TAASISI YA ELIMU TANZANIA MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA .

3y ago
449 Views
15 Downloads
9.50 MB
92 Pages
Last View : 6d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Elise Ammons
Transcription

TAASISI YA ELIMU TANZANIAMPANGO WA KUMUANDAA MTOTOKUWA TAYARI KUANZA SHULEMAFUNZO ELEKEZI KWA WALIMU JAMII WASAIDIZIMWONGOZO WA MWEZESHAJI WA MAFUNZO2015

ShukuraniMwongozo huu umeandaliwa naTaasisi ya Elimu Tanzani (TET) kwa ushirikiano wa EQUIP-T, na AgaKhan Foundation (AKF). TET inashukuru EQUIP-T kwa kugharimia warsha ya kuandika mwongozohuu. Aidha TET inawashukuru wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuandikamwongozo huu. Shukrani za pekee ziwaendee wafuatao:WaandishiVida Ngowi - Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)Sharifa Majid - Aga Khan Foundation (AKF)Sultana Islam Karama - Aga Khan Foundation (AKF)Rose Chipindula - Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)Laurence Kunambi - Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)Samson Lumato - Songea Teachers’ CollegeOscar A. Ndalibamale - Mbuyuni Primary SchoolMollel Lumitu - Social Service WelfareOmary Patrick - Nachingwea Teachers’ CollegeMratibu wa Warsha ya UandishiVida Ngowi - Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)ViongoziDr. Wilberforce Meena - Mkurugenzi Idara ya Ubunifu na Uboreshaji wa MitaalaMs. Fika Mwakabungu - Mkurugenzi Idara ya Mafunzo na MitaalaNi matumaini kuwa mwongozo huu utakuwa na manufaa kwa Walimu Jamii Wasaidiziwanaofundisha katika Mpango wa Kumuandaa Mtoto kuwa Tayari Kuanza Shule.Dr. Leonard AkwilapoKAIMU MKURUGENZI MKUUTAASISI YA ELIMU TANZANIA2MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE

VifupishoAKF - Aga Khan FoundationEQUIP-T - Education Quality Improvement Program - TanzaniaMMJ - Mwalimu Msaidizi wa JamiiWWJ - Walimu Jamii WasaidiziTET - Taasisi ya Elimu TanzaniaMPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE3

YALIYOMOUTANGULIZI2Malengo ya Mwongozo:2Walengwa wa Mwongozo:2Muundo wa Mwongozo2Muda wa Mafunzo2Mbinu za Kumwezesha MMJ Kufundisha.2Vifaa/Zana Zitakazotumika katika UwezeshajiWIKI YA SITA YA MAFUNZOHADITHI YA KUJIKINGA NA MALARIA28WIKI YA SABAYA MAFUNZOHADITHI YA PUPA ZA NYIGU36WIKI YA NANE HADITHI YA KODE NA KOLE44WIKI YA TISA YA MAFUNZO HADITHI YA MOTO513WIKI YA KUMI YA MAFUNZOHADITHI YA YANGE YANGE59Umuhimu wa Mwongozo3WIKI YA KUMI NA MOJA YA MAFUNZO67Matumizi ya Mwongozo:3WIKI YA KUMI NA MBILI YA MAFUNZO75Maeneo ya Umahiri3Matumizi ya Vitabu vya Hadithi81)Hadithi 12 kwa wiki 1282)Shughuli zitabuniwa kutokana na hadithi8Maendeleo ya Mtoto9Hatua za Ukuaji kwa mtoto wa miaka 5 – 610Hatua za Ukuaji kwa mtoto wa miaka 7 – 811Mpango wa Shughuli kwa Wiki11Mpangilio wa Hadithi.12Maelekezo ya ufundishaji wa Hadithi12Hadithi za Kusoma12Umuhimu wa kusoma hadithi kwa sauti ni:13Matumizi ya Vitabu Vikubwa13Hatua za usomaji wa hadithi:14Ratiba ya Siku15Utekelezaji wa Ratiba ya Siku16Hadithi ya siku husika16Mambo ya Kuzingatia Wakati waKuandaa Igizo Dhima.17Namna ya Kupanga Vibao Fumbo18KIPINDI CHA MPITO19MAPENDEKEZO YA UWIANO WAIDADI YA WATOTO NA WWJ19WIKI YA TANO YA MAFUNZOHADITHI YA KUKU NA KANGA20

DibajiElimu ya Awali ni msingi muhimu katika kumwezesha mtoto kuwa Tayari kwa ujifunzaji. Kutokana naumuhimu huu Taasisi ya Elimu Tanzania kwa Kushirikiana na Programu ya Uboreshaji wa Kuinua Uborawa Elimu Tanzania (EQUIP-T) na mfuko wa Aga Khan wameandaa Mpango wa Kumwandaa Mtoto kuwaTayari kuanza Shule. Mpango ambao unatekelezwa katika mikoa saba inayoratibiwa na EQUIP-Tambayo ni Dodoma, Lindi, Tabora, Kigoma, Shinyanga, Mara na Simiyu.Mpango huu, unatokana na tafiti mbalimbali zilizofanyika juu ya umuhimu wa mtoto kupataMafunzo ya Elimu ya Awali kabla ya kuanza mfumo rasmi wa elimu ya msingi. Utafiti uliofanywa naProgramu ya Uboreshaji wa Kuinua Ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T) mwaka 2012 katika mikoa saba wanayoiratibu unaonesha kuwa nusu ya watoto hawakupata Mafunzo ya Elimu ya Awali kablaya kujiunga na darasa la kwanza, hii inasababisha watoto hawa kutokuwa na utayari wa kujifunzawatakapoanza elimu ya msingi.Ili kufanikisha utekelezaji wa mpango huu wa kumwandaa mtoto kuwa tayari kuanza shule, Taasisiya Elimu Tanzania imeandaa mwongozo wa Mwezeshaji utakaotumika kuwawezesha wawezeshajingazi ya wilaya pamoja na Mwalimu Msaidizi wa Jamii. Inatarajiwa kwamba Mwezeshaji atakapotumiamwongozo huu kikamilifu ataweza kumjengea mwalimu Msaidizi wa Jamii umahiri katikakuwawezesha watoto.Watoto watakaopata Mafunzo haya watajengewa stadi za msingi zitakazowasaidia kuwa tayarikumudu maisha ya Elimu ya Msingi.MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE1

UTANGULIZIMwongozo huu wa mafunzo umeandaliwa kwa kufuata kiunzi cha utekelezaji wa mpango waKumuandaa Mtoto kuwa Tayari Kuanza Shule. Mwongozo unatoa maelekezo ya namna yakumjengea mtoto umahiri ufuatao: kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili, Utambuzi, Kuhusiana,Kujenga Mwili na Kuthamini Mazingira. Aidha mwongozo huu unatoa maelekezo ya kutumiahadithi 12 zilizoandaliwa ili kufikia umahiri uliobainishwa katika kiunzi. Mwongozo huu unazingatiambinu shirikishi zikatakazotoa fursa kwa mtoto kuweza kujifunza kwa urahisi. Mwongozo huu piaunapendekeza shughuli, vifaa/zana ambazo mwezeshaji anaweza kuzitumia wakati wa mafunzo.Vile vile mwongozo unapendekeza mbinu zitakazotumika ili kupima ufanisi wa ujifunzaji wa mtoto.Malengo ya Mwongozo:Malengo ya mwongozo huu ni:i. Kumuongoza mwezeshaji namna ya kuwawezesha Walimu Jamii Wasaidizi kutekeleza mpangowa kumuandaa mtoto kuwa tayari kuanza shule.ii. Kumwongezea mwezeshaji stadi mbali mbali zitakazomsaidia kumuongoza mwalimu jamiimsaidizi kuweza kutumia hadithi 12 katika kumjengea mtoto umahiri uliokusudiwa.iii. Kumjengea Mwalimu Jamii Msaidizi umahiri wa kutekeleza mpango wa kumuandaa mtoto kuwatayari kuanza shule.Walengwa wa Mwongozo:Walengwa wa mwongozo huu ni hawa wafuatao:i. Wawezeshaji wa Walimu Jamii Wasaidizi.ii. Walimu Jamii Wasaidizi.iii. Wathibiti wa ubora wa elimu.iv. Waratibu Elimu Kata.v. Walimu wakuu.vi. Walimu wa darasa la kwanza.Muundo wa MwongozoMwongozo huu umegawanyika katika sehemu kuu tatu, sehemu ya kwanza ni utangulizi ambaounajumuisha maelezo mafupi kuhusu mwongozo wa mafunzo, sehemu ya pili ni mwongozo wautekelezaji wa programu na sehemu ya tatu ni utekelezaji wa program ya Kumuandaa Mtoto kuwaTayari kuanza Shule.Muda wa MafunzoMuda wa mafunzo wa utekelezaji wa mpango huu umegawanyika katika awamu mbili. Awamu yakwanza ya mafunzo ni wiki nne ambayo tayari yamekwishafanyika kwa mikoa yote saba. Awamu yapili, inatarajiwa kufanyika ambapo itajumuisha wiki nane (8). Mwongozo huu umebainisha shughulizitakazofanyika kwa kipindi hiki cha wiki nane kwa ajili ya kumjengea mtoto umahiri tarajiwa.Mbinu za Kumwezesha MMJ Kufundisha.Mwezeshaji anashauriwakutumia mbinu shirikishi katika kuwezesha ili kumsaidia MMJ kuzitumiambinu hizi katika kufundisha watoto. Baadhi ya mbinu hizo ni hadithi, igizo dhima, michezo, nyimbo,ziara, kumualika mgeni, matembezi ya galari, changanyaa kete, majadiliano ya vikundi, fikiri- jozishashirikisha, maswali na majibu.2MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE

Vifaa/Zana Zitakazotumika katika UwezeshajiMwanasesere, picha, vitabu vya hadithi, chati, kadi, vifaa vya TEHAMA, vitu halisi vinavopatikanakutoka katika mazingira yao na miongozo ya kufundishia.Umuhimu wa MwongozoMatumizi bora ya Mwongozo huu yatamjengea Mwalimu Jamii Msaidizi: Uwezo wa kufundisha na kujifunza kwa udadisi na ufasini kwa watoto. Uwezo wa kuwajengea watoto stadi na ujuzi wa kujitegemea. Uwezo wa kushirikiana na watoto katika ufundishaji bora unaolenga katika kumjengea mtotoumahari unaotarajiwa. Aidha kwa kutumia mwongozo huu vilevile utamuwezesha Mwalimu Jamii Msaidizi kufikiri nakubuni mikakati itakayoboresha ufundishaji wake wa kila siku darasani kwa kutumia hadithi nane(8) katika majuma manane ya mpango wa kumuandaa mtoto kuwa tayari kuanza shule. Mwongozo huu pia umezingatia ufanisi wa ufundishaji wa hadithi nane katika maeneo ya: Malengo mahususi yanayobainisha umahiri kwa kila hadithi Njia na mbinu shirikishi za kufundishia na kujifunzia Matokeo ya Mafunzo Upimaji, tathmini na ufuatiliaji wa uhaulishaji wa maarifa ya watoto nyumbani na shuleni.Matumizi ya Mwongozo:Mwongozo huu utamsaidia Mwalimu Jamii Msaidizi katika: Kuchambua kiunzi cha mpango wa kumwandaa mtoto kuwa tayari kuanza shule. Kuandaa Mpango wa Kazi wa wiki nane (8) na andalio la somo lenye mwelekeo wa kumjengeamtoto umahiri tarajiwa. Kuweka mikakati ya ufundishaji wa wiki nane(8) kwa ufanisi. Kufanya upimaji na tathmini ya maendeleo ya watoto kwa kutumia mbinu zilizopendekezwakatika mwongozo. Mwalimu Jamii Msaidizi kujipima mwenyewe.Maeneo ya UmahiriMwezeshaji awapitishe washiriki katika maeneo ya umahiri kwa kuwagawa katika makundi matanokulingana na uchanganuzi wa maeneo hayo kama yalivyo bainishwa kwenye jedwali lifuatalo. Kishawatumie igizo dhima kuonesha ni jinsi gani watakavyomjengea mtoto umahiri husika.MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE3

Maeneo muhimuKuwasiliana KwaLugha ya KiswahiliUmahiri MahususiKukuza lugha yamazungumzoKuhesabuKuelezea hisia(anachopenda,asichopenda,furaha, huzuni, hasira,kuchanganyikiwa)4Shughuli za kutendamwanafunziKusalimiana kwakuzingatia umri,rika (kutokana nautamaduni)Vigezo vya UpimajiUsalimiajiumefanyika kwausahihi kwa kuzingatiaumri, rika nautamaduni wa mtotoUtambulishajiKujitambulisha naumefanyika kwakuwatambulishausahihiwengineKukaribisha naUkaribishaji nakuaganauagaji umefanyikakwa usahihiKuuliza, kuombaKuuliza, kuomba nakushukuru anapopewa na kushukurukumefanyikakitu.kwa usahihiUfuataji waKufuata maelekezomaelekezo anayopewaanayopewa na watuumefanyika kwawengine.usahihiKuhesabu idadi ya vitu Uhesabuji wa vituvinavyopatikana katika umefanyika kwa ufanisimazingira ya shule nanyumbani.Kutambua mlinganoutambuaji warahisimilingano umefanyikakwa usahihiMaumbo rahisi (mraba. Ubainishaji waMduara, pembe tatu)maumbo rahisiumefanyika kwausahihiKusoma vitabu vyaUsomaji vitabu vyapichapicha umefanyikakwa usahihiKusimulia hadithi kwa Usimuliaji wa hadithikuonesha hisiakwa kuonesha hisiaumefanyika kwausahihiUchoraji wa pichaKuchora picha naumefanyika kwakujieleza kwa njiausahihiya pichaMPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE

Maeneo muhimuUtambuziUmahiri MahususiKuuliza na kujibumaswaliShughuli za kutendamwanafunziKusoma picha nakujibu maswaliVigezo vya UpimajiKucheza na vifaambalimbali vilivyotengenezwa kwa mikono(kibao fumbo)Kutumia vifaa vyamichezo vya nje yadarasa (bembea mtelezo, kupanda ngazi .)Utumiaji wa vifaambalimbali vyamichezo umefanyikakwa usahihiUtumiaji wa vifaa vyamichezo nje ya darasaumefanyika kwausahihiUsomaji picha naujibuji wa maswaliumefanyika kwausahihiZiara ya kutembeleaZiara ya kutembeleamaeneo ya historia namaeneo ya historiashamba la mifugoau kwenye shambaimefanyika kwa usahihila mifugoKuchunguza mazingira Kuuliza na kujibuUulizaji na ujibuji wamaswalimaswali umefanyikakwa usahihiKuchunguza vitu ndani Uchunguzaji wa vituya darasa na kuvitajandani na nje ya darasaumefanyika kwausahihiKuchunguza vitu nje ya Uelezeaji wa vitudarasa na kuvielezeavilivyochunguzwa njeya darasa umefanyikakwa usahihi.Kuchunguza na kubuni Kuotesha mbegu zaUoteshaji wa mbegu zanafakanafaka umefanyika kwausahihiKuunda vituUundaji wa vitumbalimbali.umefanyika kwausahihiUchunguzi kutokanaKutembelea maeneoya kihistoria, shamba la na eneo liliokusudiwaumefanyika kwamifugo/kilimousahihiUchambuaji wa vituKucheza (Michezo yaUchambuzi wa vituumefanyika kwaVibao)mbalimbali (sortingusahihiactivities)MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE5

Maeneo muhimuKuhusiana6Umahiri MahususiShughuli za kutenda Vigezo vya UpimajimwanafunziKuwa na mtazamoKucheza katika kona ya Utumiaji wa kona yachanya katika kujifunza nyumbani.nyumbani umefanyikakwa ufasahaKuchagua shughuliUchaguzi wa shughuliwanayotaka kuifanya. wanazotaka kufanyaumefanyika kwausahihiKuimba nyimboUimbaji wa nyimboza shuleza shule umefanyikakwa usahihiUchezaji wa pamojaKushirikianaKucheza michezokatika michezombalimbali pamojaumefanyika kwana wenzieusahihiKufanya kazi katika jozi Ufanyaji wa kazi katikana kikundivikundi na joziumefanyika kwausahihiKutengeneza marafiki Utengenezaji wamarafiki umefanyikakwa usahihiKusaidiana katikaKushiriki pamoja naUshiriki wa pamojahali mbalimbaliwengine katika kazi.katika kazi umefanyikakwa usahihiKuelekezana katikaUelekezanaji katikaujifunzaji.kujifunza umefanyikakwa usahihiTendo la kuhudumiaKumuhudumiamwingine anapohitaji wengine limefanyikakwa usahihimsaada.Kubaini hisia zaUbainishaji wa hisia zawengine.wengine umefanyikakwa usahihiKujitambuaKuelewa jina na jinsiUtambuaji wa jina nayakejinsi yake umefanyikakwa usahihiKutambua haki zakeUtambuaji wa hakizake umefanyika kwausahihiKutambua wajibu wake Utambuaji wa hakizake umefanyika kwausahihiMPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE

Maeneo muhimuUmahiri MahususiKukuza haibaKujenga mwiliKukuza misuli midogomidogoKuimarisha afyaShughuli za kutendamwanafunziKujiheshimu nakuheshimu wengineVigezo vya UpimajiTendo la kutumia lughaya upole limefanyikakwa usahihiKutumia mikaoUtumiaji wa mikaoinayokubalika na jamii mbalimbali umefanyika kwa usahihiTendo la kuheshimuKuheshimu taratibutaratibu na tamadunina tamadunizinazokubalika na jamii zinazokubalikalimefanyika kwa ufanisiKuonesha uadilifuUoneshaji wakatika maisha yakeuadilifu umefanyikakwa usahihiKukata karatasi kwaUkataji wa karatasikutumia mkasikwa kutumia mkasiumefanyika kwausahihiKupaka rangi maumbo Upakaji wa rangi umebapafanyika kwa usahihiUundaji wa vitu kwaKuunda vitu kwakutumia udongo umekutumia udongo wafanyika kwa usahihimfinyanziKutengeneza shangaUtengenezaji wakwa kutumia kambashanga kwa kutumiakamba umefanyikakama inavyopaswaKufunga na kufungua Ufungaji na ufunguajivifungowa vifungo umefanyikakwa usahihiKuweka pamoja vibao Umaliziaji wa kibaofumbofumbo umefanyikakwa usahihiKukimbia kwendaUkimbiaji umefanyikambelekwa usahihiKukimbia kurudiUkimbiaji umefanyikanyumakwa usahihiKurusha na kudakaUrushaji na udakaji wampirampira umefanyika kwausahihiKupanda na kushukaUpandaji na ushukajikwenye ngazikwenye ngazi umefanyika kwa usahihiMPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE7

Maeneo muhimuUmahiri MahususiKukuza ujasiri naukakamavuShughuli za kutendamwanafunziKusimamia mguummojaKutembea kwakusimamia vidolevya miguuKubembeaKuendesha baiskeliKuchezesha viungokwa kufuatisha ala zamuzikiKuthamini MazinigiraKubainisha vitumbalimbali katikamazingira ya shuleKubainisha vitu vilivyondani na nje ya darasaKubainisha vituhatarishi katikamazingira ya shule nanymbani namna yakujikingaKubainisha ainambalimbali zawanyama na mimeakatika mazingira yashuleni na nyumbaniKutumia choo kwausahihiKuomba ruhusaanapotaka kwendachooniKuonesha matumizisahihi ya choo.Kusafisha nakudumisha usafi wamazingira ya choo.8MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULEVigezo vya UpimajiKusimama kwa mguummoja umefanyikakwa usahihiUtembeaji wakusimamia vidole vyamguuni umefanyikakwa usahihiUbembeaji umefanyikakwa usahihiUendeshaji wa baiskeliumefanyika kwausahihiUfuatiliaji wa ala zamuziki kwa kuchezeshaviungo umefanyikakwa usahihiUbainishaji wa vitundani na nje ya darasaumefanyika kwausahihiUbainishaji wa vituhatarishi katikamazingira ya shulenyumbani na njianiyamefanyika kwausahihiUbainishaji wawanyama na mimeakatika mazingira yashule na nyumbaniumefanyika kwausahihiUombaji wa ruhusaanapotaka kwendachooni umefanyikakwa usahihiMatumizi ya utumiajiwa choo umefanyikakwa usahihiUsafi wa mazingira yachoo umefanyika kwausahihi

Maeneo muhimuUmahiri MahususiKutambua maeneosalama na hatarishiShughuli za kutendamwanafunziKuosha mikono baadaya kutoka chooniKuvuka barabara kwauangalifuKutembea mkabalana magari pembezonimwa barabaraKubaini vitu na watuhatarishi katikamazingira ya shuleni,nyumbani na njiani.Vigezo vya UpimajiUoshaji wa mikonobaada ya kutokachooni umefanyikakwa usahihiUvukaji sahihi wabarabara umefanyikakwa usahihiUtembeaji sahihipembezoni mwabarabara umefanyikakwa usahihiUbainishaji wa maeneohatarishi umefanyikakwa usahihiMatumizi ya Vitabu vya HadithiMatumizi ya vitabu ni jambo la msingi sana katika utekelezaji wa mpango huu. Matumizi ya vitabuhivyo utafuata utaratibu ufuatao:1) Hadithi 12 kwa wiki 12Hadithi moja itasomwa kwa wiki, itasomwa wakati wa mduara wa asubuhi. Ni vema MMJ kubainishaumahiri uliokusudiwa wa mtoto baada ya kusoma hadithi kwa kutumia shughuli na mbinumbalimbali katika ujifunzaji.2) Shughuli zitabuniwa kutokana na hadithiToa shughuli kutegemeana na hadithi iliyosomwa ambayo itamwezesha mtoto kujenga umahiriuliokusudiwa. Shughuli zinaweza kuwa za kucheza igizo, au kuhadithia hadithi uliyowasomea.3) UpimajiMwezeshaji amwongoze MMJ kubaini umahiri uliojengwa kwa kutumia zana mbalimbali za upimajikama vile; orodha hakiki, shughuli, maswali na majibu na kazi za mikono.MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE9

Maendeleo ya MtotoNi muhimu MMJ kutambua kuwa kila mtoto ni wa kipekee japokuwa anaweza kufuata mfumo uliosawa na mwingine katika ukuaji, maendeleo na makuzi yake akiwa mdogo kama vile kujifunzakuongea na kujifunza kutembea. Katika darasa moja unaweza kuwa na mtoto wa miaka 5 ambayeana tabia kama za mtoto wa miaka 4 au akawana tabia kama za matoto wa miaka 6. Jedwali lifuatalolinaonesha hatua za maendeleo na makuzi ya mtoto wa miaka 5 – 8. Mwezeshaji awaongoze WWJkujadiliana katika vikundi uzoefu wao katika makuzi na ukuaji wa watoto.Hatua za Ukuaji kwa mtoto wa miaka 5 – 6UmriKipengeleMiaka 5-6 Ukuaji wa MwiliMiaka 5-6 Ukuaji wa KijamiiMiaka 5-6 Ukuaji wa Akili(Ubongo)Miaka 5-6 Ukuaji wa Kimaadili(Kiroho)Yanayojitokeza Kupanda na kushuka ngaziKuruka kwa kutumia miguu yoteKuongezeka kwa uwezo wa kuhimili mwendo wa misuliKuonesha kuwa anatumia mkono wa kulia au kushotoAnaonesha hisia kali kwa familia na mambo ya nyumbaniAnaonesha ukuaji na kuanza kujitegemeaAnaweza kukubali maelekezo na kufuata taratibuAnaweza kushirikiana vitu na wengine na hatakubadilishanaAnaweza kushiriki katika uzoefu wa shuleAnaonesha usikivu mkubwaAnaweza kuweka vitu katika mpangilioKutumia lugha kwa upanaKujua majina ya vitu, rangi na maumboKujua mema na mabayaKuathiriwa na tabia za watu wengineKujenga mitizamo sahihi ya kimaadili kama vile heshima,kuwa mkweli na kujenga imani au uaminifuHatua za Ukuaji kwa mtoto wa miaka 7 – 8UmriKipengeleYanayojitokezaMiaka 7-8 Ukuaji wa Mwili Miaka 7-8 Ukuaji wa Kijamii 10Anaweza kupanda juu ya mitiAnaweza kuvaa na kuvua nguo yeye mwenyeweAnaweza kushika mpira mikono yake ikiwa imesambaaAnaweza kutembea kinyumenyume na kwa kutumiancha za vidoleAnaweza kucheza kwa ushirikiano na wezakeAnafahamu kuhusu jinsia na tofauti za rangi za watuAnafahamu miiko ya jamii ambamo anaishiMPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE

UmriKipengeleYanayojitokezaMiaka 7-8 Ukuaji wa Kihisia Miaka 7-8 Ukuaji wa Akili(Ubongo)Miaka 7-8 Ukuaji wa Kimaadili(Kiroho) Anajenga uwezo wa kujihimili zaidiAnaanza kuonesha hali ya ucheshiAnaweza kuanza kuona mtizamo wa mtu mwingine, kwakuongozwaAnaanza kuonesha uwezo wa kutatua migogoroAnakuza msamiati harakaAnaanza kutofautisha vitu kutokana na kazi zakeAnaanza kuonesha udadisi wa mambo na kuuliza“Kwa nini?”Anaanza kufahamu thamani ya nambaAnafahamu vizuri matarajio ya watu wakubwa katikamazingira tofauti na anaeleza makosa yake inapotokeaameyafanyaAnafahamu kuwa matendo yanahukumiwa kwamatokeo yakeAnajua mambo ya kimaadili yanayokatazwa na jamiiambayo anaishiMpango wa Shughuli kwa WikiMafunzo haya yatatolewa kwa watoto kwa muda wa wiki 12. Kila wiki moja itajumuisha siku 4 zamafunzo darasani na watoto. Siku 1 (siku ya 5) WWJ watakwenda katika shule ya msingi ya karibukwa ajili ya kutafakari na kufanya maandalizi.WIKI MOJASIKU YA 1SIKU YA 2SIKU YA 3SIKU YA 4SIKU YA 5Tafakuri naMaandalizi(kwenye shuleya msingi)Kila kipindi kitakuwa na saa 2 hadi 3. MMJ anatakiwa kuzingatia shughuli zilizoainishwa kwa kila sikuili aweze kuzifanya ndani ya utaratibu ambao unaendana na elimu ya awali na mpango wa utayari washule.MPANGO WA KUMUANDAA MTOTO KUWA TAYARI KUANZA SHULE11

Mpangilio wa HadithiMwezeshaji awaongoze WWJ kubaini mpangilio wa hadithi 12 zitakazosomwa kwa wiki 12 zamafunzo. Kila wiki MMJ atawasomea watoto hadithi moja kwa kufuata utaratibu uliooneshwahapo chini:1. N

Ms. Fika Mwakabungu - Mkurugenzi Idara ya Mafunzo na Mitaala . kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili, Utambuzi, Kuhusiana, Kujenga Mwili na Kuthamini Mazingira. Aidha mwongozo huu unatoa maelekezo ya kutumia . Kufanya upimaji na tathmini ya maendeleo ya watoto kwa kutumia mbinu zilizopendekezwa katika mwongozo.

Related Documents:

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Imefadhiliwa na Idara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Uingereza (DFID) Agosti, 2017 MPANGO WA UTAYARI WA KUJIUNGA NA ELIMU YA SEKONDARI (MUES) EQUIP-Tanzania. Mpango wa Utayari wa Kujiunga na Elimu ya Sekondari (MU

Kuchambua nadharia ya mpango wa utayari wa kuanza shule. Kuandaa azimio la kazi la wiki nne (4) na andalio la somo lenye mwelekeo wa kumjengea mtoto umahiri tarajiwa. Kuweka mikakati ya ufundishaji wa wiki nne(4) kwa ufanisi. Kufanya upimaji na tathmini ya maendeleo ya watoto kwa kutumia mbinu zilizopendekezwa katika mwongozo.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingi kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadha huu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha

MUHTASARI Wafanyakazi ni wadau muhimu katika kujenga uchumi wa taifa. Kuna uhusiano wa . Chama cha wafanyakazi wa taasisi za elimu ya juu Tanzania (THTU) kimeanzishwa . yakitokea katika uendeshaji wa vyama hivi na kupelekea kupungua kwa utamaduni wa kutoaminiana uliokuwepo awali. Kutokana na mabad

Hali ya Elimu Andika idadi halisi ya huduma zilizopo kijijini. Idadi V401. Idadi ya shule za msingi za serikali V402. Idadi ya shule za msingi za binafsi V403. Idadi ya vituo vya elimu ya awali V404. Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na hu

4.3.1 Elimu ya malezi ya awali na makuzi (ECEC), utambuzi wa mapema na afua za mapema (EIEI) . ECC Mtaala wa Msingi Uliopanuliwa ECEC Elimu ya awali ya utotoni na Uangalizi . MUHTASARI Ripoti hii ya dunia juu ya elimu jumuishi ina

Ingawa Sera ya Elimu ya Awali ipo, mafanikio ya sera hii ni madogo sana. Elimu ya Awali ilijumuishwa moja kwa moja katika elimu ya msingi (2014) lakini shule nyingi hazina madarasa mazuri ya elimu ya awali. Sekta ya shule za awali hazina walimu wenye st

AngularJS Tutorial, AngularJS Example pdf, AngularJS, AngularJS Example, angular ajax example, angular filter example, angular controller Created Date 11/29/2015 3:37:05 AM