili.c) Eleza sifa za anayerejelewa.d) Fafanua matatizo wanayoyapitia wakimbizi wa ndani kwa ndani.14)“Mabadiliko ni aushi”. Huku ukirejelea riwaya ya Chozi la Heri,thibitisha kauli hii.15)heriEleza jinsi Uongozi bora umedhihirika katika riwaya ya chozi la16)Onyesha jinsi Udhaifu wa uongozi umebainika katika jumuiya yachozi la heri17)Fafanua Mbinu ambazo viongozi wanatumia kujidumishamamlakani katika chozi la heriPage 5FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.18)Ukiukaji wa haki za binadamu ni jambo la kawaida katika chozila heri. Jadili19)Utamaduni umeangaziwa kwa mapana katika chozi la heri. Jadili20)Eleza jinsi mwanamke amesawiriwa kwa njia chanya katika riwa yachozi la heri21)Riwaya ya chozi la heri imemsawiri mwanamke kwa njia hasi .jadili22)Eleza jinsi mwanamke anavyoendeleza ukiukaji wa haki za binadamukatika chozi la heri23)Jadili Nafasi ya vijana katika ujenzi wa jamii24)Fafanua jinsi Vijana wamechangia kurudisha nyuma maendeleo yajamii katika chozi la heriPage 6FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.25)Dhuluma imekita mizizi katika jumuiya ya chozi la heri. Jadili26)Eleza jinsi Suala la ukoloni mamboleo limejitokeza katika riwaya yachozi la heri27)Suala la ufisadi limeshughulikiwa katika Chozi la heri kwa njiambalijnbali. Fafanua njia hizo28)Fafanua matumizi ya mbinu ya Sadfa katika chozi la heri29)Hotuba ni kipengele cha kimundo. Eleza jinsi kipengele hikikimetumiwa katika kufanikisha ploti wa riwaya ya chozi la heri30)Fafanua matumizi ya mbinu ya Uigizaji/Tamthilia ndani ya riwaya yachozi la heri31)Eleza ufaafu wa anwani Chozi la Heri32)Athari ya vita katika nchi ya Wafidhina ni kioo cha bara la Afrika.JadiliPage 7FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.33)Jadili dhana ya chozi katika riwaya ya Chozi la Heri34)Mwanamke katika jamii hii ametwezwa na kutwazwa jadili35)Akikosa la mama hata la mbwa huamwa kwa kurejelea methali hiieleza umuhimu wa mashirika ya misaada36)Jamii ya Chozi la Heri ni taswira ya jinsi ukabila unavyoathiri bara laAfrika37)Malezi ya watoto katika riwaya ya Chozi la Heri ndicho kitovu chaufanisi na matatizo yote yanayowapiku watoto38)Utumizi wa afyuni katika jamii umeleta mathara mengi . Thibitisha39)Jadili athari na dhiki zinazotokana na uongozi mbaya40)Mla, naye huliwa zamu yake ikifika . kwa kurejelea riwaya yaChozi la Heri thibisha ukweli wa kauli hiyoPage 8FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.41)Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro jadili.42)Uozo wa maadili na kuvunjwa kwa haki ni jambo ambalo lilikuwa lakawaida katika nchi ya Wahafidhina. Thibitisha43)Riwaya ya Chozi la Heri ni ya Utamaushi jadili kauli hii44)MASWALI ZAIDI YA MUKTADHATia dondoo katika muktadha wake1) “Hii ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mungu amenifidia yulemwanangu aliyekufa”2) “ Usiku umekuwa mpevu, twende tusije tukamtia mama kiwewe’’3) “ Huenda nikapata mbinu ya kujinasua baadaye’’4) “ Di, usijali. Mimi nitawakimu kwa viganja hivi vyangu. Hamtapungukiwana lolote’’5) “Basi Doc, nakubaliana na rai yako”Page 9FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.6) “ Huyu hapa ameletwa na wasamaria wema leo asubuhi’’7) “ Je ni yule aliyeletwa jana usiku wa kuamkia jana’’8) “ Hatuwezi kumkabidhi mzee wetu huyu kifaranga kitekite hivi, tutakuwatunampagaza uzazi”9) “ Yako ya arubaini imefika”10)“ Wenye hadhi na mali wanahitaji wafanyikazi wa kuwaendelezeabiashara zao’’11)“ Usiwe na mawazo finyu na hasi kuhusu kumpanga mtoto’’12)“ Karibuni naona mmetuletea kilaika’’13)“ Tulipata ombi lenu kuhusiana na suala la kumpanga mojawapo wawatoto wetu’’Page 10FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.14)“ Ndugu zako wako hai na bila shaka mtakutana”15)Yote haya yamewezekana kutokana na mwongozo mlionipa nyinyi.Zaidi , utulivu nilioupata nilipoambulia familia hii ulinipa msukumo kilamara nilipokabiliwa na ndaro16)“ Njoo nikujuze kwa yule binamu vuuk ambaye hukwambia habariyake kila mara”17)“ Atanguliaje kisimani hunywa maji maenge”18)“ Mlaani shetani”19)“ Huyu ana imani”20)“ Umu hawa ni marafiki wangu wa chanda na pete. Ni watu wakarimuna wenye imani’’21)“ Nashukuru kwa kunielekeza kwa wazazi wetu hawa”Page 11FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.22)Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwaamewahi kumwona kiumbe huyu mahali.23)Kweli mimi nilikuwa sikio la mbuzi ambalo nyanya alizoea kusemahusikia chunguni24)“ Leo waonaje tukiwajaribu mababe wetu? Ni vizuri kuanza mapemakabla ya jua la utosini”25)“ Mama zenu walienda wapi?”26)“ peace be with you’’27)“ Kweli milima ndiyo haikutani”28)“ Nahisi kama nasimulia kisa kirefu chenye mwisho mwema”29)“ Si kwamba sijawatafuta hamna kituo cha polisi ambacho sijabishahodi”Page 12FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

mwalimuepublishers@gmail.“ Haiwezekani! Hili haliwezekani! Itakuwa kama kile kisa cha yule30)kiongozi wa kiimla wa kike”MASWALI YA SIFA ZA WAHUSIKA NA UMUHIMU WAOJadili sifa za wahusika wafuato na umuhimu wao; Ridhaa Mwangeka Mwangemi Umulkheri Lunga Bwana Kaizari Mwekevu Mzee Mwimo msubili Tila Kairu Zohali Mwanaheri Chandachema Neema Sauna Pete Mwaliko Mwlimu DhahabuPage 13FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

Dicksonmwalimuepublishers@gmail. Bwana Maya Naomi Mzee Kedi HazinaMASWALI YA MBINU ZA LUGHA NA TAMATHALI ZA USEMIJadili mbinu zifuatazo zilivyotumika katika riwaya ya Chozi la Heri Jazanda Taharuki Kisengerenyuma Barua Ndoto Kinaya Taswira Swali balagha Sadfa majaziPage 14FOR MORE E-RESOURCES CALL: 0705525657/0770195807

chozi la heri 27) Suala la ufisadi limeshughulikiwa katika Chozi la heri kwa njia mbalijnbali. Fafanua njia hizo 28) Fafanua matumizi ya mbinu ya Sadfa katika chozi la heri 29) Hotuba ni kipengele cha kimundo. Eleza j

Related Documents:

Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatoka wakati mhusika fulani amepata amani, utulivu na usalama. Chozi kwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingine nekana ni chozi (la) afadhaliboranafuu. Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokeza wakatimanenohayomawili yame

Chozi la Heri thibisha ukweli wa kauli hiyo 41) Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro jadili. 42) Uozo wa maadili na kuvunjwa kwa haki ni jambo ambalo lilikuwa la kawaida katika

HERI Faculty Survey HERI Sponsored by the Higher Education Research Institute Dear Faculty Member: Welcome to the HERI Faculty Survey. This project is sponsored by the Higher Education Research Institute at UCLA, a national organization that has conducted research on the college faculty experience since 1989.

2011 HERI Faculty Survey What is the HERI Faculty Survey? The Higher Education Research Institute (HERI) at UCLA administers a faculty survey to institutions nationwide once every three year. The national comparison group includes collective results from UCLA of all public 4-year colleges and universities participating in the survey.

This report summarizes the highlights of a national survey of college and university faculty conducted by the Cooperative Institutional Research Program (CIRP) at the Higher Education Research Institute (HERI) during the 2016-2017 academic year. Although . HERI has been surveying higher educa-tion faculty since 1978, this report is the

2014 Higher Education Research Institute (HERI) Faculty Survey The Higher Education Research Institute (HERI) at the University of California, Los Angeles (UCLA) is conducting a research study. As a faculty member you were selected as a possible participant in this study. Your participation in this research study is voluntary.

The HERI Faculty Survey will be open for responses from August 2, 2010 until March 31, 2011. Selecting Your Survey Sample The HERI Faculty Survey is designed to be completed by any faculty member, full or part time. Most institutions have found it best to survey every faculty member at their institution.

Unit 5: American Revolution . 2 A m e r i c a n R e v o l u t i o n Political and Economic Relationships between Great Britain and the Colonies England became Great Britain in the early 1700s, and it was throughout this century that the British colonies in America grew and prospered. The growth of the colonies made it more and more difficult for Great Britain to remain in control. King .