MWONGOZO WA CHOZI LA HERI. - Kcpe-kcse

3y ago
668 Views
30 Downloads
926.93 KB
85 Pages
Last View : 4d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Kelvin Chao
Transcription

wa kuyajibu maswali atakayo ulizwa na mtahinikatika mitihani ya karatasi ya 3 tatuMWONGOZO WA CHOZILA HERI.ShukraniMwandishi1. NAMNA YA KUUTUMIA MWONGOZO HUUMwongozo huu unanuiwa kumwonqozamwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja no kuelewauliopo kwenye Riwaya. Hata hivyo ni muhirnumwanafuzi aisome Riwaya kwanza kabla yakuutumia mwongozo huu.Assumpta K.Matei ni mwandishi wa kike. Ni mtafitina mwalimu mwenye tajriba pana katika ufundishajiwa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili navyuo vikuu. Kati ya taasisi alizowahi kufundisha niKenya High School naPia ni vizuri mwanafunzi kuisoma na kuielewaRiwaya hata kama ni mara tatu, kabla ya kuujjbumtihani wake mwisho wa Sekondari(KCSE).Mwongozo huu ni maoni ya waandishi kulingana najinsi walivyoifiki Riwaya hii, wenyewe. Mwanafunzianahimizwa kuzua maoni ziada kuhusu masualawaliyozungumzia waandishi huku jaribu kuyaoanishana hali halisi katika eneo alirnotok, :,nchini, barani aukwingineko ulimwenguni ambapo maudhwyanayojadiliwa yanajitokeza. Kuna maelezo kuhusuuliotumika kwenye jalada, Ufaafu wa anwani,rnuhtasari wa sura(msukomtiririko) ,dhamira yamwandishi, maudhui, sifa za wahusika, fani naMaswali ya marudio. Haya yote yanalengakumhamasisha mwanafunzi kuielewa vyema PiwayaCUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali yaukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi sasani afisa katikaChozi la Heri. Ni muhimu kwa mwanafunzi kuelewarntlririko wa Riwaya kwa undani ili kuweza kuelewaujumbe wa mwandishi na mbinu anazotumiakuubainisha ujumbe huo. Fahamu kuwa iwapomwanafunzi atauelewa mtiririko wa kazi hus kahatatatizika wakati wa kuyajibu maswali,akakanganva matukio au 'kubuni' matukio ambayohayamo Riwayant.Katika sehemu ya mwisho, waandishi wametoamifano ya maswali pamoja na mifano ya majibumwafaka. Mwanafuntl ajibidiishe ili kuwa na uzoefuWizara ya Elimu, kitengo kinachoshughulikiatathmini ya mitaala. Miongoni mwa kazializoziandika ni Fani ya FasihiSimulizi.

JALADAJalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usaniiwake , Robert Kambo. Katika upande wa mbelesehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea.Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamomaeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi.Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwamiongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa laKalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hikikimepata maji ya mabomba hadi eneo zima likatwaarangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama Miambakofi,mivule na miti mingine kapandwa. Maeneo mengmeyaliyokuwa na rutuba ni kamaMsitu wa Mamba. Watu waliogura makwaowalipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakulakama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.Ndam ya rangi hii mna anwani ya kazi iliyoandikwakwa rangi nyeupe. Kawaida rangi hii huashiria amani.Licha ya mambo kuwaendea vibaya wahusika wengiriwayani, hatimaye mnaamani ya kudumu.Jina lake mwandishi liko maeneo yayo hayo nalimeandikwa kwa rangi ya manjano. Rangi hiihuashira ukomavu. Mwandishi wa riwaya hii nimwenye tajriba pana. Amekomaa katika uandishi wakazi za fasihi. Masuala anayoyaangazia ni yaleyanayoiathiri jamii yake. Ametumia mtindounaoashiria upeo wa ukomavu wake.Upande wa chini wa jalada la riwaya hii mna mchorowa jicho. Jicho hili linadondokwa na chozi. Ndani yachozi mna watu watatu(mmoja wa kike na wawili wakiume). Inahalisi kuwa watu hawa watatu ni Umu,Dick na Mwaliko. Walifurahl mno walipokutana wotekatika hoteli ya Majaliwa. Riwayani, Umu na Dickwalikimbia wote kwa pamoja na wakamkumbatiandugu yao Mwaliko na huku wakaanza kulia nakutokwa na machozi ya farajaheri.4.UFAAFUWA ANWANIAnwani ya Riwaya hii ni Chozi la Heri.Kwa mujibu wa kamusi ya karne ya 21, CHOZI ni tonela maji au uowevu linalotoka machoni ambaloaghalabu hutokea mtu anapolia, kufurahi au moshiunapoingia machoni. Nalo jinaHERI lina maana tatu 1 Ni kuwepo kwa amani,utulivu na usalama 2Ni hali ya kupata Baraka namafanikio 3 Ni afadhali. Maneno haya yanapotumikapamoja tunapata maana iliyo na undani zaidi kulikojina likitumika peke yake.Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatokawakati mhusika fulani amepata amani, utulivu nausalama. Chozikwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingineni kuwa chozi hili linaonekana ni chozi (la)afadhaliboranafuu.Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokezawakati maneno hayo mawili yamewekwa pamoja,matukio yafuatayo yanaafiki ufaafu wa CHOZI LAHERI.i) Mwandishi anatuleza kuwa Ridhaa alipokwendashuleni siku ya kwanza alitengwa na wenzake kwanihawakuta ashiriki michezo yao. Kijana mmojamchokozi alimwita 'mfuata mvua' aliyekujakuwashinda katika mitihani yote. Ridhaa alifululizanyumbani na kujitupa mchangani na kulia kwa kitena shake. Mamake alimliwaza na kumhakikishiakumwona mwalimu keshoye. Tangu siku hii, huuukawa ndio mwanzo wa maisha ya heri kwa Ridhaakwani baada ya mwalimu kuzungumza na wanafunziumuhimu wa kuishi pamoja kwa mshikamano,Ridhaa alipea kwenye anga ya elimu hadi kufikiakilelecha cha elimu na kuhitimu kama daktari.

ii) Ridhaa alipotoka kwenye Msitu wa Mamba alijionavi) Mwangeka alipokuwa ameketi mkabala nanafuu kwani wapwa zake- Lime na Mwanaheriwalikuwa wamepata matibabu. Dadake Subiraalitibiwa akapona. Mwamu wakekidimbwi che kuogelea, mawazo yake yalikuwa kulembali alikoanziaKaizari amepona donda lililosababishwa nakuwatazama mabinti zake wakitendewaukaini(kubakwa) na Vijana wenzao.Ridhaa anajua kuwa Kaizari ni afadhali kwa sababuhakuna aliyemtenga na mmoja kati ya jamaa zake.Ridhaa anapomfikiria Kaizari anajiambia heri nusuShari kuliko Shari kamili.Akawa anakumbuka changamoto za ukauji wake.Akawa kumbuka wanuna wake. AlipomkumbukaAnnatila(Tila) mwili ulimzizima kidogo akatabasamukisha tone moto la choz:likamdondoka.vii) Katika Msitu wa Simba kulikuwa na maelfu watuwaliogura makwao. Kati ya familia zilizoguria humuni familia ya Bwanaiii) Ridhaa aliposikia sauti ya kike ikitangaza, tangazolile lilimrudiSha katika mandhari yake ya sasa.Alijaribu kuangaza macho yake aone anakoendalakini macho yalijaa uzito wa machozi ambayoalikuwa ameyaacha yamchome na kutiririkaKangata. Kwa Kangata na mkewe Ndarine, hapapalikuwa afadhali kwani hawakuwa na pa kwendakwa kuwa hata kule walikokuwa wakiishi awalihakukuwa kwao. Uk 57yatakavyo.wongo: o wa chozi la Heri viii)Wakati Dick walikutanakisadfa na Umu katika uwanja wa ndege,walikumbatiana kwa furaha. Machozi yaliwadondokawote wawili na wakawa wanalia kimyakimya.Walijua fika kuwa jaala ilikuwa imewakutanisha nakwamba hawatawahi kutengana tena. Maisha sasayalianza kuwa ya heri kwao.iv) Wakati Ridhaa alimkazia macho Mwangeka-wakaMwangeka alikuwa akijiuliza iwapo babake amekuwamweh kwa kukosa kushirikiana na majirani kuchimbakaburi kuyazl ka majivu- matone mazito ya machoziyalitunga machor mwake Mwangeka. Akayaachayamdondoke na kumcharaz, yatakavyo. Uvuguvuguuliotokana na mwanguko wa macho:haya uliulainisha moyo wake, ukampa amani kidogo.Moy wake ukajaa utulivu sasa kwa kujua kuwa winowa Mung haufutiki.v) Wakati Ridhaa alikuwa akimsimulia Mwangekaix)Baada ya miaka kumi ya kuuza dawa za kulevya,Dick alifaulu hatimaye kujinasua kutoka kwa kuchaza mwajiri wake. Alianza biashara yake mwenyeweya kuuza vifaa wa umeme. Sasa akaanza kujitegemeakwa kuwa amejiajiri.Alikuwa ameufungua ukurasa mpya katika maishayake.misib(Maisha yake sasa ni ya heri.iliyomwandama tangu siku alipoondoka kwendakuwel" amani Mashariki ya Kati, Ridhaa alisitaakajipagusa kijash(kilichokuwa kimetunga kipajini mwake kisha akatoakitambm mfukoni na kuyafuta machozi yaliyokuwayameanza kumpo fusha. Uk 48X)Wakati Neema na Mwangemi walikabidhiwamtoto wao wa kupanga na Mtawa Annastacia,Mwaliko alimkumbatia Neema na kumwita mama nakumwahidi kuwa ataenda naye. Neema alidondokwana chozi la furaha na kumkumbatia Mwaliko kwamapenzi ya mama mzazi. Hili lilikuwa ni chozi la herikwa

Neema.xi)Dick alimweleza Umu kuwa siku waliokutanakatika uwanja wa ndege na wakasafiri pamoja, hiyondiyo ilikuwa siku ya heri Zaidi kwake. Nasahaalizopewa na IJmu zilimfunza thamani ya maisha.Kisadfa, huu ndio wakati Dick alikuwa ameamuakubadilisha maisha na kuishi maisha mapyayasiyokuwa ya kuvunja sheria.Xii)Dick aliposimulia namna wazazi wake wapyapamoja naUmu walivyomfaa maishani, kila mmoja katikafamilia hii alijil. Bila shaka yalikuwa machozi yxiii) Baada ya Mwaliko kujitambulisha kwa Umu naDick, umu na Dick hawakungojea amalize.Walikimbia wote wakamkUmbatia ndugu yao,wakaanza kulia huku wakiliwazana. Haya yalikuwamachozi ya furaha kwao kwa kupatana tena wotewakiwa hai. Kwa kweli kila mmoja alitokwa na chozila heri.xiv) Mwaliko alimwambia babake kuwa kuja katikahoteli yaMajaliwa kuliwaletea heri kwa kuwa familia yao sasaimepanuka. Sasa amekutana na watu aliokuwa tuanasikia wakitajwa. Maisha sasa ni afadhali.xv) Dick alitoa shukrani tele kwa Umu kwa kuwaalimpa matumaini kuwa siku moja watampata nduguyao Mwaliko. Mwaliko hata anapomtazama Umu,macho yake yakiwa yamefunikwa na vidimbwi vyamachozi, anajua kuwa familia yao imerudiana japokatika mazingira tofauti.xvi) Siku ambayo Mwangeka alimwoa Apondi ilikuwasiku ya heri kwake kwani alimwaga chozi la heri.Tunaelezwa kuwa, Ridhaa alijua kuwa wakati ndiomwamuzi, ipo siku atakapotokeza hurulaini wakeMwangeka. Ataifungua kufuli kubwa iliyoufungamoyo wake na hiyo itakuwa siku ya kumwaga chozila heri.Mbunda Msokile(1992:206) anasema kuwa msuko nimtiririk0au mfuatano wa matukio yanayosimuliwa kutokamwanz0hadi mwisho. Hapa tutaangazia matukio katika kilasuraSURA YA KWANZASura hii inapoanza, Ridhaa alikuwa amesimama kwamaumi-vu makali huku mikono kairudisha nyuma yamgongo wake uliopinda kwa uchungu. Amelitazamawingu la moshi ambalo linamkumbusha ukiwaaliozaliwa nao na ambao anahofia kuwa angeishi nakuzikwa nao. Alipogeuka alitazamana ana kwa anana moto ambao uliteketeza jumba lake la kifahari.Walioangamia mie ndani ni Terry (mkeweRidhaa),bintiye Tila, Mkewe Mwangeka(Lily) namjukuu wake Becky. Tukio hill linamkumbushamambo kadha yaliyotokea hapo awali yakiwemomlio wa kereng'ende na bundi usiku wa kuamkia sikuhii ya kiyama. Milio hii ilimtia kiwewe zaidi kwanibundi hawakuwa wageni wa kawaida katika janibuhizi. Alikumbuka akimwambia Terry kuwa milio hii nikama mbiu ya mgambo ambayo ikilia huendakukawa na jambo. Terry ambaye kawaida yake nimcheshi hakunyamaza ball alimwambia Ridhaa kuwakwake lazima kila jambo liwe na kiini. Terry alishangaa ni vipi daktari mzima alikuja kujishughulishana mambo ya ushirikina. Terry anamkumbushammewe kuwa aliwahi kumwambia kuwa ni vizurikuiacha mielekeo ya kijadi ambayo huyafifilishamaendeleo. Anazidi kumuuliza hata iwapo jambolikawa atafanya nini? Ndipo Terry anamjuvya kuwa lamuhimu ni kumlaani shetani kwani Iiandikwalo ndiloliwalo. Mazungumzo haya baina ya Terry na mmeweRidhaa yalikuwa ya mwisho kabisa kutokea Terryakiwa hai. Ridhaa sasa anajutia kuwa angelijuaangelitumia kila sekunde za uhai zilizokuwa zimesaliakumuuliza mkewe maswali ambayo sasa yameivamiaakili yake. Machozi yalifulika machoni mwake nakuulemaza uwezo wake wa kuona na ndipo moyowake ukamwonya dhidi ya II

tabia yake ya kike ya kulia pindi tu akumbwapo navizingiti ambavyo ni kawaida ya maisha.Aliyakumbuka maneno ya marehemu mamake kuwamachozi ya mwanamme hayapaswi kuonekanambele ya majabali ya maisha. Siku hii Ridha hakujalila mama wala la baba; alijiskia kama mpiganamasumbwi aliyebwagwa na kufululiziwa makondebila mwombezi. Alisalimu amri na kuyaacha machoziyamvamie yatakavyo. Katika mito ya machozi ndipoalileta kumbukumbu ya mambo yalivyokuwa usikuambao uliyatia giza maisha yake. Anakumbukamayowe ambapo mwenye kuyapiga alimsihiMzee Kedi asiwauwe kwani wao ni majirani wake.Akamsihi asiwadhuru wanawe wala mume wake.Baada ya mayowe haya ndipo alisikia mlipukomkubwa kisha akashikwa na uziwi wa mudauliofuatwa na sauti nyingine ya Mkewe"Yamekwisha". Kumbukumbu hii ilimpa kuzimia naalipozinduka alijipata kalala kando ya gofu la jumbalake lililokuwa linafuka moshi. Alijikongoja hadikwenye kwenye shamba lililokuwa kando ya nyumbayake alipopaaza sauti na kusema " Familia yangu namali yote hii kuteketea kwa siku moja?Aliporudi kulikokuwa sebule ndipo alikumbuka kuwaMwangeka (kifungua mimba) wake alizaliwa kwenyechumba hiki miaka thelathinl iliyopita. Alishangaa nivipi Mwangeka aliweza kunusirika mkasa huu nandipo akawaza kuwa wadhifa aliyopewa kwendaMashariki ya Kati kudumisha amani ulitokea kuwawongofu wake. Katika kumbukumbu zakeanaukumbuka mjadala mkali baina yake na bintiyeTila kuhusu mafanikio ya baada ya uhuru. Hakunaaliyethubu kuuchangia kwani masuala ya sheria Tilaalikuwa ameyamud e i kweli. Tila anamuuliza babake maswali magumtambayo yanamsawiri Mwafrika alivyonyanyaswa natabaka le juu lililojilimbikizia mali baada ya mzungukuondoka, likabaki likiukomaza ukoloni mambo leo.Mwafrika alibaki pasi na cho-Chote cha kumiliki. Tila anasisitiza kuwa wao niwategemezi si kwa lishe tu, bali pia kwa ajira. Na kazizenyewe ni vibarua vya kijungu jiko. Tila alishangaani kwa nini wao hawajaanza kujisagia kahawa au chaiyao. Haihalisi mbegu ziwe zetu, tulikuze zao lenyewekisha kumpelekea mwingine kwenye viwanda vyakealisage kisha kuja kutuuzia hiyo kahawa au chai kwabei ya kukatisha tamaa alisisitiza Tila. Ridhaaalikubaliana na mtazamo wa Tila kwani mstakabaliwao wa ukuaji kiuchumi uligonga mwamba wakatisheria ya mkoloni ilimpa mzungu kibali cha kumilikimashamba katika sehemu zinazotoa mazao mengi.Mwafrika akabaki aidha kuwa kibarua au skwotaambaye maisha yake yalitegemea utashj wa mzungu.Wafrika ambao walibahatika kupata makao yaobinafsi walipata sehemu ambazo hazingeweza kutoamazao mengi, wakawa wakulima wadogo wadogo,maskini wasio na ardhi. Ridhaa anamkumbuka babaMsubili alivyokuwa akisema kuwa jamii yao iligeukakuwa hazina ya wafanyakazi ambamo Wazunguwangeamua kuchukua vibarua kupalilia mazao yao.Ridhaa hakuwa mkaazi asilia wa Msitu wa Heri.AlikuwaTuata mvua kama walivoitwa walowezi na wenyejikindakindaki. Ridhaa anasema kuwa hakupachaguamahali hapa ila majaliwa yalitaka awe hapo. Babakealikuwa na wake kumi na wawili. Wake hawawalijaliwa na wana wa kiume ishirini na ndipo ardhiya mzee Mwimo Msubili ikawa haitoshi kuwaleamadume hawa lligawanywa m naikamwia vigumu Mzee Mwimo kuwalisha wana hawakwani ardhi yake ilitoa zao dogo. Katika ardhi yaMzee Mwimo mlizuka uhasama, migogoro na uhitajimkubwa. Jambo hili limfanya mzee mwimokuwahamishia wake wawili wa mwisho Msitu viaHeri au Ughaishu kama walivyopaita wenyeji. Sikuhizo ilikuwa rahisi mtu kuwa na shamba mahalikokote katika eneo lililomilikivia na kabila lake kwaniumiliki wa mashamba ulitegemea bidii ya mtu.Mamake Ridhaa alikuwa mke wa mwisho wa MzeeMwimo. Ridhaa alikuwa mwenye umri wa miakakumi walipohamia Mlima via Heri na alikuwa bado

hajaanza shule. Walipowasili humu hamkuwa nawakaazi wengi na ilimchukua muda kuzoeana nawatoto wa majirani ambao waliwaona Ridhaa nanduguze kama waliokuja kuuvuruga utulivu wao.Ridhaa alipowazia kuhusu jambo hill alielewa fikakuwa hali hii ilizuliwa na wakoloni na kuwarithishaWaafrika. Baba yake, Mwimo Msubili alikwishakumwambia kabla ya miaka ya Hamsini umiliki wakibinafsi wa ardhi haukusisitizwa katika jamii yao.Watu walitangama-na vyema. Familia zilizotokakwengine ziliishi miongoni mwao pasi uhasama. Serampya ya mkoloni kujumuisha pamoja ardhiiiiyomilikiwa na mtu binafsi na kuuidhinisha umilikihuu kwa hatimiliki, ilivuruga mshikamano wa kijamii.Sera hii mpya ya umilikaji wa ardhi ilimaanishakwamba wale walio-kosa pesa za kununuliamashamba wangekosa mahali pa kuishi. Walewaliobahatika kuwa na pesa za kununulia mashambadaima walichukuliwa kama wageni wasiopasakuaminiwa. Ridhaa alikuwa kati ya waathiriwa wahali hii kwani alitengwa na wenzake siku ya kwanzashuleni katika michezo mbalimbali. Alichokozwa namwanafunzi mmoja aliyemwita 'mfuata mvua' nakumwambia hakutaka kucheza naye kwani alikujakuwashinda katika mitihani yote. Jambo 14Familia zote mbili zilikuwa na mlahaka mwema.Ridhaa ameyafanya mengi mazuri kikijini hadikikaacha kuitwa Kalahari. Ikawaje aliowatendeahisani wamelipa kwa madhila?hili lilimfanya Ridhaa kulia kwa kite na kumwambiamamake kuwa hangerudi shuleni tena. Mamakealimwambia ni vyema kujifunza kuishi na wenzakebila kujali tofauti za kiukoo na nasaba. MamakeRidhaa alizungumza na mwalimu naye mwalimuakazungumza na wanafunzi na kuwasisitiziaumuhimu wa kuishi pamoja kwa mshikamano. Huuukawa ndio mwanzo wa maisha ya heri kwa Ridhaa.Ridhaa alifanya vyema masomoni na kufikia kilelechacha ufanisi alipohitimu kama daktari. Baadaye aliasiukapera na akafunga ndoa nayekwenye mulishi wa runinga yakibomolewa. Majumbahaya sasa yamegeuka udongo. Pigo hili la pili alilionakali zaidi.lweje watu waliokula na kunywa pamoja ndiowaliomlipulia aila na kuyasambaratisha maisha yake?Haya maswali yasiyo na majibu yalimsumbua akilinimwake. Alipowaza alianza kuelewa sababu yavikaratasi kuenezwa kila mahali vikiwatahadharishakuwa mna gharika baada ya kutawazwa kwaMusumbi- kiongozi mpya. Anaelewa sababu ya jiranikuacha kumtembelea kwake kwa ghafla. Anaelewasababu ya mke wa jirani kulalamika kuhusu kuuzwakwa mashamba ya wenyeji kwa wageni. Alielewakuwa alikuwa mgeni wala si mwenyeji hata baada yakuishi pale miongo mitano. Katika usingizialikumbuka habari iliyosomwa katika runinga miakamiinne iliyopita. Habari ilisema kuwa matrekta yaBaraza ya jiji yalitekeleza amri ya Bwana Mkubwaambayo ilikuwa ni kwabomoa majumba ishirinikatika mtaa wa kifari wa TononOkeni. Ridhaa alitazama picha za majumba yakematatuAlibaki akijiuliza maswali akishangaa ni upi utakuwamstakabali wake, wa mwanawe Mwangeka naSubira, dada yakeRidhaa aliyeishi maili kumi kutoka pale.Maswali:i) Eleza kwa kifupi hasara ya ukabila.Terry. Alijaliwa na wana ambao waliangamiaisipokuwaii) Ni mambo gani yalifuatia kutawazwa kwaMusumbi ?Mwangeka. Ridhaa anashangaa ni kwa nini MzeeKedi alimgeuka kwani ndiye aliyemsaidia kupatashamba hilo lake.iii) Ni mambo gani yalimpata Ridhaa tanguwalipohamia Msitu wa

Heri?wake ni wa kukatisha tamaa amevimba sana baadaya kutendewa unyama na binadamu wengine.iv) Wataje, kisha utoe sifa za wahusika waliotajwakatika sura hii.v) Onyesha namna mbinu rejeshi ilivyotumiwakatika sura hii.SURA YA PILINi siku kumi tangu kuondoka kwa Kaizari na wenzakena kujipata katika mazingira haya mageni. Si magenikwani ni mumo humo kwao kwani si ughaibuni walanchi jirani. Pahali hapa ni kambi au mabandayaliyosongamana. Waliokuwa nacho na wachocholewote wako pamoja katika kambi hii.Kuna kiasi fulani cha usawa. Japo wanasema kuwawanadamu huwa sawa kifoni, kuna tofauti katikamandhari wanamofia. Kuna wanaofia zahanati zakijijini na wapo wanaolala maumivu yao yakiwayamefishwa ganzi katika hospitali za kifahari hukuwakiliwazwa na mashine. Kuna wengine ambao hufiakwenye vitanda vya mwakisu vitongojini baada yakupiga maji haramu(pombe haramu) kama nziambao kufia dondani si hasara. Kuna tofauti piamitindo ya mazishi nahata mavazi ya mwenda zake na wafiwa. Hatamajenez yenyewe huhitilafiana.Katika kambi la kina Kaizari mipaka ya kitabakaimebanwa.Kwani, hata waliokuwa navyo sasa hiviwanang'ang'ania chakula haswa uji. Hata aliyekuwawaziri wa Fedha miaka mitano iliyopita yumo katikakambi hii aking'ang'ania chakula na wenzake. Mvuakubwa inanyesha na matone mazito kuwaangukiawanawe wakembe wa Ndugu Kaizari-Lime naMwanaheri. Hana hata tambara duni la kuwafunikia.Ubavuni amelala mke wake Subira. Anaonekanakuwa siye yule Subira wa awali kwani mwonekanoKwa mbali anaonekana Ridhaa, akitafuna kitu fulanikinachofanana na mzizi-mwitu. Ni kinaya Daktarimzima, Mkurugenzi mzima wa Wakfu wa Matibabunchini kula mzizi!Kaizari anaanza kusimulia yaliyojiri siku ile baada yakutawazwa kwa kiongozi mpya. Anasema kuwabaada ya kutawazwa kwa kiongozimwanamke(wengine waliamini hafai kuongoza)mambo yaliharibika. Watu wakashika silahakUPigania uhuru wao, uhuru ambao walidaihawakupewaWakaupigania. Wakatoa kauli kuwa wanaumewatatumikishwa kwa walivyofanywa enzi hizo katikavisakale vya jiraniGO. Waliona kuwa kiongozi mwanamkeatawarudisha paleWalikotoka. Walikemea kusumbuliwawalikosumbuliwa kwa miongo mitatu sasa naAffirmative action na a third should beWomen. Walikerwa mno na suala Ia jinsia

wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili na vyuovikuu.Kati yataasisi alizowahikufundisha ni Kenya High Schoolna CUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali ya ukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi sasa ni afisa katika Wizara ya Elimu, kitengo kinachoshughulikia tathmini ya mitaala. Miongoni mwa kazi

Related Documents:

Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatoka wakati mhusika fulani amepata amani, utulivu na usalama. Chozi kwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingine nekana ni chozi (la) afadhaliboranafuu. Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokeza wakatimanenohayomawili yame

chozi la heri 27) Suala la ufisadi limeshughulikiwa katika Chozi la heri kwa njia mbalijnbali. Fafanua njia hizo 28) Fafanua matumizi ya mbinu ya Sadfa katika chozi la heri 29) Hotuba ni kipengele cha kimundo. Eleza j

Chozi la Heri thibisha ukweli wa kauli hiyo 41) Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro jadili. 42) Uozo wa maadili na kuvunjwa kwa haki ni jambo ambalo lilikuwa la kawaida katika

HERI Faculty Survey HERI Sponsored by the Higher Education Research Institute Dear Faculty Member: Welcome to the HERI Faculty Survey. This project is sponsored by the Higher Education Research Institute at UCLA, a national organization that has conducted research on the college faculty experience since 1989.

2011 HERI Faculty Survey What is the HERI Faculty Survey? The Higher Education Research Institute (HERI) at UCLA administers a faculty survey to institutions nationwide once every three year. The national comparison group includes collective results from UCLA of all public 4-year colleges and universities participating in the survey.

wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili na vyuo vikuu. Kati ya taasisi alizowahi kufundisha ni Kenya High Sc hool na CUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali ya ukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi sasa ni afisa katika Wizara ya Elimu, kitengo kinachoshughulikia tathmini ya mitaala. Miongoni mwa kazi

Sehemu ya 3: Hutoa mwongozo au maelekezo ya ufundishaji kwa kila dha-na iliyotolewa ndani ya kitabu . Ingawa mwongozo huu wa mwalimu una majibu kwa kila kazi zote zilizotolewa katika kitabu cha mwanafunzi, unaombwa kupitia kila swali na kazi kabla ya ku-tathmini matokeo ya utafiti.

ARCHAEOLOGICAL ILLUSTRATION 8 IMAGE GALLERY - SCRAN images to draw IMAGE GALLERY - illustrations from the 19 th century to the present day IMAGE GALLERY - illustrations from 19th century to the present day STONE WORK Stones with incised crosses, St N inian’s Cave, Wigtownshire. Illustration from Proceedings of the Society of Antiquaries of Scotland (1884-85), Figs. 2 and 3, p84 .