Makamu Wa Rais Ashiriki Mkutano Wa Wakuu Au Kuhusu-PDF Free Download

Makamu wa Rais ashiriki Mkutano wa Wakuu AU kuhusu
25 Mar 2020 | 319 views | 0 downloads | 10 Pages | 1.08 MB

Share Pdf : Makamu Wa Rais Ashiriki Mkutano Wa Wakuu Au Kuhusu

Export Makamu Wa Rais Ashiriki Mkutano Wa Wakuu Au Kuhusu File to :

Download and Preview : Makamu Wa Rais Ashiriki Mkutano Wa Wakuu Au Kuhusu

Report CopyRight/DMCA Form For : Makamu Wa Rais Ashiriki Mkutano Wa Wakuu Au KuhusuTranscription

Makamu wa Rais ashiriki Mkutano wa Wakuu AU, kuhusu uanzishaji Eneo Huru la Biashara. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ambayo ni ya awamu ya pili nayo. wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan tukubaliane tena katika mkutano mwingine. amesema Wakuu wa Nchi na Serikali za utakaofanyika Januari mwakani alisema. Umoja wa Afrika AU wamekubaliana, kupitisha uanzishaji wa Eneo Huru la Makamu wa Rais alisema kuwa AU. Biashara Afrika imepitisha kuwepo kwa eneo hilo la biashara. pamoja mifumo mitano itakayosaidia, Mhe Samia amesema hayo mara baada ya kufanya uendeshaji wa biashara huru ndani. kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Dharura ya Afrika, wa AU uliofanyika mjini Niamey nchini Niger. akimwakilisha Mhe Rais Dkt John Magufuli Mifumo hiyo alitaja kuwa ni pamoja na. kuondoa vikwazo ambavyo si za kikodi lakini, Alisema lengo kubwa la mkutano huo ni na pia wamepitisha mfumo utakaoweza.
kukubaliana na kupitisha yale yote kufanya tathmini kuripoti na kufuatilia. yaliyokubaliwa na kupitishwa katika vikao utekelezaji wa mfumo huo. mbalimbali vya wataalamu na mawaziri, katika awamu ya kwanza ya makubaliano ya Pia tumetakiwa katika jumuia zetu za. Eneo Huru la Biashara barani humo kikanda sasa kwa upande wetu kupitia. SADC Jumuiya ya Kibiashara ya Nchi za, Tumemaliza awamu ya kwanza na mkutano Kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki. huu umepitisha vipengele vyote vya awamu EAC twende tukajipange tuiangalie mifumo. ya kwanza lakini pia tumeombwa wataalamu tuliyopitisha tuangalie zina changamoto gani. wakakae waangalie yale yaliyobakia na vipi tunaweza kusaidiwa alisema. Balozi Seif Kupatiwa eneo la kujenga Ofisi, za SMZ Dodoma kutaimarisha Muungano. akamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Tanzania kwa uamuzi wake wa kuipatia eneo hilo. Seif Ali Iddi amesema kitendo cha Serikali lenye ukubwa wa ekari 30 lililopo eneo la Mahoma. ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Makulu ambapo alisema itafanya Serikali zote mbili. kuipatia Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ kufanya Kazi kwa ukaribu zaidi. eneo la ujenzi wa Ofisi zake Makao Makuu ya Nchi, mjini Dodoma kitaendelea kuimarisha Muungano Makamu wa Pili wa Rais alisema kuwa wakati SMZ. wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya inatafakari namna ya kuanza ujenzi huo katika. Muungano wa Tanzania uliodumu karibu Miaka 55 Bajeti ya mwaka ujao kuna haja kwa taasisi. zilizokuwa tayari kuanza hatua za awali za ujenzi, Balozi Seif alitoa shukrani hizo wakati.
alipotembelea eneo lililokabidhiwa kwa Serikali ya Aidha alikipongeza Kikosi Kazi cha kuhamia. Mapinduzi ya Zanzibar Kujenga Ofisi zake katika Dodoma chenye Wajumbe kutoka pande zote Mbili. eneo hilo eneo la Mahoma Makulu za Tanzania Bara na Zanzibar kwa kazi kubwa. wanayoendelea kuisimamia katika kusanifu ujenzi, Aliishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa wa Mji Mpya. Makamu wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akimsikiliza Mratibu wa Kuhamia Dodoma kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Meshack Bandawe alipotembelea eneo lililotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi zake jijini Dodoma. Ofisi ya Makamu wa Rais yazindua Mpango, Kazi wa Afya na Mazingira Jijini Dodoma. Ofisi ya Makamu wa Rais vinatokana na changamoto Tanzania ikiandaa miradi. Julai 19 2019 imezindua hizo za kimazingira na kwa ajili ya kutatua. Mpango Kazi wa Taifa wa hivyo Mpango huo utaleta changamoto hizi za. Afya na Mazingira HPAP mwelekeo wa kuzitatua uchafuzi wa mazingira. jijini Dodoma wenye lengo changamoto hizo hatari kwa afya. la kutatua changamoto za, afya kutokana na uharibifu Prof Mwegoha ambaye Mwakilishi Mkazi wa. wa mazingira alimwakilisha Naibu Katibu UNIDO Dkt Stephen. Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kargbo alisema Shirika hilo. HPAP ambayo Rais Balozi Joseph litaendelea kufanya kazi na. imeandaliwa kwa Sokoine alisema afya ya wadau wote ili kufanikisha. kushirikishiana na Wizara nguvu kazi ni muhimu na ili maendeleo nchini kupitia. ya Afya Maendeleo yya tuweze kuwa na uchumi taasisi mbalimbali za. Jamiii Jinsia Wazee na thabiti ni lazima afya Serikali. Watoto pamoja na wadau ipatikane, umeainisha viashiria vitano Ninatambua juhudi za. vya uchafuzi wa mazingira Kama nchi tulisaini Tanzania katika kutatua. vinaathiri afya hivyo Mkataba wa Libreville changamotto za afya na. imepatikana njia ya kubuni mwaka 2008 ambao mazingira kwa mfano. miradi ya kupambana tukatakiwa kama nchi mwaka 2013 Serikali. nazo tutengeneze mpango kazi kupitia Ofisi ya Makamu wa. wa namna ya kupambana Rais na Wizara ya Afya, Akizungumza baada ya na changamoto za kiafya pamoja na wadau.
uzinduzi Mkurugenzi Idara kutokana na uchafuzi wa ikishirikiana na WHO. ya Mazingira Ofisi ya mazingira hivyo unatupa iliandaa Mpango Kazi. Makamu wa Rais Profesa nafasi ya kuja na miradi na uliolenga kutatua. William Mwegoha alisema kutusaidia sisi Watanzania changamoto hizi alisema. ripoti ya Shirika la Afya kupambana nazo Kargbo, Duniani WHO ya mwaka alisema. 2015 inaonesha wastani Mpango Kazi wa Afya na, wa vifo milioni 8 duniani Kwa upande wake Naibu Mazingira umewezeshwa. hutokana uchafuzi wa Mkurugenzi Idara ya na UNIDO ikishirikiana na. mazingira Mazingira wa Shirika la wadau wa Usafi Tanzania. Umoja wa Mataifa la CPCT na WHO chini ya, Kuhudumia Viwanda ufadhili wa Umoja wa. UNIDO Nilgue Tas Ulaya EU na Shirika la, alisema huu ni wakati wa Maendeleo la Marekani. wadau nchini na washirika USAID, wa maendeleo kueleza.
uzoefu wao kuhusu, madhara ya uchafuzi wa, Tas alisema HPAP. Alisema pia takriban inatokana na ushiriki wa, asilimia 19 ya vifo duniani wadau ambapo Serikali ya. Balozi Sokoine afungua mafunzo ya, uwezeshaji mashamba darasa Mradi wa LDFS. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa mfano wa juhudi hizo za Serikali Alifafanua. Rais Balozi Joseph Sokoine amefungua juhudi hizi zinahusisha uingizaji na matumizi. Mafunzo ya Msasa ya Uwezeshaji kuhusu ya teknolojia mpya ikiwemo matumizi sahihi. Mashamba darasa kwa Maafisa viungo wa ya mbolea mbegu zenye ubora uboreshaji. mradi kutoka Wizara na timu za uwezeshaji wa nyanda za malisho utoaji wa huduma za. za wilaya wa mradi wa kurejesha ardhi ugani na mafunzo kupitia shamba darasa. iliyoharibika na kuongeza usalama wa, chakula katika maeneo kame nchini LDFS Aliongeza kuwa juhudi hizi zote zina lengo la. katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo urejesha ardhi iliyoharibika ili iweze. Morogoro kuendelea kuzalisha mazao ya kilimo, mifugo na misitu.
Mafunzo hayo ya siku tano yanalenga, kujenga uwezo kwa washiriki katika Kwa upande wake Mratibu wa Mradi huo. uanzishaji wa mashamba darasa katika vijiji Joseph Kihaule alisema mradi huo. na shehia ambako mradi wa LDFS utajumuisha na uanzishwaji wa mashamba. unatekelezwa darasa 100, Ni matumaini yangu kuwa elimu na Wawezeshaji wa mradi huo ni Shirika la. ufahamu mtakauopata kupitia mafunzo Kilimo na Chakula Duniani FAO Chuo cha. haya mtaitumia katika kufanikisha Kilimo cha Sokoine SUA na Wakala wa. uanzishaji wa mashamba darasa katika Taifa wa Mbegu za Miti Tanzania TTSA. maeneo ya mradi alisema Balozi Sokoine ambapo washiriki wa mafunzo hayo. wametoka Wizara za Kilimo Maliasili na, Alisema Tanzania kwa kushirikiana na Utalii Maji Mifugo na Uvuvi Ofisi ya. wadau wa maendeleo wamekuwa Makamu wa Rais Ofisi ya Makamu wa Pili. wakitekeleza miradi inayolenga kuongeza wa Rais Zanzibar Idara ya Mazingira. uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo kwa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi. kusogeza karibu teknolojia kwa wakulima ili Zanzibar Aidha washiriki wengine ni kutoka. kuongeza usalama wa chakula na kuongeza katika Halmashauri zinazotekeleza Mradi za. kipato cha jamii Mkalama Micheweni Magu Nzega na, Kondoa pamoja waalikwa rasmi Daktari. Balozi Sokoine aliongeza kuwa Mradi wa Moses Temi na Charles Mjema. LDFS ambao umeandaa mafunzo haya ni, MHE SIMBACHAWENE AAPISHWA AWASILI.
OFISI NDOGO ZA MAKAMU WA RAIS DAR, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa. Magufuli akimuapisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika picha ya. wa Rais Muungano na Mazingira Mhe George pamoja na Waziri George Simbachawene na viongozi. Simbachawene Ikulu jijini Dar es Salaam mbalimbali kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dsm. Naibu Waziri OMR Mhe Mussa Sima akimpokea Waziri wa Nchi OMR Muungano na Mazingira. Waziri wa Nchi Mhe George Simbachawene Mhe George Simbachawene akizungumza na. Kulia ni Katibu Mkuu Mhandisi Joseph Malongo watumishi alipowasili Ofisi ndogo Dar. Mhe George Simbachawene akiwa katika picha ya Waziri wa Nchi OMR Muungano na Mazingira. pamoja na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Mhe George Simbachawene akikaribishwa na. Hassan Naibu Waziri Mussa Sima na watumishi Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan. Tanzania kupunguza matumizi ya Zebaki kwa, wachimbaji wadogo wa dhahabu ifikapo 2024. Tanzania imepitisha Mpango Kazi wa Taifa madhara makubwa hasa kwenye magonjwa. wa kupunguza matumizi ya kemikali ya ya mfumo wa fahamu. zebaki kwa wachimbaji wadogo wa madini, ya dhahabu kwa asilimia 30 ifikapo mwaka Aidha Tanzania inakadiriwa kuwa na. 2024 wachimbaji wadogo milioni 1 2 ambapo, asilimia 20 hadi 30 ni wachimbaji wanawake. Hayo yamebainishwa hivi karibuni jijini huku sehemu kubwa hutumia zebaki. Dodoma katika kikao kilichoandaliwa na Pia inakadiriwa kwa mwaka jumla ya tani 13. Ofisi ya Makamu wa Rais na kushirikisha hadi 24 hutumika na huingizwa nchini kwa. wadau wa sekta ya madini nchini njia za kinyemela, Asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo.
wadogo wameathiriwa na matumizi ya, zebaki hivyo, Serikali imedhamiria kupunguza ama. kuondosha matumizi yake kwa wachimbaji, Wakizungumza mara baada ya kumaliza. kikao hicho mdau wa madini Noela, Magoche alishauri zifikiriwe mbinu mbadala. Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira OMR Faraja kunusuru watoto wanaofanya kazi migodini. Ngerageza akizungumza kwenye kikao cha wadau wa, uchimbaji mdogo wa dhahabu Alisema kuwa watoto ndio waathirika. wakubwa wa zebaki huku akisisitiza, Akifungua kikao hicho Kaimu Mkurugenzi itekelezwe sheria inayokataza ajira kwa.
wa Idara Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu watoto hususan katika migodi sekta ya. wa Rais Faraja Ngerageza alisema Serikali migodi, inapenda kuona sekta ya madini kwa. wachimbaji wadogo haileti madhara kwa Inatumika wakati wa kuchenjua mchanga na. afya na mazingira kukamata dhahabu ambayo baadaye, huwekwa kwenye karai lenye mchanga na. Ngerangeza alisema kuwa zebaki hutumiwa maji na kukorogwa kwa mikono ili kemikali. zaidi na wachimbaji wadogo wa madini hiyo ienee kwenye udongo huo. nchini na inakadiriwa zaidi ya asilimia 25, hadi 35 ya wachimbaji hao huathiriwa Pamoja umuhimu wake katika kukamilisha. upatikanaji wa dhahabu migodini hususan, Watu zaidi ya milioni 1 2 wanashiriki katika kwa wachimbaji wadogo kitaalamu. uchimbaji mdogo wa madini ambapo zaidi inaelezwa kwamba ni kemikali hatari kwa. ya tani 13 2 hadi 24 za kemikali ya zebaki afya ya binadamu na mazingira. hutumika katika uchenjuaji wa dhahabu, alibainisha Kwa mujibu wa utafiti viwango vya kemikali.
hiyo duniani vinaendelea kuongezeka, Zebaki imetajwa kuwa ni moja kati ya kutokana na shughuli za uchomaji wa. kemikali 10 hatarishi zilizoorodheshwa na makaa ya moto na uchimbaji wa dhahabu. Shirika la Afya Duniani WHO na ina, WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WATUMISHI. WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS JIJINI DODOMA, WN OMR MMZ Mhe George Simbachawene WN OMR MMZ Mhe George Simbachawene. akiwasili Ofisini kwake Jijini Dodoma akisalimiana na watumishi katika Ofisi yake. WN OMR MMZ akisaini kitabu cha wageni Mhe Simbachawene akiwa katika picha ya. aliporipoti Ofini kwake jijini Dodoma pamoja na viongozi na baadhi ya watumishi. Watumishi kutoka Idara mbalimbali Ofisi ya Mhe George Simbachawene wa pili kulia. Makamu wa Rais wakimsikiliza Waziri wa Nchi akioneshwa mazingira ya Ofisi yake na Katibu. Mhe George Simbachawene hayupo pichani Mkuu Mhandisi Joseph Malongo Naibu. alipokuwa akizungumza nao mara alipowasili Katibu Mkuu Balozi Joseph Sokoine kushoto. Ofisini kwake jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na. Utawala Samuel Mwashambwa, Limetolewa na Kitengo cha. Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Makamu wa Rais, MAWASILIANO.
S L P 2502, Dodoma Tanzania, Simu 255 266 235 2038. Fax 266 235 0002, Barua pepe ps vpo go tz, km vpo go tz. Tovuti www vpo go tz, Facebook Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Whatsapp 0685 333 444, Instagram ofisi ya makamu wa rais. Twitter vpo tanzania, Tuulinde Muungano Wetu, Tuyatunze Mazingira.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amesema Wakuu wa Nchi na Serikali za Umoja wa Afrika AU wamekubaliana kupitisha uanzishaji wa Eneo Huru la Biashara Afrika Mhe Samia amesema hayo mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Dharura wa AU uliofanyika mjini Niamey nchini Niger akimwakilisha Mhe Rais Dkt John Magufuli Alisema lengo kubwa la mkutano

Related Books

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA NNE

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA NNE

Mheshimiwa Spika kwa rejea ya Waraka wa Maendeleo ya Utumishi Namba 6 12 19 na 20 ya mwaka 2002 inayohusu kada zilizo chini ya Wizara ya Ardhi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Nishati na Miundombinu vianzia vya mishahara ya kada ya wapima ardhi maafisa mipango miji wathamini wanasheria wajiolojia na

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA SABA

vibaya katika mitihani ya kidato cha nne na sita ambapo kwa mwaka 2015 katika matokeo ya kidato cha nne watahiniwa waliopata daraja la nne ni 240 996 sawa na asilimia 67 91 na waliopata daraja la sifuri ni 113 489 sawa na asilimia 32 09 a Je Serikali ina mkakati gani mahsusi katika kuboresha mazingira ya kujifunzia katika Shule za Umma za

BUNE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA TATU

BUNE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA TATU

na kulinganisha jiografia ya wilaya yake ni kubwa hakika tutazingatia katika kutatua changamoto zilizo kwake Mheshimiwa Mwenyekiti katika swali lake la pili anauliza Chuo cha Ualimu ambacho kilikuwa tayari kilishaanza kudaili wanafunzi kwa maana wanachuo lakini sasa hivi kilichotokea ni kwamba wamehamishwa na kupelekwa Dakawa Ni vizuri

MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA TATU D U A

MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA TATU D U A

ya Afya walimu hao wapimwe Walimu wengine wa vijijini wanapiga mizigo siku nzima mwalimu halali mpaka saa kumi na mbili lakini muda wa kazi uliopangwa unajulikana Kwa nini wengine wawe wana kula bata mjini na wengine wapo vijijini wanakula mzigo haiwezekani Namshauri Waziri mwenye dhamana hii walimu hao wapimwe

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA NANE

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA NANE

2012 2013 Julai Septemba Halmashauri imepanga kulipa jumla ya Sh 64 000 000 kwa kutumia utaratibu huo Madai haya yamekuwa yakilipwa kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha Mheshimiwa Naibu Spika ili kudhibiti malimbikizo ya madeni ya watumishi Serikali imetoa maelekezo kupitia Waraka wa Katibu Mkuu Kiongozi ambao

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA KUMI NA

mwekezaji mpya aliwachukua asilimia 80 sawa na wafanyakazi 248 Idadi ya wafanyakazi imeongezeka hadi kufikia 600 mpaka sasa Kwa hiyo ajira mpya ni wafanyakazi 352 b Mheshimiwa Spika Kiwanda cha Nguo cha Mbeya kimefikia uzalishaji wa asilimia 55 ya uwezo wake mpaka sasa Kabla ya kubinafsisha Kiwanda kilikuwa

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA TATU D U A

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA TATU D U A

ya Rais TAMISEMI naomba kujibu swali la Mheshimiwa Ignas Aloyce Malocha Mbunge wa Kwela kama ifuatavyo Mheshimiwa Naibu Spika uwepo wa Halmashauri mbili unatokana na Sheria za Mamlaka za Serikali za Mitaa Sura 287 Mamlaka za Wilaya na Sura 288 Mamlaka ya Miji ambapo lengo ni kusogeza huduma karibu na wananchi

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA ISHIRINI

BUNGE LA TANZANIA MAJADILIANO YA BUNGE MKUTANO WA ISHIRINI

tumegeuza baadhi ya Vyuo vya Ualimu viwe Vyuo Vikuu shirikishi ili kupata walimu watakaoweza kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi Hili suala la kuchukua walimu waliostaafu ni mpango tu wa muda lakini msingi mkubwa au msisitizo mkubwa tunauweka na kuwaandaa walimu wapya

Mada Kwenye Mkutano wa Kazi wa Madaktari wa ... - TAMISEMI

Mada Kwenye Mkutano wa Kazi wa Madaktari wa ... - TAMISEMI

stahili hizo kwa kutumia Sheria nyingine za kazi (Kifungu cha 32A cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura 298). Kuepuka vitendo vya kutumia vibaya nafasi zao SERIKALI/MWAJIRI Kuweka mazingira wezeshi kwa watumishi kutekeleza wajibu wao ikiwemo kuwalipa stahili zao kwa wakati, kuwaendeleza kitaaluma, kuwapandisha vyeo, kutambua na kuthamini michango yao ya kiutumishi na kuthamini utu wao. 30 ...

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA

YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA ANGELLAH JASMINE KAIRUKI MB AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA WA FEDHA WA 2016 17 A UTANGULIZI 1 Mheshimiwa Spika naomba kutoa hoja kwamba kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA

hadithi za Alfu Lela Ulela akishatoka kwenye chupa ni vigumu sana kumrejesha Tumwombe Mungu apishie mbali lakini pia kila raia mwema adai kwa bidii zote kuheshimiwa kwa maadili yetu ya kitaifa Tunapoelekea kwenye uchaguzi watakuja wengi kwa kivuli cha Asasi Zisizokuwa za Serikali ati kutuelimisha kuhusu demokrasia Wanaoijua Tanzania na

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA

2015 Sheria ya Bajeti Na 11 ya Mwaka 2015 dhana ya Upelekaji Madaraka kwa Umma na Sera mbalimbali za Serikali Mheshimiwa Mwenyekiti katika Mwaka wa Fedha 2018 2019 Ofisi ya Rais TAMISEMI Tume ya Utumishi wa Walimu Mikoa na Halmashauri iliidhinishiwa jumla ya shilingi trilioni 6 58