KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI 1977 - Political Party Database Project

1y ago
10 Views
2 Downloads
530.77 KB
212 Pages
Last View : 2d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Duke Fulford
Transcription

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 1KATIBA YACHAMA CHA MAPINDUZI1977TOLEO LA 2010BEI SH.500/-

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 2

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 3KATIBAYACHAMA CHA MAPINDUZI1977TOLEO LA 2010

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 4

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 5Toleo hili la Katiba ya Chama ChaMapinduzi la 2010 ni Toleo la Kumina Nne tangu Katiba hii itungwe kwamara ya kwanza mwaka 1977.Kwa hali hii ni Toleo ambalolimezingatia na kuweka pamojamarekebisho yaliyofanywa katikaKatiba ya Chama Cha Mapinduzi ya1977 matoleo ya 1980, 1982, 1984,1987,1990,Machi1992,Septemba1992, 1994, 1995, 1997 ,2005 na 2007.

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 6

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 7YALIYOMO1.Uk.Azimio la Mkutano Mkuu wa Taifa wapamoja wa TANU na ASP .12.SEHEMU YA KWANZA:Jina, Imani na Madhumuni .53.SEHEMU YA PILI:Wanachama na Uongozi.114.SEHEMU YA TATU:(i) Vikao vya Shina .21(ii) Vikao vya Tawi .29(iii) Vikao vya Kata/Wadi .51(iv) Vikao vya Jimbo .73(v) Vikao vya Wilaya .93(vi) Vikao vya Mkoa.121(vii) Vikao vya Taifa .1495.SEHEMU YA NNE:Wazee na Jumuiya za Wananchi .1956.SEHEMU YA TANO:Mengineyo .1977.Ahadi za Wanachama waChama cha Mapinduzi .2018.Katiba, Kanuni na Taratibuza Utekelezaji .202Katiba ya Chama Cha Mapinduzii

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 8

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 9KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZIAZIMIO LA MKUTANO MKUU WA TAIFAWA PAMOJA WA TANU NA ASPKwa kuwa Mkutano Mkuu wa Taifa wa pamoja, kwaniaba ya Wana-TANU na Wana-ASP, kwa pamojaunaelewa na kukubali kwamba jukumu letu katikaHistoria ya Taifa ni kuimarisha Umoja, kuletaMapinduzi ya Kijamaa Tanzania na kuendelezamapambano ya Ukombozi katika Afrika na koteduniani;Kwa kuwa tunatambua kuwa Mapambano ya KujengaUjamaa katika Tanzania na kushiriki kwetu kwaukamilifu katika harakati za Mapinduzi ya Afrika naDunia kunahitaji Chombo madhubuti chauongozi kinachounganisha fikira na vitendo vyawafanyakazi na wakulima;Kwa kuwa tunazingatia na kuthamini kazi nzuri yakimapinduzinayamafanikiomakubwailiyokwishafanywa na TANU na ASP katikakumwondoa Mwafrika kutoka kwenye unyonge wakunyonywa, kunyanyaswa na kudharauliwa nakumfikisha kwenye uhuru na kuheshimiwa;Kwa kuwa tunatambua kuwa Umoja wa TANU na ASPunatokana na ushirikiano wetu wa miaka mingi tanguwakati wa Mapambano ya kupigania Uhuru hadi sasa,na unatokana pia na Siasa yetu moja ya Ujamaa naKujitegemea;Katiba ya Chama Cha Mapinduzi1

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 10Kwa kuwa tunatambua pia kwamba kuweko kwaVyama viwili katika mazingira ya Chama kimoja chaSiasa kunapunguza upeo wa Nguvu na Umoja wetukatika kuendeleza mapambano ya kujenga ujamaanchini na kushiriki kwa pamoja kwa ukamilifu katikaharakati za mapinduzi ya Tanzania, ya Afrika na yadunia;Kwa kuwa, kihistoria, tumeongozwa na kumbukumbuya kitendo kama hiki cha kimapinduzi na busaraambacho Waanzilishi wa TANU, chini ya Uongozi waMwalimu Julius K. Nyerere walikifanya hapo awali chakuvunja Chama cha African Association na kuundaTANU, na waanzilishi wa ASP chini ya uongozi waMarehemu Abeid Amani Karume, walikifanya hapoawali cha kuvunja Vyama vya African Association naShiraz Association na kuunda ASP, shabaha yao woteikiwa ni kuunda Chama kipya madhubuti na chakimapinduzi chenye uwezo mkubwa zaidi wakuongoza mapambano ya wananchi wetu katikamazingira mapya ya wakati huo.Kwa hiyo basi:(1)2Sisi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wapamoja wa TANU na ASP tuliokutana leotarehe 21 Januari, 1977 mjini Dar es Salaam,chini ya uongozi wa pamoja wa Mwalimu JuliusK. Nyerere Rais wa TANU na Ndugu AboudJumbe, Rais wa ASP, kwa kauli moja tunaamuanakutamkarasmikuvunjwakwaTanganyikaAfrican National Union (TANU) naKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 11Afro Shirazi Party (ASP) ifikapo tarehe 5Februari, 1977, na wakati huo huo kuundwakwa Chama kipya cha pekee na chenye uwezowa mwisho katika mambo yote kwa mujibu waKatiba.(2)Vyama vya TANU na ASP vinavunjwa kwataadhima kubwa. TANU na ASP havikuamuakujivunja kama vyama kwa kuwa vimeshindwakutekeleza jukumu lao. Kwa hakika TANU naASP ni Vyama vilivyopata mafanikio ya kipekeekatika Afrika katika kulitekeleza jukumu lakihistoria na mafanikio hayo ndiyo leoyamewezesha kitendo hiki cha Vyama viwilikujivunja vyenyewe. TANU na ASPvitaheshimiwa siku zote kama viungo muhimukatika Historia ya Mapambano ya Ukomboziwa Taifa letu na wa Bara la Afrika, nawaanzilishi wa TANU na ASP watakumbukwadaima kama mashujaa wa taifa letuwaliotuwezesha leo kupiga hatua hii yakufungua ukurasa mpya katika Historia yaTanzania.(3)Tumeamua kwa pamoja kuunda Chama kipyacha kuendeleza mapinduzi ya kijamaa nchiniTanzania na Mapambano ya Ukombozi waAfrika juu ya misingi iliyojengwa na TANU naASP.Chama tunachokiunda tunataka kiwe chombomadhubuti katika muundo wake na hasa katika fikraKatiba ya Chama Cha Mapinduzi3

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 12zake na vitendo vyake vya kimapinduzi vya kufutiliambali aina zote za unyonyaji nchini, na kupambana najaribio lolote lile la mtu kumuonea mtu au shirika auchombo cha nchi kuonea na kudhalilisha wananchi,kudhoofisha uchumi au kuzorotesha maendeleo yaTaifa;Chama tunachokiunda tunataka kishike barabarahatamu za uongozi wa shughuli zote za umma kwamaslahi ya Wafanyakazi na Wakulima wa Taifa letu;Chama tunachokiunda tunataka kiwe kiungo kati yaWanamapinduzi wa Tanzania na Wanamapinduziwenzetu kokote waliko.4Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 13SEHEMU YA KWANZAJINA, IMANI NA MADHUMUNI1.Jina la Chama litakuwa CHAMA CHAMAPINDUZI, kwa kifupi CCM.Jina la Chama2.Makao Makuu ya CCM yatakuwa Dodoma nakutakuwa na Afisi Kuu ya Chama ChaMapinduzi Zanzibar na Ofisi Ndogo ya MakaoMakuu Dar es Salaam.Makao Makuuya Chama3.Bendera ya CCM itakuwa na rangi ya kijanikibichi, ambayo itakuwa na alama ya Jembe(alama ya mkulima) na Nyundo (alama yamfanyakazi) kwenye pembe ya juu upande wamlingoti.Bendera yaCCM4.Chama Cha Mapinduzi kinaamini kwamba:(1)Binadamu wote ni sawa.Imani ya CCM5.(2)Kila mtu anastahili heshima yakutambuliwa na kuthaminiwa utu wake.(3)Ujamaa na Kujitegemea ndiyo njiapekee ya kujenga jamii ya watu waliosawa na huru.Kwa hiyo Malengo na Madhumuni ya CCMyatakuwa yafuatayo:(1)Kushinda katika Uchaguzi wa SerikaliKuu na Serikali za Mitaa Tanzania BaraKatiba ya Chama Cha Mapinduzi5Malengo naMadhumuni yaCCM

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 14na Zanzibar ili kuunda na kushikaSerikali Kuu na Serikali za Mitaa katikaJamhuri ya Muungano wa Tanzaniakwa upande mmoja na Zanzibar kwaupande wa pili.(2)Kulinda na kudumisha Uhuru wa Nchiyetu na raia wake.(3)Kuhimiza ujenzi wa Ujamaa naKujitegemea kwa mujibu wa Azimio laArusha.(4)Kusimamia utekelezaji wa Siasa yaCCM pamoja na kuendeleza fikra zaviongozi waasisi wa vyama vya TANUna ASP, kama zilivyofafanuliwa katikamaandiko mbali mbali ya Vyama hivyo.(5)6Kuona kwamba kila mtu anayo haki yakupata kutoka katika Jamii hifadhi yamaisha yake na mali yake kwa mujibuwa sheria.(6)Kuona kwamba katika Nchi yetu kilamtu aliye na uwezo wa kufanya kazianafanya kazi; na kazi maana yake nishughuli yoyote halali inayompatia mturiziki yake.(7)Kusimamia haki na maendeleo yaWakulima, Wafanyakazi na wananchiKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 15wengine wenye shughuli halali zakujitegemea; na hasa kuona kwambakila mtu ana haki ya kupata malipoyanayostahili kutokana na kazi yake.(8)Kuona kwamba kwa kutumia Vikaovilivyowekwa, raia anayo haki yakushiriki kwa ukamilifu katika kufikiauamuzi wa mambo ya Taifa nayanayomhusu, na kwamba anaouhuru wa kutoa mawazo yake, wakwenda anakotaka, wa kuamini Dinianayotaka na kukutana na watuwengine,maadamu havunji Sheria auTaratibu zilizowekwa.(9)Kuona kwamba Nchi yetu inatawaliwakwa misingi ya kidemokrasia na yakijamaa.(10)Kuhifadhi, kukuza na kudumisha imanina moyo wa kimapinduzi miongonimwa Watanzania pamoja na ushirikianona wanamapinduziwenzetu kokotewaliko.(11)Kuweka na kudumisha heshima yabinadamu kwa kufuata barabara Kanuniza Tangazo la Dunia la Haki zaBinadamu.(12)Kuona kwamba Dola inakuwa Mhimiliwa Uchumi wa Taifa.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi7

KATIBA YA CCM:Layout 186/5/1011:58 AMPage 16(13)Kuona kwamba Serikali na Vyombovyote vya Umma vinasaidia kwavitendo kuanzishwa na kuendelezashughuli za Ushirika na za ujamaa, nashughuli nyinginezo halali za wananchiza kujitegemea.(14)Kuona kwamba matumizi ya utajiriTaifa yanatilia mkazo maendeleoWananchi na hasa jitihadakuondosha umasikini, UjingaMaradhi.(15)Kuona kwamba Serikali na vyombovyote vya umma vinatoa nafasi zilizosawa kwa raia wote, wanawake nawanaumebilakujalirangi,kabila, Dini, au hali ya mtu.(16)Kuona kwamba katika nchi yetu hakunaaina yoyote ya dhuluma, vitisho,ubaguzi, rushwa, uonevu na/auupendeleo.(17)Kuendelea kupiga vita UkoloniMamboleo,Ubeberu na Ubaguziwa aina yoyote.(18)Kuimarisha uhusiano mwema naVyama vyote vya Siasa vya Nchinyingine vyenye itikadi kama ya CCMambavyo kweli vinapinga Ukoloni,wayazanaKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 17Ukoloni Mamboleo, UbeberuUbaguzi wa aina yoyote.(19)5naKushirikiana na Vyama vingine katikaAfrika, kwa madhumuni ya kuletaUmoja wa Afrika, na kuona kwambaSerikali inaendeleza na kuimarishaujirani mwema.A. Katika katiba hii, maneno yafuatayoyatakuwa na maana inayoonyeshwa kwa kilaneno linalohusika:‘Wabunge wa aina nyingine’ maana yake niWabunge wa Viti Maalum, Wabunge wakuteuliwa pamoja na Wabunge wa Bunge laAfrika Mashariki, wanaotokana na CCM.‘Wawakilishi’ maana yake ni Wajumbe waBaraza la Wawakilishi la Zanzibar wanaotokanana CCM.‘Kanuni zinazohusika’ maana yake ni Kanuni zaCCM zinazohusika, zilizoorodheshwa katikaNyongeza ‘B’ ya Katiba hii.Kwa ajili ya kuondoa utata unaowezakujitokeza, inafafanuliwa zaidi kwamba endapoKanuni yoyote itaonekana kuwa inapingana naMasharti ya Katiba hii, masharti ya Katibandiyo yatakayofuatwa.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi9Ufafanuzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 18

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 19SEHEMU YA PILIWANACHAMA NA VIONGOZIFUNGU LA 1:WANACHAMA6.Kila mtu aliyekuwa mwanachama wa TANU auwa ASP mara kabla ya kuvunjwa kwa Vyamahivyo, na aliyekuwa anatimiza masharti yaUanachama wake, atakuwa mwanachama waChama Cha Mapinduzi, isipokuwa kamaatakataa mwenyewe.WanachamaWaasisi7.Raia yeyote wa Tanzania mwenye umriusiopungua miaka 18, anaweza kuwaMwanachama wa Chama Cha Mapinduziiwapo anakubali Imani, Malengo naMadhumuni ya CCM.WanachamaWapya8.Mtu atakayekubaliwa kuingia katika CCM, aukuendelea kuwa Mwanachama, ni yuleanayetimiza Masharti yafuatayo:(1)Kuwa mtu anayeheshimu watu.Masharti yaUanachama(2)Kuwa mtu anayefanya juhudi yakuielewa, kuieleza, kuitetea nakuitekeleza Itikadi na Siasa ya CCM.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi11

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 20(3)Kuwa mtu mwenye kuamini kuwa kazini kipimo cha Utu, na kuitekeleza imanihiyo kwa vitendo.(4)Kuwa mtu anayependa kushirikiana nawenzake.(5)Kuwa mtu ambaye siku zote yukomstari wa mbele katika utekelezaji wamambo yote ya Umma, kulingana naMiongozo ya CCM.(6)Kuwa wakati wote ni mfano wa tabianzuri kwa vitendo vyake na kauli yake,kuwa mwaminifu na kutokuwa mlevi aumzururaji.(7)Kuwa ama Mkulima, Mfanyakazi, aumwenye shughuli nyingine yoyote halaliya kujitegemea.Utaratibu wakuombaUanachama9.Mtu atakayetaka kuwa Mwanachama atajazafomu ya maombi na kuipeleka kwa Katibu waTawi anapoishi.Utaratibu wakufikiriamaombi yaUanachama10.Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCMya Tawi itafikiria na kutoa uamuzi wa mwishokuhusu maombi ya Uanachama.Mafunzo kwaWanachama11.CCM itakuwa na Mpango wa kutoa Mafunzokwa wanachama wake juu ya Imani, Malengona Madhumuni ya Siasa ya CCM kwa jumla.12Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 112.6/5/1011:58 AMPage 21(1)Mtu akikubali kuwa Mwanachamaitabidi atekeleze haya yafuatayo:(a)Atatoa kiingilio cha Uanachama.(b)Atalipa ada ya Uanachama kilamwezi isipokuwa kama akipendaanaweza kulipa ada ya mwaka mzimamara moja.(c)Atatoamichangoitakayoamuliwa.Kiingilio naAda zaUanachamayoyote(2)Viwango vya kiingilio, ada na michangovitawekwa na Halmashauri Kuu ya Taifa.13.(1)Uanachamautakwisha kwa:-wa(a)Kufariki.(b)Kujiuzulu a kwa mujibu wa Katiba.(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.(e)(f)Kutotimiza masharti ya uanachama.Kujiunga na Chama kingine chochotecha siasa.(2)Mwanachama ambaye uanachamawake unakwisha kwa sababu yoyote ilehatarudishiwa kiingilio alichokitoa, adaaliyotoa wala michango yoyotealiyoitoa.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi13

KATIBA YA CCM:Layout 1Haki zaMwanachama14.146/5/1011:58 AMPage 22(3)Mwanachamaaliyeachishwaaukufukuzwa Uanachama akitaka kuingiatena katika CCM, itabidi aombe upya,na atapeleka maombi yake hayo amakatika Halmashauri Kuu ya Wilaya amakikao kilichomwachisha au kumfukuzaUanachama.(4)Mwanachama aliyejiuzulu akitakakuingia tena katika CCM ataombaupya kwa kufuata utaratibu wa kuombaUanachama kwa mujibu wa Katiba yaCCM.Mwanachama yeyote atakuwa na hakizifuatazo:(1)Haki ya kushiriki katika shughuli zote zaCCM kwa kufuata utaratibu uliowekwa.(2)Haki ya kuhudhuria na kutoa maoniyake katika mikutano ya CCM paleambapo anahusika kwa mujibu waKatiba.(3)Haki ya kuomba kuchaguliwa kuwaKiongozi wa CCM na ya kuchaguaviongozi wake wa CCM kwa mujibu waKatiba, Kanuni na Taratibu za CCM.(4)Haki ya kujitetea au kutoa maelezo yakembeleyaKikaochaCCMKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 23kinachohusika katika mashtaka yoyoteyaliyotolewa juu yake, pamoja na hakiya kukata rufani ya kwenda katika Kikaocha juu zaidi cha CCM kama kipoendapo hakuridhika na hukumuiliyotolewa.15.(5)Haki ya kumuona kiongozi yeyote waCCM maadam awe amefuata utaratibuuliowekwa.(6)Haki ya kupiga Kura yake ya Maoni kwawagombea wa CCM wa nafasi zaUdiwani wa Kata/Wadi, Ubunge naUwakilishi wa Jimbo kwa kufuatamasharti ya Kanuni za CCM.Kila Mwanachama atakuwa na wajibuufuatao:(1)Kujua kwamba Chama Cha Mapinduzindicho chenye nguvu, uwezo nakwamba nguvu hizo zinatokana naumoja wa Wanachama, fikira sahihi zaCCM na kukubalika kwake na umma.Kwa hiyo kulinda na kuendelezamambo hayo ni Wajibu wa kwanza wakila Mwanachama.(2)Wajibu waMwanachamaKutumikia nchi yake na watu wake wotekwa kutekeleza wajibu wake bila hofu,chuki wala upendeleo wa nafsi yake,rafiki au jamaa.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi15

KATIBA YA CCM:Layout 1166/5/1011:58 AMPage 24(3)Kujitolea nafsi yake kuondoshaUmasikini, Ujinga, Maradhi naDhuluma, na kwa jumla kushirikianana wenzake wote katika kujenga Nchiyetu.(4)Kuwa wakati wote mkweli, mwaminifuna raia mwema wa Tanzania.(5)Kukiri kwa imani na kutekeleza kwavitendo Siasa ya CCM ya Ujamaa naKujitegemea.(6)Kujielimisha kwa kadiri ya uwezo wake,na kutumia elimu hiyo kwa faida yawote.(7)Kuwa tayari kujikosoa na kukosolewa ilikuweza kuwa na msimamo sahihi wasiasa ya CCM.(8)Kuwa wakati wowote hadaiwi adazozote za Uanachama.(9)Kuhudhuria mikutanoinayomhusu.yaCCMKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 25FUNGU LA IIVIONGOZI16.Kiongozi wa CCM ni kila Mwanachamamwenye dhamana yoyote katika CCMaliyechaguliwa au kuteuliwa kwa mujibu waKatiba.Maana yaKiongozi17.Pamoja na kutimiza masharti ya Uanachamakama yalivyoelezwa katika Katiba, Kiongozisharti pia awe na sifa zifuatazo:-Sifa zaKiongozi18.(1)Awe ni mtu aliyetosheka na asiwe mtualiyetawaliwa na tamaa.(2)Awe ni mtu anayependa kuenezamatunda ya Uhuru kwa wananchi wotekwa ajili ya manufaa yao na maendeleoya Taifa kwa jumla.(3)Awe na sifa nyingine kama zilivyowekwakatika Kanuni zinazohusika.Ni mwiko kwa kiongozi:(1)Kutumia madaraka aliyopewa ama kwaajili ya manufaa yake binafsi au kwaupendeleo, au kwa namna yoyoteambayo ni kinyume cha lengolililokusudiwa madaraka hayo.Katiba ya Chama Cha MapinduziMiiko yaKiongozi17

KATIBA YA CCM:Layout 1Kuondokakatikauongozi19.11:58 AMPage 26(2)Kupokea mapato ya kificho, kutoa aukupokea rushwa, kushiriki katikamambo yoyote ya magendo au mambomengine yaliyo kinyume cha lengolililokusudiwa madaraka hayo.(3)Miiko mingine ya Viongozi itakuwakama ilivyowekwa katika Kanunizinazohusika.(1)Uongozi wa kiongozi utakoma kwa:-(2)186/5/10(a)Kufariki(b)Kujiuzulu mwenyewe.(c)Kuachishwa kwa mujibu waKatiba.(d)Kufukuzwa kwa mujibu waKatiba.(e)Kung’atuka /kuacha kazi.(f)Kujiunga na chama kinginechochote cha siasa.Kiongozi aliyeachishwa au kufukuzwauongozi anaweza kuomba tena nafasiya uongozi wowote na maombi yakeyatafikiriwa na kutolewa uamuzi nakikao kilichomwachisha au kumfukuzauongozi.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 120.6/5/1011:58 AMPage 27(1)Mwanachama anayeomba nafasi yauongozi wa aina yoyote katika CCMhatakubaliwa kuwa amechaguliwa mpaka aweamepata zaidi ya nusu ya kura halali zilizopigwa.Kiwango chakura katikauchaguzi waViongozi(2)Katika uchaguzi wa kujaza nafasi nyingikwa pamoja, ushindi utahesabiwa kwa kufuatawingi wa kura alizopata mwombaji wa nafasihiyo zaidi ya wenzake, bila kujali kama kurahizo zinafikia nusu ya kura halali zilizopigwa.(3)Kanuni za Uchaguzi wa CCM zitawekavifungu mahsusi, vitakavyowezesha uwakilishiwa Wanawake katika vikao vya CCM hatimayekuwa si chini ya asilimia 50 ya wajumbe wotewanaochaguliwa kujaza nafasi za makundi,kwa kila ngazi ya uongozi wa Chama.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi19

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 28

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 29SEHEMU YA TATUVIKAO VYA CCMFUNGU LA 1:VIKAO VYA SHINA21.Kikao cha mwanzo kabisa cha CCM kitakuwani kikao cha Shina. Hapa ndipo kilamwanachama atadhihirisha uanachama wakekwa kutekeleza kwa vitendo wajibu wake wauanachama. Aidha hapa ndipo alamazinazokitambulisha Chama kama vile a:(i)naainazifuatazozaShinaAina zaMashinaMashina ya Ndani ya Nchi:(a)Mashina yaliyoundwa katikamaeneo ya makazi katikanyumba kumi zilizohesabiwa nakuwekwapamojakwamadhumuni ya kuunda shina.(b)Mashina maalum yaliyoundwakatika Ofisi za CCM, Jumuiya zaWanainchi zinazoongozwa naCCM na Taasisi nyingine zaCCM.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi21

KATIBA YA CCM:Layout 1(c)226/5/1011:58 AMPage 30Mashina ya Wakereketwa/Maskaniyaliyoundwa nawanachama wa CCM katikamaeneo husika, baada yakupata idhini ya Kamati yaSiasa ya Wilaya.(ii)Mashina ya Nje ya Nchi:Mashina yaliyoundwa Nje ya Nchikatika maeneo wanakoishi wanachamawa CCM, baada ya kupata idhini yaKamati Kuu ya Halmashauri Kuu yaTaifa.(2)Ili Wanachama waweze kuunda Shina,idadi yao isiwe chini ya watano.(3)Kila Shina la eneo la makazi au lililo njeya nchi na kila Shina Maalum litachaguaKiongozi wa Shina kwa mujibu wautaratibu uliowekwa ambaye atajulikanakama Balozi wa Shina. Aidha kila Shinala Wakereketwa/Maskani litachaguaKiongozi wa Shina kwa utaratibuuliowekwa ambaye atajulikana kamaMwenyekiti wa Shina la Wakereketwaau la Maskani.(4)KilaShinalenyeWanachamawasiopungua kumi (10) litachaguaKamati itakayoitwa Kamati ya Uongoziya Shina yenye wajumbe watanoKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 31akiwemo Balozi/Mwenyekiti wa Shinahilo. Katibu wa Shina atachaguliwa naKamati ya Uongozi ya Shina.23.24.25.Pamoja na wajibu mwingine wowoteunaowahusu wanachama kwa jumla, kila Shinalitakuwa na wajibu ufuatao:(1)Kulinda na kuendeleza Siasa ya CCMkatika Shina.(2)Kuona kwamba unakuwepo ulinzi nausalama wa umma katika eneo lake.(3).Kueneza itikadi na Siasa ya CCM katikaShina.(4)Kutekeleza ipasavyo maamuzi namaagizo ya ngazi za juu ya CCM na yaSerikali pamoja na shughuli nyinginezoza umma.Kutakuwa na vikao vifuatavyo vya CCM katikakila Shina:(1)Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shina.(2)Mkutano wa Wanachama wote waShina.(3)Kamati ya Uongozi ya Shina palepanapohusika.(1)Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shinautakuwa na wajumbe wafuatao:-Katiba ya Chama Cha MapinduziWajibu waShinaVikao vyaCCMvya ShinaMkutano waMwaka waCCMwa Shina23

KATIBA YA CCM:Layout 1Kazi zaMkutanowa Mwaka waCCM wa Shina26.246/5/1011:58 AMPage 32(a)Balozi/Mwenyekiti wa Shina(b)Wajumbe wa Kamati ya Uongoziya Shina pale panapohusikakwa mujibu wa Katiba.(c)Wanachama wengine wote waShina hilo.(2)Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shinandicho kikao kikuu cha CCM katikaShina.(3)Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shinautafanyika kwa kawaida mara moja kwamwaka, lakini unaweza kufanyikawakati wowote mwingine endapoitatokea haja ya kufanya hivyo, au kwamaagizo ya vikao vya juu.(4)Balozi/Mwenyekiti wa Shina ataongozaMkutano wa Mwaka wa CCM wa Shina.Lakini Balozi/Mwenyekiti wa Shinaasipoweza kuhudhuria, Mkutanounawezakumchaguamjumbemwingine yeyote miongoni mwao kuwaMwenyekiti wa muda wa Mkutano huo.Kazi za Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shinazitakuwa zifuatazo:(1)Kufikiria taarifa ya kazi za CCM katikaShina na kutoa maelekezo yautekelezaji wa Siasa ya CCM kwakipindi kijacho.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 127.6/5/1011:58 AMPage 33(2)Kuzungumzia mambo yote yanayohusumaendeleo kwa jumla katika Shina.(3)Kuhakikisha kwamba maazimio namaagizo ya ngazi za juu yanatekelezwaipasavyo.(4)Unapofika wakati wa uchaguzi,Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shinautashughulikia mambo yafuatayo:(a)Kumchagua Balozi/Mwenyekitiwa Shina.(b)Kuwachagua wajumbe waKamati ya Uongozi ya Shinapale panapohusika.(1)Kutakuwa na Mkutano wa Wanachamawote wa Shina kwa kila Shina.(2)Mkutano wa wanachama wote waShina utazungumzia mambo yenyemaslahi ya CCM na ya wananchi mahalipale Shina lilipo, kama vile shughuli zaUlinzi na Usalama, maendeleo katikaShina na kufikisha mapendekezo yawanachama katika vikao vya juu.(3)Utawapigia kura za maoni wana-CCMwanaogombea nafasi ya Mwenyekiti waKitongoji/Mtaa wakati wa uchaguzi waSerikali za Mitaa.Katiba ya Chama Cha MapinduziMkutano waWanachamawote wa Shina25

KATIBA YA CCM:Layout 128.Kamati yaUongozi yaShinaKazi za Kamatiya Uongozi yaShina29.11:58 AMPage 34(4)Mkutano wa Wanachama woteutafanyika kwa kawaida si chini yamara moja kwa mwezi.(5)Kiwango cha mahudhurio katikamikutano ya wanachama wote katikaShina kitakuwa ni zaidi ya theluthi mojaya wajumbe walio na haki yakuhudhuria kikao hicho.(6)Balozi/Mwenyekiti wa Shina ataongozaMkutano wa wanachama wote waShina lakini asipoweza kuhudhuria,Mkutanoutamchaguamjumbemwingine yeyote miongoni mwao kuwaMwenyekiti wa muda wa Mkutano huo.Kamati ya Uongozi ya Shina palepanapohusika kwa mujibu wa Katiba itakuwana wajumbe wafuatao:(1)Balozi/Mwenyekiti wa Shina(2)Wajumbe wanne wa Kamati ya Uongoziya Shina.Kazi za Kamati ya Uongozi ya Shina zitakuwazifuatazo:(1)266/5/10Kuongoza na kusimamia utekelezaji wamaamuzi yote ya CCM na utendaji kazikatika Shina.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 130.6/5/1011:58 AMPage 35(2)Kuandaa shughuli za vikao vyote vyaCCM vya Shina.(1)Balozi/Mwenyekiti wa Shinaatachaguliwa na Mkutano wa Mwakawa CCM wa Shina.Atakuwa katika nafasi ya Uongozi kwamuda wa miaka mitano, lakini anawezakuchaguliwa tena baada ya muda huokumalizika.(2)Atakuwa na madaraka ya kuangaliamambo ya CCM na utendaji kazi katikaShina.(3)Atakuwa kiungo cha wanachama wotekatika Shina.(4)Atakuwandiyemwenezinamhamasishajimkuu wa Siasa yaCCM katika eneo lake.(5)Atakuwa na wajibu wa kuwaelezaWanachama maamuzi yote ya CCM,kuwaongoza na kuwashirikisha katikautekelezaji wa maamuzi hayo, nakufikisha mapendekezo ya wanachamakatika vikao vya juu.(6)Atakuwa na wajibu wa kufuatiliautekelezaji wa mambo yote ya siasakatika Shina lake.Katiba ya Chama Cha MapinduziBalozi waShina27

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 36(7)Atakuwa na wajibu wa kujengauhusiano mwema wa wakazi wa Shinalake kwa lengo la kuunda mazingiraya amani na utulivu.(8)Ataongoza Kamati ya Uongozi ya Shinapale panapohusika.(9)Atakuwa Mwenyekiti wa Mkutano waMwaka wa CCM wa Shina, na Mkutanowa Wanachama wote wa Shina.(10)Katika Mikutano anayoongoza zaidi yakuwa na kura yake ya kawaida,atakuwa pia na kura ya uamuzi, endapokura za wajumbe wanaoafiki nawasioafiki zitalingana.Isipokuwa kwamba kama Kikaoanachokiongoza ni Kikao chaUchaguzi, Mwenyekiti atakuwa nakura yake ya kawaida tu. Hatakuwa nahaki ya kutumia kura yake ya uamuziendapo kura za Wajumbe zimelingana.Wajumbe wa kikao wataendeleakupiga kura mpaka hapo mshindiatakapopatikana.28Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 37FUNGU LA IIVIKAO VYA TAWI31.(1)(2)Kutakuwa na aina nne za Matawi yaCCM kama ifuatavyo:-Aina za Matawiya CCM(a)Matawi ambayo yameundwavijijini ambayo yataitwa Matawiya Vijijini.(b)Matawi ambayo yameundwakatika maeneo wanayoishi watumijini ambayo yataitwa Matawiya Mitaani.(c)Matawimaalumambayoyameundwa kwenye Ofisi zaCCM, Taasisi za CCM, naTaasisi nyingine zinazoongozwana CCM.(d)Matawi ambayo yameundwa njeya nchi yenye wanachama waCCM wengi wanaoishi katikasehemu mbalimbali za nchi hiyona ambao wana Mashina yao.Matawi haya yatafunguliwa kwaidhini ya Kamati Kuu.Tawi litafunguliwa tu iwapo mahali hapopanapohusika kuna Wanachamawasiopungua hamsini na wasiozidi miasita.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi29

KATIBA YA CCM:Layout 132.Vikao vyaCCMvya TawiMkutano Mkuuwa CCM waTawi33.306/5/1011:58 AMPage 38Kutakuwa na vikao vifuatavyo vya CCM katikakila Tawi:(1)Mkutano Mkuu wa CCM wa Tawi.(2)Mkutano wa Wanachama wote waTawi.(3)Halmashauri Kuu ya CCM ya Tawi.(4)Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu yaCCM ya Tawi.(5)Sekretarieti ya Halmashauri Kuu yaCCM ya Tawi.(1)Mkutano Mkuu wa CCM wa Tawiutakuwa na Wajumbe wafuatao:(a)Mwenyekiti wa CCM wa Tawi.(b)Katibu wa CCM wa Tawi.(c)Katibu wa Siasa na Uenezi waTawi.(d)Katibu wa Uchumi na Fedha waTawi.(e)Wajumbe wote wa HalmashauriKuu ya CCM ya Tawi.(f)Mwenyekiti wa Serikali yaKijiji/Mtaa/Kitongoji anayetokanana CCM, anayeishi katika Tawihilo.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 1(2)6/5/1011:58 AMPage 39(g)Wajumbe wote wa MkutanoMkuu wa CCM wa Kata/Wadiwaliomo katika Tawi hilo.(h)Wajumbe wote wa MkutanoMkuu wa CCM wa Wilayawaliomo katika Tawi hilo.(i)Mabalozi wa Mashina wa Tawihilo.(j)Wenyeviti wa Mashina yaWakereketwa/ Maskani ya Tawihilo.(k)Mwenyekiti na Katibu wa Tawiwa Jumuiya inayoongozwa auiliyo jishirikisha na CCM, naMjumbemmoja mwingineambaye ni Mwanachama waCCM aliyechaguli wa na kilaJumuiya iliyomo katika Tawi hilo.(l)Diwani anayetokana na CCManayeishi katika Tawi hilo.(m)Wanachama wengine wote waTawi hilo.Mkutano Mkuu wa CCM wa Tawindicho kikao kikuu cha CCM katikaTawi.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi31

KATIBA YA CCM:Layout 1Kazi zaMkutanoMkuu wa CCMwa Tawi34.326/5/1011:58 AMPage 40(3)Mkutano Mkuu wa CCM wa Tawiutafanyika kwa kawaida mara mojakwa mwaka, lakini unaweza kufanyikawakati wowote mwingine endapoitatokea haja ya kufanya hivyo au kwamaagizo ya kikao cha juu.(4)Mwenyekiti wa CCM wa Tawiataongoza Mkutano Mkuu wa CCM waTawi. Lakini Mwenyekiti asipowezakuhudhuria, Mkutano huo unawezakumchagua mjumbe mwingine yeyotemiongoni mwao kuwa Mwenyekiti wamuda wa Mkutano huo.Kazi za Mkutano Mkuu wa CCM wa Tawizitakuwa zifuatazo:(1)Kupokea na kujadili Taarifa ya Kazi zaCCM katika Tawi, iliyotolewa naHalmashauri Kuu ya CCM ya Tawi nakutoa maelekezo ya utekelezaji waSiasa ya CCM kwa kipindi kijacho.(2)Kuhakikisha kwamba maazimio namaagizo ya ngazi za juu yanatekelezwaipasavyo.(3)Kuzungumzia mambo yote yanayohusuUlinzi na Usalama na Maendeleo kwajumla katika Tawi hilo.(4)Unapofika wakati wa uchaguzi,Mkutano Mkuu wa CCM wa TawiKatiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 41utashughulikia mambo yafuatayo:(a)Kumchagua Mwenyekiti waCCM wa Tawi.35.(b)Kuwachagua wajumbe watanowa kuhudhuria Mkutano Mkuuwa CCM wa Kata/Wadi.(c)Kumchagua mjumbe mmoja wakuhudhuria Mkutano Mkuu waCCM wa Jimbo na wa Wilaya.(d)Kuwachagua wajumbe kumi wakuingia katika Halmashauri Kuuya CCM ya Tawi.(5)Kuunda Kamati za Mkutano Mkuu waCCMwaTawikwakadriitakavyoonekana inafaa.(1)Kutakuwa na Mkutano wa Wanachamawote wa CCM katika kila Tawi.(2)Mkutano huo utazungumzia mamboyaliyo na maslahi ya CCM na yawananchi mahali pale Tawi lilipo, kamavile shughuli za Ulinzi na Usalama, namaendeleo katika Tawi.(3)Mkutano wa Wanachama woteutafanyika kwa kawaida mara mojakatika kila miezi mitatu, lakini unawezaKatiba ya Chama Cha MapinduziMkutano wawanachamawote wa Tawi33

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 42kufanyika wakati wowote endapoitatokea haja ya kufanya hivyo au kwamaagizo ya kikao cha juu.HalmashauriKuu ya CCMya Tawi36.34(4)Kiwango cha mahudhurio katikaMikutano ya Wanachama wote katikaTawi kitakuwa zaidi ya theluthi moja yaWajumbe wakewenye haki yakuhudhuria kikao hicho.(5)Mwenyekiti wa CCM wa Tawiataongoza Mkutano wa Wanachamawote wa Tawi,lakini Mwenyekitiasipoweza kuhudhuria,Mkutanoutamchagua mjumbe mwingine yeyotemiongoni mwao kuwa Mwenyekiti wamuda wa Mkutano huo.(6)Siku ya kupiga Kura za maoni kwawagombea wa ngazi za Kijiji na Mtaa,wana CCM wote watapiga Kura zao zamaoni wakiwa katimka Matawi ya Vijijiniau Mitaani ambako wanaishi naambako wao ni wanachama.(1)Halmashauri Kuu ya CCM ya Tawiitakuwa na wajumbe wafuatao:(a)Mwenyekiti wa CCM wa Tawi.(b)Katibu wa CCM wa Tawi.(c)Katibu wa Siasa na Uenezi waTawi.Katiba ya Chama Cha Mapinduzi

KATIBA YA CCM:Layout 16/5/1011:58 AMPage 43(d)Katibu wa Uchumi na Fedha waTawi.(e)Wajumbe kumi waliochaguliwana Mkutano Mkuu wa CCM waTawi.(f)Wajumbe watano wa MkutanoMkuu wa CCM wa Kata/Wadiwaliochaguliwa na MkutanoMkuu wa CCM wa Tawi hilo.(g)Mwenyekiti wa Serikali yaKijiji/Mtaaanayetokana na CCManayeishi katika Tawi hilo.(h)Mjumbe mmoja wa MkutanoMkuu wa CCM wa Wilayaaliyechaguliwa na MkutanoMkuu wa CCM wa Tawi hilo.(i)Mwenyekiti na Katibu wa Tawiwa Jumuiya inayoongozwa auiliyojishirikisha na CCM, naMjumbemmoja mwingineambaye ni Mwanachama waCCM aliyechaguliwa na kilaJumuiya inayohusika iliyomokatika Tawi hilo.(j

Toleo hili la Katiba ya Chama Cha Mapinduzi la 2010 ni Toleo la Kumi na Nne tangu Katiba hii itungwe kwa mara ya kwanza mwaka 1977. Kwa hali hii ni Toleo ambalo limezingatia na kuweka pamoja marekebisho yaliyofanywa katika Katiba ya Chama Cha Mapinduzi ya 1977 matoleo ya 1980, 1982, 1984, 1987, 1990, Machi 1992, Septemba1992, 1994, 1995, 1997 ,

Related Documents:

Wananchi wengi wanavifahamu vyama vikuu vitatu nchini yaani Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Wananchi (CUF) Wananchi wengi wangewachagua wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kama uchaguzi ungefanyika wakati wa mahojiano. Idadi ya wananchi ambao hawako karibu na chama chochote cha .

CHAMA CHA MAPINDUZI MAY 2005 EDITION Katiba ya CCM - (ENG 2006) 5/20/06 11:40 AM Page a. This May 2005 Edition of the Constitution of Chama Cha Mapinduzi is the 11th Edition since the Constitution was first proclaimed in 1977. It, therefore, incorporates and consolidates all

CHAMA CHA MAPINDUZI C. GOALS OF THE CCM MANIFESTO FOR THE YEAR 2020-2025 This Manifesto aims to build on the gains made by the implementation of the 2015 CCM Election Manifesto. Similarly, the content of this Manifesto is in line with the Policy Vision of Chama Cha Mapinduzi of 2020-2030, the National Development Vision 2025 and the

ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. Vilevile, maudhui ya Ilani hii yamezingatia Mwelekeo wa Sera za Chama Cha Mapinduzi wa 2020-2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2020-2050. Aidha, Ilani hii imezingatia fursa na changamoto

taratibu za uteuzi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM); Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Alliance for Change and Transparency (ACTWazalendo) na Chama cha Wananchi (CUF). . Ibara ya 76 ya Katiba ya Rwanda ina mchango mkubwa katika kuleta mgawanyo wa nafasi za uwakilishi kwa ajili ya wanawake. Rwanda inatupa

hizi, ulizingatia Mipango Mikuu ya Kitaifa ikiwemo Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015 - 2020, MKUZA, pamoja na Mpango Mkakati wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. 2.1 UPATIKANAJI WA FEDHA 15. Mheshimiwa Spika, mwaka wa fedhakwa 2017/2018, Ofisiya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ilitengewa jumla ya TZS .

CCM Chama Cha Mapinduzi CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo [Party for Democracy and Progress] CSO Civil Society Organisations EAC East African Community . UKAWA Umoja wa Katiba ya Wananchi [Coalition for the People's Constitution] US United States . 5 Preface

astm e74 / bs 1610 При подключении к динамометру соответствующих силоизмерителей (мод. от c140 до c140-10 и мод. от c142 до c142-08) пользователь может легко проводить тесты по проверке нагружения на испытательных машинах, используя .