Kutathmini Mat Umizi Ya Mitindo Na Dhamira Katika Tamthiliya Za .

1y ago
9 Views
3 Downloads
657.14 KB
170 Pages
Last View : 1m ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Samir Mcswain
Transcription

KUTATHMINI MATUMIZI YA MITINDO NA DHAMIRA KATIKATAMTHILIYA ZA MASHETANI NA MASHETANI WAMERUDI:UTAFITI LINGANISHISAFIA SAID MASSOUDTASNIFU ILIYOWASILISHWA IKIWA NI SEHEMU YA MASHARTI YAKUTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI (M.A. KISWAHILI - FASIHI) YACHUO KUKUU HURIA CHA TANZANIA2018

iiITHIBATIAliyeweka saini hapa chini anathibitisha kuwa ameisoma Tasnifu hii iitwayo:Kutathmini Matumizi ya Mtindo na Dhamira katika Tamthiliya za Mashetani naMashetani Wamerudi: Utafiti Linganishi:na kupendekeza ikubaliwe na Chuo KikuuHuria cha Tanzania kwa ajili ya kukamilisha masharti ya Digrii ya Uzamili katikaKiswahili ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.Prof. Emmanuel Mbogo(Msimamizi).Tarehe

iiiHAKIMILIKIHairuhusiwi kuiga au kunakili kwa njia yoyote ile, iwe ama kazi nzima au sehemu yaTasnifu hii, isipokuwa /shughuli halali, kwa ajili ya utafiti, kujisomea, au kufanyamarejeo ya kitaaluma bila kibali cha maandishi cha Mkuu wa Kurugenzi ya Taalumaza Uzamili kwa niaba ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

ivIKIRARIMimi, Safia Said Massoud, nathibitisha kwamba tasinifu hii ni kazi yangu binafsi nahalisi na kwambahaijawahi kuwasilishwa nawala haitawasilishwa, katika ChuoKikuu kingine kwa ajili ya kutunukiwaShahada yaUzamili auShahada nyengineyoyote. Saini .Tarehe

vTABARUKUKwa heshima na udhati wa moyo wangu, natabaruku kazi hii kwa marehemu babayangu mpenzi Bw. Said Massoud Said na na marehemu mama yangu Bi. BimkubwaJaffar Khamis. Natamani sana leo hii mungeshuhudia mafanikio yangu! Pumzikenikwa amani Allah akuhifadhini mahali pema peponi Amin. Mume wangu kipenzi Bw.Bakar Ali Omar nakwa watoto wangu; Hemed Bakar Ali, Munawarat Bakar Ali,Ifadat Bakar Ali, Jokha Bakar Ali, Nuaira Bakar Ali na Nadia Bakar Ali.

viSHUKURANIKwanza kabisa kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo naukomo kwa ALLAH SUBHANAHU WATAALAH kwa sababu yeyé ndiye Mkuu nadamu.Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema kipindi chote cha masomo yangu, kunipanguvu, uwezo, akili, busara na maarifa katika kipindi chote cha masomo yangu yauzamili. Nasema kwa unyenyekevu, Alhamdulillah Rabbilaalamina.Pili, nawashukuru sana wazazi wangu wapenzi: Marehemu mama yangu BimkubwaJaffar Khamis na maehemu baba yangu Said Massoud Said kwa kunizaa, kunilea,kunisomesha, na kunifunza kuhusu malimwengu na ulimwengu. Mwenyezi Munguazilaze roho zao mahala pema peponi, Amina. Vile vile, shukrani za pekee ni kwamume wangu kipenzi Bw. Bakar Ali Omar kwa uvumilivu wake, huruma na kunitiamoyo pale nilipokata tamaa.Tatu, napenda kutoa shukrani zangu za dhati na zisizo ukomo zimikie Msimamiziwangu Prof. Emmanuel Mbogo kwa kunilea kitaaluma na kunikuza katika misingi yanadharia na vitendo katika fasihi ya Kiswahili. Sina neno linalofaa kutoa shukranizangu kwake bali namuombea afya njema na maisha marefu ili aendelee kutoamsaada nakulisukumambele gurudumuhili lakitaaluma kwa wanafunziwanaohitaji maarifa zaidi na wao watoe mchango kwa taifa hili na jamii yetukwa ujumla.Nne, shukrani zangu za pekee ziwafikie uongozi mzima wa Chuo Kikuu Huria ChaTanzania, kuanzia makao makuu hadi hapa Pemba. Aidha napenda kuwashukuruwote waliosaidia kwa hali moja au nyengine hadi nikafika hapa. Kwa vile ni wengi,

viikwa heshima kubwa naomba niwataje wachache.Nawashukuru sana, Dkt.Mohamed,Bw. Bakar Kombo, Prof. Sengo, Dkt. Hadija Jilala, Dkt. Hilda Pembe wa Chuo KikuuHuria cha Tanzania.Pia, nawashukuru wanaidara wote wa idara ya Isimu na Taalimuza Fasihi kwa maoni na miongozo yao hadi leo nimefanikiwa,bila kuwasahau Bw. AliMussa na Bw. Sharif Juma Fakih kwa ushauri wao wa mara kwa mara.

viiiIKISIRIUtafiti huu unahusu Kutathmini matumizi ya Mitindo na Dhamira katika Tamthiliyaya Mashetani na Mashetani Wamerudi. Utafiti huu ni wa maktabani ambao ulitumiasampuli lengwa nakuongozwa na Nadharia yaMuingilianomatini na Nadharia yaFasihilinganishi.Utafiti uligundua kuwa tamthiliya ya Mashetani imetumia vipengele vyakimtindo vinavyohusiana na matumizi ya lugha kama vile uteuzi wa msamiati pamojana matumizi ya tamathali za semi. Mbinu nyenigine za kimtindo zilizotumikakatikaTamthiliya za Mashetani na Mashetani Wamerudi mbinu hizo ni kama vilemandhari za fasihi simulizi, mtindo wa nyimbo, masimulizi, matumizi ya nafsi zote,majigambo, dayalojia na mtindo wa tamthiliya za majaribio. Piatamthiliya zotezimelingana kwa kutumia mtindo wa mashairi, nyimbo, majigambo, matumizi yanafsi, mandhari ya fasihi simulizi, wahusika wa fasihi simulizi, matumizi ya ndoto,tamthiliya ya majaribio na mtindo wa masimulizi. Vile vile, zimelingana katikakutumia methali, nahau, misemo, jazanda, ishara, taswira na tamathali zasemiImegundulikakuwa kuna tofauti ndogo kati ya tamthiliya teule ambapoMashetaniimetumia mchezo ndani ya mchezo ambapo mtindo huu hauko katika MashetaniWamerudi. Taswira kama vile punda, jogoo, simba, batamzinga, kuku hazijitokezikatika tamthiliya ya Mashetani.Aidha, utafiti umegundua kuwa kuna kufanana kwadhamira katika Tamthiliya teule. Tamthiliya hizi zimejadili dhamira za ukolonimamboleo, harakati za ukombozi, ujenzi wa jamii mpya, nafasi ya mwanamke,matabaka, uongozi mbaya na ubadhirifu wa mali za umma, ukosefu wa demokrasia naelimu ya Kimagharibi. Pia, kunadhamira ya utandawazi, kujitoa mhanga, umoja namshikamano, athari za utandawazi na ukosefu wa ajira hazijitokezi katika Tamthiliyaya Mashetani.

ixYALIYOMOITHIBATI . iiHAKIMILIKI . iiiIKIRARI ivTABARUKU. vSHUKURANI . viIKISIRI viiiORODHA YA MAJEDWALI . xviiSURA YA KWANZA . 1UTANGULIZI WA JUMLA . 11.1Utangulizi . 11.2Usuli wa Mada ya Utafiti . 11.3Tatizo la Utafiti. 51.4Malengo ya Utafiti . 61.4.1Lengo Kuu. 61.4.2Malengo Mahsusi ya Utafiti . 61.5Maswali ya Utafiti . 61.6Umuhimu wa Utafiti . 71.7Mawanda ya Utafiti . 81.8Vikwazo vya Utafiti na Utatuzi wa Vikwazo. 91.9Hitimisho . 9SURA YA PILI .10MAPITIO YA KAZI TANGULIZI NA MKABALA WA KINADHARIA.10

x2.1Utangulizi .102.1Maana ya Tamthiliya .102.2Historia fupi ya Tamthiliya .122.3Mapitio ya Maandiko .152.3.1Maandiko Kuhusu Dhana ya Fasihi Linganishi .162.4Vipengele vya Ulinganisho .192.5Mtindo katika Kazi za Fasihi .202.6Vipengele vya Kimtindo katika Fasihi Linganishi .212.7Dhana ya Dhamira .222.8Kazi Tangulizi kuhusu Mtindo katika Tamthiliyaza Kiswahili .242.9Kazi Tangulizi kuhusu Tamthiliya Teuliwa .272.10Pengo la Maarifa .292.11Mkabala wa Nadharia .292.11.1Nadharia ya Mwingilianomatini .302.11.2Nadharia ya Fasihi Linganishi.322.12Hitimisho .36SURA YA TATU .37MBINU ZA UTAFITI .373.1Utangulizi .373.2Eneo la Utafiti .373.3Usanifu wa Utafiti .383.4Kundi Lengwa .383.5Sampuli na Usampulishaji .393.6Ukusanyaji wa Data .40

xi3.6.1Data za Msingi .403.6.2Data za Upili.413.7Mbinu za Kukusanya Data .423.7.1Upitiaji wa Nyaraka .423.7.2Usomaji Makini wa Nyaraka.433.8Mkabala wa Uchambuzi wa Data za Utafiti .443.9Usahihi, Kuaminika na Maadili ya Utafiti .453.9.1Usahihi wa Data .453.9.2Kuaminika kwa Data za Utafiti .453.9.3Maadili ya Utafiti.453.10Hitimisho .46SURA YA NNE .47UWASILISHAJI, UCHAMBUZI NA MJADALA WA DATA ZA UTAFITI .474.1Utangulizi .474.2Muhtasari wa Tamthiliya ya Mashetani .484.3Muhtasari wa Tamthiliya ya Mashetani Wamerudi .484.4Vipengele vya Mtindo katika Tamthiliya ya Mashetani .494.4.2Mpangilio wa Maneno katika Mashetani .504.4.3Matumizi ya Lugha katika Mashetani .514.4.3.1Matumizi ya Jazanda katika Mashetani .524.4.3.1.1 Jazanda ya Ukweli .524.4.3.1.2 Jazanda ya Kisu .534.4.3.1.3 Jazanda ya Neno “Chewa”.534.4.3.1.4 Jazanda ya Neno “waltz” na “Gashalazeritwas” .54

xii4.4.3.1.5 Jazanda ya Neno “Mheshimiwa” .554.4.3.1.6 Jazanda ya Neno “Bwana”.554.4.3.2Mbinu ya Kiishara katika Mashetani .564.4.3.3Mbinu ya Kitaswira katika Mashetani .584.4.3.4Mbinu ya Uteuzi na Matumizi ya Tamathali za Semi katika Mashetani.594.4.3.4.1 Tashibiha .604.4.3.4.2 Tashihisi .614.4.3.4.3 Takriri .614.4.3.4.4 Tanakali Sauti .624.4.3.4.5 Mubalagha .634.4.3.4.6 Kejeli .634.4.3.4.7 Sitiari .644.4.3.4.8 Majazi .654.4.3.5Mdokezo.654.4.3.6Nidaa .664.4.3.7Mchanganyo Ndimi .674.4.3.8Mbinu Nyingine za Kimtindo katika Mashetani .684.4.3.8.1 Mandhari za Fasihi Simulizi .694.4.3.8.2 Mtindo wa Kishairi .694.4.3.8.3 Mtindo wa Nyimbo .704.4.3.8.4 Mtindo wa Masimulizi .714.4.3.8.5 Mtindo wa Matumizi ya Nafsi.724.4.3.8.6 Matumizi ya Nafsi ya Kwanza.724.4.3.8.7 Matumizi ya Nafsi ya Pili .73

xiii4.4.3.8.8 Matumizi ya Nafsiya Tatu.734.4.3.8.9 Mtindo wa Matumizi ya Dayalojia .744.4.3.8.10 Mtindo wa Majigambo .744.4.3.8.11 Mtindo wa Tamthiliya ya Majaribio .754.5Mtindo Katika Mashetani Wamerudi .764.5.1Uteuzi wa Msamiati .774.5.2Matumizi ya Lugha katika Mashetani Wamerudi .784.5.2.1Matumizi ya Jazanda katika Mashetani Wamerudi .794.5.2.1.1 Jazanda ya Jogoo .794.5.2.1.2 Jazanda ya Mbuyu .794.5.2.1.3 Jazan/da ya Neno Waltz .794.5.2.1.4 Jazanda ya Neno Shetani.804.5.2.2Matumizi ya Kiishara katika Mashetani Wamerudi .804.5.2.3Taswira katika Mashetani Wamerudi .814.5.2.4Misemo katika Mashetani Wamerudi .824.5.2.5Methali katika Mashetani Wamerudi.834.5.2.6Nahau katika Mashetani Wamerudi.844.5.2.7Uteuzi na Matumizi ya Tamathali za Semi katika Mashetani Wamerudi .854.5.2.7.1 Tashibiha .864.5.2.7.2 Tashihisi.874.5.2.7.3 Sitiari .874.5.2.7.4 Takriri .884.5.2.8Majazi .894.5.2.9Mdokezo.90

xiv4.5.2.10 Nidaa .914.5.2.11 Mchanganyo Ndimi .924.5.2.12 Kweli Kinzani katika Mashetani Wamerudi .934.5.2.13 Mjalizo katika Mashetani Wamerudi.944.5.2.14 Karaha katika Mashetani Wamerudi.954.5.2.15 Matumizi ya Lahaja katika Mashetani Wamerudi.954.5.2.3Mbinu Nyengine za Kimtindo katika Mashetani Wamerudi .964.5.2.3.1 Mtindo wa Nyimbo katika Mashetani Wamerudi .974.5.2.3.2 Matumizi ya NdotoMashetani Wamerudi .994.5.2.3.3 Mtindo wa Masimulizi katika Mashetani Wamerudi .994.5.2.3.4 Mtindo wa Matumizi ya Nafsi katika Mashetani Wamerudi . 1004.5.2.3.4.1Mtindo wa Nafsi ya Kwanza . 1004.5.2.3.4.2 Mtindo wa Nafsi ya Pili . 1004.5.2.3.4.3Mtindo wa Nafsi ya Tatu . 1014.5.2.4Mtindo wa Kutumia Wahusika wa Fasihi Simulizi katika MashetaniWamerudi . 1014.5.2.5Mtindo wa Mandhari za Kifasihi Simulizi katika MashetaniWamerudi . 1024.5.2.6Mtindo wa Majigambo katika Mashetani Wamerudi . 1034.5.2.7Mtindo wa Tamthiliya ya Majaribio katika Mashetani Wamerudi . 1034.6KulingananaKutofautianakwa Mitindoya tamthiliya yaMashetaninaMashetani Wamerudi . 1044.6.1Ulinganishi na Ulinganuzi katika Sifa za Kimtindo katikaMashetani na Mashetani na Mashetani Wamerudi . 105

xv4.6.1.1Kufanana Mitindo ya Mashetani na Mashetani Wamerudi . 1064.6.1.1.1 Kufanana kwa Mbinu Nyengine za Kimtindo katika Tamthiliya Teule . 1074.6.1.2Kutofautiana kwa matumizi ya Mtindo katika TamthiliyaTeule . 1094.6.2Kufanana kwa Dhamira katika Tamthiliya Teule . 1114.6.2.1Matabaka . 1124.6.2.2Ubadhirifu wa Mali za Umma . 1144.6.2.3Ujenzi wa Jamii Mpya . 1164.6.2.4Nafasi ya Mwanamke . 1184.6.2.5Uongozi Mbaya . 1204.6.2.7Ukosefu wa Demokrasia . 1234.6.2.8Elimu ya Kimagharibi . 1254.6.2.9Ukoloni Mamboleo . 1264.6.3Kutofautiana kwa Dhamira katikaTamthiliya teule. 1284.6.3.1Dhuluma na Uonevu . 1294.6.3.2Kujitoa Mhanga . 1304.6.3.3Umoja na Mshikamano . 1314.6.3.4Athari za Utandawazi. 1334.6.3.5Ukosefu wa Ajira . 1354.6.3.6Ufisadi (Rushwa) . 1364.7Hitmisho . 137SURA YA TANO . 139MUHTASARI, HITIMISHO NA MAPENDEKEZO . 1395.1Utangulizi . 1395.2Muhtasari . 139

xvi5.2.1Dhumuni Mahususi la Kwanza . 1415.2.2Dhumuni Mahususi la Pili. 1435.2.3Dhumuni Mahususi la Tatu . 1455.2.4Ufafafu wa Nadharia. 1465.3Hitimisho . 1465.4Mapendekezo. 1475.4.1Kwa Watafiti . 1475.4.2Kwa Serikali . 148MAREJELEO . 149

xviiORODHA YA MAJEDWALIJedweli Na. 4.1:Matumizi ya Lugha katika Mashetani .51Jedweli Na. 4.2:Ishara katika Tamthiliya ya Mashetani .57Jedweli Na. 4.3:Matumizi ya Taswira katika Mashetani .59Jedweli Na. 4.4:Tamathali za Semi katika Tamthiliya ya Mashetani.59Jedweli Na. 4.5:Sitiari na Maana Zake katika Mashetani .64Jedweli Na. 4.6:Mchanganyo Ndimi na Maana Zake .67Jedweli Na. 4.7:Mbinu Nyengine za Kimtindo katika Mashetani.68Jedweli Na. 4.8:Matumizi ya Lugha katika Mashetani Wamerudi.78Jedweli Na. 4.9:Ishara na Maana zake katika Mashetani Wamerudi.81Jedweli Na. 4.10: Taswira na Maana zake katika Mashetani Wamerudi.82Jedweli Na. 4.11: Tamathali za Semi katika Mashetani Wamerudi .85Jedweli Na. 4.12: Matumizi ya Mbinu Nyingine za Kimtindo katika MashetaniWamerudi .96Jedweli Na. 4.13: Mitindo ya Lugha inavyofanana katika Mashetanina Wamerudi. 106Jedweli Na. 4.14: Mbinu Nyengine za Kimitindo Zinazofanana . 108Jedweli Na. 4.15: Matumizi ya Kimtindo yanavyotofautisha Mashetanina Mashetani Wamerudi. 110Jedweli Na. 4.16: Kufanana kwa Dhamira katika Mashetani na MashetaniWamerudi . 112Jedweli Na. 4.17: Kutofautiana kwa Dhamira za Mashetani na MashetaniWamerudi . 129

1SURA YA KWANZAUTANGULIZI WA JUMLA1.1UtanguliziUtafiti huu unahusu Kutathmini Matumizi ya Mtindo na Dhamira katika Tamthiliyaza Mashetani na Mashetani Wamerudi: Utafiti Linganishi. Sura hii ni sura yautangulizi inayobainisha usuli wa tatizo la utafiti lililofanyiwa uchunguzi katikautafiti huu. Kwa hivyo, sura hii inabainisha n yayaa kueleza usuli wa tatizo, tatizo lautafiti, malengo ya utafiti, maswali ya utafiti ambayo utafiti huu ulikusudia kuyafikiana maswali ambayo utafiti umeazimia kuyajibu, umuhimu wa utafiti, vikwazo nautatuzi wa vikwazo hivyo.1.2Usuli wa Mada ya UtafitiMara nyingi unaposanii kazi za fasihi ya mwandishi au msanii fulani, bila shakakunahitajika mvutonamnato katika kazi hiyo. Mvuto na mnato ni vipengelemuhimu ili kumfanya msomaji ama msikilizaji avutike. Chemchemu ya mvuto wakisanii hutokana na umakini na ubobezi wa mtunzi unaochapuzwa na matumizi yambinu za kisanii, mtindo ukiwemo ambao ndio nyenzo kuu katika kusanii kazi zafasihi.Dhana ya mtindo katika kazi ya fasihi imekuwa ikijadiliwa kwa mitazamo tofautimiongoni mwa wataalamu wa fasihi. Wapo wanaouona mtindo kama ni upekeealionao mtunzi wa kazi ya fasihi. Pia, wapo wanaouona mtindo kuwa ni namna yakuwasilisha dhamira za mtunzi na wengine huona kuwa mtindo ni utofauti uliopokati ya mtunzi mmoja na mtunzi mwingine katika kusanii kazi ya fasihi. Mathalani,

2Murry (1922:519) anaeleza kuwa mtindo ni jumla ya kila kitu kinachofanyamaandishi ya mtu kutambulika. Anaendelea kufafanua kuwa mtindo ni matokeoya moja kwa moja ya jinsi mtu anavyojieleza kulingana na tajriba yake katikakujifunza lugha.KwaupandewaCristalnaDavy (1967:10) wanafafanuanenomtindokulingana na mitazamo minne, ambapo wanaona kuwa ni tabia za mtu katikamatumizi ya lugha, tabia ya kimakundi katika matumizi ya lugha, mtindo kamatathmini yaani kiupimaji na mwisho wanauona mtindo kama upekee kulingana nalugha ya kifasihi.Enkivist(1922:29) anaelezakwambamtindomaranyingihuhusiananavipengele vya kiisimu katika muktadha, mazingira ambamo hutokea. Kwakuangalia mtindo wa matini mara nyingi vipengele mbali mbali vya kiisimu vyaviwango tofauti lazima vilinganishwe na sifa zinazofanana katika matini nyenginena zinazochukuliwa kama kanuni yenye uhusiano wa kimuktdha na matinihiyo.Njogu na Chimerah (2008) wanasema kwamba mtindo ni tabia ya utungajiinayopambanua mtunzi mmoja na mwengine. Ni dhana inayoelezea sifazinazobainisha kazi fulani na kuitenga na kazi nyenginezo. Aidha, wanaendeleakueleza kuwa mtindo humtambulisha mtunzi anayehusika. Mawazo ya Njoguna Chimerah (wameshatajwa) yanatupa mwanga kwa kuona upeo wa kazi fulaniya mtunzi husika. Aidha, kazi hiyo itajikita katika utanzu husika pamoja na mtunzihusika. Hii ni kusema kuwa mtindo huweza kutafautiana kutegemea utanzuunaoshughulikiwa na mtunzi.

3Msokile (1993), akimnukuu Senkoro (1987), anasema kwamba mtindo ile namnaambayo mwanasanaa huipa kazi yake ya fasihi sura ya kifani na yakimaudhui kwa njia ambayo msanii mwengine asingeweza kuipa hata jambolinaloongelewa na wasanii hawa wawili ni lile lile moja. Anaendeleakwamba mwandishi hutumia tajriba yake ya elimu, uzoefu nakusemahata makaazikuyasuka maudhui yake kwa njia ya upekee ili kuzuka na uyeye katika kazifulani.Madumulla (2009), anaeleza kuwa mtindo ni kipengele cha fani ambacho huoneshakazi ya sanaa namna ilivyosimuliwa. Kifaa kinachotumika zaidi katika kujadilimtindo wa fasihi ni lugha na jinsi ilivyotumika. Jilala (2016), anaona kuwa mtindo nitabia ya mtu na mwengine katika uzalishaji wa kazi za kisanaa. Sifa hii ni yakipekee ambayo mtunzi huwa nayo na hata kama mtu mmoja anaiga aukuathiriwa na mtunzi asili.Kwa ujumla katika utafiti huu, mtafiti anaunga mkono mawazo ya Jilala (2016),kwamba mtindo katika kazi za fasihi hujibainisha katika sifa anuai kama vile; uteuziwa msamiati wa mtunzi, miundo na mpangilio wa sentensi, uteuzi wa matumizi yatamathali za usemi na jazanda, usawiri wa wahusika, motifu na dhamirazinazokaririwa katika kazi za watunzi, usimulizi na mbinu za usimulizi wenyewe nasifa ya uakifishi. Kwa msingi huo mawazo ya Jilala (ameshatajwa), yalikuwa nyenzokuu katika kutathmini mitindo ya Tamthiliya teule za Mashetani na MashetaniWamerudi.Tamthiliya ya Mashetanini ni tamthiliya iliyotungwa na E. Hussein. Hii nimiongonimwa tamthiliya za majaribio ambayo mtunzi wa tamthiliya hiyo alileta upya wa

4kimtindo ukilinganisha na tamthiliya za wakati wa ukoloni. Tamthiliya hii ilichotaujumi wa vipengele vya kisanii vya Mwafrika na hivyo kuifanya ionekane tofauti.Pia, kidhamira tamth

na matumizi ya tamathali za semi. Mbinu nyenigine za kimtindo zilizotumika katikaTamthiliya za Mashetani na Mashetani Wamerudi mbinu hizo ni kama vile mandhari za fasihi simulizi, mtindo wa nyimbo, masimulizi, matumizi ya nafsi zote, majigambo, dayalojia na mtindo wa tamthiliya za majaribio. Piatamthiliya zote

Related Documents:

the pilates basic mat workout 4 1. mat-hundred 4 2. mat - roll up 4 3. mat – pelvic curl w. skateboard action 5 4. mat- one leg circle 5 5. hamstring stretch 6 6 mat- rolling like a ball 6 7. mat: single leg stretch 7 8. mat: double leg stretch 7 9. mat - criss cross 8 10. mat- spine stre

MAT 140 Analytical Geometry & Calculus I Course Description This college transfer course includes the following topics: derivatives and integrals of polynomials, rational, logarithmic, exponential, trigonometric and inverse trigonometric functions; curve sketching; maxima and minima of functions; related rates; work; and analytic geometry. Prerequisites: MAT 110, MAT 111 or MAT 112. 4.0 Cr (4 .

When the mAT-K100 is used with Icom transceivers vai the mAT-CI control cable, it is compatible with the original AH-3 and AH-4 automatic tuner protocol. Transceivers that can use either Icom external tuner can also use the mAT-K100, including IC-706, 703, 718, 7000, 7100, 7200, 7300, 7410, 746, 756, 7600, 7610 series transceivers.

DSP Mat – Shaded Spruce CS – 2 ¼” x 5 ¼” Glue the embossed Whisper White mat to the card front. The card will fold at the top. Adhere the DSP mat to the CS mat. Adhere mat to the card front. Adhere the leaves to the card front. Pop the sentiment to the scallop circle. Adhere to the card front. Adhere the gems.

No. of pupils X Number of Years with MAT weight Weight X P8 score weighted score MAT score Sum of weighted scores/sum of weights The KS4 MAT Accountability Measure (i) Progress 8 score (ii) Number of pupils in end of key stage cohort (iii) Number of years with MAT (iv) Total weight (ii) x (iii) (v) weighted score (i) x (iv) Academy 1 2.5 .

MAT ABACUS Business School - Prole, 2019 Knowledge. Clarity. Works 1 About MAT ABACUS Business School MAT ABACUS Business School is an in-stitution that was formed as the result of a merger between the Management and Accountancy Training Company (MAT) and Abacus Business School (ABS). The merger created the requisite synergies to transform the .

City Cost Indexes - V2 RJ1030-010 Building Systems Cost Indexes. Cost Indexes. MAT. INST. TOTAL MAT. INST. TOTAL MAT. INST. TOTAL MAT. INST. TOTAL MAT. INST. TOTAL LEWISTON POCATELLO TWIN FALLS CHICAGO DECATUR. HARRISBURG PHILADELPHIA PITTSBURGH READING SCRANTON .

2 General tips for the online map update Since maps can become out of date they are updated on a regular basis. The following options are available for carrying out updates in the multimedia system: