HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI - Kibitidc.go.tz

1y ago
17 Views
2 Downloads
600.43 KB
5 Pages
Last View : 14d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Grady Mosby
Transcription

HALMASHAURIYA WILAYA YA KIBITIKumb. Na MJSS/F1/2021Mzazi/mlezi wa mwanafunziYAH: MAAGIZO YA KUJIUNGA NA SHULE1. Ninayo furaha kukujulisha kuwa kijana wakoamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Mjawa mwaka2021. Shule yetu iko kijjii cha Mjawa Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani, ni shule yakutwa na mchanganyiko (Wavulana na Wasichana) muhula wa masomo utaanzaTarehe . Unatakiwa kumleta shuleni tarehe na mwisho wakuripoti ni tarehe Iwapo kijana wako hatofika shuleni hadi tarehehatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako.2. MAMBO YA MUHIMU YA KUZINGATIWA.2.1 SARE YA SHULE(a) Kwa wavulana ni:i.Suruali 02 rangi nyeusi (isiwe modo /mdomo wa chupaii.Mashati mawili mikono mifupi meupe.iii.Viatu vyeusi vya ngozi jozi 02iv.Soksi nyeusi jozi 02v.Mkanda mweusivi.Bukta rangi ya bluu kwa ajili ya michezovii.Raba rangi nyeupe kwa ajili ya michezoviii.T-shirt ya rangi ya bluu kwa ajili ya michezo(b) Kwa wasichana :i.Sketi mbili nyeusi mshono wa linda boksi ziwe ndefu kuvuka magotiii.Viatu vyeusi vya ngozi visiwe na visigino virefuiii.Raba rangi nyeupe kwa ajili ya michezo/track suit 02 kwa ajili ya michezoiv.Soksi nyeupe jozi mbiliv.Mashati meupe mikono mifupi au nusu kanzu itakayovaliwa na hijabu jozi 02.3. MAHITAJI YA DARASANIi. Madaftari makubwa (Counter book) au daftari zenye kurasa 80 ziwe kumi.ii. Mkebe wa Hisabatiiii. Kamusi ya kiingereza na Kiswahili (Dictionary)iv. Begi la kubebea madaftariv. Kalamu za wino wa blue/nyeusi na penseli za kutoshaUkurasa wa 1 kati ya5

HALMASHAURIYA WILAYA YA KIBITI4. MAMBO MENGINEI. Mwanafunzi aje na fagio ya chelewa ya wimaII. Mwanafunzi anatakiwa kuleta kiti na meza ( rejea kikao cha wazazi tarehe17/12/2020)5. UTORO/UJAUZITO KWA MWANAFUNZIPamoja na operesheni kubwa kitaifa, tumejipanga pia na kuthibiti utoro/ujauzito kwautaratibu maalum; Kwa utoro wa jumla wa majuma 02, mwanafunzi ataitwa na mzazi/mlezi wakembele ya kamati ya Nidhamu/Mkuu wa shule Utoro wa jumla ya majuma 04, mwanafunzi ataitwa na mzazi/mlezi wake mbeleya Kamati ya Bodi ya Shule Utoro wa zaidi ya majuma 04 mwanafunzi na mlezi/mzazi wake wataitwa mbeleya Afisa Mtendaji Kata kwa ajili ya kufikishwa mahakamani. Tafadhali sana, kuwa makini na maelezo/maelekezo haya na kuyatekeleza Vifaa vilivyoagizwa vitakaguliwa siku ya kuripotiMotto wa Shule yetu ni Fanya Vizuri Zaidi (Do the Best)KARIBU SANA!!NGOZI, A. CMKUU WA SHULEUkurasa wa 2 kati ya5

HALMASHAURIYA WILAYA YA KIBITISHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA KUZINGATIA UWAPO SHULENI NA NJE YA SHULE1. Unapokuwa eneo la shule; vaa sare za shule, sare za michezo kwa siku za michezo (shati jeupela mikono mifupi[lililochomekewa muda wote]sketi/suruali nyeusi) na t-shirt za blue [zenyenembo ya shule] zisizobana, kiatu cheusi [cha kamba, kisicho na madoido; raba na ‘boots’ sisehemu ya sare) na soksi (wasichana nyeupe/wavulana nyeusi)2. Unatakiwa kuongea Kiingereza wakati wote uwapo shuleni.3. Kutii kengele inapogongwa na kufika eneo husika kwa haraka4. Fuata ratiba kwa kuhudhuria unakotakiwa kwa wakati.5. Kuwahi shule tarehe husika ya kufungua shule, na saa moja kamili asubuhi kila siku za wiki,zaidi ya hapo utahesabika mchelewaji.6. Huruhusiwi kuondoka kabla ya muda ama kuwa mbali na eneo la shule muda wa masomo nawakati wa mapumziko mafupimafupi, isipokuwa kwa ruhusa maalum (utapewa pass)7. Sharti kuheshimuWimbo waTaifa na Bendera yaTaifa.8. Ni MARUFUKU kufuga ndevu/sharubu, nywele, kupaka kucha rangi/hina kwenyekucha/midomo, kuchonga nyusi, kuvaa hereni, kunyoa kihuni (kiduku, kipara cha wembe, panki,n.k)9. Ni MARUFUKU kuvuta sigara, tumbaku, kubwia ugoro, kunywa pombe au kutumia kilevi chaaina yoyote, kuingia vilabu vya pombe, nyumba za wageni (guest house)10. Heshimu walimu, wafanyakazi, viongozi (viranja, viongozi wa madarasa) wageni, shuleni na njeya shule (wapokee mizigo).11. Kuwajibika katika shughuli zote za kishule; Kitaaluma, kazi za mikono na shughuli zakimichezo.12. Onesha ushirikiano baina ya wanafunzi na walimu.13. Tunza vifaa na mali za shule14. Si ruksa kuchukua mali za shule yakiwemo mazao bila ruhusa ya mwalimu mwenye dhamana.15. Kuwa nadhifu wakati wote (usafi wa mwili , mavazi, na mazingira, madarasa, viwanja vyamichezo na kutunza bustani.16. Hurusiwi kumiliki simu, radio, wala kamera uwapo shule.17. Ruhusa/taarifa ya ugonjwa, dharura inaombwa/kutolewa na mzazi/mlezi wa mwanafunzi husika.Makosa yanayoweza kusababisha kusimamishwa/kufukuzwa shule:i. Kudharau Bendera ya taifa au wimbo wa Taifa na alama nyingine za Taifa.ii. Kupigana au kupiga(ugomvi)iii. Kudharau uongozi wa shule, walimu na viongozi wa wanafunziiv. Kukataa au kugomea adhabuv. Kutukana, Wizi, Ubakajivi. Uasherati na ushogavii. Ulevi na matumizi ya madawa ya kulevya kama vile uvutaji wa bangi, sigara, kuberi, cocaine n.kviii. Kusababisha, kupata au kutoa mimbaix. Kuharibu kwa makusudi mali ya ummax. Kuoa au kuolewaxi. Kumiliki na kutumia simu ya mkononi, radio na kamera shuleni.xii. Utoro suguxiii. Kuchochea, kugoma na kuongoza mgomo au kushiriki kuvuruga amani na usalama was hule au watuwenginexiv. Makosa ya jinaiTII SHERIA BILA SHURUTI KWA MAENDELEO YA SHULE YETU!Ukurasa wa 3 kati ya5

HALMASHAURIYA WILAYA YA KIBITIFOMU YA KUKIRI/KUKUBALIANA NA SHERIA, KANUNI NA MAELEKEZOMENGINE YANAYOTOLEWA NA SHULEMimimzazi/mleziwamwanafunziwa Kidato cha katika Shule ya Sekondari Mjawa,ninakiri kwamba nimesoma na kuelewa maelekezo ya shule na nathibitisha kuwa nipo tayarikuyafuata kikamilifu kama nitakavyoelekezwa na Uongozi wa shule, Bodi ya Shule auHalmashauri ya Wilaya ya Kibiti kwa maendeleo ya shule na mwanafunzi. Hii ni pamoja naupatikanaji wa huduma zote anazotakiwa kuzipata.S. L. P , Kitongoji cha , Kijiji cha , Kata yaTarafa , Simu SainiMimi , mwanafunzi NAKUBALI/SIKUBALI (kata isiyohusika)nafasi hii niliyopewa na serikali/taifa kusoma katika shule hii. Naahidi kujifunza masomo yotekwa bidii na kufanya mitihani yote na kwamba nitakuwa mwaminifu na mvumilivu, sitakuwamtoro wala mdanganyifu kwa muda wote na mahali popote, pia nitafuata sheria na taratibu zashule kama nitakavyoelekezwa na uongozi wa shule .Mgomo au maandamano kwangu mwiko!Jina la MwanafunziTarehe SainiKIAMBATANISHO ‘C’: ina Kamili la Mwanafunzi:Tarehe ya Kuzaliwa:Mahali alipozaliwa:Uraia:Shule ya Msingi alipomaliza:Dini yake:Jina la Mzazi/Mlezi:Kazi ya Mzazi/Mlezi:Anuani yake:Namba ya simu:(Mabadiliko yoyote mawasiliano hapo juu yawasilishwe shuleni mara moja )Majina ya Ndugu/Jamaa wa Karibu na mawasiliano yaoNa.01.02.JinaUhusianoUkurasa wa 4 kati ya5Anuani/Simu

HALMASHAURIYA WILAYA YA KIBITIREQUEST FOR MEDICAL EXAMINATIONTo: THE MEDICAL OFFICER,Please examine .As his/her fitness as a student in the following areas:Eye sight .Hearing .Speech .Specimen .i. Stool .ii. Urine .iii. Blood .5. Asthma .6. T. B .7. Pregnancy (for girls) .8. Other diseases 9. Any disability reported .10. Hereditary diseases especially Diabetes/ Epileptic 1.2.3.4.MEDICAL CERTIFICATION:Ihave examined the above mention student and found that he/she is physically fit/unfit as astudent.Signature: Designation: Station Date: Note: At the examination please treat the individual for any illness noted.Ukurasa wa 5 kati ya5

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI Ukurasa wa 3 kati ya5 SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA KUZINGATIA UWAPO SHULENI NA NJE YA SHULE 1. Unapokuwa eneo la shule; vaa sare za shule, sare za michezo kwa siku za michezo (shati jeupe la mikono mifupi[lililochomekewa muda wote]sketi/suruali nyeusi) na t-shirt za blue [zenye nembo ya shule] zisizobana, kiatu cheusi [cha kamba, kisicho na madoido; raba na .

Related Documents:

3. JIOGRAFIA YA WILAYA. Wilaya ipo kilomita 171 kutoka Manispaa ya Bukoba - ambayo ni Makao Makuu ya Mkoa wa Kagera. Wilaya inapatikana kati ya nyuzi 20 15' - 30 15' Kusini mwa Ikweta na 31o - 32o Mashariki mwa "Standard Meridian". 4. HALI YA HEWA Hali ya hewa kwa ujumla ni joto la wastani wa 270 C. Kijiografia Wilaya ya

Lindi 6.30-6.50 Chikonji Mwenge kuweka jiwe la msingi Mradi wa Maji. 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 6.50-7.00 10Chikonji Mwenge kuelekea S/M Kineng‟ene. Mkuu wa Wilaya ya Lindi 7.00-8.00 S/M Kineng‟ene. CHAKULA CHA MCHANA 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 8.00-8.15 S/M kineng‟ene Mwenge kuelekea Shule ya Sekondari Mkonge. 15 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 8. .

Mhariri Mkuu JoinaJimmy Nzali 0716880568/ 0755238887 Wahariri wasidizi Ruth FueTuzo SifaelKulanga Mashaka mfaume Mhariri Michezo Ekoni E. Frank 0787382972 Jarida hili uchapishwa kwa Ushirikiano wa Halmashauri ya Wilaya Masasi na GIZ international kwa Maendeleo ya Wilaya ya Masasi. ZIARA YA MAFUNZO WILAYANI MBEYA : Tembea uoneuk. 3

Maana ya Serikali za Mitaa na Dhana ya kupeleka Madaraka kwa Wananchi 2 Mfumo na Muundo wa Serikali za Mitaa 3 Mamlaka za Wilaya 3 Mamlaka za Miji 5 Muundo wa Serikali za Mitaa mbalimbali 6 Kitongoji 6 Mtaa 6 Kijiji 7 Kamati ya Maendeleo ya Kata 7 Mamlaka ya Mji Mdogo 8 Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Jiji (kama vile Mwanza) 8

Pamoja na taasisi zilizotajwa kuna shule shikizi (satellite schools) 44 ambapo kila halmashauri ina shule za namna hiyo ambazo baadaye zitakuwa shule kamili. . Kwa mkoa wa Lindi mtihani huu umefanyika katika shule 480 zenye jumla ya wanafunzi 17,519 wakiwemo wavulana 8,117 na wasichana 9,402 katika halmashauri 6 za mkoa wa Lindi. Aidha .

i UTHIBITISHO Aliyeidhinisha hapa chini anathibitisha kwamba ameisoma tasnifu hii inayoitwa ; "Upimaji wa ufahamu wa kiswahili kama lugha ya kufundishia shule za msingi : mifano kifani toka halmashauri ya wilaya ya Geita", na ameridhika kwamba imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa kuwasilishwa kwa ajili ya

2012 Kamati ya Elimu ya Wilaya ya Oloitokitok Kiswahili 102/3 Fungua Ukurusa 3 SEHEMU B: TAMTHILIA - KIFO KISIMANI KITHAKA WA MBERIA Jibu swali la 2 au la 3 2. Nimeshakwambia tulale hapa langoni! Tulale umati unaokuja kumtoa mfungwa gerezani utukute hapa. Watu wanatupenda sana kwa kazi ya kumzuia mfungwa gerezani. Kwa hivyo, tuwasubiri waje watupe mafuta. (a) Eleza muktadha wa dondoo hili .

standard , and tick applicability , Say How notes column , Risk and opportunities column , . (ISO 14001 requirement) Clause 6.1.4 Planning action Elimination of hazards and risks –either by the OH & S system or other BMS. Cross reference to Clause 8 (controls) and Clause 9 (M & M) Tip 8 Add plans to excel work book for year . Clause 6.2.1 OH & S objectives at all levels & Clause 6.2.2 .