MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU, 2019 KISWAHILI KIDATO .

3y ago
839 Views
15 Downloads
334.60 KB
6 Pages
Last View : 12d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Fiona Harless
Transcription

MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU, 2019KISWAHILI KIDATO CHA 2LUGHAJINANAMBARI DARASA1.UFAHAMU (Alama10)Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswaliTokea muundo mpya wa serikali ya ugatuzi uanze kutekelezwa miaka miwili iliyopita,kumeendelea kushuhudiwa matatizo mengi hali iliyopelekea kushuhudiwa kwamsururuwa migomo na maandamano ya raia. Fujo za karibuni kabisa ni zile zinazoshuhudiwakatika miji mikubwa za wachuuzi na wafanyibiashara wakipinga hatua za serikali zakaunti kuwatoza ushuru takribani kwa kila huduma na bidhaa ikiwemo wanyama, kukuna ndege. La kuhuzunisha zaidi katika baadhi ya majimbo imeripotiwa kuwa raiawamelazimishwa kulipa ushuru kwa kutaka tu kuona maiti za jamaa zao kwenye vyumbavya kuhifadhi maiti.Wanasiasa wameonekana kuwa na wakati mgumu kutetea mfumo huu mpya wa ugatuzihuku baadhi wakisema kwamba matatizo yanayoshuhudiwa kwa sasa yametokana naugeni wa mfumo huo. Wengine wameinyoshea kidole serikali ya kitaifa kwamba ndiyoinayosambaratisha muundo huu. Wengine wanahoji kuwa bado ni mapema na kwambakunatajika muda mrefu ili kufaulu.Ni wazi kwamba kumekosekana nidhamu bora ya kusimamia maisha ya raia nchiniKenya. Matatizo yanayokumba raia kwa sasa ni dalili kuwa mfumo wa serikali yaugatuzi umeongezea chumvi kwenye kidonda badala ya kutibu. Swali ni je, hadi lininidhamu ya kusimamia raia itakuwa ni suala la majaribio na makosa?Hatua ya kuwarundikizia raia ushuru mkubwa ni kitendo cha unyonyaji na cha dhulumakinachofaa kupingwa. La kufahamishiwa hapa ni kwamba ushuru ndio njia kubwa yakuzalisha mapato ya serikali zinazojifunga na mfumo wa kimagharibi wa kiuchumi wakibepari ikiwemo Kenya. Asilimia 90 ya mapato ya serikali za kibepari huegemeaushuru. Kwa hivyo hatua ya serikali za kaunti katika kuwanyonya raia kwa kuwalipishaushuru si ajabu bali ni thibitisho kuwa jamii ya Kenya inaongozwa na nidhamu yakiuchumi ya ubepari mfumo wa unyonyaji na ukandamizaji. Ukweli unabakia kuwandani ya serikali za kibepari raia ndio hubebeshwa mzigo wa ushuru unaoishiamatumboni mwa viongozi!Miito ya mabadiliko ya katiba na ya miundo mipya ya kiutawala si lolote ila ni moja tuya hatua za mfumo wa kibepari kujipa muda wakuishi na kuziba aibu zake za kushindwakusimamia maisha ya watu. Kufeli huku kwa mfumo huu kunashuhudiwa hadi kwenyenchi kubwa za kibepari kama Marekani na Uingereza hivyo nazo zimekumbwa tele namaandamano na fujo za raia wakilalamikia hali ngumu ya maisha.MaswaliCompiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

a)Yape makala haya anwani mwafaka.(alama 1)Eleza mtazamo wa wanasiasa kuhusu utepetevu wa mfumo huu.(alama 2)“Ugatuzi nchini Kenya ni mfumo wa kibepari” Thibitisha kauli hii kwa kurejelea makala.(alama 1)b) Migomo ni zao la matatizo yaliyogatuliwa kutoka kuu. Toa sababu nyinginezinazosababisha migomo katika serikali za ugatuzi(alama 2)Thibitisha jinsi mfumo wa ugatuzi umeongeza chumvi kwenye kidonda badala ya kutibu(alama 2)Eleza maana ya neno lifuatalo(alama 2)UgatuziCompiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

3.a)SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHATofautisha sauti zifuatazo.(Alama30)(alama 2)/a//u/b) i) Ngeli ni nini?(alama 1)ii) Maneno haya yamo katika ngeli gani?(alama 2)TundaKipepeoc)Ainisha mofimu katika neno lifuatalo(alama 3)SikumkaribishaCompiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

d) Andika kwa wastani(alama 2)Magoma hayo yatachezwa mawanjanie)Tofautisha sentensi zifuatazo.(alama 2)i) Baniani mwenyewe ni huyu.ii) Baniani mwenye mali amelejea.f)Tunga sentensi ukitumia VIELEZI vya;na upigie mstari(alama 3)a) wakatib) mahalic)namnag) Tunga sentensi kuonyesha maana mbili za nenochuma(alama 2)Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

4.ISIMU JAMII(Alama 5)i)Eleza maana ya Isimu Jamii(alama 1)ii)Eleza sifa nne za mazungumzo kati ya daktari na mgonjwa.(alama 4)5.FASIHI SIMULIZI(i)Eleza sifa sita za fasihi simulizi.Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(ii) Ushairi ni kwa malenga.Taja watendaji wa tanzu hizi.NyimboHadithi(iii) Tofautisha kati ya:Hurafa na HekayaCompiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

kumeendelea kushuhudiwa matatizo mengi hali iliyopelekea kushuhudiwa kwamsururu . wamelazimishwa kulipa ushuru kwa kutaka tu kuona maiti za jamaa zao kwenye vyumba vya kuhifadhi maiti. . Eleza sifa sita za fasihi simulizi. .

Related Documents:

FASIHI Julai / Agosti 2018 Muda: Saa 2½ MTIHANI AW MWISHO AW MUHULA AW PILI Kidato cha Nne KISAW HILI Karatasi - 102/3 Julai / Agosti 2018 Muda : Saa 2½ MAAGIZO 1. Jibu maswali MANNE pekee. 2. Swali la KWANZA ni la LAZIMA. 3. Kisha chagua maswali mengine matatu kutoka sehemu zilizobakia; yaani Riwaya, Hadithi Fupi, na Ushairi 4.

JARIBIO LA TATHMINI YA PAMOJA MTIHANI WA CEKENAS MUHULA WA PILI MWAKA 2015 Hati ya Kuhitimu Elimu ya Sekondari KISWAHILI INSHA KARATASI YA KWANZA MUDA: SAA 1 ¾ MAAGIZO 1. Andika insha mbili. 2. Insha ya kwanza ni ya lazima. 3. Chagua insha nyingine moja kutoka hizo tatu zilizosalia. 4. Kila insha isipungue maneno 400 5. Kila insha ina alama 20.

KWANZA-KIDATO CHA PILI -KISWAHILI KIDATO 2 Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748 E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com UFAHAMU (ALAMA 15) Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuatia. Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona .

Juma Kipindi Funzo Mada Malengo Shughuli Za Mwalimu Na Mwana Funzi Nyenzo Asilia Maoni 1 1 . Kusikiliza na kuongea Hadithi Kufikia mwisho wa kipindi: Mwanafunzi aweze . Sarufi Nomino Kufikia mwisho wa kipindi: Mwanafunzi aweze kutambua nomino kutokana na nomino -kueleza -kutaja -kuandika -kuiga -kadi -picha michoro Tujivunie UK 183-185 .

wizara ya elimu, sayansi na teknolojia cheti cha ualimu elimu ya awali matokeo ya mtihani wa mwisho wa muhula wa ii juni 2019 wanachuo wa mwaka wa kwanza i i ja ict ja i ja ills ja u ja ct ja hili ja a ja ia ja o ja ia ja la ni ja i oni e512/283 nicodem herry swetala me 78 a 67 b 74 b 66 b 8

Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali; (Watu wamesimama nusu mduara chini ya mti mkubwa. Wanafanya kelele na kuinua silaha zao. Mbele yao kuna viongozi. Hivi ndivyo mambo yalivyoendelea.) Mkuu wa wilaya: Ningependa kiongozi wenu awasilishe matatizo yenu. Tafadhali ketini . tumsikilize.

MTIHANI WA PAMOJA -MECS 2021 Jina: _ Nambari ya mtahiniwa:_Darasa: _ Tarehe: _ Sahihi: _ 102/2 Kiswahili Karatasi ya 2 Muhula wa Pili - 2021 Muda: Saa 2½ . kweli kwamba sera ya elimu bila malipo katika shule za msingi nchini humu inaendelea kutekelezwa. Hata hivyo, asilimia ya watoto na hata watu wazima wasiojua kusoma na .

a central part of the Revolution’s narrative, the American Revolution would have never occurred nor followed the course that we know now without the ideas, dreams, and blood spilled by American patriots whose names are not recorded alongside Washington, Jefferson, and Adams in history books. The Road to the War for American Independence By the time the first shots were fired in the American .