MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO - Sitio Oficial

3y ago
215 Views
6 Downloads
545.79 KB
39 Pages
Last View : Today
Last Download : 3m ago
Upload by : Amalia Wilborn
Transcription

MAISHAMAPYANDANIYA KRISTOToleo la KwanzaHatua za msingi katikamaisha ya Mkristo

Hili ni toleo la kwanza la Kiswahili la Maisha mapya ndani ya Kristo. Toleo hilililitolewa kwa mara ya kwanza kabisa kwa Kiispaniola kama NUEVA VIDA EN CRISTO.Kusudi lake ni kukupa msingi imara katika maisha yako ya Kikristo.Epuka kunakilimoja kwa moja kutoka kwenye Biblia unapojibu maswali baada ya kila somo. Jaribukujibu kwa kutumia maneno yako mwenyewe. Hii itakusaidiakuelewa kile unachokisoma.Kando na masomo yenyewe, kila somo lina kazi ya kufanya ili masomo haya yawe namaana zaidi katika maisha yako.Utakapomaliza toleo la 1, endelea na toleo la 2.Kwa maelezo zaidi, tuandikie au piga simu namba:Email: mprcam@comcast.netUnaweza ukajipatia nakala yako bure ya kitabu hiki katikaTovuti ifuatayo:http://www.NewLifeDiscipleship.comNakala hii ipo kwenye mfumo wa PDF na itahitaji AdobeAcrobat Reader ilikukisoma. Hakuna gharama kutumia Acrobat Reader ambayo unaweza kupatakwenye: htmlToleo la kwanza la Kingereza 2002. Copyrighted 1993 Mark RobinsonYesu Kristo, akiwa Mbinguni, ndiye mwenye hati miliki ya kitabu hiki.Toa idadi yanakala unazohitaji kwa sharti kwamba ni lazima uhakikishe umetaja chanzo chake halisi,na wala usifanye marekebisho yoyote ya maandiko yaliyomo au mpangilio wake.CAM International8625 La Prada Dr., Dallas, TX 75228 USA

YALIYOMOMwongozo kwa Mwalimu . 3Utangulizi kwa maisha ya Mkristo 5Hatua ya 1Kuokoka! . 7Hatua ya 2Salama! . .8Hatua ya 3Ushindi! . . . . 10Hatua ya 4Bwana wa Vyote . . 12Hatua ya 5Kuishi katika Roho . . . 14Hatua ya 6Mungu husema Nami . 16Hatua ya 7Kuzungumza na Mungu . 18Hatua ya 8Kukutana na Mungu kila siku . 20Hatua ya 9Kanisa langu . 23Hatua ya 10 Kushuhudia! 25Hatua ya 11 Ubatizo na meza ya Bwana . 27Hatua ya 12 Jamaa. . . . 29Hatua ya 13 Kumfuata Yesu . . 31Maelezo ya ziada . . . 333

MWONGOZOKWAMWALIM8. Jaribu kufanya wanafunzi wafikiri juu yamatokeo ya masomo haya katika maishayao. Wasaidie kuelewa matumizi kamilikwa vitendo.Maswali yaliyoko katika kisanduki pembeniyanakusudi la kufanya wanafunzi kuwekamasomo hayo kwa vitendo katika maishayao. Hivyo basi, yatumie.1. Tunakupongeza kwa kukubali changamotola kuwafanya waumini wapya kuwawanafunzi kwa kutumia kitabu cha“Maisha Mapya Katika Kristo” kamamwongozo wako. Matokeo ya masomohaya yanaweza kuzaa tunda la milele.9. Wasaidie wanafunzi waweze kuwa natabia ya kuomba. Wafundishe kwakuomba pamoja nao.10. Ni muhimu kuelewa kwamba kufanya watu kuwa wanafunzi ni zaidi yakujifunza masomo kumi na tatu katikakitabu cha ‘MAISHA MAPYA KATIKAKRISTO.’ Uanafunzi una maana yamabadiliko katika maisha ya mwanafunzi.2. Biblia iwe mamlaka yako katika kujibumaswali yote wakati wote. Mwanafunzini lazima atafute vifungu vya Biblia yeyemwenyewe, na kujaribu kujibu maswalikufuatana na jinsi Biblia inavyosema.Waumini wengine wapya wanahitajikukabilishwa vyema jinsi ya kutafutakifungu katika Biblia.Hiki kitabu ni msaada wa kutanguliza tu. Mwanafunzi anahitaji kuendeleakusaidiwa kutafuta namna ya kubadili tabiayake, namna ya kufikiri, mwenendo wake,na kadhalika.3. Kitabu hiki kinaweza kutumika kwa njianyingi. Wakati mwingi, unaweza kusomasomo moja kwa Juma, huku ukiwatia moyowanafunzi kufanya kazi zote katika kilasomo.11. Ni muhimu sana mwanafunzi kujifunza jinsiya kuenenda kwa kusoma Biblia kila siku,kuomba, na kuweka vifungu vya Bibliakichwani.4. Jaribu kufanya kipindi chako kisiwe chamuda mrefu sana.Unapoanza kila somo, chukua muda wakumkumbusha mwanafunzi wako kifungucha kukariri katika somo lililopita na kupatekuwauliza jinsi wanavyoendelea katikakusoma Biblia kila siku.5. Watie moyo wanafunzi kujibu maswali kwakutumia maneno yao wenyewe, wakiepukakunakili moja kwa moja kutoka kwenyeBiblia.Hii itamsaidia mwanafunzi kuchanganua maana ya maandiko aliyojifunza.6. Epuka kuhubiri. Tumia maswali ili uwezekugundua yale wanafunzi wanachoelewana uweze kuwachochea kushiriki.12. Uwe makini katika kutambua yale Munguanayafanya katika maisha ya mwanafunzi.Katika kila somo, chukua muda wa kujibuswali lolote ambalo mwanafunzi wakoanakumbana nalo, na kusaidia iwapo anaswala linalotatiza maisha yake.7. Jiandae vizuri wewe mwenyewe katika kilasomo. Kama mwalimu, inakupasa kufahamu vifungu na mawazo makuu kwa kilakifungu. Unapojiandaa, ombea wanafunzina moyo wako ili uwe tayari kwa somo.Yakupasa ufahamu kwamba unawezakukosa muda wa kujibu maswali yotekatika kila somo. Ikiwa hivyo, chaguamaswali yaliyo muhimu sana, ambayoyanaweza kujadiliwa.4

Karibu Katika Jamaa Ya MunguUlianza maisha mapya ya ajabu pamoja na Kristo ulipomwamini.Lengo la kitabu hiki ni kukufanya uweze kujua Biblia isemavyokuhusu maisha ya Mkristo. Kukua katika Kristo ni hatua kwa hatua.Kila siku tunapaswa kulishwa na kutembea pamoja na Kristo. Kadiritutoavyo muda wetu kwa ajili ya ushirika wetu pamoja naye, ndivyotutakavyopiga hatua hadi kukomaa.Muhtasari wa jinsi ya kutembea pamoja na Kristo1.2.3.4.5.Soma Biblia kila siku ili kumjua Kristo vizuri.Zungumza na Mungu kila siku kwa maombi.Mruhusu Mungu atawale maisha yako, ukijisalimisha kwa mapenzi yake.Zungumza na wengine kuhusu habari za Kristo.Tafuta kuwa na ushirika na waumini wengine katika kanisa ambalo Kristoanahubiriwa.6. Tafuta mwamini mmoja au wawili, ambao unaweza kuomba nao nakuwashirikisha mafanikio yako, na pia kushindwa kwako.7. Onyesha kwa vitendo maisha yako mapya kwa kuonyesha upendo nashauku ya kuwajali wengine.BIBLIAMaisha inayotawaliwa na KristoYoshua 1:8Maisha ya Mkristo yanaweza kuwakilishwana picha ya msalaba. Kristo ndiye kiini chamaisha yetu mapya. Tunaishi kwa kujisalimisha kwake.USHIRIKAWaebrania 10:24-25KRISTOWagalatia 2:20Mstari ulio wima, unawakilisha ushirika wetupamoja na Mungu kwa maombi na kwakusoma Biblia.Mstari wa mlalo unawakilisha ushirika wetuna watu wengine. Tunapaswa kutafutaushirika na waumini wengine katika kanisa.Tunapashwa kuwaambia wale ambaohawajaamini habari za Kristo.WAOMBIWafilipi 4:6-75USHUHUDAMathayo 4:19

Hatua ya 1KuokokaJibu KWELI (K) au SI KWELI (S)Kuokoka ni kuamini tu kwamba Mungu yupo.Dhambi inasababisha utengano kati ya Mungu na mwanadamu.Mimi nimeokolewa kwa kwenda kanisani na kufanya matendomema.MAISHA YA KALEWAKATI WA KUAMUA1. Kutokana na Waefeso 2:1, Je hali yetu ilikuwaje kabla Kristo kutupauzima wa milele?2. Soma Warumi 3:23. Je hiyo ina maana kila mtu alitenda dhambi?Ndiyo La Kama hivyo ndivyo ilivyo, Je hali yetuilikuwaje kabla Kristo hajatuokoa?Kama umekwisha kumpokea Kristokama Mwokozi wako, andikahapo chini tarehe uliyofanya huouamuzi. (ikiwa unakumbuka)Kama bado hujampokea, Je ungependa kufanya hivyo sasa?Ndiyo 3. Biblia inasema kwamba, tulikuwa tumekwisha hukumiwa. Je ni kwaHapana nini? (Yohana3:18)Kama umemkubali hivi leo, basiandika tarehe ya leo hapo chini.KAZI YA MUNGU4. Je katika Waefeso 2:4-5, Mungu ametajwa vipi?5. Kwa mujibu wa kifungu hiki, Mungu amefanya nini kwa ajili yetu?6. Soma Warumi 5:8, Je ni jinsi gani Mungu anaonyesha pendo lakekwetu?7. Soma Waefeso 2:8-9. Mungu aliamua kwamba tusiokolewa kwa matendo yetu (kifungu cha 9). Je ni matendo gani mazuri ambayo watuwanayafanya ili wapate kuokolewa?8. Tunaokolewa kwa kwa njia ya(Kifungu cha 8).Neema maana yake ni “zawadi ambayo hatukustahili kupata”. Kwamaneno mengine ni kwamba Mungu alitupa wokovu wa bure, ingawahatukustahili.9. Je tumwamini nani ili tuweze kuwa watoto wa Mungu?(Wagalatia 3:26)6HEBU FIKIRIHebu fikiri juu ya nyumbanikwako, kila mmoja, na kila kituunachokipenda. Je ni jinsi ganidhambi zako zimewaathiri?Fikiri juu ya maisha yako ya baadaye. Kama ungeliendelea na maisha yale ya zamani,ungelikumbanana hukumu ya Mungu. SomaUfunuo 20:11-15 na utafakari juuyake, ukimshukuru Mungu kwaupendo wake mkuu.Matendo yako yamebadilika sasakwa kuwa uko ndani ya Kristo naumekuwa kiumbe kipya. Andikahapa chini baadhi ya mabadilikoambayo umeona tangu Jumalililopita.

10. Eleza kwa maneno yako mwenyewe maana ya kuwa na imani katikaKUWA IMARANi muhimu kutafuta tabia ambazo zitakusaidia kukua katikamaisha mapya.Kama vilemazoezihuimarishamwili, kunamazoezi katika masomoya kirohoyanayowezakukusaidiakukua katikaKristo.Hayo mazoezi ni kama vile:Kuchunguza BibliaMaombiKukariri vifungu vya BibliaKando na kumaliza masomohaya, ni muhimu kusomavifungu vya Biblia na kumwomba Mungu kila siku.Wiki hii usome sura ya 1-7katika kitabu cha Yohana,sura moja kwa siku.Muombe Mungu kabla hujaanzakusoma, uandae moyo wakokupokea yale Mungu atakayokuambia kupitia kwa Neno lake.Baada ya kusoma kila sura,fanya tena maombi, zungumzana Mungu kuhusiana na kileulichokisoma.Kristo.MAISHA MAPYA11. Je Kristo alikuja kwa kusudi gani? (Yohana10:10)12. Je Mungu anampa nini mtu aliyempokea Kristo? (Yohana1:12)13. Kwa mujibu wa Yohana 5:24, ni kitu gani kinachotokea wakati mtuanapompokea Kristo?14. Je Mungu alituumba kwa kusudi gani kutokana na Waefeso 2:10Kumbuka kwamba hatukuokolewa kwa matendo yetu balitumeokolewa ili tufanye matendo mazuri.15. Soma 2 Wakorintho 5:17.Kuwa “ndani ya Kristo” ina maana yakumpokea Yeye kama Mwokozi. Hivyo kama mtu yu ndani ya Kristo’anafanyika kuwa nani?16. Eleza kwa maneno yako mwenyewe maana ya kifungu kinachosema,“ya kale yamepita, tazama yamekuwa mapya.”Kwa msaada wa Mungu, ninajitolea kusoma sura moja ya Bibliakila siku.TareheKWA MUHTASARIKwa maneno yako mwenyewe, eleza kwa kifupi kile umejifunza leo.Kariri Waefeso 2:8-9“Kwa maana mmeokolewakwa neema, kwa njia yaimani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawacha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asijeakajisifu”.Katika maelezo ya ziada #1utapata kadi itakayo kusaidia kukumbuka mistari ya Biblia katikamasomo haya.1. Je maisha yako yalikuwaje kabla ya kumpata Kristo?2. Je Kristo alifanya nini kwa ajili yako?3. Je utaonyeshaje katika maisha yako ya kila siku maisha mapya ambayoMungu amekupatia?7

Hatua ya 2SALAMA!Jibu KWELI (K) au SI KWELI (S)Nina hakika sasa kwamba nimeokokaMungu anahitaji nifanye dhambi ili aonyeshe upendowake kwa wingi.Nikifanye dhambi alafu nife bila kutubu, bado nimeokoka.MUNGUAMENIPA ULIZI1. Soma Waruma 8:38-39. Mara tunapokuwa tumempokea Kristo, je kunanamna tunavyoweza kutenganishwa na upendo wa Mungu?Soma Yohana 10:27-29 na ujibu swali la 2 hadi 72. Ni kitu gani kilichotolewa kwa ajili yetu? (kif. 28)3. Ni nani anayetoa uzima wa milele? (kif. 28)KUTOA SHUKURANIKutokana na Yohana 10:28-29,Wewe upo katika mikono yaYesuKristo, na wakati uo huo upokatika mikono ya Mungu Baba.Hebu fikiri juu ya ulinzi imara ulionao katika mikono hiyo! Si ajabukuona kwamba inasema marambili kuwa hakuna anayewezakututoa katika mikono yake.4. Je kitu cha milele kinaweza kufikia mwisho? (kif.28)Kiarifa “toa” kipo katika wakati uliopo. Hii inamaanisha kwamba tayaritunao uzima wa milele. Uzima wa milele unaanza mara tu tunapompokeaKristo kama Mwokozi wa maisha yetu, bali sio tunapokufa.5. Je ni wakati gani tutakapoangamia? (kif.28)Hi inaonyesha wazi wazi kwamba uzima wa milele hauna mwisho.HEBU FIKIRI6. Je kuna mtu au kitu chochote kinachoweza kutunyakua kutoka kwamikono ya Kristo? (kif. 28)7. Je kuna mtu anayeweza kutunyakua kutoka katika mikono ya Baba yetu?(m.29)Sasa soma Waefeso 1:13-14 na ujibu swali la 8 hadi 98. Je ni kazi gani aliyoifanya Mungu ndani yetu? (kif.13)Dhambi ni kutenda, kusema, aukufikiri kitu ambacho ni kinyumena mapenzi ya Mungu.IjapokuwaMungu ananipenda, anachukiadhambi zangu.Hebu fikiri na uandike sababumbili zinazokufanya kuaminikwamba Mkristo ni sharti ajaribukuepuke dhambi?1.9. Je ni wakati gani ambapo tulitiwa muhuri? (kif.13)Mungu alitupa Roho mtakatifu kama hakikisho kwamba sisi ni mali yake.Soma “Mimi ni nani katika Kristo” katika, maelezo ya ziada #2mwishoni mwa kitabu.Je unajisikiaje unaposoma hakikisho hili? Je unapata ujasiri?82.

10. Soma 1Yohana 5:11-12. Je unao uzima wa milele?Tunawezaje kujua hakika kwamba tuna uzima wa milele?ONYO11. Sasa kwa kuwa nimeokoka, ni kwa nini nisicheze na dhambi?WIKI HIIWiki hii mwombee mtu mmojakatika jamaa yenu ambayebado hajampokea Kristo.Ombea wokovu wao. Andikamajina yao hapa chini:Warumi 6:1-2Soma Waebrania 12:5-10 kishA ujibu swali la 12 na 13.12. Kwa sababu nimekuwa mtoto wa Mungu, yeye hunirudi. Ni kwa ninianafanya hivyo? (kif.6)Je unatatizika kutafuta vifungukatika Biblia? Hapa kunakidokezo. Kariri kwa mfululizomajina ya vitabu kumi vyakwanza katika Agano Jipya:MathayoMarkoLukaYohanaMatendoWarumi1 Wakorintho2 WakorithoWagalatiaWaefesoKUWA IMARASoma Yohana 8-14 wiki hii(Sura moja kwa siku)Kariri Yohana 10:27-28“Kondoo wangu waisikiasauti yangu; nami nawajua,nao wanifuata. Naminawapa uzima wa milele;wala hawata potea kamwewala hakuna mtu atakayewapokonya katika mikonoyangu”.13. Mungu hunirudi kwa lengo gani? (kif.10)MUNGU AMENIPA CHAGUOSiyo matakwa ya Mungu kwamba utende dhambi. Bali kama wanadamutunakabiliwa na majaribu. Hii inamaanisha kwamba bado tuna shindana nadhambi katika maisha yetu.Je itakuaje ikiwa utatenda dhambi? Huwezi kupoteza wokovu wako,baliunaweza kuathiri ushirika wako na Mungu. Akiwa Baba wa Upendo, ametupa njia ya kuepuka majaribu na kuweza kumkaribia iwapo tutatendadhambi. Tutajifunza hili kwa undani katika hatua ya 3UCHIMBUZI WA KINASoma 1 Wakoritho3:11-15. Kila Mkristo atahukumiwa kwa kazi yake,wala sio kudhibitisha kama ameokoka. Kama kazi yake itampendezaMungu, basi atapata thawabu.Kama sivyo, basi hatapokea thawabu maalum. (Thawabu hii si sawana wokovu, maana wokovu alikwisha kupokea tayari. (kif. 15)Je, utapokea thawabu au utaponea chupu chupu?9

Hatua 3Washindi!Jibu KWELI (K) au SI KWELI (S)Tunapojaribiwa ni hakika kwamba tutafanya dhambi kwa sababutu dhaifu sanaTukifanya dhambi na kutubu, Mungu atatusamehe.Tunao maadui wa kiroho wanaotujaribu.UCHIMBUZI WA KINATUMO VITANIBiblia inasema kwamba Mungu hawezi kutujaribu (Yakobo 1:13). Basi hawamaadui wetu wa kiroho ni nani katika maandiko yafuatayo?Tunajaribiwa sote, lakini hiihaimaanishi kwamba lazima tutende dhambi.1 Wakorintho 10:13, ina kweli tatuza kututia moyo.1. Yakobo 4:41. Majaribu ni sehemu ya kuwawanadamu, na inawezekanakuyashinda.2. Wagalatia 5:172. Mungu ameweka mipaka kwamajaribu. Tunaweza kuyapinga.3. 1 Petro 5:83. Mungu hutoa njia ya kuepukakatika kila jaribu.Tunaweza kukabiliana vipi na hawa maadui?Tafakari kweli hizi na kuziamini!4. Ulimwengu (Warumi 12:2)5. Mwili (Wagalatia 5:16)6. Mwovu shetani (Yakobo 4:7)TUNAWEZA KUWA WASHINDI7. Ni nani mkuu kuliko shetani? (1 Yohana 4:4)8. Nani aishiye ndani ya muumini? (1 Wakorintho 3:16)9. Ni nani atupaye ushindi? (1 Wakorintho 15:57)KUTHIBITISHA UKWELIMUNGU HUTUPA ZANA ZA KUTUWEZESHA KUWA WASHINDIKulingana na vifungu vifuatavyo, ni kitu gani tunachopaswa kufanya ili tuweze kuepuka majaribu?10. Zaburi 119:1111. Mathayo 26:41Mkristo anaweza kuyashindamajaribu. Je unaweza kukumbukawakati fulani hivi karibuni ambapoulikutana na jaribu na ukawezakulishinda kwa msaada waMungu?12. Mithali 4:14-1513. 2 Timotheo 2:2210

KUREKEBISHA MAMBONinapaswa kukiri dhambi zangumbele za Mungu. (Zaburi 32:5); lakini kuna nyakati ambazokufanya hivyo hakutoshi. Ninalazimika kwenda hatua moja zaidi.Kama dhambi yangu imemwathirimtu mwingine basi ni lazimanimtafute mtu huyo na kumwomba msamaha. (Yakobo 5:16;Mathayo 5:23-24)Ninawezaje kupatana na Munguambaye simwoni, kabla sijapatana na jirani yangu ambayeninamwona? (1 Yohana 5:20)TUNAWEZA KUSAMEHEWA14. Kutokana na 1 Yohana 1:8, je kuna mtu ye yote, hata Mkristo,anayeweza kusema hana dhambi?Ushirika wa muumini na Mungu huvunjika muumini anapofanya dhambi. Hii haimfurahishi Mungu ingawaje anatupenda.Yeye hatasikilizamaombi yetu tusipokuwa tayari kukiri dhambi zetu.15. Sasa tufanye nini ili tupate kusamehewa? (soma 1 Yohana 1:9)JE NAWEZAJE KUUNGAMA DHAMBI ZANGU?WIKI HIIWiki hii mwombee rafiki yakomnayefanya kazi naye, mwanafunzi mwenzako, au jirani yakoambaye anahitaji kumpokeaKristo.Kuungama ni zaidi ya kusema, “nilitenda dhambi.”Ungamano la kweli linahitaji mambo haya:a.Unyofu.b.Kutubu kwa kusikitika na kutotamani kurudia dhambi tena.Wiki hii nitamwombea:c.Kumtajia Mungu dhambi niliyotenda.d.Kuwa mwepesi wa kutambua makosa yangu. Nahitaji kutubu mara tuninapotambua kwamba nimefanya dhambi. Nisipofanya hivyo, basikuna hatari ya kufanya dhambi zaidi.e.Kunyenyekea na kuomba walioathiriwa na dhambi zangu msamaha.f.Kupokea msamaha. Hatuhitaji kuendelea kujilaumu kwa dhambiambazo tumetubu tayari. Ni sharti tupokee msamaha wa Mungu,tukimwamini na kumshukuru. Tukatae shutuma za Shetani kwambahatuwezi kusamehewa.Kariri vitabu vingine kumivinavyofuata katika agano jipya.Fanya marudio ya vile vitabukumi vya mwanzo kutokana nasomo lililopita:WafilipiWakolosai1 Wathesalonike,2 Wathesalonike1 Timotheo,2 TimotheoTitoFilemoni,Waebrania,Yakobo16. Kutokana na 1Yohana 1:9, ni kitu gani kinachotokea ninapokiri dhambi zangu?a.b.MUHTASARI1. Maadui wetu wa kiroho ni nani?KUWA IMARASoma Yohana 5:21, juma hili(soma sura moja kwa siku).2. Je, tuna uwezo gani wa kuwashinda hao maadui?Kariri 1 Yahana1:9“Tukiziungama dhambi zetu,Yeye ni mwaminifu na wahaki hata atuondolee dhambizetu, na kutusafisha na udhalimu wote”.3. Tufanye nini ili tupate kusamehewa iwapo tutatenda dhambi?11

Hatua ya 4Bwana wa vyoteJibu KWELI (K) au SI KWELI (S)Nina haki ya kuongoza maisha yanguNikimpa Kristo Maisha yangu yote, ataondoa raha zangu.Najua kuyaongoza maisha yangu na hakuna mwingine aliye nahaki ya kuniambia la kufanya.BWANA MKUBWA NI NANI?ANGALIA“BWANA” ni moja kati ya majina yanayotumika kumtambulisha Yesu. Ingawadunia inaishi katika uasi dhidi ya Mungu siku za leo, siku moja kila goti litapigwa mbele zake na kila ulimi utakiri kwamba Yeye ni Bwana (Wafilipi 2:10-11).1. Je, maana ya kusema: “Yesu ni Bwana katika maisha yangu” ni nini?2. Kwa nini Kristo awe na haki ya kutawala maisha yangu?Kuna vitu vingi visivyo vibayaambavyo vinaweza kuchukuanafasi ambayo Kristo ndiyeanayepaswa kuchuka katikamaisha yetu.Weka alama katika vitu ambavyovinazuia kazi ya Kristo katikamaisha yako. Vitu ulivyo navyo KaziWakolosai 1:162 Wakorintho 5:15Je maisha yangu ni mali ya nani sasa? Tama zako Marafiki Viburudisho Mazoea Tabia yako Jamii yako MengineoITIKIO LANGU3. Kama mimi ni mali ya Kristo, yanipasa kumwitikia vipi, kwa mujibu wa2 Wakorintho 5:15HEBU FIKIRINi maeneo gani hasa unayohitajikusalimisha kwa Kristo?4. Soma Wagalatia 2:20. Huu mstari unaweka kwa kifupi mambo muhimukatika maisha ya Mkristo. Eleza maana ya kifungu cha maneno yafuatayo:“Wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu”.“Kusulubishwa pamoja na Kristo” inamaanisha maisha yangu ya zamaniyamekufa, au yamebakia nyuma yangu. Tangu sasa nina maisha mapyayenye nguvu za kushinda dhambi ndani ya Kristo.5. Je, nawezaje kuishi katika maisha haya mapya ndani ya Kristo? Soma sehemu yapili ya Wagalatia 2:2012WIKI HIIMalizia kukariri vitabu vifuatavyovya agano jipya. Fanya marudioya majina ya vitabu vile ambayoulikwisha kukariri.1 Petro, 2 Petro1 Yohana, 2 Yohana, 3 YohanaYudaUfunuo

KUISHINDA HOFUJe unafadhaishwa unapofikirikuyasalimisha maisha yako yotekwa Kristo?6. Ni njia ipi nzuri ya kufahamu kama Kristo ni Bwana katika maisha yangu?Luka 6:467. Kwa nini ni muhimu kuyasalimisha maisha yangu kwa Kristo? Siwezi kuwatumikia mabwana wawili.Yanipasa kuamua kamanitamtumikia Mungu au kuutumikia Ulimwengu. Siwezikuwapendeza wote wawili (Luka 16:13). Mimi ni mtumwa wa dhambi ikiwa Kristo si kiongozi wa maishayangu (Warumi 6:16).JE, MUNGUANANITAKIA MEMA?Hapa chini kuna baadhi yavitu vinavyofanya watu wengiwaogope kuyasalimisha maishayao kwa Kristo? Weka alamakando ya vile vinavyokuathiri. Siku moja nitasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo na kutoahesabu. (2 Wakorintho:10).NANI MWENYE UWEZO WA KUTAWALA MAISHA YANGU?YesuMimi Naogopa kwamba Yesuhajui matatizo yangu kwahakika.Je ni nani anayenitakia mema katika maisha yangu? Je ni nani an

Hili ni toleo la kwanza la Kiswahili la Maisha mapya ndani ya Kristo. Toleo hili lilitolewa kwa mara ya kwanza kabisa kwa Kiispaniola kama NUEVA VIDA EN CRISTO. Kusudi lake ni kukupa msingi imara katika maisha yako ya Kikristo.Epuka kunakili moja kwa moja kutoka kwenye Biblia unapojibu maswali baada ya kila somo. Jaribu

Related Documents:

7. Onyesha kwa vitendo maisha yako mapya kwa kuonyesha upendo na shauku ya kuwajali wengine. Maisha inayotawaliwa na Kristo Maisha ya Mkristo yanaweza kuwakilishwa na picha ya msalaba. Kristo ndiye kiini cha maisha yetu mapya. Tunaishi kwa kujisalimi-sha kwake.Mstari ulio wima, unawakilisha ushirika wetu pamoja na Mungu kwa maombi na kwa kusoma .

Maisha ndani ya Kristo Utangulizi Kuwa mkristo ni kuwa na uhusiano na ushirika na Bwana Yesu Kristo. Swali ni, je uhusiano huu . Tutaona jinsi kuunganishwa kwa Kristo kunatuletea maisha mapya na pia tutaona jinsi tunafaa kumtegemea Kristo pekee katika maisha yetu tunapoishi katika ulimwengu huu mwovu. Tutasoma

MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO-SOMO LA KWANZA 7 Uamuzi wa muhimu Sana katika maisha yako, ni kumkubali Yesu Kristo awe bwana na mwokozi wa maisha yako. Yohana 3:3 inasema, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuona ufalme wa mbinguni. Ulipomuamini Yesu awe mwokozi wako, ulizaliwa mara ya pili.Kuzaliwa kwako upya kwa roho wa Mungu, .

1. maisha mapya katika kristo 1 2. maisha mapya katika ushindi 5 3. maisha mapya yenye uweza 9 4. maisha mapya yenye usawa 13 5. ukufunzi wenye nguvu - nafasi nzuri 17 6. misingi yenye nguvu taratibu ya viongozi 19 7. cheti cha kuhitimu ukurasa wa nyuma

Sasa Kristo anaishi ndani yako. Tamaa yako ya kumpendeza itaongeza kumpendeza Yeye zaidi ya wewe. Katika mfululizo wa masomo ya Maisha mapya ndani ya Yesu, ulifundiswa juu ya maombi na kusoma biblia. Tutatazama kwa undani sana nguzo hizi mbili muhimu ambazo zitabadilisha maisha yako na kukuwezesha kumpendeza Kristo ambaye kwa hiari yake

Kuishi maisha kutoka kwa chanzo mapya Kitabu cha kwanza katika mfululizo Kuishi maisha iliyobadilika . nilikuwa na mapambano makubwa ya ndani ya uhaba, uoga, . Anasema kwamba maisha ya Kristo ni Zaidi ya uzima wa milele aliokupa katika wokovu. Anasema kwamba Yesu ni maisha yako leo, wakati huu.

Maisha Mapya ndani ya Kristo kama muongozo wako. Matokeo ya mafundisho haya yanaweza kusababisha matunda ya milele. 2. Ifanye Biblia kuwa mamlaka yako katika kujibu maswali. Wanafunzi wanapaswa kuangalia vi-fungu vya Biblia wenyewe na wajaribu kujibu maswali kulingana na kile Biblia inachosema. Baadhi ya waamini wapya wanahitaji msaada

2 The Adventures of Tom Sawyer. already through with his part of the work (picking up chips), for he was a quiet boy, and had no adventurous, troublesome ways. While Tom was eating his supper, and stealing sugar as opportunity offered, Aunt Polly asked him questions that were full of guile, and very deep for she wanted to trap him into damaging revealments. Like many other simple-hearted souls .