Amosobiero7@gmail UPDATED KISWAHILI LUGHA

2y ago
384 Views
3 Downloads
1.30 MB
139 Pages
Last View : 3d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Wade Mabry
Transcription

amosobiero7@gmail.comUPDATED KISWAHILI LUGHAUSHAIRI NA FASIHI SIMULIZINOTES(amosobiero7@gmail.com)By Sir Obiero AmosFOR MORE E-MATERIALSWhatsApp ( 254) 0706851439Mashairi yanaweza kugawanywa katika aina mbalimbali kulingana na idadi yamishororo katika kila ubeti.Tanbihi: Aina za Mashairi ni tofauti na Bahari za Ushairi. Aina za mashairihuzingatia idadi ya mishororo katika kila ubeti ilhali Bahari za Shairi hutegemeana muundo wa shairi kwa kuzingatia vina, mizani, vipande na mpangilio wamaneno. Shairi moja haliwezi kuwa la aina mbili (k.v tarbia na takhmisa) lakinishairi linaweza kuwa katika bahari zaidi ya moja.Zifuatazo ni aina za mashairi kulingana na idadi ya mishororo katika kila ubetiAINAMISHOROROUmoja/tathmina 1Tathnia2Tathlitha3Tarbia4Takhmisa5Tathmina au Umoja ni shairi lenye mshororommoja katika kila ubeti.Tathnia ni shairi lenye mishororo miwili katikakila ubeti.Tathlitha ni shairi lenye mishororo mitatukatika kila ubeti.Tarbia ni shairi lenye mishororo minne katikakila ubeti. Mashairi mengi ni ya aina ya tarbia.Takhmisa ni shairi lenye mishororo mitanokatika kila ubeti.Page 1For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comTasdisa6Usaba7Ukumi10Tasdisa ni shairi lenye mishororo sita katikakila ubeti.Usaba ni shairi lenye mishororo saba katikakila ubeti.Ukumi ni shairi lenye mishororo kumi katikakila ubeti.BAHARI ZA USHAIRIKitengo UshairiPrevNextAina za MashairiUchambuzi wa MashairiBahari za ushairi ni nyingi sana. Shairi huainishwa katika bahari fulani kulinganana mtindo wake, umbo lake na matumizi ya lugha.Mifano ya Bahari za Ushairi1. Utenzi - shairi ndefu lenye kipande kimoja katika kila mshororo.2. Mathnawi - ni shairi la vipande viwili (ukwapi na utao) katika kilamshororo.Ewe mtunga silabi, na sauti ya kinubi,Majukumu hatubebi, maadamu hatushibi,Mateso kwa ajinabi, kwa mabwana na mabibiUkija hayatukabi, karibia karibia3. Ukawafi - ni shairi la vipande vitatu (ukwapi, utao na mwandamo) katikakila mshororo.Nashindwa nikupe nini, nishukuru kwa malezi, mapenzi na riziki,Ni pendo kiasi gani, lishindalo la mzazi, kweli mama hulipiki,Ulinilinda tumboni, ukilemewa na kazi, ila moyo huvunjiki,Kanilisha utotoni, mavazi pia malazi, ukitafuta kwa dhiki.4. Mavue - Shairi la vipande vinne (ukwapi, utao, mwandamo na ukingo)katika kila mshororo.Page 2For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comSisi walipa ushuru, wajenga taifa, tena kwa bidii, twahangaishwa,Tumenyimwa uhuru, tuna mbaya sifa, hatujivunii, tunapopotoshwa,Kila tunapopazuru, damu na maafa, hatutulii, hali ya kutishwa5. Ukaraguni - shairi ambalo vina vyake vya kati na vya mwisho hubadilikakutoka ubetio mmoja hadi mwingine.Vina Ubeti 1: ---ni, ---mi,ubeti 2: ---ta, ---lo,ubeti 3: ---po, ---wa,6. Ukara - shairi ambalo vina vya kipande kimoja havibadiliki kutoka ubetimmoja hadi mwingine, lakini vina vya kipande kingine hubadilika. Kwamfano, vina vya kati vinafanana kutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisholakini vina vya kipande cha mwisho vinabadilika kutoka ubeti mmoja hadimwingine.vina Ubeti 1: ---shi, ---ma,ubeti 2: ---shi, ---ko,ubeti 3: ---shi, ---le,ubeti 4: ---shi, ---pa7. Mtiririko - shairi ambalo vina vyake vya mwisho na vya kati havibadilikikutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisho.kwa mfano vina vikiwa ( ---ni, ---ka) kutoka ubeti wa kwanza hadi wamwisho.8. Mkufu/pindu - Shairi ambalo neno la mwisho au kifungu cha mwisho chamaneno katika ubeti mmoja, hutangulia katika ubeti unaofuatia.Hakika tumeteleza, na njia tumepoteza,Nani wa kutuongoza, aliyepewa uweza,Filimbi akipuliza, tusiyeweza kupuuza,Bali twaisikiliza, bila ya kuzungumza,Bila ya kuzungumza, wala mwendo kulegeza,Tumwandame ja mwangaza, kututoa palipo giza,Penye dhiki ya kuliza, bila sauti kupazaPengo hili kulijaza, ni nani anayeweza,Page 3For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com9. Kikwamba - Neno moja au kifungu cha maneno hurudiwarudiwakutanguliza mishororo au ubeti katika shairi.Jiwe hili lala nini, ila moshi na majani,Jiwe linalala lini, litokapo vileoni,Jiwe hili halineni, lina macho halioni,Jiwe na tulibebeni, tulitupe mitaroni10.Kikai - Shairi lenye kipande kimoja kifupi (chenye mizani chachekuliko kingine) Mfano (8,4)Nani binadamu yule, adumuye,Anayeishi milele, maishayeJenezani asilale, aluliye,Kaburi liko mbele, sikimbiye.11.Msuko - Shairi ambalo kibwagizo/mshororo wa mwisho ni mfupikuliko mishororo mingineyo. K.v (8,8) (8,8) (8,8) (8).Hawajazawa warembo, usidhani umefika,Ukisifiwa mapambo, jinsi ulivyoumbika,Akipata jipya umbo, 'tabaki kihangaika,Usidhani umefika.12.Mandhuma - shairi ambalo kipande kimoja hutoa hoja, wazo amaswali, huku cha pili kikitoa jibu/suluhisho.13.Malumbano - Mashairi mawili ambapo mshairi mmoja hutungashairi akijibu au kupinga utunzi wa mshairi mwengine.14.Ngonjera - Shairi lenye wahusika wawili wanaojibizana. K.m. Ubetiwa kwanza, mwalimu, na wa pili, mwanafunzi.15.Sakarani - Shairi lenye bahari zaidi ya moja.16.Sabilia - Shairi lisilokuwa na kibwagizo. Kituo (mshororo wamwisho) hubadilika kutoka ubeti hadi ubeti.17.Shairi huru - shairi lisilozingatia sheria za ushairiShairi guni - shairi lenye makosa ya arudhi za shairiPage 4For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comFASIHIFasihi ni sanaa ya lugha. Fasihi hutumia lugha kutoa sanaa mbalimbali katikajamii.Content Tanzu za Fasihio Fasihi Simulizio Fasihi AndishiTofauti kati ya Fasihi Andishi na Fasihi SimuliziUmuhimu wa Fasihi Katika JamiiTanzu za FasihiKuna tanzu mbili kuu za fasihi, na kila utanzu una vipera vyake: Fasihi Simulizina Fasihi Andishi:Fasihi Simulizi1.2.3.4.Hadithi (Ngano) - hekaya, mighani, visasili n.kNyimbo - za jandoni, za ndoa, za kazi n.kMaigizo - michezo ya kuigiza, ngomezi n.kTungo Fupi - methali, vitendawili n.kFasihi Andishi1. Hadithi Fupi - hadithi isiyokuwa ndefu iliyochapishwa katika mkusanyikowa hadithi nyingine2. Riwaya - hadithi ndefu iliyochapishwa katika kitabu chake pekee3. Tamthilia - mchezo wa kuigiza uliowekwa kwa maandishi4. Ushairi* - mashairi yaliyoandikwaTofauti kuu kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi ni kwamba Fasihi Simulizihuwasilishwa kwa njia ya mdomo au matendo ilhali Fasihi Andishi huwasilishwakwa njia ya maandishi.Tanbihi:Ushairi ni kipera cha nyimbo lakini pia mashairi yanaweza kuwa chiniya Fasihi Andishi, ikiwa yamechapishwa.Page 5For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comTofauti kati ya Fasihi Andishi na Fasihi SimuliziFASIHI SIMULIZIHuwasilishwa kwa njia ya mdomo1.na/au matendo.2. Ni mali ya jamii.Msimulizi anaweza kubadilishasehemu fulani4. Huhifadhiwa akilini5. Kazi simulizi hubadilika na wakatiHuhitaji msimulizi na hadhira yake6. wawe mahali pamoja wakati wamasimuliziMtu yeyote anaweza kutunga na7.kusimuliaHutumia wahusika changamano8.(wanyama, watu, mazimwi n.k)3.FASIHI ANDISHIHuwasilishwa kwa njia ya maandishiKazi andishi ni mali ya mwandishi (namchapishaji)Kitabu kilichoandikwa hakiwezikubadilishwaHuhifadhiwa vitabuniKazi andishi haibadiliki na wakatiMsomaji anaweza kusoma kitabu chahadithi peke yake, mahali popote,wakati wowoteNi lazima mwandishi na msomaji wawena uwezo wa kusomaHutumia wahusika wanadamu.Umuhimu wa Fasihi Katika Jamii Kuburudisha jamii. Takribani vipera vyote vya fasihi huwa na kusudi lakufurahisha, kutumbuiza na kusisimua hadhira.Kuelimisha. Fasihi hukusudia kuelimisha hadhira kuhusu jamii, mazingiran.kKudumisha maadili katika jamii kwa kuelekeza, kuonya na kunasihihadhira jinsi ya kufuata mwelekeo unaokubalika katika jamii.Kuunganisha jamii. Fasihi huleta pamoja watu katika jamii. Kwa mfano,katika nyimbo, miviga, vichekesho.Kukuza lugha. Aghalabu tungo zote za fasihi hutumia lugha. Isitoshe, fasihihutumia mbinu nyingi za lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitajikuwa na ukwasi wa lugha.Kuhifadhi mila, tamaduni na itikadi za jamii. Aghalabu kazi za fasihi(hasahasa Fasihi Simulizi) huambatanishwa na desturi mbalimbali za jamiihusika.Kukuza uwezo wa kufikiri. Vipera vingi vya fasihi huwachochea hadhirakufikiri sana ili kupata suluhisho. k.m vitendawili, ngano za mtanziko n.kPage 6For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com FASIHI ANDISHIUtanzu waKiingerezaFasihiWritten Literature Hadithi Fupi RiwayaTanzu za Fasihi Andishi Tamthilia Ushairi - Mashairi Yaliyoandikwa Angalia PrevNextAina za WahusikaHadithi Fupi vs RiwayaTamathali za UsemiFasihi SimuliziUshairiFasihi Andishi ni aina ya sanaa ambayo hutumia maneno yaliyoandikwakupitisha ujumbe. Ni sanaa inayopitishwa kwa njia ya maandishiContent Tanzu za Fasihi AndishiSifa za Fasihi AndishiUmuhimu wa Fasihi AndishiUchambuzi wa Fasihi Andishio Aina ya Kazi Andishio Wahusikao Maudhui na Dhamirao Mandhario Mbinu za LughaTanzu za Fasihi AndishiKuna tanzu nne kuu za Fasihi Simulizi:1. Hadithi Fupi - kazi andishi ya fasihi isiyokuwa ndefu sana2. Riwaya - kazi andishi ya fasihi ambayo huwa ndefu kuliko hadithi fupiPage 7For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com3. Tamthilia- kazi andishi ya fasihi inayowasilisha mchezo wa kuigiza4. Mashairi - mashairi yaliyochapishwa huwa chini ya fasihi andishi.Sifa za Fasihi Andishi1.2.3.4.Hupitishwa kwa njia ya maandishiNi mali ya mtu binafsiHaiwezi kubadilishwaHutumia mbinu za lugha na mbinu za sanaaUmuhimu wa Fasihi Andishi1.2.3.4.5.6.Kuhifadhi kazi ya sanaa katika maandishiKukuza lughaKuburudishaKuelimishaKukashifu tabia zisizoandamana na maadili ya jamiiKuonya, kuelekeza, kunasihiUchambuzi wa Fasihi AndishiUnapochambua kazi ya fasihi andishi zingatia:Aina ya Kazi Andishi Tambua aina au kipera cha kazi andishi ikiwa ni riwaya, hadithi fupi autamthiliaWahusika Tambua wahusika katika kazi hiyo ya fasihiFafanua sifa za kila mhusika kwa kutumia vivumishi au virai vivumishivinavyolingana na hulka za mhusika huyo.Aidha, unapaswa kuyakinisha sifa hizo kwa kutolea mifano kutoka kwenyehadithiTaja aina ya wahusikaMaudhui na Dhamira Maudhui - ni nini kinachofanyika?Dhamira - lengo/kusudi la kazi hiyo ni nini?Page 8For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comMandhari Hadithi inafanyika katika mazingira gani?Mazingira hayo yanachangia vipi katika kisa hicho au sifa za wahusika?Msanii ameunda hali gani? (hisia, n.k)Mbinu za Lugha Taja kwa kutolea mifano, fani za lugha zilizotumika ili kuifanya lugha iweya kuvutia zaidiFafanua mbinu za sanaa zilizotumika na utaje mifano mwafakaFASIHI SIMULIZIUtanzu waKiingerezaFasihiOral Literature Hadithi / Ngano NyimboTanzu za Fasihi Simulizi Maigizo Tungo FupiPrevTamathali za UsemiNextFasihi AndishiVIPERA VYA TANZU ZA FASIHI SIMULIZI Khurafa Hekaya Mighani / Visakale Usuli / VisaviiniHADITHI / NGANO Visasili Hadithi za Mtanziko Hadithi za Mazimwi NYIMBO MashairiKimaiWawe/HodiyaNyimbo za NdoaNyimbo za KidiniNyimbo za KisiasaPage 9For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com TUNGO FUPI MAIGIZO Za Tohara/JandoniNyimbo za KizalendoMethaliVitendawiliMafumboVitanza Ndimi na Vichezea ManenoSemiLakabuMisimuMichezo ya KuigizaNgomeziMivigaMalumbano ya i Simulizi ni utanzu wa fasihi ambao unawakilisha sanaa ya lughainayopitishwa kutoka kwa kizazi hadi kizazi kwa njia ya maneno/masimulizi yamdomo.Sifa za Fasihi Simulizi1. Hupitishwa kwa njia ya mdomo2. Ufanisi wa sanaa katika fasihi simulizi hutegemea uwezo wa msimulizi, auwahusika3. Masimulizi yake yanaweza kuathiriwa na mazingira, hisia na hali4. Ni mali ya jamii. Hakuna mtu fulani anayemiliki sanaa katika fasihisimulizi.5. Inaweza kubadilika kutoka kizazi hadi kizazi, au mazingira mbalimbali kwasababu hutegemea kumbukumbu ya msimulizi.6. Aghalabu huwa na funzo fulaniUmuhimu wa Fasihi SimuliziPage 10For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com1. Kuburudisha - Hufurahisha na kuchangamsha hadhira2. Kunasihi- kutolea mawaidha na kuonyesha mwelekeo unaotarajiwa katikajamii3. Kuelimisha watu kuhusu vitu mbalimbali hasa mazingira yao4. Kutambulisha jamii - jamii mbalimbali husifika kutokana na sanaa zaokatika fasihi simulizi kama vile nyimbo5. Kuhifadhi na kudumisha utamaduni wa jamii6. Kuunganisha watu - huleta watu pamoja7. Kukuza lugha - fasihi huimarisha lugha kwa kuwa hutumia mbinumbalimbali za lugha.8. Kuliwaza - hutoa huzuni na kuleta matumaini.9. Kupitisha muda - wakati mwingine fasihi simulizi hutumika kupitishamudaKinyumeKINYUMEKitengo SarufiNAVIGATIONNextViungo MbalimbaliPrevKukanushaManeno ya kinyume ni maneno yenye maana inayopingana. Inafaa ikumbukwekwamba kuna tofauti kati ya kinyume na kukanusha. Kukanusha ni kukataaujumbe wa sentensi bila kubadilisha maneno. Tunapokanusha, tunabadilishaviambishi pekee ili kupinga wazo la sentensi. Maneno ya kinyume huwa manenomengine tofauti kabisa ambayo yanapingana kimaana bila kubadilishamaendelezo ya neno.Kinyume cha KawaidaHisia, hali, dhana n.kPage 11For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

benjaamwanzomwishoKinyume cha SifaSifa zinazopingana nyume cha Jinsia (Uume - Uke)Majina ya kijinsia moja yanabadilishwa na kuwa jinsia ile inyume cha UhusianoKinyume cha vitu au dhana mbili imwanakiongozimfuasiKinyume cha VitenziTunabadilisha vitenzi kwa kuweka vitenzi vingine vyenye fuPage 12For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

chekatabasamununaEndakujaKinyume cha KutenduaVitenzi vinaweka katika kauli ya kutendua ili KukanushaKukanusha ni kukataa au kukana kauli.Mara nyingi tunapokanusha, tuanaongeza kiambishi 'HA-' mwanzoni mwakitenzi. Hata hivyo, kiambishi hicho hubadilika katika nafsi ya kwanza na ya piliumoja. Angalia jedwali lifuatalo.KIAMBISHISIHUHAMATUMIZInafsi ya kwanzanafsi ya pilinafsi ya ambishi vya wakati na vya hali pia hubadilika kama ilivyoonyeshwa katikajedwali lifuatalo:Kukanusha Wakati Uliopita (LI) 'KU'1 Kajuta alimpigia kura.Kajuta hakumpigia kura.2 Nilikupa nafasi yako.Sikukupa nafasi yako.Page 13For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comKukanusha Wakati Timilifu (Uliopita Muda Mfupi) (ME) 'JA'1 Maziwa ya nyanya yamemwagika.Maziwa hayajamwagika.2 Viwete wametembeaViwete hawajatembea.Kukanusha Wakati Uliopo (NA) '-I'1 Unasoma sentensi ya kwanza.Husomi sentensi ya kwanza.2 Zinafanana na nyota.Hazifanani na nyota.Kukanusha Wakati Ujao (TA) 'TA'1 Jua litawaka sana.Jua halitawaka sana.Watakaribishwa kwenye malango ya Hawatakaribishwa kwenye malango ya2lulu.lulu.Kukanusha Wakati wa Mazoea (HU) '-I'1 Polisi wa jiji kuu huchukua hongo.Polisi wa jiji kuu hawachukui hongo.2 Bendera hufuata upepo.Bendera haifuati upepo.Kukanusha Wakati Usiodhihirika (A) '-I'1 Anita ampenda Kaunda.Anita hampendi Kaunda.Chema chajiuza, kibaya2Chema hakijiuzi, kibaya hakijitembezi.chajitembeza.Kukanusha KI ya Masharti (KI) 'SIPO'Ukimwadhibu mtoto, atapata adabu Usipomwadhibu mtoto hatapata1njema.nidhamu.2 Bei yake ikishuka, nitainunua.Bei yake isiposhuka, sitainunua.Kukanusha PO ya Wakati (PO) 'SIPO'Uamkapo asubuhi ndugu yanguUsipo amka asubuhi ndugu yangu1mshukuru Mungu.usimshukuru Mungu.2 Mtoto aliapo mnyonyeshe.Mtoto asipo lia usimnyonyesheKukanusha Hali ya Uwezekano (NGE) 'SINGE'Ningekuwa nakupendaNisingekuwa nakupenda1ningekwambia mapema.nisingekwambia mapema.2 Zingekuwa nyingi, wangeziiba.Zisingekuwa nyingi, wasingeziiba.Kukanusha Hali ya Uwezekano (NGALI) 'SINGALI'Khadija angalisoma kwa bidiiKhadija asingalisoma kwa bidii1angalikuwa na cheo kikubwa.asingalikuwa na cheo kikubwaPage 14For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comYangalikuwa mabivu yangalianguka Yasingalikuwa mabivu yasingaliangukayenyewe.yenyeweKukanusha Amri/Agizo (-a/-e) 'SI'1 Peleka kikapu hiki kwa nyanya.Usipeleke kikapu hiki kwa nyanya.2 Chakula kiliwe.Chakula kisiliwe.3 Mpende adui yako.Usimpende adui yako.4 Waambieni watu wa mataifa yote.Msiwaambieni watu wa mataifa yote.Kukanusha Viunganishi vya Kujumuisha (NA, KA) 'WALA'Bafi hakukuzaba kofi wala hakukupiga1 Bafi alikuzaba kofi na kukupiga teke.teke.Mama amepika chakula tukalaMama hajapika chakula wala hatujala2pamoja.pamoja.2SARUFI: Matumizi ya LughaSarufi ni sheria, kanuni au taratibu zinazopaswa kufuatwa katika lugha fulani.Kila lugha huwa na kanuni zake. Katika sarufi tutazingatia sauti(utamkaji), ainaya maneno, upatanisho wa maneno kisarufi, muundo wa sentensi za Kiswahili nakadhalika.Ufuatao ni mukhtasari wa baadhi ya yale tuliyokuandalia katika matumizi yalugha. Fungua kila ukrasa ili kusoma mada kwa kina.Vipashio vya LughaVipashio vya lugha ni viungo mbalimbali vinavyowekwa pamoja katikampangilio fulani kisarufi, kuunda lugha:1.2.3.4.SautiMofimuNenoSentensiKwa kuzingatia vipashio hivi vya lugha, tumekuandalia vipengele vifuatavyokatika sarufi:Page 15For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comAina za Maneno Nomino - majina, aina za nomino, uundaji wa nomino kutoka kwa manenomengine, wingiVitenzi - vitendo katika sentensi, aina za vitenzi, mnyambuliko wa vitenziViwakilishi - maneno yanayowakilisha nomino; aina za viwakilishiVivumishi - aina za vivumishi k.v vivumishi vya sifa, n.kVielezi - vielezi halisi, vielezi vya namna n.kViunganishi - a-unganifu, kuonyesha tofauti, sababu, sehemu n.kVihisishi - maneno ya kuonyesha hisia k.v hasira, mshangao n.kVihusishi - uhusiano wa nomino na mazingira yakeKinyume - kinyume cha maneno mbalimbaliMuundo wa Maneno Sauti na Silabi - aina za sauti(konsonanti, vokali), silabi, matamshiShadda na Kiimbo - mkazo katika maneno, kiimbo(intonation)Viambishi - maana na aina za viambishi, uainishajiMofimu - mofimo huru, mofimu tegemeziViungo - Matumizi ya viungo k.v KWA, KU, JI, MA, NI, NA n.kUpatanisho wa Maneno Ngeli - ngeli mbalimbali za Kiswahili k.v A-WA, KI-VI n.kUmoja na Wingi - wingi/umoja wa nomino, sentensi n.kUkubwa na Udogo - onyesha ukubwa/udogo wa neno au sentensiNyakati na Hali - nyakati(uliopita, uliopo, ujao, n.k), NGE, NGALI,Kukanusha - kukanusha sentensi katika hali na nyakati mbalimbaliSentensi Aina za Sentensi - changamano, ambatano n.kUchanganuzi wa Sentensi - kikundi nomino, kikundi tenzi n.kVirai na Vishazi - aina za virai, kishazi huru, kishazi tegemeziShamirisho na Chagizo - shamirisho yamwa, kitondo n.kUakifishaji - alama za kuakifisha k.v swali(?), kikomo(.) n.kPage 16For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comMAGHANIKitengo UshairiUchambuzi wa MashairiAina za UshairiMaghani ni tungo zinazotolewa kwa kughanwa (nusu kuimbwa nusu kukaririwa)Maghani yanaweza kuambatanishwa na ala za muziki au kughanwa kwa mdomotu.Aina za MaghaniZipo fani mbali mbali za maghani ambazo zimeainishwa katika tanzu mbili kuu:1. Maghani ya Kawaida2. Maghani ya MasimuliziMaghani ya MasimuliziLengo la maghani ya aina hii ni kusimulia kisa fulani, historia, n.k.Kuna fani mbili za Maghani ya Masimulizi:a) TendiTendi ni ushairi mrefu unaosimulia matukio ya kishujuaa. Tendi zinaposimuliwahuandamana na ala za muziki.Sifa za Tendi: Ni ushairi mrefuHusimulia matendo ya kishujaa kwa njia kishairiHusimuliwa badala ya kuimbwaHuandamana na ala za muzikiHusimulia visa vya kihistoriaHutungwa papo kwa hapob) RaraPage 17For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comHizi ni hadithi fupi za kishairi zenye visa vya kusisimua, zinazosimuliwazikiambatanishwa na ala za muziki. Aghalabu hughanwa na watoto; na hutumikakama michezo ya watoto.Sifa za Rara Ni hadithi fupi za kishairiHusimulia visa vya kusisimuaZinaweza kuimbwa au kusimuliwaHuambatana na ala za muzikiAghalabu huwa ni visa vya kubuniMaghani ya Kawaida (Sifo)Maghani ya Kawaida ni maghani yanayosifia mtu, kitu au hali katika jamiia) Majigambo au KivugoHaya ni maghani ambayo mtunzi hujisifia (kujigamba) namna alivyo hodarikatika nyanja fulani. Tungo hizi hutumia chuku na maneno ya kejelikuwadunisha wapinzani wa mtunzi.Sifa za Majigambo Hutumia nafsi ya kwanzaMsimulizi hutumia maneno ya kujigambaMsimulizi hutumia chuku kwa wingi ili kujisifuHutungwa kwa ubunifu mkubwa na hutumia mbinu kama sitiari, vidokezi,ishara n.kMajigambo mengi huwa mafupi, lakini baadhi yake huwa marefu.Huwa na matendo matukufu ya msimuliziHuwa na ahadi za matendo kutoka kwa msimulizib) TondoziTondozi ni aina ya sifo ambayo husifia watu mashuhuri katika jamii kama vileviongoziPage 18For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comSifa za Tondozi Huwa ni ushairi wa kusimuliwaHusifia mtu mwengine, mtu mashuhuriHutumia chukuHutumia mbinu kama sitiari, vidokezi, ishara n.kHutaja matendo makubwa ya kiongozi anayesifiwaPembeziPembezi ni maghani ya kumsifu mpenzi.Sifa za Pembezi Humsifu mpenzi wa mtuAghalabu huwa ushairi mfupiHutumia tamathali za lugha kwa wingi kama vile ishara kusimulia umbo lampenziPembezi zinaweza kuandamana na ngomaii) Pembezi - tungo za sifa. Zinaweza kusifia kundi fulani la watu, wanyama,njaa, mvua, n.kMAIGIZOUtanzu waFasihi Simulizi Michezo ya Kuigiza Miviga Ngomezi Malumbano ya UtaniVipera vya Maigizo Ulumbi Soga Vichekesho Maonyesho ya SanaaMaigizo ni sanaa katika fasihi simulizi ambayo watendaji huwa ndio wahusika.Maigizo hayasimuliwi kama mbinu nyingine za fasihi. Wahusika ndiohuzungumza katika sehemu zao mbalimbali.Page 19For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comMifano:1. Michezo ya Kuigiza (Jukwaani) - Haya ni maigizo ya jukwaani ambapowatendaji huiga maneno na matendo ya wahusika mbele ya hadhira.2. Miviga - Miviga ni sherehe mbalimbali katika jamii fulani. Watuhujumukika na sherehe hizi kulingana na tamaduni zao3. Ngomezi - ni sanaa ya ngoma. Midundo mbalimbali ya ngoma hutumikakuwasilisha ujumbe mbalimbali.4. Malumbano ya Utani - Malumbano ya utani ni mashindano ya kuongeajukwaani baina ya watu wa makundi au jamii mbili ambayo hutumia kejelina chuku kukejeli tabia mbaya katika jamii au kundi fulani5. Ulumbi - Ulumbi ni uwezo wa kipekee wa kuzungumza mbele ya hadhira.Mtu mwenye uwezo huo wa kipekee wa kuzungumza jukwaani huitwamlumbi.6. Soga - Soga ni mazungumzo baina ya watu wawili au zaidi ambayoaghalabu huwa hayana mada maalum.7. Vichekesho - Vichekesho ni aina ya sanaa ya fasihi simulizi ambayo watuhutoa vihadithi vifupi au sentensi zenye uwezo wa kuwafanya wasikilizajiwacheke.8. Maonyesho ya Sanaa - Maonyesho huhusisha watu wa jamii au kundifulani wanaoonyesha taaluma, ujuzi au sanaa yao kwa watazamaji.MofimuMOFIMUKitengo Muundo wa NenoAina Kuu Mofimu HuruPage 20For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Mofimu TegemeziMofimu ni sehemu ndogo zaidi ya neno inayowakilisha maana ya neno hilo.Mofimu inaweza kuwa silabi moja au zaidi.Kuna aina mbili za mofimu:1. Mofimu huru2. Mofimu Tegemezi1. Mofimu huruMofimu huru ni silabi moja au zaidi yenye maana kamili ya neno na inawezakujisimamia yenyewe bila msaada wa viambishi au silabi nyingine. Aghalabumofimu huru huwa nomino, vivumishi au vielezi visivyochukua viambishi vyangeli.Kwa mfano:daktari, ndoa, nyumba, Miranda2. Mofimu TegemeziMofimu tegemezi ni mofimu ambazo huhitaji viambishi au mofimu nyinginetegemezi ili kuleta maana iliyokusudiwa. Mofimu hizi hujumuisha hasa mzizi waneno (au shina la kitenzi), vivumishi, nomino au vielezi ambavyo vinahitajiviambishi viwakilishi vya ngeli ili kutoa maana iliyokusudiwa.Shina la kitenzi au mzizi wa neno au kiini cha kitendo ni sehemu ndogo zaidiinayosimamia kitenzi chenyewe bila mnyambuliko, nyakati au viambishivinginevyo. Viambishi ni mofimu tegemezi ya silabi moja inayowakilisha dhanafulani kama vile hali, ngeli, nafsi, wakati na kadhalika.k.m:mtangazaji m-tangaz-a-ji{m mofimu ya ngeli ya M-WA kwa umojatangaz mzizi wa neno, kiini cha kitendo cha kutangazaa kiishio cha kitenziji inaonyesha kazi au mazoea}Page 21For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comwametusumbua wa-me-tu-sumbu-a{wa kiambishi kiwakilishi cha nafsi ya tatu wingime kiambishi cha wakati timilifutu kiambishi kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi - kitendewa/mtendwasumbu shina la kitendo cha kusumbuaa kiishio}wakulima wa-ku-lim-a{wa kiambishi kiwakilishi cha ngeli ya A-WA wingiku kiambishi cha KU ya kitenzi jinalim mzizi wa kitendo cha kulimaa kiishio}Muundo wa Sentensi Kiima, Kiarifa, Shamirisho na ChagizoKikundi Tenzi(KT) na Kikundi Nomino(KN)o Kikundi Nomino (Kiima): KNo Kikundi Tenzi (Kiarifa): KTo Shamirishoo ChagizoKiima, Kiarifa, Shamirisho na ChagizoSentensi huwa imeundwa na maneno mbalimbali. Vijenzi hivi vya sentensi niKiima, Kiarifa, Shamirisho na ChagizoPage 22For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comAngalia: Aina za Sentensi Sahili, Changamano, AmbatanoVirai na VishaziUchanganuziKikundi Tenzi(KT) na Kikundi Nomino(KN)Hizi ndizo sehemu mbili kuu katika sentensi. Kila kundi kikundi kinaweza kuwana maneno mbalimbali. Tutayachangua haya zaidi katika uchanganuzi wasentensi.Kikundi Nomino (Kiima): KNNi sehemu wa sentensi yenye nomino. Pia kikundi nomino kinaweza kushirikishakikundi kivumishi au kishazi tegemezi.k.m:1. Safari zawa salama bila misukosuko.2. Wanafunzi waliokuwa wametoroka shuleni, wamekamatwa na kuadhibiwa.3. Matunda matamu huvutia sana.Kikundi Tenzi (Kiarifa): KTNi sehemu ya sentensi yenye kitenzi. Licha ya kitenzi, kikundi tenzi kinawezakushirikisha kikundi kielezi au kikundi kivumishi. Aidha, kikundi tenzi kinawezakuwa na kikundi nomino kama shamirisho kipozi au kitondo.k.m:1. Mvua inarutubisha vitu vyote.2. Dunia huzunguka jua.3. Madawati yaliyokuwa yamechafuliwa yamesafishwa.Page 23For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comShamirishoShamirisho ni mtendwa au mtendewa katika sentensi. Ni sehemu ya sentensiinayowakilisha kitu kilichofanyiwa kitu. Kuna aina tatu za shamirisho.Shamirisho Kipozi - (direct object)Ni sehemu inayowakilisha nomino inayopokea kitendo hicho moja kwa moja.Mtendwa1. Nyanya aliwasalimia wajukuu wake.2. Bustani la Kuzimu linawatisha watu wengi.3. Rita alimwandikia kakake barua kwa kalamu nyeusi.Shamirisho Kitondo - (indirect object)Huwakilisha ambaye kitendo kinafanywa kwa ajili yake au kwa niaba yake.Mtendewa1. Mama aliwapikia watoto ugali tamu.2. Bibi anawasimulia wasichana wadogo hadithi za kikale.3. Rita alimwandikia kakake barua kwa kalamu nyeusi.Shamirisho ala kitumiziHurejelea ala au kifaa kinachotumika kutekeleza kitendo hicho1. Wetu wengine huvuna mahindi kwa panga.2. Mchungaji Thabiti alikufa kwa maji.3. Rita alimwandikia kakake barua kwa kalamu nyeusi.ChagizoHutuelezea zaidi kuhusu kiima, kiarifa au shamirisho. Aghalabu chagizo huwakielezi au kivumishi.1. Mama alimvalisha bintiye mavazi ya kupendeza.2. Mumbe ni msichana hodari sana.3. Kinyonga hupendelea kutembea polepole.Page 24For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com4. Rita alimwandikia kakake barua kwa kalamu nyeusiNGE na NGALIMATUMIZI YA NGE NA NGALIKitengo SarufiNAVIGATIONNextNgeli za KiswahiliPrevUakifishajiNge na Ngali hutumika kuonyesha uwezekano au majuto. Kitendo fulanihakikutokea kwa sababu ya kitendo au hali nyingine ambayo haikutimilika.Kwa kifupi, kuna vitendo au hali mbili zinazotegemena; kwa hivyo hali yakwanza ikitokea kuna uwezekano wa kitendo cha pili kufanyika.Ni hatia ya kisarufi kuchanganya NGA na NGALI katika sentensi moja. Ikiwakipande cha kwanza kimetumia NGE, tumia NGE katika kipande cha pili n.ka) NGENge hutumika kuonyesha kwamba kitendo fulani hakijafanyika na kwa hivyojambo fulani halijatokea lakini kuna uwezekano wa kufanya kitendo hicho najambo hilo litokee.k.m1. Ningekuwa na pesa ningenunua simu Sina pesa wala sikununua simu,lakini nikipata pesa saa hii, ninaweza kununua simu2. Ningejua nyumbani mwake ningemtembelea Sijui nyumbani kwao walasijamtembelea, lakini nikijua nitamtembelea.Page 25For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comb) NGALI (au NGELI)Ngali hutumika kuonyesha kwamba kitendo fulani hakijafanyika na kwa hivyojambo fulani halijatok

Kukuza lugha. Aghalabu tungo zote za fasihi hutumia lugha. Isitoshe, fasihi hutumia mbinu nyingi za lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na ukwasi wa lugha. Kuhifadhi mila, tamaduni na itikadi za jamii. Aghalabu kazi za fasihi (hasahasa Fasihi Simulizi) huambatanishwa na desturi mbalim

Related Documents:

KI 214 UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI MBINU ZA UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI I. Malengo ya ufundishaji lugha kwa wageni Lengo kubwa ni kwamba ili mwanafunzi aweze kujua lugha hiyo kwa stadi zote za lugha ile. Stadi za lugha ni 1. Kusikiliza 2.kuzungumza

inafuata mchango wa baadhi ya wanaisimu wa lugha ya Kiingereza, Kiarabu na Kiswahili walivyobainisha uwepo wa kategoria ya nomino (majina) katika lugha hizi. 1.1.2 Majina Katika Lugha ya Kiingereza Wataalamu mbalimbali wa lugha ya kiingereza wamebainisha kuwepo kw

Mawasiliano kwa Wageni wa Lugha”. Nahau hizo zinatumika katika lugha ya maandishi ya Kiswahili na katika mazungumzo ya kila siku. Mtafiti wa utafiti huu aliongozwa na malengo mahsusi matatu ambayo ni kubainisha nahau mbali mbali za lugha ya Kiswahili k

Kiswahili) na Shahada ya Umahiri/Uzamili ya Sanaa katika Kiswahili (MA. Kiswahili – akitamilikia Fasihi) zote kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania. Chuoni anafundisha kozi za Kiswahili - Lugha, Isimu na Fasihi ikiwemo kozi ya Uandishi wa Kubuni. Pia, hufundisha Kiswahili

Kiswahili dialects are endangered by, among other factors, the onslaught of standard Kiswahili, English, and Sheng, and so they are likely to be dying. The paper holds the position that the Kiswahili dialects are vital for the development of standard Kiswahili and, therefore, their endangerment is the endangerment of standard Kiswahili.

Introduction to Kiswahili Poetry KSX 2102 Kiswahili Oral Literature KSX 2104 (with Mr Innocent Yerindabo) Introduction to Kiswahili Novels KSX 2202 History and Development of Kiswahili KSX 3101 Kiswahili Teaching Methods KSX 3201 Drafts Reviewed: Advanced Proficiency in Kiswahili KSX 1102 by Boaz Mutungi.

Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili.Aidha, imeelezea yaliyoandikwa kuhusu Ala za Sauti, Sauti za Lugha, Namna ya Utamkaji na Mahali pa Kutamkia Sauti za Kiswahili. Imeelezea Pengo la Maarifa na Kiunzi cha Nadharia. Sura ya Tatu imezungumzia Njia na Mbinu

accordance with asset management guidelines and procedures established by the Director of Finance & Administration or a designee. 8 Asset Inventory Departments will conduct a full inventory of all property under their stewardship, in accordance with the inventory schedule developed by F&A, and will provide the results of that inventory to the Director of Finance & Administration or a designee .