MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO - Nueva Vida En Cristo

3y ago
411 Views
14 Downloads
556.88 KB
39 Pages
Last View : 15d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Ciara Libby
Transcription

MAISHAMAPYANDANIYA KRISTOToleo la 2Hatua zaidi za kimsingikatika maisha ya Kikristo

Hili ni toleo la Pili katika Lugha ya Kiswahili la Maisha Mapya katikaKristo. Kwa mara ya kwanza kabisa kitabu hiki kilichapishwa kwa Lughaya Kiispaniola na kilisomeka NUEVA VIDA EN CRISTO kilichapishwana Iglesias Evangélicas Cenroamericanas na Camino Global hukoCosta Rica. Makusudi yake ni kukupa wewe msingi imara katika maisha yako yaKikristo.Mara unapomalizo toleo la pili, endelea na toleo la Tatu mara mojaKwa maelezo zaidi tuandikie barua pepe: info@nuevavidaencristo.orgUnaweza pia kupata nakala ya kitabu hiki na vitabu vingine kupitia mtandao huu:www.NewLifeDiscipleship.comMatoleo yote yanapatikana pia katika Kiswahili, Kiengereza, Kifaransa, Kispaniola,Kireno. Matoleo mengine yanapatikana katika lugha zingine kama Kinyarwanda.Umeruhusiwa kufanya nakala ya nyenzo hii kwa masharti kwambaunaelezeachanzo ya awali na kutofanya mabadiliko au nyongeza kwa maudhui yake. Mark RobinsonHaki ya kumiliki 2001,Tafsiri ya kwanza kwa Kiingereza 2004.Kimetengenezwa na Mark RobinsonCamino Global Camino Global8625 La Prada Dr., Dallas, TX 75228 USAFebruari 19, 2015

YALIYOMOMwongozo wa Mwalima . .4Hatua ya 1Kumjua Mungu .6Hatua ya 2Kristo mfano wangu . .8Hatua ya 3Tumeitwa kutumikia .10Hatua ya 4Mimi ni nani katika Kristo? .12Hatua ya 5Vita vya kiroho . .14Hatua ya 6Silaha ya Mungu . .16Hatua ya 7Samehe uwe huru .18Hatua ya 8Nisamehe . .20Hatua ya 9Tumeitwa kuwa watakatifu . .22Hatua ya 10Mkristo na Pesa yake .24Hatua ya 11Ninaweza kufanya,lakini nifanye? .26Hatua ya 12Uchaguzi .28Hatua ya 13Kuwaeleza wengine habari za Kristo . 30Hatua ya 14Wakati ujao .32Hatua ya 15Mambo zaidi kuhusu wakati ujao . .34Maelezo ya Ziada .363

MWONGOZOWA MWALIMU8. Jaribu kufanya wanafunzi wafikiri juu yamatokeo ya masomo haya katika maisha yao.Wasaidie kuelewa matumizi kamili kwa vitendo. Maswali yaliyoko katika kisandukipembeniyanakusudi la kufanya wanafunzikuweka masomo hayo kwa vitendo katikamaisha yao. Hivyo basi, yatumie.1. Tunakupongeza kwa kukubali changamotolakuwafanya waumini wapya kuwa wanafunzikwa kutumia kitabu cha “Maisha MapyaKatika Kristo” kama mwongozo wako.Matokeo ya masomo haya yanaweza kuzaatunda la milele.9. Wasaidie wanafunzi waweze kuwa na tabiaya kuomba. Wafundishe kwa kuomba pamojanao.2. Biblia iwe mamlaka yako katika kujibu maswali yote wakati wote. Mwanafunzi ni lazimaatafute vifungu vya Biblia yeye mwenyewe,na kujaribu kujibu maswali kufuatana na jinsiBiblia inavyosema. Waumini wengine wapyawanahitaji kukabilishwa vyema jinsi ya kutafutakifungu katika Biblia.10. Ni muhimu kuelewa kwamba kufanya watukuwa wanafunzi ni zaidi ya kujifunza masomokumi na tatu katika kitabu cha ‘MAISHAMAPYA KATIKA KRISTO.’ Uanafunzi unamaana ya mabadiliko katika maisha yamwanafunzi. Hiki kitabu ni msaada wakutanguliza tu. Mwanafunzi anahitajikuendelea kusaidiwa kutafuta namna yakubadili tabia yake, namna ya kufikiri,mwenendo wake,na kadhalika.3. Kitabu hiki kinaweza kutumika kwa njia nyingi.Wakati mwingi, unaweza kusoma somo mojakwa Juma, huku ukiwatia moyo wanafunzikufanya kazi zote katika kila somo.11. Ni muhimu sana mwanafunzi kujifunza jinsiya kuenenda kwa kusoma Biblia kila siku,kuomba, na kuweka vifungu vya Bibliakichwani. Unapoanza kila somo, chukua mudawa kumkumbusha mwanafunzi wako kifungucha kukariri katika somo lililopita na kupatekuwauliza jinsi wanavyoendelea katika kusomaBiblia kila siku.4. Jaribu kufanya kipindi chako kisiwe cha mudamrefu sana.5. Watie moyo wanafunzi kujibu maswali kwakutumia maneno yao wenyewe, wakiepukakunakili moja kwa moja kutoka kwenyeBiblia. Hii itamsaidia mwanafunzi kuchanganuamaana ya maandiko aliyojifunza.12. Uwe makini katika kutambua yale Munguanayafanya katika maisha ya mwanafunzi.Katika kila somo, chukua muda wa kujibuswali lolote ambalo mwanafunzi wakoanakumbana nalo, na kusaidia iwapo anaswala linalotatiza maisha yake. Yakupasaufahamu kwamba unaweza kukosa muda wakujibu maswali yote katika kila somo. Ikiwahivyo, chagua maswali yaliyo muhimu sana,ambayo yanaweza kujadiliwa.6. Epuka kuhubiri. Tumia maswali ili uwezekugundua yale wanafunzi wanachoelewa nauweze kuwachochea kushiriki.7. Jiandae vizuri wewe mwenyewe katika kilasomo. Kama mwalimu, inakupasa kufahamuvifungu na mawazo makuu kwa kila kifungu.Unapojiandaa, ombea wanafunzi na moyowako ili uwe tayari kwa somo.4

Karibu katika jamaa ya MunguUlianza maisha mapya ya ajabu pamoja na Kristo ulipomwamini.Lengo la kitabu hiki ni kukufanya uweze kujua Biblia isemavyokuhusu maisha ya Mkristo. Kukua katika Kristo ni hatua kwa hatua.Kila siku tunapaswa kulishwa na kutembea pamoja na Kristo. Kadiritutoavyo muda wetu kwa ajili ya ushirika wetu pamoja naye, ndivyotutakavyopiga hatua hadi kukomaa.Muhtasari wa jinsi ya kutembea pamoja na Kristo1. Soma Biblia kila siku ili kumjua Kristo vizuri.2. Zungumza na Mungu kila siku kwa maombi.3. Mruhusu Mungu atawale maisha yako, ukijisalimisha kwa mapenzi yake.4. Zungumza na wengine kuhusu habari za Kristo.5. Tafuta kuwa na ushirika na waumini wengine katika kanisa ambalo Kristoanahubiriwa.6. Tafuta mwamini mmoja au wawili, ambao unaweza kuomba nao nakuwashirikisha mafanikio yako, na pia kushindwa kwako.7. Onyesha kwa vitendo maisha yako mapya kwa kuonyesha upendo nashauku ya kuwajali wengine.BIBLIAMaisha inayotawaliwa na KristoYoshua 1:8Maisha ya Mkristo yanaweza kuwakilishwana picha ya msalaba. Kristo ndiye kiini chamaisha yetu mapya. Tunaishi kwa kujisalimisha kwake.Mstari ulio wima, unawakilishaushirika wetu pamoja na Mungu kwa maombina kwa kusoma Biblia. Mstari wa mlalo unawakilisha ushirika wetu na watu wengine.Tunapaswa kutafuta ushirika na wauminiwengine katika kanisa. Tunapashwa kuwaambia wale ambao hawajaamini habari za Kristo.USHIRIKAWaebrania 10:24-25KRISTOWagalatia 2:20WAOMBIWafilipi 4:6-75USHUHUDAMathayo 4:19

Hatua ya 1Kumjua MunguJibu KWELI (K) au SI KWELI(S)Mungu, ni Mungu nafsi anayenijali mimi.Naweza kupata kujua kuhusu Mungu kwa majina aliyopewa.Kuomba na kusoma Biblia inatosha kumjua Mungu.Ili kumfahamu mtu kiundani, ni lazima kuchukua muda wa kutosha kuwanaye kama inawezekana. Hii ndiyo njia ya kweli ya kuwafahamu watu aumtu. Ndivyo ilivyo hata katika mahusiano yetu na Mungu;unahitaji kuwana wakati wa kutosha.NIFANYE NINI?Je, unapata wakati wa kupatakumjua Mungu binafsi? Ndiyo HapanaMUNGU NAFSIBiblia inatufundisha kuwa Mungu ni nafsi, si mtu aliyembali huko anganimahali Fulani, lakini yuko karibu, anavutiwa na maisha yetu, na anayejalikila jambo linalotokea.1. Zaburi 139:1-3 Mungu anajua mambo gani kuhusu sisi?2. Luka 5:18-20 Siku moja Yesu alipokuwa akiwafundisha makutano,watu waliwaleta rafiki zao waliopooza ili wapate kupona. Na walahakuona usumbufu. Badala yake alipata muda na wakati wa kuhutubia juu ya mahitaji ya watu. Je, Yesu alifanya mambo gani mawili kwawatu walioopooza? Mstari 20,24Kama jibu lako nihapana, je uko tayarikujitoa kwa ajili yakujifunza Biblia nakuomba ili kumjuamungu vyema? Ndiyo HapanaHii ni ahadi ya maana sana.Leo ni siku ya kuanza! Kupatakumjua Yeye aliyekupenda nakuyatoa maisha yake kwa ajiliyako.3. Luka 5:30-32 Yesu alikosolewa alipomkaribisha Mlawi mtoza ushuruili afuatane naye. Kwa nini? Mstari wa 29-30Je, aliwajibu nini waliomkosoa? Mstari 31-324. Je, baada ya kusoma vifungu hivi vyote, unafikiri Mungu anavutiwa namaisha yako, hata kama umefanya makosa? Ndiyo HapanaKwa nini?5. Je, nawezaje kumjua Mungu kibinafsi?Yohana 5:39Yeremia 33:3Mara zote Mungu yuko tayari kusikia furaha na huzuni zetu na hofutuliyonayo na yuko tayari kutoa msaada kama tukimwita. Tunawezakujisikia wapweke lakini kamwe si wapweke.6Bwana,Nahitajikukujua

FIKIRI JUU YA HAYA:KUMJUA MUNGU NI NANIJuma hili, tafakari juu ya majina yaMungu aliyopewa katika orodhahii.Mara zote Mungu anatafuta kuwa na mahusiano na sisi, siku za nyumawatu walimjua Mungu kwa majina yake, vyeo na tabia.Kama moja litakuwa na maanakwako basi liwekee alama, naumshukuru Mungu kwa ajili yabaraka ulizopokea kwa ajili yakutafakari juu ya tabia ya Mungu. Mchungaji mwema (Yoh10:11)Tumaini langu (Zaburi 71:5)Mwamba wangu (Zab.18:2)Ngome yangu (Zaburi 18:2)Mwokozi wangu (Zaburi 18:2)Ngao yangu (Zaburi 18:2)Wokovu wangu (Zaburi 18:2)Ndiwe sitara yangu (Zab.32:7)Mwaminifu na WaKweli.(Uf.19:11)Hakimu wa kweli (2 Tim 2:5)Mpatanishi wangu (1 Tim 2:5)Amani yetu (Efeso 2:14)Mkate wa uzima (Yoh. 6:35)Mfalme wa amani (Isaya 9:6)Mkombozi wangu (Zab.19:14)Baba wa faraja (2 Kor.1:3)Kuhani mkuu(Waebrania 4:14)6Ni jina gani lililotumika katika Mwanzo 17:1?Inamaana gani katika maisha yetu kujua ya kuwa ni Mungu mwenyenguvu?7Mungu anaitwaje katika Kutoka 34:14?Kwa nini anawivu? Mstari 14-15Kuabudu miungu ni kuweka kitu au mtu sehemu ambayo Mungupekee ndiye anastahili katika maisha yetu. Inaweza kuwa labda kuwekambele familia yako, michezo, kazi, marafiki, n.k.Ebu weka alama kwa yale yanayochukua nafasi ya Mungu katikamaisha yako. Marafiki Familia Kazi Michezo Runinga/picha za video Mtandao Muziki Pesa Mahusiano ya kimapenzi n.k.8Efeso 2:14 Inasema Mungu niKwako, inamaana gani kusema Mungu ni amani yetu?9Katika Zaburi 23, Mungu anaitwa mchungaji wetu, ni nani kimsingianahusika na kuchunga Kondoo. Soma, ukiangalia ahadi zinazopatikana katika kila mstari.Mstari 1Mstari 2Mstari 3Mstari 4Mstari 5Mstari 610 Unaposoma maandiko haya, kitu gani kinakuijia katika ufahamu naMoyo wako? Mungu hutufariji. Je uko tayari kupokea kutufariji kwake auunapendelea kujisikitikia mwenyewe?KUWA IMARAJuma hili Soma Zaburi 1-7,(sura moja kwa siku). Mchungaji hutuongoza katika njia ya haki. Je, njia zako zikoje?Je, ni za haki? Ndiyo Hapana Je, ni njia ipi unayoendelea nayo? Je, unaamani na njia uliyochagua? Je, unamaamini ya kuwa Mungu anajishughulisha na maisha yako? Ndiyo HapanaKariri Yohana 5:39"Mwayachunguza maandiko,kwa sababu mnadhanikwamba ninyi mna uzima wamilele ndani yake;na hayondiyo yanayonishuhudia." Je, unaamini kuwa unaweza kumjua Mungu kwa hakika kibinafsi? Ndiyo Hapana Je, uko tayari kuendelea kujisomea Biblia kila siku ili upate kumjuaMungu kwa hakika? Ndiyo HapanaTafakari juu ya Mungu ni nani kwa kutumia msaada ulio katika mkonowako wa kushoto chini ya kichwa cha habari “FIKIRI JUU YA HAYA”.7

Hatua ya 2Kristo mfano wetuJibu KWELI (K) au SI KWELI(S)Yesu mara zote anatupenda, hajali tunafanya nini.Tumeitwa tufanyike kuwa sadaka ili tuwatumikie wengine.Si uvumilivu na ni makosa kumwambia mtu maisha yako si sawa.Kristo, ni mfano ambao kila mmjoa anaweza kumfuata. Alikuwa mkamilifukatika kila jambo, mtu pekee ambaye maisha yake na maneno yake yaliwezakusema: “Mimi ni njia” na “jifunzeni kutoka kwangu”1. Ni nani aishiye ndani yetu? Wagalatia 2:20Kama Kristo anaishi ndani yetu, sasa tunapaswa kuishi kwa namna gani?Fuata mfano wake katika maeneo yafuatayo:-JAMBO LA KUTAFAKARIKristo alifuata mapenzi ya Babayake. Kwa kuwa mimi ni wakenitafanya nini ili kumtukuzakatika maisha yangu?UPENDO2. Ni kwa jinsi gani Yesu alionyesha upendo? Warumi 5:8Upendo wa Kristo katika vifungu hivi ni: Hauna masharti (anatupenda bila, kujali sisi ni akina nani au tukoje) Wenye masharti (anatupenda wakati tunapokuwa wazuri).3. Yohana 15:13 “Hakuna aliye na upendo mkuu kuliko huu, wa mtukwa ajili ya rafiki zake.4. Leo, Je tumeitwa kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa pia? Ndiyo HapanaKupenda kama Kristo inamaana ya kuwa tayari hata kujitoa sadakakama Kristo alivyofanya kwa ajili yaw engine. Hii haina maana ya kuwa nikufa kwa ajili yao, lakini ni kuwapa Muda wetu, kuwasikiliza, kuwasaidia,kuwatia moyo katika kuhangaika kwao,n.k.KWA AJILI YAMFANO WA KUIGA.Kristo alimwomba baba yakehata kabla hakuja pambazuka.Wewe hufanya nini unapoamka?Kama hauombihiyo inamaanagani kulinganana mtizamo weyuwa kimungu?5. Wengine watajuaje ya kuwa sisi ni wanafunzi wa Kweli wa Yesu Kristo?Yohana 13:34-356. Utawezaje kubaki katika upendo wake? Yohana 15:10MAMBO YA KUFANYIA KAZIUNYENYEKEVU NA HUDUMA7. Tunaweza kujifunza nini kutoka kwa Kristo? Mathayo 11:298. Soma Wafilipi 2:5-8. Kristo, ambaye ni Mungu aliishi Mbinguni na aliishimbali na dhambi hapa Duniani. Badala yake, mstari wa 7 unasemaakajihesabu si kitu, akachukua namna ya . Ina maana ganikuwa mtumishi?9. Unyenyekevu wa kipekee kabisa ambao Yesu aliuonyesha ni kifo chakepale msalabani (mstari 8), kusulubiwa hakukuwa tu na maumivu makali,lakini pia kwa aibu kubwa. Alikufa katikati ya wezi, akiwa uchi, akateswamsalabani kama mharifu badala ya mfalme. Mstari wa sita unatuambia8Weka alama katika orodhaifuatayo mambo ambayo ukotayari kuyafanyia kazi. Nitaomba kila siku, nikiomba kuwa kama Yesu. Nitayatafuta mapenziya Mungu kwa kupitiamaandiko na maombi. Kila siku nitajikabidhikwake, nikimpa nafasi yakutawala kila sehemu yamaisha yangu.

kuiga unyenyekevu wake. Kwa namna gani? Mstari wa 3-410. Kulingana na Luka 6:31, ni njia ipi nzuri ya kuwatumikia wengine?TAFAKARI JUU YA HAYA:Je, kuna mienendo ambayoinaweza kutuzuia kufuatamfano wa Kristo kamatulivyoona katika somo hili?HURUMA11. Kulingana na Mathayo 9:35-36, Yesu aliwaoneamakutano. Kwa nini?12. Je, unawatizamaje wasio amini wanaoisha karibu nawe? Je, ni rahisiWeka alama katika mamboyafuatayo ambayo yanawezakukuzuia wewe kuishi maishaya unyenyekevu na huduma. Kuwa na wasiwasi na kilakitu Mgumu wa kusamehewengine Majivuno Kutokuwa mvumilivu kwawengine Kutowapenda wengine. Wivu Tamaa Ubinafsi Hasira Mawazo maovu Kuwa na mawazo tofautijuu ya mahitaji yaw engine. Na mengineyokuwakosoa kuliko kuwaonea huruma13 Mafarisayo wakiwa wanatafuta kumtega Yesu, walimleta mwanamkealiyefumaniwa akizini. Wakimnukuu Musa, wakamuuliza Yesu kamamwanamke huyo anastahili kupigwa mawe hadi afe, na Yesu akawajibu,Yeyote kati yenu asiye na na awe wa kwanza” Yohana 8:714. Je, ni kwa jinsi gani mtizamo wa Yesu juu ya huyu mwanamke unatofautiana na mtizamo wetu wa leo tunapomwona mtu akijihusisha na dhambi?Yohana 8:10-1115. KWELI SI KWELI: Kuonyesha huruma kwa watenda dhambi ni kamakawafanya waendelee au ni kama kufumbia macho tabia zisizofaa.Ingawaje Yesu alimwonea huruma, Yesu pia alimwambia “nenda.” Mstari wa 11.Huruma ya kweli ni tofauti na “ustahimilifu” maana hutupelekeakuwapenda wanaotenda dhambi, na wala si kuvumilia tabia zao.UJASIRI WA KUKEMEA MAKOSA16. Ni kwa jinsi gani Yesu aliukemea unafiki wa Mafarisayo? Mathayo 23:2717. Kukemea unafiki na dhuluma kunahitaji ujasiri. Je ni sahihi kijificha kwakusema, “ sitaki kumkwaza mtu yeyote?”MAOMBI18. Ni mfano gani Yesu alitupa katika Marko 1:35?KUWA IMARAKwa nini unafikiri ni muhimu kusali/kuomba asubuhi na mapema?Soma Efeso 1-6 na Zaburi 8,(sura moja kwa siku kwajuma lote hili).Kariri Mathew 11:29"Jitieni Nira yangu, namjifunze kutoka kwangu;kwa kuwa mimi ni mpolena mnyenyekevu wamoyo;nanyi mtapata rahanafsini mwenu;”19. Siku moja Yesu aliomba usiku kucha kabla ya kufanya maamuzi yamuhimu sana. Ni kitu gani cha muhimu sana alichokuwa akiomba juuyake? Luka 6:12-13Mungu anatarajia kwa kila muumini kutafuta mapenzi ya Mungu katikamaamuzi yote wanayofanya. Zaidi ya hayo, pia ni muhimu kujua kuwaYesu hakuwa akiomba wakati anapotaka kufanya maamuzi pekee, lakinipia kutafuta ushirika mtakatifu na Baba yake.9

Hatua ya 3Tumeitwa kuhudumuJibu KWELI (K) au SI KWELI(S)Njia pekee ya kumtumikia Mungu ni kwa kupata wadhifa kanisani.Wakristo wenye nguvu pekee ni wale walio na uwezo wa kuhubiri.Kila aliyeamini anao uwezo wa kuhudumu.KUFUATA MFANO WA YESUHuduma nis sehemu ya maisha ya Mkristo, lakini si kila mtu anafahamu vyemamaana ya kutumika. Acha tuone ni mambo gani Yesu aliwafundisha wanafunziwake juu ya umuhimu wa huduma.1. Soma Mathayo 20:26-27 na ujaze nafasi zilizoachwa wazi. Bali mtu yeyoteanayetaka kuwa kwenu na awe wenu; na mtuyeyote anayetaka kuwa wa kwenu na awe wenu.Wale wanaojitazama wao wenyewe na maslahi yao binafsi kamwehawataipata furaha waitafutayo.2. Unafikiri ina maana gani kuwa “mtumishi” wa wengine?Kuhudumu ina maana ya kujitoa dhabihu, lakini kujitoa dhabihukumeambatana na kuridhika au kwa lugha nyingine kukubaliana na halifulani. Zaidi ya kuwa na mzigo, huduma ya kujitoa kama dhabihu kwawengine ni heshima ya kipekee.3. Mfano mahiri wa kufuata ni ule uliotolewa na Yesu katika Mathayo 20:28Kama vile mwana wa Adamu asivyokuja balina kutoa iwe fidia kwa wengi.JAMBO LAKUTAFAKARITengenezaorodhakarama zakiroho ambazounazo na eleza jinsi ambavyounaweza kuzitumia katika kanisalako na katika jamii yakoukimwonyesha orodha,muulize jinsi unavyowezakuzitumia karama hizi.4. Toa mfano wa namna ambavyo unaweza kuyatoa “Maisha yako” kwa ajiliya kuwatumikia wengine:FIKIRI JUU YA HILI.KUTUMIA KARAMA ZAKOBiblia inatuambia kuwa Mungu amempa karama kila aliye mshirikikatika kanisa lake. “Karama ya kiroho” kipawa au uwezo Fulaniunaochangia katika kuliimarisha na kulikuza kanisa.5. Ni waumini wapi waliopokea karama za kiroho? 1 Wakor 12:7Kumbuka:ufunuo wa Roho mtakatifu mahali hapa ni kwa ajili ya karamaza kiroho.6. Karama zako ni kwa ajili ya matumizi yapi? 1 Petro 4:10Karama zatoka kwa Mungu na kamwe si kwa ajili ya faida binafsi, lakini piakwa ajili ya faida ya waumini wengine katika kanisa.Kanisa linafananishwa na mwiliwa mwanadamu. Je, umewahikukiponda kidole gumba chakona bado ukaendelea kukitumia?Si rahisi si ndiyo? Sasa ebu fikirini jinsi gani kanisa linalemazwawakati washirika wanaposhindwa kuzitimia karama zao.Je, ni kwa jisni gani wauminiwengine wanaathirikaunaposhindwa kuutumia uwezona kipawa ulichopewa?Soma Warumi 12:3-5 na ujibu maswali yafuatayo:7. Nijitizameje? Mstari 310

8. Kanisa linaitwa mwili wa Kristo na linafananishwa na mwili wamwanadamu. Mstari wa 5 sisi ni katikaKWAKUJIFUNZAZAIDIMtumishi waKristo anapaswaaweje?Soma vifungu vifuatavyo hukuukinukuu mwenendo au tabiaza mtumishi zilizotajwa katikakila kifungu. 1 Wakor 15:14Wafilipi 2:3-4Na matokeo yake inampasa kila aliyeamini kuutafuta umoja katika mwilikwa kuwatumikia wengine.9. Mstari wa 4 unasema kuna katika mwili, lakini havitendi. Kwa kuwa hali hii ndivyo ilivyo je, inatupasa kuwana wasiwasi kwa kutokuwa na karama zote kwa wakati mmoja?10. Watu wapi ni wa Muhimu sana kanisani kwako? Mchungaji Waalimu Wanamuziki kila mmoja ni muhimu11. Kulingana na 1 Wakorintho 12:20-22, je, kuna washiriki katika kanisaambao ni wa muhimu sana kuliko wengine? kwanini?Kulingana na karama za kiroho hakuna nafasi ya majivuno wala dhuluma.Wale wanaowadhulumu wengine kwa karama zao hao bado hawajavielewavizuri vifungu hivi vinafundisha nini. Mungu anakazi tofauti tofauti kwawaumini tofauti tofauti. Karama za watu wengine ni za kuona kwa machokwa mfano wale wanaohubiri na kufundisha mibarani, lakini kuna wengiambao karama zao ni za muhumu sawa na hao wanaohubiri na kufundisha, lakini zinatumika lakini hazionekani sana kwa macho.1 Wakor 10:31Wakolosai 3:23-2412. Aya ifuatayo ina orodha ya karama tofauti tofauti kama vile kusaidia,kufundisha, kutoa, ushauri, utawala, Huruma, uinjilisti, uchungaji n.k.Efeso 4:11, Warumi 12:6-8, 1 Wakor 12:7-10, 28-3013. Kama tulivyoona si kila muumini anakarama sawa na mwingine. Kwa nini nimuhimu kulifahamu hili?Usijitenge kamwe kutoka katika mwili huo. Kanisa linaweza kusonga mbelepale tu sisi sote tutakapotumia karama zetu kwa pamoja ili kulifanya kanisaliwe kamili na lenye afya.14. Kundi linaathirika kiasi gani iwapo washiriki watashindwa kuzitumia karamazao?'KUWA IMARAsoma wakolosai 1-4na Zaburi 9-11(Sura moja kwa siku kwamuda wa wiki moja)Kariri Mathayo 20:27-28“ .na mtu yeyoteanayetaka kuwa wakwanza kwenu na awemtumwa wenu;kamavile mwana waAdamuasivyokuja kutumikiwa,bali kutumika, na kutoanafsi yake iwe fidia yawengi.”NITAZITAMBUAJE KARAMA

7. Onyesha kwa vitendo maisha yako mapya kwa kuonyesha upendo na shauku ya kuwajali wengine. Maisha inayotawaliwa na Kristo Maisha ya Mkristo yanaweza kuwakilishwa na picha ya msalaba. Kristo ndiye kiini cha maisha yetu mapya. Tunaishi kwa kujisalimi-sha kwake.Mstari ulio wima, unawakilisha ushirika wetu pamoja na Mungu kwa maombi na kwa kusoma .

Related Documents:

Maisha ndani ya Kristo Utangulizi Kuwa mkristo ni kuwa na uhusiano na ushirika na Bwana Yesu Kristo. Swali ni, je uhusiano huu . Tutaona jinsi kuunganishwa kwa Kristo kunatuletea maisha mapya na pia tutaona jinsi tunafaa kumtegemea Kristo pekee katika maisha yetu tunapoishi katika ulimwengu huu mwovu. Tutasoma

MAISHA MAPYA NDANI YA KRISTO-SOMO LA KWANZA 7 Uamuzi wa muhimu Sana katika maisha yako, ni kumkubali Yesu Kristo awe bwana na mwokozi wa maisha yako. Yohana 3:3 inasema, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuona ufalme wa mbinguni. Ulipomuamini Yesu awe mwokozi wako, ulizaliwa mara ya pili.Kuzaliwa kwako upya kwa roho wa Mungu, .

1. maisha mapya katika kristo 1 2. maisha mapya katika ushindi 5 3. maisha mapya yenye uweza 9 4. maisha mapya yenye usawa 13 5. ukufunzi wenye nguvu - nafasi nzuri 17 6. misingi yenye nguvu taratibu ya viongozi 19 7. cheti cha kuhitimu ukurasa wa nyuma

Hili ni toleo la kwanza la Kiswahili la Maisha mapya ndani ya Kristo. Toleo hili lilitolewa kwa mara ya kwanza kabisa kwa Kiispaniola kama NUEVA VIDA EN CRISTO. Kusudi lake ni kukupa msingi imara katika maisha yako ya Kikristo.Epuka kunakili moja kwa moja kutoka kwenye Biblia unapojibu maswali baada ya kila somo. Jaribu

Sasa Kristo anaishi ndani yako. Tamaa yako ya kumpendeza itaongeza kumpendeza Yeye zaidi ya wewe. Katika mfululizo wa masomo ya Maisha mapya ndani ya Yesu, ulifundiswa juu ya maombi na kusoma biblia. Tutatazama kwa undani sana nguzo hizi mbili muhimu ambazo zitabadilisha maisha yako na kukuwezesha kumpendeza Kristo ambaye kwa hiari yake

Kuishi maisha kutoka kwa chanzo mapya Kitabu cha kwanza katika mfululizo Kuishi maisha iliyobadilika . nilikuwa na mapambano makubwa ya ndani ya uhaba, uoga, . Anasema kwamba maisha ya Kristo ni Zaidi ya uzima wa milele aliokupa katika wokovu. Anasema kwamba Yesu ni maisha yako leo, wakati huu.

Maisha Mapya ndani ya Kristo kama muongozo wako. Matokeo ya mafundisho haya yanaweza kusababisha matunda ya milele. 2. Ifanye Biblia kuwa mamlaka yako katika kujibu maswali. Wanafunzi wanapaswa kuangalia vi-fungu vya Biblia wenyewe na wajaribu kujibu maswali kulingana na kile Biblia inachosema. Baadhi ya waamini wapya wanahitaji msaada

Textbook of Algae , O. P. Sharma, Jan 1, 1986, Algae, 396 pages. Aimed to meet requirements of undergraduate students of botany. This book covers topics such as: evolution of sex and sexuality in algae; and, pigments in algae with their. An Introduction to Phycology , G. R. South, A. Whittick, Jul 8, 2009, Science, 352 pages. This text presents the subject using a systems approach and is .