Majibu YOTE Yaandikwe Kwa Kalamu Ya Buluu Au Nyeusi.

1y ago
27 Views
2 Downloads
539.91 KB
8 Pages
Last View : 15d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Nadine Tse
Transcription

Nambari ya MtahiniwaSMZBARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBARMTIHANI WA KUINGILIA KIDATO CHA KWANZA125URAIAMUDA: SAA 2:00ALHAMIS 28 NOVEMBA, 2019 PMMAAGIZO KWA WATAHINIWA1.Mtihani huu una sehemu TATU (3) A, B na C.2.Jibu maswali YOTE katika sehemu A na B. Chagua maswali MANNE (4)kutoka sehemu C.3.Andika nambari yako ya mtihani katika kila ukurasa.4.Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizowekwa.5.Majibu YOTE yaandikwe kwa kalamu ya buluu au nyeusi.6.Simu za mkononi haziruhusiwi ndani ya chumba cha mtihani.KWA MATUMIZI YA WASAHIHISHAJINAMBARI YA i huu una kurasa 8 zenye maandishiUkurasa wa 1 kati ya 8

Nambari ya MtahiniwaSEHEMU A: (Alama 20)Jibu maswali YOTE katika sehemu hii1.Chagua jawabu sahihi kisha andika herufi yake kwenye jadweli lililopo hapo chini.i)Rangi ya Bendera ya Taifa la Tanzania inayoonesha utajiri wa maliasili niA: Nyeusiii)v)MarekaniSerikalivii)viii)B: UswisiC:TanzaniaD: UingerezaB: DemokrasiaC: NchiD: Vyama vingiYafuatayo ni sehemu ya mamlaka ya utawala isipokuwaA: UsalamaB: Watumishi wa ummaC: WaziriD: RaisBaada ya Mapinduzi, Zanzibar ilitawaliwa na amri za Rais hadi mwakaA: 1970vi)D: BuluuHaki za raia nchini haziwezi kupatikana bila kuwepoA:iv)C: ManjanoMakao makuu ya Jumuiya ya Madola yapoA:iii)B: KijaniB: 1978C: 1977D: 1979Katibu Mkuu wa kwanza wa uongozi wa Umoja wa Mataifa (UN) kutoka Afrikaalikuwa niA:Salim Ahmed SalimB:Asha Rose MigiroC:Koffi AnnanD:Boutros Boutros GhaliUbaguzi na unyanyasaji wa kijinsia kwa kawaida huwaathiri zaidiA:Wazee na wanawakeB:Wanaume na vijanaC:Wanawake na watotoD:Vijana na watotoMahakama inayosikiliza makosa ya mauwaji na ubakaji niA:Mahakama ya wilayaB: Mahakama kuuC:Mahakama ya mwanzoD: Mahakama ya rufaaUkurasa wa 2 kati ya 8

Nambari ya Mtahiniwaxi)Jumuiya ya Afrika Mashariki inaundwa na nchiA: Nnex)B: TanoC: SitaD: TatuDemokrasia ya moja kwa moja inapatikana katika ngazi yaA: SkuliB: MahakamaC: MkoaD: BungeJAWABUi2.iiiiiivvviviiviiiixxAndika K kama sentensi ni sahihi au S kama sentensi sio sahihi katika nafasiuliyopewa.i)Rais wa awamu ya saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibarni Dr. Ali Mohammed Shein.ii)Shehia inaundwa kwa kuunganishwa vijiji kumi.iii)Wimbo wa taifa huimbwa wakati bendera ya skuli inapopandishwa.iv)Mfumo wa chama kimoja cha siasa hauna gharama ukilinganishana mfumo wa vyama vingi vya siasa.v)Katiba ni dira inayoelekeza jamii jinsi ya kuunda Serikali.vi)Tanzania ni mwanachama wa Jumuia ya nchi za Afrika Mashariki.vii)Sheha ni kiongozi wa ngazi ya juu katika Serikali.viii)Kupanuka na kuimarika kwa sekta ya usafirishaji ni nyanja yautandawazi.ix)Kikosi cha Valantia (KVZ) kilianzishwa mwaka 2000.x)Mahakama ni chombo cha kiserikali ambacho hakina uwezowa kutafsiri sheria.Ukurasa wa 3 kati ya 8

Nambari ya MtahiniwaSEHEMU B: (Alama 40)Jibu maswali YOTE katika sehemu hii3.Chagua majibu kutoka KIFUNGU B yanayoowana na maelezo ya KIFUNGU A.Andika jawabu katika jadweli lililopo hapo chini.KIFUNGU BKIFUNGU Ai)ZECOA: Shirika la umeme Tanzaniaii)ZAFELAB: Mamlaka ya Maji Tanzaniaiii)SADECC: Jumuiya ya Wanawake wasomi wa kiafrikaiv)ZAWAD: Shirika la umeme Zanzibarv)FAWEE: Jumuiya ya wanawake ZanzibarF: Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa AfrikaG: Mamlaka ya Maji ZanzibarH: Chama cha wanasheria wanawakeJAWABUKIFUNGU AiiiiiiivvKIFUNGU B4.Jaza nafasi zilizo wazi katika sentensi zifuatazo kwa kutumia maneno uliyopewakatika mabano.a)Fedha ya Taifa la Tanzania ipo katika mfumo waaub)Katiba mbili (2) kuu za serikali zinazotumika Tanzania hadi sasa ninac)Miongoni mwa sababu za matumizi ya madawa ya kulevya niUkurasa wa 4 kati ya 8

Nambari ya Mtahiniwad)Hali ambayo wanawake hawapewi haki sawa kulinganishwa na wanaume nie)Siku ya tarehe 7 Aprili inajulikana kama(Noti, Ubaguzi, Karume day, Sarafu, Ushawishi, Katiba yaMuungano, Katiba ya Zanzibar)5.Jibu maswali yafuatayo kwa ufupi.a)b)Taja mambo mawili (2) ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika.i)ii)Ainisha njia mbili (2) za kupunguza uhalifu katika nchi yetu.i)ii)c) Orodhesha matatizo manne (4) ya matumizi ya madawa ya kulevya.d)e)i)ii)iii)iv)Taja aina mbili (2) za makundi ya watu wenye mahitaji maalumu.i)ii)Orodhesha Jumuiya mbili (2) ambazo Tanzania ni mwanachama.i)ii)Ukurasa wa 5 kati ya 8

Nambari ya MtahiniwaSEHEMU C: (Alama 40)Jibu maswali MANNE (4) katika sehemu hii6.Eleza athari nne (4) zinazoweza kusababishwa na ushirikiano miongoni mwa mataifa.7.Elezea namna raia anavyoweza kushiriki katika mfumo wa vyama vingi vya siasa.(Toa angalau hoja mbili (2).Ukurasa wa 6 kati ya 8

Nambari ya Mtahiniwa8.Bainisha kazi nne (4) za Jeshi la Polisi Tanzania.9.Elezea kazi nne (4) za Serikali ya Wilaya.Ukurasa wa 7 kati ya 8

Nambari ya Mtahiniwa10.Orodhesha kazi nne (4) za Baraza la Wawakilishi zinazohusu maendeleo ya Zanzibar.11.Elezea njia nne (4) ambazo watoto wanaweza kuzitumia kudai haki zao. Ukurasa wa 8 kati ya 8

i) Rais wa awamu ya saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni Dr. Ali Mohammed Shein. _ ii) Shehia inaundwa kwa kuunganishwa vijiji kumi. _ iii) Wimbo wa taifa huimbwa wakati bendera ya skuli inapopandishwa. _ iv) Mfumo wa chama kimoja cha siasa hauna gharama ukilinganisha na mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Related Documents:

MASWALI NA MAJIBU ميِحِرلا َّنِمَٰحْرلا َِّالل َّمِسِْب NENO LA MCHAPISHAJI M aswali na Majibu ni kitabu kinachotoa mwongo-zo kwa njia ya maswali na majibu. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa maswali aliyoulizwa Sheikh Hasan al-Saffar katika programu yake ya maswali na majibu ili-yoandaliwa katika tovuti yake.

MTIHANI WA MWIGO KAUNTI NDOGO YA KAKAMEGA KUSINI-2016 Hati ya Kuhitimu Masomo ya Sekondari – Kenya (K.C.S.E) Maagizo a) Jibu maswali yote. b) Majibu yote yaandikwe katika nafasi zilizoachwa katika kijitabu hiki cha maswali. c) Hakikisha kuwa kurasa zote za kijitabu hiki zimepigwa hapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

maswali yako mengi iwezekavyo kuhusu Australia Tuanze kwa kujua nini haswa WEWE unachotaka kujua Tumia nafasi ya mstari iliyopo hapo chini ili kuandika maswali yako Wakati unaposikia majibu ya moja wapo ya maswali yako wakati upo kwenye AUSCO, andika majibu hayo AUSCO hukupatia wewe maelezo mengi na inaweza kuwa vigumu kukumbuka maelezo yote!

KISWAHILI Jibu maswali yote kwenye nafasiulizoachiwawazibaada ya kila swali. . ulikuwamahali pa kilaaina za shamrashamra kwa wenyeji na wageni. Michezo hii huandaliwabaada ya miaka miwili nahuchukuasikukadhamtawalia ingawa panaweza kuwa na siku za mapumziko. . Mataifa yote thelathinina sita haya

Kikristo ya kwamba watu wanaokolewa kwa neema ya Mungu tu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo—na hii huifanya familia yote ya Kikristo (Wayahudi na Mataifa pia) kuwa moja; (3) Kisha kinajadili ile maana hasa ya huu msimamo wa wokovu kwa ile jamii mpya: watu wanapaswa kuishi maisha mapya kwa imani inayotiririka

MASWALI & MAJIBU UTARATIBU, SIFA NA VIGEZO VYA UTOAJI MIKOPO KWA 2018/2019. Tunawawezesha Wahitaji 2 1. Swali: Ninapaswa kufanya nini ili niweze kuanza kuomba mkopo kwa njia ya mtandao (OLAMS)? Jibu: Soma mwongozo uliotolewa na Bodi ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz). Baada ya kuusoma Mwongozo, fungua mtandao

ya wakati wetu: „Naye akajibu, akawaambia, kweli Eliya yu aja kwanza, naye atatengeneza yote" (Mt 17:11; Mk 9:12). Wakati ya muhimu kwa mwisho wa wakati wa neema imekuwa sehemu ya utangazaji wangu kwa myaka mingi kupitia hudma yangu, pamoja na mafundisho yote ya kibiblia. Niliacha kila somo

governing America’s indigent defense services has made people of color second class citizens in the American criminal justice system, and constitutes a violation of the U.S. Government's obligation under Article 2 and Article 5 of the Convention to guarantee “equal treatment” before the courts. 8. Lastly, mandatory minimum sentencing .