Tarehe Sahihi - Schools Net Kenya

3y ago
227 Views
2 Downloads
320.53 KB
9 Pages
Last View : Today
Last Download : 2m ago
Upload by : Averie Goad
Transcription

Jina . . . Darasa Nambari .Tarehe . . . Sahihi .TATHMINI YA muhula wa pili 2019KIDATO CHA KWANZAMUDA: DAKIKA 50Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

INSHAMaagizo:Insha yako isipungue maneno mia tatu (300)Mwandikie mzazi wako barua ukimweleza jinsi maisha yalivyo katika shule ya upili. Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

.Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

UFAHAMU ALAMA 15ElimuNi dhahiri kabisa kuwa elimu ndiyo msingi wa maendeleo.Elimu ya ujuzi na maarifa humfaidimtu kwa kila njia-kiuchumi, kisayansi, katika utafiti wa aina tofautitofauti na kwa kuinafidhijamii kwa jumla.Bila elimu, maendeleo hayawezi kupatikana kamwe; kuyataraji ni kamakutumaini kupata kitu kwenye ombwe tupu.Binadamu si kibonge au kidude kinachoweza kukaa bila chakula, mawasiliano na uhusiano katiyake na mazingira.Bila elimu, matatizo chungu nzima yatamkumba mwanadamu.Mifano yamatatizo haya ni kama vile ukosefu wa vyakula, hali duni ya mawasiliano, mmomonyoko waudongo na hali nyingine za kuhuzunisha na kuaibisha.Maliasili yaweza kutumika tu iwapo panaujuzi.Mito, misitu na madini ni vitu ambavyo vinaweza kurahisisha mno maisha ya wananchivikitumiwa kwa ujuzi.Kwa mujibu wa ukweli huu, kujua kusoma na kuandika, ambacho ndichokiini cha elimu, ni jambo la lazima katika Maisha.Elimu hurahisisha mawasiliano.Uwezo wa kupashana habari hutegemea ujuzi.Mawasiliano ni yanjia nyingi tofauti kama vile simu, barua, telegramu na njia nyingine.Nchi isiyo na mawasilianobora ni kama jangwa lisilopitika.Kwa vile kila habari hugeuza hali Fulani ya Maisha, bila ujuziwa kusoma na kuandika, mawasiliano hayawezekani.Maandishi mengi huwa na uzito wa maana na mtu yeyote asiyejua kusoma na kuelewa hawezikunufaika kupitia kwa maandishi ilhali ajuaye atasoma, aelewe na kutimiza wajibu wake waujenzi wa taifa.Wahenga walisema, fumbato mfumbie mjinga, mwerevu huling’amua,kwanimwenye macho haambiwi tazama.Ni wazi kwamba mwenye ujuzi wa kusoma na kuandika ndiyeatakayeelewa mawazo ya wenzake yaliyoandikwa na kuyatumia katika harakati za ujenzi wataifa.Shuleni, wanafunzi hufunzwa kusoma na kuandika kusudi waweze kuchambua maandishi tofautiili wawe na uwezo wa kujitegemea wenyewe kimaarifa.Kwa kuchambua maandishi tofauti,wanafunzi huelewa yale yafaayo na yasiyofaa katika jamii kwa kutumia mifano mizuri aumibaya ya wahusika katika kazi za kisanaa.Kwa njia hii, wanafunzi hupima kila hali kwamakini-yaani huwaza na kuwazua kabla ya kukata shauri kutenda lililo bora na la kuletamaendeleo.Katika ulimwengu wa biashara, kujua kusoma na kuandika ni jambo muhimu kwa vile mfanyibiashara ni lazima achemshe bongo ili kazi yake isidhoofike na mwishowe aangamie kifedha.Nilazima biashara itunzwe isije ikadidimia na ufukara ukaingia.Ufanisi katika biashara zifanywazona watu binafsi huchangia ufanisi katika nchi kwa jumla, kwa maana haba na haba hujazakibaba.Kupitia kwa utafiti katika nyanja tofauti, wanasayansi huwahudumia wananchi kwa njia nyingimadhubuti. Bila ujuzi wa kusoma na kuandika, watafiti, marubani, manahodha, madaktari nawahandisi na wenye taaluma nyingine hawawezi kupatikana.Kila mjuzi huwa na jukumu lakekatika kuchangia maendeleo nchini; ni lazima mhandisi arekebishe mitambo, daktari atibu watu,nahodha aongoze chombo na mwalimu afundishe.Wote wanahitaji elimu.Kwa mujibu wa hali hizi zote, ni Dhahiri kuwa ujuzi wa kusoma na kuandika ni jambo la lazimaiwapo vikwazo katika ujenzi wa taifa vitaondolewa ili tupige hatua kubwa kimaendeleo.Maswalia) Je, elimu ina faida gani kwa mtu? Alama 2Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

.b) Taja aina nne za shida zinazoweza kumkumba mtu kutokana na ukosefu wa elimu.Alama 4 .c) Ni nini hasa kiini cha elimu? Alama 2 .d) Eleza maana kamili ya mawasiliano na utaje mifano minne. Alama 3 e) Mwandishi anamaanisha nini anapotumia methali ‘fumbsto mfumbie mjinga, mwerevuhuling’amua’? alama 2 .f) Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika kifungu. Alama 2Madini Ombwe MATUMIZI YA LUGHA ALAMA 35a) Sauti hizi hutamkiwa wapi? Alama 2/w/ ./d/ .b) Tofautisha kati ya irabu na konsonanti. Alama 4 c) Taja vikundi saba vya konsonanti kwa kutolea mfano ukizingatia hali ya mtetemekokatika nyuzi za sauti. Alama 7 Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

d) Kwa kupigia mstari, onyesha viambishi awali na tamati katika neno lifuatalo. Alama 2Anakochezeae) Taja vipashio vya lugha. Alama 2 f) Eleza maana ya: Alama 4i) Shadda ii) Kiimbo g) Unda neno lenye muundo ufuatao. Alama 2KKIKKI h) Weka shadda mahali pafaapo. Alama 1a. Marudio b. Karatasi .i) Eleza maaana ya maneno yafuatayo: alama 3Kiambishi Kihisishi .Kiwakilishi j) Sahihisha. Alama 2nelson mandela, aliyekuwa rais wa afrika kusini, alifanya mashauri na mobutu sessesekowa zaire. k) Geuza sentensi ifuatayo iwe katika wakati ujao. Alama 2Mpwa wangu anafua nguo zake. l) Andika kinyume cha sentensi ifuatayo. Alama 2Mama anapika ilhali dada anaanika nguo. m) Andika katika wingi alama 2Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

Baba anachimba kisima. ISIMUJAMII ALAMA 10Eleza majukumu yoyote matano ya lugha alama 10 FASIHI SIMULIZI ALAMA 201. Eleza dhima ya fasihi katika jamii. (alama 10) 2. Onyesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi alama 10 Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Mbagathi – NairobTel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

kutumaini kupata kitu kwenye ombwe tupu. . mawasiliano na uhusiano kati yake na mazingira.Bila elimu, matatizo chungu nzima yatamkumba mwanadamu.Mifano ya matatizo haya ni kama vile ukosefu wa vyakula, hali duni ya mawasiliano, mmomonyoko wa . Onyesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi alama 10 .

Related Documents:

Kwa sababu ya dhana hii hafidhina na potovu, kuna kazi ambazo wanaume hawawezi kuzifanya eti kwa sababu ni za wanawake. Katika sehemu za mashambani wanawake hufanya takribani kazi zote za nyumbani zikiwemo kuchana kuni, kupika, kulea watoto, kuuguza wagonjwa, kupokea wageni

KMLTTB Kenya Medical Laboratory Technicians and Technologists Board . v The Second Kenya AIDS Strategic Framework 2020/21-2024/25 KMoT Kenya Mode of Transmission KMTC Kenya Medical Training College KNBS Kenya National B

(a) Fupisha ujumbe wa aya nne za kwanza kwa maneno 90. ( alama 8, 1 ya mtiririko) ya hayo, huduma zinazopatikana kwenye mtandao zimewafanya vijana kuwa waraibu kiasi cha kutotenga wakati kuyadurusu masomo yao. Hili linawatia kiwewe wakati wa mtihani na yumkini ni mojawapo ya vyanzo vya udanganyifu katika mitihani.

MTIHANI WA PAMOJA -MECS 2021 Jina: _ Nambari ya mtahiniwa:_Darasa: _ Tarehe: _ Sahihi: _ 102/2 Kiswahili Karatasi ya 2 Muhula wa Pili - 2021 Muda: Saa 2½ . kweli kwamba sera ya elimu bila malipo katika shule za msingi nchini humu inaendelea kutekelezwa. Hata hivyo, asilimia ya watoto na hata watu wazima wasiojua kusoma na .

Kimataifa ya Wamisheni Katoliki na Jumuiya ya Kimataifa ya Elimu-Misheni , Uokoaji wa Makumbusho ya Watu Wetu, iliyofanyika Rome, mnamo tarehe 29 Septemba hadi tarehe 6 Oktoba, 2002. Usaidizi na ushauri uliotolewa na washiriki wa kongamano hii na maafisa wa kuhifadhi kumbukumbu kutoka ma

hotuba yake ya kwanza kulizindua Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005. Aidha, Mheshimiwa Rais alirudia kauli yake wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, tarehe 3 Novemba, 2007 mjini Dodoma. Tarehe 12 Novemba 2007, Rais aliteua Kamati aliyoahidi na kuipa miezi mitatu kukamilisha kazi yake.

KENYA DEPOSIT INSURANCE ACT No. 10 of 2012 Revised Edition 2012 Published by the National Council for Law Reporting with the Authority of the Attorney-General www.kenyalaw.org [Rev. 2012] No. 10 of 2012 Kenya Deposit Insurance 3 [Issue 1] NO. 10 OF 2012 KENYA DEPOSIT INSURANCE ACT ARRANGEMENT OF SECTIONS

Achieved a high qualification In Radiology such as American Board, ABRMI or equivalent. Has an experience of at least 3 years after the higher qualification. Of the rank of Consultant Radiologist. Is employed on a full time basis , in the selected training hospital/ center -6-4.2 - Responsibilities and Duties of the Trainer Responsible for the actual performance of the trainee. Look after the .