Kuishi Maisha Yaliyobadilishwa Katika Kristo

3y ago
420 Views
14 Downloads
3.68 MB
109 Pages
Last View : 8d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Tia Newell
Transcription

Kitabu Cha Pili cha Masomo:Kuishi Maisha yaliyobadilishwa katikaKristo

Bill Loveless Kristo nihuduma za uzimaHati miliki 2011 na Bill LovelessHaki zote zimehifadhiwa. Kitabu hiki hakiwezi kuigwa au kuchapishwa kwa faida ya kibiashara au faida.Matumizi ya nyenzo hii kwa ajili ya utafiti wa kibinafsi au wa kikundi inaruhusiwa.Maandiko yamechukuliwa kutoka Biblia Takatifu, Toleo Jipya la kimataifa , hati miliki 1973, 1978,1984, Jamii ya Kimataifa ya Biblia, imetumika kwa ruhusa ya Zondervan. Haki zote zimehifadhiwa.Maandiko yamechukwulia kutoka Biblia Takatifu, Tafsiri Mpya ya Kuishi, hati miliki 1996 naUaminifu wa Usaidizi wa Tyndale. Kimetumika kwa ruhusa ya Wachapishaji wa Nyumba ya Tyndale.Maandiko yamechukwulia kutoka Biblia ya New America Standard , hati miliki 1960, 1962, 1963,1968, 1971, 1972,1973, 1975, 1977, 1995 na Msingi wa Lockman. Kimetumika kwa ruhusa.Maandiko yamechukwulia kutoka Toleo Jipya la Mfalme James, hati miliki 1982 na Thomas Nelson,Inc. kimetumika kwa ruhusa. Haki zote zimehifadhiwa.Maswali ya maandiko yaliyowekwa (GNT) yanatoka kwenye Utafsiri wa Habari Njema katika Toleo laLeo la Kiingereza – Toleo la Pili, hati miliki 1992 na Jamii la Kiamerika la Biblia. Kimetumika kwaruhusa.Huduma zaKristo ni uzimaHuduma za Kristo ni uzima1

Tovuti:www.christislifeministries.comBarua pepe: bill@christislifeministries.comMpangilio wa utafiti huuNataka kukushukuru kwa kuchagua kujifunza Unajua Utambulisho Wako Wa Kweli. Kablauanze, naamini itakuwa na usaidizi kukupa wewe mpangilio wa utafiti. Utafiti unayo masomosita, na kila somo lina masomo tano ya kila siku (Siku ya kwanza, siku ya pili n.k) ikiwamnakutana kila wiki, hii itakupa wewe siku saba kukamilisha masomo tano ya kila siku. Kotekatika kila somo kutakuwa na Maswali, Maandiko ya Kutafakari, na sehemu ya KumhusishaMungu.MaswaliMaswali ni hasa yaliyoundwa kwa ajili yako kulinganisha kile unachoamini na ukweli ambaoumeusoma. Hii ni muhimu kuonyesha imani yoyote ya uongo ambayo waweza kuwa nayo.Kutafakari kwa maandiko.Watu wengine hupambana na neon ‘Kutafakari’ kwa sababu ya maneno mapya ya umri. Hatahivyo, ni neon la Kibiblia ambalo hatuhitaji kuliogopa. Muhimu ni nini na nani ambayetunatafakari juu yake. Lengo la kutafakari kwetu litakuwa juu ya Munguna ukweli wake.Naamini kwamba kutafakari juu ya neon la Mungu ni muhimu kwa sababu inaruhusu RohoMtakatifu kuchukua ukweli wake na kufanya ufunuo kwako.Kumhusisha Mungu.Sehemu za kumhusisha Mungu katika kila somo ni sehemu muhimu zaidi za utafiti huu. Sehemuhii imeundwa kwa ajili yako kuomba Roho Mtakatifu kukupa ufunuo wa kibinafsi, uelewa namatumizi ya yale ambayo umesoma. Hii ni muhimu haswa unapofikia ukweli ambao unapinganana nini unachoamini. (Ikiwa hatutamtafuti Mungu kutufunulia ukweli wake, basi hatuwezi kamwekuhamia zaidi ya imani ya uongo ambayo huenda tunaamini) kwa hivyo, kuwa na uhakika nauchukue muda kumhusisha Mungu unapopitia utafiti.UfunuoKwa vile nitakuwa nikitumia ufunuo kwa utafiti wote, nataka kufafanua nini ninacho maanishaninapotumia neon hili. ‘Ufunuo unamaanisha tu Mungu huchukua kwa njia isiyo ya Kwaidaukweli wake na kuufanya wa kibinafsi kwako na hali zako za kimaisha. Ufunuo hukuondoakutoka uelewa wa kiakili hadi uelewa wa Kiroho wa ukweli wa Mungu.Ukweli MuhimuTafadhali kumbuka ukweli muhimu unapopitia utafiti huu.Hautaishi zaidi ya kile unachoaminiIkiwa unachokiamini ni unongo basi hivyo ndivyo utakavyoishi.2

Hii ni muhimu kwa sababu kile unachoamini huathiri kile unachofikiri, tabia yako, na uchaguziunayofanya. Kwa hivyo, moja ya malengo ya Mungu kupitia utafiti huu ni kuonyesha imanizako za uwongo, kufanya upya akili yako na kukuweka huru kulingana na Yohana 8:32. Kwahivyo, ombi langu kwa ajili yako ni kwamba utamtafuta kupitia kwa utafiti huu wote kukuwekahuru kutokana na imani zako za uwongo na athari mbovu ambazo imani hizo za uwongozinajenga katika maisha yako.Jinsi kuelewa utambulisho wangu wa kweliunabadilisha maisha yangu.Kuna sababu sana ya kibinafsi kwa nini nafundisha ukweli wa utambulisho wetu upya katika Kristo.Sababu ni kwamba bila kujua na kuamini ukweli ambao hivi punde nitashiriki nawe, maisha yanguyangekuwa kwa wakati huu janga la jumla. Nililelewa nyumbani ambako baba yangu alikuwa na hasira,mwenye kudhibiti na mwenye matusi. Mama yangu alikuwa katika mfumo wa ulinzi wa kibinafsi( kujilinda mwenyewe kutoka kwa baba yangu) wakati wangu ninapokua. Matamanio yangu mapemakatika maisha ilikuwa kufanya chochote kilichohitajika kwa wazazi wangu kunipenda na kunikubali.Tatizo ni kwamba kamwe sikufanya ya kutosha ‘kupata’ upendo wa wazazi wangu, kukubalika nathamani.Hasira ya baba yangu na matusi yaliniongoza kuamini kwamba kamwe singeweza kufanya yakutosha ili kupendwa na kukubaliwa. Matokeo ni kwamba nilianza kuunda imani kuhusu mimimwenyewe. Baadhi ya imani ni kwamba nilikuwa sikubaliwi au sikubaliki kwa sababu nilihisikukataliwa sana. Ni lazima nisiwe wakupendwa kwa sababu sikuweza kufanya ya kutosha kupendwa nawazazi wangu. Sikuwa na kutosha kwa sababu baba yangu alinifanya nihisi namna hiyo. Kwa umri wa18, imani hizi zilikuwa na nguvu sana, na hatimaye zikawa ngome katika maisha yangu. NilimwaminiKristo kwa wokovu wakati wa mwaka wangu mkuu katika shule ya sekondari. Hata hivyo, mtu alisahaukuniambia ukweli muhimu sana wakati nilipo okolewa. Ukweli huo ni kwamba mini ni uumbaji MPYAkatika Kristo na matokeo yake ni kwamba ninao UTAMBULISHO MPYA.Baada ya miaka thelathini ya kujaribu kuishi maisha ya Kikristo kwa juhudi zangu mwenyewe, imanizangu kuhusu mimi mwenyewe ya kukataliwa, kutokuwa na thamani, na kutokuwa na utosheleziyalikuwa tu mbaya zaidi. Haikuwa hadi Oktoba 1998 ambapo niliambiwa ukweli mbili ambayo yalianzamabadiliko makubwa kwa maisha yangu. Ukweli wa kwanza ni ule nilishiriki Kuishi Maisha KutokaChanzo Mpya utafiti kwamba maisha ya Kikristo haikuwa kuhusu mimi kuishi kwa ajili ya Mungu.Badala yake, ilikuwa kuhusu Kristo kuishi maisha yake ndani yangu (Wagalatia 2:20). Hata hivyo, kamavile athari kama ukweli huo ulikuwa ni ukweli wa pili ambao nimejifunza ni kwamba wakati wa wokovuMungu alinipa utambulisho mpya wa kuishi kutoka. Utambulisho huu mpya ni utambulisho wangu wakweli kulingana na Wakorintho 5:17.‘’Kwa hivyo, ikiwa mtu yeyote ako NDANI ya Kristo, yeye ni UUMBAJI MPYA; vitu vya zamanivilipita mbali; tazama, mambo mapya yamekuja. ‘’ 2 Wakorintho 5:17Nilipoanza kujifunza kuhusu utambulisho wangu wa kweli katika Kristo, nilianza kumtafuta Mungukufanya upya akili yangu kwa ukweli na kuniweka huru kwa imani hizi za uongo. Nilipoanza kuchukuahatua za imani, Mungu alifanya kazi ya ndani sana ndani yangu kwa hatua ambapo siamini tenakwamaba nimekataliwa, bila thamani au kutosheleza. Naamini kweli katika nimekubaliwa, thamani nautoshelezi katika Kristo. Haikuwa mabadiliko ya usiku mmoja lakini ilikuwa mchakato usio wa kawaidaambao hatimaye ulifanyika. Kuwa mwaminifu na wewe, sikuwahi fikiri ningewahi kuwekwa huru naimani za uongo na tabia ambazo zimesababishwa na imani hizo. Leo, hata hivyo, kama matokeo ya kazi3

ya Mungu ndani yangu naweza kuthibitisha kile Paulo anasema katika Waefeso 3:20 anaposema “ Sasakwa Yule anayeweza kufanya zaidi kwa wingi kuliko yote tunayoomba au kufikiria.’’Maombi yangu kwa ajili yako unapopitia utafiti huu ni kwamba Ataufanya upya akili yako na kukuwekahuru kutoka kwa imani yote na yoyote ya uongo ambayo uko nayo kuhusu wewe mwenyewe.Jedwali La YaliyomoSomo La Kwanza - Je, unachoamini kuhusu wewemwenyewe ni ukweli?.5Somo la Pili - Mungu alikamilisha nini kukupa UtambulishoMpya . .21Somo la Tatu -Ni nini Utambulisho Wako wa Kweli .37Somo La Nne -Mchakato wa Mungu wa Kukubadilisha kuishikutokanana Utambulisho wako wa Kweli 54Somo la Tano - Upinzani kwa Mchakato wa Mungu WaKubadilisha Mstari na Utambulisho Wakowa Kweli .66somola Sita – Kupata Mitazamo Kama ya Kristo Kwa NafsiUkweli wa Mwisho Kuhusu Utambulisho Wetu wa Kweli .774

Somo La KwanzaJe unachokiamini kuhusu wewe mwenyewe ni ukweli?SIKU YA KWANZAUtanguliziNaamini kwamba kupitia kwa utafiti wa Kuishi Maisha Kutoka Kwa Mchanzo Mpya , Munguamekupa uelewa wa ndani zaidi na matumizi ya nini ina maanisha kuishi kutoka kwa Mungukama chanzo chetu. Baada ya kuelewa ukweli kuhusu kuishi maisha ya Kikristo, naaminikwamba ukweli wa pili wa muhimu zaidi kwa Wakristo kuelewa ni Utambulisho wao wa kwelikatika Kristo. Natumai ulichukua muda kuusoma ushuhuda wangu na kuona jinsi ukweli katikautafiti huu ulibadilisha maisha yangu pakubwa. Hebu nianze kwanza kwa kufafanua neon‘utambulisho’Tunafafanua Vipi Utambulisho?Huenda ukawa unauliza kwa hatua hii: una maanisha nini kwa ‘utambulisho?’’UTAMBULISHO WAKOJinsi unavyo HISI au nini unacho AMINI kuhusu wewe mwenyewe.Hii inaniongoza mimi kukuliza wewe maswali mawili: Ni nini unaamini kuhusu wewe mwenyewe? Je, unacho amini ni ukweli?Unakumbuka nilichoshiriki mara kadhaa katika utafiti waKuishi Maisha Kutoka Chanzo Mpya?Hautaishi Zaidi ya Kile unacho AMINIna ikiwa unacho amini ni UWONGO basi hivyo ndivyo utakavyoishi.5

Inawezekana kwamba umevaa maskiNilitumia masks kwenye kifuniko cha mbele kama mtazamo wajinsi ninavyoona Wakristo wengi wanavyoishi maisha yao. Najua kwasababu nilivaa maski nyingi kwa miaka mingi sana kama Mkristo.Namaanisha nini na ‘masks?’’ kama nilivyoshiriki katika ushuhuda wangunilikuwa na imani za uwongo kunihusu kama vile sina utoshelezi, bilathamani, na mshindwa. Tatizo ni kwamba sikujua ukweli kuhusuutambulisho wangu katika Kristo. Kwa kuongezea, sikutaka wewe kuonamimi mwenyewe kama nilivyoona mimi hivyo nilijenga ‘nafsi mpya’.Nilifanya hivi kwa kuvaa masks zakujitegemea , ujasiri wa nafsi na mafanikio.Tatizo ni kwamba ‘nafsi mpya’ ilikuwa tu ‘nafsi ya uongo’ kwa sababu maski zilikuwa tu uongo kamakile nilichoamini kuhusu mimi mwenyewe. Kwa maneno mengine, nilikuwa nafunika ‘nafsi ya uongo’na nafsi nyingine ya uongo.Vipi kuhusu wewe? Kuna uwezekano kwamba unazo imani za uongo kuhusu wewe mwenyewe naumevaaa mask au masks ili watu wengine wasikuone wewe kama unavyojiona wewe mwenyewe.Naamini hii ndio matokeo ya kutojua utambulisho wetu wa kweli.Ikiwa hujui utambulisho wako wa kweli, mazoea yatakuwakuvaa masks kufunika nafsi yako ya uongo.Hoja muhimu ni kwamba ikiwa hujui ukweli utafunika imani zako za uongo na imani za uongozaidi. Kwa hivyo, bila kujua na kuishi kutokana na utambulisho wetu wa kweli, hatuwezi kamwekuwekwa huru kutoka kwa imani zetu za uongo. Kwa hivyo, hebu kwanza tuzuru jinsi imanizetu za uongo ziliundwa na kugundua imani zipi za uwongo waweza kuwa nazo kuhusu wewemwenyewe.Jinsi Imani zetu za UONGO Kuhusu Sisi Wenyewe Ziliundwa.“Kama mtu anavyofikiri kwa moyo wake, ndivyo alivyo.”Methali 23:7Kutoka kuzaliwa, ulianza kupokea ujumbe kuhusu wewe mwenyewe, Mungu, wengine, nakuishi maisha. Kwa ajili ya utafiti huu, tutazingatia juu ya jumbe ambazo huenda ulisikia kuhusuwewe mwenyewe. Jumbe kwa kawaida huja kwa mifumo miwili, jumbe chanya na hasi. Kwamfano:Jumbe hasi huenda ilikuwa “Wewe ni mshindwa.’’ “huwezi kamwe kupima” “hii ndio borazaidi ungeweza kufanya?’’ “Sikupendi.’’Jumbe chanya huenda ilikuwa: “Ninajivunia wewe.’’ “Unaweza ukaifanya’’ “Hakuna chochoteambacho huwezi kukamilisha.’’ “Wewe ni maalaum”6

Umeshindwa .Unaweza kufanyaJe,hii ndiyo yoteunayoweza kufanyaNimefurahishwa naweNakupenda .Unaweza kufanyaSikupendiZoezi : Linganisha kwenye mchoro wa ukurasa 22 wa somo hili na umuombe Mungukuleta akilini baadhi ya jumbe chanya au hasi ambazo umesikia kuhusu wewe mwenyewekutoka kwa wazazi wako, wadogo wako, jamaa, marafiki, au walimu. Andika jumbe hizochini ya vitalu juu ya ukurasa.Swali : Ni kwa njia gani unaamini kwamba jumbe ambazo umeorodhesha yaliathiri kwa uzuri auvibaya namna unavyohisi au kuamini kuhusu wewe mwenyewe ?Tafakari : Soma Methali 23:7 hapo juu na umuombe Bwana kukupa ufunuo jinsi kileunachoamini kuhusu wewe mwenyewe huathiri kila eneo la maisha yako.Ujumbe za Mara Kwa Mara Ulipelekea Imani kukuhusu Mwenyewe.Kama jumbe zilivyopokelewa na kurudiwa mara ya kutosha, ulianza kuunda imani kuhusuwewe mwenyewe karibu na jumbe hizo. Swali ni:Je unachoamini kukuhusu mwenyewe unafanana na UKWELI wa neno la Mungu?Hebu tuangalie katika imani mbili tofauti na tuone kama zinafanana na neno la Mungu:Imani : “Mimi ni mshindwa.’’Ukweli wa Mungu: Katika Kristo, wewe ni zaidi ya mshindi. Warumi8:37Imani : “Ninaweza kufanya chochote ambacho ninaweka mawazo yangu.”Ukweli wa Mungu: Yesu anasema katika Yohana 15:5, “Mbali na mimi huwezifanyachochote.’’7

Kama unavyoona, imani hizi mbili hazifanani na neon la Mungu. Naziita hizi imani za ‘uongo’Kwa hivyo nafafanua imani ya uongo kama:IMANI YA UWONGOImani yoyote kuhusu wewe mwenyewe ambayo haifanani au inapinganaukweli wa MunguKatika sehemu hii inayofuata, tutachunguza baadhi ya imani zako za uongo.Ni zipi baadhi ya Imani Zako Za Uongo?Zoezi:Kabla kwenda mbali katika utafiti, angalia kwenye orodha inayofuata na uchaguesifa ambazo unahisi au unaamini ni kweli juu yako. (Ni muhimu kuwa mwaminifu na wewemwenyewe unapopitia orodha hii.) unaweza kufikiria kuomba Roho Takatifu kukufunuliayale unayoamini kutoka kwenye orodha hii. Nenda kwenye mchoro kwenye ukurasa 22 nauandike chini imani zako ndani ya mviringo.Naamini au nahisi kuwa mimi ni:SistahiliSikubalikiKukataliwaMshindwaMwenye wasiwasiBila kutoshelezaDhaifuNimeshindwaBila usalamaMwogaSalama kwa kujitegemeaKujiaminiKujitoshelezaMfanikiwa kwa nafsiKujitegemeaKujidhibitiRaslimali kwa nafsiwenye uwezo wa kujitegemeaBila hofunguvu kwa nafsi.Nahitaji kukujuza kwa hatua hii kwamba kila moja ya imani iliyo orodheshwa hapo juu ni imaniza uongo. Safu katika upande wa kushoto naiita imani za uongo HASI, na safu upande wa kulianaiita imani za uongo CHANYA.Imani za uwongo chanya zinaonekana kupendeza lakini tunajuaje ni imani za uongo. Neonmuhimu ni ‘binafsi’’. Chochote unachoamini juu yako mwenyewe ambayo ina binafsi kushikananayo ni imani ya uwongo.Ikiwa umechagua moja au zaidi ya imani hapo juu kama kuwa kweli kwako, basi badounaaminiimani za uongo juu yako mwenyewe. Hebu tuchunguze baadhi ya madhara mabaya yakuamini uongo huu.lakini kabla ufanye, tafadhali fanya zoezi linalofuata.8

Zoezi : njia moja ya kukusaidia wewe kuelewa kwamba safu mbili hapo juu ni imani za uongo nikuongeza neno Mkristo baada ya kila moja.’’ Natumai kwamba inaonekana kama imani yauongo wakati unapoongeza neon la Kikristo kwa imani yako. Tutalinganisha imani zako na kileMungu anasema katika Somo La Tatu.Nini Kilichotokea Imani Zako Za Uongo ZIkitiwa mkazo?‘’Kisha hatutakuwa tena kama watoto, daima kubadilisha akil zetu kuhusu nini tunachoaminikwa sababu mtu Fulani ametuambia kitu Fulani tofauti akwa sababu mtu Fulani amedanganyakwa werevu kwetu na kufanya uongo kuwa kama kweli.’’ Waefeso 4:14Kwa kuongezea kwa kuunda imani za uongo, tatizo zaidi lilitokea. Uliendelea kuamini nakujenga imani hizi za uongo kwa muda mrefu unaotosha kwamba zimekuwa ukweli kwako.Mchoro hapo chini unaonyesha hoja hii.ILIYOTIWA NGUVUImani za uongoImekuwa ukweli kwakoUnapoendelea kuchukua umiliki wa imani zako za uongo, zinajijenga kwa hatua ambapohusababisha tatizo kubwa.Tatizo:Baadhi ya imani zako za uongo zimekuwa za kweli sana kwako kwambahata ukweli wa Mungu UNAPOONYESHA imani zako za uongo, badounaamini UONGO wako.Unaenda kuona hoja hii kwa uwazi zaidi katika Somo La Tatu utakapojifundisha sifa zautambulisho wako wa kweli. Hoja muhimu ikiwa kwamba zaidi tunavyoendelea kuamini imanizetu za uongo ndivyo zaidi zinajengeka.SIKU YA PILIAthari mbaya za Kuishi Kutokana na Imani Zako Za Uongo.Nilisema mapema katika utafiti huu kwamba hautaishi zaidi ya kile unachoamini. Ikiwaunachoamini ni uongo, basi hivyo ndivyo utakavyoishi. Hii inamaanisha kuwa kuna atharimbaya ya kuendelea kuishi kutokana na imani yako ya uongo ambayo inakuathiri vibaya,9

uhusiano wako na Mungu, na uhusiano wako na wengine. Jina lingine la athari mbaya ya imanizetu za uongo linaitwa kuishi kutoka kwa ‘mwili’.‘’Kwa maana tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa mwili mnunuliwa kwautumwa kutenda dhambi.’’ Warumi 7:14Maana ya Kibibilia ya neno ‘’Mwili’’ ni tama ya mtu kuishi maisha na yeyeMWENYEWE kama chanzo, KUJITEGEMEA au KANDO na Mungu kamachanzo.Tulizungumzia kuhusu mwili katika utafiti waKuishi Maisha Kutoka Chanzo Mpya lakininataka kurudia tena kwa vile kwa vile inatumika kwa utambulisho wetu.Kuishi Kutoka Kwa Imani ZAKO Za Uongo Hutoa Tabia za KIMWILI.MwiliKatika mazingira ya utafiti wetu ni MTAZAMO wa dhambi na TABIAzinazosababishwa na kuwa na imani ya UONGO kuhusu sisi wenyewe‘’Sasa tabia za kimwili ni dhahiri: uasherati, uovu, ibada ya sanamu, uchawi, chuki, ugomvi,wivu, ghadhabu, ugomvi, machafuko, vikundi, wivu, ulevi, utoto na mambo kama haya.’’Wagalatia 5:19 – 21 aKuishi kutoka kwa imani zako za uongo kuhusu wewe mwenyewe kutaleta matokeo yamitazamo ya kimwili au tabia za kimwili kama zile zilizoorodheshwa katika Wagalatia 5:19 – 21hapo juu. Tabia za kimwili na mitazamo huja kwa namna mbili, mwili chanya na mwili hasi.Hapo chini kuna mifano ya miili chanya na hasi.Mwili hasi:Mwili hasi ni rahisi sana kuona kwa sababu hutoa tabia mbaya za kimwilina mitazamo. Angalia katika mifano inayofuata kuelewa vizuri ninininamaanisha.Mifano ya miili hasi: hasira, utoshelezi, kutokusamehe, wivu, kudhibiti, uoga, hofu.Ifuatayo ni mfano wa imani ya uongo na tabia hasi ya kimwili ambayo hutokea.Mfano: - hebu tudhani kwamba moja ya tabia yako ya kimwili ni kwamba huna utoshelezi. Kilewasiostahili wanataka si kujihihisi hawatoshelezi. Kwa hivyo, huonyesha tabia za kimwili kama10

vile kuwa wa umuhimu na kuhukumu wengine kufanya wenyewe kuhisi vizuri kuhusu waowenyewe. Wanaweza wakawa watu wa kuridhisha watu kwa hatua ambapo watafanya chochotekinachohitajika ili kufikiriwa vizuri. Mwishowe, ikiwa hawawezi kutingisha hisia zakutotosheleza, wanaweza kukwepa hisia hizo kupitia tabia za kkama vile kuiga utaratibu wakukabiliana na kazi zao, hulka, pombe, picha za ngono n.k.Mwili Chanya.Mwili chanya ni ngumu zaidi kutambua kwa sababu huonekana yakupendeza sana. Tatizo ni kwamba mwili chanya ni mwili ambayohuonekana nzuri lakini inawezekana kufanywa kwa kuzingatia mwenyeweau kufanywa bila kujitegemea na Mungu. Hebu nikuonyeshe mifano yayote.1. Mifano ya miili chanya ambayo huzingatia juu ya NAFSI kujiamini, kujitegemea, kujitosheleza, ufanisi, haki ya kibinafsi.Ifuatayo ni mfano wa imani ya uongo na tabia chanya ya kimwili ambayo hutokea.Mfano : - hebu tudhani kwamba moja imani yako ya uongo ni kujiamini. Suala la kujitegemeakujiamini ni kufanya chochote kinachohitajika ili kuimarisha ujasiri huo. Baadhi ya tabia zakimwili ambazo hutiririka kutoka kwa kujiamini ni kujivunia na kusikia kama unayo majibu yote(unajua yote). Watu wenye kujiamini huwa na kiburi katika mafanikio yao na kuwadharau aukuchukua faida ya wale ambao hawafikii viwango vyao.2. Mifano ya miili chanya ambayo hufanywa kwa KUJITEGEMEA NA MUNGU1.2.3.4.5.Kujaribu kufanya kazi yako kwa kujitegemea na Mungu.Kujaribu kuwa mume wa kiungu, baba, mke au mama kwa kujitegemea na Mungu.Kuhubiri kwa kujitegemea kwa Mungu.Kuadhibu mtu mwengine kwa kujitegemea na Mungu.Kuenda kanisani, kupeana kwa kanisa, kushiriki katika huduma ili kupata kitu kutokakwa Mungu.Mwili chanya ni matokeo ya KUJARIBU kufanya mambo Fulani kwakujitegemea na Mungu.Inaweza KUONEKANA ya kiroho sana au nzuri lakini ikiwa yanafanywa kwakujitegemea naMungu bado ni MWILI!Mfano wa kibinafsi wa mwili chanya kwa kujitegemea na Mungu: Nilipoingia katika huduka miaka12 iliyopita, nilipata mfumo wa mwili ambao sikuwa nayo kabla. Naiita mwili wa “huduma’ .nini aina11

nzuri sana ya mwili lakini bado ni mwili. Kwa mfano, kuna nyakati ambazo niliamka kuzungumzakwamba nilihisi nilikuwa na maelezo yangu kadhaa za nguvu kwenye komputa . Badala ya kumtegemeaMungu kuzungumza kupitia kwangu, nilifundisha kwa kujitegemea kwa nguvu zangu na uwezo wangukwa kujitegemea na uhai wa Mungu na nguvu.

Chanzo Mpya utafiti kwamba maisha ya Kikristo haikuwa kuhusu mimi kuishi kwa ajili ya Mungu. Badala yake, ilikuwa kuhusu Kristo kuishi maisha yake ndani yangu (Wagalatia 2:20). Hata hivyo, kama vile athari kama ukweli huo ulikuwa ni ukweli wa pili ambao nimejifunza ni kwamba wakati wa wokovu Mungu alinipa utambulisho mpya wa kuishi kutoka.

Related Documents:

Kuishi maisha kutoka kwa chanzo mapya Kitabu cha kwanza katika mfululizo Kuishi maisha iliyobadilika . nilikuwa na mapambano makubwa ya ndani ya uhaba, uoga, . Anasema kwamba maisha ya Kristo ni Zaidi ya uzima wa milele aliokupa katika wokovu. Anasema kwamba Yesu ni maisha yako leo, wakati huu.

Maisha ndani ya Kristo Utangulizi Kuwa mkristo ni kuwa na uhusiano na ushirika na Bwana Yesu Kristo. Swali ni, je uhusiano huu . Tutaona jinsi kuunganishwa kwa Kristo kunatuletea maisha mapya na pia tutaona jinsi tunafaa kumtegemea Kristo pekee katika maisha yetu tunapoishi katika ulimwengu huu mwovu. Tutasoma

7. Onyesha kwa vitendo maisha yako mapya kwa kuonyesha upendo na shauku ya kuwajali wengine. Maisha inayotawaliwa na Kristo Maisha ya Mkristo yanaweza kuwakilishwa na picha ya msalaba. Kristo ndiye kiini cha maisha yetu mapya. Tunaishi kwa kujisalimi-sha kwake.Mstari ulio wima, unawakilisha ushirika wetu pamoja na Mungu kwa maombi na kwa kusoma .

MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO-SOMO LA KWANZA 7 Uamuzi wa muhimu Sana katika maisha yako, ni kumkubali Yesu Kristo awe bwana na mwokozi wa maisha yako. Yohana 3:3 inasema, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuona ufalme wa mbinguni. Ulipomuamini Yesu awe mwokozi wako, ulizaliwa mara ya pili.Kuzaliwa kwako upya kwa roho wa Mungu, .

kwamba maisha ya dhambi yatamharibu kabisa, na maisha ya wokovu katika Kristo yatamletea faida kubwa sana. Kwa hivyo alikuwa na vita hivi ndani yake: kuendelea kufuata maisha ya dhambi na kujiharibu au kufuata maisha matakatifu katika Kristo na kupata furaha nyingi kwa kuokoka. Augustine aliandika, “Vita hivi viliendelea ndani yangu hadi .

Somo la 7: Kanisa la Kristo Somo la 8: Maisha mapya katika Kristo . mafundisho ya Kristo, bali akayaacha, yeye hana Mungu. Ye yote anayedumu katika mafundisho ana Baba na Mwana pia” . ndani Yake, vivyo hivyo amempa Mwana kuwa na uzima ndani Yake. Naye amempa Mwanawe mamlaka ya kuhukumu kwa kuwa Yeye ni Mwana wa .

1. maisha mapya katika kristo 1 2. maisha mapya katika ushindi 5 3. maisha mapya yenye uweza 9 4. maisha mapya yenye usawa 13 5. ukufunzi wenye nguvu - nafasi nzuri 17 6. misingi yenye nguvu taratibu ya viongozi 19 7. cheti cha kuhitimu ukurasa wa nyuma

teaching 1, and Royal Colleges noting a reduction in the anatomy knowledge base of applicants, this is clearly an area of concern. Indeed, there was a 7‐fold increase in the number of medical claims made due to deficiencies in anatomy knowledge between 1995 and 2007.