South Dakota Mchakato Na Haki Za Wazazi

2y ago
156 Views
4 Downloads
1.22 MB
43 Pages
Last View : 2m ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Farrah Jaffe
Transcription

South DakotaIDARA YA ELIMUMafunzo. Uongozi. Huduma.Imehaririwa 2020South DakotaMchakatona Haki zaWazazi1

Mojawapo wa jukumu muhimu la mzazi anapomkuza mtoto wake ni kumpa elimu. Wazazi wanawezakuchagua kuwapa watoto wao huduma za Elimu kwa watu wenye ulemavu, kwa wanafunzi wa miakakati ya 3 hadi 21 ambao wanatatizika kusoma kwa sababu ya ulemavu. Ukigundua kuwa mtoto wakoanatatizika kimasomo, kuchangamana na watu au kihisia unahimizwa kushirikiana na wahudumu washule kubaini mbinu za kumsaidia. Si kila mtoto anayetatizika shuleni anastahiki kupata huduma zaelimu kwa watu walio na ulemavu.Madhumuni ya hati hii ni kukupa maelezo muhimu na ya msingi kuhusu haki zako kama mzazi wamtoto aliye na ulemavu katika eneo la South Dakota. Tafadhali isome kwa umakinifu. Ikiwa unamaswali au unahitaji usaidizi wa kuelewa kanuni za elimu kwa watoto walio na ulemavu katika Jimbo,wasiliana na shirika lolote kati ya mashirika yaliyoorodheshwa mwishoni mwa hati hii, mtawala wawilaya ya shule yako au mwakilishi wake.Sheria ya Elimu kwa watu walio na Ulemavu (IDEA) ni sheria ya shirikisho inayohitaji shule kuwa nahuduma za elimu kwa watu walio na ulemavu na kubaini utaratibu ambao shule sharti ifuate. Sheria yajimbo pia ina masharti ya kuwapa elimu wanafunzi wenye ulemavu. Ikiwa wewe ni mzazi wa mtotoaliye na ulemavu uliorodheshwa katika IDEA, kijitabu hiki ni hati ya utaratibu wa kukulinda nakinakuelezea vigezo na masharti ya elimu kwa watoto walio na ulemavu.** Unaweza kupata maneno yote yenye rangi nzito katika hati hii kwenye ukurasa wa ufupisho naufafanuzi mwishoni.Anwani ya shule ya Elimu kwa Watu Wenye UlemavuWilaya: Tafadhali ongeza maelezo yafuatayo kwenye kisanduku hiki.Anwani ya Wilaya:Nambari ya Simu:Anwani ya Barua pepe:2

Jedwali la YaliyomoMAELEZO YA KIJUMLA . 5Upatikanaji wa Notisi ya Ulinzi wa Utaratibu . 5Idhini ya Mzazi . 5Idhini ya Tathmini ya Awali . 6Idhini ya Huduma . 7Idhini ya Kutathmini Upya. 8Masharti mengine ya idhini . 9Ilani ya Kuandikwa Mapema . 9Tathmini Huru ya Elimu (IEE) . 10REKODI ZA ELIMU . 12Usalama wa maelezo na ufikiaji wa rekodi za elimu . 12Ilani kwa Wazazi kuhusu Usalama na Ufikiaji wa maelezo nyeti . 12Marekebisho ya Rekodi Mzazi Anapotuma Ombi. 16Kurejelea na Hatua ya mamlaka ya utekelezaji sheria na mamlaka za mahakama naKuhamishwa kwa Rekodi . 18WAZAZI KUWAPELEKA WATOTO WAO KATIKA SHULE ZA KIBINAFSI . 19Wazazi Kuwapeleka Watoto wao katika Shule za Kibinafsi . 19Wazazi Kuwapeleka Watoto Wao kwenye Shule za Kibinafsi ikiwa wana tatizola FAPE . 19NIDHAMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU . 21Nidhamu Kwa Watoto Wenye Ulemavu . 21Mabadiliko ya Usajili kutokana na Utovu wa Nidhamu . 22Dhihirisho Uamuzi na Matokeo Yanayotarajiwa . 23Hali Maalum na Matokeo yanayotarajiwa . 24Mchakato yakinifu wa Kusikiliza malalamishi kuhusu Kuwaadhibu Wanafunziwenye Ulemavu . 24Ulinzi wa Watoto Wasiobainishwa Kustahiki kwa Elimu ya Walio na Ulemavuna Huduma Husika . 26UTARATIBU WA KUTATUA MZOZO KATIKA JIMBO . 27Malalamishi ya Jimbo . 27Upatanisho . 29Mchakato Yakinifu wa Kusikizwa kwa Malalamishi . 31Kusikizwa Bila Kubaguliwa Mahakamani . 31Haki za Kusikizwa . 323

Ufichuzi Zaidi wa Maelezo . 32Haki za Wazazi katika Kusikizwa kwa Kesi . 33Maamuzi ya Kusikizwa . 33Afisa Anayesikiliza Kesi Bila Ubaguzi . 33Vipindi vya Kusikizwa . 34Hali ya Mtoto Wakati wa Kusikizwa kwa Kesi (“Usihofu”) . 34Utoshelevu wa Malalamishi . 35Jibu la Wilaya kwa Ombi la Mchakato wa Kusikizwa kwa Malalamishi Lililotumwana Mzazi . 35Jibu la Mhusika Mwingine kwa Mchakato Yakinifu wa Kusikizwa kwa Malalamishi . 36Mkutano wa Uamuzi . 36Kipindi cha Siku 30 za Kutafuta Suluhu . 36Mabadiliko kwenye Kipindi cha Uamuzi cha siku 30 . 37Mkataba wa Kufidia Ulioandikwa . 37Jambo Muhimu katika Mchakato yakinifu wa Kusikizwa kwa Kesi . 37Uamuzi wa Mwisho . 38Hatua za Kiraia . 38Ada ya Wakili . 38Matokeo na Uamuzi kwa Bodi ya Ushauri na Raia kwa Ujumla . 39UHAMISHAJI WA HAKI . 40Uhamishaji wa Haki za Wazazi katika Umri wa Wengi . 40UFUPISHO NA UFAFANUZI . 41REJELEO. 414

Haki ulizo nazo, kama mzazi wa mtoto aliye na ulemavu, zimefafanuliwa kwenye hati hii na piazinapatikana katika Elimu ya Walemavu katika jimbo la South Dakota Masharti ya Usimamizi wa SouthDakota (ARSD), Article 24:05. Marejeleo mahususi katika Sheria za Usimamizi yameorodheshwainavyofaa. Kwa kuwa ulinzi huu wa utaratibu unahitajika kwa mujibu wa IDEA, marejeleo mahususi yakisheria kwa Sehemu ya B ya IDEA (34 CFR Part 300) yamebainishwa katika kila sehemu ya hati hii kamakipengee cha ziada cha kurejelea.Hii imekusudia kutoa muhtasari wa taratibu za elimu kwa watu wenye ulemavu katika sheria ya SouthDakota na Sehemu ya B ya IDEA (34 CFR Sehemu ya 300), sheria ya shirikisho. Tafadhali angaliamasharti ya kisheria na kanuni ili upate lugha halisi inayotumika.MAELEZO YA KIJUMLAUpatikanaji wa Notisi ya Ulinzi wa Utaratibu34 CFR 300.504(a) na (b); ARSD 24:05:30:06.01Sharti upewe nakala ya notisi ya ulinzi wa utaratibu, mzazi wa mtoto aliye na ulemavu, angalau maramoja kila mwaka wa shule. Sharti upewe pia nakala:1. Baada ya rejeleo au ombi lako la awali la kutathmini mtoto wako;2. Unapotuma ombi;3. Mtoto wako anapoadhibiwa kwa namna ambayo inabadilisha usajili wake;4. Baada ya kuripoti malalamishi yako ya kwanza kwa shirika la Kitaifa au Mchakato Yakinifu wakusikiliza malalamishi katika mwaka wa shule.Nakala ya notisi ya ulinzi wa utaratibui inaweza pia kuchapishwa kwenye tovuti ya utawala wa shule.Idhini ya Mzazi34 CFR 300.9; ARSD 24:05:25:02.01, 24:05:25:02.02"Idhini" inamaanisha kuwa umepokea maelezo yoteyanayohitajika ili uweze kuelewa shughuli inayofafanuliwa naunakubali kuikamilisha kwa kuandika. Kwa namna hii, unawezakutoa idhini yako. Sharti utoe maelezo haya katika lugha au njiayako ya asili ya mawasiliano. Ikiwa shughuli ambayo unaombwakutoa idhini inahusu kutuma rekodi za mtoto wako, utaarifiwakuhusu rekodi ambazo utatuma na yule ambaye unawezaLugha ya Asili34 CFR 300.29(a) Lugha ya Asili, inapotumiwa namtu asiye na umilisi wa Kiingereza,inamaanisha:Lugha ambayo mtu huyu hutumua,5

kumtumia rekodi hizi. Una hiari ya kutoa idhini na unawezakuibatilisha wakati wowote.Ubatilishaji wa idhini utatumika tu kwa shughuli za baadaye walasio kwa zile ambazo tayari zimetendeka. Ukibatilisha idhini yamtoto wako kupokea elimu kwa walemavu kwa kuandika nahuduma husika baada ya mtoto wako kuanza kupokea elimu nahuduma hizi, utawala wa shule hauhitajiki kuondoa maelezoyoyote kutoka kwenye rekodi za kimasomo ya mtoto wakokuhusu elimu maalum na huduma kama hizi ambazo alipokeakabla uondoe idhini yako. Baada ya kuupa utawala wa shuleubatilishaji kwa kuandika (kughairi) idhini yako, wilaya ya shulesharti ikupe ilani ya mapema kwa kuandika kisha iache kumpamtoto wako elimu kwa walemavu na huduma kama hizi.Idhini ya Tathmini ya Awali34 CFR 300.300(a); 34 CFR 300.45; ARSD 24:05:25:02.01; ARSD24:05:15:06Utawala wa shule yako sharti utoe ilani kwa kuandika na kupataidhini yako kabla ya kuanza tathmini ya awali kwa mtoto wako ilikubaini ikiwa anastahiki kwa mujibu wa Sehemu ya B ya IDEAkupokea elimu kwa watu walio na ulemavu na huduma kama hizi.1. Utawala wa shule yako sharti ujitahidi kupata idhini kabla yakumtathmini mtoto wako.au, akiwa ni mtoto, lugha ambayowazazi wake hutumia, isipokuwainavyobainishwa katika aya ya (a)(2)ya sehemu hii.Katika mwingiliano wowote wamoja kwa moja na mtoto(ikijumuisha kumtathmini mtoto),lugha ambayo mtoto hutumianyumbani au shuleni.(b) Kwa mtu aliye na ulemavu wakusikia au kuona, au asiye na uwezowa kuandika, msimbo wamawasiliano ni ule ambao huwaanatumia (kama vile lugha ya ishara,Maandishi ya Vipofu aumazungumzo)Ufafanuzi wa Mzazi34 CFR 300.30; ARSD 24:05:13:041.2.3.4.2. Idhini yako ya tathmini ya kwanza haimaanishi kuwaumekubali mtoto wako apatiwe elimu maalum na hudumakama hizi.3. Ikiwa mtoto wako amejiunga au anajaribu kujiunga na shuleya umma na ukatae afanyiwe tathmini kwa mara ya kwanzaau ukose kujibu ombi la kuidhinisha ili afanyiwe tathmini hii,utawala wa shule unaweza, ingawa si lazima, kutumiautaratibu wa utatuzi wa mzozo wa IDEA (yaani, upatanisho,mchakato yakinifu wa kusikiliza malalamishi) kushughulikiakutotoa kwako kwa idhini ya kumtathmini mtoto wako.5.6.Mzazi asili au mlezi wa mtoto;Mzazi wa kambo isipokuwaanapokatazwa na sheria,masharti au mkataba;Mlezi aliyeteuliwa namahakama na kuidhinishwakuwa kama mzazi wa mtoto, aukufanya uamuzi wa kielimu kwaniaba ya mtoto;Mtu anayechukua nafasi yamzazi pasipo mzazi mlezi au wakiasili (akijumuisha babu nanyanya, mzazi wa kambo, aujamaa mwingine) ambayemtoto anaishi naye, au mtualiyeidhinishwa kisheriakuwajibikia maslahi ya mtoto;Mzazi mlezi anayeteuliwa kwamujibu wa kanuni za elimu kwawalemavu; auMtu au watu fulani ambaoMahakama inaamuru kuwakama “mzazi” wa mtoto aukufanya maamuzi ya kielimukwa niaba ya mtoto.4. Ikiwa utawala wa shule yake hautumi ombi la tathminikupitia utaratibu wa kutatua mizozo kupitia IDEA (yaani,upatanisho, kuhusu mchakato yakinifu wa kusikiliza6

malalamishi), hautakuwa umekiuka haki za mtoto katikawajibu wa kupata, kubaini na kutathmni mtoto wako aumasharti yanayohusu idhini ya mzazi, tathmini nakutathmini upya.Ikiwa mtoto anachuliwa kuwa na mlezi kwa mujibu wa sheria yaJimbo na haishi na mzazi wake, utawala wa shule hauhitaji idhiniya mzazi ili kumtathmini kubaini ikiwa ana ulemavu ikiwa:1. Utawala wa shule umeshindwa kumpata mzazi baada yajuhudi za kumtafuta;2. Haki za mzazi zimebatilishwa kwa mujibu wa sheria yaJimbo; au3. Hakimu amemkabidhi mtu ambaye si mzazi wa mtoto,haki ya kufanya uamuzi wa kielimu ikijumuisha tathminiya kwanza, na mtu huyu ametoa idhini yake.Idhini ya Huduma34 CFR 300.300(b)Utawala wa shule yako sharti upate idhini kabla ya kumpa mtotowako elimu kwa walemavu kwa mara ya kwanza.1. Utawala wa shule sharti upate idhini kabla ya kumpamtoto wako elimu kwa watu wenye ulemavu na hudumakama hizi kwa mara ya kwanza.2. Ikiwa hujibu ombi la kuidhinisha mtoto wako ili kupokeaelimu kwa watu wenye ulemavu na huduma kama hizikwa mara ya kwanza, au ukikataa kutoa idhini hii, aukubatilisha idhini yako baadaye kwa kuandika, utawala washule yako huenda usitumie utaratibu wa utatuzi wamzozo wa IDEA (yaani, upatanisho, mchakato yakinifu wakusikiliza malalamishi) ili kufanya uamuzi kuondoa idhiniya mtoto wako ili kupokea elimu hii na huduma kama hizi.3. Ikiwa hujibu ombi la kuidhinisha mtoto wako ili kupokeaelimu kwa walemavu na huduma kama hizi kwa mara yakwanza, au ukikataa kutoa idhini yako, au kubatilishaidhini yako baadaye kwa kuandika, utawala wa shule yakohuenda usitumie utaratibu wa utatuzi wa mzozo wa IDEAIkiwa wewe ni mlezi au mzazi wakiasili wa mtoto, unachukuliwakuwa mzazi isipokuwa ikiwa hunamamlaka ya kisheria kufanyamaamuzi ya kimasomo kwa niaba yamtoto wako.Jimbo haliwezi kuwa mzazi ikiwamtoto ana mlezi.Ufafanuzi wa Mtoto kuwa naMlezi34 CFR 300.45; ARSD 24:05:13:01Mtoto kuwa na Mlezi, kamainavyotumika katika IDEA,inamaanisha mtoto ambaye:1. Mtoto wa kambo;2. Anachukuliwa kuwa na Mlezikwa mujibu wa sheria yaJimbo;au3. Anatunzwa na shirika la umma lakutunza maslahi ya watoto.Isipokuwa:Sheria kwa mtoto aliye na mlezihaijumuishi mtoto wa kambo aliyena mzaza wa kambo anayetimizamasharti ya kuitwamzazi.Ufafanuzi wa Mzazi Mlezi34 CFR 300.519; ARSD 24:05:30:15Kila utawala wa shule utabainiutaratibu wa kukabidhi mzazi mleziili kuhakikisha kuwa haki za mtotozimelindwa ikiwa hakuna mzazi,kama inavyobainishwa katika §24:05:13:04, anayetambulika nawilaya baada ya kuweka juhudi,imeshindwa kumpata mzazi auikiwa mtoto anachukuliwa kuwa namlezi kwa mujibu wa sheria yajimbo au ikiwa ni mwanarika asiyena kwao anayejiwasilisha kamainavyobainishwa katika kifungu cha725(6) ya Sheria ya McKinney-VentoHomeless Assistance,iliyorekebishwa tarehe 1 Januari,2009. Mbinu ya wilaya ya kubainiikiwa mtoto anahitajika kuwa namzazi mlezi sharti ijumuishezifuatazo:7

(yaani, upatanisho, kutoa malalamishi ya kusikizwamahakamani) ili kufanya uamuzi wa kuondoa idhini yamtoto wako katika kupokea elimu maalum na hudumakama hizi, utawala wa shule:a. Haujakiuka masharti ya kumpa mtoto wako elimuinayofaa ya umma isiyo ya malipo (FAPE) kwa kukosakumpa huduma hizo;nab. Haupaswi kuwa na mkutano wa mpango maalum waelimu (IEP) au kubuni IEP kwa mtoto wako ili kubainielimu maalum na huduma kama hizi.(1) Utambuzi wa wafanyakazi katikawilaya au kwenye jengo ambaowanahusika katika kuwapendekezawanafunzi wanaohitaji mzazi mlezi;(2) Utoaji wa mafunzo ya ndani kwakigezo katika kipengele hiki chakubaini ikiwa mtoto anahitaji mzazimlezi; na(3) Kubuni mfumo wa upendekezajikatika wilaya ya kuteua mzazi mlezi.Ukibatilisha idhini yako kwa kuandika baada ya mtoto wako kupata elimu kwa watu wenye ulemavu nahuduma kama hizi, basi utawala wa shule sharti ukuandikie kukupa ilani ya mapema, kamainavyofafanuliwa kwenye mada Ilani ya Kuandikwa Mapema na sharti iache kumpa mtoto wakohuduma hizi baada ya kukupa ilani.Idhini ya Kutathmini Upya34 CFR 300.300(c) na (d); ARSD 24:05:25:06.01Utawala wa shule sharti ukuombe idhini kabla ya kumtathmini mtoto wako upya, isipokuwa wilaya hiiinaweza kudhihirisha na kuonesha hati kuwa:1. Imefuata hatua zinazohitajika kupata idhini ya kumtathmini mtoto wako upya; na2. Hukujibu.Katika tathmini za awali, utawala wa shule haukiuki matokeo ya mtoto na majukumu mengine kwenyeSehemu ya B ya IDEA, ikiwa haifuatilii utathmini upya usipopeana idhini.Utawala wa shule sharti udumishe rekodi za juhudi za kupata idhini yako kwa tathmini za awali, kutoaelimu kwa walemavu na huduma kama hizi kwa mara ya kwanza, kutathmini upya na kutatufa wazaziwa watoto ambao wanachukuliwa kuwa walezi na kufanyiwa tathmini ya kwanza. Hati hii sharti iwe narekodi ya majaribio ya utawala wa shule katika sehemu zifuatazo:1. Rekodi za kina za simu zilizopigwa au zilizojaribiwa kupigwa na matokeo ya simu hizo;2. Nakala za mawasiliano ulizotumiwa na majibu yoyote uliyopokea; na3. Rekodi ya kina ya ziara zilizofanywa nyumbani kwako au mahali pa kazi na matokeo ya ziara hizi.8

Masharti mengine ya idhini34 CFR 300.300(d); ARSD 24:05:25:02.03Utawala wa shule hauhitaji idhini yako kabla ya:1. Kukagua data iliyopo kama sehemu ya kumtathmini mtoto wako kwa mara ya kwanza na upya;2. Kumpa mtoto wako jaribio au tathmini nyingine inayopewa watoto wengine isipokuwa, kabla yakumpa jaribio hilo, idhini kutoka kwa wazazi wote inahitajika.Utawala wa shule unaweza kutumia kutotoa idhini kwako kwa utathmini au kupata huduma katikaIDEA kutokukuruhusu au mtoto wako kupata huduma nyingine, manufaa au shughuli, isipokuwainavyohitajika katika Sehemu ya B ya IDEA.kiwa umemwandikisha mtoto wako katika shule ya kibinafsi kwa gharama yako mwenyewe au ikiwaunamsomesha nyumbani, na hujatoa idhini ya tathmini ya kwanza au kumtathmini upya, au umekosakujibu ombi la kutoa idhini, utawala wa shule hauwezi kutumia utaratibu wa kutatua mizozo wa IDEA(yaani,upatanisho, mchakato yakinifu wa kusikiliza malalamishi) kubatilisha uamuzi wako. Katika halikama hizi, utawala wa shule hauhitajiki kumchukulia mtoto wako kama anayestahiki kupokea hudumasawa (hudumu wanazopokea watoto walio na ulemavu waliowekwa na wazazi katika shule za kibinafsi,kwa mujibu wa sheria ya SD na watoto wanaosomeshwa nyumbani hawastahiki kupokea hudumasawa).Ilani ya Kuandikwa Mapema34 CFR 300.503; 34 CFR 300.505; 34 CFR 300.304; ARSD 24:05:30:04Utawala wa shule sharti ukupe Ilani ya Kuandikwa Mapema angalau siku tano za kazi kabla yakupendekeza au kukataa kuanza au kubadilisha utambulisho, tathmini, usajili wa kielimu au kumpamtoto wako FAPE. Unaweza kutupilia mbali ilani iliyoandikwa ikiwa ungependa mabadiliko haya yaanzekabla ya siku tano zinazohitajika kupata ilani.Ilani ya kuandikwa mapema sharti:1. Ifafanue hatua ambayo utawala wa shule unapanga au unakataa kuchukua;2. Ieleze sababu ya utawala wa shule kupanga au kukataa kuchukua hatua hii;3. Ifafanue kila utaratibu wa tathmini, ukadiriaji, rekod

Hii imekusudia kutoa muhtasari wa taratibu za elimu kwa watu wenye ulemavu katika sheria ya South Dakota na Sehemu ya B ya IDEA (34 CFR Sehemu ya 300), sheria ya shirikisho. Tafadhali angalia masharti ya kisheria na kanuni ili upate lugha halisi inayotumika. Upatikanaji wa

Related Documents:

by March 1887. Sioux Falls was home to both the conference office and the Tract Society (renamed the Book and Bible House in 1924).10 South Dakota Conference (1889-1895) From 1889, when the Dakota Territory became the States of North and South Dakota, until 1895, the Dakota Conference was known as the South Dakota Conference.

Board, South Dakota Hall of Fame Board Member, South Dakota Rodeo Association Board, United State Team Penning Association Board, National Cutting Horse Association, Masonic Member of Joppa Lodge, El Riad Shrine Member, South Dakota House of Representatives from 2011- 2012 and the South Dakota Senate from 2012- 13. He

South Dakota Community Transformation Grant Application 09 Category B-Implementation South Dakota State Dept of Health Pierre Hughes SD-000 812,383 46 Prevention and Public Health Fund/Other ACA Funds Comprehensive Chronic Disease Prevention Collaborative Chronic Disease, Health Promotion, and Surveillance Program South Dakota State Dept of Health

In 2016 there were 2,687 arrests in 46 counties across South Dakota with 64 pounds of meth seized and 9 labs found. The South Dakota Youth Risk Behavior Survey (YRBS) indicates that South Dakota youth have higher rates of trying meth at 3.8% compared to the national avaerage of 3%. Methamphetamine Stats A t-A-Glance /p div class "b_factrow b_twofr" div class "b_vlist2col" ul li div strong File Size: /strong 1MB /div /li /ul ul li div strong Page Count: /strong 25 /div /li /ul /div /div /div

Consequently, the South Dakota became the first battleship since 1. U. S., Department of the Navy, Naval History Division, Ships' Histories Section, "History of USS South Dakota (BB 57)," n.d., p. 1. The armored cruiser was renamed because construction of a new, state-of-the-art battleship to be called the South Dakota had begun in 1920.

Irish immigrant John Keating, is buried in Deadwood, SD. Photo by Museum of the South Dakota State Historical Society staff, 2005. 14. Headstone of Anna Waldner, at Huron Hutterite Colony. Photo by Museum of the South Dakota State Historical Society staff, 2005. 15. Isaac Williams, an

Northeast South Dakota Community Action Program Northeast South Dakota Economic Corporation GROW South Dakota . For NESDCAP, 2016 was a year-long celebration that . Fort Pierre Heartland 4-H Rodeo Good Samaritan Tri-County Food Pantry Groton Baseball Huron Heartland Region Backpack Program Hyde County Food Pantry (Horizon

The AAT Advanced Diploma in Accounting is a potential stepping stone for students to take into employment, further education or training. It may be suited to students studying part time alongside employment or to those already working in finance. This qualification will also suit those looking to gain the skills required to move into a career in finance as it provides a clear pathway towards a .