Kujifunza Kuishi Pamoja - Ethics Education For Children

2y ago
47 Views
2 Downloads
9.88 MB
246 Pages
Last View : 7d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Jamie Paz
Transcription

Kujifunza Kuishi PamojaProgramu ya Utamaduni na Muingiliano wa DiniMbalimbali kwa Elimu ya MaadiliKujifunza Kuishi Pamoja ni Programu kinawapa viongozi wa vijanana waelimishaji duniani kote zana kwa ajili ya program ya utamadunini dini mbalimbali na elimu ya maadili, ambapo watoto na vijanawataweza kukuza hisia thabiti ya maadili. Kimetayarishwa kwa ajili yakuwasaidia vijana kuelewa na kuwaheshimu watu wa utamaduni nadini nyingine na kulea hisia zao kuhusu jumuiya ya dunia. Katabu hikicha kiada kimetayarishwa kwa ushirikiano wa karibu na UNESCO naUNICEF.Kujifunza Kuishi PamojaKujifunza Kuishi Pamoja ni Programu ya utamaduni na dinimbalimbali kwa elimu ya maadili, iliyotayarishwa kwa kuchangiakatikautimizaji wa haki za mtoto na maendeleo kamili na yenye afya yamwili,akili, roho, uadilifu na kijamii na kupata elimu kamailivyoandikwakwenye Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusuHaki za Mtoto (CRC), katika ibara ya 26.1 ya Tamko la Kimataifa laHaki za Binadami (UDHR), katika Azimio la Dunia kuhusu Elimukwa wote na Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDG).

Kujifunza Kuishi PamojaKujifunza Kuishi PamojaProgramu ya Utamaduni na Muingilianowa Dini Mbalimbali kwa Elimu ya MaadiliBaraza la Dini Mbalimbali Kuhusu Elimu ya Maadili kwa WatotoMtandao wa Kimataifa wa Dini kwa WatotoArigatou InternationalKwa Ushirikiano na kwa kuridhiwa na UNESCO na UNICEF

Kujifunza Kuishi PamojaSekretarieti ya Baraza la Dini Mbalimbali inakaribisha maombi ya idhini ya kunakili na kutafsirisehemu au kitabu chote. Maombi na maulizo yapelekwe kwa Arigatou International, 1 rue deVarembé, 1202 Geneva, Switzerland ambayo itafurahi kutoa taarifa za karibu zaidi kuhusu mabadilikoyaliyofanywa kwenye matini.Usanifu, mpangilio na michoro nana Sekretarieti ya Baraza la Dini (Geneva).Kimechapwa Dar es Salam, Tanzania na Jamana Printers Limited.Kitabu hiki kinaweza kurejewa na kupakuliwa kwenye tovuti ifuatayo:http://www.ethicseducationforchildren.org Arigatou International 2008 ISBN: 978-92-806-4677-1

Kujifunza Kuishi PamojaYaliyomoKujifunza Kuishi PamojaWatoto na Elimu ya Maadili. 1Namna kitabu cha Kujifunza Kuishi Pamoja kilivyotayarishwa. 1Mahali Kujifunza Kuishi Pamoja kinapoweza kutumika. 2Watoto Kama Wajibu wa Kimaadili wa Pamoja. 3Watoto – Zawadi na Wajibu. 4Watoto hujifunza wanachoishi. 5Elimu ya Maadili na Haki za Binadamu. 6Maadili na Elimu ya Maadili. 7Maadili, Unyofu na Uadilifu. 8Maadili inahusu uhusiano. 8Je, kuna unyofu wa kudumu?. 9Kanuni za Kimaadili na Unyoofu wa Maadili ya Msingi kwa Elimu ya Maadili. 10Uwezo wa kuchagua: Tunu kubwa na wajibu wenye changamoto nzito kuliko zote. 10Kulinda na kutetea hadhi ya binadamu.11Heshima na kuelewana.11Ushirikali na uwezo wa “kuchukua madhila ya mtu mwingine”. 12Wajibu wa Mtu mmoja na wa Pamoja. 13Upatanisho na mbinu za kujenga mahusiano. 13Elimu ya Maadili. 14Ubinadamu wetu.15Maelezo thabiti kuhusu ubinadamu wetu.15Ulimwengu wenye dini mbalimbali. 16Rasilimali za dini kwa maisha ya kiadilifu. 16Vipimo vinne vya dhima. 16Mchamungu na asiye na dini.17Kujifunza Kuhusiana baina yetu.17Kusali Pamoja au Kuja Pamoja Kusali. 18Mambo ya Kiroho. 19Sehemu ya 1 Mwongozo wa Mtumiaji21Upeo na Madhumuni.21Moduli za Kujifunza.21Unyofu wa Aina nne. 22Moduli. 23Kulea vijana wajenge mambo yao ya kiroho waliyozaliwa nayo. 24Waelimishaji wa Wawezeshaji – kiini cha mchakato wa kujifunza. 24Mchakato wa kujifunza.25Mbinu za ufundishaji. 27Njia zilizopendekezwa. 28Mbinu zilizopendekezwa. 29

Kujifunza Kuishi PamojaKujenga Mazingira Yanayofaa.32Kuwa Mfano wa Kuigwa. 32Namna ya Kuanza Moduli za Kujifunza.33Je, Kujifunza Kuishi Pamoja kitumiwe pamoja na nani?.35Je, Kujifunza Kuishi Pamoja kitumiwe wapi?.35Je, ni nani anaweza kutumia Kujifunza Kuishi Pamoja?. 36Kijitabu cha Washiriki. 37Je, Naweza kufanya nini kama . 38Sina kikundi chenye dini mbalimbali. 38Nataka kutatua masuala ya kijamii badala ya masuala ya kidini. 38Nina mivutano kwenye kikundi kwa sababu ya tofauti za kidini. 39Washiriki wamekabiliwa na hali za vurugu. 40Mada za Warsha zinasababisha jazba za hatari kwa Washiriki. 41Sehemu ya 2 Moduli za Kujifunzia43Moduli ya 1 Kujielewa Binafsi na Wengine. 44Kukubali uanuwai. 45Kujitambua mwenyewe Kuhusiana na wengine. 45Ubinadamu Wetu. 46Je, tunaweza kupatana?. 46Kujiweka katika nafasi ya mtu mwingine. 47Kushughulikia mahitaji ya kuelewana. 47Moduli ya 2 Kuubadili Ulimwengu Pamoja. 48Inakuwaje wakati tunaposhindwa Kuheshimiana?. 49Kuelewa migogoro, ugomvi na uonevu vinavyonizunguka. 49Amani inaanzia kwangu. 50Mibadala isiyo na ugomvi. 50Matembezi ya Usuluhishi.51Kujenga madaraja ya kuaminiana.51Kushirikiana kuubadili Ulimwengu. 52Sehemu ya 3 Usimamizi wa maendeleo53Logu ya Kujifunza.53Njia za Kupima Kujifunza kwa Washiriki. 54Njia ya Rika kwa Rika. 55Njia ya Kushirikiana kwa Kikundi. 56Njia ya Mimi na Ulimwengu. 57Njia ya Ushauri. 58Njia ya Chati ya Kuhakiki. 59Njia za Kupima ya ‘Kipima Joto’. 60Tathmini ya Athari. 61

Kujifunza Kuishi PamojaSehemu ya 4 Shughuli63Jedwali la Shughuli. 63Sehemu ya 5 Nyenzo123Hadithi.123Uchunguzi Kifani.138Mitanziko ya Uadilifu. 143Filamu na Video. 149Nyimbo.156Mashairi. 159Sala za Amani. 167Igizo Dhima. 175Kadi za Habari za Amani.177Muhtasari wa Makubaliano kuhusu Haki za Mtoto.

Tatu wa GNRC, Hiroshima, mwezi Mei, 2008. Uhimizaji wa elimu ya maadili unafanywa kwa ushirikiano na wale wote wanaokubaliana na dira ya juhudi ya elimu ya maadili – jamii za kidini, mashirika ya Umoja wa Mataifa, Asasi

Related Documents:

Maswali ya Kutafakari Jibu maswali yafuatayo ili kujaribu mafunzo yetu kutoka katika sehemu hii: 1. Linganisha awamu ya muda ya mafunzo (kulingana na Wilson na Biller) na maelezo yake sahihi: a. Kujifunza kwa ajili ya kitendo i. Kujifunza rasmi maarifa mapya b. Kujifunza kwenye kitendo ii. Kujifunza kutokana na uzoefu na kutafakari

Chanzo Mpya utafiti kwamba maisha ya Kikristo haikuwa kuhusu mimi kuishi kwa ajili ya Mungu. Badala yake, ilikuwa kuhusu Kristo kuishi maisha yake ndani yangu (Wagalatia 2:20). Hata hivyo, kama vile athari kama ukweli huo ulikuwa ni ukweli wa pili ambao nimejifunza ni kwamba wakati wa wokovu Mungu alinipa utambulisho mpya wa kuishi kutoka.

Kuishi maisha kutoka kwa chanzo mapya Kitabu cha kwanza katika mfululizo Kuishi maisha iliyobadilika . nilikuwa na mapambano makubwa ya ndani ya uhaba, uoga, . Anasema kwamba maisha ya Kristo ni Zaidi ya uzima wa milele aliokupa katika wokovu. Anasema kwamba Yesu ni maisha yako leo, wakati huu.

Sampling for the Ethics in Social Research study The Ethics in Social Research fieldwork 1.3 Structure of the report 2. TALKING ABOUT ETHICS 14 2.1 The approach taken in the study 2.2 Participants' early thoughts about ethics 2.2.1 Initial definitions of ethics 2.2.2 Ethics as applied to research 2.3 Mapping ethics through experiences of .

"usiness ethics" versus "ethics": a false dichotomy "usiness decisions versus ethics" Business ethics frequently frames things out, including ethics Framing everything in terms of the "bottom line" Safety, quality, honesty are outside consideration. There is no time for ethics.

Code of Ethics The Code of Ethics defines the standards and the procedures by which the Ethics Committee operates.! More broadly, the Code of Ethics is designed to give AAPM Members an ethical compass to guide the conduct of their professional affairs.! TG-109! Code of Ethics The Code of Ethics in its current form was approved in

Hodder Education Student eTextbooks . Pamoja’s new online Cambridge IGCSE and International AS and A Level courses will include access to Hodder Education’s Student . Geography (0460) IGCSE and O Level Geography Revised 3. rd. Edition S

setiap area anatomi tertentu. Tulang (Bones) Tubuh mengandung 206 tulang. Tulang memiliki beberapa fungsi, seperti dukungan, perlindungan, pemindahan, penyimpanan mineral, dan pembentukan sel darah. Susunan tulang yang membentuk sendi dan perlekatan otot pada tulang-tulang tersebut menentukan pergerakan. Tulang diklasifikasikan berdasarkan bentuknya menjadi empat kelompok: tulang panjang .