Kitabu Kidogo Cha Taarifa Kwa Mzazi Cha NYSELAT - Nysed.gov

1y ago
11 Views
2 Downloads
705.12 KB
6 Pages
Last View : 15d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Carlos Cepeda
Transcription

Kitabu kidogo cha taarifakwa mzazi cha NYSELATSWAHILI

Karibuni katika mfumo wa shule za Jimbo la New York! ujumbe ya Idara ya Elimu ya Jimbo la New York(NYSED) Ofisi ya Elimu ya Lugha Mbili na Lugha za Dunia (OBEWL) ni kuhakikisha kwamba wanafunzi wote waJimbo la New York (NYS), ikiwa ni pamoja na Wanafunzi wa Lugha ya Kiingereza (ELLs) / Wanafunzi wa LughaNyingi (MLLs), wanafikia cheo cha juu cha mafanikio ya kitaaluma na ustadi wa lugha. Tunajitahidi kuhakikishakuwa wanafunzi wote’njia moja ya elimu na mahitaji ya hisia za kijamii zinafikiwa katika lugha nyingizitakazowapelekea katika utayari wa chuo kikubwa na katika kufanya kazi. Kila mwaka mtoto wako anapewamtihani wa ustadi wa lugha , New York State English as a Second Language Achievement Test (NYSESLAT).(jimbo la New York Kiingereza kama lugha ya pili Mafanikio mtihani)UNTANGULIZINYSESLAT inapewa wanafunzi wote ambao wanatambuliwa kama ELL / MLL na Jimbo la New YorkVitambulisho vya mtihani kwa Wanafunzi wa lugha ya kiingereza ( NYSITELL ). Madhumuni ya NYSESLATni kwa mwaka kutathmini ustadi na ngazi za lugha ya Kiingereza ELLs / MLLs waliojiunga na darasa K-12katika shule za Jimbo la New York . Mtihani inapeya serikali, shule, wazazi, na walimu taarifa muhimukuhusu maendeleo ya lugha ya Kiingereza ELLs /MMLJE NYSESLAT INAPEWANWA LINI?NYSESLAT ni kawaida kusimamiwa katika spring wakati wa Aprili na MeiNI MASWALI YA AINA GANI WANAFUNZI WATAKAYO ULIZWA?NYSESLAT ni pamoja na uchaguzi nyingi , maswali majibu ya maandishi kwa ufupi, maswali majibu yamaandishi kwa urefu, na maswali majibu ya mdomo katika kusikiliza, kuzungumza , kusoma, na kuandikakatika lugha ya Kiingereza. Mtoto wako lazima kuchukua maeneo yote ya mtihani. Maswali juu yaNYSESLAT yatarudisha aina ya shughuli na kazi mtoto wako atakayo pata darasaniNANI HUAMURU NYSESLAT?NYSESLAT ina amuriwa na walimu wanaostahili wa jimbo la New YorkNINAWEZAJE KUPATA NAKILI YA ALAMA YA MTOTO WANGU YA NYSESLAT?Shule itatoa alama za ripoti za NYSESLAT ambazo zitapeyana maelezo maalumu kuhusu maendeleo yakiingereza ya mtoto wako

NI NINI VIWANGO VYA USTADI WA LUGHA YA KIINGEREZA VYA SHULE MWAKA 2015-2016 NAKUENDELEA?Ustadi wa lugha ya Kiingereza umebadilishwa kutoka ngazi la 4 hadi la 5 ilikuruhusu utofauti zaidi miongonimwa wanafunzi muruNINI MAANA YA VIWANGO VYA USTADI WA KIINGEREZA?Maelezo ya ngazi ustadi wa NYSESLAT inatolewa katika jedwali hapa chini.ngaziKuingia(Mwanzo)Maelezo ya ngazi ustadi wa lugha ya kiingerezaMwanafunzi wa Cheo cha kuingia ana utegemezi mkubwa juuya misaada na miundo ili kuendeleza ujuzi wa utalamu walugha na bado hajapata madai ya lugha muhimu kuonyeshaustadi wa lugha ya Kiingereza katika aina mbalimbali zamazingira ya kielimu ( mazingira)Mwanafunzi wa Cheo cha Kujitokeza ana baadhi ya utegemeziwa misaada na miundo ili kuendeleza ujuzi wa lugha yakitaaluma na bado hajapata madai ya lugha muhimukuonyesha ustadi wa lugha ya Kiingereza katika ainambalimbali za mazingira ya kielimu ( mazingira) .Kubadilika(kati)Mwanafunzi wa Cheo cha mpito anaonyesha baadhi ya uhurukatika kuendeleza ujuzi wa lugha ya kitaaluma , lakini hajakidhi mahitaji na umuhimu wa lugha kuonyesha ustadi walugha ya Kiingereza katika aina mbalimbali za mazingira yakielimu (mazingira)Kupanua (Juu)Mwanafunzi wa Cheo cha amuru amepata mahitaji yaumuhimu wa lugha na kuonyesha ustadi wa lugha yaKiingereza katika aina mbalimbali za mazingira ya kielimu (mazingira) . Mwanafunzi katika ngazi hii haangaliwi kamamwanafunzi wa ELL, lakini ana haki ya kupokea miaka miwiliya huduma za zamani za ELL .Hatahitimu huduma zaELLAmuru(Hodari)Mwanafunzi wa Cheo cha Kupanua anaonyesha uhuru mkubwakatika kuendeleza utaalamu naujuzi wa lugha na kukaribia madai na umuhimu wa lughailikuonyesha ustadi wa lugha ya Kiingereza katika ainambalimbali za mazingira ya kielimu ( mazingira) .Amehitimu Huduma za ELLKujitokeza(Chini ya kati)

KAMA MTOTO WANGU ANA IEP ,JE MAKAO YA MITIHANI INARUHUSIWA WAKATI WA NYSESLAT?Ndiyo, makao ya mitihani hutolewa kwa ELLs kwa utaratibu wa elimu wa mtu mmoja kwa mmoja ( IEPs ) wakatiunachukua NYSESLAT . Zungumza na mwalimu wa mtoto wako ili kupata taarifa maalum kuhusu makao ambayo mtotowako anaweza kuwa na haki . Kwa taarifa zaidi , tafadhali lat/NI HUDUMA GANI MTOTO WANGU ANA HAKI YA ELL/MLL?Mtoto wako ana haki ya elimu ya kusema lugha mbili ( kubadilika au lugha mbili) na / au huduma za Kiingereza kamalugha mpya ( ENL ). Ustadi wa ngazi ya mtoto wako huamua dakika za huduma za ELL( daraja la muda) atakayepata kilawiki. Angalia orodha hapo chini kwa muda wa dakika maalum kulingana na ngazi za ustadi.NgaziMaelekezo ya dakikakila wiki la Darasa K-8ENLGrades 9-12Minutes ofENLInstructionper week*Wanafunzi katika utaratibu wa kusema lugha mbiliKuingia(mwanzo)Dakika 360Dakika 540 1 Mwendo wa sanaa ya lugha ya nyumbani Kiwango cha chini cha 2 kuridhisha lugha mbili kwaeneo ya masomoKujitokeza(chini yakati)Dakika 360Dakika 360 1 Mwendo wa sanaa ya lugha ya nyumbani Kiwango cha chini cha 2 kuridhisha lugha mbili kwaeneo ya masomoKubadilika(kati)Dakika 180Dakika 180 1 Mwendo wa sanaa ya lugha ya nyumbani Kiwango cha chini cha 1 kuridhisha lugha mbili kwaeneo ya masomoKupanua(juu)Dakika 180Dakika 180 1 Mwendo wa sanaa ya lugha ya nyumbani Kiwango cha chini cha 1 kuridhisha lugha mbili kwaeneo ya masomoAmuru(Hodari)Mwanafunzi wa Cheo chajuu anastahili shartikupokea umuhimu walugha kuonyesha ustadi walugha ya Kiingereza katikaaina mbalimbali zamazingira ya kielimu (mazingira) . Mwanafunzikatika ngazi hii hachukuliwikama mwanafunzi wa ELL,lakini ana haki ya kupokeamiaka miwili ya huduma zazamani za ELL .* Sehemu ya mafundisho ya ENL inaweza kupitia eneo ya kuunganisha maudhui darasaniNI NINI HUDUMA ZA ZAMANI ZA ELL?Mara mwanafunzi amefika cheo cha juu ( ustadi),mwanafunzi hachukuliwa kama ELL na hastahili huduma za ELL , lakinianastahili huduma za Zamani ELL.Huduma za zamani za ELL ni pamoja na .5 kusoma kwa bidii kwa kitu kimoja kwa wiki kukamilisha ENL katika ELA /eneomaudhui ya Msingi, au huduma zingine za zamani zilizopitishwa za ELL kwa miaka ingine miwili. Wanafunzi hawa lazimakuendelea kupokea msaada wa elimu mmoja kwa mmoja na kazi zitakazo pima lugha na elimu na maendeleo yakustawisha matokeo ya elimu.

NJISI NGANI NAWEZA KUMSAIDIA MTOTO WANGU KUADAA KWA NYSESLAT?Kuna mambo kadhaa wazazi wanaweza kufanya ili kuwasaidia wanafunzi kujiandaa kwa NYSESLAT . Hapa ni baadhi yamapendekezo: Hakikisha mtoto wako anapata usingizi wa kutosha na anakula vyakula vyenye jumlisha kabla ya kikao chamtihani.Kutoa faraja chanya na uhakika wa kuhusu mtihani kwa sababu ambazo zinaweza athari chanya alama zamtihani wa mtoto wakoSoma na anagalia na mtoto wako taarifa yoyote unapokea kuhusu jaribio anapataMhakikishie mtoto wako kwamba kazi hii ni kupima maendeleo ya lugha ya Kiingereza yake.Kutana na fanya kazi kwa karibu na darasa la mtoto wako na Kiingereza kama lugha Mpya/ Kiingereza kamalugha ya pili ( ENL / ESL) au mwalimu wa kusema lugha mbili kwa dhahiri maalum na mapendekezo ambayounaweza kutoa nyumbani.NJIA ZINGINE NA MSAADATaarifa kuhusu NYSESLAT yanaweza kupatikana katika http://www.p12.nysed.gov/assessment/nyseslat/ seslat-resources. Kama una maswali zaidi kuhusu kiwango chamtoto wako katika ustadi wa lugha ya Kiingereza, tafadhali ungana na emscassessinfo@nysed.gov au piga simu 518-4745902. Maswali na huduma kuhusu kusema lugha mbili/ENL zinaweza kuelekezwa kwa Ofisi ya Elimu ya kusema lughambili na lugha za Dunia (OBEWL) kwa simu at 518-474-8775, au kupitia barua pepe kwenye obefls@nysed.gov.

Kwa maswali na shughuli juu ya huduma ELL tafadhali wasiliananysparenthotline@nyu.eduELL Parent Hotline: (800) 469-8224Kwa maswali mengine?Tafadhali tuma maswali aumaelezo katika ofisi ya elimu ya kusema lughambili na lugha za dunia: OBEFLS@nysed.govAu piga simu: 718-722-2445Kwa habari zaidi juu ya NYSESLAT lat/

Vitambulisho vya mtihani kwa Wanafunzi wa lugha ya kiingereza ( NYSITELL ). Madhumuni ya NYSESLAT ni kwa mwaka kutathmini ustadi na ngazi za lugha ya Kiingereza ELLs / MLLs waliojiunga na darasa K-12 katika shule za Jimbo la New York . Mtihani ina serikali, shule, wazazi, peya walimu taarifa muhimu na

Related Documents:

Kiswahili Kidato cha 4 Kitabu cha Mwanafunzi iii DIBAJI Mwanafunzi Mpendwa Bodi ya Elimu Rwanda inayo heshima kwa kutoa kitabu hiki cha Somo la Kiswahili Michepuo mingine kidato cha nne kitabu cha mwanafunzi .Kitabu hiki kitakuwa

alikuwa ametakiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueleza ni kwanini alimruhusu mwandishi wa habari kuandika taarifa ambayo . Ibara 3 (e) ya Katiba ya MCT inataka Baraza kuwa na taarifa kimandishi za matukio yanayoweza kuzuia upatikanaji wa taarifa zenye manufaa na umuhimu kwa jamii, kuweka muendelezo wa mara kwa mara wa

Sehemu ya 3: Hutoa mwongozo au maelekezo ya ufundishaji kwa kila dha-na iliyotolewa ndani ya kitabu . Ingawa mwongozo huu wa mwalimu una majibu kwa kila kazi zote zilizotolewa katika kitabu cha mwanafunzi, unaombwa kupitia kila swali na kazi kabla ya ku-tathmini matokeo ya utafiti.

na maisha ya uadilifu na usafi, ambayo yamedhibitishwa na wakati kuwa yanafaa kwa Mkristo. Toleo hili la Kitabu cha Mwongozo la 2017-2021 lina taarifa fupi ya kihistoria ya kanisa, Katiba ya kanisa inayofafanua Kanuni za Imani yetu, ufahamu wetu wa kanisa, Agano la Maadili ya Kikristo ya kuishi kitakatifu,

KITABU CHA MISINGI WA BIBLIA. Kama umefurahia kitabu hiki na ungependa kuendeleza masomo yako, kuna kitabu kingine kiitwacho MISINGI WA BIBLIA kinachoweza kupatikana kutoka kwa anwani hii: Christadelphian Advancement Trust, P.O. Box 3034, SOUTH CROYDON, SURREY CR2 OZA ENGLAND Wavuti: www.carelinks.net Barua pepe: info@carelinks.net

Wafahamishe ya kwamba dhambi zao zimasamehawa kwa sababu ya JINA LAKE, na wasaidie kuufikia ufahamu wa Baba. Wafundishe ukitumia HUTUA ZA MAISHA MAPYA KATIKA KRISTO kitabu cha kwanza na kile cha pili ili wakomae. Wasaijie kujua kanuni za Baba Mungu zilizoorozeshwa katika Waebrania 6:1-2 kwenye kitabu cha maisha mapya ndani ya Kristo. 4.

Kitabu Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafa-nyayoKazi,Bukula2,kimekusudiwakumpamtotowenu kanuninzurisana za Kimaandiko. Ukitazama Yaliyomokati-ka ukurasa wa 4na 5utaona habari mbalimbali zinazozungu-mziwa katika kitabu hiki. Hata hivyo, kitabu hiki kimekusudi-wa kutimiza mengi zaidi. Fikiria mamboyafuatayo: (1) Kitabu hiki kinamhusisha .

WhatPythonistasSayAboutPython Basics: A Practical In- troductiontoPython3 “I love [the book]! The wording is casual, easy to understand, and makestheinformation @owwell. Ineverfeellostinthematerial,and