ELIMU JUMUISHI, STAHIKI, NA BORA INA MAANISHA NINI

2y ago
149 Views
16 Downloads
1.18 MB
48 Pages
Last View : 13d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Brady Himes
Transcription

MACHI 2020ELIMU JUMUISHI, STAHIKI,NA BORA INA MAANISHANINI KWETURIPOTI YA SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA ULEMAVU

IDA Flagship ReportRipoti hii imeandaliwa kama sehemu ya juhudi za Muongozo wa Elimu Jumuishi waShirikisho la Kimataifa la Ulemavu (IDA), Sehemu ya mpango wa Kichocheo cha masualaya watu wenye Ulemavu inayofadhiliwa na Idara ya Maendeleo ya Kimataifa yaUingereza (DFID), pia ikisaidiwa na shirika la Hatima Jumuishi (Inclusive Futures). Hiiiliongozwa na Kikosi kazi cha Elimu Jumuishi cha IDA kwa kupata taarifa zinazotokanana uzoefu wa Mashirika ya kitaifa ya Watu Wenye Ulemavu (OPDs), vilevile kupatataarifa za nyongeza za washirika kutoka Shirika la Kimataifa la watu wenye Ulemavu naMaendeleo (IDDC).Picha ya jarada: Wanafunzi wa darasa la rasilimali ya viziwi lililopo Shule ya sekondariya Shree Devnandan Devraj, Ramnagari, Wilaya ya Parsa, Nepal. Picha kwa hisani ya:Kristin Snoddon/WFD na Carmelle Cachero/WFD.KWA KUSHIRIKIANA NA

YALIYOMOVIFUPISHO .5MUHTASARI .6UTANGULIZI – HAKUNA KITU KWAAJILI YETU PASIPO SISI WENYEWE .72.1 RIPOTI MWONGOZO . 72.1.1 Kikosi kazi cha elimu cha IDA . 82.1.2 IDA na Ripoti Mwongozo . 10Mchakato wa mwongozo wa IDA . 11Msingi wa Ripoti hii . 112.2 MAONO YA IDA YA KUFIKIA SDG4 KWA MTAZAMO WA UNCRPD . 152.2.1 SDG 4 na Incheon 2030 . 152.2.2 Kifungu cha 24 cha UNCRPD & Tamko la Jumla Na. 4 . 162.2.3 Ahadi ya Cali juu ya haki na ujumuishi katika elimu . 16KUFIKIA SDG 4 KWA WANAFUNZI WOTE: . 183.1 PENGO LA ULEMAVU: KUINGIA, KUSHIRIKI NA MATOKEO KWA WANAFUNZI WOTE WENYE ULEMAVU . 183.1.1 Matokeo ya kukosekana elimu kwa watu wenye ulemavu na familia zao . 193.2 KUENDELEA KUTOKUELEWEKA KWA SERA . 193.2.1 Mwendelezo wa mifumo iliyoshindwa ya elimu maalumu . 203.2.2 SIYO KITU KILEKILE – Uunganishaji dhidi ya Ujumuishaji . 20Matokeo ya elimu maalumu . 223.3 UJUMUISHAJI KWENYE KIINI, SIYO PEMBEZONI MWA MABADILIKO YA ELIMU . 233.3.1 Juhudi zinazohusiana na SDG 4 zinamgusa kila mtoto, yeyote na popote alipo . 24KUBADILI MIFUMO YA ELIMU KUWA BORA, JUMUISHI NA STAHIKI: . 264.1 MAMBO YA MSINGI. 264.2 KUONDOA VIZUIZI NA KUHAKIKISHA UFIKIKAJI: MBINU KAMILIFU YA SERIKALI . 264.2.1 Masharti muhimu lakini yasiyotosheleza elimu jumuishi . 27Kutokubaguliwa . 27Sera Zinazokataza Kukataa Watoto . 27Ujumuishwaji Stahiki . 274.2.2 Kushughulikia gharama za elimu . 294.3 KUENDELEA KUWA SHULENI – UGATUZI UNAWEZA KUKUZA UJUMUISHAJI . 304.3.1 Elimu ya malezi ya awali na makuzi (ECEC), utambuzi wa mapema na afua za mapema (EIEI)na upatikanaji wa huduma za utengamao . 30

IDA Flagship Report4.3.2 Kutathimini mahitaji saidizi, siyo kufunga mlango . 314.4 NI ZAIDI YA UFIKIKAJI: KUTENGENEZA UWEZO KWA MFUMO WA ELIMU JUMUISHI KULETA MATOKEO . 324.4.1 Utoaji rasilimali na fedha za kutosha kuwezesha ujumuishaji na haki sawia . 324.4.2 Idadi ya kutosha ya walimu waliofundishwa vizuri, wakiwemo walimu wenye ulemavu . 334.4.3 Mtaala sahihi (unofaa) na wenye mwitikio kwa elimu jumuishi. 344.4.4 Ufikikaji na huduma saidizi kwa elimu jumuishi . 24.5 KUTATUA MJADALA WA ELIMU MAALUMU . 34.5.1 Kuondoa utaratibu wa shule zilizotengwa kwa elimu maalumu . 4MAPENDEKEZO .5KWA SERIKALI . 5KWA TAASISI ZA KIRAIA. 6HITIMISHO .8REJEA9KIAMBATISHO . 104

IDA Flagship ReportVIFUPISHOATTeknolojia SaidiziDFIDIdara ya Maendeleo ya KimataifaECCMtaala wa Msingi UliopanuliwaECECElimu ya awali ya utotoni na UangaliziEIEIUtambuzi wa mapema na Uingiliaji wa mapemaICEVIBaraza la Kimataifa la Elimu la Watu wenye Ulemavu wa machoICTTeknolojia ya Habari na MawasilianoIDAShirikisho la Kimataifa la UlemavuIFHOHShirikisho la Kimataifa la Watu Wenye Usikivu HafifuGCTamko la JumlaGEMRRipoti ya Ufuatiliaji wa Elimu DunianiGLADMtandao wa Wapigania Haki za watu wenye Ulemavu DunianiINGOMashirika ya Kimataifa yasiyo ya KiserikaliNGOMashirika yasiyo ya KiserikaliOECDShirika la Ushirikiano wa Kiuchumi na MaendeleoOPDsMashirika ya kitaifa ya Watu Wenye UlemavuSDGMalengo ya Maendeleo EndelevuUDLUsanifu wenye Mfanano wa Kimataifa katika KujifunzaUNUmoja wa MataifaUNCRCMkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Haki za MtotoUNCRPDMkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Watu wenye UlemavuUNESCOShirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na UtamaduniWBUUmoja wa Wasioona DunianiWFDShirikisho la Viziwi Duniani5

MUHTASARIRipoti hii ya dunia juu ya elimu jumuishi inawasilisha kazi na maoni ya Shirikisho laKimataifa la Ulemavu (IDA) kuhusu jinsi ya kufikia Lengo la 4 la Maendeleo Endelevu(SDG4) - kuhakikisha elimu jumuishi, bora na stahiki na kukuza fursa za kujifunzamaishani kwa wote – Kwa kuendana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Haki zaWatu Wenye Ulemavu (UNCRPD), hasa kwa kuheshimu Kifungu chake cha 24 juu ya hakiza wanafunzi wote wenye ulemavu.Ripoti hii iliandaliwa kama sehemu ya juhudi za Muongozo wa Elimu Jumuishi waShirikisho la Kimataifa la Ulemavu (IDA), Sehemu ya mpango wa Kichocheo ya masualaya Watu wenye Ulemavu inayofadhiliwa na Idara ya Maendeleo ya Kimataifa yaUingereza (DFID). Hii iliongozwa na Kikosi kazi cha Elimu Jumuishi cha IDA kwa kupatataarifa zinazotokana na uzoefu wa Mashirika ya kitaifa ya Watu Wenye Ulemavu (OPDs),imetokana na uchambuzi wa mwenendo wa sasa wa dunia kuhusu elimu jumuishi.Inaichukulia elimu jumuishi kama kiungo cha mabadiliko ya kijamii, ambayo yatapelekeakuwa na jamii ambayo itatambua utofauti wa raia wao.Ripoti hii ni mhimili unao unganisha na kujenga juu ya makubaliano yaliyoanzishwa nawanachama wa IDA juu ya maelekezo ya kimkakati ambayo ni lazima yaongoze mageuziya sekta ya elimu, kwa kuwasilisha mtazamo wa ulemavu mtambuka, ambao utawezakuwa chanzo cha taarifa kwa watetezi wa haki za watu wenye ulemavu katika eneo laelimu. Ujumbe muhimu wa ripoti hii ni kwamba mfumo wa elimu jumuishi ndio njiapekee ya kufikia SDG ya 4 kwa watoto wote - wakiwemo watoto na vijana wenyeulemavu-wowote na mahali popote walipo. Elimu jumuishi inahitaji mabadiliko yakielimu, ambayo hayawezekani endapo yatatazamwa kama nyongeza ya mfumo waelimu uliopo badala ya msingi wa mabadiliko ya kielimu.Ripoti hii ina lengo la kutoa taarifa kwa wadau wa sekta ya elimu juu ya vipaumbelevilivyokubaliwa katika harakati za haki za watu wenye ulemavu, na kuwapawanaharakati wa masuala ya watu wenye ulemavu na washirika wao ujumbe muhimuna mapendekezo ya kuunganisha na kuimarisha utetezi kuelekea mageuzi yenye ufanisina ya kasi katika sekta ya elimu. Kujenga makubaliano haya haikuwa kazi rahisi; kwahivyo, ripoti hii inalenga kuelezea jinsi elimu jumuishi inavyoweza kutekelezwa.Inajumuisha mapendekezo ya utendaji mzuri ambao unaweza kuungwa mkono na seranzuri na sheria, na kupelekea uwepo wa mifumo sahihi ya elimu jumuishi. Pia inakusudiakutoa uhalisia juu ya hali ya sasa inayowakabili wanafunzi wenye ulemavu, kamamchango wa kufuatilia maendeleo katika kufikia SDG ya 4 kwa wote. Kazi iliyo mbele nikubwa na inahitaji juhudi zilizoratibiwa kushinikiza mabadiliko ya mifumo ya elimujumuishi ambayo kwa hakika inaruhusu uwepo wa utofauti.Katika kutekeleza UNCRPD, serikali lazima ishughulikie kwa karibu na kushirikishakikamilifu watu wenye ulemavu kupitia mashirika yao yanayowawakilisha (Vifungu vya4.3 na 33). IDA na muundo wake wa kipekee kama mtandao wa mashirika ya kimataifaya haki za watu wenye ulemavu ni uwakilishi wenye mamlaka zaidi wa watu wenyeulemavu katika kiwango cha dunia. Ripoti hii inaleta pamoja sauti za uwakilishi za watuwenye ulemavu katika kuhakikisha elimu jumuishi ambayo ni bora na stahiki naupatikanaji wa mafunzo wakati wote maishani kwa watu wenye ulemavu.6

Ripoti Mwongozo ya IDA UTANGULIZIUTANGULIZI – Hakuna kitu kwaajili yetu pasipo sisiwenyewe2.1 Ripoti MwongozoHaki ya kupata elimu kwa wote imejikita katika sheria za kimataifa tangu kupitishwa kwaTamko la Dunia la Haki za Binadamu mnamo 1948, na idadi ya jumla ya watotowasiokuwa shuleni imekuwa ikipunguzwa polepole. Walakini, watoto na vijana wenyeulemavu wanaendelea kutengwa kwa kiasi kikubwa kutoka kwa aina yoyote ya elimu nawale ambao wanasoma shule kawaida hupata elimu duni na bora kwa miaka michache.Takwimu sahihi juu ya idadi ya watoto wenye ulemavu wasiokuwa shuleni na ubora waelimu yao hazipatikani, lakini mashirika ya Umoja wa Mataifa yanakubaliana kwambaangalau theluthi moja ya watoto wasiokuwa shuleni wana ulemavu.Mashirika ya Watu Wenye Ulemavu yaliungana kuwasilisha matakwa yao kwa serikalimbalimbali za dunia wakati wa majadiliano juu ya UNCRPD miaka ya 1990. Matokeoyake yalikuwa ni kuahidi kuwepo na "mfumo wa elimu jumuishi katika ngazi zote,"ambayo inamaanisha kubadilisha mifumo ya elimu iwe jumuishi wakati wakiendeleakutoa usaidizi kwa mwanafunzi mmojammoja unaohitajika ili kumwezesha kufaulu.Vyama vya Watu wenye Ulemavu vinatarajia hatimaye kufikia elimu jumuishi sawia kwawanafunzi wote; ripoti hii inaangazia maendeleo yaliyopatikana na ambayo badohayajafanyika, baada ya miaka mingi ya kufanya kazi.IDA ilianzishwa mnamo 1999 na ni mtandao wa mashirika ya kimataifa (8) na ya kikanda(6) ya watu wenye ulemavu. Muundo wa kipekee wa IDA kama mtandao wa Vyama vyaWatu wenye Ulemavu vya kimataifa vinaipa fursa ya kuwa kama sauti yenye mamlakana mwakilishi wa watu wenye ulemavu katika mfumo wa Umoja wa Mataifa,unaowakilisha takriban watu bilioni moja wenye ulemavu ulimwenguni. Sasa,wanachama wa IDA wameungana tena ili kusaidia serikali, taasisi zenye washirika wengi,Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na sekta binafsi kuelewa maeneo ya mkwamo:maendeleo yaliyofanywa hayatoshi na mengi yanahitajika kubadilika ili serikali ziwezekutimiza ahadi zao katika kutekeleza UNCRPD na Malengo ya Maendeleo Endelevu(SDGs).Wajumbe wa Kikosi kazi cha Elimu Jumuishi cha IDA na wawakilishi kutoka chama cha watu weneye ulemavu, KathmanduNepal, Machi 2019. Picha kwa hisani ya IDA7

Ripoti Mwongozo ya IDA UTANGULIZIKama sehemu ya juhudi za IDA za mwongozo wa Elimu Jumuishi (zilizofadhiliwa naDFID), wawakilishi wa wanachama wanne wa IDA waliunda timu kazi ya kitaalamukuongoza juhudi hizo na uundaji wa elimu jumuishi, stahiki na bora. Wajumbe haowanne ni Shirika la Ujumuishi la Kimataifa (Inclusion International), Shirikisho laKimataifa la Watu wenye Usikivu Hafifu (the International Federation of Hard of HearingPeople), Umoja wa Wasioona Duniani (the World Blind Union) na Shirikisho la ViziwiDuniani (the World Federation of the Deaf). Wakati ripoti hii imekubaliwa na Muunganohuu kwa ujumla, mifano iliyotumiwa katika ripoti hii inaonyesha mtazamo juu yamsimamo uliokubaliwa kama ilivyoonyeshwa na mashirika manne wanachama wa IDAambao walishiriki kikamilifu katika timu kazi ya kitaalamu. Awamu inayofuata ya juhudiza mwongozo wa Elimu Jumuishi itaendelea zaidi, kupanua na kusambaza yaliyomokwenye ripoti kwa njia ambazo zinaakisi utofauti mpana wa harakati za haki za watuwenye ulemavu.2.1.1 Kikosi kazi cha elimu cha IDAShirika la Ujumuishi la Kimataifa (Inclusion International), mmoja wa wanachamawaanzilishi wa Shirikisho la KImataifa la Ulemavu, ni shirikisho la kimataifa la mashirikaya watu wenye ulemavu wa akili ya nchi mbalimbali na familia zao. Mashirika mengiwanachama yaliundwa na wazazi ambao watoto na vijana wao walikataliwa kuingiakatika shule za kawaida, na wengi walianza shule maalum za mwanzo za watoto navijana wenye ulemavu wa akili. Uzoefu wa uwepo wa shule maalum ulithibitisha uwezowa wanafunzi wenye ulemavu wa akili kujifunza, lakini pia ulipelekea wao kuweza kuishimbali na jamii zao. Kujumuishwa kwa wanafunzi wenye ulemavu wa akili katikamadarasa ya kawaida, kwa usaidizi maalumu, kulisababisha matokeo bora ya masomokwa wanafunzi wenye ulemavu na wasio na ulemavu na kuwaandaa wote kuwawanachama wa jamii jumuishi. Zaidi ya hapo, wanachama walitambua kuwahakutakuwa na rasilimali za kutosha kuendesha mifumo miwili tofauti kwa wakatimmoja - mfumo maalum wa elimu na mfumo wa kawaida wa elimu.Shirikisho la Kimataifa la Watu Wenye Usikivu Hafifu (The International Federation ofHard of Hearing People (IFHOH)), ambalo ni mwanachama wa Muungano wa Kimataifawa watu wenye Ulemavu, linawakilisha sauti ya watu ambao wana usikivu hafifu koteduniani na linajumuisha mashirika ya kitaifa ya watu wenye usikivu hafifu wenyewe.Kupitia mradi wa Elimu Jumuishi, kutengwa kwa watoto na vijana ambao wana usikivuhafifu kuhudhuria shule kwa sababu ya vizuizi vya kitamaduni kumebainika. Watotowenye usikivu hafifu wanataka umakini ili kukuza stadi za lugha na usikivu tangu utotoni.Wakati wote wa masomo yao, ushiriki wao kikamilifu unataka kuona mahitaji yao yaufikikaji, kama vile usikivu ulioboreshwa, maandishi mafupi ya ufafanuzi (captioning),vikitolewa, sambamba na huduma za usaidizi na mikakati madhubuti ya mawasiliano.Bila kufanya hivyo, wanafunzi ambao wana usikivu hafifu, wakati wako kwenye darasalililounganishwa, hawawezi kushiriki kikamilifu, na kwa hivyo kutengwa kwa msingi waulemavu wao. Haya ni masuala ambayo yanahitaji kushughulikiwa, ambayo ni sehemuya kiini cha hii ripoti mwongozo.Umoja wa Wasioona Duniani (WBU), ambao ni mwanachama wa Shirikisho la Kimataifala watu wenye Ulemavu, unawakilisha takriban watu milioni 253 duniani ambao ni watuwasioona na watu wenye uoni hafifu. Wanachama wake ni mashirika ya wasioona katika8

Ripoti Mwongozo ya IDA UTANGULIZInchi 190, na vilevile mashirika ya kimataifa yanayofanya kazi katika eneolinaloshughulika na watu wenye ulemavu wa macho. WBU na mshirika wake, Baraza laKimataifa la Elimu kwa Watu wenye Ulemavu wa macho (ICEVI), wanashirikiana kwakaribu juu ya masuala muhimu yanayohusu elimu ya wanafunzi wenye ulemavu wamacho. WBU inatambua kutokuwepo kwa usawa katika fursa za elimu kwa watoto navijana wasioona na wale wenye uoni hafifu, hasa katika nchi zinazoendelea za Afrika,Asia na Amerika ya Kusini, ambapo takriban 90% ya watoto na vijana wote wenyeulemavu wa macho wanaishi na ambapo chini ya 10 % ya watoto na vijana hawa kwasasa ndio wanaopata elimu, iliyo rasmi au isiyo rasmi. WBU inathibitisha kuwa:ujumuishwaji, elimu iliyo sahihi na fursa za kujifunza wakati wote maishani ni msingi wakuboresha maisha ya watu wenye ulemavu wa macho. WBU inaunga Kifungu cha 24 chaMkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Watu Wenye Ulemavu na inasisitiza kuwawanafunzi wenye ulemavu wa macho wanahitaji njia za kipekee za kufundishwa,kujifunza na mfumo wa tathmini ili kupata elimu bora na iliyo kamilifu. Lazima kuwepona ufikikaji wa mtaala kwa wanafunzi, mtaala lazima uwe nyumbufu ili kuruhusumabadiliko na ujumuishe masomo ya hesabu na sayansi. Wanapaswa kufundishwa stadiza kusoma na kuandika kwa nukta nundu (braille), kumudu mazingira na ujongeaji,utumiaji wa teknolojia ya upatikanaji wa habari na mawasiliano, kuchangamana katikajamii na kufanya shughuli za kila siku, ambayo baada ya maisha ya shule itasaidia kukuzamaendeleo yao kwa ujumla na kuwawezesha kuishi maisha ya kujitegemea katika jamii.Shirikisho la Viziwi Duniani (WFD), shirika lisilo la kiserikali la kimataifa lenyewanachama 125 ambao ni vyama toka mataifa mbalimbali na mwanachama mwanzilishiwa Shirikisho la watu wenye Ulemavu la Kimataifa, kwa muda mrefu limetetea watotoambao ni viziwi wapate elimu bora kwa lugha mbili katika lugha zao za ishara za kitaifa.UNCRPD (Kifungu cha 24 (3) na (4)) kinatambua haki za watoto ambao ni viziwikuelimishwa katika mazingira ambayo yanakuza maendeleo yao ya kielimu na kijamii.Haki na uwezo kamili wa kujifunza wa watoto ambao ni viziwi hutambuliwa katikamazingira yenye upana wa lugha, yaani: shule zinazotumia lugha mbili za ishara namazingira mengine ya kielimu ambayo ni sehemu ya mfumo wa elimu jumuishi. WFDinaamini elimu jumuishi kwa watoto ambao ni viziwi hupatikana kupitia shule borazenye lugha mbili za ishara na mazingira mengine ya kielimu yanayofundisha lugha yaishara ya kitaifa na lugha ya kitaifa inavyoandikwa. Mazingira haya ya lugha mbili huletapamoja wenzao ambao ni viziwi na watoto wengine wanaotumia lugha ya ishara, nawalimu wanaojua lugha ya ishara ya kitaifa, pamoja na walimu ambao ni viziwi; nakufundisha mtaala wa kitaifa pamoja na kufundisha lugha ya ishara na utamaduni waviziwi. Utaratibu huu una jukumu muhimu katika kudumisha lugha za ishara na jamii zaviziwi; pia zinawezesha ukuaji wa lugha muhimu ya ishara na kuwa chanzo kipya chamaendeleo ya utamaduni wa viziwi.9

Ripoti Mwongozo ya IDA UTANGULIZIIli kuendana na UNCRPD, serikali lazima ifanye ma

4.3.1 Elimu ya malezi ya awali na makuzi (ECEC), utambuzi wa mapema na afua za mapema (EIEI) . ECC Mtaala wa Msingi Uliopanuliwa ECEC Elimu ya awali ya utotoni na Uangalizi . MUHTASARI Ripoti hii ya dunia juu ya elimu jumuishi ina

Related Documents:

BROCHURE . Maeva i Bora Bora Nei, Discovering Bora Bora is opening your body and soul to a genuine experience enhanced by an exceptional heritage of unique sceneries. The atypical natural features of Bora Bora will satisfied nature lovers and

BROCHURE BRIEFING NOTES 2017-18 . Le Maitai Polynesia Bora Bora Bora Bora, Tahiti 3R 19 Conrad Bora Bora Nui Bora Bora, Tahiti 5R 21 Tikehau Pearl Beach Resort Tikehau, Tahiti 4R 22 Le Taha’a Island Resort & Spa Taha’a, Tahiti 5R 22 The Brando Tetiaroa, Tahiti 5R 23 The Samoan Outrigger Hotel Upolu, Samoa 2.5R 26 .

Bora Bora Early morning arrival in Bora Bora, possibly the most photographed place on earth. Our ship sails into Bora Bora lagoon with Mount Otemanu rising proudly at the center. Over the following two days, we will have a variety of optional activities to choose from, such as: A Bora Bora Cultural Tour by 4x4.

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa ikiboresha Mtaala wa Elimu ya Msingi kuhakikisha kwamba elimu inayotolewa ni bora na inayomwandaa mwanafunzi kumudu maisha katika mazingira yake. Muktadha huu umeifanya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iboreshe mchakato wa kufundisha

INTERCONTINENTAL BORA BORA RESORT & THALASSO SPA FOUR SEASONS RESORT BORA BORA CONRAD BORA BORA NUI A world-class resort and thalassotherapy spa located on its own islet, Motu Piti A’au, with spacious overwater villas, this luxury resort features spectacular mountain views and the world’s first overwater glass-floor wedding chapel.

the world, the island of Bora Bora is perhaps the best known of Polynesian islands. here on the Pearl of the Pacific, visitors will enoy a romantic stay in a place of unparalleled natural beauty. *at the “deep ocean Spa” in partnership with the intercontinental Bora Bora resort Thalasso Spa.

LE MERIDIEN BORA BORA RESORT Le Méridien Bora Bora is a Polynesian paradise offering extraordinary views of the island and overlooking Mount Otemanu as well as the Bora Bora lagoon. Situated on one of the finest beaches in the South Pacific, the resort is an ideal retreat for anyone seeking the ultimate in exclusive privacy. There are no roads and

standard , and tick applicability , Say How notes column , Risk and opportunities column , . (ISO 14001 requirement) Clause 6.1.4 Planning action Elimination of hazards and risks –either by the OH & S system or other BMS. Cross reference to Clause 8 (controls) and Clause 9 (M & M) Tip 8 Add plans to excel work book for year . Clause 6.2.1 OH & S objectives at all levels & Clause 6.2.2 .