Shukrani Kwa Kushiriki Katika Sensa 2021.

2y ago
216 Views
2 Downloads
649.58 KB
16 Pages
Last View : 12d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Audrey Hope
Transcription

TBSWA2KiswahiliSwahiliSensa 2021: Mwongozo wa Kidadisi cha MakaziTunataka kukusaidia kadri inavyowezekana kushiriki katika Sensa ya 2021.Hiyo ndiyo sababu tumeunda Kijitabu hiki cha mwongozo ili kukusaidia kujazajarida lako la Kidadisi cha Makazi. Ni tafsiri ya maelekezo, maswali ya wanaoishinyumbani, maswali ya kibinafsi kwa Mtu 1 na maswali ya mgeni yanayopatikanakatika Kidadisi cha Makazi.Kama unahitaji, unaweza kutumia tafsiri ya Mtu wa 1 ili kukusaidia kujaza maswaliya mtu binafsi kwa Mtu wa 2 hadi Mtu wa 5 kwani ni marudio ya Mtu wa 1.Tafadhali usiandike majibu yako katika kijitabu hiki. Piga simu kwenye nambari0800 587 2021 ili kuomba Kidadisi cha Makazi kitumwe kwako kama badohujatumiwa.Inafaa kuandika majibu yako ya Kidadisi cha Makazi kwa Kiingereza au Kiwelshi.Kama unahitaji msaada zaidi, unaweza kupiga simu ili kuzungumza na mkalimani.Timu ya lugha itaweza kukusaidia kwa njia nyingine pia. Kwa mfano, ikiwa kunazaidi ya watu watano nyumbani kwako wataweza kukutumia fomu ya ziada.Shukrani kwa kushiriki katika Sensa 2021.TBSWA2i

Sensa 2021: Unavyohitaji kufahamuSensa ni nini na nani huiendesha?Sensa ni utafiti ambao hufanyika kila baada ya miaka 10 na hutupa uelewa wa watuwote majumbani Uingereza na Wales. Hii hutusaidia kupangilia na kulipia huduma zaumma katika eneo lako.The Office for National Statistics (Ofisi ya Mipango ya Takwimu za Taifa) (ONS) hupangana kuendesha sensa Uingereza na Wales, ikifanya kazi na mashirika mengine yatakwimu ili kuunda picha halisi ya Uingereza. Tunawajibika moja kwa moja bunge laUingereza lakini hatufanyi kazi na chama chochote cha kisiasa.Sensa Inanisaidiaje?Mashirika ya aina zote, kuanzia uongozi wa maeneo, mashirika ya kutoa misaada,hutumia taarifa za sensa ili kusaidia kutoa huduma zote tunazozihitaji, zikiwemo usafiri,elimu na afya.Kwa kushiriki, utasaidia kuhakikisha kwamba wewe na jamii yako mnapata hudumazinazotakiwa sasa na kwa wakati ujao.Ni lazima nijihusishe?Kisheria ni lazima ukamilishe sensa. Kama hutafanya hivyo, au utatoa taarifa za uongo,basi utaweza kutozwa faini isiyozidi 1000. Maswali mengine yameonyeshwa kuwa si yalazima - si ukiukwaji wa sheria kutoyajibu.Nitashiriki vipi?Tumia jarida hili kujaza Kidadisi cha Makazi. Tafadhali usiandike majibu yako katikakijitabu hiki. Halafu tutumie Kidadisi cha Makazi kwenye bahasha uliyopewa ambayoimeshalipiwa.Nifanye lini?Taarifa ambayo utatupa inahitaji kuhusu watu waliokuwa nyumbani kwako Siku yaSensa, hiyo ni Jumapili tarehe 21 Machi mwaka 2021. Tafadhali jibu kidadisi chako sikuhiyo au punde baadaye.Nimjumuishe nani kwenye kidadisi?Jibu maswali ya binafsi kwenye Kidadisi cha Makazi kwa: yeyote anayeishi na wewe muda wote au anayeitumia anwani yako kuwa nyumbayake ya familia watu walioondoka nyumbani kwa muda mfupi, kwa mfano wanafunzi au watotowaliokwenda shule ya kulala bwenini watu wanaoishi na wewe kwa muda mfupi ambao wanaishi Uingereza na hawanaanwani nyingine watu wanaoishi na wewe kwa muda mfupi wanaotoka nje ya Uingereza na watakaanchini kwa miezi mitatu au zaidiPia kuna sehemu tofauti ya kujaza taarifa za wageni - hao ni watu wowote ambaowatalala nyumbani kwako Siku ya Sensa - Jumapili tarehe 21 Machi 2021.Habari zangu zipo salama na siri?Tutaweka maelezo yoyote ya kibinafsi ambayo unatupa salama. Kwa taarifa kuhusu jinsitunavyofanya tafadhali tazama taarifa yetu ya faragha nyuma ya jarida hili. Ili kuonataarifa yetu kamili ya faragha, iliyoandikwa kwa Kiingereza, ingia kwenye census.gov.uk.ii

Kidadisi cha MakaziWelisiKamilisha kwa njia ya mtandaowww.census.gov.ukNambari yako ya msimbo wa kipekee yamakazi ni:AU jaza kidadisi hiki cha karatasi.FREEPOST (KUPOSTI BURE)Census 2021 (Sensa 2021)Kama anwani yako ina makosa au haipo, jazaanwani yako sahihi hapa chini:Tunahitaji msaada wako kuendesha sensa,ambayo hukusanya taarifa nyeti ili kusaidiakupangilia huduma kama usafiri, elimu na afya.Nyumba zote zikamilishe kidadisi cha sensatarehe 21 Machi 2021, au punde baadaye.Kama unapendelea, unaweza kujaza kidadisimtandaoni:1. Nenda www.census.gov.uk2. Weka nambari za msimbo wa kipekee zilizombele ya kidadisi hiki.3. Jibu maswali halafu chagua kutuma.PostcodeIlaniKidadisi hiki kimekamilishwa kwa uhakika na kwaujuzi wangu kamilifu.SainiTareheAsante kwa kushiriki.Profesa Bwana Ian DiamondKama umepoteza bahasha yako, tafadhalirudisha kidadisi chako kilichokamilika kwa:FREEPOST Census 2021Mtakwimu wa TaifaKisheria, ni lazima kushiriki kwenye sensa.Usipohusika ama ukitoa habari isiyo ya kweliunaweza kutozwa faini. Maswali mengineyameonyeshwa kuwa si ya lazima - si kosakutoyajibu.Habari zako za kibinafsi zimelindwa kwasheria.Soma zaidi kwenye kipeperushi kilichokuja nakidadisi hiki.Mahali unapoweza kupata msaada:www.census.gov.uk/helpKituo cha Mawasiliano 0800 169 2021NGT (18001) 0800 169 2021Nambari ya msaada wa lugha0800 587 2021H2Ukurasa wa 1

Kabla ya kuanzaNi jukumu la mwenye nyumba kuhakikisha kwamba kidadisi hiki kimekamilishwa na kurudishwa.Mwenye nyumba ni mtu ambaye anaishi, au aliyeko katika anwani hii ambaye: anamiliki / kodisha (au anamiliki / kodisha) makazi; na / au ana jukumu (au ana jukumu pamoja na mtu mwingine) la kulipa matumizi ya nyumba na gharama zingineNyumba ni: mtu mmoja anayeishi peke yake; au kundi la watu (sio lazima wawe wanahusiana) wanaoishi katika anwani sawa ambao wanatumia pamoja sehemuna vifaa vya kupika na ambao wanatumia pamoja sebule au sehemu ya mapumziko au sehemu ya maakuliJe ni nini ambacho ninatakiwa kukamilisha katika kidadisi hiki? Maswali ya makazi yaliyoko katika kurasa za 3 -6 kuhusu nyumba hii na makazi yake. Maswali ya kibinafsi katika kurasa za 7 -31 kwa kila mtu ambaye kwa kawaida huishi katika nyumba hii.Kila mtu ambaye amekuwa au anategemea kuwa, Uingereza kwa muda wa miezi 3 au zaidi anatakiwakuhusishwa katika maswali haya kwenye anwani yake ya kawaida ya Uingereza. Maswali ya wageni kwenye ukurasa wa nyuma (ukurasa wa 32) kwa watu wengine wote ambaowatakuwa wamelala katika nyumba hii tarehe 21 Machi 2021.Ni muhimu kuwahusisha wageni ambao wamelala katika nyumba hii ili kuhakikisha kwamba hakuna mtuatakayekosa kuwa hesabuni. Wageni ambao kwa kawaida wanaishi katika anwani nyingine hapa Uingerezapia ni lazima wahusishwe katika kidadisi cha sensa katika makao yao ya kawaida.Utapata habari zaidi kuhusu nani ahusishwe katika kidadisi hiki katika kipeperushikilichojumuishwa humu.Je nitahitaji vidadisi zaidi? Kama kuna watu zaidi ya 5 ambao wako katika nyumba hii, au kuna zaidi ya wageni 3 waliolala usiku,unaweza ukachaguwa kukamilisha kidadisi kamili kutumia njia ya mtandao, au ukajaza kidadisi hiki nakuwasiliana nasi ili kuomba Kidadisi kimoja au zaidi cha Kuendelea. Kama kuna mtu yeyote katika nyumba ambaye hataki kutoa taarifa zake kwa watu wengine katika nyumba,unaweza ukaomba Kidadisi cha Kibinafsi. Kumbuka kuwahusisha watu hawa katika maswali ya nyumba(H1 hadi H14) katika kidadisi hiki, lakini uwache wazi sehemu ya maswali ya kibinafsi (1 hadi 51). Kama kuna zaidi ya nyumba moja katika anwani hii, wasiliana nasi ili kuomba Kidadisi kimoja cha Nyumba au zaidi.Unaweza ukaomba vidadisi zaidi kupitia njia ya mtandao katika www.census.gov.uk au kwa kupiga simu0800 169 2021.Nijaze vipi kidadisi changu kwa usahihi?Inabidi: tumia wino wa rangi nyeusi au ya buluu kujibu tia alama kwenye majibu yako ndani ya kisanduku kama hivi: andika kwa herufi kuu ndani ya visanduku,herufi moja kwa kisanduku kimoja, kama hivi:DA F Y DD rekebisha makosa yoyote kwa kujaza kisanduku kama hivi: kama neno halitoshelezi endelea katika mstariunaofuata (kama inawezekana) kama hivi:au hivi:JOS N E SPADD I NGTON ST R E ET fuata maagizo NENDA KWA na uwache wazi kabisa maswali yoyote au kurasa ambazo huhitaji kujibu;alama zozote au mistari inaweza ikachukuliwa kimakosa kuwa majibuUkurasa wa 2

Maswali ya nyumbaH1 Je, kwa kawaida, nani huishi hapa? Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusika. Kwa ushauri zaidi kuhusu nani kumjumuisha, tazama kipeperushikilichojumuishwa humuMimi, hapa ni makazi yangu ya daima au ya familiaJamaa zako ikiwa ni pamoja na, washirika ambao hamjafunga ndoa, watoto, na watoto wachanga waliozaliwa kablaya tarehe 21 Machi 2021Wanafunzi na / au watoto wa shule ambao hawaishi nyumbani wakati wa muhulaMpangaji mwenzako, wapangaji au wakaziWatu ambao kwa kawaida huishi nje ya Uingereza lakini wanatarajia kukaa Uingereza kwa muda wa miezi 3 au zaidiWatu ambao wanafanya kazi mbali na nyumbani lakini katika Uingereza, au wanajeshi kama haya ni makazi yao yadaima au ya familiaWatu ambao wako nje ya Uingereza kwa muda mfupi ambao ni chini ya miezi 12Watu ambao wanaishi hapa kwa muda mfupi lakini ambao kwa kawaida wanaishi Uingereza lakini hawana anwaninyingine ya Uingereza, kwa mfano jamaa, marafikiWatu wengine ambao kwa kawaida huishi hapa, ikiwa ni pamoja na mtu yeyote asiyekuwepo nyumbani kwa muda mfupiAU hakuna mtu anayeishi hapa kwa kawaida, kwa mfano, hii ni anwani ya pili au nyumba ya likizo NENDA KWA H4H2 Ukihesabu kila mtu ambaye umemhusisha katika swali H1, kwa kawaida, ni watu wangapi huishi hapa?H3 Ukianza na wewe mwenyewe, orodhesha majina ya kila mtu ambaye amehesabiwa katika swali la H2ukijumuisha watoto, watoto wachanga na wakazi.Kama kuna mtu katika nyumba hii ambaye ameomba Kidadisi cha Kibinafsi, weka alama ya tiki katikakisanduku kilicho kando ya jina lake na uwache wazi maswali ya kibinafsi kuanzia 1 hadi 51 kwa mtu huyoWewe(Mtu 1)Jina la kwanzaJe Kidadisicha Kibinafsikimeombwa?Jina la mwishoMtu 2Mtu 3Mtu 4Mtu 5Kama kuna zaidi ya watu 5, kamilisha kidadisi hiki chote kupitia njia ya mtandao au wasiliana nasi ili upate Kidadisi cha Kuendelea.H4 Isipokuwa watu wote waliohesabiwa katika swali la H2, ni nani mwingine atalala hapa usiku wa tarehe21 Machi 2021? Watu hawa wanahesabiwa kama wageni. Kumbuka kujumuisha watoto na watoto wachanga.Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusikaWatu ambao kwa kawaida huishi mahala pengine hapa Uingereza, kwa mfano, wachumba, marafiki, jamaaWatu ambao wanaishi hapa kwa sababu hii ni anwani yao ya pili, kwa mfano, kwa sababu ya kazi. Makao yao ya kudumuau ya familia yako pahala pengineWatu ambao kwa kawaida huishi nje ya Uingereza lakini ambao wanakaa Uingereza kwa muda wa chini ya miezi 3Watu ambao wako likizoniAU hakuna wageni ambao wanalala hapa mnamo tarehe 21 Machi 2021 NENDA KWA H6tu watu ambao umewahusisha katika swali la H4, ni wageni wangapi wanalala hapa usiku waH5 Ukihesabu21 Machi 2021?Kumbuka kujibu maswali yanayohusu Wageni hawa yaliyoko katika ukurasa wa nyuma (ukurasa wa 32)Kama kwa kawaida hakuna mtu anayeishi hapa (kuna wageni tu wanaokaa hapa) NENDA KWA H7Ukurasa wa 3

Maswali ya nyumba - kuendeleakatika nyumba hii wanahusiana vipi? Kama hakuna wanaohusiana, weka alama ya tiki katikaH6 Watukisanduku cha ‘hukuna uhusiano’.Ukitumia mpangilio uliotumia katika swali H3 (ukurasa wa 3), andika juu ya safu, jina la kila mtu ambaye kwa kawaidaanaishi hapa. Kumbuka kuwahusisha watoto, watoto wachanga na watu ambao wameomba Kidadisi cha KibinafsiWeka alama ya tiki kwenye kisanduku ili kuonyesha uhusiano wa kila mtu dhidi ya watu wengine katika nyumba hiiKama hakuna mtu anayeishi hapa kwa kawaida na hakuna wageni ambao wanalala hapa mnamo tarehe21 Machi 2021 NENDA KWA H7Mfano:Hapa inaonyeshwa jinsiambavyo nyumba iliyo nawazazi 2 na watoto 3wanavyohusianaJina la Mtu 1Jina la Mtu 2Jina la kwanzaJina la kwanzaJina la mwishoJina la mwishoMAIRROBERTJONESJONESJinsi Mtu 2anavyohusiana na mtu:USIANDIKE katikasehemu hiiMme au mkeMwenzio kwenyeuhusiano uliosajiliwaMwenzioToa maelezo yawanafamilia nyumbanikatika sehemu hapaCHINIMwana wa kiume au kikeMtoto wa kamboKaka au dada (ikiwa nipamoja na kaka kwa baba/mama mmoja au dadakwa baba/mama mmoja)Jina la Mtu 1Jina la Mtu 2Jina la Mtu 3Jina la kwanzaJina la kwanzaJina la kwanzaJina la mwishoJina la mwishoJina la mwishoJinsi Mtu 2anavyohusiana na mtu:Jinsi Mtu 3anavyohusiana na mtu:ANDIKA JINA LAMTU 1 HAPA KAMA VILEKATIKA SWALI LA H3KAMA UNAISHI PEKEYAKO NENDA KWA H7Ukurasa wa 411Mme au mkeMme au mkeMwenzio kwenye uhusianouliosajiliwaMwenzio kwenye uhusianouliosajiliwaMwenzioMwenzioMwana wa kiume au kikeMwana wa kiume au kikeMtoto wa kamboMtoto wa kamboKaka au dada (ikiwa ni pamojana kaka wa kambo au dada wakambo)Kaka wa kambo au dada wakamboKaka au dada (ikiwa ni pamojana kaka wa kambo au dada wakambo)Kaka wa kambo au dada wakamboMama au babaMama au babaMama wa kambo au baba wakamboMama wa kambo au baba wakamboMjukuuMjukuuBabu au bibiBabu au bibiJamaa - mwingineJamaa - mwingineHakuna uhusiano (ikihusishawatoto unaowalea)Hakuna uhusiano (ikihusishawatoto unaowalea)1 2

Mtu 5 (Wil) ni mwana wa kiume wa Mtu 1(Mair) na Mtu 2 (Robert), na ni kaka waMtu 3 (Martha) na Mtu 4 (Dylan).Jina la Mtu 3Jina la Mtu 4Jina la Mtu 5Jina la kwanzaJina la kwanzaJina la kwanzaJina la mwishoJina la mwishoJina la mwishoDYLANMARTHAJONESJinsi Mtu 3anavyohusiana na mtu:WILJONES1 2Jinsi Mtu 4anavyohusiana na mtu:JONES1 2 3Jinsi Mtu 5anavyohusiana na mtu:Mme au mkeMwenzio kwenyeuhusiano uliosajiliwaMwenzioMme au mkeMwenzio kwenyeuhusiano uliosajiliwaMwenzioMme au mkeMwenzio kwenyeuhusiano uliosajiliwaMwenzioMwana wa kiume au kikeMwana wa kiume au kikeMwana wa kiume au kikeMtoto wa kamboKaka au dada (ikiwa nipamoja na kaka kwa baba/mama mmoja au dadakwa baba/mama mmoja)Mtoto wa kamboKaka au dada (ikiwa nipamoja na kaka kwa baba/mama mmoja au dadakwa baba/mama mmoja)Mtoto wa kamboKaka au dada (ikiwa nipamoja na kaka kwa baba/mama mmoja au dadakwa baba/mama mmoja)Jina la Mtu 4Jina la Mtu 5Jina la kwanzaJina la kwanzaJina la mwishoJina la mwishoJinsi Mtu 4anavyohusiana na mtu:Jinsi Mtu 5anavyohusiana na mtu:1 2 3Mme au mkeMme au mkeMwenzio kwenye uhusianouliosajiliwaMwenzio kwenye uhusianouliosajiliwaMwenzioMwenzioMwana wa kiume au kikeMwana wa kiume au kikeMtoto wa kamboMtoto wa kamboKaka au dada (ikiwa ni pamojana kaka wa kambo au dada wakambo)Kaka wa kambo au dada wakamboKaka au dada (ikiwa ni pamojana kaka wa kambo au dada wakambo)Kaka wa kambo au dada wakamboMama au babaMama au babaMama wa kambo au baba wakamboMama wa kambo au baba wakamboMjukuuMjukuuBabu au bibiBabu au bibiJamaa - mwingineJamaa - mwingineHakuna uhusiano (ikihusishawatoto unaowalea)Hakuna uhusiano (ikihusishawatoto unaowalea)1 2 3 4 Kama kuna watu zaidiya 5, wasiliana nasi iliuombe Kidadisi chaKuendelea1 2 3 4Ukurasa wa 5

Maswali ya nyumba - kuendeleaH7 Je haya ni makazi ya aina gani?Nyumba nzima au nyumba isiyo ya ghorofa ambayo:iliyojitenga pekeeiliyoungana na nyingine kwa upande mmojailiyo katika mstari (pamoja na ya mwisho)Fleti, nyumba iliyo na ngazi ndani au nyumba iliyo naghorofa ambayo:ipo katika fleti za maghorofa au za vyumba vya ziadani sehemu ya nyumba iliyobadilishwa au ya wapangajiwengi (ikiwa ni pamoja na chumba-sebule) sehemu ya jumba lililobadilishwa (kwa mfano,iliyokuwa shule, kanisa au ghala) katika jumba ya kibiashara (kwa mfano, katika jumbala maofisi, hoteli, au juu ya duka)Nyumba yenye matairi au ya muda:gari linalotumiwa kama nyumba au nyumba yenyematairi au ya mudaH8 Je vyumba vyote katika makazi haya, ikiwa nipamoja na jiko, bafu na choo viko ndani ambapowatu wanaotumia mlango wa nyumba hii tuwanaweza kutumia?NdiyoHapana, chumba kimoja au zaidi hutumiwa pia nawenye makazi menginevingapi vinaweza kutumika na nyumbaH9 Vyumbahii tu?Jumuisha vyumba vyote ambavyo vimejengwa aukutengenezwa ili vitumiwe kama vyumba vya kulalaNamba ya vyumba vya kulalaH10 Je nyumba hii ina aina gani ya kipasha joto? Weka alama kwa yote yanayohusika, kama unatumiaau hautumiiKipasha joto ni mtambo ambao unapasha joto vyumbavingi kwa wakati mmojaHakuna kipasha jotoGesi kubwaGesi kwenye chupaH11 Kama mtu mmoja au zaidi huishi hapa NENDA KWA H12AU kama kwa kawaida hakuna mtu anayeishihapa (kuna wageni tu wanaokaa hapa) NENDA KWA ukurasa wa 32AU kama hakuna mtu anayeishi hapa kwakawaida na hakuna wageni ambao wanalalahapa mnamo tarehe 21 Machi 2021 NENDA KWA Ilani katika ukurasa wa mbelemnaoishi katika nyumba hii ni yenu wenyeweH12 Jeau mnapangisha?Weka alama katika kisanduku kimoja tuNi yako kamili NENDA KWA H14Ni yako kwa njia ya mkopo NENDA KWA H14Nusu yako na nusu unakodi (mwenye nusu ya nyumba)Ninapanga (kwa kupata au kutopata msaada wa serikali)Ninaishi hapa bila kulipa kodiH13 Je mwenye nyumba ni nani?Weka alama katika kisanduku kimoja tuChama cha makazi, chama cha ushirika wakupangisha nyumba, msaada wa wadhamini,mpangishaji wa jamii aliyesajiliwaBaraza au baraza la mitaaMpangishaji wa kibinafsi au kampuni ya upangajiMwajiri wa mtu aliye kwenye nyumba hiyoJamaa au rafiki wa mtu aliye kwenye nyumba hiyoMwingineH14 Kwa ujumla, kuna magari au magari ya mizigomangapi, ambayo ni mali au hutumiwa nawashiriki wa nyumba hii?Husisha magari au magari ya mizigo ya kampuniambayo yanatumiwa kwa matumizi ya kibinafsiUmeme (ikihusisha vipasha joto vilivyowekwa)MafutaMbao (kwa mfano, kuni, mbao mbovu au vipandevya mbao)Mafuta makavu (kwa mfano makaa)Nishati mbadala (kwa mfano, nishati ya jua au pampu)Mtandao wa kipasha joto cha wilaya au jumuiyaNyingineUkurasa wa 6Hakuna12345 au zaidi, andika kwa nambari

Maswali ya kibinafsi - Mtu wa 1 anza hapaP Ukifikiria watu walioorodheshwa kwenye swali H3,wewe ni Mtu 1?6 Je unaishi katika anwani nyingine kwa zaidi ya siku30 kwa mwaka?Siku hizo zinaweza kufuatana au kuwa tofautiNdiyo NENDA KWA 8HapanaHapana - weka maelezo kwa Mtu 1 katika sehemu hiiNdiyo, andika anwani hiyo nyingine ya Uingerezahapa chini1 Je jina lako nani? (Mtu 1 kutoka swali H3)Jina la kwanza(Ma)jina ya katiPostcodeJina la mwishoAU Ndiyo, nje ya Uingereza, andika nchi2 Je tarehe yako ya kuzaliwa ni ipi?SikuMwezi7 Je anwani hiyo ni ipi?MwakaAnwani ya kambi la jeshi3 Je wewe ni wa jinsia gani?Anwani nyingine wakati unafanya kazi mbalina nyumbaniSwali kuhusu utambulisho wako wa kijinsia litafuatakama una umri wa miaka 16 au zaidiAnwani ya nyumbani ya mwanafunziAnwani ya mwanafunzi wakati wa muhula4KikeAnwani nyingine ya mzazi au mleziKiumeAnwani ya mwenzakoNyumba ya likizoMnamo tarehe 21 Machi 2021, nini uhusianowako wa ndoa au uhusiano na mwenzio ambayemmejisajili?Hujawahi kuoa / kuolewa nahujawahi kujiandikisha kuwakatika uhusiano wa jinsia mojaNyingine8 Je wewe ni mtoto wa shule au mwanafunzi aliyekatika shule wakati wote? NENDA KWA 6Umeoa /umeolewaNdiyoHapana NENDA KWA 109 Je wakati wa muhula, unaishi wapi kwa kawaida?Kwenye uhusiano uliosajiliwaKatika anwani iliyo mbele ya kidadisi hikiUmetengana lakini bado umeolewa kisheriaKatika anwani iliyo katika swali 6Umetengana lakini bado upo katika uhusiano uliosajiliwaKatika anwani nyingineUmepata talakaUlikuwa katika uhusiano uliosajiliwa lakini sasaumefutwa kisheriaMjaneNi wewe pekee uliye hai katika uhusiano uliosajiliwa5 Nani ni (alikuwa) mwanandoa mwenzako kisheriaau uliyejisajili naye kwenye uhusiano?Mtu mwenye jinsia tofauti na mimi10 NENDA KWA 51 NENDA KWA 51Je nchi yako ya kuzaliwa ni ipi?Welisi NENDA KWA 13UingerezaUskoti NENDA KWA 13 NENDA KWA 13Kaskazini mwa Ayalandi NENDA KWA 13Jamuhuri ya AyalandiMahala pengine, andika jina la sasa la nchi hiyoMtu mwenye jinsia sawa na mimiUkurasa wa 7

Maswali ya kibinafsi - Mtu 1 inaendelea11 Kama hukuzaliwa Uingereza, ulifika lini mara yamwisho ili kuanza kuishi hapa?Usihesabu ziara fupi mbali na UingerezaMweziMwaka15 Je asili yako ni ipi?Chagua moja kati ya sehemu A hadi E, halafu wekatiki katika kisanduku kimoja ambacho kinaelezavizuri asili yako au ulikotokaA MzunguKama ulifika kablaya 21 Machi 2020 NENDA KWA 13Kama ulifika mnamo aubaada ya 21 Machi 2020 NENDA KWA 12wakati ambao tayari umekaa hapa, je12 Ukijumuishaunanuia kukaa Uingereza kwa muda gani?Mwelisi, Mwingereza, Mskochi, Raia wa kaskazinimwa Ayalandi au raia wa UingerezaMwayalandiMjipsi au Mwenye asili ya wasafiri wa AyalandiMromaAsili nyingine ya Kizungu, jaza kwa kuandikaChini ya miezi 12Miezi 12 au zaidiB Asili iliyochanganya / Asili zaidi ya mojamwaka mmoja uliopita, anwani yako ya kawaida13 Jeilikuwa ipi?Kama hukuwa na anwani mwaka mmoja uliopita,andika anwani uliyokuwa unaishiAnwani iliyo mbele ya kidadisi hikiMzungu na Mtu wa visiwa vya karibiana MweusiMzungu na Mwafrika MweusiMzungu na MwasiaAsili nyingine iliyochanganya au Asili zaidi ya moja,jaza kwa kuandikaAnwani ya muhula wa shule au anwani ya bwenila shule Uingereza, jaza kwa kuandika anwani yamuhula wa shuleAnwani nyingine Uingereza, iandike hapa chiniC Mwasia Mwasia Mwelshi au Mwasia naAsili nyingine ya kiasia, jaza kwa kuandikaAU Ndiyo, nje ya Uingereza, andika nchiD Mweusi, Mwelisi Mweusi, Mwingereza Mweusi,Mkaribiana au Mwafrika14 Je unaweza ukaielezea vipi asili yako ya uraia?Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusikaMwelisiMkaribianaAsili ya Kiafrika, jaza kwa kuandikaAsili nyengine Nyeusi, Mwingereza Mweusi au Mtuwa visiwa vya Karibiana jaza kwa kuandikaMwingerezaMskotiRaia wa kaskazini mwa AyalandiRaia wa UingerezaIngine, jaza kwa kuandikaUkurasa wa 8E Asili nyingineMwarabuAsili nyingine yoyote, jaza kwa kuandika

Maswali ya kibinafsi - Mtu 1 inaendelea16 Je dini yako ni ipi?athari zozote za afya ya kimwili au kiakili hali22 Unaau magonjwa ya kudumu au yanayotegemewaSwali hili ni la hiarikudumu miezi 12 au zaidi?Sina diniNdiyoMkristu (madhehebu yote)HapanaMbuda NENDA KWA 2423 Je hali yoyote uliyonayo au ugonjwa unapunguzaMhinduuwezo wako wa kufanya shughuli zako za kila siku?MyahudiMwislamuNdiyo, sanaSingasingaNdiyo, kidogoDini nyingine yoyote, jaza kwa kuandikaHapana kabisaunamwangalia, au unatoa msaada kwa yeyote24 Jekwa sababu wana hali au ugonjwa wa mwili auunaweza kuelewa, kuongea, kusoma au17 Jekuandika kiwelshi?Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusikakiakili au matatizo yanayohusiana na uzee?Usijumuishe chochote ambacho unafanya kama ajiraya malipoHapanaUnaelewa kiwelshiNdiyo, masaa 9 au pungufu kwa wikiUnaweza kuzungumza kiwelshiUnaweza kusoma kiwelshiNdiyo, masaa 10 - 19 kwa wikiUnaweza kuandika kiwelshiNdiyo, masaa 20 - 34 kwa wikiAU hakuna iliyotajwa hapo juuNdiyo, masaa 35 - 49 kwa wiki18 Je lugha yako ni ipi?Ndiyo, masaa 50 au zaidi kwa wikiKiingereza au Kiwelishi NENDA KWA 20Nyingine, iandike (ikiwa ni pamoja na lugha ya ishara)19 Je unaweza kuzungumuza kiingereza kwa kiasi gani?Vizuri sanaVizuriSi vizuriHapana kabisauna umri wa25 Kamamiaka 16 au zaidi NENDA KWA 26Kama una umri wa 15 au chini NENDA KWA 5126 Ipi kati ya zifuatazo inaelezea vyema mwelekeowako wa kijinsia?Swali hili ni la hiariUnavutiwa na wenye jinsia tofauti na yakoUshoga20 Je una pasipoti gani?Unavutiwa na wenye jinsia kama yako pia tofauti nayakoWeka alama ya tiki kwa yote yanayohusikaMwelekeo mwengine wa kijinsia, jaza kwa kuandikaUingerezaAyalendi27 Je mwelekeo wa kijinsia unaojitambulishia ndio uleIngine, jaza kwa kuandikaule ulioandikishwa ulipozaliwa?Swali hili ni la hiariAU hunaNdiyo21 Je afya yako kwa ujumla iko vipi?Njema sanaNjemaSi mbayaMbayaHapana, andika utambulisho wa kijinsiaMbaya sanaUkurasa wa 9

Maswali ya kibinafsi - Mtu 1 inaendelea28 Maswali yafuatayo ni kuhusu ujuzi wako.Rekodi ujuzi wowote ambao umefanikiwa kuwa naoWales, Uingereza au dunia nzima, ikiwa ni pamoja naule wa kulingana, hata kama hautumii hivi sasa29 Umemaliza mafunzo ya kazi?Kwa mfano, kazi za mikono, za juu, za msingiNdiyoHapana30 Umetimiza kiwango cha elimu cha shahada au zaidi?Kwa mfano, shahada, shahada ya msingi, HND auHNC, NVQ level 4 na zaidi, ualimu au uuguziNdiyoHapana31 Unao ujuzi mwingine wowote?Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusikaGCSE au inayolingana nayoGCSE 5 au zaidi (alama A*–C, 9–4), O level (kufaulu) auCSE (kiwango 1) au Intermediate Welsh BaccalaureateGCSE nyingine yoyote, O level au CSE (kiwangochochote) au kozi ya Basic Skills au Foundation WelshBaccalaureateAS, A level au inayolingana nayoMasomo ya A level 2 au zaidi, masomo ya AS level 4au zaidi au Advanced Welsh BaccalaureateSomo la A level 1, masomo ya AS level 2-3Somo la AS level 1NVQ au inayolingana nayoNVQ level 3, BTEC National, OND au ONC, City andGuilds Advanced CraftNVQ level 2, BTEC General, City and Guilds CraftNVQ level 1AU nyingine au huna ujuziUjuzi mwingine wowote, unaolingana usiojulikanaHuna ujuzisiku saba zilizopita, ulifanya lolote kati ya33 Katikayafuatayo?Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusikaUkijumuisha kazi yoyote ya kulipwa papo hapo au yamuda, hata kama kwa saa moja tuKufanya kazi kama mwajiriwa NENDA KWA 39Kufanya kazi kwa kujkiajiri aukwa uhuru wako mwenyewe NENDA KWA 39Kutokuwepo kazini kwa sababuya ugonjwa, kuwa likizo aukutolewa kazini kwa muda NENDA KWA 39Kuwa kwenye likizo yauzazi au ya kuwa baba mzazi NENDA KWA 39Kufanya kazinyingine yoyote inayolipa NENDA KWA 39AU hakuna iliyotajwa hapo juukati ya hizi inaelezea ulichokuwa ukifanya34 Ipikatika siku saba zilizopita?Weka alama ya tiki kwa yote yanayohusikaUmestaafu (kama unapokea pensheni au la)UnasomaUnatunza nyumba au familiaUlikuwa mgonjwa kwa muda mrefu au mlemavuNyinginemuda wa wiki nne zilizopita, ulishugulika35 Katikakutafuta kazi yoyote inayolipa?NdiyoHapanakuna kazi ambayo inapatikana sasa, ungeweza36 Kamakuanza kazi hiyo katika muda wa wiki mbili?NdiyoHapanasiku saba zilizopita, umekuwa ukisubiri37 Katikakuanza kazi ambayo tayari umeshaikubali?NdiyoHapana38 Je umeshawahi kufanya kazi ya malipo?hapo awali kufanya kazi katika jeshi la32 UmewahiUingereza?Ndiyo, katika miezi 12 iliyopita Hivi sasa ninafanya kazi jeshini weka tiki kwenye"hapana"Hapana, sijawahi kufanya kaziNdiyo, hapo awali nilifanya kazi ya Kawaida JeshiniNdiyo, hapo awali nilifanya kazi ya Mwanajeshi AkibaJeshiniAU hapanaUkurasa wa 10Ndiyo, lakini si katika miezi 12 iliyopita NENDA KWA 5139 Jibu maswali yaliyobakia kuhusu kazi yako yakawaida au kama hufanyi kazi, kazi yako yakawaida ya mwisho.Kazi yako ya kawaida ni kazi ambayo, kwa kawaidaunaifanya (uliyoifanya) kwa masaa mengi zaidi

Maswali ya kibinafsi - Mtu 1 inaendeleakazi yako ya kawaida, nini ni (kilikuwa)40 Katikacheo chako?MwajiriwaUnajiajiri au unafanya kazi kwa uhuru bila waajiriwaUnajiajiri na waajiriwani (lilikuwa) jina la shirika au biashara41 Lipiunayoifanyia (uliyoifanyia) kazi?Kama umejiajiri (ulijiajiri) katika biashara yakomwenyewe, andika jina la biashara yako46 Kama ulikiwa na kazi wiki iliyopita NENDA KWA 47Kama kwa muda mfupihukuwa kazini wiki iliyopita NENDA KWA 47Kama hukuwa na kazi wiki iliyopita NENDA KWA 5147 Katika kazi yako ya kawaida, unafanya kazi masaamangapi kwa wiki wewe hufanya kazi?Jumlisha malipo ya kufanya kazi za ziada0 hadi 1516 hadi 3031 hadi 4849 au zaidikwa kawaida unaenda kazini kwa kutumia48 Jeusafiri gani?AU hakuna shirika au ninafanya (nilifanya) kazi kwamtu binafsi42 Je cheo chako kamili ni (kilikuwa) kipi?Kwa mfano, msaidizi dukani (RETAIL ASSISTANT),msafishaji ofisi (OFFICE CLEANER), muuguzi wa wilaya(DISTRICT NURSE), mwalimu wa shule ya msingi (PRIMARYSCHOOL TEACHER)Usitaje mshahara au gredi ya malipo43 Kwa ufupi eleza ni nini unafanya (ulikuwaunafanya) katika kazi yako ya kawaida.Weka alama ya tiki kwenye kisanduku cha usafiriunamokuwa muda mrefu zaidi kwa umbali, kwasafari yako ya kwenda kaziniUnafanya kazi zaidi kutokea au ukiwa nyumbaniReli ya chini ya ardhi, metro, treni za umeme, tramuGari la moshiBasi, basi dogo, au basi kubwaTeksiPikipiki, skuta au batafuziKuendesha gari au gari la mizigoAbiria katika gari au gari la mizigoBaisikeliKwa miguuMwingine49 Kwa kawaida unafanya kazi wapi?Katika sehemu ya kazi au huripoti kwenye kituo cha kaziKutokea au ukiwa nyumbani44 Nini ni (ilikuwa) shughuli kuu ya shirika, biashara aukazi yenye uhuru wa kujiajiri?Kwa mfano Muuza nguo (CLOTHING RETAIL), Mfanyakaziwa hospitalini (GENERAL HOSPITAL), Elimu ya msingi (PRIMARYEDUCATION), Chakula kwa jumla (FOOD WHOLESALE) Kama wewe ni (ulikuwa) mfanyakazi wa serikali,andika CIVIL SERVICEKama wewe ni (ulikuwa) afisa wa serikali ya wilaya,andika LOCAL GOVERNMENT na uweke jina la idara yakokatika serikali ya wilaya NENDA KWA 51 NENDA KWA 51Hakuna mahala maalum NENDA KWA 51Katika ujenzi pwani50 Nini anwani ya mahala unapofanyia kazi au kituo chakazi?Postcode51 Hakuna maswali mengine kwa Mtu 1.unasimamia (ulisimamia) au kukagua kazi ya45 Jewaajiriwa wengine kila siku?NdiyoHapana NENDA KWA maswali kwa Mtu 2AU kama hakuna watu wengine katika nyumba hii NENDA KWA kuna Maswali ya wageni ukurasa wanyumaAU kama hakuna wageni wanaolala hapa usiku NENDA KWA kuna Ilani ukurasa wa mbeleUkurasa wa 11

Maswali ya wageniV Je umejumuisha wageni wangapi katika swali H5?Mgeni mmoja hadi wageni watatu - jibu maswali V1 hadi V4 hapa chini kwa kila mgeniWageni wanne au zaidi - jibu maswali V1 hadi V4 hapa chini kwa wageni watatu wa mwanzo, halafu nenda katikawww.census.gov.uk au upige simu 0800 169 2021 ili uombe Kidadisi cha KuendeleaMgeni AV1 Je jina la mtu huyu ni lipi?Jina la kwanzaV4 Je anwani ya kawaida ya mtu huyu katika Uingerezani ipi?Jina la mwishoV2 Je tarehe ya kuzaliwa ya mtu huyu ni ipi?SikuMweziMwakaV3 Je jinsia ya mtu huyu ni ipi?KikePostcodeAU nje ya Uingereza, andika nchiKiumeMgeni BV1 Je jina la mtu huyu ni lipi?Jina la kwanzaV4 Je anwani ya kawaida ya mtu huyu katika Uingerezani ipi?Anwani sawa na ya Mgeni AJina la mwishoV2 Je tarehe ya kuzaliwa ya mtu huyu ni ipi?SikuMweziMwakaV3 Je jinsia ya mtu huyu ni ipi?KikePostcodeAU nje ya Uingereza, andika nchiKiumeMgeni CV1 Je jina la mtu huyu ni lipi?Jina la kwanzaV4 Je anwani ya kawaida ya mtu huyu katika Uingerezani ipi?Anwani sawa na ya Mgeni AJina la mwishoV2 Je tarehe ya kuzaliwa ya mtu huyu ni ipi?SikuMweziMwakaV3 Je jinsia ya mtu huyu ni ipi?KikePostcodeAU nje ya Uingereza, andika nchiKiumeSasa NENDA KWA Ilani ukurasa wa mbeleUkurasa wa 12 (Ukurasa wa 32 kwenye kidadisi)

Sensa 2021: Kutumia taarifa zako huku faragha yako ikilindwaSisi (ONS) tutakusanya data kutoka kwenye kidadisi chako ili kutusaidia kujenga pichakamili ya jamii yetu. Takwimu tunazozitoa kutoka kwenye sensa Uingereza na Waleshusaidia serikali na serikali za wilaya kupanga na kufadhili huduma za kawaida, kamavile elimu, ofisi za daktari na barabara. Sheria (Sheria ya Sensa ya 1920) inaturuhusukufanya hivyo. Sensa ni lazima na ni uhalifu kutoto

Maswali ya wageni kwenye ukurasa wa nyuma (ukurasa wa 32) kwa watu wengine wote ambao watakuwa wamelala katika nyumba hii tarehe 21 Machi 2021. Ni muhimu kuwahusisha wageni ambao wamelala katika nyumba hii ili kuhakikisha kwamba hakuna mtu atakayekosa kuwa hesabuni. Wageni ambao kwa

Related Documents:

kundi ,fanya jukumu la maana katika masomo yote.Umahiri wa maelezo maalum na wa baina ya mitaala yameshikanishwa pamoja katika muktadha wa maelezo. . baina ya mitaala katika muda wa mwaka wa shule. Kwa kufanya hivo wanaangazia kusoma kwao . na wanachukua jukumu la mchakato wao wa kimasomo. Tathmini ya kibinafsi hufanywa katika

Yesu aliwaacha waamini na utume mkuu wa kuufikia ulimwengu kwa Injili ya Ufalme. Kazi hii haitakamilishwa kwa maneno pekee. Kama katika kanisa la kwanza, lazima pia kuwe na . Hizi zote ni nguvu kubwa zinazofanya kazi katika ulimwengu wetu wa leo. Lakini mwito kutoka kwa Yesu sio kwa mamlaka ya kidunia. Ni kwa nguvu za kiroho. Ni nguvu ambayo .

Data zilirekodiwa katika kinasa sauti na kunukuliwa kwa maandishi. . Tofauti za Matumizi ya Lugha katika Miktadha Mbalimbali ya Mazungumzo 13 sehemu ya pili inahusu tofauti ya matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali. Sehemu ya tatu inafafanua mkabala wa kinadharia uliotumika katika uch

maswali yeye aliuliza ilikuwa, 'Biblia ina hadithi kuhusu mtu ambaye alimezwa na samaki mkubwa. Alikuwa nani? Asilimia themanini ya watu katika kundi hilo, kwa ushujaa wakasema, 'Pinocchio!' Marla aliniambia tukiwa bado katika ibaada kwamba swali hilo bado liliulizwa katika kanisa ambako alihundumu katika Kusini mwa California na

Aya ya 15 kulingana na imani yetu katika Bwana Yesu na upendo kwa watakatifu wote; Aya ya 16 pamoja na shukrani tunatakikana kuwaombea watakatifu kwa majina! Aya ya 17 Paulo anamuomba Baba wa utukufu, Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, atupatie Roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye [Kristo], Aya ya 18 na macho ya mioyo yetu yatiwe nuru: i.

2.0 Dhuluma dhidi ya Wanawake katika Fasihi Kama inavyodhihirika katika kazi za fasihi, wanawake wanapitia aina tofauti za dhuluma katika jamii wanamoishi. Wasomi na wahakiki wa kazi za fasihi wameshughulikia suala la dhuluma kwa wanawake na athari zake kwa muda mrefu bila kutoa suluhu.

"Kutathimini Mbinu za Ufutuhi Katika Kuelimisha Jamii Kuhusu Janga la Ukimwi, katika tamthiliya ya Embe Dodo ushuhuda wa mifupa nimeridhika kwamba imefikia kiwango kinachotakiwa na inafaa kuwasilishwa kwa ajili ya Utahini wa Shahada ya Uzamili ya Fasihi kwa Kiswahili ya Chuo Kikuu Huria cha . 4.2.2 Mbinu za Ufutuhi katika Ushuda wa Mifupa .

Best of the Best ELA Websites for Elementary Grades Special Thanks to Beth Dennis for sharing these websites Note: This document is saved in the District Share folder, under Library Media Centers. General ELA: ABCya! Arranged by grade level, this site contains a great set of computer based activities for grades K-5th. K & 1st grade have oral direction options. Holiday-oriented choices are .