MATUMIZI YA LUGHA

2y ago
394 Views
4 Downloads
620.48 KB
47 Pages
Last View : 1d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Vicente Bone
Transcription

amosobiero7@gmail.comMATUMIZI YA LUGHA(amosobiero7@gmail.com)By Sir Obiero AmosFOR MORE E-MATERIALSWhatsApp ( 254) 0706851439MATUMIZI YA LUGHAKiimbo Jinsi sauti inavyopanda na kushuka mtu anapoongea. Huibua maana halisi ya maneno yanayosemwa kama ifuatavyo: Sentensi za taarifa Mtoto anaandika barua! Mtoto anaandika barua. Sentensi za amri Sentensi za maswali Kachezeeni nje! Mtoto anaandika barua? Sentensi za rai/ombi Sentensi za mshangao Nisaidie/eni.Zoezia) Eleza maana ya kiimbo kwa kutoa mifano.b) Tambua sentensi zifuatazo ni za aina gani kutokana na kiimbo.i) Watu wanakula nyoka?ii) Watu wanakula nyoka.iii) Watu wanakula nyoka.iv) Tafadhali nisaidie.Silabi Tamko moja katika neno/herufi moja au zaidi ambazo hutamkwa pamoja.Miundo Miwili ya Silabi za Kiswahili Silabi wazi Huishia kwa irabu k.m. o-a, (I) i-ga (KI), mbu-zi (KKI) na u-ngwa (KKKI) Silabi funge Huishia kwa konsonanti k.m. m-tu (K)ZoeziPage 1For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.coma) Ukitoa mifano, fafanua miundo miwili ya silabi za Kiswahili.b) Tenganisha silabi katika maneno yafuatayo:i) inkisariii) baiskeli.Shadda/Mkazo Mkazo unaowekwa kwenye silabi fulani ya neno ikiwa imetamkwa kwamsisitizo. Alama ya ritifaa hutumiwa kutambulisha shadda. Huwekwa kwenye silabi ya pili kutoka ya mwisho, kwenye vitenzivishirikishi vya silabi moja au kubadilisha maana ya neno. ka’lamu, I’mba, thu’mni, ‘leta, n.k. Kitabu ‘ki mezani. Bara’bara (njia), ba’rabara (sawasawa), wala’kini (lakini), wa’lakini(kasoro/dosari/ila)Zoezia) Weka shada katika maneno haya:i) imbaii) babab) Onyesha kwa kupiga mstari iliko shada katika maneno yafuatayo:i) malaikaii) ngeSauti za Kiswahili Kuna makundi mawili ya sauti za kiswahili:a) Irabu Sauti ambazo hutamkwa kwa ulaini bila hewa kuzuiliwa katika ala za sauti.b) Konsonanti Sauti ambazo wakati wa kutamkwa hewa huzuiliwa katika ala za sauti. Aina za Ala za Sautia) Ala tuli Ambazo hazisogei mtu akitamka k.m. meno, ufizi, kaa kaa gumu, kaa kaalaini na koo/koromeo.b) Ala sogezi Ambazo husogea mtu akitamka k.m. midomo na ulimi.Matamshi/Uainishaji wa IrabuPage 2For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.coma)b) a ni ya katikati na chini kinywani na midomo ikiwa imeviringa.c) e ni ya mbele na kati kinywani na midomo ikiwa imetandazwa.d) i ni ya mbele na juu kinywani na midomo ikiwa imetandazwa.e) o ni ya nyuma na kati kinywani na midomo ikiwa imeviringa.f) u ni ya nyuma na juu kinywani na midomo ikiwa imeviringa.Zoezia) Taja makundi mawili ya sauti za Kiswahili.b) Yatofautishe makundi ya sauti za Kiswahili uliyotaja katika (a)c) Toa mifano miwili miwili ya irabu ambazo hutamkwa:i) midomo ikiwa imeviringaii) midomo ikiwa imetandazwad) Eleza jinsi irabu /e/ inavyotamkwa.e) Taja aina mbili za ala za kutamkia na utoe mfano mfano mmoja mmoja.Matamshi/Uainishaji wa KonsonantiMIDOMO MDOMO MENO UFIZI KAAKAAMAHALIMENOGUMUAINAVIPASUO(H) pt(GH) bdVIPASUO(GH)chKWAMIZO(H)jNAZALI(GH) GH)vdhzKITAMBAZAlKIMADENDErKAAKLAINIkgng'ghPage 3For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comNUSU IRABUwyVIYEYUSHO Huainishwa kulingana na inapotamkiwa, kuwepo au kutokuwepo kwamtetemeko katika nyuzi za sauti na jinsi hewa inavyozuiliwa katika alak.m. /p/ ni ya midomo, kipasuo na sighuna. Vipasuo Konsonanti ambazo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa, huzuiliwakabisa na kuachiliwa kwa ghafla na mpasuko mdogo kutokea. Vikwamizo/Vikwaruzo Konsonanti ambazo wakati wa kutamkwa hewa hupitishwa katikati ya alakwa kukwamizwa. Vipasuo kwamizo/kwaruzo Konsonanti ambayo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa nje kwanguvu, huzuiliwa kabisa halafu mwanya mdogo huachwa hewa ipite kwakukwamizwa. Nazali/Ving’ong’o Konsonanti ambazo wakati wa kutamkwa kuna kiasi cha hewa huachiliwana kupitia puani Kitambaza Konsonanti ambayo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa kwa nguvu,kuzuiliwa na kuachiliwa ipite kando ya ulimi Kimadende Konsonanti ambayo wakati wa kutamkwa hewa husukumwa, kuzuiliwa nakuachiliwa na kusababisha ncha ya ulimi kupigapiga ufizi mfululizo. Nusu irabu/Viyeyusho Konsonanti ambazo wakati wa kutamkwa hewa hupitishwa katikati ya alakwa ulaini kama katika utamkaji wa irabu.Zoezia) Tambua kikwamizo cha kaakaa laini na kiyeyusho cha midomo.b) Tambua konsonanti ambazo si za orodha hii na ueleze kwa nini: /m/, /n/,/ny/,/ng’/, /f/, /b/c) Tofautisha konsonanti /p/ na /dh/.d) Taja konsonanti mbilimbili ambazo hujulikana kama:i) viyeyushoii) vikwaruzoPage 4For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comAina za ManenoNomino (N) Neno linalotaja kiumbe, kitu, hali, mahali, tendo, dhana, n.k.Aina Nomino za Pekee Ambazo hutaja kitu kwa kutumia jina lake/ambazo hutambulisha upekeewa kitu hicho. Mwanzoni huandikwa kwa herufi kubwa. majina ya watu k.m. Kamau milima k.m. Kilimanjaro mahali k.m. Mombasa Mito k.m. Tana siku k.m. Alhamisi maziwa k.m. Victoria miezi k.m. Disemba bahari k.m. Hindi miaka k.m. 1930 Mabara k.m. Africa Nomono za Kawaida/Jumla Majina ya jumla ya viumbe/vitu vinavyoonyesha umbile la jinsi moja k.m.mtu, gari, kalamu, n.k. Nomino za Jamii Majina ya makundi ya viumbe au vitu k.m. bunge, jamii, halaiki, bunda n.k. Nomino za Wingi Majina ya vitu vitokeavyo kwa wingi japo kimsingi hazina umoja au wingik.m. maji, mate, maziwa, mahubiri, marashi, mchanga, ngeu, poda, unga,n.k. Nomino za Dhahania Majina ya viumbe au mambo ya kudhani/yasiyoweza kugusika k.m. k.mujinga, werevu, malaika, shetani, amani, imani, roho, wazo, dhana, n.k. Nomino za Vitenzi Jina Vitenzi vyenye kiambishi awali ku ambavyo huweza pia kutumika kamanomino k.m. Kucheza kwake kunaudhi.Zoezi1. Sahihisha jedwali lifuatalonomino ainaJumawingikisudhahaniamaziwa pekeebunda kitenzi jinaPage 5For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comamani kawaida/jumlakuomba wingi2. Bainisha nomino katika sentensi ifuatayoa) Kuendesha baiskeli kwa kasi kulimfanya Hasani aangushe bunda la notialilokuwa anaenda kununulia mchanga.Sentensi ya Kiswahili Sentensi ni fungu la maneno linalojitosheleza kimaana linalotumiwa katikamawasiliano.Sifaa) Huwa na ujumbe uliokamilika.b) Huwa na mpangilio maalum wa maneno.c) Huwa na muundo wa kiima na kiarifu.Aina Sentensi Sahili Sentensi rahisi au nyepesi.Sifaa) Huwa fupi.b) Huwa na kitenzi kimoja pekee.c) Huwasilisha dhana moja.d) Yaweza kuwa ya neno moja au zaidi.e) Yaweza kuwa na kiima kilichododoshwa. Wataenda. Watoto wawili wanaelekea uwanjani. Gachiku ni msichana mtiifu. Sentensi Ambatano Inayoundwa kwa kuunganisha sentensi sahili mbili.Sifaa) Huwa na vishazi huru viwili.b) Huwa na kiunganishi.c) Huwa na vitenzi viwili au zaidi.d) Hutoa zaidi ya wazo moja.e) Yaweza kuwa na viima vilivyododoshwa. Mwanafunzi alipita mtihani ingawa hakuwa anasoma kwa bidii.Page 6For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Maria aliendelea kupika kwa utaratibu huku akiimba wimbo. Sentensi Changamano Ambayo huwa na kishazi tegemezi kilichochopekwa ndani.Sifaa) Huwa na kishazi tegemezi chenye kitenzi kinachovumisha nomino kwakuirejelea.b) Huwa na kishazi huru kimoja au zaidi.c) Huwa na virejeshi (amba na O) au –enye. Tunda alilonunua jana limeoza. Mwizi aliiba pesa zilizokuwa kabatini.Kundi Nomino (KN) na Kundi Tenzi (KT) Kundi Nomino ni sehemu katika sentensi inayoarifu kuhusu nomino nahutokea mwanzoni mwa sentensi. Kundi tenzi ni sehemu katika sentensi inayoarifu kuhusu kitenzi na hutokeamwishoni mwa sentensi.Virai Vikundi vya maneno vitumiwavyo na binadamu visivyo na maana kamili. Tungo zinayoundwa kwa maneno aghalabu mawili au zaidi yanayoashiriakitu kimoja na inayojengwa juu ya neno kuu.Aina Kirai Nomino (Kn) Kirai Kivumishi(Kv)a) V Eb) V U V Ec) V V U V Ed) V N V E Kirai kielezi (Ke)/Chagizo Kirai Kitenzia) Ea) Tb) E Eb) T Ec) E E E c) T N Kirai Kihusishi (Kh)d) T N Ta) H Ne) TS Tb) H N Vf) t Nc) H N V Eg) t V EZoeziBainisha virai katika sentensi ifuatayoPage 7For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.coma) Mzazi na watoto wawili werevu sana waliwasili shuleni leo asubuhi kablaya mwalimu.Vishazi Kundi la maneno lenye kiima na kiarifu likiwa ndani ya sentensi kuu.Aina Vishazi Huru Vifungu vya maneno katika sentensi ambavyo hutoa maana kamili. Vishazi Tegemezi Vifungu vya maneno katika sentensi ambavyo havitoi maana kamili.Ainaa) Vishazi tegemezi vya viunganishi k.m. Alimwadhibu ingawa hakuwa namakosa.b) Vishazi tegemezi vya virejeshi k.m. Polisi walimpata mtoto aliyekuwaamepotea. Vishazi Viambatani Vinavyoundwa kwa vishazi huru viwili vikiwa vimeunganishwa k.m. Babaanalala na mama anapika.ZoeziBainisha Vishazi Katika Sentensi Zifuatazoa) Mwalimu amewasili.b) Amina ambaye ni daktari atakuja.c) Ametajirika japo hakupata elimu.d) Mwalimu anafundisha na wanafunzi wanaandika.e) Tumeanzisha shirika ili tunyanyue hali zetu.f) Unaweza kuamua kunyamaza au kujitetea.Shamirisho/YambwaAina Shamirisho Kipozi/Yambwa Tendwa Nomino inayoathiriwa na kitenzi. Shamirisho Kitondo/Yambwa Tendewa Nomino inayotendewa kitendo. Shamirisho Ala/Yambwa Kitumizi Chombo kinatumiwa kufanyia kitendo fulani.Mifano Mama alimpikia baba chakula kwa sufuria. Baba alipikiwa chakula na mama kwa sufuria.Page 8For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Sufuria ilitumiwa na mama kumpikia baba chakula.a) Chakula (Shamirisho Kipozi/Yambwa Tendwa)b) Baba (Shamirisho Kitondo/Yambwa atendewa)c) Sufuria (Shamirisho Ala/Yambwa Kitumizi)Ngeli za Nomino Makundi ya nomino katika lugha ya Kiswahili yenye sifa zinazofananakisarufi. A-WA Huwa na majina ya watu, vilema, viumbe, vyeo na viumbe vya kiroho, n.k. Huchukua miundo kama vile M-WA, M-MI, KI-VI, n.k. mtu-watu, kibyongo-vibyongo mkulima-wakulima nabii-manabii mtume-mitume kuku-kuku mkizi-mikizi Waziri-Mawaziri kiwete-viwete U-I Huwa na majina ya mimea, sehemu za mwili, vifaa, matendo, maumbile,n.k. Huchukua muundo wa M-MI. Mchungwa-michungwa mgomo-migomo Mkoko-mikoko mwendo-myendo mkono-mikono msukosuko-misukosuko mfupa-mifupa mlima-milima msumari-misumari mwamba-myamba U-YA Huwa na majina ya hali, matendo, n.k. Huchukua muundo wa U-MA. Ugonjwa-magonjwa ulezi-malezi upana-mapana uovu-maovu uasi-maasi uhusiano-mahusiano uchungu-machungu YA-YA Huchukua muundo wa MA-MA. Huwa na nomino zipatikanazo kwa wingi. Hazibadiliki katika umoja na wingi.Page 9For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com manukato majira mauti maradhi maziwa maafa marashi mazingira mahubiri KI-VI Ni majina ya vifaa, sehemu za mwili, vitu, udogo, lugha, n.k. Huchukua miundo KI-VI na CH-VY. kisu-visu kijitu-vijitu kitabu-vitabu kigombe-vigombe chakula-vyakula kiguu-viguu chanda-vyanda kidovu-vidovu LI-YA Huwa na majina ya sehemu za mwili, dhana, vifaa, ukubwa, n.k. Huchukua muundo wa JI-MA, JI-ME, JA-MA, JE-MA n.k. jicho-macho jeneza-majeneza jina-majina wazo-mawazo jitu-majitu tunda-matunda goma-magoma jua-majua jambo-mambo ziwa-maziwa janga-majanga ua-maua jembe-majembe I-I Huwa na nomino dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika. Hazibadiliki katika umoja na wingi. sukari chumvi amani subira chai imani mvua amani Imani furaha I-ZI Huhusisha nomino dhahania na vitu. Hazibadiliki katika umoja na wingi. nyumba baiskeli redio karatasi mezaPage 10For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com dini ndizi dawa jozi U-ZI Huchukua miundo W-NY, U-NY, U-F, n.k. wayo-nyayo wembe-nyembe wakati-nyakati uwanja-nyanja uso-nyuso ujumbe-jumbe ufa-nyufa ukoo-koo ufunguo-funguo waraka-nyaraka ufagio-fagio waya-nyaya U-U Huwa na nomino za dhahania na vitu visivyoweza kuhesabika. Hazibadiliki kimaumbo. Huchukua U au W. Unga Ujinga Uji Ulafi Ugali Ulaji udongo Werevu KU Nomino zinazoundwa kutokana na vitenzi k.m. kuomba kwakekumemsaidia. PAKUMU Ngeli ya mahali. Huwa na nomino moja ‘mahali’.a) PA (mahali karibu au panapodhihirika) k.m. Kitabu kipo pale.b) KU (mahali mbali au kusikodhihirika) k.m. Mahali kule kunafaa.c) MU (ndani ya) k.m. Mahali mle mna siafu.Zoezia) Tunga sentensi ukitumia nomino kutoka katika ngeli ya U-ZI.b) Andika kwa wingi. Makaribisho aliyopewa yalimfurahisha.c) Andika katika ukubwa wingi: Paka mweupe amenaswa mguuni.d) Andika katika wingi wa hali ya udogo: Mtu aliumwa na mbwa.e) Huku ukitoa mifano, fafanua miundo mitatu ya majina katika ngeli ya LIYA.f) Tambua ngeli/viwakilishi ngeli vya nomino zifuatazo:i) chakulaPage 11For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comii) shairiiii)mtwanaUundaji wa maneno Nomino kutokana na mzizi wakitenzia) danganya-kudanganya,mdanganyifu,udanganyifub) soma-kusoma,masomo,msomi,usomajia) mlo-kulab) mlevi-kulewa, kulevukac) mwimbaji-kuimba Nomino kutokana na mzizi wanominoa) mwimbaji-kuimba, wimbo,uimbaji, kiimbob) mchezo-kucheza, uchezaji,mchezajic) ulaghai-kulaghai, mlaghaid) hesabu-kuhesabu,uhesabue) mdhalimu- kudhulumu, dhuluma,udhalimuc) unda-kuunda,muundaji,uundaji,muundod) funika-kufunika, kifuniko,mfunikaji, ufunikaji Kitenzi kutokana na mzizi wanominod) fikra-kufikirie) malezi-kuleaf) fumbo-kufumba, kufumbuaPage 12For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Nomino kutokana na mzizi waf) sahihi-kusahihisha, kusahihikakivumishig) -sikivu-kusikiaa) -refu-mrefu, urefu, urefushajih) -danganyifu-kudanganyab) -baya-mbaya, ubaya Kivumishi kutokana na mzizic) -zuri-mzuri, uzuriwa kitenzid) -kali-mkali, ukalia) dunisha - dunie) -eupe-mweupe,weupeb) Haramisha - haramu Kivumishi kutokana na mzizic) fupisha -fupiwa nominod) sahilisha -sahilia) ujinga -jingae) tukuka -tukufub) werevu -erevuf) fahamu -fahamivuc) mzuri -zurig) teua -teuled) mpumbavu -pumbavuh) nyamaza -nyamavue) mpyoro -pyoroi) ongoka -ongofu Kitenzi kutokana na mzizi waj) sahihisha -sahihikivumishik) danganya -danganyifua) haramu-kuharamisha, Kitenzi kutokana na kielezikuharamikaa) haraka-harakishab) halali-kuhalalisha, kuhalalikab) zaidi-zidishac) -fupi-kufupisha, kufupikac) bidii-bidiishad) bora-kuboresha, kuborekad) hima-himizae) -refu-kurefusha, kurefukaZoezia) Unda neno ulilopewa katika mabano kutokana na maneno yafuatayo:i) zingatia (kivumishi)ii) sahili (kitenzi)iii) taliki (nomino)b) Unda nomino kutokana na mizizi ya maneno yafuatayo kisha utungesentensi.i) -kaliii) liaVitenzi Kitenzi ni neno linaloeleza kuhusu jambo linalofanywa.Aina za Vitenzi Kitenzi halisi Kinachofahamisha tendo halisi.Page 13For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Hutokea peke yake k.m. Boke anacheza mpira. Kitenzi kikuu (T) Kinachoeleza tendo kuu katika sentensi. Hutokea pamoja na kitenzi kisaidizi k.m. Baba anataka kulala. Kitenzi Kisaidizi (Ts) Kinachosaidia kitenzi kikuuManeno yanayoweza kutumiwa kama vitenzi visaidizi ngali kuja kuwa weza taka kwisha pasa stahili bidi wahi huenda maliza Vitenzi Sambamba Vinavyofuatana moja kwa moja/vinavyotokea kwa mfululizo. Hutumika kutoa maelezo kuhusu tendo moja maalum kwa uwazi zaidi. Wachezaji huenda wanaweza kushinda mchezo wa leo. Vitenzi Vishirikishi (t) Vinavyoshirikisha vitu kihali, kitabia au kimazingira.Ainaa) Vitenzi Vishirikishi Vikamilifu Ambavyo huchukua viambishi. Mama alikuwa mgonjwa/jikoni/muuguzi. Aisha angali kitandani/mkaidi/ mwanafunzi.b) Vitenzi Vishirikishi Vipunguvu Ambavyo havichukui viambishikuyakinisha ali/halikoViwakilishi (W) na Vivumishi (V) Viwakilishi ni viambishi au maneno yanayotumiwa badala ya nomino. Vivumishi ni maneno yanayotoa habari zaidi kuhusu nomino.VIVUMISHIVIWAKILISHIPage 14For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comViulizi Maneno ya kuulizia. Mizizi ni –pi, -ngapi na gani. Amechukua kitabu kipi?(V.kiulizi)a-unganifu Maneno yanayoundwa kwaviwakilishi ngeli na kiishio a. Hutoa maana ya umilikaji Mtoto wa shangazi amelala. (V.a-unganifu)Vimilikishi Hutoa maana ya umilikaji.Mizizinafsi kuyakinisha kukanusha1-angu-etu2-ako-enu3-ake-ao Kiatu changu kimepotea. (V.kimilikishi).Sifa Maneno ya kusifu au kuelezajinsi nomino ilivyo k.m. -fupi, baya, -kali, -dogo, n.k. Mti mrefu umeanguka. (V. sifa)Vionyeshi/viashiria Maneno ya kuonyesha nominoilipo. Huwa za karibu, wastani nambali k.m. hili, hilo, lile. Kiatu hiki kimechafuka. (V.kionyeshi/kiashiria)Viashiria visisitiziViulizi Kipi kimepotea?(W. Kiulizi) Amenunuliwamangapi? Gani imefungwa?a-unganifu Wa Juma analia.(W. a-unganifu) Cha mlevi huliwa namgema.Vimilikishi Usichukue chake.(W. kimilikishi)Sifa Alichukua cheupe.(W. Sifa)Vionyeshi/viashiriaHii ni ya nani? (W.kionyeshi/kiashiria)Viashiria visisitiziPage 15For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Maneno ya kutilia mkazonomino yakizingatia ilipo. Huwa ya karibu, wastani nambali. Huundwa kwa kutumiakiwakilishi ngeli katikakionyeshi cha kwanza k.m. kikihiki-vivi-hivi, lili hili-yaya haya,n.k. Chumvi ii hii ilimwagika. (V.kisisitizi)Virejeshi Hurejelea nomino aukukumbusha kuihusu. Huwa amba- na -o- rejeshi. Mtoto ambaye analala ni wake. Watoto wanaolala ni wao. (V.kirejeshi) Mnyama ambaye huwindwa ninguruwe. Mnyama awindwaye ninguruwe.Idadi Hutaja idadi ya nominoAinaa) Idadi halisi (iliyo dhahiri) k.m. moja, sita, n.k.b) Idadi ya jumla (isiyo dhahiri)k.m. -chache, -kadha –ingi, n.k. Mwalimu mmoja na wanafunzisita wameenda. (V-idadi halisi) Vitabu vichache vimechukuliwana watoto kadha. (V. idadi yajumla)Pekee Kuku huku ndikokulinyesha. (W.kisisitizi)Virejeshi Ambaye aliniibianinamjua. Aliyeniibianinamjua. Ambaye hula nyasini ng’ombe. Alaye nyasi ning’ombe.idadi Nipe kumi nakimoja. (V. idadihalisi). Amechukuamachache tu. (V.idadi ya jumla)PekeePage 16For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Hutoa taarifa zaidi kuhusunomino kwa njia ya pekee.a) –enye (umilikaji) Msichana mwenye maringo niyule. (V. Pekee)b) –enyewe (halisi au kusisitiza) Barua yenyewe niliipelekaposta.c) –ote (bila kubakisha) Chakula chote kimeliwa.d) -o-ote (bila kubagua)Mtu yeyote anaweza kuugua.e) -ingine (sehemu ya baadhi yavitu) Mikufu mingine imeibwa.f) -ingine-o (mbali na/zaidi ya) Nyuzi nyinginezo zilikatika.Nomino/majina Nomino/majina ambayohutumika kama vivumishi Mtu mzee hutembea kwamkongojo. (V. jina/nomino) Mwenye machohaambiwi tazama.(W.pekee) Yenyewe yaliivajana. Kiliharibika chote. Popotepaliposafishwapamechafuka. Ametorokeakwingine. Nyingineyo niliwekakatika chakula. NgeliViwakilishi ngeliambavyo huwakilishanomino k.m. Liliivajana-Yaliiva jana.NafsiPage 17For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Maneno auviambishivinavyotajia nafsi.Ainaa) Nafsi huru Maneno ya kutajianafsi.nafsi umoja wingi1Mimi Sisi2Wewe Nyinyi3yeye wao Yeye ni mtiifu. (W.nafsi huru)b) Nafsitegemezi/viambata Viambishiambavyo hutajanafsi.nafsi umoja wingi1nitu2um3awa Walisahaukumwambia. (W.nafsi tegemezi)Vielezi (E) Viambishi au maneno yanayoeleza zaidi kuhusu kivumishi, kitenzi aukielezi kingine. Yeye ni mweupe sana/ajabu/kwelikweli/kupindukia/pepepe. Alikula pole pole sana.Ainaa) Vielezi vya Namna/Jinsi Ambavyo hueleza vile jambo lilifanyika.AinaPage 18For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Vielezi namna mfanano Vinavyoeleza vile jambo lilifanyika kwa kufananisha na nomino auvivumishi. Huchukua viambishi KI na VI. Anakula kifisi. Tulifanya kazi vizuri. Vielezi namna viigizi Maneno ambayo kiasili ni vielezi k.m. sana, haraka, ghafla, mno, kabisa,pole, barabara n.k. Mwenda pole hajikwai. Vielezi namna hali Hueleza hali ya tendo. Alilelewa kwa shida. Alilewa chakari Vielezi namna vikariri Huelezea vile jambo lilifanyika kwa kurudiwarudiwa Alinijibu kimzahamzaha. Tembea polepole. Yeye hufanya kazi yake hivi hivi/ovyo ovyo Mbwa alibweka bwe! Bwe! Bwe! Vielezi namna ala Walimpiga Stephano mawe/kwa mawe. Vielezi Namna Viigizi Hueleza vile kitendo kilitendeka kwa kutumia tanakali. Mbuni alianguka majini chubwi!b) Vielezi vya Idadi/Kiasi Maneno ambayo hutaja kitendo kimetendeka mara ngapi.Aina Vielezi vya idadi halisi Tulivamiwa mara moja. Vielezi vya idadi ya jumla Alitoroka mara kadha/nyingi/chache.c) Vielezi vya mahali Hutaja mahali kitendo kilitendekea.Aina Vielezi vya mahali vya maneno kamiliPage 19For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Ndege ilipofika Nairobi, ilitua chini. Vielezi vya mahali vya aina ya viambishi Ni viambishi po, ko, mo na ni. Alipolala palikuwa na siafu. Wanacheza uwanjani.d) Vielezi vya wakati Hutaja kitendo kililifanyika wakati gani.Aina Vielezi vya wakati vya maneno kamili Rais atawasili kesho/mwaka ujao. Kielezi cha wakati cha kiambishi (po ya wakati) Nililala nilipofika nyumbaniViunganishi (U) Neno au fungu la maneno la kuunganishia.Aina Vya kujumuisha pamoja ikiwa (kama) na bidi aidha (pia) Vya sababu isitoshe kwa kadhalika (pia)) kwa sababu tena maadamu (kwa kuwa) mbali na madhali (kwa kuwa) fauka ya (zaidi ya) kwa vile/maana Vya kukatiza ili kupambanua kwa ajili/minajili ya walakini (lakini) mintaarafu (kutokana na) bali (lakini) Vya kuonyesha Chaguo ijapokuwa (hata kama) au ingawa (hata kama) ama Vya kuonyesha kinyume cha walamambo Viunganishi vingine na maana ilhalizake licha ya ila (isipokuwa) Kuonyesha masharti laiti (kama) budi (lazima) lau (kama) lazima mradi (bora) sharti angalau (bora zaidi)Page 20For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com bighairi (bila ya kujali) seuze/sembuse (kulinganisha ilik.m.Minghairi vitu vilivyokuonyesha tofauti)kwenye kabati vinginevyo labda (pengine)unaweza kuvichukua.Vihusishi (H) Maneno yanayoonyesha uhusiano.Aina Mahali Simu ya rununu inalia. juu ya, miongoni mwa, katika, Jumba la mikutanompaka, hadilimeandaliwa. Wakati Kiatu cha ngozi hudumu. kabla ya, baada ya, tangu, hadi, Kikome cha plastiki ni duni.mpaka Ulinganisho Sababu Zaidi ya, kuliko, kuzidi, kwa, kwani, kwa sababu,kushinda.mintaarafu ya Kiwango Ala Zaidi ya, kati ya, takriban, karibu Alimkata kwa kisu. Vya hali A-unganifu Mithili ya, kwa niaba yaVihisishi (I) Maneno yanayotoa hisia za moyoni.a) furaha Bee! Labela! Naam! Ehee! Ahaa! Hoyee! Haleluya! Alhamdulilahi!f) mshangao/mshtukob) hasira Eti! Salaale! Ajabu! Msalia Kefle! Ah! He!mtume! Lahaula!c) majutog) kubeza Kumbe! Jamani! Ole wangu! Mawe! Ngo! Mmm! Mwangalie!Laitih) kusisitizad) huzuni/huruma Hata Pole! Ole! Maskini!i) kutakia herie) kuitikia inshallahMwingiliano wa Maneno Hali ya maneno kuwa na matumizi tofauti mifano: W kuwa V V kuwa W Huyu analia. Vikombe vizuri vitavunjika. Mtoto huyu analia. Vizuri vitaliwa.Page 21For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com V kuwa N Nataka kulala sasa.Mti mrefu haupandiki. Kulala kwake kunaudhi.Mrefu alikufa jana jioni. N kuwa UV kuwa E Ila yake imemwathiri sana.Viatu vibaya vitachomwa. Watu wote ila yeye walikwenda.Uliifanya kazi vibaya. Kichwa changu kina walakini.Mtu mjinga ni huyu. Nimekula walakini sijashiba.Anaongea kijinga. E kuwa IN kuwa V Mwenda pole hajikwai.Tajiri alimdharau Razaro. Pole! Usijali utapona.Mtu tajiri huheshimiwa. Amepaka rangi sawasawa.N kuwa E Sawasawa! Siku mojaNairobi ni mji mkuu.tutakutana.Amewasili Nairobi. H kuwa EKitoto kinalia. Paka amepanda juu ya mti.Unaongea kitoto. Ameingia katika choo.Haraka haina baraka. T kuwa EFanya haraka tuondoke hapa. Mtoto akilia atatapika.Sindano ya babu imepotea Aliingia akilia.Alidungwa sindano/kwa N kuwa Isindano na daktari. Gege anacheza ala yake ya E kuwa Nmuziki. Niliwasili jana. Ala! Waniwekea uchafu katika Jana yangu haikuwa nzuri.chakula? T kuwa NMofimu Kipashio kidogo zaidi katika lugha kisichoweza kuvunjwavunjwa zaidi bilakupoteza maana yake.Aina Mofimu huru Neno lisiloweza kugawanywa katika vipande mbalimbali nalinalojisimamia na kuwa na maana kamili. Kuku, baba, mama, sana, labda, jana n.k. Mofimu tegemezi Isiyoweza kujisimamia na kujitosheleza kisarufi, mifano:Page 22For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Mzizi (Sehemu ya neno Me, nge, ngali, hu, ki, ka, n.k.inayobeba maana kuu na Mahaliisiyoweza kubadilishwa) Alipoingia. m-tu, samahe-k-a, n.k. Alikoingia. Nafsi Alimoingia. Tumesahau Virejeshi Ngeli Lililonunuliwa. Lilianguka. Alijikata. Yalianguka. Mtendwa/watendwa/kitendwa/ Kikanushivitendwa/shamirisho Sikumpiga Alichikichukua. Halijaoza. Kilichowaua. Huli. Mnyambuliko/kauli Njeo/wakati Alimpigia. Liliiva. Alimlilia Analia. Alinikosea. Tutaimba. Alimtolea. Alipoenda. Kiishio Hali a, e, i, uViambishi Viungo vyenye maana vinavyofungamanishwa na mziziwa neno ili kulipamaana mbalimbali.Aina Viambishi Awali Ambavyo hutokea kabla ya mzizi. A-li-ye-ku-kata-a Viambishi Tamati Ambavyo hutokea baada ya mzizi k.m. ki-pig-ishw-a-choMnyambuliko wa Vitenzi Kunyambua kitenzi ni kukiongeza viambishi tamati ili kukipa maanatofauti.Aina za minyambuliko/kauli za vitenzi Kutenda Hali ya kawaida ya kitenzi. KutendatendaPage 23For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Hali ya kitenzi kurudiwa. Kutendea Kwa niaba ya Badala ya Sababu Kuonyesha kitumizi Mwendo wa kitu kuelekea kingine Kutendwa Huonyesha nomino iliyoathiriwa na kitenzi. Kutendewa Humaanisha kitendo kimetendwa na mtu badala au kwa niaba ya mtumwingine. Kutendana Unamtenda mtu jambo naye anakutenda jambo lilo hilo. Kutendeana Unamtendea mtu jambo naye anakutendea jambo lilo hilo. Kutendeka Uwezekano wa kitendo kufanyika Kutendesha Mtu au kitu kusababisha kufanyika kwa kitendo. Kutendeshea Kusababisha kitendo kitendeke kwa niaba ya mwingine. Kutendeshwa Kusababishwa kufanya jambo. Kutendeshewa Mtu kusababishwa kitendo kitendeke kwa niaba yake. Kutendeshana Kusababisha kitendo kitendeke kwa mtu naye anasababisha kitendo kichohicho kitendeke kwako. Kutendesheana Kusababisha kitendo kitendeke kwa niaba ya mtu naye anasababishakitendo kicho hicho kitendeke kwa niaba yako. Kutendesheka Kitendo fulani kinaweza kusaababishwa. KutendamaPage 24For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com Kuwa katika hali fulani bila ya mabadiliko. lala-lalama funga-fungama ficha-fichama kwaa-kwama shika-shikama unga-ungama ganda-gandama andaa-andama chuta-chutama saki-sakama Kutendata Hali ya mgusano au kushikanisha vitu viwili. paka-pakata fumba-fumbata kokoa-kokota okoa-okota kama-kamata Kutendua Hali ya kiyume choma-chomoa funga-fungua Kutenduka Kuweza kufanyika kwa hali ya kinyume. chomoka fungukaVinyume vya vitenzi komea-komoa pakia-pakua bariki-laani twika-tua patana-kosana paa-tua angika-angua cheka-lia mwaga-zoa anika-anua ziba-zibua simama-keti tatiza-tatua fukia-fukua funika-funua inama-inuka tega-tegua funga-fungua tawanya-kusanya furahi-huzunika ugua-pona kumbuka-sahau nasa-nasua oa-taliki kwamiza-kwamua choka-pumzika kosa-kosoa uliza- jibuPage 25For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.com jenga-bomoa ishi-kufa/hama kufa-kufufuka/ishi lewa-levuka anza-maliza/isha saza/bakiza-maliza meza-tapika/tema ingia-toka dharau-heshimu kweya-teremkakitenzitend teeandwachachia ch ogopawachachea 0 pambazukachwachwe 0 juaakuanzakutuafafia0 tokwana uhaigwagwia 0 angukajajia0 sogeakaribulaliali tiawchakulaa panda-shuka sifu-kashifu chimba-fukia chafua-safisha cheka-lia panda-shuka babaika-tulia pokea-aga zama-elea vaa-vuatend tend ten tende tendes tendeshe tendesheewa ana de anahaakakachiw chiaanachi chiana kachwewachweka00chwesh chweshe chwesheaakafiwa fika0fianafishagwiwajiwa00jika0gwian gwishaajiana jishaliwalikalan kalishialishikaPage 26For more high school notes, set books, guide books, CPA, CIFA, IT, ICT & other E-materialsWhatsApp 0706851439

amosobiero7@gmail.comkinywani nakumezanyanyea ny nye nyek 0nyean nyesha nyeshea nyesheka endae waaahajawkubwaa angukamatonenywanywe ny nyw nyw 0nywea nywesh nyweshe nyweshe tia kitu aw ewa ekanaaakamajimajeiwkinywa

Sauti za Kiswahili Kuna makundi mawili ya sauti za kiswahili: a) Irabu Sauti ambazo hutamkwa kwa ulaini bila hewa kuzuiliwa katika ala za sauti. b) Konsonanti Sauti ambazo wakati wa kutamkwa hewa huzuiliwa katika ala za sauti. Aina za Ala za Sauti a) Ala tuli Ambazo hazisogei mtu akitamka k.m. meno, ufizi, kaa kaa gumu, kaa kaa

Related Documents:

Data zilirekodiwa katika kinasa sauti na kunukuliwa kwa maandishi. . Tofauti za Matumizi ya Lugha katika Miktadha Mbalimbali ya Mazungumzo 13 sehemu ya pili inahusu tofauti ya matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali. Sehemu ya tatu inafafanua mkabala wa kinadharia uliotumika katika uch

inafuata mchango wa baadhi ya wanaisimu wa lugha ya Kiingereza, Kiarabu na Kiswahili walivyobainisha uwepo wa kategoria ya nomino (majina) katika lugha hizi. 1.1.2 Majina Katika Lugha ya Kiingereza Wataalamu mbalimbali wa lugha ya kiingereza wamebainisha kuwepo kw

Kukuza lugha. Aghalabu tungo zote za fasihi hutumia lugha. Isitoshe, fasihi hutumia mbinu nyingi za lugha. Wasimulizi na waandishi wa fasihi huhitaji kuwa na ukwasi wa lugha. Kuhifadhi mila, tamaduni na itikadi za jamii. Aghalabu kazi za fasihi (hasahasa Fasihi Simulizi) huambatanishwa na desturi mbalim

KI 214 UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI MBINU ZA UFUNDISHAJI KISWAHILI KWA WAGENI I. Malengo ya ufundishaji lugha kwa wageni Lengo kubwa ni kwamba ili mwanafunzi aweze kujua lugha hiyo kwa stadi zote za lugha ile. Stadi za lugha ni 1. Kusikiliza 2.kuzungumza

iii) Sauti iv) Ishara za mwili. Ni mfumo wa sauti za nasibu zinazotumiwa na wanadamu katika mawasiliano. Sifa za lugha. i) Hakuna lugha iliyo bora kushinda zingine. –zote ni sawa. ii) Kila lugha ina sifa zake. iii) Lugha hubadilika kutegemea mazingira, aina ya

kila lugha hutumia mfumo fulani wa sauti mahususi katika lugha hiyo pekee. 5. Fonetiki - huchunguza sauti zinazotamkwa na binadamu bila kuzingatia lugha yoyote. 6. Mofolojia - (au sarufi maumbo) ni tawi la isimu linalochunguza maneno ya lugha fulani, aina

Nyenzo za kufundisha huwa viungo muhimu wakati wa utoaji wa mafunzo. Utafiti ulichunguza matumizi ya nyenzo katika ufundishaji wa Kiswahili katika shule za msingi za umma katika Jimbo la Nyandarua, Kenya. Madhumuni ya utafiti yalikuwa: Kuainisha nyenzo zinazotumika kufundisha Kiswahili, Kutathimini kiwango cha matumizi ya

wa mitaala ya elimu na mafunzo ili ikidhi mahitaji ya maendeleo ya Taifa. Aidha, Serikali itaendeleza matumizi ya lugha ya Kiswahili, Kiingereza, Alama, pamoja na lugha nyingine za kigeni katika elimu na mafunzo. Vilevile, itaendelea kuinua ubora wa mfumo wa upimaji, tathmini na utoaji vyeti katika ngazi zote.