MASWALI YA KIGOGO

3y ago
777 Views
531 Downloads
513.58 KB
11 Pages
Last View : 6d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Sutton Moon
Transcription

MASWALI YA KIGOGOPage 1Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

MUST WATCH FOR ALL FORMTHREE & FOUR STUDENTSPage 2Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

MASWALI YA KIGOGO1. Hivi vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbishakichwa! Mtu anaitwa daktari na hata kazi ya maana hana.a. Weka dondoo hili hili katika muktadha wake(Alama 4)b. Fafanua mbinu mbili za sanaa alizozitumia mwandishi(Alama 4)c. Ukirejelea tamthilia ya Kigogo, dhihirisha kuwa mtu anaitwa daktarina hata kazi ya maana hana.(alama 122. Utawala wa majoka katika jimbo la sagamoyo umejaa sumu yanyoka’’. Jadili usemi huu(alama 20)3. ‟Wamenimaliza Wamenigeuka ″.a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.(Alama 4)b) Eleza namna msemaji amemalizwa na kugeukwa?(Alama 4)c) Eleza umuhimu wa msemaji.(Alama 4)d) Eleza jinsi wahusika wengine walivyomaliziwa katika tamthilia.(Alama 8)4. "Mataifa mengi ya Afrika yamekumbwa na tatizo la uongozi mbaya."Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya kigogo. (al20)5. Uliona nini kwa huyo zebe wako? Eti mapenzi!a) Eleza muktadha wa dondoo.(alama 4)b) Andika mbinu mbili za lugha zinazojitokeza kwenye dondoohili.(alama 4)Page 3Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

c) Taja hulka za mnenaji unaojitokeza katika dondoo.(alama 2)d) Mwanamke ni kiumbe wa kukandamizwa. Thibitisha kauli hiiukirejelea tamthilia. (alama 10)6. Ni bayana kwamba viongzoi wengi katika nchi zinazoendeleawamejawa na tamaa na ubinafsi. Thibitisha kauli hii ukirejeleatamthilia ya kigogo.(alama 20)7. “Unayazika matumizi yetu .Unaifukia kesho yetu.”a. Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)b. Onyesha jinsi anayeambiwa maneno haya anavyoifukia kesho yawenzake (alama 16)8. ”Msiba wa kujidunga hauna kilio.” Thibitisha kauli hii kwa kurejeleaya Kigogo (alama 20)9.a) Utawala wa sagamoyo unatumia mbinu nyingi kubakia mamlakani.Fafanua zozote kumi (alama 10)b) Mwanamke ni nguzo imara katika ujenzi wa jamii. Eleza kauli hiiukirejelea tamthilia ya kigogo (alama 10)10. “Tuacheni kufumbatia maji kama jiwe. Sagamoyo inahitajimabadiliko, damu nyepesi ili kuufungua ukurasa mpya”a) Eleza muktadha wa dondoo hili(alama 4)b) Kwa kutoa mifano taja tamathali mbili za usemi zinazojitokezakatika dondoo hili(alama4)c) Kwa nini sagamoyo inahitaji mabadiliko? (alama 10)Page 4Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

d) Taja sifa moja ya msemaji inayojitokeza katika dondoo hili(alama 4)11. Kwa kurejelea mifano mbalimbali thibitisha dai kuwamwandishihuyu amemlika uhalisia wa jamiiya Kenya (al. 20)12. Ona sasa! Mnaniharibia biashara. Nimewapa dakika moja muionenyumba hii paa. Nikiwapatahapa, mtajua kwa nini wananiita a) Fafanua muktadha wa dondoo hili.(al. 4)b) Tambua kwa kutolea mfano mbinu moja ya lugha inayojitokezakatika muktadha huu. (al.2)c) Kwa kurejelea mifano mbalimbali eleza madhara/matokeo yashughuli za msemaji katika dondoo hili kwa jamii husika (al. 14)13. Eleza jinsi mbinu zifuatazo zilivyotumika katika Tamthlia hii.(alama 20)a) Kinayab) Majazi14. Ami ? Tangu lini ukawa ami yangu?a) Eleza muktadha wa dondoo(Alama 4)b) Taja mbinu iliyotumika katika dondoo hili(AIama 2)c) Eleza sifa za msemaji(AIama8)d) Bainisha maudhui ya nafasi ya mwanamke ukizingatia mhusikahuyu(AIama 8)Page 5Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

15. Uongozi mbaya ni tatizo sugu linalokumba mataifa mengi yaAfrika. Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia yakigogo. (alama 20)16. Haja zako ni haja zangu, shida zako ni shida zangu, kiu yangu nikiu yako. a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. Alama 4b) Kwa kurejelea dondoo taja na ueleze sifa nne za msemaji namsemewa. Alama 8c) Taja tamathali ya usemi inayojitokeza katika dondoo alama 2d) Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo eleza jinsi mbinu zifuatazozimejitokezaa. Nyimbob. Jazandac. Majazialama 617. “Mimi ni mtu wa vitendo, si wa vishindo.”(a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.(alama. 4)(b) Kwa kurejelea dondoo eleza sifa mbili za mnenaji(alama. 4)(c) Thibitisha ukweli wa kauli ya mnenaji.(alama. 12)18. Ukiukaji haki na uvunjaji sheria ni mambo yaliyokithiri katikajimbo la Sagamoyo. Thibitisha. (alama. 20)19. “ .Acha porojo zako . Kigogoo hachezewii watafutamaangamimi!”a) Eleza muktadha wa dondoo hili(alama 4)b) Fafanua sifa za muzungumzaji(alama 4)Page 6Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

c) Eleza jinsi msemewa alivyokuwa akimchezea kigogo katikamuktadha huu. (alama2)d) Kwa kurejelea hoja kumi kutoka kwenye tamthilia Onyeshaukweli kuwa ‘Kogogo hachezewi (alama 10)20. Kwa kirejelea tamthilia ya kigogo, jadili mbinu - ishi tunazojifunzakutokana na kijana Tunu. (alama 20)21. “Ukitaka kukula asali kaa na nyuki!”a) Eleza muktadha wa dondoo hili.[alama 4]b) Bainisha mbinu iliyotumika katika dondoo hili.[alama 2]c) Eleza jinsi wahusika hawa walivyofaidika kutokana na kukaa nanyuki. [alama 14]i. Chopiii. Kengaiii. Ngurumoiv. Mamapima22. Eleza jinsi mwandishi alivyotumia mbinu ya majazi.[alama 20]23. “Shika hamsini zako wewe . Hatutaki kufanya nira na mtu .”(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.(alama 4)(b) Eleza tamathali ya usemi iliyotumika.(alama 2)(c) Uongozi wa Majoka umesheheni sumu ya nyoka. Thibitisha kwakudokeza hoja kumi na nne. (alama 14)Page 7Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

24. . Utawala mbaya ni tatizo sugu linalozikumba nchi nyingi zakiafrika. Jadili, kwa kurejelea matukio ishirini katika tamthilia yaKigogo (alama 20)25. “Ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguzamajeraha yao ya kufungiwa soko.”a) Weka maneno haya katika muktadha wake.(alama 4)b) Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili(alama 2)c) Kando na kufungiwa soko, Wanasagmoyo wanauguza majerahayepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka(alama 5)d) Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hili.(alama 9)26. "Si haki. Unayazika matumaini yetu. Unaifukua kesho yetu.Unatupoka utu na heshima yetu."a) Fafanua muktadha wa maneno haya.(alama 4)b) Eleza tamathali iliyotumika kwenye dondoo hili. (alama 2)c) Onyesha vile mrejelewa alivyoyazika matumaini na alivyofukuakesho yao. (alama 14)27. Tamthilia ya Kigogo ni taswira kamili ya matatizo yanayokumbamataifa mengi barani Afrika. Fafanua ukirejelea Tamthilia nzima.(alama 20)28. “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo. Kitandausichokilalia kunguni wake huwajui.”a) Eleza muktadha wa dondoo hili.(al.4)Page 8Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

b) Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo, thibitisha ukweli wa dondoohili. (al.14)c) Taja tamathali za usemi zilizotumika katika dondoo hili.(al.2)29. Eleza mbinu alizotumia majoka kuendeleza uongozi wake.(al.20)30. “Oooh bebi, miaka yaenda mbio sana, nayo sura yakoinachujuka ”a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.(alama 4)b) Mhusika anayehusishwa na wimbo huu ana msimano gani wakimapinduzi? (alama 8)c) Taja sifa zozote nane za muhusika huyu (alama 8)31. Tamthilia ya ‘Kigogo’ ni kioo cha uhalisia wa maisha ya jamiinyingi za kiafrika. Thibitisha. (alama 20)32. “Mguu huu ni wako”a) Eleza muktadha wa dondoo hili(al.4)b) Ni tamathali gani ya usemi iliyotumika katika dondoo hili. Elezamaana yake (al.2)c) Msemewa alipewa ahadi zipi(al. 5)d) Eleza sifa na umuhimu wa mzungumzaji(al. 9)33. “Dalili ya mvua ni mawingu, lazima tuwe macho”.Page 9Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

a) Eleza muktadha wa dondoo hili.(alama 4)b) Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili.(alama 2)c) Ushauri uliotolewa na msemaji baadaye kama njia mojawapo yakuwa macho ni wa kidhalimu. Fafanua.(alama 4)d) Eleza namna unafiki wa msemaji na upumbavu wa mnenewaunavyodhihirika katika muktadha wa dondoo hili. (alamae) Onesha jinsi ukweli wa kauli hii ulivyojitokeza baadaye katikatamthilia. (alama 4)34. Jadili migogoro inayojitokeza katika tamthilia ya kigogo, kishautathmini namna ilivyosuluhishwa. (alama 20)35. “ Do ! Do ! Simameni ! Simameni leo kutanyesha mawe! “(i) Eleza muktadha wa dondoo hili.( alama 4)(ii) Fafanua mbinu za lugha zilizotumika katika dondoo(alama 4)(iii) Dhihirisha kwa kuzingatia hoja sita jinsi mwanamkealivyosawiriwa katika tamthilia ya “ Kigogo.” (alama 12)36. Eleza kwa kutolea mifano mitano mitano jinsi mwandishialivyofaulu kutumia mbinu za :a) mbinu rejeshi(alama 10)b) sadfa(alama10)37. Eleza jinsi mbinu ya taharuki ilivyotumika kufanikisha maudhuikatika tamthilia ya kigogo. (alama 20)Page 10Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

38. "Maandamano na migomo ni tatizo sugu katika mataifayanayoendeleaa." Kwa kurejelea tamthilia ya kigogo, eleza chanzo naathari za maandamano na migomo. (alama 20)39. Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia yaKigogo (alama 20)40. Jadili ufaafu wa anwani "kigogo" katika tamthilia ya kigogo.(alama 20)41. Mwandishi wa kigogo amewajenga wanawake kwa njia hasi nachanya. Jadili kauli hii kwa kutolea mifano kutoka tamthilia (alama20)42. "Wananchi katika mataifa ya Afrika hukumbwa na matatizo yaviongozi wanafiki." Thibitisha kauli hii kwa kutolea mifano kutokatamthilia ya kigogo. (alama 20)43. Fafanua jalada la tamthilia kigogo (alama 20) Kwa majibu ya maswali haya tuma ujumbe ama upige simu kwanambari 0724351706 Pia kuna maswali na majibu ya tumbo lisiloshiba na chozi la heri Miongozo ya chozi la heri,kigogo na tumbo lisiloshiba ipo Ukihitaji matini ya sarufi,isimujamii,ushairi(pamoja na maswali namajibu),fasihi simulizi na insha usisite kunitumia ujumbenikueleze Zaidi.Page 11Prefer Calling Sir Obiero Amos @ 0706 851 439For The Marking Scheme

b) Eleza tamathali iliyotumika kwenye dondoo hili. (alama 2) c) Onyesha vile mrejelewa alivyoyazika matumaini na alivyofukua kesho yao. (alama 14) 27. Tamthilia ya Kigogo ni taswira kamili ya matatizo yanayokumba mataifa mengi barani Afrika. Fafanua ukirejelea Tamthilia nzima. (alama 20) 28. “Kitabu si jalada, fungua ndani usome mambo.

Related Documents:

4. Biblia inajibu maswali tunayojiuliza Mwanamke fulani alitambua kwamba Biblia ina majibu ya maswali yaliyomhangaisha kwa miaka mingi.OnyeshaVIDEO,kisha mzu-ngumzie maswali haya: Katika video hiyo, mwanamke huyo alijiuliza maswali gani? Kujifunza Biblia kulimsaidiaje? Biblia inatutia moyo tuulize maswali.SomaMathayo 7:7, kisha mzungumzie .

MASWALI NA MAJIBU ميِحِرلا َّنِمَٰحْرلا َِّالل َّمِسِْب NENO LA MCHAPISHAJI M aswali na Majibu ni kitabu kinachotoa mwongo-zo kwa njia ya maswali na majibu. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa maswali aliyoulizwa Sheikh Hasan al-Saffar katika programu yake ya maswali na majibu ili-yoandaliwa katika tovuti yake.

MASWALI NA USAHIHISHO 102 1B KISWAHILI KARATASI 1B OCT/ NOV 1995 2 ½ HOURS Jibu maswali yote 1. UFAHAMU Soma Makala yatuatayo kisha ujibu maswali Ama kweli maisha ya vijana wa kisasa yanatofautiana na kuhitilafiana pakubwa na yale ya wazee wao. Sio katika mavazi, lugha, mienendo, mitazamo, mawazo tu bali pia katika kipengele kingine chochote

Mwalimu wa Somo la Kiswahili katika shule ya Upili ya Wasichana ya Loreto. Aidha, ni mtafiti na mshirikishi wa Lugha ya Kiswahili katika . Eleza mifano mitatu ya matumizi ya kinaya katika tamthilia ya Kigogo (alama10) 6."Acha porojo zako. Kigogo hachezewi; watafuta maangamizi!" a)Eleza muktadha wa dondoo hili (al.4) b)Fafanua sifa za .

MTIHANI WA MWIGO KAUNTI NDOGO YA KAKAMEGA KUSINI-2016 Hati ya Kuhitimu Masomo ya Sekondari – Kenya (K.C.S.E) Maagizo a) Jibu maswali yote. b) Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu hiki cha maswali. c) Hakikisha kuwa kurasa zote za kijitabu hiki zimepigwa hapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

MASWALI YETU MUHIMU KWA SERIKALI YA TANZANIA. MASWALI YETU MUHIMU KWA SERIKALI YA TANZANIA Kimetayarishwa na Kikundi Kazi cha Bajeti cha Policy Forum Mchora Katuni: Regis Maro Kimechapishwa na Policy Forum Toleo la Kwanza: Oktoba, 2015 ISBN: 978-9987-708-19-2 Kimesanifiwa na kupigwa chapa na; i

Maswali ya Kutafakari Jibu maswali yafuatayo ili kujaribu mafunzo yetu kutoka katika sehemu hii: 1. Linganisha awamu ya muda ya mafunzo (kulingana na Wilson na Biller) na maelezo yake sahihi: a. Kujifunza kwa ajili ya kitendo i. Kujifunza rasmi maarifa mapya b. Kujifunza kwenye kitendo ii. Kujifunza kutokana na uzoefu na kutafakari

inquiry-based instruction supported 5E learning cycle . In the instruction based on 5E learning cycle method, teaching and learning activities and lesson plans were designed to maximize students active involvement in the learning process. The topics included in the lesson plans were about the three units of fifth-grade sciences book; they included: hidden strangles (microbes, viruses, diseases .