MWONGOZO WA CHOZI LA HERI.

1y ago
2.8K Views
420 Downloads
926.93 KB
85 Pages
Last View : 1d ago
Last Download : 28d ago
Upload by : Ryan Jay
Transcription

wa kuyajibu maswali atakayo ulizwa na mtahinikatika mitihani ya karatasi ya 3 tatuMWONGOZO WA CHOZILA HERI.ShukraniMwandishi1. NAMNA YA KUUTUMIA MWONGOZO HUUMwongozo huu unanuiwa kumwonqozamwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja no kuelewauliopo kwenye Riwaya. Hata hivyo ni muhirnumwanafuzi aisome Riwaya kwanza kabla yakuutumia mwongozo huu.Assumpta K.Matei ni mwandishi wa kike. Ni mtafitina mwalimu mwenye tajriba pana katika ufundishajiwa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili navyuo vikuu. Kati ya taasisi alizowahi kufundisha niKenya High School naPia ni vizuri mwanafunzi kuisoma na kuielewaRiwaya hata kama ni mara tatu, kabla ya kuujjbumtihani wake mwisho wa Sekondari(KCSE).Mwongozo huu ni maoni ya waandishi kulingana najinsi walivyoifiki Riwaya hii, wenyewe. Mwanafunzianahimizwa kuzua maoni ziada kuhusu masualawaliyozungumzia waandishi huku jaribu kuyaoanishana hali halisi katika eneo alirnotok, :,nchini, barani aukwingineko ulimwenguni ambapo maudhwyanayojadiliwa yanajitokeza. Kuna maelezo kuhusuuliotumika kwenye jalada, Ufaafu wa anwani,rnuhtasari wa sura(msukomtiririko) ,dhamira yamwandishi, maudhui, sifa za wahusika, fani naMaswali ya marudio. Haya yote yanalengakumhamasisha mwanafunzi kuielewa vyema PiwayaCUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali yaukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi sasani afisa katikaChozi la Heri. Ni muhimu kwa mwanafunzi kuelewarntlririko wa Riwaya kwa undani ili kuweza kuelewaujumbe wa mwandishi na mbinu anazotumiakuubainisha ujumbe huo. Fahamu kuwa iwapomwanafunzi atauelewa mtiririko wa kazi hus kahatatatizika wakati wa kuyajibu maswali,akakanganva matukio au 'kubuni' matukio ambayohayamo Riwayant.Katika sehemu ya mwisho, waandishi wametoamifano ya maswali pamoja na mifano ya majibumwafaka. Mwanafuntl ajibidiishe ili kuwa na uzoefuWizara ya Elimu, kitengo kinachoshughulikiatathmini ya mitaala. Miongoni mwa kazializoziandika ni Fani ya FasihiSimulizi.

JALADAJalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usaniiwake , Robert Kambo. Katika upande wa mbelesehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea.Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamomaeneo yaliyo na rutuba yanayotoa mazao mengi.Katika eneo la Msitu wa Heri alikoishi Ridhaa kwamiongo mitano, mwanzoni kulikuwa kama jangwa laKalahari lakini Ridhaa alihakikisha kuwa kijiji hikikimepata maji ya mabomba hadi eneo zima likatwaarangi ya chanikiwiti. Miti mingi kama Miambakofi,mivule na miti mingine kapandwa. Maeneo mengmeyaliyokuwa na rutuba ni kamaMsitu wa Mamba. Watu waliogura makwaowalipohamia hapa walikata miti na kupanda vyakulakama mahindi ambayo yalifanya vizuri mno.Ndam ya rangi hii mna anwani ya kazi iliyoandikwakwa rangi nyeupe. Kawaida rangi hii huashiria amani.Licha ya mambo kuwaendea vibaya wahusika wengiriwayani, hatimaye mnaamani ya kudumu.Jina lake mwandishi liko maeneo yayo hayo nalimeandikwa kwa rangi ya manjano. Rangi hiihuashira ukomavu. Mwandishi wa riwaya hii nimwenye tajriba pana. Amekomaa katika uandishi wakazi za fasihi. Masuala anayoyaangazia ni yaleyanayoiathiri jamii yake. Ametumia mtindounaoashiria upeo wa ukomavu wake.Upande wa chini wa jalada la riwaya hii mna mchorowa jicho. Jicho hili linadondokwa na chozi. Ndani yachozi mna watu watatu(mmoja wa kike na wawili wakiume). Inahalisi kuwa watu hawa watatu ni Umu,Dick na Mwaliko. Walifurahl mno walipokutana wotekatika hoteli ya Majaliwa. Riwayani, Umu na Dickwalikimbia wote kwa pamoja na wakamkumbatiandugu yao Mwaliko na huku wakaanza kulia nakutokwa na machozi ya farajaheri.4.UFAAFUWA ANWANIAnwani ya Riwaya hii ni Chozi la Heri.Kwa mujibu wa kamusi ya karne ya 21, CHOZI ni tonela maji au uowevu linalotoka machoni ambaloaghalabu hutokea mtu anapolia, kufurahi au moshiunapoingia machoni. Nalo jinaHERI lina maana tatu 1 Ni kuwepo kwa amani,utulivu na usalama 2Ni hali ya kupata Baraka namafanikio 3 Ni afadhali. Maneno haya yanapotumikapamoja tunapata maana iliyo na undani zaidi kulikojina likitumika peke yake.Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatokawakati mhusika fulani amepata amani, utulivu nausalama. Chozikwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingineni kuwa chozi hili linaonekana ni chozi (la)afadhaliboranafuu.Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokezawakati maneno hayo mawili yamewekwa pamoja,matukio yafuatayo yanaafiki ufaafu wa CHOZI LAHERI.i) Mwandishi anatuleza kuwa Ridhaa alipokwendashuleni siku ya kwanza alitengwa na wenzake kwanihawakuta ashiriki michezo yao. Kijana mmojamchokozi alimwita 'mfuata mvua' aliyekujakuwashinda katika mitihani yote. Ridhaa alifululizanyumbani na kujitupa mchangani na kulia kwa kitena shake. Mamake alimliwaza na kumhakikishiakumwona mwalimu keshoye. Tangu siku hii, huuukawa ndio mwanzo wa maisha ya heri kwa Ridhaakwani baada ya mwalimu kuzungumza na wanafunziumuhimu wa kuishi pamoja kwa mshikamano,Ridhaa alipea kwenye anga ya elimu hadi kufikiakilelecha cha elimu na kuhitimu kama daktari.

ii) Ridhaa alipotoka kwenye Msitu wa Mamba alijionavi) Mwangeka alipokuwa ameketi mkabala nanafuu kwani wapwa zake- Lime na Mwanaheriwalikuwa wamepata matibabu. Dadake Subiraalitibiwa akapona. Mwamu wakekidimbwi che kuogelea, mawazo yake yalikuwa kulembali alikoanziaKaizari amepona donda lililosababishwa nakuwatazama mabinti zake wakitendewaukaini(kubakwa) na Vijana wenzao.Ridhaa anajua kuwa Kaizari ni afadhali kwa sababuhakuna aliyemtenga na mmoja kati ya jamaa zake.Ridhaa anapomfikiria Kaizari anajiambia heri nusuShari kuliko Shari kamili.Akawa anakumbuka changamoto za ukauji wake.Akawa kumbuka wanuna wake. AlipomkumbukaAnnatila(Tila) mwili ulimzizima kidogo akatabasamukisha tone moto la choz:likamdondoka.vii) Katika Msitu wa Simba kulikuwa na maelfu watuwaliogura makwao. Kati ya familia zilizoguria humuni familia ya Bwanaiii) Ridhaa aliposikia sauti ya kike ikitangaza, tangazolile lilimrudiSha katika mandhari yake ya sasa.Alijaribu kuangaza macho yake aone anakoendalakini macho yalijaa uzito wa machozi ambayoalikuwa ameyaacha yamchome na kutiririkaKangata. Kwa Kangata na mkewe Ndarine, hapapalikuwa afadhali kwani hawakuwa na pa kwendakwa kuwa hata kule walikokuwa wakiishi awalihakukuwa kwao. Uk 57yatakavyo.wongo: o wa chozi la Heri viii)Wakati Dick walikutanakisadfa na Umu katika uwanja wa ndege,walikumbatiana kwa furaha. Machozi yaliwadondokawote wawili na wakawa wanalia kimyakimya.Walijua fika kuwa jaala ilikuwa imewakutanisha nakwamba hawatawahi kutengana tena. Maisha sasayalianza kuwa ya heri kwao.iv) Wakati Ridhaa alimkazia macho Mwangeka-wakaMwangeka alikuwa akijiuliza iwapo babake amekuwamweh kwa kukosa kushirikiana na majirani kuchimbakaburi kuyazl ka majivu- matone mazito ya machoziyalitunga machor mwake Mwangeka. Akayaachayamdondoke na kumcharaz, yatakavyo. Uvuguvuguuliotokana na mwanguko wa macho:haya uliulainisha moyo wake, ukampa amani kidogo.Moy wake ukajaa utulivu sasa kwa kujua kuwa winowa Mung haufutiki.v) Wakati Ridhaa alikuwa akimsimulia Mwangekaix)Baada ya miaka kumi ya kuuza dawa za kulevya,Dick alifaulu hatimaye kujinasua kutoka kwa kuchaza mwajiri wake. Alianza biashara yake mwenyeweya kuuza vifaa wa umeme. Sasa akaanza kujitegemeakwa kuwa amejiajiri.Alikuwa ameufungua ukurasa mpya katika maishayake.misib(Maisha yake sasa ni ya heri.iliyomwandama tangu siku alipoondoka kwendakuwel" amani Mashariki ya Kati, Ridhaa alisitaakajipagusa kijash(kilichokuwa kimetunga kipajini mwake kisha akatoakitambm mfukoni na kuyafuta machozi yaliyokuwayameanza kumpo fusha. Uk 48X)Wakati Neema na Mwangemi walikabidhiwamtoto wao wa kupanga na Mtawa Annastacia,Mwaliko alimkumbatia Neema na kumwita mama nakumwahidi kuwa ataenda naye. Neema alidondokwana chozi la furaha na kumkumbatia Mwaliko kwamapenzi ya mama mzazi. Hili lilikuwa ni chozi la herikwa

Neema.xi)Dick alimweleza Umu kuwa siku waliokutanakatika uwanja wa ndege na wakasafiri pamoja, hiyondiyo ilikuwa siku ya heri Zaidi kwake. Nasahaalizopewa na IJmu zilimfunza thamani ya maisha.Kisadfa, huu ndio wakati Dick alikuwa ameamuakubadilisha maisha na kuishi maisha mapyayasiyokuwa ya kuvunja sheria.Xii)Dick aliposimulia namna wazazi wake wapyapamoja naUmu walivyomfaa maishani, kila mmoja katikafamilia hii alijil. Bila shaka yalikuwa machozi yxiii) Baada ya Mwaliko kujitambulisha kwa Umu naDick, umu na Dick hawakungojea amalize.Walikimbia wote wakamkUmbatia ndugu yao,wakaanza kulia huku wakiliwazana. Haya yalikuwamachozi ya furaha kwao kwa kupatana tena wotewakiwa hai. Kwa kweli kila mmoja alitokwa na chozila heri.xiv) Mwaliko alimwambia babake kuwa kuja katikahoteli yaMajaliwa kuliwaletea heri kwa kuwa familia yao sasaimepanuka. Sasa amekutana na watu aliokuwa tuanasikia wakitajwa. Maisha sasa ni afadhali.xv) Dick alitoa shukrani tele kwa Umu kwa kuwaalimpa matumaini kuwa siku moja watampata nduguyao Mwaliko. Mwaliko hata anapomtazama Umu,macho yake yakiwa yamefunikwa na vidimbwi vyamachozi, anajua kuwa familia yao imerudiana japokatika mazingira tofauti.xvi) Siku ambayo Mwangeka alimwoa Apondi ilikuwasiku ya heri kwake kwani alimwaga chozi la heri.Tunaelezwa kuwa, Ridhaa alijua kuwa wakati ndiomwamuzi, ipo siku atakapotokeza hurulaini wakeMwangeka. Ataifungua kufuli kubwa iliyoufungamoyo wake na hiyo itakuwa siku ya kumwaga chozila heri.Mbunda Msokile(1992:206) anasema kuwa msuko nimtiririk0au mfuatano wa matukio yanayosimuliwa kutokamwanz0hadi mwisho. Hapa tutaangazia matukio katika kilasuraSURA YA KWANZASura hii inapoanza, Ridhaa alikuwa amesimama kwamaumi-vu makali huku mikono kairudisha nyuma yamgongo wake uliopinda kwa uchungu. Amelitazamawingu la moshi ambalo linamkumbusha ukiwaaliozaliwa nao na ambao anahofia kuwa angeishi nakuzikwa nao. Alipogeuka alitazamana ana kwa anana moto ambao uliteketeza jumba lake la kifahari.Walioangamia mie ndani ni Terry (mkeweRidhaa),bintiye Tila, Mkewe Mwangeka(Lily) namjukuu wake Becky. Tukio hill linamkumbushamambo kadha yaliyotokea hapo awali yakiwemomlio wa kereng'ende na bundi usiku wa kuamkia sikuhii ya kiyama. Milio hii ilimtia kiwewe zaidi kwanibundi hawakuwa wageni wa kawaida katika janibuhizi. Alikumbuka akimwambia Terry kuwa milio hii nikama mbiu ya mgambo ambayo ikilia huendakukawa na jambo. Terry ambaye kawaida yake nimcheshi hakunyamaza ball alimwambia Ridhaa kuwakwake lazima kila jambo liwe na kiini. Terry alishangaa ni vipi daktari mzima alikuja kujishughulishana mambo ya ushirikina. Terry anamkumbushammewe kuwa aliwahi kumwambia kuwa ni vizurikuiacha mielekeo ya kijadi ambayo huyafifilishamaendeleo. Anazidi kumuuliza hata iwapo jambolikawa atafanya nini? Ndipo Terry anamjuvya kuwa lamuhimu ni kumlaani shetani kwani Iiandikwalo ndiloliwalo. Mazungumzo haya baina ya Terry na mmeweRidhaa yalikuwa ya mwisho kabisa kutokea Terryakiwa hai. Ridhaa sasa anajutia kuwa angelijuaangelitumia kila sekunde za uhai zilizokuwa zimesaliakumuuliza mkewe maswali ambayo sasa yameivamiaakili yake. Machozi yalifulika machoni mwake nakuulemaza uwezo wake wa kuona na ndipo moyowake ukamwonya dhidi ya II

tabia yake ya kike ya kulia pindi tu akumbwapo navizingiti ambavyo ni kawaida ya maisha.Aliyakumbuka maneno ya marehemu mamake kuwamachozi ya mwanamme hayapaswi kuonekanambele ya majabali ya maisha. Siku hii Ridha hakujalila mama wala la baba; alijiskia kama mpiganamasumbwi aliyebwagwa na kufululiziwa makondebila mwombezi. Alisalimu amri na kuyaacha machoziyamvamie yatakavyo. Katika mito ya machozi ndipoalileta kumbukumbu ya mambo yalivyokuwa usikuambao uliyatia giza maisha yake. Anakumbukamayowe ambapo mwenye kuyapiga alimsihiMzee Kedi asiwauwe kwani wao ni majirani wake.Akamsihi asiwadhuru wanawe wala mume wake.Baada ya mayowe haya ndipo alisikia mlipukomkubwa kisha akashikwa na uziwi wa mudauliofuatwa na sauti nyingine ya Mkewe"Yamekwisha". Kumbukumbu hii ilimpa kuzimia naalipozinduka alijipata kalala kando ya gofu la jumbalake lililokuwa linafuka moshi. Alijikongoja hadikwenye kwenye shamba lililokuwa kando ya nyumbayake alipopaaza sauti na kusema " Familia yangu namali yote hii kuteketea kwa siku moja?Aliporudi kulikokuwa sebule ndipo alikumbuka kuwaMwangeka (kifungua mimba) wake alizaliwa kwenyechumba hiki miaka thelathinl iliyopita. Alishangaa nivipi Mwangeka aliweza kunusirika mkasa huu nandipo akawaza kuwa wadhifa aliyopewa kwendaMashariki ya Kati kudumisha amani ulitokea kuwawongofu wake. Katika kumbukumbu zakeanaukumbuka mjadala mkali baina yake na bintiyeTila kuhusu mafanikio ya baada ya uhuru. Hakunaaliyethubu kuuchangia kwani masuala ya sheria Tilaalikuwa ameyamud e i kweli. Tila anamuuliza babake maswali magumtambayo yanamsawiri Mwafrika alivyonyanyaswa natabaka le juu lililojilimbikizia mali baada ya mzungukuondoka, likabaki likiukomaza ukoloni mambo leo.Mwafrika alibaki pasi na cho-Chote cha kumiliki. Tila anasisitiza kuwa wao niwategemezi si kwa lishe tu, bali pia kwa ajira. Na kazizenyewe ni vibarua vya kijungu jiko. Tila alishangaani kwa nini wao hawajaanza kujisagia kahawa au chaiyao. Haihalisi mbegu ziwe zetu, tulikuze zao lenyewekisha kumpelekea mwingine kwenye viwanda vyakealisage kisha kuja kutuuzia hiyo kahawa au chai kwabei ya kukatisha tamaa alisisitiza Tila. Ridhaaalikubaliana na mtazamo wa Tila kwani mstakabaliwao wa ukuaji kiuchumi uligonga mwamba wakatisheria ya mkoloni ilimpa mzungu kibali cha kumilikimashamba katika sehemu zinazotoa mazao mengi.Mwafrika akabaki aidha kuwa kibarua au skwotaambaye maisha yake yalitegemea utashj wa mzungu.Wafrika ambao walibahatika kupata makao yaobinafsi walipata sehemu ambazo hazingeweza kutoamazao mengi, wakawa wakulima wadogo wadogo,maskini wasio na ardhi. Ridhaa anamkumbuka babaMsubili alivyokuwa akisema kuwa jamii yao iligeukakuwa hazina ya wafanyakazi ambamo Wazunguwangeamua kuchukua vibarua kupalilia mazao yao.Ridhaa hakuwa mkaazi asilia wa Msitu wa Heri.AlikuwaTuata mvua kama walivoitwa walowezi na wenyejikindakindaki. Ridhaa anasema kuwa hakupachaguamahali hapa ila majaliwa yalitaka awe hapo. Babakealikuwa na wake kumi na wawili. Wake hawawalijaliwa na wana wa kiume ishirini na ndipo ardhiya mzee Mwimo Msubili ikawa haitoshi kuwaleamadume hawa lligawanywa m naikamwia vigumu Mzee Mwimo kuwalisha wana hawakwani ardhi yake ilitoa zao dogo. Katika ardhi yaMzee Mwimo mlizuka uhasama, migogoro na uhitajimkubwa. Jambo hili limfanya mzee mwimokuwahamishia wake wawili wa mwisho Msitu viaHeri au Ughaishu kama walivyopaita wenyeji. Sikuhizo ilikuwa rahisi mtu kuwa na shamba mahalikokote katika eneo lililomilikivia na kabila lake kwaniumiliki wa mashamba ulitegemea bidii ya mtu.Mamake Ridhaa alikuwa mke wa mwisho wa MzeeMwimo. Ridhaa alikuwa mwenye umri wa miakakumi walipohamia Mlima via Heri na alikuwa bado

hajaanza shule. Walipowasili humu hamkuwa nawakaazi wengi na ilimchukua muda kuzoeana nawatoto wa majirani ambao waliwaona Ridhaa nanduguze kama waliokuja kuuvuruga utulivu wao.Ridhaa alipowazia kuhusu jambo hill alielewa fikakuwa hali hii ilizuliwa na wakoloni na kuwarithishaWaafrika. Baba yake, Mwimo Msubili alikwishakumwambia kabla ya miaka ya Hamsini umiliki wakibinafsi wa ardhi haukusisitizwa katika jamii yao.Watu walitangama-na vyema. Familia zilizotokakwengine ziliishi miongoni mwao pasi uhasama. Serampya ya mkoloni kujumuisha pamoja ardhiiiiyomilikiwa na mtu binafsi na kuuidhinisha umilikihuu kwa hatimiliki, ilivuruga mshikamano wa kijamii.Sera hii mpya ya umilikaji wa ardhi ilimaanishakwamba wale walio-kosa pesa za kununuliamashamba wangekosa mahali pa kuishi. Walewaliobahatika kuwa na pesa za kununulia mashambadaima walichukuliwa kama wageni wasiopasakuaminiwa. Ridhaa alikuwa kati ya waathiriwa wahali hii kwani alitengwa na wenzake siku ya kwanzashuleni katika michezo mbalimbali. Alichokozwa namwanafunzi mmoja aliyemwita 'mfuata mvua' nakumwambia hakutaka kucheza naye kwani alikujakuwashinda katika mitihani yote. Jambo 14Familia zote mbili zilikuwa na mlahaka mwema.Ridhaa ameyafanya mengi mazuri kikijini hadikikaacha kuitwa Kalahari. Ikawaje aliowatendeahisani wamelipa kwa madhila?hili lilimfanya Ridhaa kulia kwa kite na kumwambiamamake kuwa hangerudi shuleni tena. Mamakealimwambia ni vyema kujifunza kuishi na wenzakebila kujali tofauti za kiukoo na nasaba. MamakeRidhaa alizungumza na mwalimu naye mwalimuakazungumza na wanafunzi na kuwasisitiziaumuhimu wa kuishi pamoja kwa mshikamano. Huuukawa ndio mwanzo wa maisha ya heri kwa Ridhaa.Ridhaa alifanya vyema masomoni na kufikia kilelechacha ufanisi alipohitimu kama daktari. Baadaye aliasiukapera na akafunga ndoa nayekwenye mulishi wa runinga yakibomolewa. Majumbahaya sasa yamegeuka udongo. Pigo hili la pili alilionakali zaidi.lweje watu waliokula na kunywa pamoja ndiowaliomlipulia aila na kuyasambaratisha maisha yake?Haya maswali yasiyo na majibu yalimsumbua akilinimwake. Alipowaza alianza kuelewa sababu yavikaratasi kuenezwa kila mahali vikiwatahadharishakuwa mna gharika baada ya kutawazwa kwaMusumbi- kiongozi mpya. Anaelewa sababu ya jiranikuacha kumtembelea kwake kwa ghafla. Anaelewasababu ya mke wa jirani kulalamika kuhusu kuuzwakwa mashamba ya wenyeji kwa wageni. Alielewakuwa alikuwa mgeni wala si mwenyeji hata baada yakuishi pale miongo mitano. Katika usingizialikumbuka habari iliyosomwa katika runinga miakamiinne iliyopita. Habari ilisema kuwa matrekta yaBaraza ya jiji yalitekeleza amri ya Bwana Mkubwaambayo ilikuwa ni kwabomoa majumba ishirinikatika mtaa wa kifari wa TononOkeni. Ridhaa alitazama picha za majumba yakematatuAlibaki akijiuliza maswali akishangaa ni upi utakuwamstakabali wake, wa mwanawe Mwangeka naSubira, dada yakeRidhaa aliyeishi maili kumi kutoka pale.Maswali:i) Eleza kwa kifupi hasara ya ukabila.Terry. Alijaliwa na wana ambao waliangamiaisipokuwaii) Ni mambo gani yalifuatia kutawazwa kwaMusumbi ?Mwangeka. Ridhaa anashangaa ni kwa nini MzeeKedi alimgeuka kwani ndiye aliyemsaidia kupatashamba hilo lake.iii) Ni mambo gani yalimpata Ridhaa tanguwalipohamia Msitu wa

Heri?wake ni wa kukatisha tamaa amevimba sana baadaya kutendewa unyama na binadamu wengine.iv) Wataje, kisha utoe sifa za wahusika waliotajwakatika sura hii.v) Onyesha namna mbinu rejeshi ilivyotumiwakatika sura hii.SURA YA PILINi siku kumi tangu kuondoka kwa Kaizari na wenzakena kujipata katika mazingira haya mageni. Si magenikwani ni mumo humo kwao kwani si ughaibuni walanchi jirani. Pahali hapa ni kambi au mabandayaliyosongamana. Waliokuwa nacho na wachocholewote wako pamoja katika kambi hii.Kuna kiasi fulani cha usawa. Japo wanasema kuwawanadamu huwa sawa kifoni, kuna tofauti katikamandhari wanamofia. Kuna wanaofia zahanati zakijijini na wapo wanaolala maumivu yao yakiwayamefishwa ganzi katika hospitali za kifahari hukuwakiliwazwa na mashine. Kuna wengine ambao hufiakwenye vitanda vya mwakisu vitongojini baada yakupiga maji haramu(pombe haramu) kama nziambao kufia dondani si hasara. Kuna tofauti piamitindo ya mazishi nahata mavazi ya mwenda zake na wafiwa. Hatamajenez yenyewe huhitilafiana.Katika kambi la kina Kaizari mipaka ya kitabakaimebanwa.Kwani, hata waliokuwa navyo sasa hiviwanang'ang'ania chakula haswa uji. Hata aliyekuwawaziri wa Fedha miaka mitano iliyopita yumo katikakambi hii aking'ang'ania chakula na wenzake. Mvuakubwa inanyesha na matone mazito kuwaangukiawanawe wakembe wa Ndugu Kaizari-Lime naMwanaheri. Hana hata tambara duni la kuwafunikia.Ubavuni amelala mke wake Subira. Anaonekanakuwa siye yule Subira wa awali kwani mwonekanoKwa mbali anaonekana Ridhaa, akitafuna kitu fulanikinachofanana na mzizi-mwitu. Ni kinaya Daktarimzima, Mkurugenzi mzima wa Wakfu wa Matibabunchini kula mzizi!Kaizari anaanza kusimulia yaliyojiri siku ile baada yakutawazwa kwa kiongozi mpya. Anasema kuwabaada ya kutawazwa kwa kiongozimwanamke(wengine waliamini hafai kuongoza)mambo yaliharibika. Watu wakashika silahakUPigania uhuru wao, uhuru ambao walidaihawakupewaWakaupigania. Wakatoa kauli kuwa wanaumewatatumikishwa kwa walivyofanywa enzi hizo katikavisakale vya jiraniGO. Waliona kuwa kiongozi mwanamkeatawarudisha paleWalikotoka. Walikemea kusumbuliwawalikosumbuliwa kwa miongo mitatu sasa naAffirmative action na a third should beWomen. Walikerwa mno na suala Ia jinsia ya kikuchipuza kila mara katika vikao vyao wakalamik' Ymwa mkekutetewa na vyombo vya habari na wapigania haki.Mwanaharakati mmoja kwa jina la Teitei akazidikusema kuwa mwanamke kuiongoza jamii nzimaitakuwa kukivika kichwa cha kuku kilemba.Bi. Shali alikanusha kauli ya Teitei na kusema kuwa,Mwekevu(kiongozi mwanamke) alijitosa katika siasana kuomba kura kama wanaume hao wapinzaniwake, akastahimili vitisho na matusi kutoka kwawanaume na kwa hivyo ushindi wake ni zao Ia bidiiyake. Mradi wake wa kuchimba visima umewafaidiraia kwenye maeneo kame.Kaizari aliendelea kumweleza Ridhaa kuwa vitavilianza kati ya kundi lililokuwa linaunga mkono

Mwekevu na lililokuwa likiunga mkono mpinzaniwake mwanamume. Vita vikacha-vilio vya binadamu akiomba kuhurumiwa nabinadamu kaini, lakini vilio havikusikika.Cha baina ya pande zote mbili. Kundi pinzani likidaikuwa haiwezekani mwanamke kushinda uchaguzihuenda aliiba kura na wafuasi wake kuwanunuawanawake ambao ndio wapiga kura wengi. Kundi lamwekevu lilisikika likisema kuwa wakati wamabadiliko ni sasa na kuwa wanastahili kumpaMwekevu nafasi. MijadaIa iliyozuka ilizidishamigogoro na hali ya taharuki ikatamalaki. Askariwakatumiwa kudumisha usalama katika vijiji namitaa. Muda si muda raia walianza kukimbizana napolisi. Katika mchezo huu, watu wengi walipotezamaisha yao.Magari yakawa yanawaka moto bila kujali binadamuwaliokuwamo ndani.Wengine walipoona kuwa mambo yameharibikawaliacha makwao na kukimbia. Mali walioachanyuma yaliteketezwa.Wakapoteza kila kitu. Wengine waliokuwa jasiriwalipora maduka ya Kihindi, kiarabu na hataWaafrika wenzao wakapora walichoweza kubebakabla ya kupatana na mkono wa utawala.Sura ya nchi ya Wahafidhina ikawa mpya. Misafaraya wakimbizi ikawa kwenye barabara na vichochorovya Wahafidhina.Mizoga ya watu na wanyama, magofu ya majumbayaliyoteketezwa kwa moto na uharibifu wa mali namazingira ukashamiri.Kaizari anakumbuka siku ya pili akiwa sebuleni nawanawe wakitazama runinga mara alisikia kuwahakuna amani bila kuheshimu mwanamume.Kilichofuatia ni mabarobaro waliobeba picha zampinzani aliyeshindwa na Mwekevu na wakaanzakughani mkarara uliokuwa ukisema TawalaWahafidhina tawala, Mwanzi wetu tawalaWahafidhina tawala.Mara hali ilibadilika na wakayazingira magaribarabarani na kuanza kuyawasha moto kanakwamba wanayachoma mabiwi ya taka! VikasikikaMmoja wa waliokuwa wakitekeleza unyama alisikikaakiwaambia wapinzani wao wanyamaze kwani waondio wamekuwa wakiwarudisha nyuma miaka yotehiyo kwa kuhadaiwa na Vishahada hivyowanavyopewa vyuoni. Alilalama kuwa wanafunzwakukariri nadharia bila kuwazia umilisi na stadi zakuwawezesha kujitegemea. Mtu ana digrii tatu nahata baada ya miaka kumi kazi hana.Vijana waliendelea kulamikia kupuuzwa kwao. MateyameWakauka vinywani wakifunga barua za kutumiamaombi yaBaadaye ving'ora vilisikika na askari wanaojulikanakama fanya fujo uone wakawa wanawinda vijanahawa. Walimiminiwa risasi vifuani mwao na wotewakaiaga dunia kifo cha kishujaa kwani walijitoleamhanga kupigania uhuru wa tatu. Kaizari alitokwa namachozi na kuwahurumia vijana hawa waliokufa kifowalichoweza kukiepuka. Akaihurumia nchi yakeambayo ilielekea kushindwa kuwahakikishia usalamawatu wake. Baada ya siku nne kwa kina Kaizarikulibishwa hodi, mke wake Kaizari, Subira ndiyealikwenda kuufungua, alisalimiwa kwa kofi kubwakisha akaulizwa alikokuwa kidume chake kijoga.Walisemekana kuwa wao ndio vikaragosiwaliotumiwa na wasaliti wao kuendeleakuwafukarisha.Alikatwa mikato miwili ya Sime hata kabla hajajibulolote, akazirai kwa uchungu. Kisha genge lamabarobaro watano likawabaka mabinti wakeKaizari, Lime na Mwanaheri. Alijaribu kuwaokoalakini hakufaulu. Mahasimu hao wakaondoka baadaya kuutekeleza unyama huo bila kumgusa Kaizari,auguze majeraha ya moyo. Alijizatiti na kuwapawanawe na mke wake huduma ya kwanza. Punde sipunde, sauti ya

Jirani yao Tulia iliita ikiwataka kutoka iwapo walitakakuishi.Tofauti na majirani wengine, Tulia alimsaidia Kaizarikufunganya na kumsindikiza hadi njia panda.Alimkumbatia na kumwambia kuwa mwenyezimungu ndiye hupanga na nguvu na mamlaka piahutoka kwake. Akamjuvya kuwa uongozi mpyaumezua uhasama kati ya koo ambazo Zimeishi kwaamani kwa karibu karne moja. Akamshauriaihamishe aila yake kwa muda kwa sababu yausalama. Akamhakikishia kuwa huo sio mwisho wakuonana. Huu utakuwa mwanzo wa uzao wa jamiimpya isiyojua mipaka ya kitabaka, jinsia na kikabila.Jirani alipompungia mkono, matwana ya abiria ilikujanao wakaabiri. Ilikuwa ikiendeshwa kwa kasi kanakwainakimbizwa. Waliyashuhudia mengi katika safari hiiya shaka kama vile mabasi kuchomwa pamoja nashehena zayo na hata mifyatuko ya risasi. Hatimaye,gari lilikwisha petroli ikawa sasa ni mtu na malaikawake. Walijitoma msituni, kila mtu na aila yake.Walipata shida kwani chakula kilikuwa adimu.Kulikuwa na changamoto ya maji safi ya kunywa.Walikata miti wakajenga vijumba ambavyoviliezekwa kwa nyasi na kukandikwa kwa udongo.Wengi walipata homa ya matumbo na wenginekuyapoteza maisha yao. Wakimbizi walizidikuongezeka nayo hali ya maisha ikazidi kuwa ngumu.Idadi kubwa ya wakimbizi ilifanya kuwe na vyoo vyakupeperushwa- yaani sandarusi ambazo hutumiwakama misalani. Siku za mwanzomwanzo Kaizarihakuweza kutumia misala hii, lakini alisalimu amri nakusema potelea mbali, lisilo budi hutendwa. Lakinikutokana na tishio Ia maenezi ya kipindupindualiwasihi kuchimba misala kwa jina long drop. Tatizola njaa pia lilishamiri kwani waliokuwawamebahatika kubeba nafaka chache walizitoazikatumiwa na wote, zikaisha. Njaa ikawa inatishiakuwaangamiza wote, lazima wafanye jambo.alipitia kwenye kibanda cha Ndugu Kaizari. Selumealikuja kuwaeleza kuwa alikuwa amesikia fununukuwa upo mradi wa kuwakwamuaWakimbizi kutokana na hali hii. Shirika la MakaziBora, lilikuwa limejitolea kuja kuwajengea wakimbizinyumba bora.Misikiti na makanisa yalikuwa yalikuwa yamekusanyavyakula ili kuwalisha wahasiliwa. Watu walijawa namatumaini. Siku ya ishirini lori kubwa liliingia nawatu wakakimbilia chakula kama watotowafanyavyo. Watu waligawiwa chakula naakina mama( wa Mother's union, woman's Guild nawaliokuwa wamepakiwa nyuma ya lori hilo.Msukumano ulianza hadi mlinda usalama mmojaalipojitokeza na kuwasihi kuweka usalama. Watuwengine kama Mzee Kaumu walishangaawalipokuwa hawa wangwana wakati madhila hayayalipowapata.Kwa kuwa tabia ni ngozi, Bwana Waziri Mstaafualiyekuwa na uzoefu wa kuwaelekeza watu hukowizarani, alisaidia kukigawa chakula. Pia Kaizari naSelume waliitwa kusaidia. Hata hivyo, wenginewalitumia ulaghai ( kama familia ya BwanaKute- diwani wa hapo awali) kupata chakula kingikuliko familia zingine.Maswaii.i) Maisha kotika mitaa ya mabanda ni kukatishatamaa. Tetea kauli hii.ii) Fafanua matatizo wanayoyapitia wakimbizi wandani kwa ndani.iii) Faha!i wawii wakipigana, nyasi huumia. Kwakurejele sura hii, onyesho ukwei wa kauli hii.iv) Siasa husababisha migogoro katika ndoa. KwaAsubuhi ya siku ya kumi na tano Selume(mke wajirani yao aliyekuwa mpinzani mkuu wa Mwekevu)kurejelea sura hii, tetea kauli hii kikamilifu.22

SURA YA TATUBaada ya kuishi katika msitu wa Mamba kwa miezisita, Ridhaa, Kaizari na familia yake walibahatikakurudi nyumbani kufuatia mradi wa Operesheni RudiKanaani. Asubuhi hiiRidhaa ameketi katika chumba cha mapokezi katikaUwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Rubia. Ana hamukuu ya kumwona Mwangeka akiwa mzima. Ridhaaanakumbuka kuwa siku ya kuhawilishwa kutokaMsitu wa Mamba hakuwa na matumaini ya maishabora kwani hakuwa na mwenzi wala mtoto wakuendea. Wengine kama Selume walikuwa wakiliakwa kuwa hawakujua waende wapi kwani mmewake amekwisha kuoa msichana wa kikwao naBabake alimkatalia katakata. Ridhaa alimfariji nakumwomba asilie kwani mwana wake yu hai tenaana kisomo na amehitimu kama mkunga, anawezakujitegemea. Ndipo Ridhaa akamwahidi warudiponyumbani, angemtambulisha Selume kwa mkuu waIdara ya Afya ya Jamii katika Hospitali Kuu yaTumaini. Leo hii, Ridhaa anapowaza haya, Selumeamekwisha kuajiriwa kama muuguzi katika hospitalindogo iliyojengwa karibu na kambi yaHapo alipotoka kwenye msitu alijihisi kiumbe kipyakwani wapwa zake- Lime na Mwanaheri walikuwawamepata matibabu. Dada yake Subira alitibiwaakapona. Mwamu wakeKaizari- amepona donda lilitokana na kuwaona bintizake wakibakwa. Ridhaa anamwona Kaizari niafadhali kwani heri nusu Shari kuliko Shari kamili.Asubuhi hii, Ridhaa akiendelea kumngojeaMwangeka hakuweza kusahau jinsi alivyohisialiporudi tena kwenye ganjo lake siku ile.Anakumbuka kuwa alipozinduka( kutoka kuzirai),alijipata katikati mwa kiunzi cha sebule lililokuwakasri lake. Eneo hili ndipo wanawe Tila na Mwangekawalipokuwa wadogo walipenda kumkimbilia kilamara alipotoka kwenye shughuli zake za kikazi. Hapondipo kijukuu chake kilipozoea kutembea tata nakumwita "bubu" naye alipenda kukirekebisha nakukiambia "sema babuu". Hayo yote hayapo sasa,hata zile pambaja za mkewe Terry na utani wakehamna.Akiwa yu pale katika kumbukumbu zake, polepolekwenye jukwaa la akili yake kunaanza kuigizwamchezo wa maisha yake kabla ya dhiki iliyomfika.Anamwona Tila akitoka shuleni na kuuweka mkobawake juu ya meza. Katika mazung-WWHN.Ridhaa anakumbuka mambo mengi kama vile kadhiailiyompoka familia yake ndiyo ilimkutanisha na watukama Selume arnbao angewaita ndugu na kumfanyakusahau msiba wa kUipoteza akraba yake.Kutangamana na wakimbizi kukamfunza thamani yabinadamu. Sasa amejifunza mengi kamaVile uzima ni upande mwengine wa mauti.Kwenye Msitu wa Mamba, Ridhaa alipata huduma zaushauri na uelekezaji kutoka kwa wataalamumbalimbali na akaweza ugonjwa wa shinikizo ladarnu ambao ulitokana naUmzo yao inabainika kuwa Tila ana upevu wamawazo. Waliishi kujadiliana na Mwanawe Tilamasuala nyeti kana kwamba walikuwa marika. Tilaalijua kuwa Siku moja atakuwa jaji katika mahakamakuu na kuusafisha uozo uliotamalaki humo.Alitamani kuwaonjesha washukiwa waliowekwarumande kwa miaka mingi utamu wa haki. Lakinisasa Tila hayupo tena, kilichObaki ni kumbukumbuzake.Ridhaa aliona kuwa utabiri wa mwalimu wa lamabadi-24mshtuko wa kupoteza jamaa yake na mali yakedafrao moja.

liko' u

Kwa hivyo, chozi la heri ni chozi ambalo linatoka wakati mhusika fulani amepata amani, utulivu na usalama. Chozi kwisha kupata baraka na mafanikio. Maana nyingine nekana ni chozi (la) afadhaliboranafuu. Kwa kujikita katika maana mbalimbali yanayojitokeza wakatimanenohayomawili yame

Related Documents:

chozi la heri 27) Suala la ufisadi limeshughulikiwa katika Chozi la heri kwa njia mbalijnbali. Fafanua njia hizo 28) Fafanua matumizi ya mbinu ya Sadfa katika chozi la heri 29) Hotuba ni kipengele cha kimundo. Eleza j

Chozi la Heri thibisha ukweli wa kauli hiyo 41) Riwaya ya Chozi la Heri imejaa aina mbalimbali za migogoro jadili. 42) Uozo wa maadili na kuvunjwa kwa haki ni jambo ambalo lilikuwa la kawaida katika

wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili na vyuo vikuu. Kati ya taasisi alizowahi kufundisha ni Kenya High Sc hool na CUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali ya ukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi sasa ni afisa katika Wizara ya Elimu, kitengo kinachoshughulikia tathmini ya mitaala. Miongoni mwa kazi

wa lugha na fasihi ya Kiswahili katika shule za upili na vyuovikuu.Kati yataasisi alizowahikufundisha ni Kenya High Schoolna CUEA. Ameshiriki katika majopo mbalimbali ya ukuzaji, utekelezaji na tathmmi ya mitaala. Hivi sasa ni afisa katika Wizara ya Elimu, kitengo kinachoshughulikia tathmini ya mitaala. Miongoni mwa kazi

Sehemu ya 3: Hutoa mwongozo au maelekezo ya ufundishaji kwa kila dha-na iliyotolewa ndani ya kitabu . Ingawa mwongozo huu wa mwalimu una majibu kwa kila kazi zote zilizotolewa katika kitabu cha mwanafunzi, unaombwa kupitia kila swali na kazi kabla ya ku-tathmini matokeo ya utafiti.

Namba ya Mkataba: AID-621-C-15-00003 Mwongozo Wa Mkufunzi Wa Mfumo Wa Ujifunzaji Wa Kieletroniki (MUKI) Agosti, 2019. KANUSHO Chuo cha Serikali za Mitaa (Hombolo) ndicho kitawajibika na matokeo ya kazi hii. Mwongozo Wa Mkufunzi Wa Mfumo Wa Ujifunzaji Wa Kieletroniki (MUKI) ni maoni ya

This report summarizes the highlights of a national survey of college and university faculty conducted by the Cooperative Institutional Research Program (CIRP) at the Higher Education Research Institute (HERI) during the 2016-2017 academic year. Although . HERI has been surveying higher educa-tion faculty since 1978, this report is the

for appointment, and there are matters a proposed new auditor must undertake before accepting an appointment. Therefore the timing and management of any change Therefore the timing and management of any change