Kuelekea Viwango Vya Pamoja Vya Kimataifa Katika .

2y ago
240 Views
2 Downloads
3.54 MB
19 Pages
Last View : 12d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Francisco Tran
Transcription

KuelekeaViwango vyaPamoja vyaKimataifa KatikaUtekelezaji waMaendeleoya Jamii

UtanguliziJarida hili linatoa msingiwa ushirikiano wa pamojawa kimataifa katika kuzoambinu za maendeleo ya jamii.Inatoa mada muhimu namaeneo ya kimsingi katikamaendeleo ya jamii popoteduniani kote. Jarida linabainishamadhumuni ya kitaluumakuzua maendeleo ya jamii,na maadili ambayo yanapaswakuimarisha na watekelezajiwa maendeleo ya jamii.Mnamo Oktoba 2016, Shirika La Kimataifa La Maendeleoya Jamii (IACD) iliwaandikia wanachama wotekuwajulisha yaliyopitishwa kwenye Mkutano Mkuu wamwaka wa 2016, kuhusu maendeleo ya kijamii. Kamatiya Wanataaluma na ya Maendeleo ya IACD zilitoamielekeo kuhusu maendeleo ya jamii. Bodi ya IACDilikubali kufanya kazi na Jumuiya ya Mafunzo na Barazala Viwango vya Maendeleo Scotland (CLDSC) katikakuupeleka mradi huu mbele. CLDSC ilishirikiana na IACDkatika maandalizi yetu ya mkutano wa kimataifa wamaendeleo ya kijamii mnamo 2014 huko Glasgow, na nimtaala shirika la Scotland linalofanya kazi katika eneohili, na kuzua rekodi katika uzalishaji wa maendeleo yakijamii miongo mitatu mtawalia. Kundi la ushirikianowa kazi lilianzishwa ili kutayarisha karatasi rasimuya mwongozo na Novemba 2016, tulisambaza kwawajumbe wa awali karatasi ya majadiliano inayoonyeshamifano ya kazi zilizopo ambazo zilikuwa tayarizinaendelea katika nchi zingine, kwa mdhumunj yakuzalisha viwango vya maendeleo ya jamii.Kundi la ushirikiano wa kazi kilikutana mara kadhaa kwawakati huokuandaa karatasi ya mashauriano ya wajumbe inayoitwaRasimu Mwongozo juu ya Viwango vya kawaida vyakimataifa kwa Maendeleo ya Jamii, ambayo ilitumwa kwawanachama wa IACDkwa mashauriano ya miezi minne ambayo yaliishatarehe 31 Machi 2018. Hili lilielezea historiakwa mradi huu na kwa nini IACD ilihisi kuwa jambo hili nila manufaa kwa wadau mbalimbali wanaohusika katikamaendelo ya kijamii - jamii, watendaji, wakufunzi,waajiri,wafadhili, washauri wa sera na wengine – kuwa na uwezowa kutoa ufahamu wa pamoja wa kimataifakuhusu maana ya kushiriki katika maendeleo ya jamii.Kwa maneno mengine, mambo yote yanayohusiana namaendeleo ya kijamii yalifafanuliwa. Tuliona hivi Viwangovya kimataifa kama mwanzo wa wanachama na wenginewanaofanya kazi katika nchi tofauti kwa kushirikisha nakutumia mbinu hizo katika mazingira yao tofauti ya kazi.1. Community Learning and Development2. CLDSC is the body in Scotland responsible for setting standards and forendorsing professional training. This work was originally carried out by theScottish Community Education Council and transferred to CLDSC.23

Tulipokea majibu ya Mwongozo wa Rasimu yamashauriano kutoka kwa wanachama duniani kote ;kutoka Uchina na Afrika Kusini, hadi Canada, AustralianaUreno, kutoka Marekani na New Zealand, Uingereza,Kenya na zaidi. Hii ilikuwa ni jitihada ya kimataifa natunatoa shukrani za dhati kwa wanachama wote kwamajibu yao ya kuunga mkono na maoni yao.Machapisho kadhaa yalitoka kwa watu binafsi, lakinimengi yalitokana mitandaoni ya kitaifa / mikoana yalijitokeza wazi kutumika mda mwingi katikamaandalizi yao. Maoni mengi yalihusiana na manenomaalum ya sentensi na vifungu fulani katika Mwongozowa Rasimu na mapendekezo ya kwamba tupatekurekebisha, kufuta au kuongeza kwa haya, lakinikwa ujumla kulikuwa na usaidizi mkubwa wa yaleyaliyopendekezwa. Majibu mengi yaliunga mkonompango huu waIACD. Hata hivyo, tulipokea malalamishikadhaa kutoka kwa washiriki kwamba, katikakuchapisha Mwongozo huo na ushirikiano wa awaliwa chama cha ufafanuzi wake, IACD ilitenga utendajiusio wa malipo na wataalamu wa jumuiya kutokakwa ufahamu wetu kuhusu maana ya maendeleo yajamii, na mbaya zaidi, kunaswa katika kujenga taalumailiyofungwa. Malalamiko haya ni muhimu na tunatafutanjia mwafaka za kuzingatia masuala haya kwa njiamwafaka inayosisitiza ahadi zetu imara ya kuwashirika wazi. Hakika, haijawahi kuwa nia yetu ya kuwavinginevyo.IACD daima imekuwa ikishirikisha yeyote amabayeni mtendaji wa maendeleo ya jamii – huku ikiwekawazi kuwa jambo hili ni tofauti na kiongozi wa kiraiawa beinga, wataalamu au raia aliyehusika. Jumuiyatendaji ya maendeleo inaweza kuwa na mara nyingikutolipwa. Ingawa IACD sio muungano wa kibiashara,mapendekezo yetu ni kuwa, kufanya kazi ya maendeleoya jamii inaweza kuwa ngumu na changamoto. Kwaujumla, tungependa kuona watendaji wa maendeleoya kijamii wakilipwa kwa kazi hii na ‘kuajiriwa’ kwamazingira yanayofaidi.4Pg 5Tunataka pia kuona kwamba watendaji wote wamaendeleo ya jamii wanapata ujuzi wa juu kabala na katikamafunzo ya kitaaluma na kuwahimiza sana watoa elimuna mafunzo kutambua na kuidhinisha uzoefu wa awali nakutoa fursa ya upatikanaji wa watu kutoka kwa jumuiyaza asili na za kazi ambao wamekuwa viongozi wa jamii nawataalamu . Kunao kozi za shahada ya chini karibu elfuduniani kote zinazotoa mafunzo kuhusu maendeleo yajumuiya ya jamii (Tazama Ufuatiliaji wa Ramani ya Duniachini). Kozi hizi hutayarishwa kwa viwango vya juu nazinazotolewa kwa ajili ya mafunzo ya maendeleo ya jamiiambapo watendaji na jamii nzima hufaidika.Katika kutoa maana ya IACD, tunazungumziakuhusu maendeleo ya kijamii kuwa taaluma ya kimsingiya mafunzo na ya kitaaluma. Kufanya hivyo mara nyingihuwa na ugumu changamoto, wakati mwingine hatarimno. Wataalamu wanahitaji ufahamu wa kisayansi yakisiasa, kijamii na kiikolojia ili kuwapa ufafanuzi zaidi katikahali halisi ya uhusiano wa maisha ya watu, ya mazingiraya kijamii, kisiasa, kiutamaduni, kiuchumi na mazingiraambayo watu wanaishi na jinsi ya kufikia mabadilikoambayo yanawezesha watu. Wataalamu wanahitaji kuwana ujuzi katika mawasiliano, jinsi ya kuwa waelimishajiwenye ufanisi, waandalizi, jinsi ya kufikia rasilimali napia kuwa watu wenye huruma. Na chini ya yote haya,wataalamu wanapaswa kufahamu maadili ya kijumla yahaki za kijamii na mazingira na ushiriki wa kidemokrasia.Tumekuwa na maoni juu ya mielekeo ya baadhiya nchi ambapo elimu ya maendeleo ya jamii na koziza mafunzo zinazotolewa na Taasisi za Elimu za Juuzinaegemea upande wa kinadharia. Kuna haja yakuzingatia usawa na kudhamini mafunzo ya utekelezajikatika uwanja wetu kuhusu maarifa ya ujuzi na uzoefu wakufanya kazi. Ili kuleta mabadiliko ya kweli, mafunzo yamaendeleo ya jamii yanahitaji akili zetu, mikono na mioyoyetu. Pamoja na hayo, mafunzo yetu yaweze kuandaliwana kikundi cha ujuzi kinachozingatia utekelezaji na utafiti.3. mmunity-development-educators/5

Katika kuchapisha makala haya ya Ushirikiano wa kimataifakatika kuzoa mbinu za maendeleo ya kijamii, tunatambuahaja ya kufafanua maana ya neno ‘taaluma’.Kati ya majibu ya Mwongozo wa Rasimu, inatoa fafanuziifuatayo kwamba. “ ingawa hakuna ufafanuzi wa utaalamukatika vifungu vya utekelezaji kwenye waraka, maanani kuwa ( inarejelea kufanya kazi pamoja na taalumaza utambuzi, kama vile kazi ya kijamii; taaluma za afya;mipangilio mijini na usanifu, na haja ya kuweka viwangovya utekelezaji ), Inaonekana kwamba neno taalumalinavyotumika kwenye waraka huo, linahusu watu wenyeujuzi na ujuzi na maarifa ya wataalam ambao wameajiriwakama wafanyakazi wa maendeleo ya jamii kwa kutiliamaanani viwango vilivyowekwa na vinavyofuatiliwa nashirika la kitaaluma. Bila shaka, kuna matumizi mengineya neno taaluma, kama vile kuashiria mtu anayefanyakazi ya heshima, yenye uthabiti na ufanisi, na katika eneola maendeleo ya jamii, neno hilo lina maana ya mtu wakuigwa na jamii.Hata hivyo, njia hii ya kufafanua maana yaneno taaluma haijaelezewa kwenye waraka.Hoja hii imeelezwa vizuri na kwa kuifafanua, tunasisitizakuwa IACD inatumia neno taaluma kwa nia zote mbili. Hiindiyo sababu katika IACD tumekubali wazo la maendeleoya jamii kama ‘taaluma inayowezesha’ ili kusisitiza asili yauhusiano kati ya wanaharakati na watu tunaofanya kazinao (ambao pia wanaweza kuwa wajiri wetu). Nguvu nauwezeshaji wa watu ni njia mwafaka zinazowawezeshawanaharakati na wataalamu wa maendeleo ya jamiikufanya kazi kwa njia ifaayo. Tutambue kuwa, utekelezajiya maendeleo yote ya jamii hayajakuwa mazuri kwa hili.Baadhi ya mashirika yamekuwa ya kuharibu, kukosakuwezesha jamii zilizoathiriwa. Ni kwa sababu hii basisisi kama shirika tunaweka wazi aina ya maendeleotunayotarajiaNi wazi kuwa, wanapopatikana ni kwa mashirikaya kitaifa, yanayojumuisha sauti nyingi za wadau,kuwa na wajibu wa kukubaliana na viwango vyataifa, kwa ajili ya kufuatilia na kusaidia utekelezaji nakuidhinisha elimu ya maendeleo ya jamii na ujuzi waawali katika huduma. Jukumu la IACD ni kuhamazishaushirikiano na kubadilishana mawazo na mbinumwafaka kati ya mashirika haya yakitaifa, kuhimizanakama tunavyofanya, ili kuunda jumuiya ya Kimataifaya Utekelezaji. Mashirika haya ya kitaifa na viwangovifaavyo vya kitaifa vinapatikana bado ni kwa sasainapatikana katika nchi chache tu – mojawapo niScotland, ambapo IACD inashiriki kwa sasa.ripoti hii nikutokana na Kamati ya Mafunzo ya IACD na Maendeleoya kitaalamu kwa wanachama na eneo kubwa dunianikote kama mwongozo kwa watendaji, jamii, waalimu, waajiri, vyama vya mkoa na kitaifa za CD na serikali zakitaifa, kwa minajili yakuboresha ubora, ujulikanaji na uwajibikaji wautekelezaji wa maendeleo ya jamii na ubora wamaendeleo ya kitaalamu kuboresha utekelezaji huo.Paul LachapelleRais, Chama cha Kimataifakwa Maendeleo ya JamiiJohn StansfieldMwenyekiti wa IACD Mafunzo na Kamatiya Maendeleo ya Kitaalumakuona wanachama wakitimiza na wengine wanaotekelezana kukuza wajibu huu.Lakini pia tutambua maslahi kadhaa ya watu wengineambao, kwa kweli,wanahitaji kuwa na mapendekezo katikakusaidia na kuboresha mradi wetu, hasa kutoka kwawenzetu, waajiri na wafadhili wakulipwa na wasiolipwa,mashirika ya kuidhinisha ya viwango vya kazi za kitaifa namkoa (zinzpopatikana) na jumuiya tunayofanya kazi.67

BackgroundMnamo mwaka wa 2016, Bodi ya IACD na AGM ilizingatiaufafanuzi wa maana ya maendeleo ya kimataifa katikachama ifuatavyo:“Maendeleo ya Jamii ni taaluma inayotokana nautekelezaji wa nidhamu na kitaaluma ambao unakuzaudemokrasia ya ushirikiano, maendeleo kamilifu , haki,nafasi ya kiuchumi, usawa na haki ya kijamii kupitiashirika, elimu na uwezeshaji wa watu ndani ya jumuiyazao, kutegemea eneo, utambulisho au riba, katikamazingira ya mijini na vijijini.”Tangu wakati huo, idadi ya vyama vya kitaifa vya CD piavimezingatia ufafanuzi huu au wanatarajia kufanya hivyo.Hii inaonyesha makubaliano kati ya wanachama kuwaufafanuzi wa IACD huandamana na hali halisi ya utekelezajina hivyo husaidia kutoa uelewa halisi wa yale yanafaakutekelezwa.Ufafanuzi huu wa IACD hutokana na uelewa mpana wamaendeleo ya jamii uliopitishwana umoja wa mataifa katika miaka ya 1950 wakati IACDilianzishwa na ambayo bado tunaidhinisha kama taarifa yajumla ya nia njema kama “mchakato ambapo wanajamiiwanakuja pamoja na kuchukua hatua ya pamoja nakuzalisha ufumbuzi wa matatizo ya kawaida. “Tangu miakaya 1950 wakati shirika la Umoja wa Kimataifa ulianzakuitumia dhana hiyo, pia ilielezeamaendeleo ya jamii kama “mchakato wa kutoa mipangoya msaada na ushirikiano kati ya mashirika . . ambapoeneo lililobaki nyuma linaendela au liliendelea “. Kutokamwanzo Umoja wa Kimataifa, serikali za kitaifa nahata IACD, wana uelewa wa maendeleo ya jamii kamamichakato inayounganisha na utekelezaji wa pamoja wamaendeleo kwa wanajamii na kutoa mafunzo ambayo yanafaida kwa jamii.Mwanzo wa mwaka 2018, tulichapisha suala maalum kwenyegazeti la IACD kuhusu utekelezaji Tambuzi, kusherehekeamaadhimisho ya miaka 65, kwa kuwa ni kupitia mvutowa watu wengi ambapo shirika letu limeimirika kufuatamiongo sita iliyopita. Watu wengi walitifaa kimawazona utekelezaji wa mradi wetu. Kama tulivyosema katikatahariri “Katika kipindi cha miongo sita iliyopita , maelfu yawataalamu wa maendeleo ya jamii wamejitolea kutoa ujuziwao kuwawezesha jamii kuchukua hatua kwa pamoja ilikuboresha maisha ya watu na kutunza nchi zao. Kazi zaozimesaidia baadhi ya watu waliobaki nyuma kimaendeleokuwa na sauti, na kuwa mstari wa mbele kuchukua hatua ilikuimarisha maendeleo “.Katika suala la Maarifa ya Utendakazi kuadhimishamiaka 65, tuliona kuwa maendeleo ya jamii yamekuwana mvuto kisiasa, pamoja na washirika wengine kutumiadhana hiyo, wakati mwingine kwa maana tofauti sana.Wataalamu wa maendeleo ya jamii na maelfu ya makala zautafiti, vifaa vya habari na machapisho kuhusu maendeleoya jamii yalionyeshwa na kuendelea kuonyesha umuhimuwa kutafakari katika eneo letu, daima ishara ya taalumayenye manufaa. Watekelezaji wa mradi huu na wenginewamechangia mawazo yetu juu ya maadili yetu ya msingi,kutambua kwamba maendeleo ya jamii sio ya kisiasa walaya nia mchakato. Tumeweka kauli wazi kwa umma kuhusumaadili ya kimsingi. Ni hayo maadili ambayo yanakuwamwongozo katika ufafanuzi wa dhana ya IACD 2016 naambayo inalenga makala hii.Uamuzi wa IACD wa kuchapisha taarifa yakekufafanua na kueleza dhana ya maendeleo ya jamii ilitokanana (utafiti wa IACD wa ramani ya mipango ya mafunzoya CD kote ulimwenguni) ambayo imeonyesha kwambamaendeleo ya jamii ilifasiriwa kwa upana na kwa urahisi nawatoa huduma mbalimbali, waajiri na watendaji katika nchimbalimbali. Tulitambua mipango kadhaa ya mafunzo yakiwango cha kufuzu ambayo ni pamoja na maendeleo yajamii kama sehemu ya kozi ya shahada ya kwanza. Baadhiya kozi ni pamoja na digigrii ya jumuiya ya wataalamu zamaendeleo; wengine hushirikisha dhana yamaendeleo yajamii na taaluma kama vile afya, maendeleo ya kiuchumi,kazi ya kijamii, maendeleo ya vijijini au maendeleo yakimataifa (kutaja maana chache). Utafiti wetu haukutazamakwa undani yale digrii hizi zimefundisha wala kutathminiubora wao, lakini ukweli kwamba zipo na zinatoa mafunzoili kuwawezesha wanafunzi kufanya kazi kwenye maendeleoya jamii. Hii ni ishara kwamba mafunzo yanafanyika katikanchi nyingi zilizoendelea na zinazoendelea duniani na kunamahitaji ya wataalamu wa mradi huo.4. Practice Insights 9. Special 65th Birthday Issue. January 2018.5. g-study/89

Building uponNational StandardsKwa hiyo, IACD, kama chama cha wataalam wa kimataifa,iliamini kuwa ni muhimu kuhimizawataalamu, wakulipwa na wakukutolipwa, kuwa naufahamu wa pamoja kuhusu lengo la maendeleo ya jamii,kujengwa juu ya maadili ya pamoja. Nia yetu ni kuungamkono viwango vya juu vya utekelezaji kulingana namtazamo uliokubaliana wa kile ambacho kinasudiwa, kamavile mtaalamu awe amefuzu katika eneo hilo. Kukubalianana ufafanuzi wa IACD kuhusu maendeleo ya jamii itakuwamwanzo wa kubuni na kukuza viwango vya umoja wakimataifa vya utekelezaji wa maendeleo ya jamii na elimuna mafunzo ya watendaji.Wakati ambapo kuna changamoto nyingi na fursa mpyaza ajira na utkelezaji wa maendeleo ya jamii ulimwengunikote, muhimu zaidi ikiwa ile ya Umoja wa Kimataifakuhusu Mada ya Maendeleo Endelevu (SDG) na utekelezajiwao kitaifa na ndani ya nchi, ni muhimu kwa taalumayetu kuchukua hatua ya kujitathmini tena ikiwa taalumaza maendeleo ya jamii zilizipo zinawezakukabiliana nachangamoto husika. Kupitishwa kwa SDGs na Umojawa Kimataifa mwaka wa 2016 inatoa fursa kubwa kwawatendaji wa maendeleo ya jamii kuonyesha jinsi yakuwezesha jumuiya za kujenga uwezo wao wa kushirikikatika ajenda ya SDG, ikiwa ni kuimarisha ujasiri wa jamiikukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, kukuza afya,kupunguza umasikini au kujifunza kuishi maisha marefu.10Katika miaka ya hivi karibuni, idadi ya mashirika na vyamavya kitaifa vya maendeleo yamezua viwango vya kitaifa auviwango kuhusu kazi kwa maendeleo ya jamii. Hili huelezeakile mtu anachohitaji kufanya, kujua na kuelewa ili kufanyamaendeleo mazuri kwa jamii, na kusaidia katika maendeleoya kitaaluma kwa wafanyakazi kwa kuendeleza utekelezajimwema, kuleta pamoja ujuzi, maarifa na maadili ambayoyanaimarisha kazi hiyo. Katika nchi zingine viwangohivi vya kitaifa ‘huongozwa kwa rika’ ikiwa ni pamoja nautekelezaji, usimamizi, ‘mtumishi’ na mafunzo ya mtoamaslahi na utaalamu katika uangalizi wake wa utekelezaji.Mada ni kuendeleza seti ya makubaliano ya viwangovinavyoonyesha uelewa wa pamoja wa madhumuni,taratibu na majukumu muhimu ya jamii maendeleo ambayoinaweza kusaidia watendaji woteIngawa viwango vingi vya sasa ni msingi wamazoezina udhamini (na mawazo) ya jamii katika Kaskazinimwa nchi, ukweli kwamba tofauti za mitandao na vyombovya CD za taifa katika nchi kadhaa zimezalisha ni hatuakubwa ya kuanzia na tunaamini kwambanjia hizi zinaweza kuchukuliwa duniani kote na kwa kweli hililimeanza kutokea, kwa mfano kwa harakati katika mwelekeohuo nchini Afrika Kusini na New Zealand.Katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita au zaidi, kazinzuri zaidi imeonekana katika nchi tofauti na wataalamu,wakufunzi na waajiri kukubaliana na uwezo unaohitajika wakufanya11

Utekelezaji wa maendeleo ya jamii ni zaidiya kazi ya jamiiKatika sehemu ya maudhui, maeneo na kauli muhimukuhusu sehemu ya utendaji hapa chini, tunaelezea kileIACD inaonyesha kama maendeleo ya jamii.Utekelezajihuo unafanywa na watu katika majukumu na mazingirambalimbali, ikiwa ni pamoja na watu wanaotambulikakama wafanyakazi wa jumuiya ya kitaaluma (watuwanaofanya majukumu sawa lakini wana cheo tofauti),pamoja na wataalamu katika kazi zingine zinazohusukazi ya kijamii, elimu ya watu wazima, kazi ya vijana,taaluma za afya, elimu ya mazingira, maendeleo yakiuchumi ya mitaa kwa mipango ya miji, upyaji, usanifuna zaidi wanaotaka kutumia maadili ya maendeleo yajamii na kushirikisha mbinu za maendeleo ya jamii.Tunapendekeza kuwataja wote kama “watendaji wamaendeleo ya jamii”, na kutumia dhana hii kujumuishapia “wafanyakazi wa jamii”. Tunatumia neno ‘watendajiwa maendeleo ya jamii’ kujumuisha watu walioajiriwa(wakulipwa na wakutolipwa) katika kazi za kitaalumana kwenye sekta husika zinzotumia maadili na mbinuza maendeleo ya jamii.Utekelezaji wa maendeleo ya jamii yanajumuishamipangilio mbalimbali ya kazi na ngazi kutoka kwamajukumu ya maendeleo ya kufanya kazi na jamii, kwanjia ya usimamizi ya usimamizi na mikakati kupangajamii.6. ationalstandards/12Wataalamu hawa wote wanachangia pakubwakatika kukuza demokrasia ya ushirikiano, maendeleoendelevu, haki, nafasi ya kiuchumi, usawa, na haki yakijamii, kupitia shirika, elimu, na uwezeshaji wa watukwenye jamii. Na tunatarajia kuona Viwango hivi vikiwana manufaa kwa wote.Hebu tuangalie kwa undani zaidi ufafanuziwa IACD tenaya kijamii ni taaluma ya“ Maendeleoutekelezaji na taaluma ya kiakademiaambayo inahimiza ushirikiano wakidemokrasia, maendeleo endelevu, haki,nafasi ya kiuchumi, usawa nahaki ya kijamii, kupitia shirika, elimu nauwezeshaji wa watu ndani ya jamii zao,ikiwa ni ya eneo, utambulisho au riba,katika mazingira ya mijini na vijijini.“Viwango hivi vya kitaifa hutoa hatua ya msingikutuwezesha kushughulikia changamoto, mabadilikona maendeleo (mifano ya viwango vinawezakupatikana hapa chini). Kile tunachoita ‘Viwangovya Umoja wa Kimataifa vya Mazoezi ya Maendeleoya Jumuiya’ yameelezwa kwa kiasi kikubwa na kazizinazoendelezwa katika miaka ya hivi karibuni kutokanana nchi kama Ireland, Uingereza, Afrika Kusini na NewZealand.anuzi huu unaonyesha seti ya maadili ya kuimarisha,kusudi na seti ya mbinu za kazi.A. Kuimarisha maadiliKatika ufafanuzi kuna maelezo mafupi na ya wazi juu yamaadili na ambayo yanapaswa kuimarisha utekelezaji;haya yanaweza kuelezwa kama: Kujitolea kwa haki,ushirikiano, demokrasia, usawa,haki za mazingira nakijamiiTaarifa hii ya thamani ya nafasi ya utekelezaji wakitaalamu hueka msingi wa kufanya kazi kulingana naviwango vya maadili vinavyotumika katika mazingirambalimbali, kufanya kazi na watu na mashirika yenyemapendekezo tofauti.B. KusudiKa

ya mwongozo na Novemba 2016, tulisambaza kwa wajumbe wa awali karatasi ya majadiliano inayoonyesha mifano ya kazi zilizopo ambazo zilikuwa tayari zinaendelea katika nchi zingine, kwa mdhumunj ya kuzalisha viwango vya maendeleo ya jamii. Kundi la

Related Documents:

3 Kuanzisha zaidi ya vituo 180 vya mafunzo ya awali ya mtoto vya Tucheze Tujifunze (Vituo vya TuTu) katika maeneo ambayo upatikanaji wa elimu, pamoja na elimu ya awali bado ni duni. Kuandaa video shirikishi kwa ajili ya kutoa miongozo ya kuwaimarisha walimu katika u

Lindi 6.30-6.50 Chikonji Mwenge kuweka jiwe la msingi Mradi wa Maji. 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 6.50-7.00 10Chikonji Mwenge kuelekea S/M Kineng‟ene. Mkuu wa Wilaya ya Lindi 7.00-8.00 S/M Kineng‟ene. CHAKULA CHA MCHANA 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 8.00-8.15 S/M kineng‟ene Mwenge kuelekea Shule ya Sekondari Mkonge. 15 Mkuu wa Wilaya ya Lindi 8. .

Katika hali ambapo kiwango cha ubora wa matokeo ya Kiswahili yalidorora katika mtihani wa Kidato Cha nne (KCSE) mwaka wa 2012 na kuwa asilimia 35.81 pekee yakilinganishwa na asilimia 48.82 ya mwaka 2011, sheng imekuwa ikilaumiwa kuwa ndicho chanzo cha kudorora kwa viwango vya ubora wa matokeo.

FASIHI MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA FASIHI TATHMINI YA PAMOJA MACHI/APRILI 2017 SEHEMU YA A: FASIHI SIMULIZI (a)i Utungo wa kishairi ambao hutungolewa kwa kutumia sauti iliyo kati ya uimbaji na uzungumzaji (kalima) 1 x 2 alama 2 (ii) Sifa za maghani (i) Yana muundo wa kishairi. (ii) Tamathali za semi hutumika kwa wingi.

MTIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA EKSIKA Hati ya kuhitimu kisomo cha sekondari Kenya(K.C.S.E) MAAGIZO: a) Jibu maswali yote. b) Andika majibu yote katika nafasi zilizoachwa. c) Karatasi hii ina alama 30. d) Hakikisha kurasa zote zimepigwa chapa. Swali Upeo Alama Ufahamu 15 Ufupisho 15 Lugha 40 Isimu Jamii 10 Jumla 80

Hodder Education Student eTextbooks . Pamoja’s new online Cambridge IGCSE and International AS and A Level courses will include access to Hodder Education’s Student . Geography (0460) IGCSE and O Level Geography Revised 3. rd. Edition S

uchangizi wa pamoja wa mawazo, kuuliza maswali halisi, kufanya tathmini ya usalama wa kiuendeshaji pamoja na hatari, kuandika mipango na michakato jumuishi . Hivyo basi, mwongozo huu mpya unalenga kuwafanya watetezi wa haki za binadamu waimiliki harakati nzima ya usalama na ulinzi. Umilikaji ni kipengele cha usalama wenyewe.

Adolf Hitler Translated into English by James Murphy . Author's Introduction ON APRIL 1st, 1924, I began to serve my sentence of detention in the Fortress of Landsberg am Lech, following the verdict of the Munich People's Court of that time. After years of uninterrupted labour it was now possible for the first time to begin a work which many had asked for and which I myself felt would be .