FAFANUA MAANA YA FASIHI SIMULIZI KWA KUREJELEA MAONI YA .

3y ago
411 Views
11 Downloads
467.92 KB
23 Pages
Last View : 1d ago
Last Download : 11d ago
Upload by : Ellie Forte
Transcription

FAFANUA MAANA YA FASIHI SIMULIZI KWA KUREJELEA MAONI YAWATAALAMU TOFAUTI Maana ya fasihi simuliziFasihi simulizi imeelezwa kwa namna tofauti na wataalamu mbalimbali wa fasihi.Finnegan (1970) anaeleza kuwa fasihi simulizi ni sanaa ambayo hutegemea msaniiambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalumu. Katika fasili hii Finneganhajagusia mambo muhimu katika fasihi simulizi kama vile muktadha, namna yauwasilishaji, uhifadhi na badala yake amejikita zaidi katika ubunifu alionao msaniianayeiumba fasihi nimasimulizitunayoyapokea mdomo kwa mdomo, si masimulizi yaliyoandikwa tangu awali,kwa ajili hii basi, tutaona katika fasihi simulizi kuna utumiaji wa ulumbi (ufundiwa kusema).Matteru (1983:26) anatueleza kuwa fasihi simulizi ni aina ya fasihi ambayohutumia mdomo kwa kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa wasikilizajina watumiaji wake. Aidha Matteru anaendelea kusema kwamba, fasihi simuliziikiwa ni sanaa itumiayo maneno katika kutoa dhana fulani, hutegemea sananyenzo mbalimbali za kuonekana na kusikika zitumiwazo na binadamu katikakujieleza.Msokile (1992:3) anasema kuwa fasihi simulizi ni kazi ya sanaainayotumia lugha.Kazi hiyohuifadhiwa kwa kichwa na kusambazwakwa njia ya masimulizi ya mdomo. Anamalizia kwakusema kwamba,fasihi simulizi imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi. Fasili hiiina ubora wake kwa sababu ni kweli fasihi simulizi hurithishwa kutoka kizazi hadikizazi na pia njia kuu ya uwasilishaji wake ni masimuliizi ya mdomo, lakini kwaupande mwingine ina mapungufu kwa sababu inaonesha njia moja tu yaUk 1

ihuhifadhiwa kichwani tu, haijazungumzia njia zingine za uhifadhi wafasihi simulizi zilizotokana na maendeleo endelevu ya sayansi nateknolojia kama vile vinasa sauti, kanda za kurekodi na maandishi.Mlacha (1995:16) ametueleza kwamba fasihi simulizi ni nyanja katika maishaya jamii am- bayo huchangia sana katika kuiendeleza na kuidumisha historia yajamii husika. Alipokuwa akifafanua zaidi juu ya fasihi simulizi Mlacha alisemakuwa ‘fasihi simulizi huchangia katika kuelimisha jamii kuhusu asili yake,chanzo na maendeleo ya utamaduni wake na maisha ya jamii hiyo kuanziazamani’.Wamitila (2003:44) anatueleza kwamba, fasihi simulizi ni dhana inayotumikakurejelea kazi ambazo kimsingi hupokezanwa kwa njia ya masimulizi au kwamdomo. Yeye kwa hakika hayuko mbali sana na msingi mkuu wa fasihi simuliziuliosababisha kuwepo kwa tawi hili la fasihi. Kwa upande mwingine Wamitila(2003:15) anatueleza kuwa tawi hili la fasihi linatu- miwa katika jamii kama njiaya kupashana maarifa yanayohusu utamaduni fulani, historia ya jamii,matamanio yao, mtazamo wao na historia yao. Kwa mtazamo wake huo,tunaweza ku- jumuisha kuwa fasihi simulizi ndicho chombo muhimu cha jamii.Mwanafasihi Kimani Njogu (2006: 2) anatueleza kuwa fasihi simulizi inaubunifu na uhai wa kipekee wenye kutoa fursa njema ya kuibua nadharia zakijamii, kiuchumi na kisiasa. Pia a- naifananisha aina hii ya fasihi na uti wamgongo wa maendeleo ya binadamu, kwani ndani yake kuna masimulizi,maigizo, tathmini za mazingira na mahusiano ya kijamii.Kezilahabi (1989) anasema; fasihi simulizi ni istilahi inayotumiwa kuelezeadhanna ya fasihi itolewayo kwa mdomo bila kuandikwa. Istilahi hii ina dosariUk 2

kwani neno simulizi halina maana ya kinachosemwa –oral- bali ni kitukinachosimuliwa –narrative-.TUKI (2004) inatoa fasili ya fasihi simulizi kuwa ni fasihi inayouhifadhiwa na kurithishwa k u t o kakinginek wanjiayamd o mokizazik a mak i mo javilehadihadithi,kizazin g o ma ,n a vitendawili. fasili hii inamaana kuwa nyenzo kuu ya uwasilishwaji wa fasihisimulizi ni mdomona kwamba fasihi simulizi hurithishwa kutoka kizazi kimojahadi kingine baada ya kuhifadhiwa.Lakini fasili hii ina mapungufu yakekwa mfano haijaelezea hiyo fasihi simulizi inahifadhiwawapi ili iwezekurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine na kwa mujibu wao njiakuu yakuwasilisha fasihi simulizi ni mdomo kwa maana kwambahakuna njia nyingine inayowezakutambulisha fasihi simulizi zaidi ya njia yamdomo pekee.Kwa mawazo ya wataalamu hawa, twaweza kuhitimisha ya kuwa fasihi simulizini sanaa ina- yotumia lugha ya mazungumzo ya ana kwa ana katika kufikishaujumbe uliokusudiwa kwa hadhira husika. Hii ni sanaa ambayo ujumbe wakeupo katika mfumo mzima wa pande mbili za mawasiliano kuwepo pamoja anakwa ana hii ikimaanisha fanani yaani mtu anayerithisha (msimuliaji) na Hadhirayaani mtu anayerithishwa (msimuliwaji). Kwa njia hii fasihi simulizihushirikisha au huwafikia watu wengi na mawazo ambayo jamii iliyakubali,imeyakubali, ina- endelea kuyakubali yatokeapo na inayapitisha na aukuyakabidhi kwa kuendelezwa kutoka kizazi kimoja hadi kizazi kingine kwa njiaya mdomo. Kwa hali hiyo basi, kwa vile taarifa zinazopatikana ni za mdomo,upo uwezekano wa utata, upotoshwaji na upoteaji wa taarifa muhimu za kaleambazo kama zingeliandikwa zingelidhihirisha ukweli wa mambo yalivyoUk 3

kuwa.Haiyumkini mapokeo ya fasihi simulizi yanachangia kwa kiasi kikubwa katikakuiunda, kuirekebisha, kuifundisha na kuiboresha jamii.Vile vile kutokana na fafahuzi hizo inaweza kueleweka kuwa fasihi simulizi nisanaa inayoitumia lugha ya kusemwa( masimulizi na utendaji) inayowasilishwakwa hadhira kwa njia ya ana kwa ana, mfano njia ya elekroniki kama vile CD,redio na runinga. Fasihi simulizi hii huhifadhiwa kwa njia ya kichwa, maandishiau kurekodi ili iweze kurithishwa kutoka kizazi hadi kizazi.Fasihi simulizi ndiyo fasihi ya awali. Aina hii ya fasihi imeanza wakatibinadamu alipoanza kutumia lugha kama moja ya chombo cha mawasiliano.Tangia hapo ndipo mwanadamu alipoanza kuimba, kutumia methali, vitendawili,nahau, n.k.Jinsi dunia ilivyobadilika kimaendeleo, na fani za fasihi simulizi ziliendeleakubadilika. Kuto- kana na mabadiliko hayo ya binadamu tangu alipomudukutumia lugha, uwepo wa maendeleo endelevu hadi kutokea kwa mapinduzi yaviwanda na baadaye mwishoni kuingia kwa tekno- lojia mpya, haya yoteyalisababisha mabadiliko hadi katika fasihi simulizi.Mabadiliko haya yaliigawa fasihi simulizi katika fasihi simulizi ya zamaniambapo ilianza sambamba na bina- damu kujua kutumia lugha. Baada hapo,kulipotokea maendeleo ya mitambo na kutokea ma- pinduzi ya viwanda,pakatokea mabadiliko katika fasihi simulizi na kukatokea fasihi simulizi yakisasa.Kuingia kwa teknolojia mpya kuliibadili fasihi simulizi ya sasa, hivyo kuanziasasa twaweza kuipa jina la fasihi simulizi teknolojia mpya. Kwa nadharia hiyobasi, makala haya yataangalia aina kuu mbili tu za fasihi simulizi yaani fasihiUk 4

simulizi ya zamani na ile ambayo kwa mapokeo ya kisasa ni ya fasihi simuliziteknolojia mpya. Utata uliopo wa kufasiri fasili ya fasihi simuliziHadi sasa kuna tafsiri nyingi juu ya dhanna ya fasihi simulizi kutokana nakutoafikiana kwa wataalamu wa fasihi. Kirumbi (1975) anasema: fasihi simulizi nimasimulizi tunayoyapokea mdomo kwa mdomo. Katika fasihi simulizi kunautumiaji wa ulumbi (ufundi wa kucheza na lugha). Kwa maelezo ya Kirumbi nikwamba chombo cha kutongolea fasihi simulizi ni midomo na kwa hiyo katikafasihi simulizi tunakuwa na masimulizi.Kuna baadhi ya wataalamu wanadai kuwa fasihi simulizi ni masimulizi ya kaleambayo hurithishwa kizazi kimoja hadi kingine. Kwa baadhi ya watu fasihisimulizi hufungamanishwa na masimulizi ya mambo ya kale. Kwa jina la kashifafasihi hii huitwa fasihi ya kimapokeo. Baadhi ya wanafasihi hudai kuwa istilahiyenyewe ina mgogoro hivyo wanataka Istilahi mbadala itumiwe badala yaSimulizi. Kezilahabi (1989) anasema; fasihi simulizi ni istilahi inayotumiwakuelezea dhanna ya fasihi itolewayo kwa mdomo bila kuandikwa. Istilahi hii inadosari kwani neno simulizi halina maana ya kinachosemwa –oral- bali ni kitukinachosimuliwa –narrative.Hivyo tafsiri ya fasihi simulizi katika Kiingereza ni –narrative literature- sio –oralliterature-.Pamoja na migogoro huu kikubwa kufahamu ni kuwa fasihi simulizi niutanzu mmoja wa fasihi. Na fasihi simulizi ni sanaa ya masimulizi na matendoinayofikisha ujumbe kwa hadhira iwe ni kwa kuimba, kutenda au kuzungumza.Fanani katika fasihi simulizi hufaulu kutoa picha halisi ya dhanna anayoikusudiaiwe ni huzuni, furaha, kuchekesha au kusononesha. Katika usimuliaji fananihujitathmini kama anafaulu au la kwa kuitazama hadhira yake. Hali hii humsaidiaUk 5

kubadili mbinu za usimuliaji, vilevile fanani huweza kushirikisha hadhira yake nakuleta uhai katika masimulizi yake. Usuli wa fasihi simuliziNadharia ya fasihi simulizi ni mawazo yanayotoa mwongozo kuhusu mwelekeo wajambo fulani katika fasihi simulizi.Kwa kufanya hivyo, nadharia hizo zimeweza kuleta mabadiliko katika nadhariaasilia zilizokuwepo kwa mfano utamaduni wetu wa asili kama vile ususi,ufinyanzi, uchongaji, jando na unyago umeathiriwa na ujio wa wageni.Watafiti wa Kimagharibi na wa Kiafrika wameangalia mambo mengi yaliyoikabilifasihi simulizi ya Kiafrika na mawazo yao ni kama yafuatavyo:MSAMBAOWaasisi wa nadharia hii ni Grimms na Thompson. Wanamsambao wamepinganana wanaubadilikaji taratibu ambao waliamini kuwa kufanana kwa fani mbili zakifasihi kunatokana na jamii hizo kupitia hatua sawa za kimaendeleo.Wanamsambao wanaamini kuwa pale ambapo kufanana kwa namna hiyokutatokea, sababu ya msingi ya mfanano huo ni kuwa katika kipindi fulani hapozamani, jamii hizo ziliwahi kukutana kwa namna fulani na makutano hayoyalisababisha hali ya kuazimana baadhi ya mila na desturi.Wafuasi wa nadharia hii wanaamini kuwa utamaduni unaweza kusambaa kutokakatika jamii imara na maarufu tena yenye nguvu kuelekea katika utamaduni wajamii iliyo dhaifu. Hivyo basi kutokana na mawazo ya wataalamu hawa ni kuwafasihi simulizi ya Kiafrika ilisambaa kutoka katika sehemu moja iliyostaarabika(Ulaya) kwenda sehemu nyingine ambayo haijastaarabika (Afrika). Kwa mfanoushairi simulizi wa Kiswahili ulitoka Uarabuni na Uajemi kuja Afrika.Uk 6

KISOSHOLOJIANadharia hii ina mihimili mitatu ambayo ni ule wa Umahususi, mkazo katikautendaji na dhima ya fasihi simulizi katika jamii. Umahususi, ulijikita zaidi katikajamii peke yake badala ya taaluma ya sanaa jadi kwa ujumla kama walivyofanyawananadharia wa nadharia ya kiutandawazi.Katika Utendaji, Wanasosholojia waliweka msisitizo katika kuchunguza utendajiwa kazi mbalimbali za fasihi simulizi.Kutokana na msisitizo huo imebainika kuwa fanani wa kazi ya fasihi wana ujuzi naustadi wa kiutendaji katika sanaahusika na jambo hili limetuwezesha kuelewa kuwa katika fasihi simulizi kunakipengele cha utendaji.Katika msisitizo kuhusu dhima ya fasihi simulizi katika jamii, wanaamini kuwauamilifu wa fasihi simulizi upo hai na haufi na kwamba unabadilika kulingana namaendeleo ya jamii husika.Kutokana na mawazo ya wananadharia, hii ni wazi kwamba asili ya fasihi simuliziya Kiafrika ni ndani ya jamii za Kiafrika zenyewe na si vinginevyo.UTAIFANadharia hii ilizuka kwenye vuguvugu la kudai Uhuru Barani Afrika. Wanautaifawanadai kuwa wananadharia wa utandawazi hawakuwa na uelewa wa kutoshakuhusu lugha za Kiafrika.Kwa kiwango kikubwa waliathiriwa na dhana za kikoloni na upendeleo wakibepari kuwa Afrika ni bara la giza na la washenzi wasiokuwa na aina yoyote yaustaarabu na walistahili kustaarabishwa na Wazungu kupitia mlango wa ukoloni.Utaifa umeasisiwa na Adeboye, Babalola, Daniel Kunene na Clark. Katikanadharia hii wamejaribu kuondoa dosari ambazo nadharia zilizopita zimeshindwaUk 7

kuondoa kutokana na kwamba wananadharia waliopita mara baada ya kutafitihawakuwa tayari kuchapisha matokeo yao halisi ya utafiti. Wanaona ni kosakubwa kufanya utafiti bila kuwahusisha wahusika wa eneo la utafiti.Ili kufahamu vyema historia ya fasihi simulizi ya Kiafrika ni lazima kuhusishawataalamu na wanachuo wa taifa au jamii hiyo kwa sababu wataalamu nawanazuoni hao ndio wenye ujuzi wa lugha, utamaduni na historia ya jamii hiyo.HULUTISHINadharia hii iliasisiwa na wanazuoni wa Kiafrika wenye mtazamo kuwa hatawageni wamechangia sana katika kukuza taaluma ya fasihi ya Kiafrika.Wananadharia hawa wanaona kuwa fasihi ya kigeni na ya kijadi zimeathiriana nakuingiliana.Miongoni mwa waasisi na wafuasi wa nadharia hii ni pamoja na Mulokozi,Johnson na Ngugi wa Thiong’o. Hivyo basi historia ya fasihi simulizi ya Kiafrikainaweza kujadiliwa kwa kuhusisha au kuchanganya mawazo ya wataalamu wotewa kigeni na wa kijadi.Hata hivyo, fasihi simulizi ya Kiafrika ilikuwepo hata kabla ya ujio wa wagenilakini ilianza kupata athari mara baada ya ujio wao. Athari na mwingiliano wafasihi simulizi hauonyeshi kuwa fasihi imeanzia sehemu gani kwa kuwa fasihiyoyote lazima iathiriwe na iathiri fasihi nyingine.Hivyo basi kila jamii au taifa huwa na fasihi yake na utamaduni wake ambapomaingiliano ya watu na tamaduni zao huweza kuathiriana na hivyo kuathiri piafasihi ya jamii husika. UAINISHAJI WA TANZU ZA FASIHI SIMULIZIUk 8

Uanishaji wa tanzu za Fasihi simulizi unakumbwa na matatizo mbalimbali, jambolinalopelekea wataalamu kutofautiana katika kuainisha tanzu hizo na kupelekeakuchanganya watu mbalimbali h a s a wa n a f u n z i k a t i k a k u ju a n i z i p i h a s an d i z o t a n z u z a f a s i h i s i mu l i z i . wa t a a l a mu w e n g i wametofautiana katikakuainisha tanzu za fasihi simulizi kwa mfano:K u t o f a u t i a n a k wa u a i n i s h a ji w a t a n z u z a f a s i h i s i mu l i z i mi o n g o n imw a w a t a a l a mu h a o kumetokana na matatizo mbalimbali yanayoikumbafasihi simulizi kama yafuatayo:Utajiri wa tanzu za fasihi similizi miongoni mwa jamii za kiafrika. fasihisimulizi huumbwa kutokana na mazingira ya jamii husika na hali ya shughuli zao,jamii hutofautiana sana kimazingira pamoja na shughuli zao hali inayosababishakuwepo kwa fasihi nyingi na za namnatofauti tofauti miongoni mwa jamiimbalimabali, hali hii inasababisha kuwepo kwa tanzu nyingi za fasihi ugulu,kipare,nanyingine nyingi unaweza kubaini tanzu nyingi zisizo na ukomo jambo ambalosi rahisi kwa mtaalamu yeyote kuainisha tanzu na vipera vyote vya fasihisimulizi, hivyo kila mtaalamu huainisha kulingana na ufinyu wa uwelewawa jamii mbalimbali na ukomo wa utafiti wa mtaalamu husika. Hivyo basi kilajamii ina tanzu zake za fasihi simulizi ambapo zaweza kufanana na jamii nyingineau kutofautiana kabisa kutokana na utofauti wa tamaduni moja na nyingi.Kutokuwepo kwa vigezo mahususi vitakavyokubalika na wataalamu wote vya uainishajiwa tanzu za fasihi simulizi ni jambo jingine linalosababisha ugumu katikauainishaji wa tanzu za fasihi simulizi.Uk 9

Ni wazi kwamba katika shughuliyoyote inayohusishauelezeaji,uainishajiauu b a i n is h a ji w a t a n z u z a f a s i h i s i mu l i z i h a i f u n g wi n a mi p a k a ma h u s u s i ja mb o a mb a l o k i l a mtaalamu anaamua kutumia vigezoau hatua azitakazo yeye na kwa kuwa vigezo ni tofauti basi wataalam auwanafasihi huishia kutofautiana na kila mtaalamu kuona vigezo vyake niborak u l i k o v i g e z o v ya mt a a l a mu mw i n g i n e . Hi v yo b a s i k u t o k u wan a v i g e z o ma h u s u s i k a t i k a uainishaji wa tanzu za fashi simulizi nitatizo. Mfano:Mulokozi(1996) Kwa upande wake Mulokozi anaainisha tanzu za fasihi simulizikatika makundi sita ambayo ni MAZUNGUMZO, MASIMULIZI, MAIGIZO,USHAIRI, SEMI, na NGOMEZI.(1)MAZUNGUMZO HotubaMalumbano ya wataniUlumbiSogamawaidha(2)MASIMULIZIa)Hadithi -Ngano (Istiara, Mbazi, Kisa)b) Salua – kisakale, mapisi, tarihi, kumbukumbu, kisasiliUk 10

(3) MAIGIZO (tanzu zake hutegemea na shabaha na muktadha(4)USHAIRIa)Nyimbo Tumbuizo Bembea · Za dini · Wawe · Tenzi /Tendi · Mbolezi · Kimai · Nyiso · Za vita · Za taifa · Za watoto · Za kazi(b) Maghani (ya kawaida, ya sifo- kivugo na tondozi)Ghani masimulizi – rara, ngano, sifo, tendi(5)SEMI methalivitendawilimisimumafumbolakabu(6)NGOMEZI Za taarifaUk 11

Za tahadhali Za mahusiano k.m mapenzisemi masimulizi mazungumzo maagizo ushairi amakumboyafuatayo: Nyimbo za maghani masimulizi semi ngomeziMwanafasihi huyu anatoa mchango wake ifuatavyo kuhusiana nauainishaji wa tanzu za fasihi simulizi. Okpewho anaeleza kuwa uainishaji wa hadithi/ngano ni tatizo la mudamrefu. Hata hivyo anaeleza kuwa kuna vigezo/njia nne mpaka sasa ambazozimetumiwa kuainisha hadithi/ngano.o Kwanza, kigezo cha unguli (protagonist of the tale), katika kigezo hikikunajitokeza ngano zihusuzo wanadamu, ngano za wanyama, ngano zavichimbakazi, na ngano za miungu. Hata hivyo kigezo hiki kinaonyeshakuwa na matatizoMatatizo hayo ni pamoja na kufanana kitabia kati ya jamii moja na nyingine.Kwa mfano katika ngano za wanyama, wanyama hupewa uwezo wakuzungumza, kufikiri, na kutenda kama wanadamu. ·Uk 12

Pia kigezo hiki kinapuuza namna mbalimbali katika ngano ambazovichimbakazi, wanadamu na wanyama huhusiana.o Pili, kigezo cha lengo la ngano husika (purpose of the tale), katika kigezohiki ngano zinaainishwa kwa kuzingatia lengo la simulizi husika. Hapapanajitokeza ngano za kimaadili, ngano za kuhimiza kazi n.k. Okpewhoanaeleza kuwa katika kigezo hiki kundi kubwa la ngano ni zile za kimaadili.o Tatu, kigezo cha sifa ya ubora wa ngano (characteristic quality of the tale),kigezo ambacho ndicho kinaonekana kubeba kundi kubwa la ngano. Katikakigezo hiki kuna ngano ayari (trickster tales)-hizi huambatana na uelevu auulaghai wa wahusika; ngano za mtanziko (dilemma tales) na ngano zakihistoria ambazo huhusu vita, vizazi, mashujaa, usuli wa kitu/jambo fulanin.k.o Nne ni Kigezo cha muktadha wa utendaji wa ngano husika. Katika kigezohiki kinachoangaliwa ni ngano inatendwa wakati gani na katika mazingiragani. Kwa mfano, kwa kutumia kigezo hiki tunaweza kupata nganozinazotendwa wakati wa mbalamwezi (moonlight tales), nganozinazotendwa wakati wa ibada (divination tales), ngano zinazotendwawakati wa mapumziko ya wawindaji (hunters’ tales) na nyinginezo.Kwa ujumla vigezo hivyo vina matatizo kwa sababu kuna uwezakano wa ainamoja ya ngano kujitokeza katika vigezo vyote. Kutokana na utata huo, Okpewhoanazianisha ngano katika makundi yafuatayo:o Kundi la kwanza ni hekaya (legends). Kundi hili linaelezwa kuwa ndiokundi kubwa kabisa la hadithi na hujumuisha tarihi, ngano za mashujaa,ngano za mapenzi n.k.o Kundi la pili ni ngano fafanuzi (explanatory tales). Hizi hufafanua asili yakitu au wazo kwa kuzingatia mazingira na tajiriba za jamii. Kundi hililinajumuisha aina mbili kubwa: (1) Ngano zinazoelezea asili ya kuumbwakwa ulimwengu, (2) Ngano zinazosawiri sifa na tabia za viumbe mbalimbalikatika mazingira yao. Aina hii ya pili hujumuisha visasili na visaviini.o Kundi la tatu ni ngano zisizo fafanuzi (fables). Kundi hili hujumuishahadithi zinazohusu tajiriba zihusuzo wanyama, viongozi wa dini iwe katikaulimwengu au vinginevyo. Katika hadithi hizi msimulizi hatoi maelezomaalumu ni namna gani hadhira iifasili hadithi hiyo.Uk 13

Balisidya (Matteru) (1987) Anagawanya fasihi simulizi katika tanzu tatu ambazoni: Nathari, Ushairi Semi(1) NATHARIA.Ngano B.Tarihi · C.Istiara ·Hekaya ·Kwa nini na kwa namna gani ·kharafaKumbukumbu ·ShajaraHadithi za historia ·epikiVisasili · Kumbukumbu · Tenzi · Kwa nini na kwa namna gani(2) USHAIRIA. Nyimbo Tahlili Bembea TumbuizoUk 14

NgomaMwigaWatotokwayaB.Maghani MajigamboVijighaniShajaratenzi(3) SEMIA. Vitendawili Kitendawili Mizimu mafumboB. Methali Msemo nahauC.Misimu Utani Masaguo sogaUpungufu wa uainishaji huuKatika uainishaji wake, baadhi ya tanzu hazionekani ama tunaweza kusemazimeachwa kabisa. Mfano visakale, ngomezi, Balisidya anauweka utenzikuwa ni kipera cha visasili katika kundi la nathari.Uk 15

Hapa anaibua mjadala kwani kama tujuavyo kuwa utenzi katika fasihisimulizi huhusisha uimbaji pia. Hivyo swali la kujiuliza ni je utenzi ninathari?Vilevile kuna kuingiliana kwa tanzu. Mfano kumbukumbu na kwanini nakwa namna gani ni tanzu ambazo zinajitokeza katika kundi zaidi ya moja.Ngure(2007) yeye anaainisha kama ifuatavyo: usimulizi tanzu fupi ushairi simuliziWamitila(2010) ameainisha tanzu zi

Fasihi simulizi imeelezwa kwa namna tofauti na wataalamu mbalimbali wa fasihi. Finnegan (1970) anaeleza kuwa fasihi simulizi ni sanaa ambayo hutegemea msanii ambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalumu. Katika fasili hii Finnegan hajagusia mambo muhimu katika fasihi simulizi kama vile muktadha, namna ya

Related Documents:

3. Fafanua mchango wa fasihi simulizi katika fasihi andishi. Wahusika wa fasihi simulizi Fasihi simulizi huweza kujengwa kwa wahusika wafuatao: i) Msimuliaji (Fanani): Huyu ni mhusika katika fasihi simulizi, kazi yake kubwa ni kuwaslisha mawazo aliyonayo kwa hadhira. Msimuliaji hujitahidi kutumia mbinu mbalimbali kwa ajili ya kuijenga kazi yake.

c) Fasihi simulizi ni mali ya jamii ilhali fasihi andishi ni mali ya mtu binafsi/mwandishi. d) Fasihi simulizi ina wahusika wa kila aina k.v binadamu, wanyama na ndege, mazimwi na majitu, miungu, mizimu, mashetani na vitu visivyo na uhai k.v. mawe na miti ilhali fasihi andishi ina wahusika binadamu kwa kiasi kikubwa.

Ukongwe wa fasihi simulizi waaidha imo katika mbinu za kuhifadhi. Hapo zama . Page 3 za zama fasihi simulizi ilikuwa ikihifadhiwa kichwani. Ilihifadhiwa humo kwa . fanani, kwani hii ni fasihi ambayo uwasilishaji wake si lazima wahusika wote wawili wawepo yaani fanani na Hadhira. Hadhira inaweza kuwepo lakini fanani

FASIHI SIMULIZI Fasihi ni sanaa inayotumia lugha kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu. Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na hisia za binadamu kama vile maneno, maandishi, uchoraji, uchongaji, ufinyanzi n.k. Fasihi simulizi ni sanaa kwa vile: a) Huwasilisha ujumbe kuhusu binadamu kuhusu utamaduni na uchumi. b) Huwa na umbo mahsusi k.m .

inayojadiliwa hapa ni: Fasihi ni Hisi, Fasihi ni Kioo cha Jamii, Fasihi ni Mwavuli wa Jamii, na Fasihi ni Zao la Jamii husika na Mielekeo yake ya maisha. 3. Mitazamo inayofafanua Uhusiano wa Fasihi na Jamii Kama lilivyo lengo la makala haya kwamba mchango wake ni kuongeza mchango katika kufafanua uhusiano uliopo baina ya fasihi na jamii.

kuna mambo anuwai yanayoshirikisha wanajamii na yanayosheheni vipengele vya fasihi simulizi. Tamasha za urembo ni miongoni mwa shughuli zinazowakilisha fasihi simulizi ya jadi pamoja na kusawiri hali halisi ya ulimwengu wa sasa. Baadhi ya sifa katika sanaa ya maonyesho ya mitindo na urembo zinazosawiri sifa za fasihi simulizi ni kama utendaji .

Kukuza lugha. Aghalabu tungo zote za fasihi hutumia lugha. Isitoshe, fasihi hutumia mbinu nyingi za lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na ukwasi wa lugha. Kuhifadhi mila, tamaduni na itikadi za jamii. Aghalabu kazi za fasihi (hasahasa Fasihi Simulizi) huambatanishwa na desturi mbalim

American Revolution were the same white guys who controlled it after the American Revolution. And this leads us to the second, and more important way that as a revolution, the American one falls a bit short. So, if you've ever studied American history, you're probably familiar with the greatest line in the Declaration of Independence: “We hold these truths to be self-evident, that all men .