MTIHANI AW MWISHO AW MUHULA AW PILI Kidato Cha Nne KISAW .

3y ago
244 Views
6 Downloads
14.69 KB
6 Pages
Last View : 6d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Olive Grimm
Transcription

102/3KISWAHILIKARATASI YA TATUFASIHIJulai / Agosti 2018Muda: Saa 2½MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILIKidato cha NneKISWAHILIKaratasi - 102/3Julai / Agosti 2018Muda : Saa 2½MAAGIZO1. Jibu maswali MANNE pekee.2. Swali la KWANZA ni la LAZIMA.3. Kisha chagua maswali mengine matatu kutoka sehemu zilizobakia; yaani Riwaya, Hadithi Fupi, naUshairi4. Usijibu maswali MAWILI kutoka SEHEMU MOJA.5. Kila swali lina alama 206. Majibu yote lazima yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.7. Karatasi hii ina kurasa 6 zilizopigwa chapa.8. Watahiniwa wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwamaswali yote yamo.1

1. SEHEMU YA 'A'RIWAYA:Kidagaa Kimemwozea ; Ken Walibora1. "Ahaa. Kusema kweli Afrika imepiga hatua kubwa za kimaendeleo baada ya uhuru."a) Fafanua muktadha wa maneno haya.(alama 4)b) Onyesha kinyume katika usemi huu.(alama 10)c) Jadili sifa sita za msemaji wa maneno haya.(alama 6)SEHEMU YA BTAMTHILIA:Mstahiki Meya : Timothy M. AregeJibu swali la 2 au la 32. "Si haki. Unayazika matumaini yetu. Unaifukua kesho yetu. Unatupoka utu na heshima yetu."a) Fafanua muktadha wa maneno haya.(alama 4)b) Eleza tamathali iliyotumika kwenye dondoo hili.(alama 2)c) Onyesha vile mrejelewa alivyoyazika matumaini na alivyofukua kesho yao.(alama 14)AU3. Tamthilia ya Kigogo ni taswira kamili ya matatizo yanayokumba mataifa mengi barani Afrika.Fafanua ukirejelea Tamthilia nzima.(alama 20)2

SEHEMU YA CHADITHI FUPITumbo lililoshiba na Hadithi nyingineJibu swali la 4 au la 54. "Penzi lenu na nani? . . . . Mgomba changaraweni haupandwi ukamea. Potelea mbali mkate wee!"a) Eleza muktadha wa dondoo hii.(alama 4)b) Taja naufafanue mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.(alama 4)c) Onyesha vile maudhui ya utabaka yanavyo jitokeza katika hadithi nzima.(alama 6)d) Eleza sifa sita za mzugumzaji kwenye dondoo.(alama 6)AU5. Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huowa kitanzi.a) Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.b) Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima.c) Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo.3(alama 4)(alama 10)(alama 6)

SEHEMU YA D:USHAIRIJibu swali la 6 au la 76. Soma shairi lifautalo kisha ujibu maswali.Daima alfajiri na mapemaHunipitia na jembe na kotamaKatika njia iendayo kondeniKama waIivyofanya babuze zamani;Nimuonapo huwa anatabasamuKama mtu aliye na kubwa hamuKushika mpini na kutokwa jashoHi kujikimu kupata malisho.Anapotembea anasikilizaVidege vya anga vinavyotumbuizaUtadhani huwa vimemngojeaKwa usiku kucha kuja kumwimbia;Pia pepo baridi kumpepeaRihi ya maua zikimleteaN ao umande kumbusu miguu;Na miti yotehujipinda migongokumpapasa, kumtoa matongo;Na yeye kuendelea kwa furahakuliko yeyote ninayemjuaAkichekelea ha ha ha ha ha ha .Na mimi kubaki kujiulizaKuna siri gani inayomliwaza?Au ni kujua aukutojua?Furaha ya mtu ni furaha ganikatika dunia inayomhini?Ukali wa jua wamnyima zaoSoko la dunia lamkaba koo;Dini za kudhani zamsonga rohoAyalimia matumbo ya waroho;Kuna jambo gani linamridhisha?Kama si kujua ni kutokujuaLaiti angalijua, laiti angalijua!4

a) Eleza hali ya mzungumziwa katika shairi hili.(alama 4)b) Huku ukitoa mifano, onyesha aina mbili za uhuru wa kishairi uiotumiwa katika shairi hili.(alama 2)c) Fafanua aina tatu za taswira ukirjelea ubeti wa pili.(alama 3)d) Eleza umuhimu wa maswali ya balagha katika shairi hili.(alama 2)e) Bainisha vipengele vifuatayo vya kimtindo katika shairi hili:(alama 3)i) tashisiii) kinayaiii) tashbihif) Eleza toni ya shairi hili.(alama 2)g) Bainisha nafsineni katika shairi hili.(alama 1)h) Changanua muundo wa shairi hili.(alama 3)AU7. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yatakayofuata.Leo kitaka nifike, natamani, ila wauma mwiliKwa kazi nihusike, samahani, unahiliki mwiliNapenda nihesabike, makundini, ila huwezi mwili.Vitisho pamwe kelele, ninavicha, kwa nafsi na mwiliHa ugonjwa utimile, umechacha, na kuudhili mwiliMsikose simile, magalacha, si gurudumu mwili.Vingekuwepo viraka, kuutia, ngeushuruti mwiliKifundi kivipachika, kuingia, hata kuridhi mwiliUpya ukaungilika, kuvutia, roho na wake mwili.Lakini kamwe haiwi, kuvipata, vipande vyake mwiliSihofu kupata mawi, sitajuta, kupigania mwili.Hata kufutwa sikawi, nitakita, kidete nao mwili.Kazi ninaithamini, ni hakika, akilini na mwiliIla kamwe siamini, kusagika, damu, jasho na mwiliUwele hususani, kioneka. nzuvu hitishi mwili.a) Eleza dhamira ya mtunzi wa shairi hili.(alama 4)5

b) Fafanua mbinu nne za lugha zilizotumiwa katika shairi hili.(alama 8)c) Eleza toni ya shairi hili.(alama 2)d) Ni nani anayezungumziwa na nafsineni katika shairi hili?(alama 1)e) Eleza bahari ya shairi hili kwa kurejelea vipande.(alama 2)f) Andika ubeti wa mwisho kwa lugha ya nathari.(alama 3)SEHEMU YA E:FASIHI SIMULIZI8. a) Eleza maana ya maigizo katika fasihi simulizi.(alama 2)b) Tofautisha aina mbili kuu za maigizo.(alama 4)c) Kwa kutoa hoja sita, eleza umuhimu wa maigizo katika jamii.(alama 6)d) Kwa kutoa mifano mitatu, onyesha jinsi misimu huzuka.(alama 3)6

FASIHI Julai / Agosti 2018 Muda: Saa 2½ MTIHANI AW MWISHO AW MUHULA AW PILI Kidato cha Nne KISAW HILI Karatasi - 102/3 Julai / Agosti 2018 Muda : Saa 2½ MAAGIZO 1. Jibu maswali MANNE pekee. 2. Swali la KWANZA ni la LAZIMA. 3. Kisha chagua maswali mengine matatu kutoka sehemu zilizobakia; yaani Riwaya, Hadithi Fupi, na Ushairi 4.

Related Documents:

JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA MTIHANI WA CEKENAS MUHULA WA PILI MWAKA 2015 Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari KISWAHILI INSHA KARATASI YA KWANZA MUDA: SAA 1 ¾ MAAGIZO 1. Andika insha mbili. 2. Insha ya kwanza ni ya lazima. 3. Chagua insha nyingine moja kutoka hizo tatu zilizosalia. 4. Kila insha isipungue maneno 400 5. Kila insha ina alama 20.

KWANZA-KIDATO CHA PILI -KISWAHILI KIDATO 2 Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748 E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com UFAHAMU (ALAMA 15) Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuatia. Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona .

Juma Kipindi Funzo Mada Malengo Shughuli Za Mwalimu Na Mwana Funzi Nyenzo Asilia Maoni 1 1 . Kusikiliza na kuongea Hadithi Kufikia mwisho wa kipindi: Mwanafunzi aweze . Sarufi Nomino Kufikia mwisho wa kipindi: Mwanafunzi aweze kutambua nomino kutokana na nomino -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga -kadi -picha michoro Tujivunie UK 183-185 .

kumeendelea kushuhudiwa matatizo mengi hali iliyopelekea kushuhudiwa kwamsururu . wamelazimishwa kulipa ushuru kwa kutaka tu kuona maiti za jamaa zao kwenye vyumba vya kuhifadhi maiti. . Eleza sifa sita za fasihi simulizi. .

wizara ya elimu, sayansi na teknolojia cheti cha ualimu elimu ya awali matokeo ya mtihani wa mwisho wa muhula wa ii juni 2019 wanachuo wa mwaka wa kwanza i i ja ict ja i ja ills ja u ja ct ja hili ja a ja ia ja o ja ia ja la ni ja i oni e512/283 nicodem herry swetala me 78 a 67 b 74 b 66 b 8

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali; (Watu wamesimama nusu mduara chini ya mti mkubwa. Wanafanya kelele na kuinua silaha zao. Mbele yao kuna viongozi. Hivi ndivyo mambo yalivyoendelea.) Mkuu wa wilaya: Ningependa kiongozi wenu awasilishe matatizo yenu. Tafadhali ketini . tumsikilize.

MTIHANI WA PAMOJA -MECS 2021 Jina: _ Nambari ya mtahiniwa:_Darasa: _ Tarehe: _ Sahihi: _ 102/2 Kiswahili Karatasi ya 2 Muhula wa Pili - 2021 Muda: Saa 2½ . kweli kwamba sera ya elimu bila malipo katika shule za msingi nchini humu inaendelea kutekelezwa. Hata hivyo, asilimia ya watoto na hata watu wazima wasiojua kusoma na .

2015 Mtihani wa Tathmini eneo la Bondo 102/1 Insha Fungua ukurasa 102/1 KISWAHILI Karatasi ya 1 Julai/Agosti - 2015 MUDA: SAA 1 ¾ MTIHANI WA KUTATHIMINI WILAYA YA BONDO - 2015 . Ardhi ndiyo chanzo cha riziki zote. Fauka ya hayo, ardhi ni dafina kubwa. . Fupisha aya ya kwanza kwa maneno 50.

4.0 KISWAHILI (102) 4.1 MATOKEO YA MTIHANI WA SOMO LA KISWAHILI Jedwali hili linaonyesha matokeo ya mtihani wa somo la Kiswahili katika muda wa miaka minne (2005 hadi 2008). Jedwali 6: Matokeo ya mtihani wa Kiswahili (2005 - 2008) Mwaka Karatasi Watahiniwa Alama ya Juu Alama ya Wastani Alama ya Tanganisho 2005 1 2 3 Jumla 259,301 40 80

Mwongo wa Mwalimu Uk. 68-69 e) Mijadala kuhusu vidokezo vya insha . Umoja. 4 Sarufi na Wingi wa Nomino: Kutambua a. nomino katika ngeli Ngeli ya U-ZI Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze: kutambua nomino katika ya U-ZI b. kuandika nomino za ngeli ya U-ZI katika umoja na Ukuta wingi c. Kuchangamkia kutumia ukucha nomino za ngeli ya .

umoja na wingi wa nomino katika ngeli ya LI-YA kwa hati ya mkono au kwenye tarakilishi. 3 Sarufi. Ngeli ya LI-YA Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya LI-YA katika umoja na wingi Ni nomino gan za ngeli ya LI- YA unazoziju a Mwanafunzi: ataje nomino za ngeli ya LI-YA (k.v. jiwe- mawe,

Kiswahili, Kidato cha 3 Maazimio ya Kazi Muhula wa Kwanza 4-5 6 1 2 3-4 Hadithi fupi Fasihi teule Kusikiliza na kuzungumza Utunzi Hadithi fupi Siku ya Mganga Maudhui katika riwaya Lugha ya dini Umbo la barua rasmi Pwaguzi Kufikia mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kujadili dhamira ya mwandishi. kuchambua maudhui na tamathali za lugha .

ya wakati wetu: „Naye akajibu, akawaambia, kweli Eliya yu aja kwanza, naye atatengeneza yote" (Mt 17:11; Mk 9:12). Wakati ya muhimu kwa mwisho wa wakati wa neema imekuwa sehemu ya utangazaji wangu kwa myaka mingi kupitia hudma yangu, pamoja na mafundisho yote ya kibiblia. Niliacha kila somo

muelekezaji na mwalimu aliyenikosoa kwa busara na hekima kubwa kila ilipobidi kukosolewa na kuelekezwa. Cha kumlipa sina, lakini sitoacha kumuombea dua kwa . 4.2 Uwiano wa Kanuni za Kifonolojia na Kimofolojia baina ya Kipemba . 4.3.1.4 Uwiano wa Nomino Zinazotofautiana Kimaumbo na Kulingana

ya Machipuko Si siku ya shule Aprili 04/12 na 04/13 Mtihani wa SAT & ACT WorkKeys Wanafunzi wa Vidato vya Chini pekee A.M. Wanafunzi Wote wa HS P.M. Shule ya Msingi ya Siku Nzima Mei 05/11 Hakuna Shule 05/20 Siku ya Mwisho ya Shule ya 1 Wanafunzi wa Vidato vya Juu 05/27 Siku Nusu (Shule ya Msingi) 05/30 Sikukuu ya Makumbusho - Hakuna Shule Juni

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA EKSIKA Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya(K.C.S.E) MAAGIZO: a) Jibu maswali yote. b) Andika majibu yote katika nafasi zilizoachwa. c) Karatasi hii ina alama 30. d) Hakikisha kurasa zote zimepigwa chapa. Swali Upeo Alama Ufahamu 15 Ufupisho 15 Lugha 40 Isimu Jamii 10 Jumla 80

MTIHANI WA MWIGO KAUNTI NDOGO YA KAKAMEGA KUSINI-2016 Hati ya Kuhitimu Masomo ya Sekondari – Kenya (K.C.S.E) Maagizo a) Jibu maswali yote. b) Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu hiki cha maswali. c) Hakikisha kuwa kurasa zote za kijitabu hiki zimepigwa hapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

Nunua diwani ya TUMBO LISILOSHIBA na Hadithi nyingine kisha usome hadithi zifuatazo na kuandikia muhtasari wa hadithi hizo:Mame Bakari,Mapenzi Kifaurongo,Mtihani wa Maisha,Ndoto ya Mashaka na Mkubwa.Maswali kwenye mtihani wa kiingilio yatatoka

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA UPILI WILAYANI MAKINDU, 2014 Kenya Certificate of Secondary Education (K.C.S.E) MAAGIZO KWA MTAHINIWA . Urafiki wa namna hii ndio uletao baraka ya Mungu, kuwashukia viumbe hao kama umande wa asubuhi. Urafiki ni lazima sana katika maisha ya wanadamu. Urafiki ni mfano wa mishipa ipitishayo damu

bab ii penerimaan pegawai . bab iii waktu kerja, istirahat kerja, dan lembur . bab iv hubungan kerja dan pemberdayaan pegawai . bab v penilaian kinerja . bab vi pelatihan dan pengembangan . bab vii kewajiban pengupahan, perlindungan, dan kesejahteraan . bab viii perjalanan dinas . bab ix tata tertib dan disiplin kerja . bab x penyelesaian perselisihan dan .