ISSN: 0856 - 7670 Toleo La Aprili - Juni 2016 Mhe. Samia .

2y ago
81 Views
4 Downloads
8.19 MB
28 Pages
Last View : 21d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Farrah Jaffe
Transcription

Toleo la Aprili - Juni 2016Jarida la Taasisi yaKUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWAISSN: 0856 - 7670Toleo la Aprili - Juni 2016Mhe. Samia:"Hatutamwacha, tutapambana na mlarushwa bila kujali cheo chake"NdaniMakamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassanazindua kampeni ya LONGA NASIwww.pccb.go.tz1Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

Toleo la Aprili- Juni 2016Ukiwa na taarifa / maoni juu ya mapambano dhidiya rushwa,wasiliana nasi kwa anuani zifuatazo:Mkurugenzi Mkuu,Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)16 Mtaa wa Urambo S.L.P. 4865 Dar es Salaam,Tanzania.Simu: (022) 2150043 - 6, Nukushi: (022) 2150047, Baruapepe: dgeneral@pccb.go.tzWavuti: www.pccb.go.tz, Simu ya Bure 113ARUSHA, S.L.P. 1055KATAVI, S.L.P. 275MBEYA, S.L.P. 1419RUVUMA, S.L.P. 926Simu: (027) 2503538/ 2507928Simu: (025) 2820613Simu: (025) 25603566Simu: (025) 2600613Nukushi (027) 2505973Nukushi: (025) 2820613Nukushi: (025) 2502859Nukushi: (025) 2600663Baruapepe: rbcarusha@pccb.go.tzBaruapepe: rbckatavi@pccb.go.tzBaruapepe: rbcmbeya@pccb.go.tzBaruapepe: rbcruvuma@pccb.go.tzDODOMA, S.L.P. 1175KIGOMA, S.L.P. 880MOROGORO, S.L.P. 845SHINYANGA, S.L.P. 37Simu: (026) 2322003/ 2322695Simu: (028) 2802889Simu: (023) 22614302Simu: (028) 2762630Nukushi: (026) 2320003Nukushi: (028) 2804928Nukushi: (023) 2614478Nukushi: (028) 2763358Baruapepe: rbcdodoma@pccb.go.tzBaruapepe: rbckigoma@pccb.go.tzBaruapepe: rbcmorogoro@pccb.go.tzBaruapepe: rbcshinyanga@pccb.go.tzGEITA, S.L.P. 38KILIMANJARO, S.L.P. 1951MTWARA, S.L.P. 213SIMIYU, S.L.P. 306Simu: (028) 2520004Simu: (027) 2750885Simu: (023) 2334013Simu: (028) 2700371Nukushi: (028) 2520004Nukushi: (027) 2750889Nukushi: (023) 2333726Nukushi: (028) 2700532Baruapepe: rbcgeita@pccb.go.tzBaruapepe: rbckilimanjaro@pccb.Baruapepe: rbcmtwara@pccb.go.tzBaruapepe: rbcsimiyu@pccb.go.tzgo.tzILALA, S.L.P. 6420KINONDONI, S.L.P. 90397MWANZA, S.L.P. 2599SINGIDA, S.L.P. 484Simu: (022) 2132954Simu: (022) 2170852Simu: (028) 2500600Simu: (026) 2502305/ 2502550Nukushi: (022) 2150047Nukushi: (022) 2170852Nukushi: (028) 2500602Nukushi: (026) 2502550Baruapepe: rbcilala@pccb.go.tzBaruapepe: rbckinondoni@pccb.Baruapepe: rbcmwanza@pccb.go.tzBaruapepe: rbcsingida@pccb.go.tzgo.tzIRINGA, S.L.P. 1575LINDI, S.L.P. 1004NJOMBE, S.L.P. 629TABORA, S.L.P. 1020Simu: (026) 2700156Simu: (023) 2202456/ 222799Simu: (026) 2782777Simu: (026) 2604030/ 2604311Nukushi: (026) 2703014Nukushi: (023) 22202215Nukushi: (026) 2782777Nukushi: (026) 2604039Baruapepe: rbciringa@pccb.go.tzBaruapepe: rbclindi@pccb.go.tzBaruapepe: rbcnjombe@pccb.go.tzBaruapepe: rbctabora@pccb.go.tzKAGERA, S.L.P. 1138MANYARA, S.L.P. 386PWANI, S.L.P. 30261TANGA, S.L.P. 1953Simu: (028) 222084/ 2220491Simu: (027) 530255/ 2530256/Simu: (023) 2402658/ 2402284Simu: (027) 2645186/ 078642280Nukushi: (028) 22205342530570Nukushi: (023) 2402657Nukushi: (027) 2647885Baruapepe: rbckagera@pccb.go.tzNukushi: (027) 2530448Baruapepe: rbcpwani@pccb.go.tzBaruapepe: rbctanga@pccb.go.tzBaruapepe: rbcmanyara@pccb.go.tzKAHAMA, S.L.P. 538MARA, S.L.P. 377RUKWA, S.L.P. 273TEMEKE, S.L.P. 42325Simu: (028) 2710936Simu: (028) 2623030Simu: (025) 2802426/ 2802926Simu: (022) 2850633Nukushi: (028) 2710926Nukushi: (028) 2623029Nukushi: (025) 2800312Nukushi: (022) 2850635Baruapepe: rbckahama@pccb.go.tzBaruapepe: rbcmara@pccb.go.tzBaruapepe: rbcrukwa@pccb.go.tzBaruapepe: rbctemeke@pccb.go.tz2Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

Toleo la Aprili - Juni 2016TahaririYaliyomo1.Tahariri.Uk.32. Mhe. Samia: “Hatutamwacha, tutapambana namla rushwa bila kujali cheo chake.Uk.43. Tanzania yang’ara mkutano uliofanyikaUingereza kujadili ufisadi.Uk.64. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassanazindua kampeni ya LONGA NASI.Uk.85. Askari Magereza Manyoni wahimizwakuongeza ushirikiano katika mapambano dhidiya rushwa.Uk.106.Wajasiriamali Ruvuma watakiwa kutojihusishana vitendo vya rushwa .Uk.117. Wananchi: Elimu ya ulinzi wa watoa taarifaitaimarisha mapambano dhidi ya rushwa.Uk.128.HABARI KATIKA PICHA .Uk.14&15WEWE NA MIMI TUTAFANIKISHA MAPAMBANO DHIDIYA RUSHWA yejihusishana rushwa pasipo kujali jina, cheo au nafasi yake katika ha Mwenge wa Uhuru, Aprili 18, 2016 mjini Morogoro.Mbio za mwenge huu zinatumika pia kusambaza elimu ya mapambanodhidi ya rushwa. Hata hivyo, ahadi hii, ambayo pengine inasubiriwa wanaoishikatikajamiizetu.Ni nafsi yako/yangu, ndugu, rafiki, jirani, wafanyakazi, anaoendeshashughuli zao za kiuchumi, kisiasa au kijamii miongoni mwetu.Iwapo sisi wanajamii, yaani wewe na mimi, hatutochukua uamuzi wakusema ‘yatosha, rushwa sasa kwa heri’ na kutotoa taarifa au ushahidi dhidiya walarushwa, mapambano dhidi ya rushwa hayatokuwa na mafanikio.9. TAKUKURU yatakiwa kuandaa machapisho ya Ndiyowanafunzi wenye ulemavu.Uk.1610. Watendaji wa Vijiji waaswa kutojihusisha naRushwa.Uk.1811.TAKUKURU na TRA yawabanawafanyabiashara wakwepa kodi.Uk.1912.Elimu kuhusu rushwa kwa njia yamachapisho.Uk.2113.Spika awaonya Wabunge kutojihusisha narushwa.Uk.2214.Bunge la Afrika ya Kusini UKURUinaendesha kampeni ya LONGA NASI kwa lengo la kuamsha ari yawananchikushirikinakuvunjaukimyakuhusumapambano dhidi ya rushwa. Hili linafanyika kwa kuwajengeawananchi ujasiri wa kushiriki kwa njia ya elimu kuhusu a,athariza rushwa kwa Taifa na jinsi ya kuzuia na kupambana na rushwa.Ni furaha yetu kuwa matunda ya kampeni ya LONGA NASI ni dhahiri.Wananchi waliofikiwa na kampeni hii wameelimika na kuhamasikana wengi wamechukua hatua ya KULONGA na TAKUKURUkwa ajili ya kupata ufafanuzi zaidi, kutoa maoni ya dha,TAKUKURUilichukuanainaendeleakuchukuakuhusu hatma ya Rais Jacob Zuma.Uk.24 hatua za kisheria au kiutawala dhidi ya taarifa za rushwa15.Kutoka Magazetini.Uk.25 zinazopokelewa kupitia huduma ya simu ya bure namba 113.Jarida la Taasisi yaKUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWAISSN: 0856 - 7670Toleo la Aprili - Juni 2016Jarida la Taasisi yaKUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWAISSN: 0856 - 7670Toleo la Aprili - Juni 2016Jarida hili hutolewa na Kurugenzi ya Elimu kwa Umma ya Taasisi ya Kuzuia naKupambana na Rushwa (TAKUKURU)16 Mtaa wa Urambo, S. L. P 4865, Dar es Salaam.Simu: 022 2150043 - 6, Nukushi: 022 2150047Wavuti:www.pccb.go.tz, Simu ya Bure:113, Baruapepe:dgeneral@pccb.go.tzNdaniMakamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassanazindua kampeni ya LONGA NASIwww.pccb.go.tzJe, ni nani umemuona au unayefahamu kuwa huomba na kupokearushwa au hutoa rushwa? Nani anatumia au ametumia nya nini? Usiogope, LONGA NA TAKUKURU ili hatua zakisheria zichukuliwe. La msingi, tutoe taarifa sahihi na za kweli.Tusitumiefursahiikukomoana.Aidha, ni vema kila mmoja wetu akachukua hatua za heria,kanuni na taratibu za nchi ili kuwa na jamii isiyokuwa na akuwawalarushwakwasababutunaishinaokatikajamii zetu na tunafahamu mienendo yetu binafsi kuhusu rushwa.Tubadilike. Tuchukue hatua za kuzuia na kupambana na rushwa. Tusisubiriau kufuatilia utekelezaji wa ahadi ya Serikali dhidi ya walarushwa pasiposisi kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Ushiriki wako na wangu utafanikishamapambano dhidi ya rushwa nchini Tanzania .3Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

Toleo la Aprili - Juni 2016HabariMhe. Samia:"Hatutamwacha, tutapambana na mla rushwabila kujali cheo chake"MNa Deusdedit Mutekuruzi na Octavian Kafanabo, Morogoroakamu wa Rais waJamhuri ya Muunganowa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amesemakuwaSerikalihaitamwachamtu yeyote anayejihusisha navitendo vya rushwa na yaleoniyakazi.“Kwa maendeleo ya taifa letulazima tuzikabili changamotoambazo zinalikabili taifa kwakupitia mbio za Mwenge wa Uhurukama utumbuaji majipu na ajirakwa vijana ambayo ni nguvukazina Wilaya kutenga maeneo yaujasiriamali kwa ajili ya vijana.“Ninawaagiza Wakuu wa Mikoana Wilaya kutenga maeneokwa ajili ya vijana ili wafanyeujasiriamali hususan kwa siku zaJumamosi na Jumapili”, alisema.Kauli hiyo aliitoa wakatiakizindua mbio za Mwengewa Uhuru kwenye Uwanja waJamhuri mkoani MorogoroAprili 18, 2016, ambapoaliwataka watumishi wa ummana Sekta binafsi kutojihusisha navitendo vya rushwa na kutekelezamajukumu yao kwa kuzingatiaKatiba, sheria, kanuni, miongozonataratibuzilizowekwa.Katika uzinduzi huo, Mhe. Samiaalieleza kuwa nia ya Mwengewa Uhuru inaendana na dhana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SamiaSuluhu Hassan akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria Uzinduzi wa Mbio zaya utumbuaji majipu inayofanywa Mwenge huo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, Aprili 18, 2016.na Serikali ya Awamu ya Tano.ya taifa”, alisema Mhe. Samia. Akieleza namna ya kukabiliana naAlisema kuwa utumbuaji huounalenga kuleta matumaini kwawananchiambaowamekatatamaa na kuleta heshima kwawananchiwaliodharauliwa.Aidha kuhusu changamoto yaajira kwa vijana alieleza kuwavijana lazima wawezeshwe katikamfumo wa elimu ya ujasiriamalina kuagiza Wakuu wa Mikoa4Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwachangamoto ya kukosa maadili,Mhe Samia alisema kuwa kilamwananchi anatakiwa kusimamiamaadili kuanzia ngazi za familiahadi mahali pa kazi kwa watumishiwa umma na katika sekta binafsi.

Toleo la Aprili - Juni 2016Akieleza dhamira ya Serikali yakupambana na rushwa alisemakatika kipindi cha Januari hadiDesemba 2015 jumla ya kesi596 za rushwa zinaendeleamahakamani ambapo zaidi yashilingi bilioni 6.5 zimeokolewa.Aliendelea kueleza kuwa katikambio za Mwenge wa Uhurumwaka 2016 kauli mbiu yamapambano dhdi ya rushwani‘Timizawajibuwako,kata mnyororo wa rushwa’.Akisisitiza kuhusu anaHabarivitendo vya rushwa na ufisadikwa nguvu zote bila kutetereka”.Awaliakiongeakablayakumkaribisha Makamu wa Rais,Waziri wa Nchi, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Watuwenye ulemavu, Mhe. JenistaMhagama alisema kuwa dhana yaMwenge wa Uhuru ni ishara yakuhimiza umoja, mshikamanona uzalendo ambapo mwakahuu unatumika kuzindua miradimbalimbaliyamaendeleona kuitaka jamii kupambanana rushwa kwa nguvu zote.Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwashaMwenge wa Uhuru kuashiriaUzinduzi wa Mbio za Mwengehuo katika Uwanja wa Jamhurimjini Morogoro, Aprili 18, 2016.Makamu wa Rais wa Jamhuriya Muungano wa TanzaniaMhe. Samia Suluhu Hassan,akimkabidhi Mwenge wa Uhurukiongozi wa Mbio za Mwenge waUhuru mwaka 2016, Bw. GeorgeMbijima kwa ajili ya kuukimbizamikoa na wilaya zote za Tanzaniabila kuuzima hadi utakapofikiakilele chake Oktoba 24, 2016. Makamu wa Rais wa Jamhuri yaWakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa wakiingia kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro kwa ajili yakukabidhiwa Mwenge na Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuukimbiza mikoa na wilaya zote za Tanzania5Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

HabariToleo la Aprili - Juni 2016Tanzania yang’ara mkutano uliofanyika Uingerezakujadili ufisadiNDoreen J. Kapwani , Dar es Salaamaibu Waziri wa Mamboya Nje wa ewall,ameipongezaTanzaniakwakupiga hatua katika mapambanodhidi ya rushwa na kusisitizakwamba kampuni za Marekanizina nia ya kuwekeza Tanzania.Sewall aliyasema hayo katikamkutano wa wakuu wa nchiwa kujadili suala la rushwauliofanyikaJijiniLondon– Uingereza Mei 12, 2016.imekuwa ikungwa mkono namataifa ya nje na ndio maanaWaziri Mkuu wa Uingereza, DavidCameroon ameialika zania Mhe. Kassim Majaliwaalisema Serikali ya Tanzaniaimeweka mkakati endelevu wakupambana na walarushwa na“Waziri Mkuu wa Uingerezaameandaa mkutano huu i mwa wakuu waWaziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Norway, Bi Erna Solberg (kulia) katika Mkutanokuhusu mikakati ya kupambana na rushwa uliofanyika kwenye ukumbi wa Lancaster House, London Uingereza, May 12, 2016.Kulia kwa Waziri Erna ni Bw. Valentino Mlowola – Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU.6Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

HabariToleo la Aprili - Juni iwa mkutano huo– Waziri Mkuu wa UingerezaBw.DavidCameronnaviongozi wa mataifa kadhaaw a l i k u t a n a m j i n iL o n d o n , k u j a d i l inamna yakuongeza jitihadaza kuzuia na kupambana narushwa kupitia njia za kimataifa.Katika mkutano huo ilitangazwakuwa kuanzia sasa makampuniyote ya kigeni waziumilikiwakampuni hizo katika daftarimaalumu la umma litakalozinduliwa mwaka huu wa 2016.Cameron alisema daftari hilo lausajili litawazuia watu binafsina mataifa kusafirisha na kufichafedha kwa kupitia makampuniya biashara ya majumba nakwambahawatawezatenakuficha utajiri wao kwa ununuziwa majumba mjini humo."Naamini kwambarushwa ni kansainayosababishamatatizo mengitunayo kabiliana nayoduniani kote.Kama tunatakakuziona nchizinaepukana naumasikini na zinapatautajiri, tunahitajikupambana na ufisadi.Kama tunatakakuziona nchi zenyerasilimali kubwa,zinafanikiwa kuzitumiakwa manufaa yaraia wao, basi piatunahitaji kupambanana ufisadi,"Kamatunatakakuziona nchi zenye rasilimali"Naamini kwamba rushwa ni kubwa, zinafanikiwa kuzitumiakansa inayosababisha matatizo kwa manufaa ya raia wao,mengi tunayo kabiliana nayo basi pia tunahitaji kupambanaduniani kote. Kama tunataka na ufisadi," alisema Cameronmkutanohuo.kuziona nchi zinaepukana na katikaumasikini na zinapata utajiri,tunahitaji kupambana na ufisadi. Aidha, Mkurugenzi Mkuu waTaasisi ya Kuzuia na Kupambanana Rushwa– TAKUKURU, Bw.Valentino Mlowola alikuwani miongoni mwa Wakuuwa Taasisi za Kuzuia a mkutano huo.Ujumbe wa Tanzania uliongozwanaWaziriMkuu,Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwaambaye alimwakilisha MheRais John Pombe Magufuli.Wajumbe wengine walikuwa niJaji Mkuu wa Tanzania, Mhe.Mohamed Othman Chande,Waziri wa Mambo ya Nje,Ushirikiano wa Kimataifa naKikanda, Balozi AugustineMahiga na Mkurugenzi waIdara ya Upelelezi TAKUKURU–Bw.AlexMfungo.Katika mkutano huo, TanzanianaNigeriandiyonchipekee kutoka Barani Afrikazilizoalikwakuhudhuria.Pamoja na mambo mengineTanzania iliwasilisha taarifa yakuelezamikakatituliyonayokatika kuzuia na kupambananarushwanaufisadi .7Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

HabariToleo la Aprili - Juni 2016Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassanazindua kampeni ya LONGA NASIMakamu wa Rais waJamhuri ya MuunganowaTanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassanamezindua Kampeni ya LongaNasi iliyoandaliwa na Taasisi yaKuzuia na Kupambana na Rushwaikiwa na lengo la kuwahamasishawananchi kutoa taarifa za vitendovya rushwa Mei 24, 2016 katikaviwanja vya Mwembeyanga jijiniDar es Salaam.Na Deusdedit Mutekuruzimaendeleo mnayotarajia. Hivyotupambane na rushwa kwadhati,” alisisitiza Mhe. Suluhu.Mhe. Suluhu alieleza kuwakampeni ya Longa Nasiinalengakuvunja ukimya kuhusu rushwana kuwataka wananchi waongezeushiriki zaidi wao mikuhutubiawananchi,Waziriwa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi waUmma na Utawala Bora, Mhe.Angela Kairuki alisema kuwaTAKUKURU iongeze kasi zaidi yakuchunguzamashauriyanayowasilishwabilakumwonea mtu ili watuhumiwawashughulikiwe kupitia MahakamaMaalumyaRushwa na Ufisadi.A k i z i n d u akampenihiyoPiaaliipongezayenye jina la LongaTAKUKURU kwaNasi kumaanishakuokoa fedha nyingilonga au ongeaza Serikali ndanina TAKUKURUya muda mfupi.kutoataarifaza vitendo vyaAwali akitoa nenorushwa, kero aulautangulizi,maonikuhusuMkurugenzi Mkuumapambanowa TAKUKURU,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samiadhidi ya rushwa, Suluhu Hassan akizindua gari litakalotumika wakati wa kampeni ya Longa Bw.ValentinoNasi.Mhe.SuluhuMlowola alielezaalihimizajamiijukumu kuu laitambue jitihada za Serikali Alisema kuwa kila mtu akilonga TAKUKURU kuwa ni kuzuiakukabili rushwa na jamii yenyewe na TAKUKURU kwa kutoa na kupambana na rushwaitambue kuwainawajibika taarifa za rushwa na ufisadi taifa nchini na kuongeza kuwakutoa taarifa za vitendo hivyo. litapiga hatua mbele kimaendeleo. inashirikisha jamii kupambanana rushwa kwa kutoa elimu ya“Tukitenda rushwa, itatudhuru “Wananchimtuungemkono mapambano dhidi ya rushwa.sote.Kamahatutapambana kunyoosha utendaji Serikalini ilinarushwahatutaweza mpate huduma zinazostahili bila Akieleza lengo la kuzinduakuwaletea wananchi usumbufu”, alisema Mhe. Suluhu. kampeni ya Longa Nasi alieleza,8Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

HabariToleo la Aprili - Juni 2016na kwa kutumia“Inflatable screen”kwaajiliyakuonyesha michezoya kuigiza yenyeujumbe wa kampeniya Longa Nasi .Sanjari na hayo,Bw.MlowolaWasanii wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kampeniya Longa Nasi katika viwanja vya Mwembeyangaalieleza kuwa elimuTemeke jijini Dar es Salaam.itakayotolewa”Lengo la kampeni ya Longaitalenga kuelimishaNasi ni kuamsha ari ya wananchi umma athari za vitendo vyakushiriki mapambano dhidi ya rushwa katika jamii na taifarushwa kwa kutoa taarifa kwa kwa ujumla, kueleza makosanjia rahisi zaidi ili kudhibiti ya rushwa kama yalivyoainishakeroyarushwanchini”. katika Sheria ya Kuzuia naKupambana na Rushwa nambaVilevile Bw. Mlowola alieleza 11 ya mwaka 2007 na mbinu zakuwa imezinduliwa ofisi maalum kudhibiti vitendo vya rushwa.kwa ajili ya kupokea taarifambalimbali za rushwa kwa Akieleza lengo jingine la elimuhuduma ya 113 “PCCB call itakayotolewa alisema kuwacentre” iliyopo Makao Makuu. kampeni itatoa elimu ya wajibu“Tumefanya hivyo ili kuwafikiawananchi wengi kwa urahisi naharaka zaidi pia kupitia kupigasimu, barua, nukushi, wavuti nabaruapepe”, alisema Bw. Mlowola.Aidha, alieleza namna kampeniya Longa Nasi itakavyotekelezwanchi nzima na kueleza kuwa garimaalum litatumika kuelimishia nalitakuwa ni ofisi ya kupokea taarifa.Piayatagawiwamachapishombalimbali kuhusu kampeni hiyonarushwa.Bw. Mlowola alieleza malengomengine kuwa elimu ya Kampeniya Longa Nasi itatoa mkazo wavijana katika kuzuia na kupambanana rushwa, umuhimu wa wananchikutoaushahidimahakamanina kuwajengea ujasiri; ihitimisha neno lake lautangulizi, Bw. Mlowola alisema,Uelimishaji huu utagusa makundiyote katika jamii na umewezeshwana wakala wa Serikali mtandao namakampuni ya simu hapa nchini.TunawashukurusanaAirtel,Tigo, TTCL Vodacom na Zantelwaliotuwezeshakufanikishahuduma ya 113 na *113# .wa mwananchi katika kuzuia nakupambanana rushwa,wajibu waviongozikatika ngazimbalimbalikuzuia nakupambanana rushwa;namafanikioWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishiya Serikaliwa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angela Kairuki akipewak a t i k a maelezo namna mfumo wa upokeaji taarifa kupitia namba 113unavyofanya kazi.kupambana9Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

HabariToleo la Aprili - Juni 2016Askari Magereza Manyoni wahimizwa kuongeza ushirikianokatika mapambano dhidi ya rushwaNa Lightness Alex, ManyoniTaasisi ya Kuzuia naKupambana na gerezakuongezaushirikiano katika mapambanodhidiyarushwa.Rai hiyo ilitolewa na Mkuuwa TAKUKURU Wilaya yaManyoni, Bw. Michael Sangawakati wa semina na askari waJeshi la Magereza iliyofanyikaJuni 11, 2016 katika ukumbiwa Magereza wilayani humoAkielezea jinsi a

mwaka 2016 kauli mbiu ya mapambano dhdi ya rushwa ni ‘Timiza wajibu wako, kata mnyororo wa rushwa’. Akisisitiza kuhusu mapambano hayo alisema, “Serikali itaendelea kupambana na vitendo vya rushwa na ufisadi kwa nguvu zote bila kutetereka”. Awali akiongea kabla ya

Related Documents:

Toleo hili la Katiba ya Chama Cha Mapinduzi la 2010 ni Toleo la Kumi na Nne tangu Katiba hii itungwe kwa mara ya kwanza mwaka 1977. Kwa hali hii ni Toleo ambalo limezingatia na kuweka pamoja marekebisho yaliyofanywa katika Katiba ya Chama Cha Mapinduzi ya 1977 matoleo ya 1980, 1982, 1984, 1987, 1990, Machi 1992, Septemba1992, 1994, 1995, 1997 ,

Specifications of Precision 7670. Dimensions and weight. The following table lists the height, width, depth, and weight of your Precision 7670. Table 2. Dimensions and weight . Description Values. Height: Front height 0.88 in. (22.30 mm) Rear height 0.92 in. (23.20 mm) Width 14.02 in. (356.00 mm) Depth 10.18 in. (258.34 mm) Weight

Hili ni toleo la kwanza la Kiswahili la Maisha mapya ndani ya Kristo. Toleo hili lilitolewa kwa mara ya kwanza kabisa kwa Kiispaniola kama NUEVA VIDA EN CRISTO. Kusudi lake ni kukupa msingi imara katika maisha yako ya Kikristo.Epuka kunakili moja kwa moja kutoka kwenye Biblia unapojibu maswali baada ya kila somo. Jaribu

Kiongozi cha Mwalimu Toleo la Milima ya Tao la Mashariki. 1 Elimu ya Mazingira kwa Shule za Msingi Toleo la Milima ya Tao la . FORS (Friends of Ruaha Society) kwa kutupa kiongozi cha awali. FORS ni shirika dogo lililopo Iringa ambalo

COLEMAN Series 8866B, 8880B, 8680B, 8600B. www.mhrv.com Oil Gun Burners 8866-3821 FS-1 or FS7062-44, 8880-3821 FS-2 or FS7062-44 R#ef # Pnart Descriptio # Req. Models Used On 1- t-11 Blower Parts - See Char 12 7670-3951 7670-3701 Thermostat Thermostat Sub-Base 1

NAME OF CA 90822, United StatesJOURNAL World Journal of Gastroenterology ISSN ISSN 1007-9327 (print) ISSN 2219-2840 (online) LAUNCH DATE October 1, 1995 FREQUENCY Weekly EDITORS-IN-CHIEF Damian Garcia-Olmo, MD, PhD, Doctor, Profes-sor, Surgeon, Department of Surgery, Universidad Autonoma de Madrid; Department of General Sur-

ISSN 0856 - 0331X THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ACT SUPPLEMENT No. 14 22nd May, 2015 to the Gazette of the United Republic of Tanzania No. 22 Vol. 96 dated 22nd May, 2015 Printed by the

Analog-rich MCUs for mixed-signal applications Large portfolio available from NOW! 32.512KB Flash memory 32.128-pin packages Performance 170MHz Cortex-M4 coupled with 3x accelerators Rich and Advanced Integrated Analog ADC, DAC, Op-Amp, Comp. Safety and security focus