Pandemic Electronic Benefit Transfer (P-EBT) Taarifa Za P-EBT

1y ago
13 Views
2 Downloads
1.54 MB
5 Pages
Last View : 17d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Ellie Forte
Transcription

fa za P-EBT Wanafunzi wanaohudhuria shule ya umma mtandaoni asilimia100 NA wanafunzi wanaohudhuria shule ya umma chiniya mbinu ya mseto (mchanganyiko wa mafunzo ya shulenina mtandaoni) wanastahiki kupokea P-EBT. Utoaji wa manufaa ya P-EBT utaendelea hadi mwisho wamwaka wa shule wa 2020-2021. Utoaji unaofuata utaanzatarehe 17 Machi.Je, ni nini kitakachofuata?Je, ni nani anayestahiki?P-EBT ni mpango wa serikali kuu unaotoa usaidizi wa lishekwa familia kutokana na ufungaji wa shule kwa ajili yaCOVID-19. Wanafunzi ambao wanastahiki milo ya bilamalipo au iliyopunguzwa bei kupitia National SchoolLunch Program wanastahiki P-EBT ikiwa wanasomea mbaliwakati wa janga.UwasilishajiManufaa yatawekwa kiotomatiki kwenye kadi yako ya sasa ya P-EBT auEBT. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kupokea manufaa, kadi ya P-EBTiliyowekwa manufaa mapema itatumwa kwa anwani ya sasa iliyo katikarekodi ya shule ya mwanafunzi au fedha zitaongezwa kwenye kadi yakoya SNAP EBT. Hakikisha kuwa anwani yako ni sahihi ndani ya rekodizako za kitengo cha shule ya karibu. Mpango wa ziada una maelezokama vile kiasi cha manufaa na tarehe za utoaji yanayopatikana kwenyePEBTva.com. Usipopokea manufaa ya P-EBT, lakini unaamini kunawanafunzi wanaostahiki katika familia yako, tafadhali piga simu kituo chausaidizi cha P-EBT kwa nambari 866-513-1414 au 804-294-1633 baadaya tarehe 15 Machi, 2021.Je, nitafanya vipi ili kadi itumike?Maelezo salama yanayoelezea jinsi ya kuweka PIN kwenye kadi yakoyatajumuishwa katika bahasha iliyotumwa pamoja na kadi yako. Piaunaweza kupiga simu 1-866-281-2448, tembelea www.connectEBT.comau kupakua programu ya ConnectEBT kwenye kifaa cha mkononi. Ikiwaumepoteza au kutupa kadi yako ya P-EBT uliyopewa awali, wasiliana naConnectEBT kwa nambari 1-866-281-2448.Fanya ununuzi mtandaoni au ana kwa anaKadi za P-EBT zinaweza kutumiwa kununua bidhaa stahiki za chakulapopote ambapo kadi za SNAP zinakubaliwa. Pia unaweza kununuamboga na matunda kupitia mifumo ya mtandaoni, ikiwemo Amazon,Walmart, Food Lion na Aldi.Ushiriki katika mpango wa P-EBT ni wa hiari na hauathiri ustahiki wako wa kupokea milo ya “grab and go” kutoka kwenyeshule yako. Vilevile, kanuni ya mgeni anayepata manufaa zaidi haitumiki kwa manufaa ya P-EBT.Kwa maelezo zaidi, tembeleaPEBTVA.comTembelea COVID.Virginia.gov/app ili upakue programu ya mkononi ya COVID-19 Virginia Resources kwa ajili ya ufikiaji wa mpangilio wahuduma muhimu na za kuchukuliwa hatua kutoka 2-1-1 Virginia, CommonHelp na mashirika mengine ya jimbo na ya serikali kuu.

Kitengo cha Mipango ya ManufaaMaswali Yanayoulizwa Sana kuhusu P-EBTIlisasishwa tarehe 8 Machi, 2021(Taarifa hizi zitasasishwa taarifa za ziada zinapopatikana.)Kiungo cha Ukurasa: IKI1. Je, madhumuni ya P-EBT ni gani?Madhumuni ya mpango wa Pandemic Electronic Benefit Transfer (P-EBT) ni kutoa kijalizo cha lishe kwawanafunzi wanaostahiki ambao wanasoma katika mitindo ya mbali au mseto kabisa kutokana naufungaji wa shule unaohusiana na COVID-19.2. Je, ni nani anayestahiki manufaa ya P-EBT?Lazima wanafunzi wanaostahiki wastahiki kwa milo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei, wahudhurie shuleinayoshiriki katika National School Lunch Program, National School Breakfast Program au wasajiliwekatika shule ya Community Eligibility Provision. Wanafunzi wanaostahiki watapokea manufaa ya P-EBTkupitia mwaka wa shule wa 2020-2021. Familia ambazo awali zilipokea P-EBT zitaongezwa manufaamapya kiotomatiki kwenye kadi yao ya Supplemental Nutrition Assistance Program (SNAP) EBT au PEBT. Ikiwa unastahiki kwa mara ya kwanza, kadi ya P-EBT itatumwa kwako au fedha zitaongezwakwenye kadi yako ya SNAP EBT.3. Je, nitajuaje ikiwa ninastahiki?Shule zinazoshiriki zitawasiliana moja kwa moja na familia zinazostahiki. Ikiwa huna uhakika kamamtoto wako anapokea milo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei, tafadhali wasiliana na shule ya mtotowako ili uthibitishe idhini. Familia zinazostahiki hazihitajiki kutuma ombi la manufaa ya P-EBT.Ikiwa unaamini kuna wanafunzi wanaostahiki katika familia yako na hujapokea manufaa ya P-EBT, tafadhaliwasiliana na kituo chetu cha usaidizi Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 12 jioni kwanambari 866-513-1414 au 804-294-1633 BAADA YA tarehe 15 Machi, 2021 au utumie Fomu yaMaswali ya P-EBT.4. Je, wanafunzi wanaosomea nyumbani wanastahiki P-EBT?Hapana. Mpango wa P-EBT umeundwa kwa ajili ya wanafunzi wanaopokea milo ya bila malipo auiliyopunguzwa bei kwenye shule inayoshiriki katika National School Lunch Program (NSLP).5. Je, wanafunzi wa Head Start wanastahiki manufaa ya P-EBT?Wanafunzi wa Head Start wanastahiki P-EBT IKIWA TU wanahudhuria mpango wa Head Start katika shuleinayoshiriki kwenye National School Lunch Program. Baadhi ya mipango ya Head Start hupokea milokupitia vyanzo vingine vya ufadhili na wanafunzi wanaohudhruia mipango hiyo hawastahiki. Wanafunziwa Head Start ambao hawadaiwi chini ya NSLP au School Breakfast Program hawastahiki P-EBT.

6. Je, ni nani anayepokea manufaa ya P-EBT kwa wanafunzi wanaostahiki?Manufaa ya P-EBT yatapewa mzazi au mlezi aliyebainishwa na kitengo cha shule kwa mwanafunzianayestahiki ambaye anapokea milo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei.7. Je, wanafunzi ambao si raia wanastahiki P-EBT?Wanafunzi ambao si raia wanastahiki manufaa ya P-EBT ikiwa wanastahiki kupokea milo ya shule yabila malipo au iliyopunguzwa bei kwenye shule inayoshiriki katika National School Lunch Program.MANUFAA YA P-EBT8. Je, manufaa ya P-EBT yatatolewa wakati gani?Manufaa ya P-EBT yatatolewa kwa familia stahiki kwenye ratiba ifuatayo:Kipindi cha ManufaaOktoba 2020 – Novemba 2020Desemba 2020 – Januari 2021Februari 2021Machi 2021Aprili 2021Mei 2021Juni 2021Tarehe ya UtoajiTarehe 17 Machi, 2021Tarehe Jumamosi, 20 Machi 2021Tarehe Alhamisi, 25 Machi 2021Tarehe Jumapili, 25 Aprili 2021Tarehe Jumanne, 25 Mei 2021Tarehe Ijumaa, 25 Juni 2021Tarehe Jumapili, 25 Julai 20219. Je, ninaweza kutumia wapi manufaa yangu ya P-EBT?Manufaa ya P-EBT yanaweza kutumiwa kwenye duka lolote linalokubali SNAP. Wauzaji wengi wanaalama inayoashiria kuwa wanakubali SNAP au EBT. P-EBT pia inaweza kutumiwa kununua chakulakupitia mifumo ya mtandaoni kama vile Amazon, Aldi, Food Lion na Walmart’s kama sehemu yampango wa Virginia’s online food purchasing pilot.10. Je, ni nini ninachoweza kununua kwa manufaa ya P-EBT?Unaweza kununua chakula chochote kinachostahiki SNAP kwa P-EBT? Vyakula vingi vinastahiki SNAP,isipokuwa vyakula vilivyoandaliwa na vyakula vinavyouzwa vikiwa moto. Orodha ya vyakula vinavyostahikiSNAP inapatikana kwenye tovuti ya United States Department of Agriculture’s.11. Je, ninahitaji kutumia manufaa yangu yote ya P-EBT mara moja?Hapana. Pesa zitasalia kutoka mwezi mmoja hadi mwingine. Baada ya mwaka mmoja, manufaa ya PEBT ambayo hayajatumika yataondolewa kwenye kadi.12. Je, ninapaswa kufanya nini ikiwa sitaki manufaa ya P-EBT?Familia ambazo hazitaki kutumia manufaa yazo ya P-EBT lazima ziharibu kadi ya P-EBT zinapoipokea.Haribu kadi kwa kukata katikati ya mstari wa sumaku na kuitupa kwa njia salama. Ukibadilisha nia yako,manufaa ya P-EBT yatakuwepo kwa ajili yako kwa siku 365. Unaweza kuwasiliana na ConnectEBT kwanambari 1-866-281-2448 ili ufikie manufaa yako ya P-EBT kwa hadi mwaka mmoja. Manufaa ya P-EBThayawezi kuhamishwa na hayapaswi kupewa mtu mwingine yeyote.13. Je, nitaomba vipi manufaa stahiki ambayo hayakupokelewa katika utoaji wa awali wa P-EBT?Ili kuuliza kuhusu manufaa ya P-EBT kwa utoaji wa awali (majira ya kuchipua na majira ya majanikupukutika), tafadhali wasiliana na kituo chetu cha usaidizi Jumatati hadi Ijumaa kuanzia saa 1 asubuhi

hadi saa 12 jioni kwa nambari 866-513-1414 au 804-294-1633 BAADA YA tarehe 15 Machi, 2021 auutumie Fomu ya Maswali ya P-EBT.14. Je, kiasi cha pesa cha manufaa ya P-EBT kiliamuliwa vipi?Utoaji wa P-EBTVigezoKiasi cha pesa kilichowekwa kwa siku ambacho wanafunziP-EBT 1 – Majira yawangekuwa wamepokea milo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei,Kuchipua 2020ikiwa si kwa ajili ya dharura ya afya ya umma.Kiasi cha pesa kilichowekwa kwa siku ambacho mwanafunziP-EBT 2 – Majira yaangekuwa amepokea milo ya bila malipo au iliyopunguzwa beiMajani Kupukutikamiezi ya Agosti na Septemba, ikiwa si kwa ajili ya dharura ya afya ya2020umma.Kiasi cha wastani cha jimbo cha siku za shule kwa kila aina ya mbinuP-EBT 3 – Oktoba 2020ya shule (mbali au mseto kikamilifu) kikizidishwa kwa kiasi chahadi Juni 2021manufaa cha kila siku cha 6.82.MAELEZO YA KADI YA P-EBT15. Je, nifanye nini ikiwa kadi yangu ya P-EBT imepotea?Unaweza kuomba kadi nyingine mpya kwa njia moja kati ya tatu.(1.) Wasiliana na Contact ConnectEBT kwa 1-866-281-2448 ili uripoti kadi yako imepotea na uombenyingine mpya.(2.) Ikiwa umejisajili kupitia ConnectEBT, unaweza kuagiza kadi yako ukitumia vitambulisho vyako vyakuingia kwenye akaunti.(3.) Ikiwa umepakua programu ya ConnectEBT kwenye kifaa chako cha mkononi, unaweza kuomba kadibaada ya kuingia kwenye akaunti. Kadi nyingine mpya inaweza kuchukua siku 7 hadi 10 za kazi kukufikia.16. Je, nitaweka vipi PIN kwenye kadi yangu?Kuna njia tatu za kuweka PIN kwenye kadi yako ya P-EBT na udhibiti akaunti yako ya manufaa. Maelezosalama yanayoelezea jinsi ya kuweka PIN kwenye kadi yako pia yamejumuishwa katika bahasha pamojana kadi yako.Machaguo matatu: Piga simu 1-866-281-2448 Tembelea connectebt.com/ na uingie Pakua programu ya ConnectEBT kwenye simu yako ya mkononiUnapodokezwa:1. Weka nambari ya kadi ya EBT ya tarakimu 12 iliyo mbele ya kadi2. Weka tarehe ya kuzaliwa ya mtoto wa umri wa juu anayepokea milo ya bila malipo auiliyopunguzwa bei. (Utahitaji kuweka tarehe ya kuzaliwa ya mtoto wa umri wa juu anayepokeamilo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei.)3. Weka 0000 ukiombwa tarakimu 4 za mwisho za Nambari yako ya Ruzuku ya Serikali (SSN).(Ikiwa SSN kamili itahitajika wakati wowote, itakuwa 000-00-0000)4. Weka nambari ya pin ya tarakimu nne (nambari nne utakazokumbuka)

MASWALI MENGINE17. Familia yangu inahitaji chakula sasa, tunaweza kufanya nini?Shule na maeneo mengi ya jamii yanasambaza milo kwa wanafunzi wa umri wa shuleni sasa. Ili kupatamaeneo katika sehemu yako, tuma ujumbe FOOD au COMIDA kwa 877-877 au tembelea tovuti yako yakitengo cha shule. Wanafunzi na familia zinazopokea P-EBT zinaweza kuendelea kushiriki katikamipango mingine ya usaidizi wa chakula, kama vile milo inayotolewa na shule. P-EBT haichukui nafasiya usaidizi mwingine. Ikiwa familia yako tayari haipokei manufaa ya SNAP (usaidizi wa chakula), unapaswakutuma ombi la usaidizi mara moja kwa kutembelea CommonHelp au kwa kupiga simu 1-855-6354370. Kwa maelezo kuhusu usaidizi mwingine wa chakula katika sehemu yako, pigia 2-1-1.18. Je, P-EBT inachukua nafasi ya mipango ya milo ya shuleni ya grab-and-go?Hapana, P-EBT haichukui nafasi ya mipango mingine ya usaidizi wa chakula shuleni. Wanafunzi nafamilia zinazopokea P-EBT zinaweza kuendelea kushiriki katika mipango mingine ya usaidizi wa chakulashuleni kama vile milo ya grab-and-go.19. Je, P-EBT inaniondoa chini ya mgeni anayepokea manufaa zaidi?Kanuni ya mgeni anayepokea manufaa mengi haitumiki kwa manufaa ya P-EBT. Hapana, haiondoi.Kutumia manufaa ya P-EBT hakukuathiri wewe wala hali ya uhamiaji ya mtoto wako. Kanuni ya mgenianayepokea manufaa mengi haitumiki kwa manufaa ya P-EBT. Manufaa haya ni ya familia zilizo nawanafunzi wanaostahiki kwa milo ya shule ya bila malipo na iliyopunguzwa bei kwenye shuleinayoshiriki kwenye National School Lunch Program (NSLP).20. Je, nini kitakachotendekea kadi yangu ya P-EBT ikiwa familia yangu imehama?VDSS itatumia anwani ya sasa ya barua kutoka kwenye rekodi ya shule ya mtoto wangu. Ikiwa anwanihiyo si sahihi, kadi ya P-EBT itarekodiwa kama isiyoweza kuwasilishwa katika mfumo wa VDSS. VDSSitafanya kazi na vitengo vya shule vya karibu na kujaribu kuwasiliana nawe kwa ajili ya maelezo yaanwani ya barua yaliyorekebishwa. Ikiwezekana, wasiliana na shule yako sasa ili kusasisha anwanikatika rekodi ya shule ya mtoto wako. Usipopokea kadi yako ya P-EBT na hawajawasiliana nawe, tafadhaliwasiliana na kituo chetu cha usaidizi Jumatati hadi Ijumaa kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 12 jioni kwanambari 866-513-1414 au 804-294-1633 BAADA YA tarehe 15 Machi, 2021 au utumie Fomu yaMaswali ya P-EBT.

utumie Fomu ya Maswali ya P-EBT. 14. Je, kiasi cha pesa cha manufaa ya P-EBT kiliamuliwa vipi? Utoaji wa P-EBT Vigezo P-EBT 1 - Majira ya Kuchipua 2020 Kiasi cha pesa kilichowekwa kwa siku ambacho wanafunzi wangekuwa wamepokea milo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei, ikiwa si kwa ajili ya dharura ya afya ya umma. P-EBT 2 - Majira ya

Related Documents:

ebay,4life transfer factor eczema,4life transfer factor effectiveness,4life transfer factor en el salvador,4life transfer factor en espanol,4life transfer factor en español,4life transfer factor energy go stix,4life transfer factor enummi,4life transfer factor 4life transfer factor equine,4li

The Pandemic-Electronic Benefits Transfer (P-EBT) helped millions of Texas children who temporarily lost access to free school meals during the 2020-2021 school year. The U.S. Department of Agriculture recently added a one-time summer P-EBT benefit. Eligible families may be able to receive an additional 375 to

Basic Heat and Mass Transfer complements Heat Transfer,whichispublished concurrently. Basic Heat and Mass Transfer was developed by omitting some of the more advanced heat transfer material fromHeat Transfer and adding a chapter on mass transfer. As a result, Basic Heat and Mass Transfer contains the following chapters and appendixes: 1.

Accounting during pandemic: Challenges and opportunities for accounting technicians Background The COVID-19 pandemic, also known as the coronavirus pandemic, is an ongoing pandemic of . global supply chains due to factory

Semi-Attended Transfer: transfer a call when the target phone is ringing. Attended Transfer: transfer a call having spoken to the recipient first. To perform a blind transfer Press the Tran soft key during a call. Enter the number you want to transfer the call to. Press the Tran soft key to complete the transfer.

3. Press the Transfer soft key when ready to complete the transfer or to cancel transfer. 2. Enter the number you want to transfer to, and then press the Send soft key or . 3. Press the Transfer soft key when you hear the ring-back tone. 3. Press the B Transfer soft key. 2. Enter the number you want to transfer to.

69. electronic woodpecker 55 70. fish caller 55 71. electronic raindrops 56 72. pencil lead organ 56 73. electronic motorcycle 57 74. machine gun pulse detector 57 75. electronic siren 58 76. chirping bird 58 77. electronic cat 59 78. electronic bird 59 79. "horror movie" sound effect 60 80. electronic organ 60 81. soundmachinei 61 82.

implementation of Electronic Benefit Transfer (EBT) for Supplemental Nutrition Assistance Program participants. The implementation of EBT eliminated this differential severity. The re-sults are not consistent with stigma reduction, security improvements, other welfare programs, or reduced salience of benefits as mechanisms.