MDAHALO WA KUMBUKIZI YA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE .

3y ago
253 Views
5 Downloads
1.71 MB
7 Pages
Last View : Today
Last Download : 3m ago
Upload by : Samir Mcswain
Transcription

CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMOMDAHALO WA KUMBUKIZI YAHAYATIEDWARD MORINGE SOKOINETAREHE 9 – 12 APRILI, 2019MADA:Uzalishaji wa Kilimo na Viwanda kwa Maendeleo ya Tanzania:Mambo ya Kujifunza Kutoka kwa Hayati Edward MoringeSokoine na Matarajio ya Siku Zijazo1

Prof. Raphael T. ChibundaMakamu Mkuu wa ChuoUtanguliziUhusiano wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo na HayatiEdward Moringe Sokoine ulianza pale yeye kama Waziri Mkuu naMsimamizi shughuli za Bunge aliposimamia kwa umahiri mkubwakutungwa kwa sharia iliyoanzisha kilichokuwa Chuo Kikuu chaMorogoro cha Kilimo.Aidha, baada ya kifo chake hapo tarehe 12/04/2019 aliyekuwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, HBaba wa Taifa,Mwal. Julius Kambarage Nyerere aliridhia ombi la kilichokuwaChuo Kikuu cha Morogoro cha Kilimo kuwa Chuo Kikuu chaSokoine cha Kilimo.Seneti ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) mwaka1991 ilipitisha uamuzi kwamba kila mwaka Chuo kitakuwakinamuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kuadhimishakumbukizi ya kifo chake kilichotokea tarehe 12 Aprili, 1984.Hii ni kutambua umuhimu wake kwa mchango na kazi kubwaaliyofanya katika kuleta maendeleo ya taifa la Tanzania. ChuoKikuu Cha Sokoine Cha Kilimo kimekuwa kikifanya maadhimishoya kumuenzi Sokoine kila mwaka kwa mafanikio makubwa. Kwamwaka huu (2019) Chuo kinaadhimisha kumbukizi ya 16 kwakuwa na shughuli mbalimbali chuoni na kuhitimisha kilele chakeni leo tarehe 12 Aprili, 2019.Hayati Edward Moringe Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania kwa vipindi viwili; kwanza mwaka1977 hadi 1980, na 1983 hadi 1984. Kwa mwaka huu, tumekuwana maadhimisho kuanzia tarehe 9 hadi leo hii tarehe 12 Aprili 2019ambapo ndiyo kilele. Katika kipindi cha maadhimisho, kumekuwana maonesho ya teknolojia mbalimbali zilizotengenezwa na2wanataaluma na wanafunzi kutoka SUA nan je ya SUA. PiaTarehe 10 na 11 kumekuwa na Mkutano wa Kisayansi kwa ajiliya watafiti, wanataaluma na wanafunzi kumewasilisha na kujadilimatokeo ya tafiti mbalimbali. Na leo hii tarehe 12 Aprili 2019Chuo kikaonelea tuwe na Mdahalo wa Kitaifa.Jumuiya ya SUA tunakumbuka uongozi shupavu, uadilifu na juhudiza kupiga vita rushwa zilizofanya na Hayati Edward MoringeSokoine. Tunaamini juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu yaTano chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufulikupiga vita rushwa na kusisitiza uadilifu ni muendelezo wa yalealiyoyaacha Sokoine.Kwa kuzingatia nafasi ya Chuo Kikuu Cha Sokoine na jitihadaza serikali ya awamu ya tano katika kuleta maendeleo ya taifa,mada ya kumbukizi ya mwaka huu ni “Uzalishaji wa kilimo naviwanda kwa maendeleo ya Tanzania: Mambo ya kujifunza kutokakwa Hayati Edward Moringe Sokoine na matarajio ya siku zijazo”.Mada ndogondogo zitakazojadiliwa siku ya leo tarehe 12Aprili 2019 wakati wa mdahalo ni:(i)Historia na mchango wa Edward Moringe Sokoine katikakuleta maendeleo ya taifa la Tanzania(ii) Historia na mchango wa Edward Moringe Sokoine kwenyesekta za kilimo na viwanda(iii) Mchango wa sekta ya kilimo katika uchumi wa taifa(iv) Ujasiriamali katika sekta ya kilimo (Agriculturalentrepreneurship)Walengwa wakati wa maadhimisho haya wakulima, wafugaji,wavuvi, wanasiasa, wafanyabiashara, wanataaluma, watafiti,wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo na jamii nzimakwa ujumla. Ninawakaribisha kushuriki mdahalo huu na hatimayekwenda kufanyia kazi maazimio yatakayo tokana na mdahalo huu.ASANTENI NA KARIBUNIProf. Raphael T. ChibundaMakamu Mkuu wa Chuo3

Mh. Paul Kimitimwaka 1989 hadi 1991, na baadae kuwa Mkuu wa Mkoa waMbeya. Tarehe 16.10.2018, Rais wa awamu ya tano (5), Mh.Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alimteua Mh. Kimiti kuwaMwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO).Mzalendo, Mwadilifu na MchapakaziElimuMh. Paul Kimiti ana shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Kilimo(MSc. Agricultural Science) aliyopata kutoka Chuo Cha Calpoly,California, nchini Marekani. Alipata elimu ya msingi mkoaniRukwa kabla ya kujiunga na shule ya sekondari ya Mzumbe kwamasomo ya sekondari mwaka 1954. Alipata mafunzo ya kilimokama Afisa Mifugo kutoka vyuo mbalimbali kama Chuo ChaKilimo Cha Tengeru (Tengeru Agricultural College) mwaka 1961,na Chuo cha Deventer, Uholanzi Mwaka 1962. Kati ya mwaka1969 na 1970, Mh. Kimiti alipata mafunzo ngazi ya cheti nchiniUjerumani na kutunukiwa cheti cha “Labour Movement”.Kwa kifupi, Mh. Kimiti ni mzalendo mwadilifu na mchapa kazi,aliyeteuliwa na Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere kuwa Wazirina Mkuu wa Mkoa; Rais Ali Hassan Mwinyi kuwa Mkuu waMkoa; Rais Benjamin Mkapa kuwa Waziri na Mkuu wa Mkoa;na Rais Dkt. John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi. Leo, Mh.Paul Kimiti ataongelea historia, jinsi anavyomfahamu Sokoinena mchango wake katika kuleta maendeleo ya taifa la Tanzania.Mh. Gertrude Ibengwe MongellaKama Afisa KilimoAkiwa na umri wa miaka 19 alianza kufanya kazi kama afisa ugani(Extension Officer) mwaka 1959. Na kama mtaalamu wa kilimoamewahi kuwa mkufunzi katika Chuo Cha Kilimo Ukiriguru;Mkuu wa Chuo Cha Kilimo Uyole; na Mkuu wa Chuo cha KilimoNyegezi.Maisha ya SiasaKuhusiana na siasa, Mh. Paul Kimiti amewahi kuwa KatibuMsaidizi wa TANU makao makuu, mkufunzi wa mambo ya siasa,Mbunge jimbo la Sumbawanga, Waziri wa Nchi, Ofisi ya WaziriMkuu mwaka 1982. Mh. Kimiti aliwahi kufanya kazi na HayatiEdward Moringe Sokoine kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa waKilimanjaro mwaka 1984, na baadae Mkuu wa Mkoa wa Kagera4ElimuMh. Getruda Mongella alihitimu, digrii ya kwanza mwaka 1970katika Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki, kwa sasa Chuo Kikuucha Dar es Salaam. Alipata digrii ya heshima kutoka Ewha WomansUniversity Juni 2005.KaziBaada ya kuhitimu masomo ya shahada ya kwanza, GetrudaMongella alifanya kazi kama mkufunzi Chuo Cha Ualimu chaDar es Salaam kwa muda wa miaka minne kuanzia mwaka 1970hadi1974.5

Maisha ya SiasaKatika miaka ya 70, Mh. Mama Mongella alikuwa mbunge wabunge la Afrika Mashariki. Kuanzia miaka ya 1980 hadi 1990,alikuwa mbunge wa bunge la Tanzania. Mwaka 1982 hadi 1988,alikuwa waziri katika ofisi ya waziri mkuu, na baadaye akawaWaziri wa Ardhi, Utalii na Maliasili. Vile vile alikuwa waziri asiyena wazira maalum katika ofisi ya rais kuanzia mwaka 1987 hadi1990. Mwaka 2000, alikuwa mbunge katika bunge la Tanzania,jimbo la Ukerewa. Mama Mongella aliwahi kufanya kazi na HayatiEdward Moringe Sokoine.Majukumu ya kimatafaMwaka 1985, Mh. Mama Mongella alikuwa makamu mweyekitiwa mkutano wa kimataifa uliochambua mafanikio miaka 10 yaumoja wa mataifa kuhusu masuala ya wanawake. Mwaka 1989,alikuwa mwakilishi wa Tanzanian katika kamisheni ya hali yawanawake duniani. Mwaka 1990 hadi 1993, alikuwa mjumbe wabaraza la udhamini la Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Utafiti naMafunzo kwa Maendeleo ya Wanawake (INSTRAW).Kikuu cha Umoja wa Mataifa, Tokyo, Japan. Mwaka 1996 piaalikuwa Rais wa Utetezi kwa Wanawake wa Afrika. Mwaka 1997alikuwa mshauri mwandamizi wa katibu mtendaji wa kamisheniya uchumi kwa bara la Afrika kuhusu masuala ya jinsia.Uanachama katika mashirka yasiyo ya kiserikaliMh. Mama Mongella, ni mwamachama katika mashirika yafuatayo: Taasisi ya uchapishaji ya Afrika Umoja wa wanawake viongozi katika kilimo na mazingira,Tanzania (TAWLAE) Chama cha wanawake na misaada katika Africa, tawi laTanzania Chama cha Meno Tanzania Maendeleo ya Wanawake Ukerewe (MAWAU) Baraza la Ulimwengu kwa wakati ujaoLeo, mama Mongella anaongelea historia, jinsi anavyomfahamuSokoine na mchango wake kwenye sekta za kilimo na viwanda.Kutoka mwaka 1991 to 1992, Mh. Mama Mongella alikuwa balozinchini India na mwaka 1995 alikuwa katibu msaaidizi na katibuwa kutaniko la nne la kimataifa kuhusu wanawake, uliofanyikaBeijing, China. Kutoka mwaka 1996 hadi 1997 alikuwa katibuwa ujumbe wa umoja wa mataifa wa katibu mkuu wa umoja wamataifa kuhusu wanawake na maendeleo.Mwaka 1996 alikuwa mjumbe wa kamati ya ushauri kwamkurugenzi mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la elimu,sayansi na utamadauni (UNESCO) kufuatilia masuala ya mkutanowa Biejing wa wanawake katika bara la Africa, kusini mwa Jangwala Sahara.Mwaka 1996 pia alikuwa mjumbe wa Bodi ya taasisi ya ushirikianona utafiti katika maendeleo, London Uingereza. Pia alikuwamjumbe wa bodi wa mradi kuhusu njaa katika jiji la New York,Marekani na mjumbe wa bodi katika mradi kama huo katika Chuo6Prof. Amon Z. MatteeNi Profesa Mshiriki wa taaluma ya ugani katika kilimo naMkurugenzi mstaafu wa iliyokuwa kurugenzi ya Taasisi yaTaaluma za Maendeleo (DevelopmentStudies Institute), na Kituo cha SUA cha Maendeleo Endelevu7

Vijijini. Prof. Mattee alitunukiwa shahada ya kwanza ya sayansi(Hons) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1975, na digriiya uzamili na uzamizu katika Elimu ya Kujiendeleza Chuo Kikuucha Wisconsin, Madison, Marekani mwaka 1978 and 1983.Prof. Mattee anafundisha masomo ya ugani katika kilimo, nambinu za elimu kwa watu wazimu. Anapendelea kufanya tafitiza upokeaji na bunifu wa teknolojia kwa wakulima, wafugaji nawadau wengine, vikundi vya wakulima, mbinu shirikishi za ugani,na uanzishaji na tathmini za miradi ya maendeleo vijijiji. Eneo lakelingine la utafiti ni uaandaaji wa sera, mikakati na mipango katikasekta mbalimbali. Pia anapendelea kufanya kazi eneo la uandaajiwa vifaa vya mafunzo na uwezeshaji wa mafunzo kwa wagani.Prof. Mattee ameandika machapisho zaidi ya 50 ikiwemo vitabu,sura katika vitabu, machapisho ya kisayansi katika eneo la uganikatika kilimo na maendeleo vijijini. Leo, Prof. Mattee ataongeleamchango wa sekta ya kilimo katika uchumi wa Tanzania.Nafasi za kazi kwa sasaDkt. Anna Temu ni mkufunzi, mtafiti na mtaalam mshauri katikamasomo ya uchumi kilimo na biashara. Pia ni mwanzilishi waushirika wa wahitimu wajisiriamali wa Chuo Kikuu cha Sokoinecha Kilimo (SUGECO). Akiwa ni mtaalam mshauri wa kitaalamwa SUGECO, amefanya utafiti namna ya kukuza wajisiriamaliwabunifu na wenye elimu ya kina. Kwa sasa anafanya utafitikuhusu mnyororo wa thamani katika kuendeleza kilimo biasharanchini Tanzania. Sambamba na haya, Dkt. Anna Temu anajihusishana program ya kueneza teknolojia ya viazi lishe.Dkt. Anna Temu anaendelea na juhudi za kuanzisha na kuendezausindikaji na usambazaji wa bidhaa kutoka maabara ya uendelezajiwa bidhaa na uatamiaji. Pia, ni mtafiti na mkufunzi katika maeneomaalum ya masoko na biashara, uchumi sheria, uendelezaji wamnyororo wa thamani wa kilimo biashara na usimamizi jamii wabiashara.Vivile, ni mratibu wa taifa wa masomo ya kilimo kwa vijananchini Israel. Leo, Dkt. Anna Temu anaongelea mada ndogoinayohusu “Ujasiriamali Katika Sekta ya Kilimo” (AgriculturalEnterpreneurship).Dkt. Anna A. TemuElimuDr. Anna A. Temu ana shahada ya uzamivu katika uchumi kilimo(1999), aliyopata kutoka Chuo Kikuu cha Illinois, UrbanaChampaign, Nchini Marekani; ana shahada ya uzamili ya uchumikilimo (1991), aliyopata kutoka Chuo Kikuu Cha Guelph, Ontario,nchini Canada; ana shahada ya kwanza katika kilimo (Mchepuo wauchumi kilimo (1987), aliyopata kutoka Chuo Kikuu Cha Sokoinecha kilimo, Morogoro, Tanzania.89

RATIBA YA MDAHALOMUDA/SAA10TUKIOMHUSIKA2:30 - 3:00AsubuhiWageni KuwasiliKamati ya Maandalizi/Mshereheshaji3:00 - 3:30Mgeni Rasmikuwasili na kuwekajiwe la msingikwenye ujenzi waMaabara Mtambuka(MultipurposeLaboratory)Makamu wa Rais/Waziri wa Elimu,Sayasi na Teknolojiana Makamu Mkuu waChuo3:30 - 4:00AsubuhiMgeni Rasmikutembelea Mabandaya MaoneshoMakamu Mkuu waChuo /Waziri waElimu, Sayansi naTeknolojia MakamuMkuu wa Chuo4:00 - 4:15AsubuhiMgeni Rasmi kuwasiliUkumbiniMakamu Mkuu waChuo4:15 - 4:30AsubuhiTaarifa Fupi yaMakamu Mkuu waChuo kuhusu Chuo naKumbukizi la HayatiSokoineMakamu Mkuu waChuo4.:30 - 5.:30AsubuhiWasilisho kutoka kwaWachokoza MadaWachokoza Mada5:30 - 6:30MchanaMichango kutoka kwaWashirikiWashiriki Wote6:30 - 6:50MchanaMchango Maalumkutoka kwa Waziriwa Elimu, Sayansi naTeknolojiaMhe. Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia6:50 - 7:30MchanaMchango Maalumkutoka kwa MgeniRasmiMgeni Rasmi7:30 - 7:40MchanaNeno la ShukraniNaibu Makamu Mkuuwa Chuo (Taaluma)11

Makamu wa Rais wa TanzaniaMh. Samia Suluhu HassanWiziri wa Elimu, Sayansi naTeknolojiaProf. Joyce NdalichakoChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo-SUAS.L.P 3000, Chuo Kikuu,Morogoro -TanzaniaSimu: 255 23 2603511-4.Nukushi: 255 23 2640021Barua pepe: sua@sua.ac.tz12

Chuo Kikuu cha Morogoro cha Kilimo kuwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Seneti ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) mwaka 1991 ilipitisha uamuzi kwamba kila mwaka Chuo kitakuwa kinamuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kuadhimisha kumbukizi ya kifo chake kilichotokea tarehe 12 Aprili, 1984.

Related Documents:

KD 4 Menyajikan hasil identifikasi usulan upaya pelestarian keanekaragaman hayati Indonesia berdasarkan hasil analisis data ancaman kelestarian hewan dan . Menjelaskan upaya pelestarian biodiversitas (hewan, tumbuhan) langka. OBSERVASI Amati ciri-ciri berbagai tumbuhan di sekolah Catat Ciri: –DAUN, BATANG, BUNGA. Apa pendapatmu .

Indonesia terdapat banyak hewan dan tumbuhan langka, serta hewan dan tumbuhan endemik ( penyebaran terbatas ). Hewan – hewan di Indonesia memiliki tipe Oriental / Asia ( Kawasan Barat Indonesia ) dan Australia ( Kawasan Timur Indonesia) serta Peralihan. Diantara kawasan barat dan peralihan dibatasi oleh garis Wallace sedangkan antara kawasan .

adalah pemahaman terhadap kebutuhan lokal serta dasar-dasar ekologi konservasi, dan cara-cara agar hal itu bisa lebih mempengaruhi pembuatan kebijakan yang berdampak pada kehidupan masyarakat Malinau dan hutannya yang kaya dengan keragaman hayati. Mengungkap jasa-jasa dan manfaat yang ada dalam lansekap tropis, serta analisa biaya

364 Rahayu: Agens hayati P. fluorescens, ekstrak daun sirih, dan bakteri pustul pada kedelai Kedelai galur GHK-8 ditanam pada plot berukuran 5 m x 4 m, dengan jarak tanam 40 cm x 20 cm. Pada umur 2 minggu, seluruh tanaman diinfestasi dengan bakteri

KONSTITUSI HIJAU Pasal 28 H Ayat 1 Pasal 33 Ayat 4 PERATURAN OPERASIONAL UU No. 5/1990 tentang Konservasi Sumber Daya Alam Hayati dan Ekosistemnya UU No. 41/1999 tentang Kehutanan UU No. 32/2009 tentang Perlindungan dan Pengelolaan Lingkungan Hidup UU No. 18/2013 tentang Pencegahan dan Pemberantasan Perusakan Hutan UU No. 37/2014 tentang

Silabus Mata Kuliah Bimbingan dan Konseling Anak Usia Dini Yogyakarta, 18 Februari 2011 Dosen Pengampu Mata Kuliah Nur Hayati, M.Pd. 198112112006042001 Langkah Komponen Metode Media Alokasi Waktu PENDAHULUAN Orientasi perkuliahan : a. Perkenalan b. Menganalisis kebutuhan dan motivasi mahasiswa terhadap perkuliahan BK AUD

2. Upaya pelestarian hewan dan tumbuhan, khususnya hewan dan tumbuhan langka agar tidak mengalami kepunahan karena merupakan kekayaan sumber daya alam hayati yang tak ter nilai. Dalam setiap pembahasan selalu disajikan beberapa kegiatan. Misalnya kegiatan praktik, kegiatan latihan, kegiatan diskusi, kegiatan membuat tugas, dan sebagainya.

2019 ANNUAL BOOK OF ASTM STANDARDS Exclusive BSB Edge Pre-Publication Offer on All Publications! 01.06 Coated Steel Products 285 758 February 2019 01.07 Ships and Marine Technology (I): F670 .