Muhtasari Wa Ripoti Ya Dunia Ya Ufuatiliaji Wa Elimu, 2019 .

2y ago
91 Views
2 Downloads
6.76 MB
64 Pages
Last View : 13d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Jacoby Zeller
Transcription

M U H TA S A R I WA R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U2019Uhamiaji, ufurushwajina elimu:K U U N G A N I S H A J A M I I BA DA L A YA K U IG AWA N YAUnited NationsEducational, Scientific andCultural OrganizationSustainableDevelopmentGoals

M U H TA S A R I WA R I P OT I YA D U N I A YA U F UAT I L I A J I WA E L I M U2019Uhamiaji, ufurushwaji naelimu:K U U N G A N I S H A J A M I I B A DA L A YA K U IG AWA N YA

M U H TA S A R IR I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9Azimio la Incheon la elimu la 2030 na Mfumo wa Utekelezaji zinabainisha kuwa mamlaka ya Ripoti ya Duniaya Ufuatiliaji wa Elimu ni kuwa "utaratibu wa kufuatilia na kuripoti juu yaLengo nambari 4 katikaMaendeleao Endelevu (SDG 4) na juu ya elimu katika malengo mengine” Wajibu wake ni kuripoti kuhusuutekelezaji wa mikakati ya kitaifa na kimataifa ilikuhakikisha kuwa washirika wote husika wanatimiza ahadizao kama sehemu ya ufuatiliaji naukaguzi wa jumla wa malengo ya SDG Ripoti hii imeandaliwa na timu yakujitegemea kwa ushirikiano na UNESCO.Majina yaliyotumika na uwasilishaji wa maudhui katika chapisho hili hayawasilishi maoni ya UNESCOkuhusiana na sheria ya nchi, taifa, jiji au eneo lolote lile, au mamlaka yake, au kuhusiana na uh mipaka yake.Wajumbe wa timu hii wanawajibika kwa uchaguzi na uwasilishaji wa ukweli na maoni yaliyo katika kitabihiki, ambayo si lazima yawe yanambatana na yale ya UNESCO na UNESCO haiwajibiki. Mkurugenzi wakeanawajibika kwa mawazo na maoni yaliyotolewa katika Ripoti hii.Timu ya Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji wa ElimuMkurugenzi: Manos AntoninisDaniel April, Bilal Barakat, Madeleine Barry, Nicole Bella, Anna Cristina D’Addio, Glen Hertelendy,Sébastien Hine, Priyadarshani Joshi, Katarzyna Kubacka, Kate Linkins, Leila Loupis, KassianiLythrangomitis, Alasdair McWilliam, Anissa Mechtar, Claudine Mukizwa, Yuki Murakami, CarlosAlfonso Obregón Melgar, Judith Randrianatoavina, Kate Redman, Maria Rojnov, Anna EwaRuszkiewicz, Will Smith, Rosa Vidarte na Lema Zekrya.Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji wa Elimu ni toleo huru linalochapishwa kila mwaka. Ripoti hii imegharamiwana muungano wa serikali mbalimbali, taasisi za kimataifa na mifuko binafsi na kuwezeshwa na UNESCO.United NationsEducational, Scientific andCultural Organization4SustainableDevelopmentGoals

R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9M U H TA S A R IRipoti hii inapatikana kwa kila mtu chini ya leseni ya IGO (CC-BY-SA 3.0 IGO) ya Attribution-ShareAlike3.0 /). Kwa kutumia maudhui yaliyo ndani ya ripotihii, watumiaji wanakubali kutii masharti ya matumizi ya UNESCO Open Access Repository a-en).Leseni ya sasa inasimamia sehemu ya maandishi pekee. Ili kutumia nyenzo yoyote ambayo haijabainishwakuwa ni inamilikiwa na UNESCO, anayetaka kutumia atahitaji kuomba ruhusa mapema kutoka: publication.copyright@unesco.org au UNESCO Publishing, 7, place de Fontenoy, 75352 Paris 07 SP Ufaransa.Kichwa asili kwa Kiingereza: Global Education Monitoring Report Summary 2019: Migration, displacementand education: Building bridges, not wallsRipoti hii inaweza kutajwa kama: UNESCO. 2018. Muhtasari wa Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji wa Elimu 2019:Uhamiaji, Ufurushwaji na Elimu - Kuunganisha jamii badala ya Kuigawanya. Paris, UNESCO.Kwa taarifa zaidi kuhusu ripoti hii,tafadhali wasiliana na:Timu ya Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji waElimuk.k UNESCO, 7, place de FontenoyParis 07 SP, UfaransaBarua pepe: gemreport@unesco.orgSimu: 33 1 45 68 07 ordpress.comMakosa yoyote ya kiuchapishaji aukuondolewa kwa baadhi ya manenoyatarekebishwa kwenye toleo litakalowekwakwenye tovuti yawww.unesco.org/gemreport UNESCO, 2018Haki zote zimehifadhiwaToleo la kwanzaIlichapishwa mwaka wa 2018 na Shirika laUmoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi naUtamaduni7, Place de Fontenoy, 75352Paris 07 SP, UfaransaMpangilio wa uchapishaji umefanywa na UNESCOUbunifu wa vielelezo: FHI 360Mpangilio: UNESCOMpangilio wa kurasa na Apricot Business SolutionsED-2018/WS/51Ripoti zilizotangulia2019Uhamiaji, ufurushwaji na elimu: Kuunganisha jamii badala ya kuigawanya2017/8 Uwajibikaji katika elimu: Kutimiza ahadizetu2016Elimu kwa ajili ya watu na dunia: Kujengahatima endelevu kwa woteRipoti zilizotangulia2015Elimu kwa Wote 2000-2015: Mafanikiona changamoto2013/4 Kufundisha na kujifunza: Kufanikishaubora kwa wote2012Vijana na stadi: Kufanya elimu yenyemanufaa kwa kazi2011Mgogoro ulifichika: Mapambano yasilaha na elimu2010Kuzifika jamii zilizoko pembezoni2009Kuushinda ubaguzi: Umuhimu wautawala bora2008Elimu kwa Wote kufikia 2015: Je,tutaweza?2007Msingi Imara: Maelezi na elimu ya awali2006Kusoma, kuandika na kuhesabu kwa ajiliya maisha2005Elimu kwa Wote: Ubora ni kigezo2003/4 Jinsia na Elimu kwa Wote: Kuelekeausawa2002Elimu kwa Wote: Je, dunia inafuatamwelekeo sahihi?Picha ya jalada: Rushdi Sarraj/UNRWANukuu: Wanafunzi wakimbizi wa Palestina katikasiku yao ya kwanza kwenye shule za UNRWA,muhula wa pili, huko Gaza.Michoro: Housatonic Design NetworkRipoti hii na maudhui yote yanazohusiana yanaweza kupakuliwa hapa:http://bit.ly/2019gemreport5

R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9M U H TA S A R IDibajiWatu daima wamehama kutoka sehemu moja hadi nyingine, wengine wakitafuta nafasi bora zaidi na wenginewakikimbia hatari. Harakati hizi zinaweza kuathari pakubwa mifumo ya elimu. Toleo la mwaka wa 2019 la Ripoti yaDunia ya Ufuatiliaji wa Elimu ndilo la kwanza la aina yake kuchunguza masuala haya kwa kina katika maeneo yoteduniani.Ripoti hii imetolewa kwa wakati unaofaa, kwani ndiyo jumuiya ya kimataifa inapomalizia mikataba miwili muhimuya kimataifa: Mkataba wa Kimataifa wa Uhamiaji Salama, wenye Utaratibu na wa Mara kwa Mara (Global Compactfor Safe, Orderly and Regular Migration) na Mkataba wa Kimataifa juu ya Wakimbizi (Global Compact on Refugees).Mikataba hii ya kipekee - pamoja na ahadi za kimataifa za elimu zilizo katika lengo la nne la Maendeleo Endelevuya Umoja wa Mataifa - zinaonyesha haja ya kushughulikia elimu kwa ajili ya wahamiaji na waliofurushwa makwao.Ripoti hii ya GEM ni nyenzo muhimu ya kurejelewa na watunga sera wenye jukumu la kutimiza matarajio yetu.Sheria na sera zilizopo kwa sasa zinashindwa kuwawakilisha wahamiaji na watoto wakimbizi kwa kupuuza hakizao na mahitaji yao. Wahamiaji, wakimbizi na watu waliofurushwa makwao ndani ya nchi, ni baadhi ya watuwanaokabiliwa na mazingira magumu zaidi duniani. Kikundi hiki kinajumuisha wale wanaoishi katika makazi duni,wale wanaohama kwa misimu ili kujitafutia riziki na watoto wafungwa. Hata hivyo, mara kwa mara wanakatazwakuingia shule ambazo zinawapa usalama na ahadi ya maisha bora.Kupuuza elimu ya wahamiaji ni kupoteza uwezo mkubwa ulio ndani ya binadamu. Wakati mwingine shughuli rahisiya kutayarisha hati rasmi, ukosefu wa data au mifumo yenye ukiritimba na inayokosa utaratibu hufanya watuwengi kutojumuishwa katika sajili ya serikali. Hata hivyo kuwekeza katika elimu ya wahamiaji na wakimbizi wenyevipaji na ari kunaweza kuendeleza maendeleo na kukuza uchumi, sio tu katika nchi walikohamia bali hata katikanchi walikotoka.Kutoa elimu pekee hakutoshi. Mazingira ya shule yanahitajika kurekebishwa na kukidhi mahitaji ya wale wanaohama.Kuweka wahamiaji na wakimbizi katika shule moja na wenyeji ni hatua muhimu katika kujenga ushirikiano wakijamii. Hata hivyo, njia na lugha inayotumiwa kufundisha pamoja na ubaguzi, yanaweza kuwafanya wasijiungena shule.Ni muhimu walimu wawe wamepewa mafunzo yanayoyofaa ili kuhakikisha wanawashirikisha wanafunzi wahamiajina wakimbizi. Lakini pia, walimu hao wanahitaji usaidizi ili kufunza madarasa yenye wanafunzi wanaozungumza lughana wenye tamaduni mbalimbali, mara nyingi wakiwemo wanafunzi wenye mahitaji ya kisaikolojia.Ni muhimu kuwa na mtalaa ulioandaliwa vizuri ili kuunga mkono uanuwai, mtalaa unaowapa wanafunzi ujuzimuhimu na unaokabiliana na ubaguzi. Manufaa ya mtalaa kama huu hayataonekana darasani tu bali hata nje yadarasa. Wakati mwingine, vitabu vinavyotumiwa darasani vinajumuisha maelezo ya uhamiaji yaliyopitwa na wakatihivyo kukatiza juhudi za kuwashirikisha wahamiaji. Mitalaa mingi si rahisi kubadilisha hivyo inashindwa kuzifaajamii ambazo zinahamahama.Ili kuweza kuwapa elimu na kuwajumuisha watoto zaidi, ni lazima kuwe na uwekezaji, ambao nchi nyingi zinazopokeawahamiaji haziwezi kufanya peke yake. Msaada unaotolewa kwa sasa haukidhi mahitaji ya watoto kwa sababumara nyingi ni mdogo na kutolewa kwake si hakika. Mfuko mpya wa Elimu Haiwezi Kusubiri (Education CannotWait) ni njia muhimu ya kufikia baadhi ya wale walioathirika zaidi.Ujumbe wa ripoti hii ni wazi: kuwekeza katika elimu ya jamii zinazohamahama ndio uamuzi unaoweza kuelekezakwa maisha yenye kukatisha tamaa na machafuko au maisha yenye mshikamano na amani.Audrey AzoulayMkurugenzi Mkuu wa UNESCO7

M U H TA S A R I8R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9

R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9M U H TA S A R IDibajiRipoti yaDunia ya Ufuatiliaji wa Elimu ya mwaka wa 2019imeandaliwa kwa kuwashirikisha timu ya wahamiaji wakimataifa. Wanne kati yao ni watoto wa wakimbizi. Hawakatai kuwa watu wana mitazamo tofauti kuhusu suala lauhamiaji na wahamiaji. Utafiti wao unaonyesha jinsi ambavyo elimu inaweza kusaidia kupanua mitazamo hiyo nakuwapa wote fursa kubwa zaidi.Kuna mambo ambayo wahamiaji, wakimbizi na wenyeji wanayajua na wasioyajua. Hata hivyo, kuna watu ambaohawajui lingine ila kunyimwa na haja walio nayo ya kutoroka hali ile; hawajui kama kutakuwa na nafasi kulewanakoelekea. Wenyeji wanaowapata hawajui zile majirani wao wapya, wenye mavazi tofauti, desturi tofauti nawanaozungumza kwa lafudhi tofauti watabadilisha maisha yao.Uhamiaji huja na sifa mbili: utaratibu na vurugu. Mara nyingi jamii zinajitahidi kudhibiti harakati za watu kuhama. Hatahivyo, jamii hizi zinaweza kupokea idadi kubwa ya wahamaji bila kutarajia. Harakati hizo zinaweza kuwagawanya watuupya, ingawa wakati mwingine zimefaidi pakubwa nchi wanakotoka na kule wanakoenda.Watu wanapohama, kuna wale wanaojitakia na wale wanaolazimishwa. Watu wengine huamua kuhama ili kufanya kazina kusoma, huku wengine wakilazimika kukimbia mateso na vitisho. Jamii zinazowapokea na wanasiasa wanawezakujadili bila kukoma, ikiwa wale wanaokuja wanasukumwa au wanasukuma, ni halali au haramu, wana faida au nitishio au ikiwa watasaidia au ni mzigo.Kuna wale wanaowapokea na wale wanaowakataa. Watu wengine huweza kuishi katika mazingira yao mapya hukuwengine wakishindwa. Kuna wale wanaotaka kusaidia na wale wanaotaka kutenga.Kwa hiyo, kote duniani tunaona masuala ya uhamiaji na ufurushwaji yakizua hisia kali. Hata hivyo, kuna maamuziyanayohitaji kufanywa. Uhamiaji unahitaji majibu. Tunaweza kuongeza vikwazo au tunaweza kuegemea upandemwingine, yaani, kujengaimani, kushirikisha, kuhakikishia.Katika ngazi ya kimataifa, shirika la Umoja wa Mataifa limetia jitihada ili kushirikisha mataifa pamoja katika kuungamkono masuluhisho ya kudumu ya changamoto za uhamaji na ufurushwaji. Katika Mkutano ulioandaliwa mwakawa 2016 na Umoja wa Mataifa kuhusu suala la Wakimbizi na Wahamiaji, niliomba tuwekeze katika kuzuia mapigano,upatanisho, utawala bora, utawala wa sheria na kuwajumuisha wote katika kukuza uchumi. Pia nilielezea haja yakupanua upatikanaji wa huduma za msingi kwa wahamiaji ili kukabiliana na suala la kutokuwa na usawa.Ripoti hii inapanua zaidi hoja ya mwisho kwa kutukumbusha kwamba kutoa elimu sio tu wajibu unaotokana namaadili ya wale wanaohusika, lakini pia ni suluhisho la mambo mengi yanayotokana na watu kuhama. Lazima iwe,na inafaa tayari kuwa, sehemu muhimu ya njia za kukabiliana na uhamiaji na ufurushwaji - wazo ambalo wakatiwake umefika, kulingana na yaliyoandikwa katika mikataba miwili za kimataifa kuhusu wahamiaji na wakimbizi.Wale wanaonyimwa elimu watajiona wamebaguliwa na kukata tamaa. Elimu ikitolewa kwa njia isiyofaa, inawezakupotosha historia na kusababisha kutoelewana.Lakini, kama Ripoti inavyotuonyesha kupitia mifano mingi inayotia moyo ya nchi kama Kanada, Chad, Colombia,Ireland, Lebanon, Ufilipino, Uturuki na Uganda, elimu inaweza pia kuwa daraja. Inaweza kuwasaidia watu wengina kuwafanya watupilie mbali mitazamo iliyopitwa na wakati, utengaji na ubaguzi na kuanza kuwa na umakinifu,umoja na uwazi. Inaweza kuwafaa wale waliopata mateso na kuwapa nafasi wale ambao wanaoihitaji sana.Ripoti hii inazungumzia moja kwa moja changamoto kuu: walimu wanawezaje kusaidiwa ili waweze kuwajumuishawanafunzi wote. Inatupa maarifa ya kushangaza kuhusu ubinadamu na suala hili la kutoka jadi la uhamiaji.Ninakualika uzingatie mapendekezo yake na uyatekeleze.Mheshimiwa Helen ClarkMwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Taarifa ya GEM9

M U H TA S A R I10R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9

R I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9M U H TA S A R IUhamiaji, ufurushwaji na elimuVisa vya kuhamasisha na kusisimua vya uhamiaji na ufurushwaji hutokea duniani kote. Visa hivi vilivyojawa natamaa, matumaini, hofu, matarajio, ujuzi, kuridhika, mhanga, ujasiri, uvumilivu na dhiki hutukumbusha kwamba‘uhamiaji ni kiashiria cha hamu ya binadamu ya kutaka heshima, usalama na maisha bora. Ni sehemu msingi yajamii, mojawapo ya nguzo zinazotutambulisha kama binadamu Hata hivyo, uhamiaji na ufurushwaji ‘pia ni chanzocha mgawanyiko ndani na kati ya Mataifa na jamii . Katika miaka ya hivi karibuni, kuhama kwa makundi makubwaya watu, wakiwemo wahamiaji na wakimbizi, kumevuruga faida kubwa za uhamiaji.Ingawa kuna majukumu ya pamoja katika kutimiza hatima yetu sote iliyoidhinishwa rasmi katika Ajenda ya 2030ya Maendeleo Endelevu, uhamiaji na ufurushwaji huendelea kuibua hisia hasi katika jamii. Hisia hizi hutumiwa nabaadhi ya watu ambao wanaona faida katika kugawanya jamii badala ya kuileta pamoja. Hapa ndipo jukumu laelimu la ‘kukuza uelewa, uvumilivu na urafiki miongoni mwa mataifa yote, makundi ya kikabila au ya dini’, ahadi kuukatika Azimio la Umoja wa Haki za Binadamu, linachukua nafasi muhimu.Ripoti hii inaangalia masuala ya uhamiaji na ufurushwaji kupitia macho ya walimu na wasimamizi wa elimuwanakabiliwa na suala la madarasa, shule, jumuiya, masoko ya kazi na jamii zenye watu kutoka maeneo mbalimbali.Mifumo ya elimu ulimwenguni kote imeungana katika ‘kuhakikisha elimu bora inayowajumuisha wote na kwausawa inapatikana, na kuwapa wote fursa za kujifunza’ na ‘kutomwacha yeyote nyuma’. Ili wanafunzi wote wawezekutimiza ahadi zao, mifumo ya elimu inahitaji kurekebisha ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi hao bila kujali asili zao.Pia inahitaji kutimiza mahitaji ya jamii ‘ya kuwa thabiti na kukabiliana na masuala ya uhamiaji na ufurushwaji changamoto inayoathiri nchi zilizo na idadi kubwa na ndogo ya wahamiaji na wakimbizi.Aina zote za kuhama kwa watu zimejumuishwa. Kwa wastani, mtu 1 kati ya 8 ni wahamiaji wa ndani. Uhamiaji huuunaweza kuwa na madhara makubwa kwa fursa za elimu za wale wanaohama na wale walioachwa nyuma, hasakatika nchi za mapato ya chini na ya kati ambazo miji yake inaendelea kukua kwa kasi. Mtu 1 kati ya 30 wanaishikatika nchi tofauti na walipozaliwa. Karibu theluthi mbili ya wahamiaji wa kimataifa wanaelekea nchi za kipato chajuu. Ingawa wengi huhama ili kufanya kazi, baadhi pia huhamia ili kupata elimu. Na uhamaji wa kimataifa pia huathirielimu ya watoto wao. Mtu 1 kati ya 80 hulazimika kuhamia ndani au nje ya nchi kutokana na mapigano au maafaasilia.Tisakati ya kumi, kati ya hawa huishi katika nchi za kipato cha chini na cha kati. Ni muhimu kuwajumuishakatika mifumo ya kitaifa ya elimu ingawa suala hili litalingana na mazingira ya kipekee ya ufurushwaji.Uhusiano kati ya uhamiaji na ufurushwaji na elimu una pande mbili-tatanishi na huathiri wale wanaohama, walewanaobaki na wale ambao hukaribisha wahamiaji na wakimbizi (Jedwali 1). Utambuzi wa ni wakati upi katika maishaambapo watu wanafikiri au kuamua kuhama ni kigezo msingi katika maamuzi ya uwekezaji, ukatizwaji, uzoefuna matokeo katika elimu.Watoto wanaohama kutoka maeneo yenye viwango vya chini vya maendeleo ya elimuwanaweza kupata fursa ambazo hawangepata. Wakati huo huo, utimizaji wa malengo ya elimu na mafanikio yawanafunzi wahamiaji mara nyingi huwa nyuma ya wanafunzi wenyeji.J E DWALI LA 1:Mifano kadhaa ya uhusiano kati ya elimu na uhamiaji / ufurushwajiNchiwanakotokaNchiwanakoendaAthari za uhamiaji / ufurushwaji kwenye elimuAthari za elimu kwenye uhamiaji / ufurushwajiWahamiaji Uhamiaji huzua changamoto za kupata bidhaa msingi katika makazi duni. Mifumo ya elimu inahitaji kurekebishwa ili kukidhi mahitaji ya watuwanaohamia katika mifumo ya msimu au ya mzunguko. Waliopata elimu ya juu ndio walio na uwezekano mkubwa zaidi wa kuhama.Waliobakinyuma Uhamiaji hupunguza idadi ya watu katika maeneo ya vijijini na kutatiza utoajiwa elimu. Upelekaji fedha kwingine huathiri elimu katika jamii asilia Kutokuwepo kwa wazazi kunaathiri watoto walioachwa nyuma. Uwezekano wa watu kuhama hupunguza motisha wa kuwekeza katika elimu. Miradi mipya huandaa wale ambao wangependa kuhama. Kuhama kwa waliopata elimu huathiri maendeleo ya maeneo yaliyoathirika,kwa mfano kupitia kuhama kwa wataalamu.Wahamiaji nawakimbizi Fursa ya kupata na ufanisi katika elimukwa wahamiaji na watoto wao huwanyuma ya wenyeji. Wakimbizi wanahitaji kujumuishwa katika mifumo ya kitaifa ya elimu. Haki ya wakimbizi kupata elimu inahitaji kuhakikishwa. Wahamiaji huwa wamehitimu kupita kiasi kinachohitajika, ujuzi waohautambuliwi au hautumiwi na maisha yao huwa yamebadilika. Umataifishaji wa elimu ya juu huchochea wanafunzi kuhama.Wenyeji Uanuwai darasani unahitaji walimu waliotayarishwa kwa njia bora zaidi,mipango inayolengwa wanafunzi wapya ili kuwasaidia na kuzuia utengano, nadata iliyogawanyika. Elimu ya darasani na ya nje ya darasa inaweza kujenga jamii imara, kupunguzachuki na ubaguzi.11

M U H TA S A R IR I P OT I YA D U N I A YA U F U AT I L I A J I WA E L I M U 2 0 1 9Uhamiaji na ufurushwaji huhitaji mifumo ya elimu ili kuzingatia mahitaji ya wale wanaohama na wale wanaoachwanyuma. Nchi zinahitaji kutambua katika sheria haki ya wahamiaji na wakimbizi ya kupata elimu, na kutekeleza sheriahii. Wanahitaji kuhakikisha elimu inawafaa wale walio katika makazi duni, wale ni wahamahamaji au wanaosubiri kuandikishwa kamaUhamiaji na ufurushwaji huhitajiwakimbizi. Mifumo ya elimu inahitaji kuwajumuisha wote na kutimizamifumo ya elimu ili kuzingatiaahadi ya usawa. Walimu wanapaswa kujiandaa kukabiliana na uanuwaina masumbuko yanayohusiana na uhamiaji na hasa, ufurushwaji.mahitaji ya wale wanaohama naKuna haja ya kupiga msasa utambuzi wa sifa na mahitaji ya awaliwale wanaoachwa nyumaya mafunzo ili kutumia kikamilifu ujuzi wa wahamiaji na wakimbizi, ambao huchangia sana katika ustawi wa muda mrefu.Elimu pia huathiri sana uhamiaji na ufurushwaji - katika upana wake na jinsi yanavyotazamwa. Elimu ni kichocheo kikubwakatika uamuzi wa kuhama, kinachochangia katika juhudi za kutafuta maisha bora. Elimu huathiri mtazamo wa wahamiaji,matarajio na imani yao, na kiwango ambacho watajihisi nyumbani katika mahali walikohamia. Kuongezeka kwa uanuwaidarasani kuna changamoto, ikiwa ni pamoja na kwa wenyeji (hususan maskini na waliotengwa), lakini pia hutoa fursa zakujifunza kutoka kwa tamaduni na uzoefu tofauti. Imo haja ya kuwa na mitalaa inayoshughulikia mitazamo hasi.Masuala ya uhamiaji na ufurushwaji yamekuwa mada kuu katika ulingo wa kisiasa, na elimu ina wajibu mkuu katika kuwaparaia ufahamu muhimu wa masuala yanayohusika. Elimu inaweza kuchangua katika usindikaji wa habari na kuendelezajamii zenye ushirikiano, masuala muhimu katika ulimwengu wenye utandawazi. Hata hivyo, elimu haifai kukomea tukatika uvumilivu, unaoweza kuonekana kama kutojali; elimu ni chombo muhimu katika kupambana na chuki, mitazamoiliyoshikiliwa tangu jadi na ubaguzi. Mifumo ya elimu

RIPOTI YA DUNIA YA UFUATILIAJI WA ELIMU ilIcMUHTASARI Dibaji Ripoti yaDunia ya Ufuatiliaji wa Elimu ya mwaka wa 2019imeandaliwa kwa kuwashirikisha timu ya wahamiaji wa kimataifa. Wanne kati yao ni watoto wa wakimbizi. Ha

Related Documents:

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri 3 kuwa ni mkuu wa kaya ya mke mwingine. Tulidhani kuwa inawezekana, hata hivyo, baadhi ya wakuu wa kaya wanawake walitengwa na w

MUHTASARI WA RIPOTI YA KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI- ZANZIBAR KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 . kutoa elimu maskulini na michezo. . ambapo Serikali imemuekea sharti la kuanza kuendeleza eneo alilopat

Kufuatilia majibu ya hoja za ukaguzi yaliyotolewa katika ripoti ya ukaguzi ya awali ili kuweza kujiridhisha na majibu ya hoja hizo. Kutoa ripoti ya ukaguzi ya mwisho kwa taasisi zinazokaguliwa inayoonesha hoja za ukaguzi zilizotolewa katika ripoti ya ukaguzi ya awali ambazo hazikupa

WILAYA YA KIRINYAGA YA KATI 2015 102/1- KISWAHILI KARATASI YA 1 - MWONGOZO WA KUSAHIHISHA 1. SWALI LA LAZIMA SURA (i) Kichwa / Anwani ya ripoti. - Ripoti ni ya nini, nani, nani aliteua jopo na mwaka. (ii) Utangulizi - Nani alitaka ripoti iandikwe. - Muda waliopewa - Tatizo lenyewe - Wanajopo na vyeo vyao. (iii) Mbinu za uchunguzi

Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu na zile za awali ni kwamba ukuaji wa kiuchumi pekee hauchangii kiotomatiki ukuaji wa maendeleo ya binadamu. Sera zinazotetea maskini na uwekezaji wenye maana katika uwezo wa watu – kupitia kwa kusisitiza elimu, lishe na afya, na ujuzi wa

etnomusikologi diterima di seluruh dunia—bukan hanya di Dunia Barat saja. Di kawasan Dunia Timur (Oriental) pula, di tempat-tempat ilmu ini berkembang, masyarakatnya menyadari juga akan aneka ragam budaya di dunia yang sama-sama dihuni makhluk manusia ini. Manusia di Dunia Barat maupun Duni

4.3.1 Elimu ya malezi ya awali na makuzi (ECEC), utambuzi wa mapema na afua za mapema (EIEI) . ECC Mtaala wa Msingi Uliopanuliwa ECEC Elimu ya awali ya utotoni na Uangalizi . MUHTASARI Ripoti hii ya dunia juu ya elimu jumuishi ina

Alison Sutherland 579 Alison Sutherland 1030 Alison Will 1084 Alison Haskins 1376 Alison Butt 1695 Alison Haskins 1750 Alison Haskins 1909 Alison Marr 2216 Alison Leiper 2422 Alistair McLeod 1425 Allan Diack 1011 Allan Holliday 1602 Allan Maclachlan 2010 Allan Maclachlan 2064 Allan PRYOR 2161 Alys Crompton 1770 Amanda Warren 120 Amanda Jones 387 Amanda Slack 729 Amanda Slack 1552 Amanda .