1. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Awali Ya Yote Napenda

2y ago
85 Views
2 Downloads
381.39 KB
47 Pages
Last View : 28d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Jerry Bolanos
Transcription

1. UTANGULIZIMheshimiwa Spika, awali ya yote napenda kuchukuafursa hii, kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwakutujalia sote uhai na kutuwezesha kuliona Bunge la 11tukiwa salama. Pili napenda kumshukuru kwa dhatikabisa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe (Mb) kwa imanikubwa aliyo nayo kwangu kwa kuendelea kuniteuakuwa Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya UpinzaniBungeni katika Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia naUfundi kwa vipindi vitatu mfululizo. Ninaahidi kuendeleakuchapa kazi kwa bidii, na kwa hakika sitaiangushaKambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika wajibu huuniliopewa wa kuisimamia Serikali katika sekta ya Elimunchini.Mheshimiwa Spika, naishukuru familia yangu ikiongozwana mume wangu Boniventure Ngowi na wanangu wote.Kipekee namshukuru sana Naibu Waziri wangu ukuru sana BAWACHA Mkoa wa kichama waKinondoni kwa kunichagua kuwawakilisha hapa kamakawaida sitawaangusha.Mheshimiwa Spika, kwa namna ya pekee napendakuwapongezaviongoziwote1wakuuwavyama

vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA),kwa kazi kubwa na nzuri walioyoifanya ya kuwaongozawatanzania kuchagua mabadiliko katika Uchaguzi Mkuuwa tarehe 25 Oktoba 2015.Mheshimiwa Spika, pamoja na ukiukwaji mkubwa wa hakina demokrasia uliofanywa na vyombo vya dola dhidi anyang‟anyavifaakuvamia,vyakaziwataalamu wa UKAWA waliokuwa wakijumlisha matokeoya uchaguzi huo, bado wananchi walionyesha imanikubwa sana kwa upinzani kwa kuupigia kura nyingi; nakwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vingi hapanchini, upinzani umepata viti 116 ikiwa ni ongezeko laasilimia 23.3 kutoka viti 89 vilivyopatikana katika uchaguziMkuu wa 2010.Mheshimiwa Spika, kwa upande wa kura za rais, licha yambinuzotezilizofanywanavyombovyadolakuchakachua ushindi wa upinzani, bado upinzani kupitiaUKAWA umeongeza kiwango chake cha ushindi hadikufikia asilimia takriban 40 tofauti na miaka iliyopita.Ushindi huu umetokana na kuporomoka vibaya kwaChama cha Mapinduzi katika ngazi ya Rais kutoka ushindiwa asilimia 80 mwaka 2005 hadi asilimia61.17 mwaka2010 na kufikia asilimia 58 mwaka 2015. Kwa hesabu hizi2

ni wazi 2020 CCM itakuwa historia kama vile ilivyokuwakwa chama cha KANU nchini Kenya na vyama vinginekatika nchi za kiafrika vilivyoondolewa madarakani kwakukataliwa na wananchi kutokana na utawala wa ki-imlawa muda mrefu.Mheshimiwa Spika, kuporomoka huku ni matokeo ya wazikabisakuwachamahikikimepotezamvutokwawananchi kutokana na kushindwa kuondoa umasikinipamoja na kushindwa kusambaza huduma toshelezi zakijamii hasa elimu na afya kwa miaka yote ya utawalawake wa miaka 55 sasa.Mheshimiwa Spika, kutokana na aibu hii ya kushindwakuondoa umasikini kwa wananchi; na kutokana na hofuya Serikali kuhojiwa na bunge kuhusu utendaji wake; sasaSerikali hii ya awamu ya tano inayojinasibu kwa kauli mbiuya „hapa kazi tu‟ imeamua kulinyamazisha bunge kwakupiga marufuku vyombo vya habari kurusha moja kwamoja mijadala inayoendelea bungeni kuhusu utendaji waSerikali na kuhusu mgawanyo wa fedha za umma katikabajeti ya serikali. Aidha, kutokana na hofu ya kukosolewakutokana na kutojiamini katika mambo inayoyafanya;Serikali sasa imeanza kuingilia hotuba za Wasemaji Wakuuwa Upinzani na kuzifanyia censorhip kinyume kabisa naKanuni za Bunge hili.3

Mheshimiwa Spika, Kanunu ya 99(9) ya Kanuni za Bungetoleo la Januari, 2016, inasema kwamba: “Baada yaWaziri kuwasilisha hotuba ya bajeti kwa mujibu wa fasili yakwanza; Mwenyekiti wa Kamati iliyopitia makadirio husikana Msemaji wa Kambi ya Upinzani watatoa maoni elekeza kwamba watatoa maoni yao baada yakupitiwa na Kamati ya Kanuni. Kwa hiyo MheshimiwaSpika; kitendo kilichofanyika tarehe 16 Mei, 2016 chakuiondoa mezani hotuba ya Msemaji Mkuu wa KambiRasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo yaNdani ya Nchi ili ikachakachuliwe na Kamati ya Kanuni,ni kinyume kabisa na Kanuni za Bunge; na ni kinyumekabisa na mila na desturi za uendeshaji wa mabunge yaJumuiya ya Madola.Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeniinakemea kwa nguvu zote na inaitaka Serikali kuachamara moja tabia hii ya kuingilia shughuli za kikanuni zaKambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa kutumia mgongowa Bunge.2. ELIMU YETU NA HATMA YA TANZANIAMheshimiwa Spika, dhambi kubwa na mbaya kulikozote kuwahikufanywa naSerikali4hiiyaCCMni

kuwanyimaWatanzaniaelimubora;kupandikizaelimu nyepesi, potofu na tegemezi kwa vizazi vingi vyataifa hili; dhambi ya kuwachanganya na kuwavurugawatoto wa Taifa hili kwa sera dhaifu, mitaala isiyo nadira na vitabu visivyokuwa na tija kwa maendeleo yao naya Taifa lao.Mheshimiwa Spika, Nchi yetu ipo hivi ilivyo kwa sababuya elimu duni. Umaskini, ujinga na maradhi vinavyotesaTaifa hilini matokeo ya elimu mbovu iliyotolewa naSerikali ya CCM kwa zaidi ya miaka 55 tangu tupateuhuru. Taifalinalotoaelimuborahalifananihatakidogo na jinsi Tanzania yetu ilivyo.Mheshimiwa Spika, hizi ni zama za kuelezana ukweli, ‟ bado Ukweli utaendelea kupasua kuta za Bungehili nakuwafikiaWatanzania. Mwanafasihimashuhuri wa nchi yetu, Afrika ya Mashariki na BaraniAfrika, Hayati Shaaban Robert, katika kitabu chake chaKUSADIKIKA aliandika hivi, “Msema kweli hukimbiwa naRafiki zake, nikipatwa na Ajali kama hiyo sitawaoneaWivu wale wanaodumu na marafiki zao siku zote. Siwezikuikana Kweli kwa kuhofia Upweke wa kitambo na5

kujinyimaFurahayamileleinayokaribiakutokeabaada ya kushindwa kwa Uongo” mwisho wa kunukuu.Maneno haya ndio msimamo wangu na wa Kambi kwaujumla wake, kwani siku zote wabunge wa Upinzanitumeonekana kama maadui na kunyanyapaliwa naSerikali hii ya CCM kwa sababu kusema ukweli kuhusumadhaifu ya Serikali.Mheshimiwa Spika, nchi zilizoendelea zinafanya mambomengi ya kimaendeleo kwa kuwatumia wataalam waowa elimu ya juu–University graduates. Wataalam wa vyuovikuu wanatengenezwa kwa kutegemea pia elimu boraya msingi na sekondari. Tanzania nayo ina vyuo vikuu.Lakini leo ipo haja ya Bunge hili kujiuliza nini hasa maanaya Chuo kikuu – “A University is an institution of higherlearning where people's minds are trained for clearthinking, for independent thinking, for analysis and forproblem solving at the highest level, is the centre foradvancing the frontiers of knowledge". Kwamba: ChuoKikuu ni taasisi ya elimu ya juu inayoandaa watu kuwa nafikra pevu, fikra huru kwaajili ya kuwa na uwezo mkubwawa kiuchambuzi na kwaajili ya kutatua matatizo kwakiwango cha hali ya juu, ni kituo cha kuendeleza maarifa.6

Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa na Mawaziri wengi tuwaliopita vyuo vikuu, lakini bado wameliingiza Taifa hilikwenyehasarakubwakwa maamuzimabovu, kwa kuingia mikataba isiyojali maslahi ya taifana kwautendajifit kweli kwenyeusionadefinitionufanisi. Hivihii ya Chuohawawana-Kikuu? Ukweli nikuwa hata Serikali yenyewe haiwaamini wataalam wakewanaozalishwa na vyuo vikuu hasa kwenye Sekta yaSayansi na Teknolojia. Na hili lipo wazi; leo Tanzania inamadini, gesi na mafuta, lakini watafiti, wachimbaji nawavunaji wakubwa wa raslimali hizi, wenye mashinekubwa na za kisasa, na zenye kutumia teknolojia ya haliya juu si Watanzania.Mheshimiwa Spika, Mwanafalsafa Herbet Spencer aliwahikusema, namnukuu “The great aim of education is notknowledge but action”– kwamba “lengo kuu la elimu siufahamu, bali vitendo”. Tafiti zinaonyesha ni 39% tu yawahitimu wa vyuo vikuu wanaajirika kutokana na kilekinachoitwa kukosa ujuzi “lack of skills”. Kambi ya Upinzaniinauliza hivi ni lini serikali itawekeza vizuri kwenye elimukatika ngazi zote?!!7

3. BAJETI YA UTEKELEZAJI WA ELIMU BUREMheshimiwa Spika, kupitia Sera Mpya ya Elimu naMafunzo ya Mwaka 2014, iliyofuatiwa na Tamko lautekelezaji katika Waraka namba 5 wa Mwaka 2015,imeagiza kufutwa kwa ada za masomo katika shule zasekondari kuanzia Kidato cha 1 –IV na michango ya ainayoyote kwa shule za msingi.Mheshimiwa Spika, Kabla ya agizo hili la elimu bila adana uchangiaji wa elimu katika shule za umma ulifanywakwa ushirikiano baina ya serikali pamoja na wazazi. Hatahivyo upatikanaji wa pesa shuleni ulikuwa wa shida.Mathalani serikali iliweza kupeleka wastani wa Tsh. 4,000/ hadi 5,000/ tu kama ruzuku kwa shule za msingi badalaya Tsh 10,000/ zilizotakiwa kwa kila mtoto kwa mwaka.Aidha, Serikali iliweza kutoa wastani wa Tsh 12,000/ hadi15,000 kwa kila mtoto kwa mwaka kama ruzuku kwa shuleza sekondari badala ya 25,000/ zilizostahili (BRN report2015).Mheshimwa Spika, kwa kuzingatia hali hiyo, ili changia ni lazima katika mpango wake wa bajetikuanzia bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 itenge8

kiwango cha fedha kama kugharamia elimu kamaifuatavyo: Shilingi bilioni 161.5 kwa ajili ya ruzuku elimuya msingi na awali kwa wanafunzi 8,987,031kwa shilingi 10,000 kila mwanafunzi. Shilingi bilioni 40 kwa ajili ya ruzuku elimu yasekondari kwa wanafunzi 1,575,254 kwashilingi 25,000 kila mwanafunzi kwa shule zaumma. Shilingi bilioni 31 kufidia ada ya shilingi20,000/ kwa kila mwananfunzi katika shuleza sekondari za umma kwa wanafunzi1,575,254. Shilingi 198 kufidia program za uji ambazozilikuwa zinachangiwa na wazazi maanahivi sasa wazazi hawachaji chochote nashulenyingizimeachawanafunzi.9kutoaujikwa

Shilingi bilioni 1,438 kwa ajili ya kutatuachangamoto za miundombinu kwa shule zamsinginasekondarikamavilevyoo,madarasa, madawati na ukamilishaji wamaabara za shule ya kata.Mheshimiwa Spika,kwa minajili hiyo, ili kugharamia utoajielimu bure serikali inapaswa kufidia pesa za ada iliyokuwaikitolewa na wazazi kwa shule za sekondari na fedha yagharama za chakula (uji) kwa wanafunzi wa shule zamsingi kuanzia darasa la awali mpaka la saba. Serikali piainapaswa kulipia gharama za uboreshaji na ujenzi wamiundombinu inayohitajika kwa mwaka. Shule nyingi zinamrundikano wa wanafunzi zaidi ya 400 kwa darasa lakwanza walioandikishwa mwaka 2016.Mheshimiwa Spika, kwa mujibu wa uchambuzi uliofanywana Haki Elimu katika jedwali namba 1, 2 na 3 hapo chini,kwa kuzingatia takwimu za idadi ya wanafunzi, shule namahitaji, kila mwaka serikali itapaswa kutenga kiasi chafedha kisichopungua shilingibilioni 1,797.5(takribanshilingi trililioni 1.8) nje ya mahitaji mengine ya kisekta ilikugharamia elimu bila malipo.10

Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeniinaitaka serikali kuhakikisha kiwango hicho kinajumuishwakatika bajeti ya sekta ya elimu ya Mwaka wa Fedha2016/2017 ili kutekeleza kwa ufanisi azma yake ya utoajiwa elimu bure, vinginevyo utakuwa ni usanii mtupu, nadhana ya elimu bure inaweza kuwa chanzo kingine chaanguko kuu la ubora wa elimu nchini.Jedwali 1: Gharama za kufidia ada na ruzuku shuleni kwaajili ya vifaa, gharama za mitihani na gharama zauendeshajiKiasi (Tshs) Idadi ya wanafunziJumlaMsingi10,0008,987,031Bil. 90Sekondari25,0001,575,254Bil. 40Ada Sekondari20,0001,575,254Bil. 31.5Jumla ya Ruzuku Msingi na SekondariBil 161.5Chanzo: (BEST 2015)Jedwali 2: Gharama za kufidia ujenzi wa miundombinuuliokuwa ukichangiwa na wazaziUpungufuGharama (Tshs) Jumla1,170,82780,000Bil.90Matundu ya vyoo 150,0001,000,000Bil. 150Madarasa95,94512,000,000Bil.1,150MaabaraShule 1,56030,000,000Bil. 47MadawatiJumla kuu yagharama za kufidia ujenzi wa Bil.1,438miundombinuChanzo: (BEST 2015)11

Jedwali 3: Gharama za kufidia utoaji uji shuleniWatoto wa darasa la awaliBei ya Uji kwa siku SikuSh. 100za Idadiya JumlaMasomowanafunzi198992,356Bil 20Wanafunzi wa msingi (Darasa la I – VII)Sh.1001988,987, 031Bil. 178Jumla ya fidia utoaji uji shule za awali na msingiBil 198 Jumla KuuBil 1,797.54. CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WALIMU NCHINIMheshimiwa Spika; Elimu bora inategemea sana moraliya walimu na sio madawati au madarasa yenye viyoyozi.Pamoja na uhalisia kwamba Serikali hii ya CCM imekuwaikiwatumia sana walimu kutekeleza majukumu menginetofauti na kufundisha kama vile uendeshaji wa sensa yawatu na makazi; uandikishaji wa wapiga kura nausimamizi wa mazoezi ya kupiga na kuhesabu kura, lakinibaada ya shughuli hizo, Serikali huwa inawasahau oto nyingi sana jambo ambalo linakwamishamatamanio ya kuinua ubora wa elimu nchini. Tumelisemahili tangu bunge la tisa, bunge la kumi na sasa bunge la12

kumi na moja lakini Serikali haionekani kuzipa kipaumbelechangamoto hizo ili kuzitatua.Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeniinaitaka Serikali kutatua changamoto zinazowakabiliwalimu kama ifuatavyo:i.Kuongeza posho ya kufundishia kwa walimuili kufidia muda wa mwalimu kufanya kazikwani ualimu ndio kada pekee inayofanyakazi kwa saa 24 hasa nyakati za kutunga nakusahihisha mitihani, kupanga matokeo n.k.ii.Kujengavyumbavyamadarasavyakutosha na kuviwekea samani za kutosha ilikupunguzamlundikanowawanafunzidarasani na hivyo kuboresha mazingira yakufundisha na a na kuwapandishia mishaharawalimu waliokidhi vigezo vya .Kuwe na chombo kimoja cha ajira kwawalimu, na kwa maana hiyo; Tume yaWalimu ianze mara moja kazi ya kutatuakero za walimu.13

v.Muda wa mafunzo kwa vitendo (BTP) kwawalimuuzingatiweiliwalimu-wanafunziwaweze kupata uzoefu wa kutosha wakufundisha kuliko inavyofanyika hivi sasaambapo mafunzo hayo yanafanyika chiniya wiki nane kila lipwayaWalimustahikizaomapema na pia kutorudishwa makwaokwa mujibu wa kanuni za utumishi.vii.Serikali iwalipe walimu posho ya mazingiramagumu ya kaziili kuvutiakufanya kazimaeneo ya ndoakeropayrollyakucheleweshwa kwa maslahi ya walimukutokananamajinayaokutokuwepokwenye payroll.5. SERA YA VITABUMheshimiwa Spika, Mwaka 1991 Serikali ya Tanzaniailitangaza sera mpya ya vitabu iliyoruhusu wachapishajibinafsi (private publishers) kuchapisha vitabu vya shule na14

vyuo nchini. Uamuzi huo ulifanyika baada ya miaka mingiya ukosefu wa vitabu kutokana na kutaifishwa kwamakampuni ya uchapishaji na kuanzishwa kwa mashirikaya uma ya uchapishaji (km TPH, EAEPL) ambayo yalilengakuchapisha vitabu ambavyo vingeandikwa na Taasisi yaElimu.Mheshimiwa Spika, Uamuzi huo wa kuondokana na dhiki namahangaikoyakukosekanakwavitabuvyashuleuliwekewa utaratibu maalumu wa utekelezaji ukiratibiwa nakitengo cha Book Management Unit (BMU), makao makuuya Wizara ya Elimu.kitengochaBaadae Wizara ya Elimu iliundakudhibitiuborawavitabukiitwacho,Educational Materials Approval Committee (EMAC).Mheshimiwa Spika, Tangu 1991 wachapishaji wazalendowamepiga hatua kubwa katika fani hii.Wanachapishavitabu bora vya kiada vya ngazi zote za elimu. Tatizo lakutokuwapo kwa vitabu vya kiada halipo tena. Tatizo sasani kwamba serikali hainunui vitabu vya kutosha na kwamuda. Pia wachapishaji wanachapisha vitabu vya hadithimbalimbali kwa ajili ya watoto wa ngazi zote za msingi nasekondari – hususan chini ya CBP kwa mfano kuna aina zavitabu (titles) zisizopungua 350 za vitabu vya hadithi narejeapaleCBP.Piawachapishaji15haowametoa

, n.k.Sera mpya ya vitabu ya mwaka 2014Mheshimiwa Spika, Sera mpya iliyotangazwa na Kamishnawa Elimu kupitia Waraka wa Elimu Namba 4 wa mwaka2014 inafuta sera ya Serikali ya vitabu ya mwaka 1991 nakurejesha majukumu ya uandishi na uchapishaji wa vitabuvya shule mikononi mwa Taasisi ya Elimu. Sera hiyo inadaikuwa wachapishaji binafsi wanaweza kuchapisha vitabuvya ziada – ambavyo anaviita „reference books‟.Mheshimiwa Spika,Mwaka jana (2015) Taasisi ya Elimuiliendesha semina kwa walimu wakuu wa shule za msinginchini kote kuhusu ufundishaji unaotekeleza mitaala mipyahususan darasa la kwanza na la pili kwa utaratibu waKusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK). Walimu waliopewasemina waliahidiwa kupatiwa vitabu vipya vinavyokidhimitaala mipya mwezi Januari au Februari 2016 ili waanzekuvitumia madarasani. Shule zimesubiri vitabu hivyo hadisasa, karibu nusu ya mwaka, bila kupatiwa vitabu hivyo.Mheshimiwa Spika,Inasemekana vitabu hivyo vipya vyaTaasisi ya Elimu havifai.Pia tumesikia kuwa baadhi yawafanyakazi waliohusika katika usimamizi wa kazi hiyo16

wamesimamishwa kazi.Lakini hadi sasa watoto wakomadarasani wakisubiri vitabu vipya vya Taasisi ya Elimu.Mheshimiwa Spika, Mwandishi ni msanii kama alivyomchoraji, mwimbaji, mchezaji wa ngoma au mwigizaji.Kundi hili lina watu wenye vipaji maalumu. Uandishi siyo kazianayoamriwa au kupangiwa mtu kuifanya ila naifanya kwautashi wake. Pia haitegemei elimu ya mtu, kwa mfano,Shaaban Robert alikuwa na elimu ya darasa la IV tu lakinialiandika vitabu vilivyo bora sana ambavyo vinatumikahadi vyuo vikuu.Mheshimiwa Spika, Taasisi ya Elimu ina mwelekeo waukuzaji mitaala na siyo kuandika na kuchapisha vitabu.Ilichukua muda mrefu hadi Wizara ya Elimu ya miaka ya1990 kutambua hivyo. Ni heri Wizara ya Elimu hapishaji binafsi.Mheshimiwa Spika, Kutokana na kadhia hii ya endekeza yafuatayo:(a)Serikali irejeshe Sera ya Vitabu ya 1991 ambayoina mafanikio makubwa(b)Serikali iweke pembeni mitaala mipya ya TIE ya2016nabadalayake17iundeTumeyaElimu

itakayotathmini Mfumo na Utendaji wa Elimu nchinina kutoa mapendekezo mapya(c) Vitabu vilivyopo tangu mfumo mpya wa elimu wa1991, viendelee kutumika shuleni hadi tume imalizekazi yake.6. UAMUZI WA KISIASA UNAVYOATHIRI UBORA WAELIMU NCHINIMheshimiwa Spika, Serikali ya CCM kwa muda mrefu sasaimekuwa na tabia ya kufanya uamuzi wakisiasa katikamasuala ya elimu na kuweka kando utafiti au ushauri wakitaalamu jambo ambalo limeathiri sana ubora wa elimunchini.Mheshimiwa Spika, mifano iko mingi; kwa mfano mwaka2014, Serikali ya CCM iliwashusha walimu wakuu wa shulembalimbali za Sekondari za Serikali nafasi zao za ukuu washule eti kwa sababu walifunga shule kutokana naukosefu wa chakula uliosababishwa na wazabuni a na ukosefu wa fedha kwa kuwa Serikali ilikuwahaiwalipi wazabuni hao.Mheshimiwa Spika, mfano mwingine ni kuhusu matokeoya kidato cha nne mwaka 2012 yaliyokuwa mabayakuliko yote kutokea ambapo zaidi ya asilimia 95 walipata18

daraja la 0 na IV.Hali hii ilipelekea Serikali kufanya„standardization‟, uamuzi ambao kimsingi ulikuwa ni elee kuipigia kura CCM. Haikuishia hapo, Serikalibaadaye ikapanua magoli kwa kubadili mfumo waupangajiwamatokeokutokamadaraja(division)kwenda GPA (wastani). Jambo hili halikukubalika sio tuna Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni bali hata wadaumbali mbali wa elimu. Leo hii baada ya kelele nyingi zawadau wa elimu; Serikali imerudi tena kwenye utaratibuwa zamani wa madaraja.Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeniinaendelea kuionya Serikali kuacha siasa katika masualamuhimu kama ya elimu kwani yanachangia sana katikakuporomoka kwa elimu nchini. Aidha, ili kuondokana namaamuziyakisiasakwenyekupendekeza tena kwambaelimu,tunarudiaSerikali ianzishe chombocha udhibiti wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi (TanzaniaEducation and Training Regulatory Authority - TETRA)kitakachoweka viwango vya ubora wa elimu kwa mujibuwa mitaala iliyopitishwa na Serikali, kudhibiti utungaji,usahihishaji na upangaji wa matokeo ya mitihani, kudhibitigharama za elimu (ada na michango mingine) baina yashule na taasisi nyingine za elimu za uma na binafsi ili19

kuwa na mfumo mmoja wa elimu unaoeleweka kulikosasa ambapo kuna tofauti kubwa za kimfumo baina yashule na taasisi za elimu binafsi na zile za umma.Haiwezekani Wizara hii iwe ndio mtungaji ya sera ihishaji mitihani huku ikiwa pia mmiliki wa baadhi yashule. Haki itatoka wapi?!!7. UKIUKAJI WA KATAZO LA SERIKALI LA KUONGEZAADA KWA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI KWA MWAKAWA MASOMO 2016Mheshimiwa Spika; Pamoja na mkanganyiko uliopokuhusu ada elekezi na katazo la Serikali la kuongeza adakwa shule zisizo za Serikali kwa mwaka wa masomo 2016,zipo baadhi ya shule zisizo za Serikali zimeendelea

katika bajeti ya sekta ya elimu ya Mwaka wa Fedha 2016/2017 ili kutekeleza kwa ufanisi azma yake ya utoaji wa elimu bure, vinginevyo utakuwa ni usanii mtupu, na dhana ya elimu bure inaweza kuwa chanzo kingine cha anguko kuu la ubora

Related Documents:

Ingawa Sera ya Elimu ya Awali ipo, mafanikio ya sera hii ni madogo sana. Elimu ya Awali ilijumuishwa moja kwa moja katika elimu ya msingi (2014) lakini shule nyingi hazina madarasa mazuri ya elimu ya awali. Sekta ya shule za awali hazina walimu wenye st

Muhtasari wa ‘Ukaguzi wa Awali wa Uvumbuzi’ Zingatia: Mwaka jana takribani asilimia 55 ya maombi yalishindwa kufaulu Ukaguzi wa Awali wa Uvumbuzi. Dhumuni la Ukaguzi wa Awali wa Uvumbuzi ni kufanya uhakiki wa haraka wa maom

3.0 VIPAUMBELE VYA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI 10. Mheshimiwa Spika, Dira ya Maendeleo ya Taifa (2 025) imelenga kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Katika juhudi za kufikia lengo hili, Wizara ya E

10. Mheshimiwa Spika, Katiba yetu, chini ya Kifungu cha 9, imeweka bayana kuwa mamlaka ya kuendesha nchi ni ya wananchi wenyewe. Kwamba nguvu na uwezo wa Serikali kufuatana na Katiba unatoka kwa wananchi wenyewe. Ni dhahiri kuwa, pamoja na kutoa ridhaa yao kwa Chama na viongozi wa kuwaongoza, wananchi ndio

hizi, ulizingatia Mipango Mikuu ya Kitaifa ikiwemo Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015 - 2020, MKUZA, pamoja na Mpango Mkakati wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. 2.1 UPATIKANAJI WA FEDHA 15. Mheshimiwa Spika, mwaka wa fedhakwa 2017/2018, Ofisiya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ilitengewa jumla ya TZS .

Muhtasari wa Elimu ya Awali umeandaliwa ili kuwawezesha watoto kujenga umahiri uliokusudiwa. Muhtasari huu umeundwa na vipengele vitano ambavyo ni umahiri mkuu, umahiri mahususi, shughuli za kutendwa na mtot

4.3.1 Elimu ya malezi ya awali na makuzi (ECEC), utambuzi wa mapema na afua za mapema (EIEI) . ECC Mtaala wa Msingi Uliopanuliwa ECEC Elimu ya awali ya utotoni na Uangalizi . MUHTASARI Ripoti hii ya dunia juu ya elimu jumuishi ina

Thus it might seem that Scrum, the Agile process often used for software development, would not be appropriate for hardware development. However, most of the obvious differences between hardware and software development have to do with the nature and sequencing of deliverables, rather than unique attributes of the work that constrain the process. The research conducted for this paper indicates .