Sss

3y ago
240 Views
2 Downloads
6.32 MB
12 Pages
Last View : 1m ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Farrah Jaffe
Transcription

JUZUU 23WAMAA LIYA/1t11 Aya 181SURATUS SAAFFAT(/mecermrka Makka)1M MalcDifl JKwa jina Ja Mwenyezi Mungu, Mwenyekuneemesha neema · kubwa kubwa na Mwenyekuneemesha neema ndogo ndogo.1 . 1'-{aapa · kwa (wale Malaika) wajipangaosafusafu· 1. Tena kwa wale wanaokataza mabaya3· Kisha kwa wale wasomao mawaidha (yaMwenyezi Mungu)4·Kwa yakini Mungu wenu ni Mmoja ru.s. Mola wa mbingu na ardhi a yaliyomo katiyake, (yao); na ni Mola wa masbariki zote (namagharibi zake).6. Bila shaka sisi tumeipamba mbingu yakaribu (hii) kwa pambo Ia nyota7.N a kuilinda na kila shetani asi.Wamepachika yuiyokuaudiwa katika maelezo ya Aya walizozitia namban blzi.Mwenyezi M11111u katika Aya nyiJIIine - kama Aya ya 9 ya Suratul Muzzammil - amejita RabbulMashriqu wal Mathribi. Na katika Aya nyin&ine - kama Aya l' 17 ya Suratur Rahman - amejita RaabulMashriqayni wa Rabbul Mathribay,. Na katika Aya nyingine- kama Aya ya 40 ya Suratul MGarij- 1mejitaRabbul Mashaariqi wal Mathaaribi. lie y1 kwanza Rabbul Maslariqi wal Mathribi yuni Mola wa Kunakotokeajua na kunakochwea jua. N1 ile ya pili Raltbul Mashriqay,. wa Rabbul Mathribaytt yaani Mola WI kun1kotokeajua siku za blridi na siku za joto n1 Mol1 wa kunakochwe1 jua siku za baridi Dl siku za joto. lsije ikadh1niwa kwakule kutoka jua upesi siku za joto na kukawia kuchwa na kuchelewa kutoka jua siku za baridi na likachw1 upesikuwa kuna waun1u w1wili - mmoja anapitisha amri zake siku za. joto na mmoj1 anapitisba amri zake siku zabaridi. Bui Mwenyezi M\in1u ni huyo huyo mmoja tu; lakini - kwa maslaha y1 viwnbe vy1ke - mananawaf1nyia hivi, na mara anawa(anyia vile. Na vile kusema hapa Rabbul Maslaaariqi wal Matlaaaribi yaani Molaw1 Mllokeo y1 jua mbali mbali na m chweo ya jua mbali mbali ulimwengu mzima, ndiyo kama hivi tunavyojuasasa kwa haya maredio kuwa likiwa linachomoz1 jua kwetu sasa hivi, kwencine limekwisha chomoza, ima zamaniau karibu hivi au karibu sana au bado. Nalinapokuchwa ndiyo vile vile. Na linapopinduka upande wa pili ni vilevile. Basi Mwenyezi Mun1u anasema kuwa Mola w1 kote huko ni huyo huyo tu Mwenyezi Munau peke yakeWahdahuu Laa Slaaryka Lalauu. Na haya ya kujua kuwa jua linakuchw1 Dl kuchomoza nyakati mbali mbelindiyo kwanza yajulik.ane sasa; na Qurani imeaaja ha ri hii zaidi ya myaka alfu sasa. Ukweli wa Qurani unazidikudhlhiri tu. Utanao nautambae.7. Wamqeuz1 tena muradi wa Mwenyezi Mun1u katika tamko Ia Shetani kama walivyoaeuz1 muradi watamko Ia jini, wakasema kuw1 muradi wa maneno yote mawili haya ni binadamu wabaya, sio viumbe wengine.Tumeyabainisha haya katika Ay1 ya 111 ya Suratul An-Am na ltaaika pen1ine pen1i kabisa. N1 wameaeuzamuradi wa Aya zote hizi walizozifanya 8-11.1·4·s.sss

JUZUU 23AS·SAAFFAT (37)WAMAA LIYA8. Wasiweze kusikiliza (yanayosemwa na hao)viumbe watukufu (Malaika); na wanafukuzwa hukokila upande. ·9. Kwa hizaya;na wanayo adhabu(inayowazuia kuflka huko) inayodumu kwao10. Isipokuwa anayenyakuwa kitu kidogo hivi(katika maneno yanayosemwa huko); marakikamfuata kimondo (kijinga cha moto) king'aracho(kikam uangamizilia · mbali).11. Hebu waulize, "Je, wao (binadamu) niwenye umbo gumu zaidi au wale (wengine)tuliowaumba· (ltama tulivyokuumbeni nyinyi, kamaMalaika na Majini . . .)?" Bila shaka sisituliwaumba (wanaadamu) 'kwa udongo unaonata.(Wana nguvu gani kujivunia)? .12. Bali unastaajabu, na wao ·wanafanya mzaha.1 3. Na wanapoonywa hawaonyeki.Na wanapoiona miujiza hufanya mzaha.1 S·Nawanasema"Hayakuwahaya(anayotuonyesha Muhammad) ila ni uchawi uliodhahiri."16. "Oh! tutakapokufa na kuwa udongo namifupa ndiyo kweli tutafufuliwa ?"17. "Hata wazee wetu. wa zamani (piawatafufuliwa? Uwongo huo)."I 8. Sema: "Naam (mtafufuliwa), na bali yakuwa mumo katika hizaya."14.19. Huko (kufufuliwa) kutakuwa ni Ukelelemmoja tu, mara wanaona (Kiama kimeflka).7 "!1 ,, . , . ' r t, ,, 'r.r.""1 - \.:.U.)J.I,PIJ0 w"" . . J Wasema: "Ole wetu! Hii ndiyo (ile) siku yaMalipo!"20.t(Waambiwe:) "Hii ndiyo siku ya Hukumumliyokuwa mkiikadhibisha."22. (Kusemwe:)"WakusanyeniwalewaliodhUtumu (nafsi zao) pamoja na wenzi wao nawale waliokuwa wakiwaabudu ,"Badala ya Mwenyezi Mungu; Waongozeninjia. ya Jahanamu."24. "Na wasimamisheni (hapo); hakikawataulizwa "25. (Waambiwe:) "Muna nini? Mbonahamnusuriani? ,,23.SS9 I "71"!1",!,;),;.;' . I tl.,.# " I loU.'e '·· 'Y.AiL ··? .: ,21., .IC!c'\' , '''1"(.,.,;.·, .o. .Y.!.J ., . ,,, .D'.,· \ , J'1,,'' rf" w ,., · u 4.1)1 · .)'t""',;J- .o :-\Y-' ,. ,.,-a.:J

JUZUU 2316.17.AS-SAAFFAT 07)Siku hiyo watadhalilika kabisa.Waraingia kuulizana wao kwa wao.Wascmc: (kuwaambia wale wakubwa wao)"Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia kwa njia zakheri, (kumbc mkitutakia shari)!"19. Waseme (wale wakubwa): "Bali nyinyiwenycwc hamkuwa Waislamu."30. "HatukufNa na mamlaka juu yenu (yakukutocni katika Uislamu); bali nyinyi wenyewemlikuwa wapotofu (wapotevu)."18.31 . "Basi hukumu ya Mola wetu imekwishatuthubutikia, bila shaka tutaonja (tu adhabu yaMwenyczi Muni'J).""Tulikupotezeni (kwa sababu) sisi wenycwetulikuwa wapotofu ( wapotevu).,3.3,33. Basi wao kwa hakika siku hiyo watakuwakatika adhabu pamoja.34·Hivyo ndivyo tutakavyowafanya maasi.Wao, walipokuwa wakiambiwa, "Hakunaaabudiwaye kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu,"walikuwa wakikataa36. Na husema: "Oh! Tuiache miungu 7. (Nabii Muhammad si mtunga sha Mitume (waliotangulia).38. Hakika nyinyi bila shaka mtaionja adhabuiumizayo.3S·Wala hamtalipwa ila yale mliyokuwamkiyafanya40. lsipokuwa waja wa Mwenyezi MunguwaliotCDICDCZWI (walioteDICDCZI amali zao).41 . Hao ndio watikaopata riziki aalumu41. Matunda(yakilanamna),nawatahishimiwa43. Katika mabustani za neema39.44. Wako juu ya vitanda (viti vya CDZl vyafahari), wamekabiliana (wanazungumza).4S· Wanazungushiwa lilasi zenye (vinyw:aji)safis6oWAMAA LIYA

JUZUU 23AS-SAAFFAT (37)WAMAA LIYAVyeupe vyenye ladha kwa hao wavinywao;4-7. Kwa vinywaji hivyo hautakuwa udhia walakuondokwa na akili.48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenyemacho mazuri makubwa46.wanawake hao kama mayai (yambuni) yali :ohifadbiwa.49.(Safi)so.s1.Wainpe kuulizana wenyewe kwa wenyewe.Aseme msemaji mmoja miongoni mwao:cc Hakika nilikuwa na raflld ,,52. Aliyekuwa akinambia:- "Ahl \Vewe nikatika wale wanaosadiki."s3· "Ya kuwa tutakapokufa na tukawa udonaooa mifupa (tutafufuliwa) tulipwe (kwa tuliyoyafanyakama anavyosema Muhammad)?"s4·Atuema: "Je, Mtamchuopilla (hukoMotoni, tumuone namna anavyoadhibiwa)?"ss. Basi atachungulia na atamuona katikati yaJahanamu.56. Amwambie:"Wallahi!Ulikurubiakunipoteza "s 7. "Na- lau si necma ya Mola wanau, bilasbaka ningalikuwa miongoni mwa waliobudhurishwa(humo· Motoni kama wewe)."·sa. ")e, sisi iii wenye kufa tena?"s9·"Da kifo chetu cba kwanza! (Kinyumechenu nyinyi) Wala sisi hatutaadhibiwa."6o. Bila sbaka huku ndiko kufuzu (kufaulu),kukubwa.61. Basi mfano wa haya ndiyo wafanye haowafanyao.62. Je, lwibisho Ia namu hii silo bora au pata mti wa zakkum? (Mti mchunau kabisaw aoJishwa watu wa Motoni). 6l. Kwa, ajili ya kukalaa kwao mambo anayoyalaja Mwenyezi Munau yasiyoinaia kalika akili zao ndoao naiiimu zao chactte - wameupinp huo MshajQftltuz Zllqquum, na wameupinp mahala pe inc kama Aya ya 43 yaSuratud Dlruklr11an na Aya ya S2 ya Surt tul Wat qlalr. Wakasema kuwa lamko hili ni ufupisho wa Aya Dhuq/nn11kll Antal Azyzul Karym. Tazama unafiki huu. Hakuna m1u yoyote kabla yao aliyezua uwongo huu. Nawatazamerafsiri · zole za ulimwenp mzima.S61

JUZUU 23AS·SAAFFAT (37) WAMAA UYA63. Kwa Yakini sisi tumeufanya ni adhabu ya(hao) madhalimu (wa nafsi zao).64. Hakika huo ni mti unaotoka (unaoota)katikati ya jahanamus.(Panda za) Matunda yake (zinatisha) kamakwamba ni vichwa vya mashetani.66. Bila shaka wao watakula katika (mti) huo,na kwa huo wajaze matumbo (yao).667. Kisha bila shaka utawathubutikia, juu yauchungu wa pui huo, mchanganyiko wa maji yamoto.68. Halafu, kwa yakini, marejeo yao yatakuwa(huko huko) katika Jahanamu, (hawana mahalapengine).69. Haltikawao waliwakuta baba zaowamepotea.70. Na wao pia wakaendeshwa kufuata nyayo.zao, (wakakataa kusikiliza maneno ya .Mtume).,.71. Na· bila shaka watu wengi wa zamaniwalipotea kabla. yao.71. Na hakika tulipeleka waonyaji kwa watuhao; (lakini walikataa kutii).73· Basi tazama ulikuwaje mwisho wa walewalioonywa (wasiony e)?74· Isipokuwa watumwa wa Mwenyezi Munguwaliotengenezwa, (waliotengeneza ·amali zao); (haoni watu wa Peponi tu).·1S· Na kwa yakini Nuhu alitwita (tumnusuru);(tukamwitikia kwa vizuri kabisa). Basi ni waitikiajiwema tulioje sisi!76. Na tulimuokoa yeye na w tu wake katikamsiba mkubwa (wa tufani lililogharikisha kila kitu).11· Na tuliwajaalia kizazi chake wawe ndiowenye kubaki (mpaka leo ulimwenguni).65. Qurani imeteremshwa kwa lugha ya Kiar.tbu. Basi kwa hivyo inatumia katika lugha yake matumizi yaKiarabu. Na wao walikuwa wanashabihisha kibaya kwa sura ya Shetani.

JUZUU 23AS-SAAFFAT (37)78. Na tukamuachia (sifa nzuri) kwa (watuwote) waliokuja baadaye.WAMAA LIYA/19· Amani kwa Nuhu ulimwcnguni kotc.8 o. Kwa hakika hivi ndivyo tuwalipavyowafanyao wcma.· 8 1. . Kwa hakika yeyc alikuwa katika waja wetuwalioamini (vizuri kabisa).B.z. Kisha tukawagharikisha wale wcn e.83. Na hakika lbrahimu alikuwa katikalake, (akenda mwendo wake).84. Alliendea (dini ya) Mola wake kwasafi.· 8 S· Alimwambia baba yake na watu"Mnaabudu nini?"kundi·moyowake,86. "Oh! Kwa uzushi tu, miungu badala yaMwenyezi Mungu - ndiyo mnayoitaka?"8 7. "Basi nini flkira yenu juu ya Mola wawalimwengu wote? (Mnamuona hatosbelczi ndiomnatafuta W!lungu wensine?)"8 8. Kisha akatazama mtazamo (mkubwa) katikanyota (akasema "Nitacbukua fursa ya kuwajulisbauwongo wa dini yao· kwa kuwaonyesha kuchomozakwakc:. hizo nyota wanazoziabudu na kucbwakwake)."89. Akasema: "Hakika mimi ni mgonjwa."90. Naowakamuacha, wakampa kisogo(wakenda zao viungani katika mandari zao).Basi ·alikwenda kwa siri kwa miungu ytoakaiambia (kwa stihzai): "Muna nini? 2. "Mumekuwaje! Hamsemi?"91 ;9 3. Kisha akawageukia kuwapiga kwa mkonowa kulia, (kwa mwisho wa nguvu zake).94· (Basi waliposikia wenyewe) wakamjia upesiupesi (wakamwambia kwa nini kuwavunja waunguwao).Akasema:"Ob!Mnaviabudumnavyovicbonga (wenyewe kwa mikono yenu)?"9S·96. "HaliMwenycziMungualiydtuumbeni nyinyi na mnavyovifanya."ndiyel ,. "'J" -:' ,I \j "' .:;@ ···-' v t w, . .t , ,,, "'11 I

AS-SAAFFAT (37)JUZUU 2397. Wakasema: 'Mjengeeni jcngo (mliticmakuni mliwasbe moto), kisha mtupeni motonibumo."98. Basi walitaka kumfanyia vitimbi (yyakumua) lakini tukawafanya wao kuwa wadhalilifu.(Moto 'ute haukumuunguza hata chembe NabiiIbrahimu.)99.Na (Ibrahimu) akasema:''(Naondoka nchihii). Nakwenda (Shamu nchi aliyoniamris a) Molawangu. Ndiye atakayeniongoza (nakila yangu)."kunitc genezea"Ee Mola wangu! Nipe (mtolo awe)miongoni mwa watenda merna."100.1o I.Ndipo tukampa habari njema ya (kuwaatapata) mtoto mpole. (Basi akapata. Naye ndiyeNabii smaili).102. Basi alipoflkia (makamu ya) kwenda nakurudi pamoja naye, alimwambia: "Ee mwanangu!Hakika nimeona katika ndoto ya kwambaninakuchinja. (Na ndoto ya Mitume ni Wahyi). Basiflltiri, waonaje?" Akasema: "Ee baba yangu! Fanyaunayoamrishwa, utanikuta lnshallah miongoni mwawanaosubiri."1 o 3. Basi wote wawili walipojisalimisha (kwaMwenyezi Mungu), na akamlaza kifudifudi(amchinje).104. Pale pale tulimwita: "Ewe lbrahimu:"1 o s. "Umekwishasadikisha ndoto. (Usimchinjemwanao)." Kwa yakini hivi ndivyo tunavyowalipawatendao mema.106. Bila shaka (Jambo) hii ni jaribio lililodhahiri, (mtihani ulio dhahiri).Bui tukamkomboakuchinjwa mtukufu.107.kwamnyamaf.:-3 "'t, 'tl::t . 'Jf:U. ·wa1oa. Hapa tunaonyeshwa mithali bora ya mja kumtii Mola wake, na ya mtoto kumtii mzcc wake. Nabiilbrahirnu anaamrishwa kumc:hinja mtoto wake kwa mkono wake, naye akawa tayari kufuata amn. Na mtotoakakubali kuchinjwa.103-107. Yaani walipokuw.e layari wole wawili kufuata amri ya Mola wao, na Nabii lbrahimu akamlazamwanawe iii amchinjc, Mwenyezi Munau alimsamehc na akamkombna mtoto huyn kwa mnyama. Na hapo nd1poilipochukuliwa Sunna ya kuchinja mnyama katika ldii·Haj kwa Wa-lsh mu wote na ikadumu mpaka leo.Mtume Muhammad s.a. w. ni katika kizazi cha huyu Nabii lsmaili ambaye ali taka kuchi1 wa kisha akaokol.:wa. Navile vile baba yakc Mturne s.a.w. (Bw. Abdulla) alitaka kuchinjwa. kisha Wokolcwa. Kwa hivyo mtume s.a.w.huilwa "/bnudh Dhabyhayn; · · yaani mtoto wa wachinjwa w-.twili.

JUZUU 23AS·SAAFFAT 07)WAMAA LIYA108. Na tukamuachia (sifa nzuri) kwa (watuwote) waliokuja baadaye.109. Amani kwa lbrahimu.11 o.Hivi ndivyo tunawalipa watendao mema.Bila shaka yeye alikuwa miongoni rnwawaja wetu walioarnini ( weli k eli).11 l. Tena tukarnbashiria (kurnzaa) Is-haka,11 1 .(mtoto wake wa pili). Nabii miongoni mwa watuwema (kabisa).113. Na tukambarikia yeye na ls-haka. Nakatika kizazi chao walitokea watendao merna nawanaodhulurnu nafsi zao waziwazi. (Kizaliwa nawatu wema si hoja hiyo - Sharti na yeyernwenyewe awe mwema ndipo atakapopata wema).1 I 4· Na kwa hakika tuliwafanyia ihsani Musa naHaruni.11 s. N a tukawaokoa wao na watu wao katikataabu kubwa.Na tukawanusuru. Basi wakawa wenyekushinda.117. · Naowote wawili tukawapa Kitabukibainishacho (kila linalohitajiwa).1 16.11 d.Na tukawaongoza katika njia iliyonyaoka.Kisha tukawaachia (sifa. nzu katika (watuwote) waliokuj baadaye·II 9.110.Arnani. kwa Musa na Haruni.ll I .Bila shakawafanyao merna.hivi ndivyo tunavyowalipaIll. Kwa yakini wao walikuwa miongoni mwawaja wetu walioamini (kweli kweli).113.Na hakika llyasi alikuwa miongoni mwaMitume.I 14. (Wakurnbushe watu) Alipowaambia watuwake: "Oh! harnuogopi?"12 3· Katikr. Aya 130 ya Sura hii hii Nabii llyasi ameitwa "llyasin". Na ndiye huyo huyo llyasi.Katika hii Aya waliyoifanya ya 12.4 wamejidai kutaia itikadi ya Mayahudi ill tuwache itikadi yetu .aliyotwambiaMtume ya kurejea Nabii lsa mwisho wa ulimwengu.

JUZUU 23AS-SAAFF AT (3 7)WAMAA LIYAs."Mnamuomba (na kumuabudu) Bali namnamuacha aliye Mbora wa waumbaji (na ndiyeMuumbaji peke yake)."12126. "Mwenyezi Mungu- Mota wenu na Molawa wazee wenu wa mwanzo!"Il7. Wakamkadhibisha:watahudhurishwa (adhab\U\i)Basibilashale a128. lsipokuwa waja wi Mwenyezi · Munguwaliosafishwa (na Mwenyezi Mungu).129. Na tumemuachia (sifa nzuri) kwa (watuwore) waliokuja baadaye.130. Amani kwa llyasi.13 1 . Bila shaka hiviwafanyao wema.ndivyo tunavyowalipaI 3 2. Kwa yakini yeye alikuwa miongoni mwawaja wetu walioamini (kweli kweli).I 33. Na kwa hakika Luti alikuwa miongoni mwaMitume.I 34· (Kumbukeni) tulipomuokoa yeye na watuwake woteI 3S·Isipokuwa mwanamke mkongwe katikawale waliobaki nyum a. (Naye ni mkewe. Bibi huyuhakuwa Muislamu).I 36.Kisha tukawaangamiza (wale) wen1ine(waliokuwa wabaya).137. Na kwa yakini mnawapita (mnaipitia nchiyao) asubuhiI38.139.Na usiku (pia). Basi je! Hamfahamu?Na hakika Yunusi alikuwa miongqni mwaMitume.I 40. (K,umbukeni) alipokimbilia katika jahaJiiliyosheheni140. Mtume Yunusi alipelekwa Ninawah. Watu wa hapo wasiamini. Mwenyezi Mungu akampa amri kuwapahabari kwamba ndani ya muda mulumu itawashukia adhabu. Muda ulipokaribia Nabii Yunusi akatoka nje ya mjiill ikishuka adhabu, yeye isimpate. Wakati ulipofika, watu wale wakaona adhabu inawajia. Hapo wakayakinishakwamba Yunusi alikuwa Mtume wa haki; wakaamini na unyenyekea kwa Mwenyezi Munp, naye kwa rehemayakc akaiondosha adhab\1 hiyo. Nabii Yunusi tiakujua yaliyopita nyuma yake. Alipoona adhabu haikushukaalichelea kuwa watu hao watazidi kumkanusha. Akakimbilia pwani ambako alipata jahazi akaingia. Waliomo katikamarikebu hiyo wakawa wamczidi, na chombo kisiweze kwenda. lkapipa kura ili itakac muangukia atoswebaharini. Ikamuangukia Nabii Yunusi akatoswa baharini, akamezwa na samaki.s66

JUZUU 2l·WAMAA LIYAAS-SAAFFAT 07)141. Na wakapiga kura. (Na akaingia nayekatika -kura). Basi akawa miongoni mwawalioshindwa (ikapasa atupwe baharini).·Mara samaki alimmeza bali ya kuwa nimwenye kulaumiwa.I41.I 43·Basi isingclikuwa ya kwamba yeye alikuwani miongoni mwa waliokuwa wanamuabudu(Mwcnyezi Mungu vilivyo)144· Bila shaka angalikaa tumboni mwakempaka siku watakayofufuliwa (viumbe).I 4 s.Lakini tukamtupa ufukoni (ufuoni) (kumtoamatumboni mwa huyo samaki), bali · ya kuwamgonjwa.I 46.Na tukamuotesbca mmea wa mbatikhi(akawa anakula).Na tulimpeleka kwa (watu) laki moj a zaidi, (wale wale watu wake).I 48.Basi wakaamini na tukawastarehesha mpakamuda (wao wa kufa).14 7.149.Waulize(Makureshiwanaosemak waMwenyezi Mungu ana watoto wanawakc, !1 bah yakuwa wao wanawadbarau :na kuwac:bukia watotowanawake. Waambie)i- "Oh! Mola wako ndio anawatoto wa kike, na wao wawe wenye watoto wakiume?"I so.Je!TumcwaumbaMalaikakuwawanawake, nao wakasbubudia? (Ndio maanawanasema kuwa Malaika ni wanawake?).I 5 I.Tabadbarini Kwa uzushi wao wanasemakuwa:152: "Mwenyezi Mungu amezaa." Na bakikawao bila shaka ni waongo.I 53. · Ob! Amec:hagua watoto wa kike kuliko wakiume?1 S4·Mwnekuwaje Mnahukumu namna gani?Oh! Hamkumbuki (kuwa hayana akili hayamnayosema)?1 56.Au muna dalili iliyo wazi (ya hay'a ·mnayoyasema?).1 s7.Basi ·leteni Kitabu c:henu kama mnasema·kweti.1 55.t::!t. ,, ,, , . , ,II,!, !''It.;;J "/, "'::"'r( "''

JUZUU 23AS·SAAFFAT 07)WAMAA liYA1 sS.Na wameweka nasaha haina yake na majini,(wakascma vile vile kuwa Majini ni watoto waMwenyezi Mungu). Na majini wamekwishajuahakika wao hila shaka watahudhurishwa (Motonikwa ubaya wao na kwa kuwa wao ni viumhe wahayakama viumbe wengine wabaya).1 '9· Mwenyezi Mungu Yu mbali na sifawanazompa160. lsipokuwawali Jchaguliwa (nawaja wa Mwenyezi MunguMwenyewe Mwenyezi Munau;hao ndio wanaojua kumsi(u Mwenyezi Mungu).16 1.Basi hila shaka nyinyi na mnaowabudu161.Hamuwezi kuwapoteza163.lsipokuwa wale watakaoingia Motoni.164. Na (wanasema Malaika· katika kujua cheochao, kuwa:-) "Hakuna yoyote miongoni mwetu ilaanapo mahali pake mahsusi (ma-alumu).""Na kwa yakini katikawajipangao safu (wakasali jamaa)."165.166. "Na wako(Mwenyezi Munguzisizokuwa zake)."sisiwakokatika stst wamtukuzaokwa kumkanushia sifa167. Na hakika walikuwa (makafui wa Kiarabu)wakisema:I 68."Tungalikuwa na kitabu kama walivyokuwa navyo walewatu wengine wa mwanzo."·' .169. "Bila shaka tungalikuwa waja wa MwenyeziMungu waliohalisika (waliosaflka)."170. Lakini(kilipowajiahichokitabu)walikikanusha. Basi karibuni watajua (nininitakavyowafanya).11 71 . N a bila shaka neno letu limekwishakutangulia kwa waja wetu waliopewa Utume.174·Ya kuwa wao ndio watakaonusuriwa.Na kuwa jeshi letu ndilo litakaloshinda.Basi waachilie mbali kwa muda mdogo (tu175·176.Na watazame tu; nao sasa hivi wataona.Oh! wanaihimiza adhabu yetu?171.173·hivi)s689-,, ,,,,.'·,. ., ., .-.;-- 4.11· .,J,.,·- ·:.·, u

JUZUU 23AS·SAAFFAT 07)WAMAA LIYA177. Basi (adhabu) itakaposhuka uwanjani kwao(wataangamia tu); itakuwa asubuhi mbaya kwa walewalioonywa (wasionyeke).178. Na waache tu kwa muda kidogo (tu hivi)179· Na tazama tu; nao hivi karibuni wataona.180. Ameepukana Mola wako, Mola Mwenyeenzi, na yale wanayomsifu (nayo makaflri).181.Na amani juu ya Mitume (wa MwenyeziMungu).181.Na sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu,Mola wa walimwengu wote.39

iiimu zao chactte - wameupinp huo MshajQftltuz Zllqquum, na wameupinp mahala pe inc kama Aya ya 43 ya Suratud Dlruklr11an na Aya ya S2 ya Surt tul Wat qlalr. Wakasema kuwa lamko hili ni ufupisho wa Aya Dhuq /nn11kll Antal Azyzul Karym. Tazama unafiki huu. Hakuna m1u yoyote kabla yao aliyezua uwongo huu. Nawatazame

Related Documents:

BIBLIOTECA EMILIA ROMAGNA N Autore Titolo Editore Anno Copie 240 CONI Preparazione fisica di base / 1994 2 75 Braache L'ABC della pallavolo SSS Roma 1975 3 76 Pagano Elementi fondamentali di tecnica e didattica della pallavolo SSS Roma / 4 77 Barbagallo Primi elementi per un avviamento alla pallavolo scolastica SSS Roma 1984 2 78 Ceridono - Formica Psicologia per arbitri di pallavolo SSS .

Prove certain triangles are similar by using AA, SSS, and SAS. Use triangle similarity to solve problems. Objectives. Holt McDougal Geometry 7-3 Triangle Similarity: AA, SSS, SAS There are several ways to prove certain triangles are similar. The following postulate, as well as the SSS

7-3 Triangle Similarity: AA, SSS, SAS There are several ways to prove certain triangles are similar. The following postulate, as well as the SSS and SAS Similarity Theorems, will be used in proofs just as SSS, SAS, ASA, HL, and AAS were used to prove triangles congruent.

The Scaffolding Scale of Stimulability (SSS), described in this article, is one example of a dynamic assessment used to evaluate phonological disorders. The SSS comprises a 21-point hierarchy of cues and environmental manipulations that can be used to support a child in the production of phonemes. Use of the SSS is illustrated by a case study of a 4-year-old boy with moderate phonological .

SSS Postulate: If all three sides of one triangle are proportional to corresponding sides of another triangle, then the triangles are similar. You can mark vertical angles and shared angles congruent! Explain why the triangles are similar (SSS , SAS , or AA ) and write a

Aug 27, 2015 · 4.3 Proving Triangles are Congruent: SSS and SAS 213 The SSS Congruence Postulate is a shortcut for proving two triangles are congruent without using all six pairs of corresponding parts. The postulate below is a shortcut that uses two sides and the angle that is includedbetween the sides. Using the SAS Congruence Postulate Prove that AEB .

Lesson 24: Congruence Criteria for Triangles—ASA and SSS Student Outcomes Students learn why any two triangles that satisfy the ASA or SSS congruence criteria must be congruent. Lesson Notes This is the third lesson in the Congruency topic. So far students have studied the SAS triangle congruence criteria and

1203-SSS Smart Self-powered Serial Converter Firmware v3.007 5 Installing the Flash Kit 1. Install the flash kit utility from the Allen-Bradley Web Updates site for the 1203-SSS serial converter. (This al so automatically installs the latest version of the ControlFLASH utility and deploys the firmware files for use with HyperTerminal on your .