JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA UTUMISHI WA .

2y ago
553 Views
4 Downloads
284.78 KB
5 Pages
Last View : 2d ago
Last Download : 2m ago
Upload by : Ryan Jay
Transcription

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIATUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMATANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 44Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibuwa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na.4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumumengine inalo jukumu la kuajiriwatumishi wa kada mbalimbali waMahakama.1.0Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenyesifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayarikufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoambalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni Afisa Utumishi Darajala II – (TGS D) nafasi 7, Afisa Tawala Daraja la II – (TGS D) nafasi 3,Katibu Mahsusi Daraja la III – (TGS B) nafasi 1, Dereva Daraja la II –(TGS B) nafasi 30, Afisa Ugavi Daraja la II Nafasi 3 (TGS.D).2.0Afisa Utumishi II (TGS D) - Nafasi 7.2.1Sifa:Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Jamii au Sanaa kutokakatika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambaowamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo: Menejimentiya RasilimaliWatu (Human ResourceManagement) Elimu ya Jamii (Sociology) Utawala na Uongozi (Public Administration) Mipango ya Watumishi (Manpower Planning)

Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.2.2.Kazi za Afisa Utumishi Daraja la II:(i) Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote(ii) Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo yautumishi.(iii) Kutafiti, kuchanganua, kupanga na kukadiria idadi yawatumishi wanaohitaji mafunzo.(iv) Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbuzote zinazohusu mipango ya watumishi.(v) Kushughulikia masuala mbalimbali ya kila siku ya watumishi(vi) Kusimamia OPRAS3.0Afisa Tawala II – TGS D – Nafasi 33.1 Sifa:Shahada ya kwanza kutoka vyuo Vikuuvinavyotambuliwa na serikali katika fani zifuatazo: 3.2Kazi za Maafisa Tawala:(i)(ii)(iii)4.0Utawala,Elimu ya Jamii,Sheria (Mwenye cheti cha “Law school”),Menejimenti ya Umma, Uchumi nawenye ujuzi wa kompyutaKuweka kumbukumbu za matukio muhimuKusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni nataratibu mbalimbaliKusimamia kazi za utawala na uendeshajiKATIBU MAHSUSI DARAJA III TGS B – (Nafasi 1)4.1Sifa:(i) Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuriaUhazilina kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua ya Tatu.Mafunzo ya

(ii) Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza(Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja na(III) Awe amepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochotekinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu zaWindows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.4.2Kazi za kufanya:-Katibu Mahsusi Daraja la III atapangiwa kufanya kazi Typing pool auchini ya Katibu Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu kumzidikwenye ofisi ya Mkuu wa sehemu au kitengo.(i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida(ii) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekezasehemu wanazoweza kushughulikiwa.(iii) Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni,tarehe za vikao safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zinginezilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyiakazi, nakumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.5.0 DEREVA DARAJA LA II TGS B – (Nafasi 30)5.1 Sifa za Kuingilia:(i) Kuajiriwa mwenye cheti cha kidato cha nne (Form IV) na Leseni ya Darajala E au C1 ya uendeshaji Magari ambayo amefanyia kazi kwa mudausiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali.(ii) Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic DrivingCourse) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundistadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.(iii) Waombaji wenye cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwakwanza.5.2(i)(ii)Kazi za kufanya:-Kuendesha magari ya abiria, na malori,Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote,na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugunduaubovu unaohitaji matengenezo,

Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 04/06/2018 saa 9:30Alasiri.6.0Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji zikionyeshaanwani sahihi pamoja na namba ya simu na kuambatisha:- Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.- Ufupisho wa taarifa za mwombaji (CV).- Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.- Picha mbili za rangi (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.NB.Nakala za vyeti vya taaluma na vya kidato cha nne/sita vithibitishwe naHakimu/Wakili anayetambuliwa na Serikali (True copies of the originals).7.0 Aidha, inasisitizwa kwamba:7.17.27.3kwaWaombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na 44Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishimwombaji.Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yaowaajiri wao wa sasa.7.4 Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwambawaliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.7.5 Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi waMahakama ya Tanzania.7.6 Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe naTCU/NACTE.7.7 Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.7.8 Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahashawatakazotumia maombi yao.7.9 Waombaji wasiwe walioachishwa/kufukuzwa kazi kwenye UtumishiwaUmma.7.10 Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwiKuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.7.11 Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwahatua za kisheria.

7.10 Mwombaji asiandike barua zaidi ya moja kwa ajili ya kuomba nafasimoja.7.11 Waombaji wote wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatiamojawapo ya masharti yaliyotajwa hapo juu, maombi yaohayatashughulikiwa.8.0 Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume yaUtumishiwa Mahakama ya Tanzania, S.L.P. 8391 , DAR ES SALAAM.Imetolewa na ;-Katibu,Tume ya Utumishi wa Mahakama,S.L.P 8391,DAR ES SALAAM,

wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.

Related Documents:

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA THE CONSTITUTION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA OF 1977. CHAPTER 2 OF THE LAWS. 2005 . The following is the official Revised version in English of “KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977”. This revised edition of the

vii MUHTASARI Tanzania inakabiliwa na changamoto ya matumizi yasiyo salama ya kemikali na usimamizi usiosalama wa

Utafiti wa THIS wa mwaka 2016-17 umeongozwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tume ya Kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Zanzibar (ZAC), na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee . MATOKEO YA AWALI UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI TAN

kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977; Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025; Mpango wa Taifa wa . /12 hadi 2015/16; Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA II); Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Mwaka 2010 hadi 2015; Malengo ya Maendeleo ya Milenia; Sera ya Taifa

CCM - Chama cha Mapinduzi CHADEMA - Chama cha Demokrasia na Maendeleo CSO - Civil Society Organization CUF - Civic United Front DC - District Council . (NEC). Ibara ya 74(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeipa Tume jukumu la kusimamia na kuratibu uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani .

TARP Tanzania Agricultural Research Project TAWIRI Tanzania Wildlife Research Institute TAWLAE Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture and Environment TBC Tanzania Broadcasting Cooperation TBS Tanzania Bureau of Standard TCC Tanzania Communications Commission TCCIA Tanzan

(2019). Muhtasari wa Somo la Maarifa ya Jamii Elimu ya Msingi Darasa la III-VII. Dar es Salaam: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kunakili, kurudufu, kuchapisha wala kufasiri andiko hili kwa namna yoyote ile bila idhini ya maandishi ya Kamishna wa Elimu,

Siklus Akuntansi Jasa BAGIAN PROYEK PENGEMBANGAN KURIKULUM DIREKTORAT PENDIDIKAN MENENGAH KEJURUAN DIREKTORAT JENDERAL PENDIDIKAN DASAR DAN MENENGAH DEPARTEMEN PENDIDIKAN NASIONAL 2003 Kode Modul: AK.26.D.2,3. BAGIAN PROYEK PENGEMBANGAN KURIKULUM DIREKTORAT PENDIDIKAN MENENGAH KEJURUAN DIREKTORAT JENDERAL PENDIDIKAN DASAR DAN MENENGAH DEPARTEMEN PENDIDIKAN NASIONAL 2003 Kode Modul: AK.26.D.2,3 .