Mwongozo Wako Wa Sensa Ya Mwaka 2020 (Swahili Language Guide)

1y ago
21 Views
2 Downloads
1.60 MB
8 Pages
Last View : Today
Last Download : 2m ago
Upload by : Baylee Stein
Transcription

Nambari ya OMB 0607-1006: Idhini Inaisha 11/30/2021Mwongozo wako wa Sensa ya mwaka 2020Jinsi ya Kujibu Karatasi ya Orodhaya Maswali ya Sensa ya mwaka 2020

Karibu kwenye Sensa ya mwaka 2020Kila mtu ni muhimu.Lengo la sensa hii ni kuhesabu kila mtu aliye haiMarekani mara moja, mara moja tu, akiwa mahalipanapofaa. Tunahitaji msaada wako ili kuhakikisha kilamtu katika jumuiya yako amehesabiwa.Habari za sensa ni muhimu.Katiba ya Marekani inahitaji sensa kila baada ya miaka10. Matokeo hutumiwa kuamua idadi ya viti kila jimboinayo katika Bunge, kuchora mipaka za wilaya zakupigia kura, na kuamua jinsi zaidi ya dola bilioni 675katika fedha za shirikisho hutumiwa katika jumuiya kilamwaka.Kushiriki ni wajibu wako wa kiraia.Kukamilisha sensa inahitajika; Ni njia ya kushiriki katikademokrasia yetu na kusema “Mimi ni muhimu!”Maelezo yako ni ya siri.Sheria ya shirikisho inalinda majibu yako. Majibu yakoyanaweza kutumika kuzalisha takwimu tu na haiwezikutumika dhidi yako na shirika lolote la serikali aumahakama.TMThis is the official questionnaire for this address.It is quick and easy to respond, and your answers are protected by law.U.S. DEPARTMENT OF COMMERCEEconomics and Statistics AdministrationU.S. CENSUS BUREAUFOROFFICIALUSE ONLYStart hereOR go online to complete your 2020 Census questionnaire.Use a blue or black pen.2.Were there any additional people staying here on April 1, 2020that you did not include in Question 1?3.Is this house, apartment, or mobile home — Mark ONE box.Before you answer Question 1, count the people living in thishouse, apartment, or mobile home using our guidelines.Mark all that apply.Children, related or unrelated, such as newborn babies,grandchildren, or foster children Coun t all people, including babies, who live and sleep heremost of the time. If no one liv es and sleeps at this address most of the time , goonline or call the number on page 8.Relatives, such as adult children, cousins, or in-lawsNonrelatives, such as roommates or live-in babysittersPeople staying here temporarilyThe census must also include people without a permanentplace to live, so: If someone who does no t have a permanent place to liv e isstaying here on April 1, 2020, count that person.No additional peopleOwned by you or someone in this household with a mortgageor loan? Include home equity loans.The Census Bureau also conducts counts in institutions andother places, so: Do no t count anyone living away from here, either at collegeor in the Armed Forces. Do no t count anyone in a nursing home, jail, prison, detentionfacility, etc., on April 1, 2020. Leave these people off your questionnaire, even if they willreturn to live here after they leave college, the nursing home ,the military, jail, etc. Otherwise, they may be counted twice.1.Occupied without payment of rent?What is your telephone number?We will only contact you if needed for official Census Bureaubusiness .Telephone NumberHow many people were living or staying in this house,apartment, or mobile home on April 1, 2020?Number o f people 2Owned by you or someone in this household free and clear(without a mortgage or loan)?Rented?4.––Tumia mwongozo huu kukamilishaorodha ya maswali ya Sensa yamwaka 2020.Orodha ya maswali ya Sensa ya mwaka 2020 itafikakatika masanduku ya posta au milangoni nchini kote.Shirika la Sensa ya Marekani

Kabla ya Kuanza1. Pata orodha ya maswali yako na uifungue kwenye ukurasa wa kwanza.2. Tumia habari katika mwongoza huu wa Kiswahili kuweka alama kwamajibu yako kwenye karatasi ya orodha ya maswali la Kiingereza.USIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUU.3. Kabla ya kujibu swali la kwanza, hesabu watu wanaoishi katika nyumbahii, nyumba ya ghorofa, au nyumba ya kukokotwa kwa kutumiamiongozo iliyopo hapa chini.Watu wa KuhesabiwaWahesabu watu wanaoishi katikanyumba hii, nyumba ya ghorofa aunyumba ya kukokotwa:Shirika la Sensa pia inafanyahesabu katika taasisi na maeneomengine: Wahesabu watu wote, ikiwa nipamoja na watoto wachanga,wanaoishi na kulala hapa wakatimwingi. Usihesabu mtu yeyote katikanyumba ya uuguzi, jela, gereza,kituo cha kufungwa, nk, tareheAprili 1, 2020. Ikiwa hakuna mtu anayeishi aukulala kwenye anwani hii maranyingi, jibu mtandaoni. Waache watu hawa nje yaorodha yako ya maswali, hatakama watarudi kuishi hapabaada ya kuondoka chuo,nyumba ya uuguzi, jeshi, jela,nk. Amasivyo, wanawezakuhesabiwa mara mbili.Sensa lazima pia ijumuishe watubila mahali pa kuishi ya kudumu: Ikiwa mtu asiye na mahali pakuishi ya kudumu atakuwaanaishi hapa tarehe Aprili 1,2020, mhesabu mtu huyo.Soma maswali na maagizo kwenye ukurasa unaofuata.Usiandike majibu yako kwenye mwongozo huu.Shirika la Sensa ya Marekani3

Jaza maswali kwenye ukurasa wa mbeleUSIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUUNi watu wangapi wanaoishi katika nyumba hii,nyumba ya ghorofa, au nyumba ya kukokotwamnamo Aprili 1, 2020?Idadi ya watuJe, kulikuwa na watu wa ziada wanaoishi hapamnamo Aprili 1, 2020 ambao haukujumuisha katikaSwali la kwanza?Weka alamakwa yote yanayofaa. Watoto, wanaohusiana au wasiohusiana, kama vilewatoto wachanga, wajukuu, au watoto wa kulea(foster) Jamaa, kama watoto wazima, binamu, au wakwe Wasio jamaa, kama vile jirani wa chumbani aumlezi wa kuishi Watu wanaoishi hapa kwa muda Hakuna watu wa ziadaJe, hii ni nyumba, nyumba ya ghorofa, au nyumba yakukokotwa —Weka alamakwa sanduku MOJA. Inayomilikiwa na wewe au mtu katika hii nyumbana rehani au mkopo? Jumuisha mikopo yamsawazo wa nyumba. Inayomilikiwa na wewe au mtu katika kaya hii bilakizuizi (bila rehani au mkopo)? Imepangwa? Kukaliwa ndani bila malipo ya kodi?Nambari zako za simu ni nini?Tutawasiliana na wewe ikiwa inahitajika kwasababu tuya biashara rasmi ya Shirika la Sensa.Nambari ya simu4Shirika la Sensa ya Marekani

Kamilisha maswali yaliyoko kwenye upande wakushoto wa ukurasa wa piliUSIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUUTafadhali toa habari kuhusu kila mtu anayeishi hapa.Ikiwa kuna mtu anayeishi hapa anayelipa kodi auanamiliki nyumba hii, anza kwa kumtaja kama Mtu waKwanza. Ikiwa mmiliki au mtu anayelipa kodi haishihapa, anza kwa kutaja mtu yeyote mzima anayeishihapa kama Mtu wa Kwanza.Jina la Mtu wa Kwanza ni nani?Jina la kwanza(first name)(Ma)Jina la mwisho(last name[s])Herufi ya katikati(middle initial)Jinsia ya Mtu wa Kwanza ni nini?Weka alama kwa sanduku MOJA. Wa kiume Wa kikeUmri wa Mtu wa Kwanza ni ngapi na tarehe yakuzaliwa kwa Mtu wa Kwanza ni ngapi?Kwa watoto wachanga chini ya umri wa miaka moja,usiandike umri wake kwa miezi. Andika sufuri kamaumri.Umri, kwamiaka, tareheAprili 1, 2020MweziSikuMwaka wakuzaliwaJe, Mtu wa Kwanza ni wa Mhispaniki, Mlatino, au wauasili wa Kihispania? Hapana, sio wa uasili ya Mhispaniki, Mlatino, au wauasili wa Kihispania Ndiyo, Mmeksiko, Mmarekani Mmeksiko, Mchikano Ndiyo, Mpueto Riko Ndiyo, MkubaShirika la Sensa ya Marekani Ndiyo, mwingine Mhispaniki, Mlatino, au wa uasiliwa Kihispania — Andika, kwa mfano, Msalvado,Mdominiki, Mkolombia, Mgwatamala, Mhispania,Mweikudoria, nk.5

Kamilisha swali iliyoko kwenye upande wakushoto wa ukurasa wa piliUSIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUUUtaifa wa Mtu wa Kwanza ni ipi?Weka alama kwa sanduku moja au zaidi NAuchapishe nakala za asili. Mweupe — Andika, kwa mfano, Mjerumani,Mwairishi, Mwiingereza, Mwitaliano, Mlebanoni,Mmisri, nk. Mweusi au Mwafrika Mmarekani — Andika, kwamfano, Mwafrika Mmarekani, Mjamaika, Mhaiti,Mnaijeria, Mwithiopia, Msomali, nk. Mmarekani Mhindi au mwenye uasili ya Alaska —Andika jina ya kabila ya kuandikishwa au kabilakuu, kwa mfano, Navajo Nation, Blackfeet Tribe,Mmaya, Mwaztec, Native Village of Barrow InupiatTraditional Government, Nome Eskimo Community,nk. Mchina Mvietnamu Mfilipino Mkorea Mwasia MjapaniMhindi MwingineMwasia —Andika,kwa mfano,Mpakistani,Mkambodia,Mhmong, nk. Mwenyeji waHawaii Msamoa Mchamoro Mwingine waVisiwa vyaPasifiki — Andika,kwa mfano,Mtonga, Mfiji,Mmarshall, nk. Nyingine utaifa — Andika utaifa au uasili.6Shirika la Sensa ya Marekani

Jaza maswali kwa kila mtu wa ziadaKila mtu wa ziada ataulizwa maswali haya mawili hapa chiniUSIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUUMtu huyu kawaida huishi au kukaa mahali pengine?Weka alamakwa yote yanayofaa. Hapana Ndiyo, kwa ajili ya chuo Ndiyo, na mzazi aujamaa mwingine Ndiyo, kwa ajili ya kaziya kijeshi Ndiyo, katika makazi yamsimu au ya pili Ndiyo, kwa ajili ya kaziau biashara Ndiyo, kwa jela augereza Ndiyo, kwa nyumba yauuguzi Ndiyo, kwa sababunyingineMtu huyu anahusianaje na Mtu wa Kwanza?Weka alamakwa sanduku MOJA. Mume/mke/mwanandoa wa jinsia tofauti Mpenzi asiye wa ndoa wa jinsia tofauti Mume/mke/mwanandoa wa jinsia sawa Mpenzi asiye wa ndoa wa jinsia sawa Mwana au binti wa kizazi Mwana au binti wa kupanga Mwana au binti wa kambo Kaka au dada Baba au mama Mjukuu Mzazi mkwe Mwana mkwe au binti mkwe Jamaa mwingine Jirani wa chumbani au mkaazi wa nyumba mwenza(roommate or housemate) Mtoto wa kulea (foster) Mwingine asiye jamaaShirika la Sensa ya Marekani7

Jaza ukurasa wa nane ikiwa umehesabuzaidi ya watu sitaUSIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUUJina la kwanza(first name)Wa kiumeWa kikeHerufi ya katikati(middle initial)Umri, kwamiaka, tareheAprili 1, 2020Mwezi(Ma)Jina la mwisho(last name[s])SikuMwakawakuzaliwaAnahusiana na Mtuwa Kwanza? Ndiyo HapanaTafadhali tuma orodha ya maswali ya Kiingereza iliyokamilika katika bahashailiyolipiwa gharama ya posta uliyopokea.Sensa ya mwaka wa2020 ni rahisi zaidikuliko hapo awali.Je, ulijua unaweza kujibumtandaoni?IIkiwa una uwezo wa kukamilisha Sensaya mwaka wa 2020 mtandaoni, nendakwenye URL iliyochapishwa kwenyeorodha ya maswali.Miongozo ya video vya kukamilisha Sensa yamwaka 2020 mtandaoni inapatikana2020census.gov/languagesD-G (swh) Swahili v28Shirika la Sensa ya Marekani

1. Pata orodha ya maswali yako na uifungue kwenye ukurasa wa kwanza. 2. Tumia habari katika mwongoza huu wa Kiswahili kuweka alama kwa majibu yako kwenye karatasi ya orodha ya maswali la Kiingereza. USIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUU. 3. Kabla ya kujibu swali la kwanza, hesabu watu wanaoishi katika nyumba

Related Documents:

The SENSA MRE DDM MR microwave presence detector provides automatic control of lighting loads with optional manual control. It can be used on incandescent, fluorescent and compact fluorescent lighting and DSI or DALI digital dimming ballasts over 1 or 2 channels. The SENSA MRE DDM MR detects movement using a highly sensitive microwave detector.

Sehemu ya 3: Hutoa mwongozo au maelekezo ya ufundishaji kwa kila dha-na iliyotolewa ndani ya kitabu . Ingawa mwongozo huu wa mwalimu una majibu kwa kila kazi zote zilizotolewa katika kitabu cha mwanafunzi, unaombwa kupitia kila swali na kazi kabla ya ku-tathmini matokeo ya utafiti.

Namba ya Mkataba: AID-621-C-15-00003 Mwongozo Wa Mkufunzi Wa Mfumo Wa Ujifunzaji Wa Kieletroniki (MUKI) Agosti, 2019. KANUSHO Chuo cha Serikali za Mitaa (Hombolo) ndicho kitawajibika na matokeo ya kazi hii. Mwongozo Wa Mkufunzi Wa Mfumo Wa Ujifunzaji Wa Kieletroniki (MUKI) ni maoni ya

Prémoulé Quartz offers SenSa Granite; An array of colors to match any decor or project. Every Sensa Granite slab has SenGuard technology applied in Cosentino’s modern fabrica-tion facilities. This SenGuard protection allows Cosentino to off

Prémoulé offers SenSa Granite; an array of colors to match any decor or project. Every Sensa Granite slab has SenGuard technology applied in Cosentino’s modern fabrication facilities. This SenGuard protection allows Cosentino to offer an industry leading 15-year warranty against staining. It ensures that

Prémoulé offers SenSa Granite; an array of colors to match any decor or project. Every Sensa Granite slab has SenGuard technology applied in Cosentino’s modern fabrication facilities. This SenGuard protection allows Cosentino to off

Somo la Kwanza Kuanzia maisha yako Mapya Napenda kuanza kwa kuzungumza na wewe, muumini mpya, kuhusu kubadilika yako. Mimi wangependa kusherehekea uamuzi wako, kuona kama una maswali yoyote ya msingi, na kujaza uelewa wako wa kile kilichotokea wakati akawa mwanafunzi wa Yesu Kristo-a mtoto wa Mungu. Kama wewe ni uhakika wa kitu

Fundamentals; Harmony; Jazz, Pop, and Contemporary Music Theory (including Twentieth-Century Music); and Form in Music. The format for each volume is consistent: 1. The left column lists terms to help you organize your study and find topics quickly. 2. Bold indicates key concepts. 3. Each volume ends with a Remember-Forever Review and More