MASWALI YA CHOZI LA HERI - News Tamu

2y ago
4.7K Views
248 Downloads
603.95 KB
16 Pages
Last View : 1d ago
Last Download : 2m ago
Upload by : Mara Blakely
Transcription

MASWALI YACHOZI LA HERIPage 1Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

MUST WATCH FOR ALL FORMTHREE & FORM STUDENTSPage 2Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

1) "Mwanangu, usimpake tope baba yako. Amekulea kwa miaka yote hii kamamwanawe, japo kwa kweli hakuzaa wewe.”(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)(b)Kwa kurejelea wahusika wengine wanne wa kike katika riwaya,thibitisha matatizo manne yaliyowakumba katika jamii ya Chozi laHeri. (alama 4)2) "Haiwezekani! Hili haliwezekani! Itakuwa kama kile kile kisa cha yulekiongozi wa kiimla wa kike; yule anayesimuliwa katika visakale vya majiranizetu.”(a)Eleza mkutadha wa dondoo hili. (alama 4)(b)Onesha jinsi wahusika wa kike katika riwaya walivyojitahidi kuletamabadiliko yenye(c)manufaa katika nchi ya Wahafidhina. (alama 16)3) ."Ni kweli watu wana haki ya kusamehewa, kwani hakuna binadamu hatammoja aliyekamilika." Kwa kurejelea riwaya, jadili kauli hii.4) "Hakujali kuwa amemwacha mwenzake akitapatapa na maumivu yakusalitiwa." Onesha vile mwandishi ameshughulikia maudhui ya usaliti.Page 3Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

5) ."Mtu anayekusikiliza atadhani kwamba umekulia katika mazingira sawa naSisi wanyonge ambao uwepo wetu unaamuliwa na matajiri."(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)(b)Fafanua tamathali ya usemi iliyotumika na msemaji wa kauli hii.(Alama 4)(c)Fafanua sifa za mrejelewa katika kauli hii. (Alama 12)6) "Wakati wa mabadiliko umefika. Wimbi la mabadiliko limevamia jamiiyetu." Jadili mabadiliko yaliyotokea na athari zake katika nchi yaWahafidhina.7) Ndio. Sijui kwa nini watu hawa hawajifunzi kutokana na majangayanayowakumba wenzao.(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)(b)Onesha changamoto zilizomkabili msemaji na wenzake katikakuwashughulikia wanaolengwa katika siku za awali. (Alama 6)(c)Fafanua majanga kumi yanayowakabili watu wa rika lawarejelewa katika dondoo. (Alama 108) "Ni kweli binti yangu, kwa kutumia falsafa hii, una haki ya kusema Sisi tuwatoto wa miaka hamsini."Page 4Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)(b)Eleza maana ya kauli: 'tu watoto wa miaka hamsini' kwa mujibuwa dondoo. (alama 2)(c)Tetea ukweli wa kauli hii kwa kurejelea matukio katika riwaya.(alama 14)9) "Nilipojaribu kuukata mkono niliostahili kuubusu yalinifika ya kunifika.(a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)(b)Fafanua mambo mbalimbali yaliyomfika anayesema manenokatika dondoo hili. (Alama 8)(c)Ridhaa aliyapitia maisha kama ya mhusika kwenye dondoo.Yataje. (Alama 8)10)"Moja ya mambo yanayijitokeza katika Chozi la Heri ni migogoro yakinasaba." Jadili.11)Heri.Jadili maudhui ya nafasi ya mwanamke katika riwaya ya Chozi la12)"Si kufua, si kupiga deki, si kupika, almradi kila siku ilikuwa na adhazake."Page 5Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)b) Eleza mbinu ya lugha ambayo imetumika kwenye dondoo. (alama 2)c) Eleza kwa kifupi madhila aliyoyataja msemaji. (alama 2)d) Eleza kwa mifano jinsi haki za watoto zimekiukwa katika riwaya yaChozi la Heri. (alama 10)13)"Hakuna msiba usiokuwa na mwenzake."a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (Alama 4)b) Eleza tamathali ya usemi katika dondoo hili.c) Eleza sifa za anayerejelewa.d) Fafanua matatizo wanayoyapitia wakimbizi wa ndani kwa ndani.14)“Mabadiliko ni aushi”. Huku ukirejelea riwaya ya Chozi la Heri,thibitisha kauli hii.15)heriEleza jinsi Uongozi bora umedhihirika katika riwaya ya chozi la16)Onyesha jinsi Udhaifu wa uongozi umebainika katika jumuiya yachozi la heriPage 6Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

17)Fafanua Mbinu ambazo viongozi wanatumia kujidumishamamlakani katika chozi la heri18)Ukiukaji wa haki za binadamu ni jambo la kawaida katika chozila heri. Jadili19)Utamaduni umeangaziwa kwa mapana katika chozi la heri. Jadili20)Eleza jinsi mwanamke amesawiriwa kwa njia chanya katika riwa yachozi la heri21)Riwaya ya chozi la heri imemsawiri mwanamke kwa njia hasi .jadili22)Eleza jinsi mwanamke anavyoendeleza ukiukaji wa haki za binadamukatika chozi la heri23)Jadili Nafasi ya vijana katika ujenzi wa jamiiPage 7Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

24)Fafanua jinsi Vijana wamechangia kurudisha nyuma maendeleo yajamii katika chozi la heri25)Dhuluma imekita mizizi katika jumuiya ya chozi la heri. Jadili26)Eleza jinsi Suala la ukoloni mamboleo limejitokeza katika riwaya yachozi la heri27)Suala la ufisadi limeshughulikiwa katika Chozi la heri kwa njiambalijnbali. Fafanua njia hizo28)Fafanua matumizi ya mbinu ya Sadfa katika chozi la heri29)Hotuba ni kipengele cha kimundo. Eleza jinsi kipengele hikikimetumiwa katika kufanikisha ploti wa riwaya ya chozi la heri30)Fafanua matumizi ya mbinu ya Uigizaji/Tamthilia ndani ya riwaya yachozi la heriPage 8Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

31)Eleza ufaafu wa anwani Chozi la Heri32)Athari ya vita katika nchi ya Wafidhina ni kioo cha bara la Afrika.Jadili33)Jadili dhana ya chozi katika riwaya ya Chozi la Heri34)Mwanamke katika jamii hii ametwezwa na kutwazwa jadili35)Akikosa la mama hata la mbwa huamwa kwa kurejelea methali hiieleza umuhimu wa mashirika ya misaada36)Jamii ya Chozi la Heri ni taswira ya jinsi ukabila unavyoathiri bara laAfrika37)Malezi ya watoto katika riwaya ya Chozi la Heri ndicho kitovu chaufanisi na matatizo yote yanayowapiku watotoPage 9Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

38)Utumizi wa afyuni katika jamii umeleta mathara mengi . Thibitisha39)Jadili athari na dhiki zinazotokana na uongozi mbaya40)Mla, naye huliwa zamu yake ikifika . kwa kurejelea riwaya yaChozi la Heri thibisha ukweli wa kauli hiyo41)Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro jadili.42)Uozo wa maadili na kuvunjwa kwa haki ni jambo ambalo lilikuwa lakawaida katika nchi ya Wahafidhina. Thibitisha43)Riwaya ya Chozi la Heri ni ya Utamaushi jadili kauli hii44)MASWALI ZAIDI YA MUKTADHATia dondoo katika muktadha wake1) “Hii ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mungu amenifidia yulemwanangu aliyekufa”Page 10Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

2) “ Usiku umekuwa mpevu, twende tusije tukamtia mama kiwewe’’3) “ Huenda nikapata mbinu ya kujinasua baadaye’’4) “ Di, usijali. Mimi nitawakimu kwa viganja hivi vyangu. Hamtapungukiwana lolote’’5) “Basi Doc, nakubaliana na rai yako”6) “ Huyu hapa ameletwa na wasamaria wema leo asubuhi’’7) “ Je ni yule aliyeletwa jana usiku wa kuamkia jana’’8) “ Hatuwezi kumkabidhi mzee wetu huyu kifaranga kitekite hivi, tutakuwatunampagaza uzazi”9) “ Yako ya arubaini imefika”10)“ Wenye hadhi na mali wanahitaji wafanyikazi wa kuwaendelezeabiashara zao’’Page 11Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

11)“ Usiwe na mawazo finyu na hasi kuhusu kumpanga mtoto’’12)“ Karibuni naona mmetuletea kilaika’’13)“ Tulipata ombi lenu kuhusiana na suala la kumpanga mojawapo wawatoto wetu’’14)“ Ndugu zako wako hai na bila shaka mtakutana”15)Yote haya yamewezekana kutokana na mwongozo mlionipa nyinyi.Zaidi , utulivu nilioupata nilipoambulia familia hii ulinipa msukumo kilamara nilipokabiliwa na ndaro16)“ Njoo nikujuze kwa yule binamu vuuk ambaye hukwambia habariyake kila mara”17)“ Atanguliaje kisimani hunywa maji maenge”18)“ Mlaani shetani”Page 12Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

19)“ Huyu ana imani”20)“ Umu hawa ni marafiki wangu wa chanda na pete. Ni watu wakarimuna wenye imani’’21)“ Nashukuru kwa kunielekeza kwa wazazi wetu hawa”22)Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwaamewahi kumwona kiumbe huyu mahali.23)Kweli mimi nilikuwa sikio la mbuzi ambalo nyanya alizoea kusemahusikia chunguni24)“ Leo waonaje tukiwajaribu mababe wetu? Ni vizuri kuanza mapemakabla ya jua la utosini”25)“ Mama zenu walienda wapi?”Page 13Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

26)“ peace be with you’’27)“ Kweli milima ndiyo haikutani”28)“ Nahisi kama nasimulia kisa kirefu chenye mwisho mwema”29)“ Si kwamba sijawatafuta hamna kituo cha polisi ambacho sijabishahodi”30)“ Haiwezekani! Hili haliwezekani! Itakuwa kama kile kisa cha yulekiongozi wa kiimla wa kike”MASWALI YA SIFA ZA WAHUSIKA NA UMUHIMU WAOJadili sifa za wahusika wafuato na umuhimu wao; Ridhaa Mwangeka Mwangemi Umulkheri Lunga Bwana KaizariPage 14Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

Mwekevu Mzee Mwimo msubili Tila Kairu Zohali Mwanaheri Chandachema Neema Sauna Pete Mwaliko Mwlimu Dhahabu Dickson Bwana Maya Naomi Mzee Kedi HazinaMASWALI YA MBINU ZA LUGHA NA TAMATHALI ZA USEMIJadili mbinu zifuatazo zilivyotumika katika riwaya ya Chozi la Heri Jazanda Taharuki KisengerenyumaPage 15Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

Barua Ndoto Kinaya Taswira Swali balagha Sadfa majaziPage 16Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

Chozi la Heri thibisha ukweli wa kauli hiyo 41) Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro jadili. 42) Uozo wa maadili na kuvunjwa kwa haki ni jambo ambalo lilikuwa la kawaida katika

Related Documents:

chozi la heri 27) Suala la ufisadi limeshughulikiwa katika Chozi la heri kwa njia mbalijnbali. Fafanua njia hizo 28) Fafanua matumizi ya mbinu ya Sadfa katika chozi la heri 29) Hotuba ni kipengele cha kimundo. Eleza j

Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatoka wakati mhusika fulani amepata amani, utulivu na usalama. Chozi kwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingine nekana ni chozi (la) afadhaliboranafuu. Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokeza wakatimanenohayomawili yame

HERI Faculty Survey HERI Sponsored by the Higher Education Research Institute Dear Faculty Member: Welcome to the HERI Faculty Survey. This project is sponsored by the Higher Education Research Institute at UCLA, a national organization that has conducted research on the college faculty experience since 1989.

4. Biblia inajibu maswali tunayojiuliza Mwanamke fulani alitambua kwamba Biblia ina majibu ya maswali yaliyomhangaisha kwa miaka mingi.OnyeshaVIDEO,kisha mzu-ngumzie maswali haya: Katika video hiyo, mwanamke huyo alijiuliza maswali gani? Kujifunza Biblia kulimsaidiaje? Biblia inatutia moyo tuulize maswali.SomaMathayo 7:7, kisha mzungumzie .

MASWALI NA MAJIBU ميِحِرلا َّنِمَٰحْرلا َِّالل َّمِسِْب NENO LA MCHAPISHAJI M aswali na Majibu ni kitabu kinachotoa mwongo-zo kwa njia ya maswali na majibu. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa maswali aliyoulizwa Sheikh Hasan al-Saffar katika programu yake ya maswali na majibu ili-yoandaliwa katika tovuti yake.

2011 HERI Faculty Survey What is the HERI Faculty Survey? The Higher Education Research Institute (HERI) at UCLA administers a faculty survey to institutions nationwide once every three year. The national comparison group includes collective results from UCLA of all public 4-year colleges and universities participating in the survey.

MASWALI NA USAHIHISHO 102 1B KISWAHILI KARATASI 1B OCT/ NOV 1995 2 ½ HOURS Jibu maswali yote 1. UFAHAMU Soma Makala yatuatayo kisha ujibu maswali Ama kweli maisha ya vijana wa kisasa yanatofautiana na kuhitilafiana pakubwa na yale ya wazee wao. Sio katika mavazi, lugha, mienendo, mitazamo, mawazo tu bali pia katika kipengele kingine chochote

may be taken on an instrument with only one manual. Consequently, in Grades 1–3, some notes may be transposed or omitted, provided the result is musically satisfactory. Elements of the exam All ABRSM graded Organ exams comprise the following elements: three Pieces; Scales, arpeggios and exercises; Sight-reading (with an additional Transposition exercise in Grades 6–8); and Aural tests .