Kcse Ushairi Maswali Na Majibu

1y ago
129 Views
7 Downloads
686.87 KB
34 Pages
Last View : 26d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Callan Shouse
Transcription

KCSE USHAIRIMASWALI NA MAJIBU(2007-2019)(MAJIBU KSH. 175 KWA 0707311302 au urejeleekaratasi za kcse za miaka hiyo)MASUALA MAKUU KATIKA USHAIRIARUDHI ZA USHAIRIMUUNDO WA MASHAIRIBAHARI ZA USHAIRIUHURU WA KISHAIRIMTINDO KATIKA MASHAIRIMAUDHUI KATIKA USHAIRI(REJELEA DIRA YA USHAIRI KSH. 250 KWA 0707311302)NA(MWALIMU ONYANGO)TOLEO LA KWANZA, 2020MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

KCSE 2007Soma shairi hill kisha ujibu maswcili yanayofuata:1. Tohara, usimwazie mwanamke.Tohara, usikarihie rnwiii wake,Tohara, usiifikie, ngozi yoke,Tohara ya mwanamke, katu siwazie!2Tohara, hiyo haramu, adha kwake.Tohara, ni kubwa sumu, si kufu yake,Tohara, ni za kudumu, dhara zake,Tohara ya mwanamke, katu siwazie!3Tohara, kile kijembe, usikishike,Tohara, yule kiumbe, si haki yake,Tohara, usimtimbe, kwayo makeke.Tohara va mwanamke, katu siwazie!4Tohara, ni tamaduni, usiyashike,Tohara, ni uzimani, ajumuike,Tohara, umaaluni, kwa mwanamke.Tohara ya mwanamke, katu siwazie.5Tohara, akijifungua, ataabike.Tohara, yaweza ua, hufa wanawake,Tohara, inausumbua, uhai wake,Tohara ya mwanamke- katu siwazie!6Tohara, na siku hizi, haya uyashike.Tohara, gonjwa umaizi, lije limshike,Tohara, ageuke uzi, huo mwili wake,Tohara ya mwanamke. katu siwazie!MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

7Tohara, nasisitiza, mwanamke,Tohara, inaibeza, hadhi yake,Tohara, hudumaza, fikira yake,Tohara ya mwanamke, zamu yake ipitile!maswali(f)(a)Eleza dhamira ya msanii katika shairi hiii.(alama .1)(b)Fafanua madhara manne ya tohara kwa mwanamke.(alama 4}(c)Taja na ueleze mbinu mbili za kifasihi ziiizotumiika katika shairi.(alama 4)(d)Kulingana na mshairi, mwanamke hupashwa tohara kwa nini?(alama 2)(e)Andika ubeti wa sita katika lugha nathari.(alama 4)Upashaji wa tohara kwa mwanamke ni mojawapo ya maswala ibuka katika jamii . yetu.Taja maswala ibuka mengine mawili yanayohusu mwanamke.(alama 2}KCSE 2008Soma shairi hili fusha ujibu maswali yanayofuata.WASAKATONGE1.Wasakatonge na juakaliWabeba zege ya maroshani,Ni msukuma mikokoteni,Pia makuli bandarini,Ni wachimbaji wa migodini,Lakini maisha yao chini2.Juakali na wasakatongeWao ni manamba mashambani,Ni wachapa kazi viwandani,Mayaya na madobi wa nyumbani,Ni matopasi wa majaani,MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Lakini bado ni masikini.3.Wasakatonge na juakaliWao huweka serikalini,Wanasiasa madarakani,Dola ikawa mikononi,Wachaguliwa na ikuluni,Lakini wachaguaji duni4.Juakali na wasakatongeWao ni wengi ulimwenguni,Tabaka lisilo ahueni.Siku zote wako matesoni,Ziada ya pato hawaoni,Lakini watakomboka lini?(Mohammed Seif Khatib)(a)"Shairi hili ni la kukatisha tamaa". Fafanua rai hii kwa kutoa mifano minne.(alama 4)(f)(b)Taja tamathali ya usemi iliyotawala katika shairi zima na uonyeshe mifanomiwili ya jinsi iiivyotumika.(c)Eleza umbo la shairi hili.(d)Andika ubeti wa tatu katika lugha ya nathari.(e)Onyesha mifano miwili ya maadiii yanayojitokeza katika shairi hili.(alama 3)(alama 5)(alama 4)(alama 2)Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumiwa katika shairi.(i)Manamba(ii)Tabaka lisilo ahueniMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302alama 2

KCSE 2009KIBARUWA: Abdilatif AbdallaKwenye shamba hilo kubwa asilani hakunyi mvuwa!Ni kwa mitilizi ya jasho langu ndiyo hunyeshezewaKwenye shamba hilo kubwa sasa imeshaiva kahawaNa bunize ni matone ya damu yangu niliyotowaNdipo mte ukatipuza!Buni hiyo itakaangwa buni hiyo itapondwapondwaBuni hiyo itasangwa na buni hiyo itafyondwafyondwaBali itabaki nyeusi kama ngozi KibaruwaWaulize ndege kwa nyimbo nyanana watutumbuizaoIulize na mito kwa furaha maji itiririkaoUulize na upepo mkali kwa ghadhabu uvumaoViulize: Ni nani aurukaye na mapema kuzitema mbuga na kuzilalaza?Viulize: Ni nani akweyaye minazi tangu kuchapo hadi lingiapo giza?Viulize: Ni nani abebeshwaye mizigo hadi maungo yakageuzwa shaza?Halafuye hana faida moja apatayo wala malipo yanayotoshelezaIsipokuwa kusundukwa na kutupiwa matambara na vyakula vilivyooza?Viulize: Ni nani huyo ni nani?Viulize: ni nani ayalimaye mashamba na kuyapaliliya?Na mimea kochokocho ikajaa kwa uzito ikajinamiya?Hatimaye nani atajirikaye mali yakammiminikiyaAkaota na kitambi kama mja mzito wa miezi tisiyaNa akaongeza magari ya wanawake kutoka na kuingiya?Viulize: Ni nani huyo ni nani!Na hao ndege nyimbo nyanana watutumbuizaoNayo hiyo mito kwa furaha maji itirikaoNa huo upepo mkali wenye ghadhabu uvumaoVyote hivyo vitatu vitakujibu kwa umoja wao:“ni kibaruwa manamba ndiye mtendaji!”a. Eleza dhamira ya shairi hili. alama 2b. Kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za idhini ya kishairi alizozitumia mashairi. Alama 4c. Kwa kurejelea ubeti wa tatu taja na ueleze tamathali ya usemi na mbinu ya kimuundoiliyotumika. Alama 4d. Huku ukitoa mifano, eleza kwa kifupi mwelekeo wa mashairi kuhusu vibarua. Alama 4e. Andika ubeti wa tano katika lugha ya nathari. alama 4f. Onyesha utata wa maana katika matumizi ya Kibaruwa Manamba. alama 2MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Soma shairi hili kisha ujibu maswali yayofuata:Kila Mchimba Kisima; Musa Mzenga1.Tenda utendapo tendo, tenda tendo kwa hekima,Lindamane mwenendo, sawa na yakio kalmia,Kalmia yenye upendo, kufurahisha mtima,Kila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe.2.Utendapo la faraja, tendo ni yako salama,Ya kukupa kila tija, na ushindi wa daima,Upate njema daraja, duniani na kiyama,Kila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe.3.Utendapo la miuja, tendo ni yako nakamaYa kukutia harija, hasara kukuandama,Usione afuwaja, mwanza ajue heshima,Kila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe4.Nakwambia uelewe, pulika ninayosema,Si ari ya mwenginewe, kumuonya kwa lazima,Mtu hufunza mwanawe, Kwanza ajue heshima,Kila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe.5.Nisipokwambia wewe, kukufunza kila jema,Kusudi nikuongowe, uepukwe na tujuma,Matusi ndimi nipawe, ila na kila lawama,Kila mchimba kisima, bundi hungia mwenyewe6.Hii si heri ujuwe, matusi kuigandama,Hadhi usiniuzuwe, hamithilishwa na nyama,MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Fikiri moyo utuwe, nikupapo taalumaKila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe.7.shika tena utambuwe, wasia huu ni mwemaMatendo usipunguwe, mazuri kutenda hima,Yatende ubarikiwe, upawe na taadhimaKila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe.8.Yakupasa uchunguwe, kila jambo kulipimaUpime ufafanuwe, mambo yote kwa alamaLa kuwaka ulijuwe, pia lipi la kuzima,Kila mchimba kisima hungia mwenyewe.a)Eleza maudhui ya shairi hili.(alama 4)b)Ujumbe unaowasilishwa katika shairi hili una hadhira lengwa tatu. Zitajena utoe mifano.(alama 6)c)Eleza umuhimu wa kipokeo kinachotumiwa katika shairi hili(alama 4)d)Andika ubeti wa tano kwa lugha ya nathari.e)Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumiwa katika shairi:i)afuwajaii)taaluma(alama 4)(alama 2)MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

KCSE 2010Soma shairi hili kisha ujibu maswali yanayofuata.Dhamiri yanguDhamiri imenifunga shingoni.Nami kama mbuzi nimefungwaKwenye mti wa utu. Kamba ni fupiNa nimekwishachora duara.Majani niwezayo kufikia yote nimekula.Ninaona majani mengi mbele yanguLakini siwezi kuyafikia: kamba, kamba.Oh! Nimefungwa kama mbwa.Nami kwa mbaya bahati, katikaUhuru kupigania, sahani ya mbinguNimeipiga teke na niigusapo kwa mdomoMbali zaidi inakwenda na siwezi tenaKuifikia na hapa nilipofungwaNimekwishapachafua na kuhama siwezi.Kamba isiyoonekana haikatiki.Nami sasa sitaki ikatike, maana,Mbuzi wa kamba alipofunguliwa, mashambaAliharibu na mbwa aliuma watu.Ninamshukuru aliyenifunga hapa**Lakini lazima nitamke kwa nguvu"Hapa nilipo sina uhuru!"(E. Kezilahabi)(a)Taja mambo manne ambayo mshairi analalamikia.(alama 4)(b)Kwa nini mshairi haoni haja ya yeye kuwa huru?(alama 2)(c)Eleza rnaana ya mshororo ufuatao kama ulivyotumiwa katika shairi.MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

"Kamba isiyoonekana haikatiki."(d)(e)shairi hili.(f)(alama 2)Taja na utoe mifano ya aina mbili za tamathali zilizotumika katika shairi hili.(alama 4)Kwa kutoa mifano miwili, eleza jinsi matumizi ya mishata yanavyojitokeza katika(alama 4)Andika ubeti wa pili kwa lugha nathari.(alama 4)KCSE 2011KUJITEGEMEA1 Nchi ni ile ambayo, imekita ardhini3Siyo ile iombayo, ghaibu na majiraniTwaishije tujihoji, wanachi humu nchiniKila tunachohitaji, kupatakwe ugeniniTaratibu siyo hiyo, wanachi twambizaneniHiyo ni tete haviji, tongo tupangusaneniDaima hukaa chini, maganja ya mpewajiDaima hukaa chini, maganja ya mpewaji2 Chumo lote na mitaji, leo lirao maganjani4Kuomba wataalamu, ni mwendo hauh'nganiBepari na wanyonyaji, wasalie maguguniTupate wa humu humu, wajuzi wa kila faniShime utekelezaji, vingine havifananiMbele washike hatamu, kwa mapimo na makiniDaima hukaa chini, maganja ya mpewajiDaima hukaa chini, maganja ya mpewaji5 Tuufuate wongozi, pamwe na nyingi imani6Vote hatuyatimizi, alotimiza ni naniTushiriki kila kazi, na mambo yalomkiniLakini tuwe maizi, tusizurure mijiniMikopo ina kinyezi, si kitu cha tumainiTakamshabihi kozi, kipanga au kunguniDaima hukaa chini, maganja ya mpewajiDaima hukaa chini, maganja ya mpewaji7 Shujaa itakiwavyo, aonekane vitaniNasisi vita tunavyo, roho kwa roho ugani'Kutegeniea' vilivyo, kondo tujiamueniDaima hukaa chini, maganja ya mpewajiBoukhet Amana: Malenga wa MrimaMwinyihatibu Mohammed OxfordUniversity Press, 1977(a) Mtunzi wa shairi hili ana dhamira gani?(b) Shairi hili ni la aina gani? Tea sababu moja.MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302(alama 2)(alama 2)

(c) Eleza mambo matatu ambayo mshairi anashauri nchf ifanye ili kujitegemea. (alama 3)(d) Taja aina moja ya idhini ya kishairi iliyojitokeza kwa wingi zaidi katika shairi na utoe mifanomitano ya matumizi yake.(alama 7)(e) Andika ubeti wa pili kwa lugha ya nathari.(alama 4)(f) Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumiwa katika shairi:(i)Ghaibu(ii)Tukamshabihi.(alama 2)KCSE 2012Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Said A. MohamedMbele Ya Safari1. Ilipoanza safari, ilianza kwa dhikiTulishikana kwa ari, kwenda safari ya haki Tukawani majabari, nyoyo zisitaharuki Tukajizatiti2. Njaa ikawa thabiti, na kiu kutamalaki Nasi tulitiadhati, tusijali kuhiliki Ingawa mbele mauti,dhila na mingi mikiki Tulijizatiti3. Huu mwisho wa safari,tukaambiwa ni haki Shangwe kwetu na fahari,utumwa hatuutaki Kuwa mbele ya safari,Na kutabakari5. Msafara ukasita, kwenye mlima wa haki Kijashokinatuita, mlima haupandiki Basi sote kajipeta,kukikwea kima hiki Twataka hazina6. Tukiwa migongo wazi, tukainama kwa shakiTukawa' chia ukwezi, kialeni wadiriki Wakapandabila kazi, kuteremsha miliki Wakaitapia7. Wakafikia makazi, ya pumbao na ashiki Hukowakajibarizi, kwenye raha lakilaki Wakaisahaungazi, ya umma ulomiliki Mbele ya safarijuhudi iliyobaki Tulijizatiti4. Ile ilikuwa ndoto, mwisho wake mafatakiNguvu zimechomwa moto, sahala 'mekuwa dhiki8. Na hazina yetu sote, kuishusha hawatakiWamo wanatema mate, kwa umati halaikiWagombania kipato, utashi haukatikiImezima nia yote, kiza hakitakasiki,Mbele ya safari(a)(b)Eleza safari inayorejelewa katika shairi hili.Onyesha kinaya cha safari inayozungumziwa,(alama 2)(alama 6)( c)Taja na ueleze bahari mbili za shairi hili ukizingatia:(alama 4)(d)(i)mizani(ii)vina.Andika ubeti wa saba kwa lugha ya nathari.(alama 4)MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

(e)Eleza umuhimu wa aina mbiti za uhuru wa kishairi zilizotumiwa katika ubeti wa sita.(alama 4)Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.1. Wakati tuny wapo chai hapa upenuni Nakuwatazama watoto wetu Wakicheza bembeakwa furaha Tujue kamba ya bembea yetuimeshalika Na bado kidogo tutaporomoka6.Lakini kabla hatujaondoka kimyakimyaKukamilisha nusu duara iliyobakiTuhakikishe vikombe vyetu ni safi.2. Kulikuwana wakati ulinisukuma juu Nikaendazaidi ya nusu duara Kulikuwa na wakatinilikudaka Ulipokaribia kuanguka Na kulikuwana wakati tulibebana kwa zamu Mmoja wimaakisukuma mwingine amekaa3.Wakati huo, japo tulipaambele nanyumaTulicheka kwa matumaini yaliyotiwa chumviNa kisha tukaongozana jikoni kupika chajioIlikuwa adhuhuri yetu4. Sasa tukisubiri ndoto tusizowezakuzitekeleza lena Tumalizie machicha yachai yetu ya jioniBila ya kutematema na kwa tabasamuNa baSi ya hapo tujilam-be utamuutamuUliobakia kwenye midomo yetu5.Tukikumbuka siku ilee ya kwanzalipokutana jioni chini ya mwembeTukitafuta tawi zuri gumu La kufungabembea yetu Naye mbwa Simba akisubiriMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

(E. Kezilahabi)(a)Fafanua maana ya kijuujuu na maana ya kitamathali ya shairi hili.(alama 6)(b)Bainisha matumizi ya vipengele vifuatavyo katika shairi:(alama 6)(i)Usimulizi;(ii)Usambamba;(iii)Taswira.(c ) Tambulisha mzungumazaji (nafsi neni) katika shairi hili.(alama 2)(d )Fafanua toni ya shairi hili.(alama 4)(e)Eleza maana ya mshororo: "Tuhakikishe vikombe vyetu ni safi.(alama 2)KCSE 2013Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Siaongi aushi yangu, hii leo, kwa ukungu wa ujana,Nikaiga rika langu, kwa vileo na mbio za wasichana,Kiwa ni riziki yangu, mapokeo, kuoa na kuona,Ni wakati utanena.Nashukuru kwa ugumba, wenye ndimi, wanipagazao nao,Wapitao wakiimba, eti mimi, ningapenda hali zao,Haupandiki mgomba, wana nyemi, risadi wa hadhi zao,Eti ni kwa raha zao.Ni lipi lenye kukera, kwa Muumbi, marufuku kwenye misa,Ni mtu kuwa hawara, wa vitimbi, ama alozawa tasa?Ugumba na ukapera, sio dhambi, wala haujawa kosa,Waama sina makosa.Bora tungeni vitabu, magazeti, mutangaze kwa rediyo,MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Muwaite watribu, kina Siti, watuzwa ilimu hiyo,Na zaidi muhutubu, kwa umati, muwambe ambayo siyo,Kwalo sichafuki moyo.Hidhuru yote ni bure, sio kitu, kudhiki asodhikika,Siwi nikaona ghere, lailatu, nyota njema itafika,Kwa shangwe na njerejere kila mtu, mdomo utafumuka,Akiri amejibika.(Mwalaa M. Nyanje)(a) Eleza jambo ambalo mzungumzaji (nafsineni) katika shairi hili anasingiziwa.(alama 2)(b) Fafanua mambo matano ambayo mzungumzaji (nafsineni) anapinga katika shairi hili.(alama 5)(c) Eleza umuhimu wa viishio vya beti za shairi hili.(alama 2)(d) Andika ubeti wa tatu kwa lugha ya nathari.(alama 4)(e) Eleza muundo wa shairi hili.(alama 5)(f) Bainisha matumizi mawili ya tasfida katika shairi hili.(alama 2)Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.1. Huno wakati mufti, vijana nawausia,Msije juta laiti, mkamba sikuwambia,Si hayati si mamati, vijana hino dunia,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.2. Japo aula kushufu, na machoni vyavutia,Dunia wana dhaifu, yaugua nisikia,Vijana nawasarifu, falau mkisikia,Ukiona vyang'aria, tahadhari vitakula.3. Jepusheni na zinaa, mlale penye sheria,Msije andama baa, makaa kujipalia,Jepusheni na zinaa, madhara kukadiria,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.4. Ngawa waone wazuri. nadhifu kukuvalia,Wajimwaie uturi, na mapoda kumichia.Si mlango nyumba nzuri. ngia ndani shuhudia,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

5. Wawapi leo madume, anasa walopapia?Wamepita ja umeme, leo yao sitoria,Shime enyi wana shime, bora kumcha Jalia, Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.6. Nambie faida gani, nambie ipi fidia?Upatayo hatimani, waja wakikufukia,Ila kufa kama nyani, kasoro yako mkia,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.7. Kikiki ikaze kamba, u kijana vumilia,Ujifanye kama kwamba, u jiwe huna hisia,Wakwambe watalokwamba, kwa lolote vumilia,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.8. Vyatiririka tiriri, vina vyanikubalia,Alo bora mshairi, pa tamu humalizia,Nahitimisha shairi, dua ninawapigia,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.9. Ewe Mola mtukuka, si shaka wanisikia,Wakingie wanarika, na anasa za dunia,Amina wangu Rabuka, dua yangu naishia,Uonapo vyang'aria, tahadhari vitakula.(Mwalaa M. Nyanje)(a) Eleza ujumbe wa shairi hili.(alama 4)(b) Fafanua kwa kutoa mifano, mbinu nne alizotumia mshairi kutosheleza mahitaji ya kiarudhikatika shairi hili.(alama 8)(c) Nafsineni (mzungumzaji) katika shairi hili inasema na pande mbili. Zieleze pande hizo.(alama 2)(d) Eleza umuhimu wa maswali ya balagha katika shairi hili.(alama 3)(e) Bainisha toni ya shairi hili.(alama 3)MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

KCSE 2014Jibu swali la 6 au la 7.6. Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Amiri A.S. Andanenga: Sciutiya Kiza1 Ngakua na mato, ya kuoneaNgalisana kito, cha kuchezeaKilicho kizito, cha kueleaKikamuenea, akivae.2 Makusudi yangu, ngaliandaaNgafmyanga chungu, cha mduwaaNgatia vitangu, vinavong'aaIli ziwe taa, kwa apikae.3 Mkungu wa tano, wa mduwaraUlo bora mno, kisha imaraUlo na maono, kuwa ni diraKwenye barabara, itindiae.4 Ngaomba baraka, kwake RabanaPunje za nafaka, kila ainaChunguni kuweka, kwa kulinganaHajaangu suna, yule alae.5 Ngafanya bidii, kwenda mwituniSio kutalii kukata kuniYa miti mitii, huko jikoniIsio na kani, ni iwakae.6 Kwa yangu mabega, nikathubutuNgabeba maiiga, yalo matatuBila hata woga, kwenye misituSimba tembo chatu, sinitishie.7 Miti yenye pindi, na jema umboNgajenga ulindi, mwema wimbomboFundi aso fundi, penye kiwamboMoyo wenye tarabo, apekechae.8 Singaajiri, ngachimba mi miKisima kizuri, cha chemchemiMaji ya fahari, ya uzizimiJua ]a ukami, siyaishae.9 Tamati nafunga, kwa kuishiaMato ndo malenga, kanikirnbiaNahofu kutunga, rnabeti miaAsije chukia, ayasomae.(a) Eleza ujumbe wa shairi hili.(alama 2)(b) Kwa kurejelea ubeti wa pili, eleza umuhimu wa aina mbili za uhum wa Idshairialioutumia mshairi. .(alama 4)(c) Andika ubeti wa saba kwa lugha ya natbari.(alama 4)(d) Eleza toni ya shairi hili.(alama 2)(e) Fafanua aina tatu za urudiaji zilizotumiwa katika shairi hili.(alama 6)(f) Bainisha nafsineni katika shairi hili.(alama 2)MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.T.Arege: Watafuta Riziki1. Watafuta riziki, watokwa jasho vijijiniWakulima shakiki, wakuza chai na mibuniVyakula wahakiki, visipungue vinyuani.2. Walamta riziki, wahangaikao mijiniKutwa Idle na hiki, kaina watanga na mipini Japohawasikiki, hawakosi kujiamini.3. Watafuta riziki, wazalendo wa nchi hiiKamwe hawajidhiki, tamaa za moyo kutiiBali huafiki, kupingana na ulaghai.4. Watafuta riziki, pato ambalo la halaliNdoto haizimiki, ya kesho kuwa njema haliWiki baada wiki, la harainu jasho hawali.(a) Fafanua sifa tano za watu wanaozungumziwa katika shairi hili.(alama 5)(b) Bainisha umuhimu wa tamathali tatu za usemi zilizotumiwa kalil shairi hili(alama 6)(c) Eleza kwa kutoa niifano, mbinu tatu ambazo mshairi ametumia kutosheleza mahitaji yakiarudhi.(alama 6)(d) Ainisha shairi hili kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:(i)idadi ya mishororo katika beti(ii)mpangilio wa vina(iii) mpangilio wa maneno(alama 3)MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

KCSE 2015Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Daima alfajiri na mapemaHunipitia na jembe na kotamaKatika njia iendayo kondeniKama walivyofanya babuze zamani;Nimuonapo huwa anatabasamuKama mtu aliye na kubwa hamuKushika mpini na kutokwa jashoIli kujikimu kupata malishoAnapotembea anasikilizaVidege vya anga vinavyotumbuizaUtadhani huwa vimemngojeaKwa usiku kucha kuja kumwimbia;Pia pepo baridi kumpepeaRihi ya maua zikimleteaNao umande kumbusu miguu;Na miti yote hujipinda migongoKumpapasa, kumtoa matongo;Na yeye kuendelea kwa furahaKuliko yeyote ninayomjuaAkichekelea hah ha ha ha ha MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Na mimi kubaki kujiulizaKuna siri gani iliyomliwaza?Au ni kujua au kutojua?Furaha ya mtu ni furaha ganiKatika dunia inayomhini?Ukali wa jua wamnyima zaoSoko la dunia lamkaba koo;Dini za kudhani zamsonga rohoAyalimia matumbo ya waroho;Kuna jambo gani linamridhisha?Kama si kujua ni kutojuaLaity angalijua, laity angalijua!(T. Arege)a. Eleza hali ya mzungumziwa katika shairi hili. alama 4b. Huku ukitoa mifano, onyesha aina mbili za uhuru wa kishairi uliotumiwa katikashairi hili. alama 2c. Fafanua aina tatu za taswara ukirejelea ubeti wa pili. Alama 3d. Eleza umuhimu wa maswali ya balagha katika shairi hili. alama 3e. Bainisha vipengele vifuatavyo vya kimtindo katika shairi hili. alama 3i. tashhisiii. kinayaiii. tashbihif Eleza toni ya shairi hili. alama 2g. Bainisha nafsi neno katika shairi hili. alama 1h. Changanua muundo wa shairi hili. alama 3MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.T. Arege: MwiliLeo kitaka nifike, natamani, ila wauma mwiliKwa kazi nihusike, samahani, unahiliki mwiliNapenda nihesabike, makundini, ila huwezi mwiliVitisho pamwe kelele, ninavicha, kwa nafsi na mwiliIla ugonjwa utimile, umechacha, na kuudhili mwili,Msikose simile, magalacha, si gurudumu mwili.Vingekuwepo viraka, kuutia, ngeshuruti mwiliKifundi kivipachika, kuingia, hata kuridhi mwiliUpya ukaungulika, kuvutia, roho na wake mwili.Lakini kamwe haiwi, kuvipata, vipande vyake vya mwiliSihofu kupata mawi, sijajuta, kupigania mwili,Hata kufutwa sikawi, nitakita, kidete nao mwili.Kazi tunaithamani, ni hakika, akilini na mwiliIla kamwe siamini, kusagika, damu, jasho na mwiliUwelw hususani, kionekana, nguvu hitishi mwili.MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

a.b.c.d.e.f.Eleza dhamira ya mtunzi wa shairi hili. alama 4Fafanua mbinu nne za lugha zilizotumiwa katika shairi hili. alama 8Eleza toni ya shairi hili. alama 2Ni nani anayezungumziwa na nafsineni katika shairi hili? alama 1Eleza bahari ya shairi hili kwa kurejelea vipande. Alama 2Andika ubeti wa mwisho katika lugha ya nathari. alama 3KCSE 2016Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Kilio cha LughaNi wimbo najiimbia, nijiliwazeSina wa kusaidia, nasongwa sina nafasiKiwa kwetu naumia, kwengine si mahususiLugha ya mtu mweusi, Kiswahili chaliliaWataalamu ni nani, mulipo mwaninyanyasaHamna nami imani, wala kupanga siasa,Mwasema sayansini, siku ningalitosa,Mwanambia nikotosa, kuiva sijafika.Ela muelewe sana, Maamuma na Imamu,Mulipokuwa vijana, kwenu nilikuwa timamu,Sasa mumesoma sana, mwaniona ni haramu,Mujue kuwa dawamu, utumwa mwauridhia.Mzaliwapo mwalia, 'maa', maneno ya kwanza,Lugha munayokulia, ya mama zetu ya kwanza,Wa lugha muwedoria, muweze na kuikuza,Sio kujipendekeza, uzungu kuigiza.Majira ya ukoloni, ukombozi kusambaza,Lugha mulithamini, Kiswahili kufukiza,Hata kule risavuni, kizungu hanikuwaza,Sasa mbona mwanibeza, mbali mwanitupilia?Sayansi sio asili, msamiatiwe sinao,Sayansi yataka mbali, msamiati ni wa haoNitakuwa Kiswahili, kiomba majina yaoLugha kujikuza kwao, huomba linalofaa.MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Enyi viongozi wetu ipangeni nadharia,Kujenga siasa yetu, tuzidi kuwa huriaLugha hata 'mbusha watu, tuche kuriaria,Sifa ni kwa chake mtu, cha mwenzi hutoringia.Utajiri wangu hasa, nikiwatajia wote,Msamiati huwa, ni wa Afrika yote,Na methali za kuasa, nahau na ngeli zote,Na nisemwapo popote, ujumbe hukamilika.Afrika ndipo petu, pa wabantu halisi,Baba na mama ni Bantu, shina la wangu ukwasi,Warabu na wengi wetu, sio wangu AdinasiKwao 'meomba kiasi, ili kujizidisha.Mfumo mpya hongera, wa elimu humu Kenya,Lugha takuwa imara, ukabila tutafinya,Kiswahili ni ibara, kila mtu kiimanya,Methali imetuonya, mtumwa si mwasiliaTamati lugha yalia, yabaguliwa bayana,Kukua imeridhia, msamiati kufana,Wengine wataijulia, kwa marefu na mapana,Lugha yenu ya maana, mwaipuuza yalia.(a) Shairi hili ni la aina gani? Toa sababu.(alama 2)(b) Kwa kutoa hoja nne, eleza kwa nini shairi hili likaitwa kilio cha lugha.(alama 4)(c) Andika ubeti wa tatu kwa lugha ya nathari.(alama 4)(d) Eleza toni ya shairi hili.(alama 2)(e) Tambua uhuru wa kishairi uliotumiwa kwa kurejelea mifano milatu.(alama 3)(f) Bainisha nafsineni katika shairi.(alama 2)(g) Eleza maana ya maneno yafuatayo kwa mujibu wa shairi.(alama 3)i. nasongwaii. kuriariaiii. adinasiMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.T. Arege:BarabaraBarabara bado ni ndefuNami tayari nimechoka tikiNatamani kuketiNinyooshe misuliNituliza akili.LakiniAzma yanisukumaMbele ikinihimiza kuendeleaBaada ya miinuko na kuruhaSasa naona unyoofu wakeUnyoofu ambao unatisha zaidi.Punde natumbukia katika shimoNahitaji siha zaidi ili kupanda tenaGhafla nakumbuka ilivyosemalie sauti zamani kidogo"Kuwa tayari kupanda na kushukaIngawa nimechokaJambo moja li dhahiriLazima nifuate barabaraIngawa machweo yaingiaNizame na kuibukaNipande na kushuka.Jambo moja nakukumbukia:Mungu Je, nimwombe tena?Hadi lini? Labda amechoshwa na ombaomba zanguNashangaa tena!Kitu kimoja nakiaminiMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Lazima niendelee kijitahidi kwa kila hatua mpyaNijikokote kuiandama hii barabara yenye ukunguNikinaswa na kujinasuaYumkini nitafika mwisho wakeIngawa wangu mwisho haitauwahi kabla.(a) Eleza toni ya shairi hili.(alama 2)(b) Mshairi ana maana gani anaposema "Kuwa tayari kupanda na kushuka"katika ubeti wa tatu?(alama 2)(c) Fafanua tamathali tano za usemi zilizotumiwa katika shairi hiliukizitolea mifano mwafaka.(alama 10)(d) Eleza ujumbe unaojitokeza katika ubeti wa tano wa shairi hili.(alama 2)(e) Eleza maana ya:(alama 2)(ii) barabara yenye ukunguKCSE 2017Soma shairi hili kisha ujibu maswali.Mwanangu, wenye dhambi vishawishi, vikejeliMwanangu, katika wasikushawishi, binkuliMwalimu, aushi nayo uishi, kama mwaliMwanangu sikubali!Mwanangu, sherati sikuperembe, kakubaliMwanangu, usiwache wakubembe, kwa sali,Mwanangu, mithili yao ya mapembe, ya fahaliMwanangu, sikubali!Mwanangu, wajeuri siwe nao, ni shubiliMwanangu, usifuate njia zao, pita mbaliMwanangu, ujeuri sera yao, mazohali,Mwanangu, sikubali!MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Mwanangu, waongo usiwasifu, kulihaliMwanangu, uongo ubatilifu, si amaliMwanangu, ndimi zao hazikifu, si manziliMwanangu sikubali!Mwanangu, wafisadi siwe nao, kemikaliMwanangu, tamaa ndo utu wao, si injiliMwanangu, wahepe kila uchao, kiakiliMwanangu sikubali!Mwanangu, wote walio wabaya, wanadhiliMwanangu, usije ukawapeya, ikibaliMwanangu, katika hino duniya, kaa mbaliMwanangu sikubali!a. Fafanua mambo sita ambayo yanaweza kuzorotesha maadili ya anayelengwa nashairi hili.alama 6b. Bainisha tamathali mbili za usemi zilizotumiwa katika shairi hili.alama 2c. Andika aina mbili za urudiaji zilizotumiwa katika shairi hili.alama 2d. Ainisha shairi hili kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:alama 4Idadi ya vipande katika mishororoMpangilio wa maneno katika mishororoIdadi ya mizani katika mishororoMpangilio wa vina katika kila ubetie. Andika aina mbili za kishairi zilizotumiwa katika shairi hili.alama 2f. Andika ubeti wa tano katika lugha ya nathari.alama 4MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Walo nacho hawachimshangao kunitiaMoyoni watakutiapindi waonapowe u chombo chakuvutia raslimanihuko kwenye vinaHawachikukwinamishakukupindisha mgongondoana umeshikakuvulia yao riziki.Watakwita kwa majinaya hadhiya kukupembejaya kukwaminishakwamba we na wao muwamojahali zenukama sahani na kawawanaokwonyesha waonawemwachumia jungu mojaMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

yenu matarajio ni mamojawatakwahidi haluakila tunu watakwashiriamradi nyoyo zao zimemaiziwe u ndovu wa mti wa kugongamakoma kuangushaWafaidi wao.Mabepari wana mamboukiwa yao makasiaya kuliendesha dau laomajini lieleemiamba kulepushaWatakusifuWatakuchajiishambele utungemachoyo yenye arihuku wanakufunga niraJa fahalimali kuwazalishiahuku kipato wakupimiakwa kibabausipate kukidhi hajausipate kujaminikuwatehemea uzidi.MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

Hawa ni wa kuajabiwaWatakupa yao kaziMpangilio wa kaziwakukabidhi waona malengo wakupeLa! Hawakupi!Wanakuhusishakatika kuyavyaza namuda wa kuyafikianao mwaafikianaati kuna makubaliano bayanaambayo ubatizo wayo nikandarasi ya utendakazi.Ela we nao mnajuando kigezo cha kupimiawako uwajibikajiwako mchango chunguniyako thamaniNa usidhani uan hiari yakuamua tapofikaWatakusukumakufikia yao shabahabila kuwaziaujira wanokupa.Watakuhimizakutumia chako kipawaMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

kuikoza nundu yao mafutaViumbe hawa!Mabepari-waajiri.a. Eleza mikakati sita inayotumiwa na waajiri kujikuza kiuchumi. Alama 6b. Bainisha tamathali tatu za usemi zilizotumika katika shairi hili. alama 3c. Huku ukitoa mifano, bainisha aina mbili za uhuru wa kishairi aliotumia mshairi.Alama 2d. Andika mifano miwili ya mistari mishata katika shairi hili. alama 2e. Bainisha nafsi neni katika shairi hili. alama 1f. Fafanua toni ya shairi hili. alama 2g. Andika ubeti wa tatu kwa lugha ya nadhari. Alama 4KCSE 2018A. Mazrui: Chembe Cha MoyoSoma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali.Nimeyaandika maneno hayaKwa niaba ya:Mamilioni wasio malaziwabebao vifurushi vilivyo waziwazungukao barabarani bila mavazi.milki yao ya maisha.Kwa niaba ya:Maelfu wanouawa bila hakiwiki baada ya wikileo sumu au spakileo kamba au bundukina kwa wale wanosubiri kunyongwa.Kwa niaba ya:Vijana walio mitaaniwale mayatima wa maskiniwazungukao mapipanikila pembe mjinikuokota sumu kutia tumbonikujiua bila kujuaMWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302

ili kupata kuishi.Kwa niaba ya:Wakongwe wasio jiwezawalao chakula kilichoozawachukuao choo wakijipakazapolepole waki jiangamizakatika vyumba vyaobaridi na gizakwa sababu hawana watazamawala wauguza.Kwa niaba ya:Waish

MWALIMU ONYANGO #DIRA SERIES, USHAIRI# KCSE 2007-2019. MASWALI NA MAJIBU. 0707311302 Soma shairi hili kisha ujibu maswali yayofuata: Kila Mchimba Kisima; Musa Mzenga 1. Tenda utendapo tendo, tenda tendo kwa hekima, Lindamane mwenendo, sawa na yakio kalmia, Kalmia yenye upendo, kufurahisha mtima, Kila mchimba kisima, budi hungia mwenyewe. 2.

Related Documents:

MASWALI NA MAJIBU ميِحِرلا َّنِمَٰحْرلا َِّالل َّمِسِْب NENO LA MCHAPISHAJI M aswali na Majibu ni kitabu kinachotoa mwongo-zo kwa njia ya maswali na majibu. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa maswali aliyoulizwa Sheikh Hasan al-Saffar katika programu yake ya maswali na majibu ili-yoandaliwa katika tovuti yake.

4. Biblia inajibu maswali tunayojiuliza Mwanamke fulani alitambua kwamba Biblia ina majibu ya maswali yaliyomhangaisha kwa miaka mingi.OnyeshaVIDEO,kisha mzu-ngumzie maswali haya: Katika video hiyo, mwanamke huyo alijiuliza maswali gani? Kujifunza Biblia kulimsaidiaje? Biblia inatutia moyo tuulize maswali.SomaMathayo 7:7, kisha mzungumzie .

maswali yako mengi iwezekavyo kuhusu Australia Tuanze kwa kujua nini haswa WEWE unachotaka kujua Tumia nafasi ya mstari iliyopo hapo chini ili kuandika maswali yako Wakati unaposikia majibu ya moja wapo ya maswali yako wakati upo kwenye AUSCO, andika majibu hayo AUSCO hukupatia wewe maelezo mengi na inaweza kuwa vigumu kukumbuka maelezo yote!

Kitengo Ushairi Mashairi yanaweza kugawanywa katika aina mbalimbali kulingana na idadi ya mishororo katika kila ubeti. Tanbihi: Aina za Mashairi ni tofauti na Bahari za Ushairi. A

1. Pata orodha ya maswali yako na uifungue kwenye ukurasa wa kwanza. 2. Tumia habari katika mwongoza huu wa Kiswahili kuweka alama kwa majibu yako kwenye karatasi ya orodha ya maswali la Kiingereza. USIANDIKE MAJIBU YAKO KWENYE MWONGOZO HUU. 3. Kabla ya kujibu swali la kwanza, hesabu watu wanaoishi katika nyumba

Kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafa-nyayoKazi,Bukula2,kimekusudiwakumpamtotowenu kanuninzurisana za Kimaandiko. Ukitazama Yaliyomokati-ka ukurasa wa 4na 5utaona habari mbalimbali zinazozungu-mziwa katika kitabu hiki. Hata hivyo, kitabu hiki kimekusudi-wa kutimiza mengi zaidi. Fikiria mamboyafuatayo: (1) Kitabu hiki kinamhusisha .

Maswali na majibu Ufafanuzi Uchambuzi Maelezo Mifano Maswali na majibu Majadiliano JUMA 5. 219 KIPINDI SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA NYENZO ZA KUFUNDISHIA MADA KUU MADA NDOGO MAONI HAKIUZWI Yatumiwe na Kiswahili Fasaha Kiswahili, Kidato cha 2 Maazimio ya Kazi Muhula wa Kwanza 1 2 3

MIS 2010 IM-1 Chapter 1 Review Questions 1. Give an example of an information technology used in a grocery store. Answer Point of sale systems.