KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA - FREE KCSE PAST PAPERS

3y ago
1.2K Views
30 Downloads
647.14 KB
7 Pages
Last View : 2d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Milo Davies
Transcription

𝟐𝟐sepastMUDA: 2omKIDATO CHA KWANZAw.freekcMAAGIZOCDEstpaUFAHAMUMATUMIZI YALUGHAISIMU-JAMIIFASIHI si hii ina sehemu tano A,B,C,D na E. Hakikisha umejibumaswali yote katika kila sehemu.JUMLAUPEO2030ALAMA102020100Karatasi hii ina kurasa 7 zilizopigwa chapa.1

SEHEMU YA A: UFAHAMUSoma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswaliUalimu ni kazi inayopendwa na wengi ingawa huwa na changamoto nyingi. Miminilipohitimu kuwa mwalimu wa shule ya chekechea,nilifurahi hadi gego la mwisho likaonekana.Nilidhani ndoto yangu ya miaka ilikuwa imetimia. Niliona ningeweza kufanya mambo mengiambayo walimu watangulizi wangu walikuwa wakiyafanya.papers.comNilipata nyota ya jaha kwa kupata kazi jijini katika shule ya chekechea ya Sadikika.Nilikuwa nimeyasikia mengi kuhusu watoto wa jijini;wengi wao hufikiriwa kuwa watovu wanidhamu. Hivyo basi,nilianza kutayarisha kijiboko change cha kuwanyamazishia wanafunziwangu darasani. Nilijaribu kujitandika kwa kijiboko hicho nikiona kinafaa;hakingempamwanafunzi wa shule ya chekechea maumivu mengi.w.freekcsepastShuleni Sadikika nilikaribishwa vizuri na walimu wenzangu. Sikuwa nimekibeba kilekijiboko kwani nilitaka kuchunguza mambo yalivyoendeshwa huko. Nilishangaa kuona kuwahakukuwa na mwalimu yeyote aliyekuwa na kijiboko. Hata hivyo,sikutaka kujitilia kitumbuamchanga kwa kuhojihoji mambo. Walimu wenzangu,mkuu wa idara na mwalimu mkuuwalinipa mawaidha kuhusu shule na kazi. Hawakunitajia lolote kuhusu nidhamu.papersvisit:wwSiku ya pili nilikiweka kijiboko change mkobani. Niliingia katika dara niliotengewa nakuvipata vitoto vya umri wa miaka mitano hivi. Vitoto vyenyewe vilikuwa vichakaramu ajabu!Baadhi yao walinishikashika na kuniambia sikuwa nimevaa vizuri kama mwalimu wao zazamani. Nikapandwa na mori. Nikavifokea na kuviambia virudi madawatini mwao vinisikilizenikifunza. Nikaviambia “Nimekuja kufundiah. Nyamazeni niwafundishe!”frofreepastWatoto wote walishangaa na kutulia kama maji ya mtungi. Hapo nikaona nimegongandipo. Nikazungumza kidogo kasha nikaanza kuandika mambo mengi ubaoni. Nikawaambiawanakili mambo yote vitabuni. Hee!nikaona wote wananikodolea macho na kuonyesha kupigwana bumbuazi. Mmoja aliyeitwa Mwendapole akakivunja kimya hiki. “Mwalimu tumechola!Sisi bado tu watoto.” Wenzake wakafurahi,Wakasimama na kutaka kutoka nje wakacheze.Hapo,nikaona wakati wa kijiboko change kufanya kazi ulikuwa umefika;nikakitoamkobani. Mara tu watoto walipoona hivyo,wakaanza kupiga kelele na wengine kulia.Nikachapachapa wachache. Wote wakakimbia,nikabaki peke yangu darasani. Nikawangojawarudi darasani;hwawakurudi.Mkuu wa shule akanifuata na kuniuliza maswali. Hakunielewa kabisa na akaniambiaangezungumza na watoto ili warudi darasani,ingawa ilibidi nibadilike na kuwa rafiki yao.Niliporudi nyumbani ilinibidi nichome hicho kijiboko change na kuapa kuwa kamwe singerudiatabia hiyo tena.Siku iliyofuata wazazi kadhaa walifika shuleni. ‘Wambeya’walikuwa wameshafikishamaneno nyumbani. Si msomo huo nilioupata. Nikajinyamazia kijinga. Kimoyomoyo2

nilijisemea “Wazazi hawa ni wadekezaji sana,chuma chao ki motoni. Mchelea mwana kuliahulia yeye.”Baada ya juma,hali ilikuwa shwari. Wanafunzi walianza kunikubali japo Mwendapolehakuwa mchangamfu. Kumbe alikuwa amejikojolea. Wenzake wakaanza kumcheka namenikashindwa kujizuia. Kwa pamoja,tukaanza wimbo wa ‘kikojozi’.Mwalimu mkuu alipoyasikia hayo,alionya tena,nikabdilika na kuwa chanda na pete nawanafunzi wangu. Mui akawa mwema.Maswalipers.com(a)Ipe taarifa uliyosoma anwani mwafaka(alama 1)sepastpa(b) Kwa nini msimulizi alitafuta kijiboko kabla ya kufika shuleni sadikika?(alama 2)visit:www.freekc(c)Kulingana na kifungu hiki,eleza matarjio ya msimulizi(alama 3)freepastpapers(d) (i) Msimulizi alikuwa na maana gani aliposema kuwa hakutaka ‘kujitilia kitumbuamchanga’?(alama 2)fro(ii)Nikapandwa na mori.(alama 2)(e)Kulingana na watoto,mwalimu alikuwa na upungufu gani?(alama 3)(f)Kwa nini wazazi walifika shuleni? Toa sababu mbili.(alama 2)3

(g) Kwa nini mwalimu aliamua kukichoma kijiboko chake?(alama 2)(h)Kwa mujibu wa kifungu,ni nini maana ya methali ‘mchelea mwana kulia hulia yeye?’(alama 2)Andika maana ya kifungu kifuatacho kama kilivyotumika katika taarifa.Nimegonga ndipo(alama 1)(alama 2)pastEleza maana ya msamiati ufuatao kama uvlivyotumika katika rsvisit:(ii)VichakaramufreepastpaSEHEMU YA B: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA(a) Huku ukitoa mfano eleza tofauti kati ya sauti hafifu.(alama 2)fro(ii)Sauti ghuna(b) Taja sifa bainifu za sauti zifuatazo(i)/e/(ii)(c)/ng’/(i)Kiimbo ni nini?(alama 2)(alama 1)(ii)Kwa kuzingatia kiimbo toa mifano miwili ya sentensi zitokanazo na kiimbo(alama 2)4

(d) Kanusha:(alama 2)(i)Msomi alituzwa siku hiyo(ii) Ukisoma kwa bidii utafauluMahabars.c(ii)om(e) Maneno haya yako katika ngeli gani?(alama 2)(i)chumvipastpape(f) Sahihisha sentensi,ifuatayo:(alama 2)Manywele ya msichana huu yamechanwa mzuriw.freekcse(g) Andika kinyume cha: nuka(alama 1)(alama 2)visit:ww(h) Tambua aina za maneno yaliyopigwa mstari.Yeye ni mwanafunzi hodari sana.(alama 2)pers(i) Tunga sentensi moja kuonyesha maana ya maneno yafuatayo:Tega(ii)Tekafrofreepastpa(i)(j) Huku ukitoa mfano,taja matumizi mawili ya alama ya hisi (!)(alama 2)(k) Eleza maana mbili za sentensi hii:(alama 2)Bi Asha alimpigia Ali simu.(l) Kibogoyo ni kwa meno ni kwa mgongo.(alama 1)(m) Andika sentensi ifuatayo bila kutumia ‘amba’.(alama 2)5

Mti ambao unapendeza ni ule wenye matunda ambayo ni makubwa.(n) Andika katika wingi.(alama 2)Uta huu ni mfupi na mzito kuliko ulers.com(o) Akifisha:(alama 2)Alisafiri siku ya jumapili tarehe ishiri mwezi wa januari mwaka wa elfu mbili kumi nasaba.pa(ALAMA 10)seSEHEMU YA C: ISIMU –JAMIIstpape(p) Kwa kutolea mfano eleza muundo mmoja wa silabi.(alama 1)www.freekc(a) Eleza maana ya Isimu Jamii.(alama 2)pastpapersvisit:(b) Taja sifa tano bainifu ya ‘sajili’ ya magazeti.(alama 5)(alama 3)free(c) Eleza jinsi kaida zifuatazo hutawala mazungumzo katika jamiiUhusiano(ii)Umri(iii)Cheofro(i)SEHEMU YA D: FASISHI SIMULIZI(a) Eleza maana ya Fasihi Andishi na Fasihi Simulizi.(alama 2)6

(b) Eleza majukumu matano ya Fasihi simulizi.(alama 5)om(c) (i) Semi ni nini?(alama 1)pastpapers.c(ii) Taja vipera vya semi.(alama 4)w.freekcse(d) (i) ngano ni nini?(alama 1)(alama 4)ww(ii) Fafanua sifa zozote nne za ngano.papersvisit:frofreepast(e) Taja tofauti tatu kati ya fasihi simulizi na fasihi andishi(alama 3)7

Baadhi yao walinishikashika na kuniambia sikuwa nimevaa vizuri kama mwalimu wao za zamani. Nikapandwa na mori. Nikavifokea na kuviambia virudi madawatini mwao vinisikilize nikifunza. Nikaviambia “Nimekuja kufundiah. Nyamazeni niwafundishe!” Watoto wote walishangaa na kutulia kama maji ya mtungi. Hapo nikaona nimegonga ndipo. Nikazungumza .

Related Documents:

KWANZA-KIDATO CHA PILI -KISWAHILI KIDATO 2 Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748 E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com UFAHAMU (ALAMA 15) Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuatia. Macho ya Abdul yalipigwa na mwali mkali wa jua la asubuhi. Ilikuwa ndiyo mara yake ya kwanza kuuona .

Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi iii DIBAJI Mwanafunzi Mpendwa Bodi ya Elimu Rwanda inayo heshima kwa kutoa kitabu hiki cha Somo la Kiswahili Michepuo mingine kidato cha nne kitabu cha mwanafunzi .Kitabu hiki kitakuwa

Maswali na majibu Ufafanuzi Uchambuzi Maelezo Mifano Maswali na majibu Majadiliano JUMA 5. 219 KIPINDI SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA NYENZO ZA KUFUNDISHIA MADA KUU MADA NDOGO MAONI HAKIUZWI Yatumiwe na Kiswahili Fasaha Kiswahili, Kidato cha 2 Maazimio ya Kazi Muhula wa Kwanza 1 2 3

a) Eleza maana ya ngano. ( alama 2) b) Tambua sifa sita za masimulizi. ( alama 6) c) Je, formula ya ufunguzi huwa na umuhimu upi katika kuwasilisha hadithi? ( alama 5) d) Fafanua sifa za mtambaji bora za hadithi. ( alama 7) IDARA YA LUGHA APRILI MWAKA 2020 KIDATO CHA NNE 102/3 – KISWAHILI – Karatasi ya 3 FASIHI Maagizo:

Kiswahili dialects are endangered by, among other factors, the onslaught of standard Kiswahili, English, and Sheng, and so they are likely to be dying. The paper holds the position that the Kiswahili dialects are vital for the development of standard Kiswahili and, therefore, their endangerment is the endangerment of standard Kiswahili.

Introduction to Kiswahili Poetry KSX 2102 Kiswahili Oral Literature KSX 2104 (with Mr Innocent Yerindabo) Introduction to Kiswahili Novels KSX 2202 History and Development of Kiswahili KSX 3101 Kiswahili Teaching Methods KSX 3201 Drafts Reviewed: Advanced Proficiency in Kiswahili KSX 1102 by Boaz Mutungi.

Kiswahili) na Shahada ya Umahiri/Uzamili ya Sanaa katika Kiswahili (MA. Kiswahili – akitamilikia Fasihi) zote kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania. Chuoni anafundisha kozi za Kiswahili - Lugha, Isimu na Fasihi ikiwemo kozi ya Uandishi wa Kubuni. Pia, hufundisha Kiswahili

FASIHI Julai / Agosti 2018 Muda: Saa 2½ MTIHANI AW MWISHO AW MUHULA AW PILI Kidato cha Nne KISAW HILI Karatasi - 102/3 Julai / Agosti 2018 Muda : Saa 2½ MAAGIZO 1. Jibu maswali MANNE pekee. 2. Swali la KWANZA ni la LAZIMA. 3. Kisha chagua maswali mengine matatu kutoka sehemu zilizobakia; yaani Riwaya, Hadithi Fupi, na Ushairi 4.