FORM 3 MID TERM 2 2020 KISWAHILI PAPER 2

2y ago
193 Views
2 Downloads
458.64 KB
5 Pages
Last View : 6d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Kelvin Chao
Transcription

FORM 3 MID TERM 2 2020KISWAHILI PAPER 2UFAHAMUMUDA: SAA 1¼Soma taarifa hii kisha ujibu maswali yanayofuata.Lugha inaweza kuelezwa kwa jumla kuwa ni mfumo wa mawasiliano.Haiyamkinikikwa mtu yeyote kueleza chanzo au kiini cha lugha na sote tunakubaliana kuwa matumizi yakeyameanza tangu kuumbwa kwa binadamu kwani ni vigumu kukisia kuwepo kwa jamii ya watubila lugha ya mawasiliano yoyote ile.Katika taifa lolote , huwapo na lugha moja au hata zaidi ya moja ambayo huwa ndichochombo cha mawasiliano ya taifa katika nyanja za :elimu,maandishi,siasa na biashara.Kwamfano, mataifa kama Kanada hutumia lugha mbili kwa usawa kama lugha za taifa na zakikazi.Maana ya lugha ya taifa ni lugha moja ambayo huteuliwa kutumika katika shughuli zoteza taifa hasa katika nchi yenye lugha nyingi za kikabila.Lugha ya taifa ni muhimu sana kwamaisha na maendeleo ya taifa lolote lile.Lugha hii huwa ndiyo kiungo cha kuenezea umoja nauelewano miongoni mwa jamii nyingi tofauti na huwa kama kitambulisho kwao kuwa wao nindugu wa jamii moja kubwa ,yaani taifa lao.Kenya ni mfano mzuri wa taifa lenye lugha nyingi zinazozidi 40 za vikundi vidogovidogovya kikabila.Hapo kabla ya miaka mia moja hivi iliyopita kila kimojawapo cha vikundihivi kilijitambulisha kama kabila huru.Baada ya kuja kwa Serikali ya Kikoloni na hasa baada yaKenya kujinyakulia uhuru,haja ya kuunganisha raia wote chini ya taifa moja lenye uongozi nashabaha moja ilikuwa ndilo jambo lililozingatiwa sana.Kwa hivyo utamaduni wa taifa la Kenyani mchanganyiko wa tamaduni za watu wengi wenye mila,desturi imani na itikaditofauti.Utamaduni humaanisha jumla ya amali na tabia za watu wa jamii fulani.Amali hizizinafungamanisha fikira,ustaarabu,mila,taasisi na sanaa za aina zote za jamii inayohusika .Ilikujieneza na kujiimarisha ,taifa huhitaji chombo hicho kuwasiliana na kuwaunganisha watuwake wenye asili mbalimbali.Chombo hicho huwa ni lugha ambayo siyo tu kwamba ni sehemuya utamaduni wa jamii bali pia ni njia muhimu sana ya kutawanyia na kustawishia uleutamaduni.Katika taifa lenye lugha nyingi kama Kenya kwa mfano,lugha ya taifainayozungumzwa na kueleweka na baadhi kubwa ya raia ambayo imekiuka mipaka na tofautiza kikabila ni njia muhimu sana ya kueneza maongezi ya taifa na kuleta ufahamikiano borakote nchini.Kama zilivyo taasisi kama wimbo wa taifa ,bendera ya taifa au bunge la taifa,lughaya taifa ndicho kielelezo cha taifa lolote lile lililo huru.Lugha kama hiyo huvunja nakukomesha hisia za kibinafsi na kikabila na badala yake kuunda moyo wa uaminifu wa kitaifa.Page 1 of 5Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

Zaidi ya kuwa chombo cha mawasiliano,lugha ni kielelezo cha fikira na hisia zabinadamu.Lugha ya watu fulani haituelezi tu ujuzi au maarifa yao bali pia mtazamo wao wakimaisha falsafa na mawazo yao.Kwa ufupi lugha hutufahamisha namna akili za watuwaizungumzaya ile lugha zinavyofikiri na kufanya maazimio.Lugha ni sehemu ya utamaduni wataifa tulimozaliwa na lazima lugha hiyo ifunzwe katika muktadha wa maisha ya jamiiihusikayo.Utamaduni wa jamii havitenganiki na lugha yake.Maswali(a) Ni nini fasiri ya neno lugha ?(Alama 2)(b) Tofautisha baina ya lugha ya taifa na lugha ya kikazi.(Alama 2)(c) Kwa nini lugha ya taifa huhitajika sana katika nchi kama Kenya.(Alama 2)(d) Taja kazi nne kuu zinazotekelezwa na lugha ya taifa.(Alama 4)(e)Eleza maana za maneno na mafungu yafuatayo kama yalivyotumiwa katika taarifa hii:(i) Haiyamkiniki.(ii) Amali na tabia za watu.Page 2 of 5Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(iv) Kielelezo.(v) Muktadha wa maisha ya jamii.(Alama 5)2. Sarufi na matumizi ya lugha(ALAMA 25)(a) Taja vigezo viwili kuainisha konsonanti.(Alama 2)(b) Tofautisha sautizifuaatazo (i)/a/ na /i/(ii)/e/ na /o/(Alama 2)(c) Ainisha aina za vivumishi katika sentensi ifuatayo.(Alama 2)Mwalimu mzee alitufundisha vizuri ile mada ngumu.Page 3 of 5Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(d)Bainisha kirai husishi.(Alama 1)Paka alipanda juu ya mchungwa.(e)Tumia o-rejeshi katika sentensi hii.Mwanafunzi ambaye alitumwa nyumbani juzi hajarudi shuleni.(Alama 2)(f)Onyesha muundo wa kiarifa.Mama aliondoka jana asubuhi.(Alama 2)(g)Ainisha mofimu/sehemu za kisarufi.Kililiwa.(Alama 3)(h)Tunga sentensi yenye sehemu.KN(N V E) KT(T N)(Alama 3)(i)Taja matumizi mawili ya:Kiambishi li.(Alama 2)Page 4 of 5Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

(j)Shungi ni kwa nywele na zabibu ni .(Alama 1)(k)Geuza kwa usemi halisi.(Alama 3)Rais wa nchi alisema kuwa matokeo ya BBI yataleta wiano katika taifa nzima.(l)Andika visawe vya:i.ii.(Alama 2)WakatiDamu-Isimu jamii.(Alama 10)1. Eleza mikakati ambayo serikali ya kenya imeweka ili kufanikisha ukuaji na uenezi wa lughaya Kiswahili nchini.(Alama 10)Page 5 of 5Compiled & distributed by Schools Net Kenya, P.O. Box 15509-00503, Nairobi Tel: 254202319748E-mail: infosnkenya@gmail.com ORDER ANSWERS ONLINE at www.schoolsnetkenya.com

za taifa hasa katika nchi yenye lugha nyingi za kikabila.Lugha ya taifa ni muhimu sana kwa maisha na maendeleo ya taifa lolote lile.Lugha hii huwa ndiyo kiungo cha kuenezea umoja na uelewano miongoni mwa jamii nyingi tofauti na huwa kama kitambulisho kwao kuwa wao ni ndugu wa jamii moja

Related Documents:

MITSUBISHI METALWOOD CUSTOM SHAFTS OPTIONS mitsubishirayongolf.com Model Flex Weight Torque Tip Size Butt Size Launch Spin Tip Stiffness Fubuki J 60 X 66 3.9 0.335 0.600 Mid Mid Mid S 64 3.9 0.335 0.600 Mid Mid Mid R 61 3.9 0.335 0.600 Mid Mid Mid Fubuki J 70 X 74 3.6 0.335 0.600 Mid

Low Mid High Launch Spin Low Mid High Launch Spin KBS Hi-Rev 2.0 Wedge Flex R S X Tip.355" .355" .355" Weight (g) 115 125 135 Torque N/A N/A N/A Launch Mid Mid Mid Program Stock Stock Stock KBS TOUR 105 Flex R S X Tip.355" .355" .355" Weight (g) 105 110 115 Torque 2.5 2.5 2.5 Launch Mid-High Mid-High Mid-High Spin Mid-High M

Bhuj Mercantile Co-op. Bank RTGS Form . 12 BOB RTGS Form . 13 BOI RTGS Form . 14 CANARA BANK RTGS Form. 15 CBI RTGS Form . Federal Bank Second Page RTGS From . 20 HDFC RTGS Form. 21 HSBC RTGS Form. 22 ICICI Bank RTGS Form. 23 IDBI Bank RTGS Form. 24 IDFC First Bank RTGS Form. 25 Indian Overseas Bank RTGS Form . 26 INDUSLND Bank RTGS Form . 27 .

3.0 MID- AND LONG-TERM IMPLEMENTATION ACTION PLANS . 5 Strategy 1: Continue to acquire/develop sufficient knowledge, technical skills . In these cases, the NRC will work with developers on design-specific licensing project plans and the NRC may accelerate specific near-term and mid-term readiness activities, as needed, to support these .

Bottom rail, mid & top railS Top Rail Mid-Rail Bottom Rail how to measure mid-rail height When measuring the mid-rail height it is important to measure to the center point of where you would like the mid-rail to be placed. As the mid-rail is the same size as an individual louver, it will be placed approximately /- 1” for the specified height.

7-9 Assessment type Per term Per year Time Midterm test / End of the term Test 2 8 Mid-term & End of term Investigation in the form of holiday homework test 1 4 Beginning of the term Y e a r 1 0 Assessment/Activity Per term Per year Midterm test / End of the term Test/ Investigation 3 12 Common Semester Exam During sem1and Sem2 Format and .

To resume welding, return the con-trol to the desired sensitivity setting. 1 Recommended Sensitivity Settings Stick Electrode Mid-Range Short Circuiting (MIG) Low/Mid-Range Pulsed & Spray (MIG) Mid-Range Gas Tungsten Arc (TIG) Mid/High-Range Plasma Arc Cutting/Welding Low/Mid-Range

To update the program data, you need to play the following MIDI data in the order indicated using your MIDI Data Filer. 1. flash.mid (Program data about Program Update) 2. remote.mid (Remote Program Data) 3. main.mid (Program Data about Main CPU normal operation) 4. preset.mid (Preset Library Data ) 5. diag.mid (Diagnostics Program Data )