2021-22 KIJITABU CHA WANAFUNZI - Lansingschools

1y ago
12 Views
3 Downloads
2.09 MB
48 Pages
Last View : 15d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Amalia Wilborn
Transcription

2021-22 KIJITABU CHA WANAFUNZI

Famil iaUTUNZAJI USHIRIKIA NOUFA NISI

YaliyomoUtangulizi2021-2022Bodi ya ElimuGabrielle LawrenceRaisRachel WillisMakamu wa RaisDkt. Saturnino RodríguezKatibuDkt. Nathan BurroughsMweka hazinaDkt. Farhan BhattiAmy HodginMissy LiljeGuillermo Z. LópezRobin MooreWadhaminiBen ShuldinerMsimamiziTimu ya Watendaji WakuuSergio KeckCamela Diaz, Ed. D.Jessica BenavidesCordelia BlackJon LaingSuzy CorbinJohn McGraw01-06Kimeidhinishwa na Bodi: Septemba 2021Ukaguzi wa Magari26Ujumbe kutoka kwa Wasimamizi01Kuingilia kati Kibinafsi au Kutengwa na Wafanyakazi27Kalenda ya Wilaya02Tabia Ambayo Inaweza Kusababisha Hatua za Kinidhamu 28-32Nambari za hwa na Mwalimu Darasani33Mwongozo wa Kuondoshwa Darasani33Kupelekwa kwenye Ofisi ya Utamaduni wa ukuzwa Kulikoamrishwa na JimboKanuni za Uraia wa Shule07Mambo ya Lazima ya Kuzingatia34Nafasi Sawa ya Elimu08Kuondoshwa kwa Muda Kusiko kwa Lazima35Kushirikishwa kwa Wazazi08Taratibu za Rufaa3634-35Haki na Majukumu ya Wazazi na Wanafunzi08-11Kiwango cha Shule cha Kuondoshwa kwa Muda36Haki09-10Maamuzi ya Ofisi ya Utamaduni wa Shule36Majukumu10-11Maamuzi ya Timu ya Ushauri36Kurejeshwa36Ustawi wa Wanafunzi11Magonjwa na Majeraha11-12Sera na Sheria za Mahudhurio12-14Maelekezo ya Kinidhamu37-3815Hali ya NidhamuHaki za Wanafunzi za Kujieleza16Kiwango cha 1: Hatua Zinazoelekezwa na Walimu/Wafanyakazi 37Hoja, Mapendekezo na Malalamiko ya Wanafunzi16Kiwango cha 2: Hatua Zinazoelekezwa na WasimamiziKijitabu cha Mavazi cha Wilaya Nzima17Kiwango cha 3: Shule Mbadala38Kijitabu cha Wanafunzi cha Shughuli za Baada ya Masomo17Kiwango cha 4: Kuondoshwa kwa Muda Shuleni3818Kiwango cha 5: Matokeo/Mipango Mbadala38Kanuni za Matumizi ya Vifaa vya Mawasiliano vya Elektroniki 18Kiwango cha 6: Mkutano wa Kufukuzwa/Kufukuzwa38Matumizi ya Teknolojia na Kanuni za Usalama19Maafisa wa Wilaya wa Utekelezaji38Sheria na Masharti ya Tabia Salama ya Basi la Shule20Taratibu za Tabia Salama ya Basi la Shule21Huduma za NyumbaniUsambazaji wa Nyenzo ZilizochapishwaHatua ya Kinidhamu22- 36Matokeo kwa Wanafunzi na Hatua za Kurekebisha Tabia22Hatua ya Kurekebisha Tabia22Matokeo na Hatua3737-3839-42Matokeo na Mikakati ya Kinidhamu ya K-639Matokeo na Mikakati ya Kinidhamu ya 7-1240Nidhamu kwa Wanafunzi walio na Mipango ya IEP na 504 41-42Wazazi Kuarifiwa22-23ViambatishoKanuni za Kurejesha Maadili23-24Kanuni ya maadili Mema ya Masomo ya MtandaoniUkaguzi na Upokonyaji24-26Matumizi Yanayofaa ya Teknolojia43Ukaguzi wa Wanafunzi24-25Matarajio na Adabu za Wanafunzi43-44Ukaguzi wa Makabati25-26Hatua ya Kinidhamu44Majukumu ya Wazazi/Walezi44Upokonyaji2643-4443

Ujumbe kutoka kwa WasimamiziWapendwa Wanafunzi na Familia,Karibu kwenye Wilaya ya Shule za Lansing na pongezikwa mwaka mzuri wa masomo wa 2021-2022!Kwa niaba ya usimamizi na wafanyakazi, tunajivuniana kufurahi kuwa na wewe kama mwanafunzi. Iwewe ni mwanafunzi mgeni au anayerejea, tunatazamiakuwa na mwaka wenye ufanisi pamoja.Wilaya ya Shule ya Lansing imejitolea kuwahusishawanafunzi katika matukio ya maana na yenyechangamoto katika mazingira yanayokuza shauku yakukua kibinafsi na ufanisi wa elimu. Tunajivunia kutoanafasi mbalimbali za kielimu na shughuli za baada yamasomo zilizodhamiriwa kuboresha uzoefu wako washule na kupanua mipaka yako. Ufanisi shuleni na wabaadaye ni juhudi ya pamoja kati yako, wafanyakaziwa shule na familia yako. Tunakuhimiza ufaidike nanafasi nyingi na za kipekee ambazo tunazitoa ili ufikiemalengo yako.Lengo la kijitabu hiki ni kukupa rejeleo la mwongozowa wilaya. Tunapendekeza kwamba familia zichukuemuda kupitia kijitabu hiki kwa pamoja. Maelezoyaliyomo katika kijitabu hiki yanapatikana pia kwenyetovuti yetu kwenye www.lansingschools.net.

Kalenda ya WilayaAGOSTISEPTEMBAOKTOBAJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm JplJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm JplJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm 2627282930NOVEMBADESEMBAJANUARIJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm JplJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm JplJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm 2526272829MACHIAPRILIJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm JplJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm 930MEIJUNIJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm JplJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm 7282930Siku ya Kwanza ya Shule (K-12, ECSE)Siku ya Kwanza ya Shule (GSRP)Hakuna Shule (Zote)Siku Nusu (Shule ya Msingi)Siku Nusu (Zote)Siku Nusu ya Mtihani (Shule za Upili)Matukio ya Wilaya NzimaSiku ya Mwisho ya Shule ya Wanafunziwa Vidato vya JuuSiku ya Mwisho ya ShuleJisajili kwenye kalenda mahsusi za wilaya na shule kwenye www.lansingschools.net !utangulizimatarajiohatua za kinidhamuFebruari08/30 siku ya Kwanza ya Shule(K-12, ECSE)8/30 - 9/01 Siku Nusu (K Pekee)02/0202/1802/2102/27SeptembaHakuna ShuleSiku NusuSikukuu ya Rais - Hakuna ShuleMaonyesho ya Wilaya09/02 Siku Nusu09/03 Hakuna Shule09/06 Siku ya Wafanyakazi Hakuna Shule09/16 Siku ya Kwanza ya Shule (GSRP)09/29 Hakuna ShuleMachiOktoba04/12 na 04/13 Mtihani wa SAT& ACT WorkKeysWanafunzi wa Vidato vya Chinipekee A.M.Wanafunzi Wote wa HS P.M.Shule ya Msingi ya Siku Nzima10/08 Hakuna Shule10/20 Hakuna Shule10/29 Siku Nusu (Shule ya Msingi)NovembaFEBRUARIJpl Jtt Jne Jtn Jne Ijm Jpl1Agosti03/09 Usajili wa Watoto wa Chekechea03/16 Hakuna Shule03/25 - 04/01 Mapumziko ya Majiraya Machipuko Si siku ya shuleApriliMei11/02 Hakuna Shule11/17 Hakuna Shule11/24-11/26 Mapumziko ya Sikukuuya Shukrani (Thanksgiving)Si siku ya shule05/11 Hakuna Shule05/20 Siku ya Mwisho ya Shule yaWanafunzi wa Vidato vya Juu05/27 Siku Nusu (Shule ya Msingi)05/30 Sikukuu ya Makumbusho Hakuna ShuleDesembaJuni12/20 - 12/31 Likizo ya Majira yaBaridi Si siku ya shule06/05 Kuanza06/08 na 06/09 Mtihani wa Shule yaUpili Siku Nusu (Shule ya Upili)06/10 Siku ya Mwisho ya ShuleSiku NusuJanuari01/17 Sikukuu ya Martin Luther KingJr. Si siku ya shule01/19 na 01/20 Mtihani wa Shule yaUpili Siku Nusu (Shule ya Upili)01/21 Siku Nusu (Mwisho wa Muhulawa Kwanza)maelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu2

DHULUMA NA MASHAMBULIZISimu ya Moja kwa Moja ya Mashambulizi yaKijinsia ya Jimbo la Michigan855-VOICES4; (855-864-2374)au Ujumbe (866)238-1454na TTY (517)381-8470Sparrow Sexual Assault Nurse Examiner (SANE)(517)364-3641End Violent Encounters (EVE)(517)372-5572The Firecracker Foundation517-742-7224Laini ya Moja kwa moja ya Kitaifa ya mzozowa Kinyumbani1(800) 799- 7233HUDUMA ZA USHAURICarefree Medical and Behavioral(517)887-5922Community Mental Health(517)346-8318Child and Family Charities(517)882-4000Ele’s Place for Grieving Children(517)482-1315The Treavor Project LGBTQUIA 1(866)488-7386 AUTuma ujumbe wa START kwa 678678suicidepreventionlifeline.orgPiga simu 1(800)273-8255au Sogoa MtandaoniKUZUIA MIZOZO NA KUJITOA UHAICommunity Mental Health/ES(517)346-8460crisistextline.orgTuma ujumbe wa HOME kwa 741741MATUMIZI MABAYA YA DAWA ZA KULEVYA NA POMBEAl-anon and Alateen(517)484-1977au tembelea www.al-anon.orgCristo Rey Counseling Services(517)372-4700Child and Family Charities(517)882-4000SAMHSA Referral for Services1(800)662-4357HUDUMA ZA AFYACarefree Dental Clinic5135 South Pennsylvania Ave.(517)272-5053Central Michigan InformationAll Community Resources211Planned ParenthoodFrandor(517)351-0550Carefree Medical Clinic1100 W. Saginaw Suite 5(517)887-5922Ingham County Health Department5303 South Cedar Streethd.ingham.orgWillow Health Center306 W. Willow Street(517)702-3500HUDUMA ZA WALIOTOROKA MAKWAO/WASIOKUWA NA MAKAOGateway Youth Services1(877)833-3689utangulizimatarajiohatua za kinidhamuNational Runaway Safeline1(800)786-2929 au sogoa mtandaoni kwenye 1800runaway.orgmaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu3

MaazimioTaarifa ya MaonoIli kuafikia azimio letu tutahakikisha mazingirasalama ya kushirikiana, yenye ufanisi wa hali ya juu,na salama ambayo yamejumuishwa katika jamii zetuna yanayolenga kuwaandaa wanafunzi kuwa raia wakimataifa.Taarifa ya AzimioNi azimio la Wilaya ya Shule za Lansing kutoa uborawa elimu katika mazingira salama na ya kukuza kwawanafunzi wote.Tunaamini. Wanafunzi wote na familia zao wanastahili elimubora.Wafanyakazi, wanafunzi, familia na jamii zaLansing zinaweza kuchangia na kujifunza kutokakwa kila mmoja.Mahitaji ya wanafunzi wetu ndiyo kipaumbelekwetu.Masomo huendelea vizuri wakati wanafunziwamo katika mazingira salama.Utofauti ndio nguvu yetu.Mahusiano yanategemea kujiheshimu wenyewena wengine, kuaminiana na kazi ya pamoja.Masomo ni muhimu kwa ufanisi wa jamii kwaujumla.Wilaya ya Shule ya Lansing imejitolea kwawajibu wake kutoa elimu bora ili kuwaandaawanafunzi kwa kazi na vyuo vya elimu.utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu4

Muhtasari wa MaazimioMafanikio ya Wanafunzi Huduma kwa JamiiMazingira ya MasomoMifumo ya MsaadaFedhaWanafunzi wote watafikia auWilaya itadumisha na kukuzaWilaya itatoa mazingira salamaWilaya itatambua, kuboreshaWilaya itafuatilia na kurekebishakuzidisha malengo ya utendakazimahusiano thabiti na jamii,na ya kukuza ya masomo.kutekeleza mifumo inayofaa narasilimali ili kudumisha naya jimbo na wahitimu wakiwamawakala, mashirika, nafanisi ya msaada.kuboresha uthabiti wa kifedha.tayari kwa kazi na vyuo vya elimu.biashara mbalimbali za Lansing.Malengo:Malengo:Malengo:Malengo:Malengo: Kuongezea mafanikio yaKuchunguza na kupanua nafasiya dhamana ili kuboresha nawilaya kwa kutekeleza suluhishokuhitimu kwa wanafunzi kwakushirikiana na wilayautamaduni wa shule ambazokubadilisha upya vituo vyaza teknolojia ili kuboreshazinajumuisha masomo yawilaya na kuwapa wanafunziufanisi katika masuala yaKuboresha mawasiliano nakitaaluma na njia za kutatuamazingira ya kusoma ya Karnekifedha, rasilimali watu, naKuboresha mafunzojamii mbalimbali za Lansing,matatizoya 21mifumo ya kusimamia maelezoyanayoongozwa na data kwaikiwemo tafsiri kwa lughakutumia vyanzo mbalimbalinyingineya wanafunzi mara kwa mara, ikiwemoiCollaborate, data ya wanafunzi na tabia Kutekeleza mipango na itifakiteknolojia zilizopitwa narufaa za kitabia na kuondoshwawakati ili kuwapa wanafunzi naya kuongezea usajili wanafasi za ruzuku, michango,kwa muda shuleniwafanyakazi zana za masomo yawanafunzichaguo za masomo kwanzima na kuboresha masomowanafunzi Kutekeleza mipango, sera, na itifaki ambazo zitaboreshaKuchunguza na kutambua njiaKutambua na kutekelezaKukuza na kutekeleza mipangomikakati ambayo itaongezeapakubwa ari na mtazamo waya zawadi na matokeosalio la fedha la wilayajamii kuhusu wilayaili kupunguza utoro wawafanyakaziambazo zitaongezea pakubwakushiriki kwa familiaKukuza na kutekeleza mikakatikarne ya 21ya wanafunzi kwa kutekelezaya kubuni ambazo zitapunguza pakubwaKuunda mshikamano wa wilayamiongozo ya mtalaa na mitihaniKusasisha na/au kubadilishaKuchunguza na kupanuana ushirikiano ili kuongezea Kuboresha miundomsingi yaza kuboresha mazingira na Kukamilisha kampeni nzurikwa jamii pana ya Lansingwakati unaofaa Kutambua na kutumia modeliwanafunzi na viwango vya Kutekeleza hatua za kuzuiaKutambua na kutekelezatabia, kuingilia kati, na misaadamodeli na ushirikiano ambaokatika shule zoteutaongezea kushiriki kwa Kutumia rasilimali watu kwakutumia ufanisi wa wafanyakazikatika idara zotewanafunzi katika kujiandaa kwakaziutangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu5

UtanguliziKatika Kijitabu hiki chote, Neno: Bodi ya Elimu inachukulia kwa makini sana wajibu wake wa kuhakikisha mazingira mazuri na salama kwawanafunzi na wafanyakazi wake. Mazingira yenye heshima ni muhimu kwa mchakato wa elimu. Bodi ya Elimuilianza kutumia Kijitabu hiki cha Wanafunzi ili kutoa viwango na miundo inayofaa kukuza mazingira hayo salamaya elimu ambapo wanafunzi wanaweza kujifunza huku wakikomaa kiakili, kimwili, kihisia na kijamii. Kanunizifuatazo zilitumika katika kutengeneza kijitabu hiki cha Wanafunzi:1. Kijitabu hiki kinatoa mpangilio unaofaa kwa masomo. Ukosefu wa mpangilio huingiliana na lengo laelimu. Hata hivyo, Kijitabu hiki hakipaswi kuzuia ubunifu au furaha ya kusoma.2. Kijitabu hiki kinalinda haki ya wanafunzi na wazazi huku pia kikikubali wajibu wao wa kuwa raia wazuri.3. Kijitabu hiki kinajumuisha mwongozo wa kushughulikia tabia zinazotatiza (tazama ukurasa wa 19-22)kabla ziwe mbaya zaidi. Kanuni hizi hazilengi kutatua matatizo mabaya zaidi ya utovu wa nidhamu wawanafunzi tu. “Mzazi” litafasiriwa kujumuisha “mzazi aumlezi wa kisheria.”“Mwalimu Mkuu” litafasiriwa kujumuisha“mwalimu mkuu au mwakilishi wake.”“Mwalimu” litafasiriwa kujumuisha“mwalimu, mwalimu mbadala wa shule, aumwalimu mbadala wa muda mrefu.”Wanafunzi wa K-12Ndiposa kudumisha mazingira mema ya shule yamasomo, Kanuni Moja ya Nidhamu yenye Viwangovya Hatua za Utovu wa Nidhamu imetengenezwa.Mwalimu mkuu atawaarifu wazazi/walezi kuhusukuondoshwa kokote muda kabla ya kufanyika.Mwanafunzi atapewa kazi za nyumbani wakati wa4. Mchakato huu umeundwa kwa msingi wa walimu, walimu wakuu, wanafunzi, wazazi kuheshimiana.Mchakato huu hauhatarishi hadhi ya mtu binafsi.kipindi cha kuondoshwa kwa muda ili akamilishe na5. Wazazi wanawajibika kwa tabia za wanafunzi wao na lazima wahusike katika kutatua matatizo yawanafunzi. Wanafunzi ambao wamefikisha umri wa miaka 18 wanaweza kuchagua kuwajibika kwa tabiazao wenyewe.shule. Kumbuka: wilaya ina haki ya kupendekeza6. Wanajamii wote wa shule, pamoja na wanafunzi, walihusika katika kutengeneza Kijitabu hiki.7. Kijitabu hiki kinazingatia umuhimu wa kanuni za haki za kurejesha maadili na Misaada Chanya yaKuingilia Kati Tabia kama msingi wa kushughulikia tabia mbaya na kukuza utamaduni na mazingiramazuri ya shule.awasilishe kwa mwalimu wa darasa siku ya kurudihatua zaidi kali za nidhamu kulingana na hali yaukiukajiNi muhimu kwa wanafunzi na Wazazi/Walezikuelewa kwamba kutofuatilia tabia atua ya kinidhamu katika Viwango vya I hadiV itachukuliwa katika kujibu utovu wa nidhamuKijitabu hiki kinatimiza sera zote muhimu za Idara ya Elimu ya Michigan na hata pia sheria za jimbo naserikali kuhusu kuwatia nidhamu wanafunzi wa elimu ya kawaida/elimu maalum. Kijitabu hiki hakiondoi hakiza mchakato wa kisheria chini ya sheria za serikali au jimbo za wanafunzi ambao wamebainika wanastahikimipango na huduma ya elimu maalum au mabadiliko yanayofaa kwa ulemavu wao.wa mwanafunzi kulingana na mapendekezo yamsimamizi. Mwalimu mkuu (au mwakilishi wake)anawajibika kupendekeza hatua zote za nidhamu,ikiwemo mpango wa Kuondoshwa kwa MudaDarasani/Shuleni. Katika kila hali, swali la kamaMsimamizi wa Shule atakuwa na wajibu mkuu wa kutumia Kijitabu hiki kwa njia thabiti, na ya haki na inayofaakatika wilaya nzima ya Shule ze Lansing.kitendo cha utovu wa nidhamu kilifanya au laambacho kinapaswa kuchukuliwa hatua ya nidhamukitaamuliwa na utawala, na msimamizi wa shule auafisa wa usikilizaji.utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu6

MatarajioUraiaBodi ya Elimu ya Wilaya ya Shule za Lansing inatarajia wanafunzi kutenda kwa njia inayolingana na viwangovyao vya kukua, ukomavu na uwezo ulioonyeshwa kwa kuzingatia haki na maslahi ya wanafunzi, wafanyakaziwa shule, watu wa kujitoa na makontrakta wengine.RAIA WA SHUALEW!KUKanuni za Uraia wa ShuleKijitabu hiki kinatafuta kuhakikisha kwamba kanuni zifuatazo za uraia zinafuatwa:1. Wanafunzi watahudhuria shule kila siku, kwa3. Wanafunzi watatenda kwa njia ambayowakati unaofaa na wakiwa wamejiandaainaangazia kujivunia wenyewe, familia yao, nakusoma,shule yao,2. Wanafunzi wataonyesha adabu, ungwana,4. Wanafunzi wataheshimu dhana, imani, nana heshima kwa wanafunzi na watu wazimatamaduni za watu wengine kwa uwazi wa fikrawengine,na heshima,5. Wanafunzi watatumia lugha au ishara zinazofaana za heshima wakati wanaongea na wanafunzina watu wazima wengine,6. Wanafunzi watashirikiana, watakuwa makini, nawa msaada darasani na ukumbini,7. Wanafunzi watasaidia kudumisha mazingiraambayo ni salama, mema na yenye matokeo yashule,8. Wanafunzi watajitambulisha wenyewe kwawafanyakazi wa shule wakiombwa.utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu7

Nafasi Sawa ya ElimuNi sera ya Wilaya hii kutoa nafasi sawa ya elimu kwa wanafunzi wote.Kushiriki kwa WazaziUkurasa wa Kushiriki kwa Wazazi umeundwa na wazazi kwa ajili ya wazazi na walezi wa wanafunzi wa Wilayaya Shule za Lansing. Kama mzazi au mlezi, kushiriki kwako katika elimu ya mtoto wako kunaweza:1. kumsaidia mtoto wako kufikia elimu ya hali ya juu,2. kuongezea kuridhika kwako na shule, na3. kuongezea ari ya mwalimu.Mtazamo mzuri wa familia na walimu huchangia ufanisi wa kielimu wa mtoto wako!Haki na Majukumu ya Wazazi na Wanafunzi1. Kanuni na taratibu za shule zimebuniwa kuruhusu kila mwanafunzi kupata elimu salama, nadhifuna inayofaa. Wanafunzi wanaweza kutarajia haki zao za uhuru wa kujieleza na kukutanika nakutendewa kwa haki ilimradi wanaheshimu haki hizo za wanafunzi na wafanyakazi wao wenza.Wanafunzi watatarajiwa kufuata maagizo ya walimu na kutii kanuni zote za shule. Taratibu za nidhamuzimetengenezwa ili kuhakikisha mchakato wa kisheria (usikilizaji wa haki) kabla ya mwanafunzikuondolewa kwa sababu ya tabia yake.2. Wazazi wana haki ya kujua jinsi mtoto wao anafanikiwa shuleni na kupewa maelezo ya mara kwamara na yakihitajika, wakati hoja yoyote inapoibuka. Wakati mwingi itakuwa ni wajibu wa mwanafunzikuwasilisha maelezo hayo. Ikihitajika, barua au uwasilishaji wa mkono unaweza kutumika ili kuhakikishamawasiliano. Wazazi wanahimizwa kuunda mawasiliano ya njia mbili na walimu wa mtoto wao nawafanyakazi kwa kufahamisha wafanyakazi kuhusu mapendekezo au hoja ambazo zinaweza kusaidiamtoto wao kukamilisha malengo yake ya elimu.utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu8

FAHAMUHAKIZAKO3. Lazima wanafunzi wafike shuleni kwa wakati unaofaa, wakiwa tayari kusoma na kushiriki katika mpangowa elimu. Ikiwa, kwa sababu yoyote ile, hii haiwezekani, mwanafunzi anapaswa kutafuta msaada kutokakwa mwalimu mkuu, mwalimu, au karani wa jamii ya shule.i. Wanafunzi watu wazima (wenye umri wa miaka 18 au zaidi) lazima wafuate kanuni zote za shule.ii. Ikiwa wanaishi nyumbani, wanafunzi wote watu wazima wanapaswa kujumuisha wazazi wao katikampango wao wa elimu.Haki1. Kuelimishwa katika mazingira mazuri na salama,2. Kushiriki katika mchakato wa elimu katika mazingira yasiyokuwa na hofu, unyanyasaji, vitisho, usumbufuna uhasama,3. Kutarajia kwamba kanuni za shule zitatekelezwa kwa njia thabiti, ya haki na inayofaa,Dkt. Camela Diaz4. Kuwa na ruhusa ya kukagua rekodi za jumla za mwanafunzi. (Wanafunzi chini ya umri wa miaka18 wanaweza kushiriki katika mkutano kama huo; wale walio na umri wa miaka 18 na zaidi wanawezakuomba mkutano bila wazazi wao kuwepo.),Msimamizi Msaidizi wa Mtalaana Masomocamela.diaz@lansingschools.net517-755-20205. Kutarajia kwamba wafanyakazi wa shule watachunguza ripoti za ukiukaji wowote wa haki za wanafunzina wazazi na kujibu kwa wakati unaofaa,Michael Jones6. Kurudia kazi zote zilizokosekana kwa sababu ya kutokuwepo au kuondoshwa kwa muda,Mratibu wa Title IXmichael.jones@lansingschools.net517-755-28327. Kuomba mkutano wa elimu na wafanyakazi wa shule,8. Kuwasilisha malalamiko, matukio, matatizo, malalamiko, au maombi ya rufaa kwa mwalimu mkuu nakupokea majibu ya kwanza ndani ya siku tatu (3) za shule baada ya mwalimu mkuu kupokea,Lansing School District519 West KalamazooLansing, MI 48933Bodi imewateua watu hawa waliotajwa hapa juu9. Kupokea misaada kwa matatizo na masuala ya afya, hasa kwa wanafunzi wenye hali sugu za afya (k.m.dawa, uchunguzi wa afya, na hatua za kuingia kali).kuhudumu kama "Maafisa wa Kutekeleza Sera yaKuzuia Unyanyasaji" wa Wilaya. Wanaorejelewahapa kama "Maafisa wa Utekelezaji."utangulizimatarajioNi sera ya Bodi ya Elimu kudumisha mazingira ya elimu ambayo hayana aina yoyote ya unyanyasaji kinyumena sheria, ikiwemo unyanyasaji wa kingono. Wilaya haitakubali uyanyasaji wa kingono au aina nyingine zahatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu9

unyanyasaji kinyume cha sheria. Ahadi hii inatumika kwa shughuli zote za Wilaya ya Shule, mipango yaelimu na ya baada masomo, na shughuli. Wanafunzi wote, wasimamizi, walimu, wafanyakazi, na wahudumuwengine wote wa shule wanashiriki wajibu wa kuepusha, kutohimiza, na kuripoti aina yoyote ya unyanyasajikinyume cha sheria. Sera hii inatumika kwa tabia iliyo kinyume cha sheria ambayo inafanyika wakati washughuli ya elimu au ya baada ya masomo inayodhaminiwa na Bodi kwenye majengo ya shule, basi la shuleau eneo lingine ikiwa tabia kama hiyo inafanyika wakati wa tukio au shughuli inayodhaminiwa na Bodi.Na MajukumuYakoMtu yeyote anayetaka kuripoti ukiukaji wa sera ya unyanyasaji anapaswa kuwasiliana na: Maafisa waKutekeleza Sera ya Kuzuia Unyanyasaji (wameorodheshwa upande wa kushoto).Wilaya ya Shule za Lansing, inapofaa, itatoa msaada wa ziada kwa wanafunzi walioripotiwa kuwa waathiriwawa unyanyasaji wa kijinsia au mashambulizi ya kingono. Msaada huu unajumuisha (lakini haujakomea kwa)amri ya kutokutana au mabadiliko katika ratiba ya mwanafunzi ili kumlinda mwanafunzi. Isitoshe, wilaya itatoamsaada wa ushauri, msaada na rasilimali za ziada za elimu kwa wanafunzi ambao wamepitia au waliohusikakatika unyanyasaji wa kingono na/au kwa mnyanyasaji.Mfanyakazi anayeshindwa kuripoti unyanyasaji unaoshukiwa kwa mwalimu wake mkuu, msimamizi, auMaafisa wa Utiifu wa Wilaya ataadhibiwa mara moja. Adhabu kama hiyo inaweza kujumuisha, ikiwa haliinaruhusu, kuondoshwa kwa muda au kufukuzwa kwa mfanyakazi huyo.Wanafunzi au wafanyakazi wanaolipiza kisasi dhidi ya watu wanaoripoti unyanyasaji wa kingono wataadhibiwamara moja. Ikiwa hali inaruhusu, nidhamu kama hiyo inaweza kujumuisha kuondoshwa kwa muda aukufukuzwa kwa mwanafunzi, au kuondoshwa kwa muda au kufukuzwa kwa mfanyakazi.Majukumu1. Kujiheshimu binafsi na wengine, na hata pia mali ya wilaya na jamii,2. Kuheshimu kanuni za shule na kushiriki katika kesi za nidhamu inapofaa,3. Kupanga miadi ili kupitia rekodi kwa wakati unaokubalika na wote,4. Kuripoti ukiukaji wowote wa haki za wanafunzi/wazazi kwa wafanyakazi wa shule,5. Kurudia kazi inayotokana na kutokuwepo au kuondoshwa kwa muda,utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu10

6. Kushiriki katika mkutano wa elimu na wafanyakazi wa shule,7. Kufuatilia malalamiko kupitia taratibu zilizowekwa,8. Kufuata maagizo kuhusu wakati wa kumweka mtoto mgonjwa nyumbani,9. Kutoa maelezo ya dawa kwa ofisi za shule (k.m. muuguzi wa shule) ikiwemo hati za matibabuzinazohitajika kwa mabadiliko hayo. (Ni muhimu kwamba fomu ya shule iliyokamilisha na kutiwa sainiya Idhini ya Dawa kwa dawa zinazoagizwa na daktari au fomu ya dawa iliyokamilishwa na kutiwa saini yadawa za Kwenye Kaunta ipewe shule).10. Kutoa nambari za simu za dharura ambazo zinafanya kazi na mawasiliano ya kutegemewa ya dharurakwa hali za dharura za wanafunzi.Ustawi wa Wanafunzi1. Usalama wa wanafunzi ni wajibu wa wafanyakazi. Wafanyakazi wote wanahitajika kufahamu taratibuza dharura kama vile moto, kusitishwa kwa shughuli za kawaida, mafunzo ya kimbunga na taratibuza kuripoti dharura. Iwapo mwanafunzi atafahamu kuhusu hali au tukio lolote la hatari, lazima aarifumfanyakazi yeyote mara moja.2. Sheria ya jimbo inahitaji kwamba ni lazima wanafunzi wote wakamilishe kadi ya matibabu ya dharura,iliyotiwa saini na mzazi au mlezi, na kujazwa katika ofisi ya shule. Mzazi anaweza kuondolewa shulenihadi hitaji hili litimizwe.3. Wanafunzi walio na mahitaji maalum ya huduma ya afya wanapaswa kuwasilisha ilani iliyoandikwakuhusu mahitaji kama hayo pamoja na hati zinazofaa zinazotolewa na daktari, kwa ofisi ya shule.Magonjwa na Majeraha1. Lazima majeraha yote yaripotiwe kwa mwalimu na au ofisi. Ikiwa majeraha ni madogo, mwanafunziatatibiwa na kurudi darasani. Ikiwa matibabu yanahitajika, ofisi itafuata taratibu za dharura za shule.utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu11

2. Mwanafunzi ambaye atakuwa mgonjwa wakati wa siku ya shule anapaswa kuomba ruhusa ya kwendaofisini. Mtu mzima anayefaa katika ofisi ataamua kama mwanafunzi anapaswa kusalia shuleni au kwendanyumbani. Hakuna mwanafunzi ataruhusiwa kutoka shuleni bila ruhusa inayofaa ya mzazi.Sera na Sheria za MahudhurioBodi ya Elimu inaamini kwamba mahudhurio ni jambo muhimu katika mafanikio ya wanafunzi na kwambakutokuwepo shuleni kunawakilisha hasara ya elimu kwa mwanafunzi. Mitindo ya mara kwa mara na ya wakatiupasao ya mahudhurio itatarajiwa kwa kila mwanafunzi aliyesajilia katika Wilaya ya Shule za Lansing.Ijapokuwa inatambuliwa kwamba kutokuwepo shuleni ni muhimu chini ya hali nyingine, kila juhudi inapaswakuchukuliwa na wanafunzi, wazazi/walezi, walimu na wasimamizi ili kupunguza kabisa kutokuwepo nakuchelewa.Mahudhurio ya wanafunzi ni wajibu wa mzazi/mlezi na mwanafunzi. Ili wazazi/walezi watimize wajibu wao,lazima shule iwafahamishe kuhusu mitindo ya kutokuwepo na mahudhurio ya wanafunzi.Mfumo unaotosha na kamili wa rekodi za mahudhuriounapaswa kudumishwa kwa kila mwanafunzi. Kila mwalimuanawajibika kutoa ripoti sahihi za mahudhurio ya kila sikukatika darasa lake. Mwalimu mkuu atawajibika kuhakikishausahihi wa rekodi zote za mahudhurio za shule yake.Kutokuwepo, hata kama kumeidhinishwa na mzazi/mlezi,ambako kunazidi kupita kiasi na/au kunatatiza mpango waelimu wa mwanafunzi, kutachunguzwa na mhudumu wawilaya ya shule.Wanafunzi wote watakuwa na nafasi ya kurudia kazi zashule zilizokosekana kwa sababu ya kutokuwepo. Hatahivyo, itakuwa ni wajibu wa mwanafunzi kupata kazi hizo nakuzirejesha ndani ya muda uliokubaliwa na kila mwalimu.utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamuNi azimio la Mpango wa Kuboresha Mahudhurioya Wilaya ya Shule za Lansing kuendelezaufanisi wa wanafunzi kwa kukuza utamaduniwa mahudhurio mazuri, kukuza mabadiliko yamtazamo na kutoa nafasi sawa za masomo kwakuongezea mahudhurio ya wanafunzi.Tunaamini1. Katika kutambua na kupunguza vikwazo ilikuziba mianya ya usawa.2. Katika kukuza mtazamo wa kukua wawafanyakazi, wanafunzi na familia.3. Katika kukuza mahudhurio ya siku nzimakama kipaumbele.4. Katika hitaji la kushirikiana na familia nawashiriki wa jamii.5. Katika kuunda na kudumisha tabia thabitiza mahudhurio mapema na katika maishayote ya mwanafunzi.6. Katika kanuni zinazofaa tamaduni ambazozinaunga mkono mahudhurio mema.7. Katika kukusanya na kutumia datambalimbali zinazoweza kuchukuliwa hatuaili kutumia mbinu ya safu ya kuboreshamahudhurio.8. Katika matokeo ambayo mahudhuriomema ya wafanyakazi inayo kwamahudhurio ya wanafunzi.9. Katika kuhimiza na kusheherekeamahudhurio yaliyoimarika.matokeo na mikakati ya kinidhamu12

Je, Mtoto Wangu Anaruhusa yaKutokuwepo?Kutokuwepo kumeruhusiwa ikiwa taarifaitapokewa na shule ndani ya siku kumi (10)za shule baada ya kutokuwepo huko nakutokuwepo huko ni kwa sababu ya sababumoja kati ya zifuatazo: Ruhusa ya Mzazi kwa sababu ya Ugonjwa(hadi na kujumuisha 10 kwa mwaka)Kutokuwepo baada ya mara 10 kwamwaka, hakutaruhusiwa isipokuwa kuwana udhuru wa matibabu (wa daktari)MazishiSababu Zinazohusiana na Shule(kuondoshwa kwa muda, kuchelewakupita basi) sababu za usimamizi, safari zakimasomo, n.k.)Kuhudhuria Mahakama/KesiKufungwa gerezaniRuhusa ya Kimatibabu (Daktari)Maadhimisho ya KidiniMahudhurio na Kutokuwepo kwa WanafunziWanafunzi wanatarajiwa kufika shuleni kabla ya shule kuanza kila siku. Umuhimu wa kuhudhuria mara kwamara ni somo muhimu la kufunzwa shuleni. Masomo yanaendelea kila siku darasani. Matukio haya ya kusomahayawezi kurudufiwa. Wakati mwanafunzi anakosa shule, anakosa sehemu ya thamani ya elimu yake.Mwanafunzi wa K-12 anachukuliwa kuwa hayupo anapokosa kipindi kizima cha darasa. Mwanafunziamechelewa wakati anakosa hadi dakika 15 za kipindi cha darasa. Mwanafunzi anachukuliwa AmewasiliAmechelewa (AL) wakati anapowasili dakika 15 baada ya kuanza kwa kipindi cha darasa. Wanafunziwanaoondoka darasani kabla ya muda uliopangwa wa tamati na hawarudi watachukuliwa WametokaMapema (LE).Taratibu za Gredi ya K-61. Wazazi/walezi wa kisheria watawajibika kuwasiliana na ofisi ya shule ikiwa mwanafunzi hatakuwepo.Matokeo ya mawasiliano hayo yatawekwa kwenye rekodi rasmi ya mahudhurio,2. Mhudumu wa shule atapiga simu nyumbani ikiwa mzazi/mlezi wa kisheria hajapiga simu kuthibitishasababu ya kutokuwepo kwa mwanafunzi. Matokeo ya mawasiliano hayo yatawekwa kwenye rekodi rasmiya mahudhurio,3. Wakati wanafunzi wanaporejea baada ya kutokuwepo, wanapaswa kuleta barua iliyoandikwa kutoka kwamzazi/mlezi wa kisheria inayoelezea sababu ya kutokuwepo,4. Wafanyakazi wa shule watawasiliana na mzazi/mlezi wa kisheria wakati mwanafunzi amefikisha siku tano(5) kamili (siku kumi (10) nusu) za kutokuwepo,5. Wanafunzi waliofikisha siku nane (8) kamili (siku kumi na sita (16) nusu) za kutokuwepo wanawezakuelekezwa kwa Mtaalamu wa Mahudhurio wa wilaya,6. Wakati wanafunzi wanapozidisha siku kumi (10) kamili za kutokuwepo wakiwa na ruhusa ya mzazi(ugonjwa au ombi la familia), barua iliyoandikwa kutoka kwa daktari wa mwanafunzi itahitajika. Lazimataarifa hiyo ijumuishe sababu ya kutokuwepo, idadi ya siku ambazo mwanafunzi hatakuwepo, tarehe zakutokuwepo na saini ya daktari,utangulizimatarajiohatua za kinidhamumaelekezo ya kinidhamumatokeo na mikakati ya kinidhamu13

7. Kabla ya rufaa kufanywa kwa Mtaalamu wa Mahudhurio, barua itatumwa kwa shule ili kuarifu mzazi/mleziwa kisheria kuhusu matatizo ya mahudhurio,8. Ikiwa juhudi zote hapo juu zitashindwa kutatua tatizo la mahudhurio, Mtaalamu wa Mahud

ya Machipuko Si siku ya shule Aprili 04/12 na 04/13 Mtihani wa SAT & ACT WorkKeys Wanafunzi wa Vidato vya Chini pekee A.M. Wanafunzi Wote wa HS P.M. Shule ya Msingi ya Siku Nzima Mei 05/11 Hakuna Shule 05/20 Siku ya Mwisho ya Shule ya 1 Wanafunzi wa Vidato vya Juu 05/27 Siku Nusu (Shule ya Msingi) 05/30 Sikukuu ya Makumbusho - Hakuna Shule Juni

Related Documents:

MTIHANI WA MWIGO KAUNTI NDOGO YA KAKAMEGA KUSINI-2016 Hati ya Kuhitimu Masomo ya Sekondari – Kenya (K.C.S.E) Maagizo a) Jibu maswali yote. b) Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu hiki cha maswali. c) Hakikisha kuwa kurasa zote za kijitabu hiki zimepigwa hapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

UTANGULIZI Kijitabu hiki kimedhamiriwa kutumiwa na wakulma wadogo wadogo wazalishao mbegu ya maharage. Kimeandikwa kwa ajili ya wakulima wasio na ujuzi au Elimu na uzoefu katika uzalishaji mbegu ya maharage.

Chuo Kikuu cha Morogoro cha Kilimo kuwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo. Seneti ya Chuo Kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) mwaka 1991 ilipitisha uamuzi kwamba kila mwaka Chuo kitakuwa kinamuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kuadhimisha kumbukizi ya kifo chake kilichotokea tarehe 12 Aprili, 1984.

MUNGU!, JE MUNGU WETU SI NI MKUU? Musa angeamua kupuuza Mungu kama vile tunavyo fanya leo, lakini alisimama na kusikiza. Kisha akafungua moyo na mdomo wake KUITIKIA alimjibu Mungu kwa usemi huu , "NDIO BWANA,NIKO HAPA." Mungu alikuwa na mpango wa kuokoa Waisraeli kutoka utumwani. Alitaka kutumia Musa.

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO NA RUZUKU KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA . (malipo ya 25% ya mkopo wa awali si dhamana ya kupangiwa mkopo). . programu (ii) Waombaji wapya lazima wawe wamehitimu elimu ya Kidato cha Sita (ACSEE) au Stashahada ndani ya miaka mitatu, kua

3. Uongozi wa Shule wanahaki ya kumfukuza mwanafunzi ambaye hajafika wastani unaotakiwa kwa kiwango cha Shule au tabia yake haiendani na mwenendo wa shule. 4. Nafasi ya BWENI inatolewa kwa wavulana na wasichana. 5. Wanafunzi wa KUTWA wanakaribishwa, Ada ya Shule kwa wanafunzi wa kutwa wasiotumia usafiri ni shilingi 930,000/ kwa mwaka. 6.

utumie Fomu ya Maswali ya P-EBT. 14. Je, kiasi cha pesa cha manufaa ya P-EBT kiliamuliwa vipi? Utoaji wa P-EBT Vigezo P-EBT 1 - Majira ya Kuchipua 2020 Kiasi cha pesa kilichowekwa kwa siku ambacho wanafunzi wangekuwa wamepokea milo ya bila malipo au iliyopunguzwa bei, ikiwa si kwa ajili ya dharura ya afya ya umma. P-EBT 2 - Majira ya

300-a02 abp enterprise sdn bhd. 7th floor menara lien hee no, 8 jalan tangung, 47700 petaling jaya. selangor p. j john c.o.d. 03-7804448 03-7804444 300-c01 control manufacturing 400-2 (tingkat satu) batu 1/2, jalan pahang, 51000 kuala lumpur kl lal net 60 days 03-6632599 03-6632588