JUZUU 14

2y ago
417 Views
3 Downloads
5.20 MB
9 Pages
Last View : 2d ago
Last Download : 1m ago
Upload by : Fiona Harless
Transcription

JUZUU 14Ina Aya 99RUBAMAASURATUL HIJR(lmeteremka Makka)Ina Makaru 6Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu Mwenyekuneemesha neema Jcubwa kubwa na Mwenyekuneemesha neema ndogo ndogo.I.Alif Lam Ra. Hizi ni Aya za Kitabukilichoku nyakilayanayohitajiwanakikayadhihirisha kwa vizuri.2.Mara nyingi wale waliokufuru watatamani(huko Motoni) lau wangalikuwa Waislamu.3· Waache wale (chakula) na wafurahi na'liwadanganye tumaini Ia uwongo (Ia kuwawataghufll'iwa). Karibuni hivi watajua (ya kuwa sikweli tumainio lao hilo).4· Na hatukuuangamiza mji wowote ule ilaulikuwa na muda wake maalumu.5. Hawawezi watu wowote kuitangulia ajaliyao (muda wao), wala hawawezi kukawia (baada yakuflka muda wao).6. Na walisema (kwa stihizai): "Eweuliyeteremshiwa mauidha! Hakika wewe nimwendawazimu.,7. "Mbona hutuletei (hao) Malaika (wakutuangamiza) ikiwa wewe ni miongoni mwawasemao kweli?"8. (Mwenyezi Mungu anawaambia). Sisihatuteremshi Malaika ila kwa haki (wakati wakuangamizwa kwao unapothubutu); na hapohawatapewa muhula (ila wataangamizwa tu).9. H akika Sisi ndio tulioteremsha mauidhahaya (flii Qurani); na hakika Sisi ndiotutakayoyalinda.Lakini kutamani kwao hakutakuwa na faida nao. Yaleyti Haileti.3· Wanascmezwa wale ambao hima yao ni katika kula na kustarehe tu. Hima ya kinyama. Hima yako iwe nikutengeneza dunia yako na ya wenzako na Akhera.6-7. Namna walivyokuwa wanajitahidi kumpachika Mtume sifa asizokuwa nazo, na wana yakini kuwa Mtumehana sifa hizo. Wanavurumiza tu makusudi. Basi na sisi tukivurumiziwa tusione kitu. Tusishugbulike na kuwajibu.Tushughulikie yenye faida. Mwislamu hapotezi wakati wake kwa jambo lisilokuwa na faida.9· Maneno haya ya Qurani yatasalia maisha bila ya kupotea hata harufu moja. Na wowotc watakaotabkubidilisha barufu moja tu hii watafedheheka; itambulikane pale pale kuwa harufu hiyo SIYO; kama ilivyofanyasafari hii Scrikali ya Uyahudi (ya Israili); ilitabiisha Qurani ikabadilisha kidogo baadhi ya vijineno ikatanaazwaulimwenguni; papo hapo ilijulikana,l.339

Al HIJRJUZUU 14(J S)RUBAMAAIo. Na bila shaka tuliwaleta (Mitume) kablayako katika makundi ya (watu) wa mbele huko.1 I. Nahakuwafakia Mtume yoyote ilawalimfanyia stihizai. 12. Na kama hivi tunaingiza (tabia hiyo yastihizai), katika nyoyo za hawa maasi (wa ummawako).1 3.Hawayaamini haya, na hall ya kuwaimewapitia mifano ya watu wa mbele huko (wakaonanamna walivyoangamizwa).·I 4·Na lau tungaliwafungulia (hao makafll'i)mlango wa mbingu, na wakawa wanapanda (nakushuka kama walivyotaka, ili uwe ndio uujiza waMtume)1 s. Basiwangalisema:"Machoyetuyamerogwa tu, bali sisi (nafsi zetu) ni watutuliorol'!a (tunaona kinyume cha mambo)."16. Na hakika tumeweka katika mbingu, vituo(vya nyota) na tumezipamba (hizo mbingu) kwa ajiliya wale wanaozitazamaNa tumczilinda na kila shetani ambayehufukuzwa (kila anapotaka kuja kusikiliza yanayopitahuko mbinguni)1 8. Lakini asikilizaye kwa wizi, basi marahumfuata kijinga kilicho dhahiri.I 9. Na ardhi tumeitandaza na humo tumewekamilima na tumeotesha kila kitu kwa kiasi (chake).1 7.Na tumekufanyieni humo vitu vya(kuendesha) maisha (yenu) na (vya maisha ya) waleambao (mumewamiliki wala) nyinyi sio wenyekuwaruzuku. (Waruzukaji wa hakika ni sisiMwenyezi Mungu).2 1 Na hakuna chochote ila asili yake inatokanana sisi; wala hatukiteremshi ita kwa kipimo maalumu(si ovyo ovyo tu).20.Na maana yake pia yatasalia yale yale na haitabainika hata mara moja kuwa hivyo sivyo zinavyosema llimu zasasa. Qurani mpaka leo-na mpaka mwisho wa ulimwengu-haikusema kitu ambacho imebainika sasa kuwa sivyohi.vyo zinavyosema llimu za Science na nyen1inezo zote zilizo llimu za kwdi. Amekwisha' kusema MwenyeweMwenyezi Mungu kuwa Qurani 'Haiijij hii Qurani kukosa upande wo wote ulc-mbele yake wala nyuma yake.,14-1 s. Katika inadi yao, hata wangepewa hiyo miujiza wanayoitaka, hata ya kupanda mbin1uni; basiwqesema 'Ni kiini macho}tunajiona tu kuwa t\mapanda mbiJIIUDi, wala batupandi hivi. Tumekaa sisi, tunajionatu lalwa tunapaa wala hatupai . . . , Binaadamu ni mshindani kwdi kweli kama alivyosema Mwcnyezi Munau· katib Aya ya S4 ya Sur.arul Kahf19. Kila kitu Mwenyezi Munau anakifanya kwa kiasi chake (kipimo cbake) si ovyo tu.340

JUZUU 14Al HIJR US)RUBAMAANa tunazileta pepo zimejaa umande (wakufanya mawingu) na tunateremsha maii (ya mvua)kutoka katika mawingu hayo(yanayochungwachungwana hizo pepo pia), kisha tunakunywesheni maji hayo(na wanyama wenu na miti yenu na mengineyo). Walasi nyinyi muyawekao (katika ardhi yakawa mito, ·maziwa, mifereji, visima. . · ·) ·2 2.23. Na sisi ndio tunaohuisha n.a tunaofisha; na.sisi ndio warithi (wa yote haya wakati ambao hapanachochotc kitakachokuwa kihai).24. Na tunawajua watanguliao(waliokwishakufa)katika nyinyi, na tunawajua wachelcwao (walio wahaina wasiokuja ulimwcnguni bado).25. Na hila ·shak.a Mola wako, Ycyc .ndiycatakayewakusanya. Hakika Yeye ni Mwenye hikimana Ajuaye (kila jambo). ·26. Na tulimuumba mwanaadamu kwa udongomkavu unaotoa sauti (unapogongwa), unaotokana namatope meusi yaliyovunda.2 7.Na majini tuliwaumba kabla, kwa moto waupepo wcnyc joto (kubwa kabisa) .28. Na (kumbuka) Mola wako alipowaambiaMalaika, "Hakika Mimi nitamuumba mtu · kwaudongo mkavu unaotoa sauti, wenyc kutokana namatope meusi yaliyovunda."29. "Basi nitakapomkamilisha na kumpuliziaroho inayotokana na Mimi, basi mumuangukic kwakumtii."30. Basi Malaika wakatii wote pamoja3 1 lsipokuwa lblisi; alikataa kuwa pamoja nawaliotii.32. (Mwcnyczi Mungu) akasema: "Ewe lblisi!lmekuwaje? Hukuwa pamoja na waliotii?"3 3. Akasema "Siwezi kumtii mtu uliyemuumbakwa udongo mkavu unaotoa sauti, unaotokana namatope yaliyovunda."·34. · Akasema (Mungu): "Basi tok'a humo, nabali ya kuwa wewe (sasa) ni mwenye kufukuzwa nakubaidishwa na rehema "l7. Katika maelezo ya hii Aye waliyoifanya kuwa ni ya :l8 wanatia ukafiri wao ule wa kukataa Majini ambao tumeuraja katika muejezo ya Aya ya I l l ya Surarul An-am- na wametia ukafiri wao pia ule wa kusemakuwa Nabii Adamu siye baba wa wanaadamu wote. Na tumeyuejeza baya katika marejezo ya Aya ya 30 yaSuratul Baqarah.341

JUZUU 14Al HIJR US)RUBAMAA35· "Na kwa yakini itakuwa juu yako laanampaka siku ya malipo."36. Akasema (lblisi): "Mol a wangu! Basi nipenafasi (nisife) mpaka siku watakayofufuliwa (viumbevyote)."31· · Akascma (Mungu):"Hakika wewe(nimekwisha kufanya) katika wale waliopewanafasi "38. ccMpaka siku ya wakati uliowekwa; (ukifikawakati huo utakufa)."39· Akasema: "Mola wangu! Kwa sababuumenihukumu kupotea, basi nitawapambia .(viumbevyako upotofu) (upotevu) katika ardhi nanitawapoteza wote."40. "lsipokuwa wale waja wako waliosaflkakweli kwcli."41. (Mwenyezi Mungu) akascma: "Hii njia yao .ya (kuja) kwangu imenyoka (wanaweza kunijiawakati watakao)."· 42. "Hakika waja wangu, wewe hutakuwa namamlaka juu yao; isipokuwa wale wenye kukufuata(kwa khiari zao).katika hao wapotofu (wapotcvu)."43. Na bila shaka Jahanamu ndipo mahali paowalipoahidiwa wote'44. Ina miJango saba; na kwa kila mlango ikosehemu yao iliyogawanywa (ya kuwa hii ya mlangofulani na hii ya mlango fulani).45· Na hakika wanaomcha Mwenyezi Munguwatakuwa katika Mabustani na chemchemu(zinazopita mbele yao huko; waambiwe).46. "Yaingicni salama usalimini (kwa salama namuwe katika amani).,4 7. Na. tutaondoa mifundo iliyokuwa vifuanimwao, na (watakuwa) ndugu (wenye kupendana)(waliokaa) juu ya viti vya kifalme, wamcelekeana(wanazungumza kwa furaha kll'bwa).48. Haitawagusa humo taabu wala pia humohawatatolewa.39. Tumeisema kwa urefu-katika Aya ya us ya Suratul An-am-habari ya kuongolewa na ya kuachiwakupotea.47. Watu wakiwa Peponi hawatakumbuka ugomvi wao wa kila namna waliokuwa nao duniani na mifundoyao. Wote wanapendana pasina mfano - Raha mustarehe.342

JUZUU 14AL HIJR (15)RUBAMAA49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi niMwingi wa kusamehe (na) Mwingi wa kurehemuSo. Na hakika adhabu Yangu ni adhabuinayoumiza kweli kweli.s1. Na uwaambie khabari za wageni wa (Nabii)Ibrahimu.Sl. Walipoingiakwakenawakasema:"Salaam" (Salaamun Alaykum. Akawajibu; kisha)Akasema (alipoona wamekataa kula chakulaalichowaek ); "Kwa hakika sisi tunakuogopeni."S 3· Wakasema: "Usiogope. Sisi tunakupakhabari. njema ya (kuwa utazaa) mtoto mwenye ilimukubwa.''54· Akasema: "Oh! Mnanipa khabari hii, nabali yakuwa uzee umenishika! Basi kwa njia ganimnanipa khabari njema hiyo?"S S. Wakasema: "Tumekupa khabari njemailiyo haki; basi usiwe miongoni mwa wanaokatata.maa."s6. Akasema: "Na nani anayekata tamaa yarehema ya Mola wake isipokuwa wale waliopotea?"S1· Akasema: "(Tena) kusudi lenu (jengine) ninini enyi mliotumwa?"s8. Wakasema: "Hakika sisi tumetumwa kwawale watu wakosa (tukawaangamize)." (Watu waNabii Luti.)·s ; ,t1 J l::if ;otf1::\ ;:,: & "vt" , t;ft .la!. I t:;jc.J1tf9 -JJ tji 1 1iiltfs9·"Isipokuwa waliomfuata Luti. Bila shakasisi tutawaokoa wote hao (waliomfuata Luti)"6o. "lsipokuwa mkewe. Tunapimia yakuwaatak\lwa miongoni mwa watakaokaa nyuma(waangamizwe)."so. Mwc:nyc:zi Mungu ana yote mawili. Upole kwa wanaostahiki upolc:, na Ukali kwa wanaostahiki ukaU.Lakini upole ndio mkubwa kabisa san 5ana, kwa hivi anawasamehe wengi hapa duniani na atawasamc:he wengikabisa huko Akhera, ila waliopindtakiar.mipaka.59· Nabii lbrahimu na Nabii Lufwalikuwa Mitume wakati mmoia lakini nchi mbali 'mbali, bali na Nabiilsmaili pia mwisho wake, na Nabii Is-haqa.Nabii lbrahimu alikuwa Shamu (Syria) na Nabii Luti Falastini (Israili sasa) na Nabii Ismaili Hijazi, na Nabii lshaqa Shamu kal1ll babiii Jake.6o. Mkewe Nabii Luti-kama mke wa Nabii Nuhu-walikuwa ni makafll'i, na waume zao ni Mitume, nahali ya kuwa waume t o hawana habad ya haya na hall ya kuwa wanalala nao na kuamka nao kama anavyosemaMwenyezi Mungu kauka Aya ya 10 ya Surarur Tahrym.··Na kuna watu huwadaia vipenzi vyao kuwa wanajua yaliyo ndani ya vifua vya watu wanaokutana nao na watuwanaokuja kuwatazama na watu wanaokaa naoiBasi ni uwongo kabisa maneno hayo. Anayejua yaliyofichikana katilca vifua vya viumbe ni Mwenyezi Mungu tukama anavyosema Mwenyewe mara kwa mara haya katika Qurani kuwa "Yeye (tu) ndiye anayejua yaliyo vifuani(mwa viumbe)."343

JUZUU 14AL HIJR .(IS}RUBAMAA6 I. Basi wajumbe walipofika kwa watu wa Luti(kwa sura 2a Kibinadamu)62. (Luti) alisema: "Hakika nyinyi ni watumsiojulikana (na mimi; sikujuini)."6 3. Wakasema·: "Basi sisi tumekuletea yaleambayo walikuwa wanayafanyia shaka, (nayo nimaangamizo yao)."64. "Na tumeflk'a kwako kwa (hilo jambo Ia)haki (la kuangamizwa), na hakika sisi ni wenyekusema kweli.·6s. "Basi ondoka na watu wako katika kipandecha usiku (pingapinga la usiku), na wewe ufuatenyuma yao; wala yoyote katika nyinyi asigeukenyuma (atakaposika shindo hilo Ia adhabu· itakayoteremka, asije akatoka roho kwa ·kuonaadhabu hiyo); na mwende (upesi upesi)mnakoamrishwa."66. Na tukamkatia (Nabii Luti) jambo hili; Iakwamba miZlZl yao itakatwa asubuhi (yaaniwataangamiziliwa mbali asubuhi).67. Na wakaja (kwa Luti) watu wa mji, bali yakuwa wamefurahi . (kuona wamekuja wageniwanaopendeza ili wawafanye machafu).68. Akasema Nabii Luti: "Hakika hawa niwageni wangu, msinifedheheshe"69. "Na muogopeni Mwenyezi Mungu, walamsinidhalilishe (mbele yao)."70. Wakasema (kumwambia Nabii Luti): "Je!Sisi hatukukutaza (kukaribisha) watu (wa nje)?"71. Akasema: "Hawa (wanawake wote nikama) binti zansu; ikfwa nyinyi ni wafanyao(yaliyoamrishwa basi waoeni, Msiwatake wanaumewenzenu)."72. Naapa kwa umri wako! Hakika waowalikuwa katika ulevi wao (wa maovu);wanahaniaika ovyo.Na alimwambia Mtumc wake Nabii Muhammad kuwa hayajui yaHyo katika vifua Yya Masahaba uke - kunawqine wanafiki, na yeyc hawatambui. Alimwambia haya katika Aya ya 101 ya Surati Taf.llba kwa maneao.haya:"Na katika wcnycji wa Madina pia (kuna weqinc wanafiki); wamebobca katika ·unaflki; wcwe huwajui (kuwaw1111ftki). Sisi tunawajua.''···Basi hana ruhusa Mwislamu kumpa mtu mweqine sifa hiyo ya Mwenyezi Munau, si Uislamu kufanya bivyo.67. Katika hii Aya waliyoifanya kuwa ni ya 68 wamegcuza, makusudi, muradi wao t'Wakifurahi," kamawalivyogcuza katika Aya waliyoifanya kuwa ni ya So ya Sural Hud, ill kuwapigania Qaumu, Luti.344.

JUZUU 14Al. HIJR (15)RUBAMAA73. Mara adhabu ikawakamata lilipotoka jua .(tu)74. Basi tukaifanya (miji ile chini juu) juu yakekuwa chini yake: Na tukawamiminia mvua ya maweya udongo wa motoni.75. Hakika katika (masimulizi) haya yamomazingalio (makubwa) kwa watu wenye kupimamambo.76. Na (miji) hii (tuliyoiangamiza hivi) ikokatika njia zipitwazo (nao kila wakati; wanaonaalama hizo).77. Bila shaka katika haya yamo mazingatio(makubwa) kwa wanaoamini.78. Na hakika watu wa Kichakani (pia)walikuwa madhalimu; (nao ni watu wa NabiiShuebu)79· Kwa hivyo tukawaadhibu; na nchi mbilihizi ziko katika njia zilizo dhahiri (wanazipita haoMakureshi makafrri katika misafara yao).So. Na hila shaka wakazi wa (nchi ya) Hijri(pia) waliwakadhibisha Mitume (Mtume wao niN abii Salehe).8 1 . Na tuliwapa maonyo yetu; lakini walikuwawakiyapuza.82. Nao walikuwa wakichonga majumba katikamajabali kwa amani. (Walikuwa wakichongamajabali kufanya majumba humo).83. Basi ukelelc wa adhabu ukawafllda asubuhi84. Hayllkuwafaa (mali)waliyokuwa wakiyachuma(wala mambo waliyokuwa wakiyafanya).85. Na hatukuziumba mbingu na ardhi navilivyomo ndani yake (vyote hivi) ila kwa ajili ya(kudhihirisha) haki. Na bila shaka · Kiama kitaflka.Basi msamehe msamaha mzuri (kila anayekufanyiaubaya; malipo yenu mtayakuta huko Kiama).86. Hakika Mola wako ndiye Muumbaji (nandiye) Mjuzi.87. Na tumckupa (hizi Aya) saba (tukufu zaAlfatiiha-za Alhamdu) zisomwazo mara kwa mara,na (tumekupa) Qurani (yotc nzima hii) tukufu.· &t l ij , CJ.:l1;@ I78. Nabii Shuebu alipelekwa kwa watu wa Lubnani (Lebanon) hao Maphonecians tunaowasikia. Na nchi hiini nchi ya miti mingi mpaka leo na nchi ya watu waliokuwa mahodari wa biashara na kwenda nchi za mbali mbali.Na mpaka leo sifa hii wanayo.34525

JUZUU 14AL HIJR (IS)RUBAMAA88. Usinyoshe (usikodowe) macho yako(kutazama) yale tuliyowastareheshea makundi mbalimbali ya hao (wabaya); wala usiwahuzunikie (huzunikubwa ya kujiumiza nafsi yako); na inamisha bawalako kwa wanaoamini (uwafunike kama kuku nandege wengine wanavyofunika watoto wao. Yaanikuwa na huruma na hawa).89. Na sema: "Hakika mimi ni Muonyaji niliyedhahiri (sifichi lolote).90. Kama tulivyowateremshia (adhabu wote)waliojigawanya makundi (yakashindana katikakuupinga Uislamu)9 1 . Ambao wameifanya Qurani kuwa mmkusanyiko wa uwongo (aliokusanya NabiiMuhammad akadai kuwa ni maneno ya MwenyeziMungu).Basi ndivyo Wallahi tutakavyowauliza woteChao siku ya Kiama).92.93·Juu ya yale waliyokuwa wakiyatenda.94· Basi (wewe) yatangaze uliyoamrishwa (walausijali upinzani wao) na ujitenge mbali na (vitendovya) hao washirikina.Hakika sisi tunakutosha kukukingia (shariya) wanaofanya dhihaka96. Wanaojaalia pamoja na Mwenyezi Mungu,waungu wengine. Basi karibuni hivi watajua.9 S.97. Na kwa yakini Sisi tunajua ya kwambakifua chako kinadhikika kwa yale wasemayo (nawafanyayo katika kuipinga dini ya Uislamu).98. (Lakini stahmili) umtukuze Mota wakopamoja na kumsifu (kwa sifa zake njema), na uwemiongonimwa(haowanaosifiwakuwa)wanamsujudia (M wenyezi Mungu).88. Mwenyezi Mungu amemsifu Mtume Muhammad katika mwisho wa Suracic Tawba kwa kuwa Yeye kwauma wake ni kama mzazi rahimu kwa wanawe, anakatika maini akiona wanawe anaowapenda wanaingia mashakaniau wanajilia mashakani. Kwa hivyo akihuzunika kweli kweli na akiungulika kweli kweli kuona watu hawatakikufuata uwongofu, wanapapia upotofu. Huzuni hi yo .ilikuwa ikimuumiza moyo wake kwr.li kweli na ikiathiri sibayake hata akikaribia kuatilika. Kwa hivyo Mwenyezi Mungu alimkariria mara kwa mua kuwa asifanye buzunihizo, kama vile kumwambia Falaallaka Bakhiun au Falaa Tahzan Alayhim au Falaa Tadhhab na/sukaAlayhim Hasaratin.97. Hakuna anayetukanwa asione taabu . Lakini aliambiwa astahamili. Na yeye akistahamili Hajibizani nao.Basi nasi tuwe vivi hivi. Tustahamili hata tukiona ta bu vipi. Mstahamilivu hula mbivu kama alivyokula MtameMuhammad na wenziwe wcnginewe.

JUZUU 14AL HIJR (IS)RUBAMAAgg, Na umuabudu Mola wako mpaka ikufikiehiyo yakini. (Nayo ni Maud).·.99. Waonso kabisa hao wanaojha mawalii na wakasema wamefikilia daraja kubwa ya kutopasiwa kufanyaibada. Mtume mwenyewe hakupewa !ambo hilo - lisUokuwa na maana- wataptwa wao. Hao maaai waliobobeakatlka uasl.Na kuna wengineo wanaoui dhahiri 'shahiri, na watu wao wakasema "Machoni mwe1u tu ndio lun tona maa ihaya, lakini kalika hakika yake si maasi hayol, Wanafiki wakubwa hao na wazancJiki - wao na hauwanaowapiaania.347

Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu Mwenye kuneemesha neema Jcubwa kubwa na M wenye kuneemesha neema ndogo ndogo. I . Alif Lam Ra. Hizi ni Aya za Kitabu kilichoku nya kila yanayohitajiwa na kikayadhihirisha kwa vizuri. 2. Mara nyingi wale walio

Related Documents:

JUZUU 27 AL-WAQIAH (Sol 53. "N a kwa huo tajaza matumbo (yenu)." 54· "Na juu yake mtakunywa maji ya moto yanayochemka." 55. "Tena .mtakunywa kama wanywavyo ngamia wenye kiu sana, (na kila wakinywa kiu haiweshi)." 56. Hiyo ni karamu yao siku ya malipo. 57. Sisi rumekuumbeni, basi hamsadiki (kuwa tunaweza kukurejesheni?) 58.

Tulang Humerus Gambar 2.1 Anatomi 1/3 Tulang Humerus (Syaifuddin, 2011) Sulcus Intertubercularis Caput Humeri Collum Anatomicum Tuberculum Minus Tuberculum Majus Collum Chirurgicum Crista Tubeculi Majoris Crista Tuberculi Majoris Collum Anatomicum Collum Chirurgicum Tuberculum Majus . 4. Otot-otot Penggerak Pada Bahu Menurut Syaifuddin (2011), otot- otot bahu terdiri dari : a. Gerakan fleksi .

ASTM C 1702 external mixing Sample 1 Sample 2 Not tested Cement, g 9.81 3.38 Water, g 4.90 1.69 Sand reference, g 37.37 12.61 Test duration, h 168 168 3. Results and Discussion 3.1 Signal to noise Figure 1 shows the heat flow measured from the sample cell charged with sand that displayed the highest overall heat flow. This was taken as a measure of noise for the purpose of this study. Figure 1 .

ASTM E84 Flame Spread for FRP Consult data sheets for specific information. Asbestos/Cement Halogenated-FRP Halogenated/ w/Antimony-FRP Red Oak Non-Halogenated 0 100 200 300 400 X X Plywood 25 75. Surge and Water Hammer-Surge wave celerity 0 200 400 600 800 1000 1200 1400 1600 CONC DI CS FRP PVC PE50 Wave Celerity-m . Usage of FRP World Wide- Literature Survey. Usage of FRP World Wide .

Before accepting an engagement, the auditor should consider whether acceptance would create any threats to compliance with the fundamental principles. Examples of potential threats include: - The auditor does not possess the competencies necessary to properly carry out his or her duties - The auditor prepared the original data used to generate records that are the subject matter of the .

An example of Business Architecture Q&A 1. Why? What are the goals of the business? Attract more customers to the hotel. 2. What services will the business provide to those ends? Free valet parking of a car (along with other services) 3. What processes must be performed to deliver those services? 4. What roles will perform activities in processes? Valet (3 actors) 5. What data .

The Solution Architecture for Energy and Utilities Framework The Solution Architecture for Energy and Utilities Framework (SAFE) is an innovative, powerful software platform, uniquely designed to provide network visibility and control, process automation and business collaboration for solutions across the energy and utility value chain.

CALLIGRAPHY JEAN BEAVER The Art of Calligraphy Level: All 109 member/ 159 non-member/ 25 inst. fee Visual Arts Center, 26100 Old 41 Road Supply list online Calligraphy is a learned art form. Anyone can learn with instruction and practice. Students will become familiar with use of a broad-edged pen nib and will learn two beautiful alphabets, Roman and Bookhand. Instructor will show examples of .