Kenyanspress

1y ago
84 Views
8 Downloads
1.40 MB
225 Pages
Last View : 13d ago
Last Download : 3m ago
Upload by : Elisha Lemon
Transcription

JAMHURI YA KENYAWIZARA YA ELIMUMTAALA WA DARAJA YA AWALI YA SHULE YA UPILIGREDI YA 7KISWAHILITAASISI YA UKUZAJI MITAALA KENYA2021

Toleo la Kwanza 2021Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kupiga chapa au kutoa mtaala huu kwa njia yoyote ile bila idhini, kwamaandishi, ya mchapishaji.ISBN: 978-9914-43-937-3Kimechapishwa na kutolewa na Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Kenya

DIBAJI YA WAZIRI WA ELIMUMtaala ni kigezo muhimu kinachotumiwa na nchi kuwawezesha raia wake kujimudu. Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Kenya katikakutekeleza wajibu wake wa ‘Kuunda mitaala na nyenzo ambatani’ imekuwa ikiendeleza mabadiliko katika sekta ya elimu.Mabadiliko hayo yamejikita katika utafiti wa kina kuhusu mtaala wa 8-4-4 ili kuuelekeza Mtaala wa Kiumilisi unaotekelezwakwa viwango mbalimbali. Mabadiliko haya pia yameelekezwa na tathmini tamati ya mtaala iliyofanyika mwaka 2009, utafitikuhusu mahitaji ya kielimu wa mwaka 2016 na Ripoti ya Jopokazi kuhusu Mpangilio Mpya wa Sekta ya Elimu, 2012.Mabadiliko katika mtaala yanakusudia kukidhi mahitaji ya raia wa Kenya kwa kuyahusisha na Katiba ya Kenya 2010, Ruwazaya Kenya 2030, Itifaki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, miongoni mwa mengine kama ilivyoelezwa na Mswada ElekeziNambari 1 wa mwaka 2019 kuhusu ‘Mageuzi katika Elimu na Mafunzo nchini Kenya’. Mabadiliko haya yamechukua mwelekeowa Mtaala wa Kiumilisi ili kukuza maarifa yanayohitajika, stadi, mielekeo na maadili yanayohitajika na vizazi vijavyo nchinikama ilivyo katika Utaratibu wa Mtaala wa Elimu ya Msingi (BECF). Ili kuweza kufikia mwito wa elimu ya kimsingi, Kenyaimeweza kutekeleza mtaala kiviwango kuanzia elimu ya kiwango cha kwanza/awali na sasa katika elimu ya kati inayojumuishadaraja ya juu ya shule ya msingi na ya awali ya shule ya upili.Ni matumaini yangu kuwa mtaala wa Gredi ya 7 utaelekeza walimu na washikadau wengine katika kutekeleza ruwaza ya Mtaalawa Kiumilisi ambayo ni kumkuza mwananchi aliyeshirikishwa, kuwezeshwa na mwenye maadili.PROF. GEORGE A. O. MAGOHA, EGHWAZIRI WA ELIMU,WIZARA YA ELIMUMali ya serikali ya KenyaHauuzwiiii

DIBAJI YA KATIBU MKUUSerikali ya Kenya ilianza utekelezaji wa kitaifa wa Mtaala wa Kiumilisi (CBC) Januari, 2019 katika elimu ya kiwango chakwanza/awali (Chekechea 1 na Chekechea 2, na Gredi 1, 2 na 3). Utekelezaji huu uliendelea mpaka daraja ya juu ya shule yamsingi (Gredi ya 4,5 na 6) kama ilivyoratibiwa katika Utaratibu wa Mtaala wa Elimu ya Msingi (BECF). Gredi ya 7 inaendelezautekelezaji wa mtaala katika daraja la awali la shule ya upili. Hiki ni kilele cha elimu ya kiwango cha kati inayokusudia kumpamwanafunzi nafasi pana ya kutalii kuhusu talanta, hamu na uwezo wake kabla ya kuchagua mkondo wa masomo katika darajaya juu ya shule ya upili.Mitaala ya Gredi ya Saba katika masomo mbalimbali itawezesha ukuzaji wa umilisi unaohitajika katika karne ya ishirini.Hatimaye, hii itawezesha kufikia ruwaza na mwito wa Mtaala wa Kiumilisi kama ilivyoratibiwa katika Utaratibu wa Mtaala waElimu ya Msingi (KICD, 2017).Ni matumaini yangu kuwa, mashirika yote ya serikali pamoja na wadau mbalimbali katika elimu watatumia mtaala ili kuelekezautekelezaji wa shughuli za ujifunzaji pamoja na kutoa mwelekeo ufaao kuhusu vipengele mbalimbali vya mtaala. Utekelezajifanisi wa Gredi ya 7 utakuwa hatua muhimu katika kufikia mwito wa mtaala ambao ni ‘kukuza vipawa vya kila mwanafunzi’.JULIUS O. JWAN, PhD, CBSKATIBU MKUUIDARA YA SERIKALI YA ELIMU YA AWALI NA ELIMU YA MSINGIWIZARA YA ELIMUMali ya serikali ya KenyaHauuzwiiv

SHUKURANISheria ya Bunge nambari 4 ya 2013 (iliyorekebishwa 2018) iliyoasisi Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Kenya hurasimisha Taasisikukuza mitaala na nyenzo ambatani kwa viwango vya elimu vilivyo chini ya vyuo vikuu. Ukuzaji mtaala wa kiwango chochotehuhusisha utafiti, ulinganishi wa kimataifa na uhusishaji mkubwa wa wadau. Kupitia kwa mchakato huu wa utaratibu na wamashauriano, KICD ilizua wazo la Mtaala wa Kiumilisi (CBC) kama ilivyoelezwa katika Utaratibu wa Mtaala wa Elimu yaMsingi (BECF) ambao unaitikia mahitaji ya karne ya 21 na matamanio yanayoelezwa katika Katiba ya Kenya ya 2010, Ruwazaya 2030, Itifaki ya Jumuia ya Afrika Mashariki na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa.Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Kenya iliandaa mtaala wa Gredi ya 7 kwa kuzingatia kanuni za Mtaala wa Kiumilisi, mojawapoikiwa, kuhakikisha mwanafunzi anapitia shughuli za ujifunzaji zinazokuza uwazaji wa kina ili kuweza kuwa mwananchialiyeshirikishwa, kuwezeshwa na mwenye maadili kama ilivyoratibiwa katika Utaratibu wa Mtaala wa Elimu ya Msingi.KICD hufadhiliwa na serikali kuu ili kutekeleza majukumu na mipangilio ya sekta ya elimu. Taasisi imepata msaada kutoka kwamashirika mengine ya kimaendeleo yanayoangazia miradi teule. Mtaala wa Gredi ya 7 umekuzwa kwa ufadhili wa Benki yaDunia kupitia Kenya Secondary Education Quality Improvement Programme (SEQIP). Taasisi inashukuru kwa ufadhili woteiliyopata kutoka kwa Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Elimu na washirika wengine wa kimaendeleo.Ningependa kuwashukuru wakuza mitaala wa KICD na wafanyakazi wengine, walimu wote na wanaelimu wenginewalioshiriki kama wanajopo katika ukuzaji wa mitaala. Nashukuru pia mashirika mengine yanayoshirikiana na serikali(SAGAs) na wawakilishi wa wadau mbalimbali kwa majukumu mbalimbali waliyotekeleza katika ukuzaji wa Mtaala wa Grediya Saba.Nawapa shukurani za kipekee Waziri wa Elimu, Katibu Mkuu wa Idara ya Serikali ya Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi,Katibu wa Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Mitihani (KNEC) kwa msaadawao katika mchakato huo.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwiv

Mwisho, nalishukuru baraza la KICD kwa maongozi yake katika ukuzaji wa mitaala. Nawahakikishia watekelezaji wa mtaala,wazazi na wadau wengine kuwa mtaala huu wa kiumilisi utatekelezwa ipasavyo katika Gredi ya 7.PROF. CHARLES O. ONG’ONDO, PhD, MBSMKURUGENZI/OFISA MTENDAJI MKUUTAASISI YA UKUZAJI MITAALA KENYAMali ya serikali ya KenyaHauuzwivi

YALIYOMODIBAJI YA WAZIRI WA ELIMU . iiiDIBAJI YA KATIBU MKUU . ivSHUKURANI . vYALIYOMO . viiMGAO WA VIPINDI . ixMALENGO YA KITAIFA YA ELIMU NCHINI KENYA . xMATOKEO YA KIWANGO CHA KATI CHA ELIMU YA MSINGI . xiiiKAULI KIINI . xiiiMATOKEO YA KIJUMLA YANAYOTARAJIWA KATIKA DARAJA YA AWALI YA SHULE YA UPILI. xiv1.0: USAFI WA KIBINAFSI . 12.0: LISHE BORA . 153.0: UHURU WA WANYAMA . 284.0: AINA ZA MALIASILI . 415.0: UNYANYASAJI WA KIJINSIA . 556.0: USALAMA SHULENI. 727.0: KUHUDUMIA JAMII SHULENI. 868.0 ULANGUZI WA BINADAMU . 98Mali ya serikali ya KenyaHauuzwivii

9.0 MATUMIZI YA VIFAA VYA KIDIJITALI KATIKA MAWASILIANO. 11310.0 KUJITHAMINI. 12611.0 MAJUKUMU YA WATOTO . 14112.0 MAGONJWA YANAYOAMBUKIZWA. 15513.0 UTATUZI WA MIZOZO . 16714.0 MATUMIZI YA PESA. 17915.0 MAADILI YA MTU BINAFSI . 191SHUGHULI YA DARASANI YA HUDUMA YA KIJAMII INAYOCHANGIA UJIFUNZAJI . 205MUHTASARI WA MBINU ZA KUTATHMINI, NYENZO ZA KUFUNDISHIA NA MAPENDEKEZO YA SHUGHULINYINGINE ZILIZORATIBIWA ZA UJIFUNZAJI . 209Mali ya serikali ya KenyaHauuzwiviii

MGAO WA i kwa wiki(Dakika 40 kwa aticsIntegrated ScienceHealth EducationPre-Technical and Pre-CareerSocial StudiesReligious Education (CRE/IRE/HRE)Business StudiesAgricultureLife Skills EducationPhysical Education and SportsOptional SubjectOptional SubjectJumlaMali ya serikali ya KenyaHauuzwiix

MALENGO YA KITAIFA YA ELIMU NCHINI KENYAElimu nchini Kenya inatakiwa:1.Kukuza na kustawisha utaifa, uzalendo na kuendeleza umoja wa kitaifa.Nchini Kenya kuna jamii zenye mila, dini na tamaduni mbalimbali lakini tofauti hizi hazifai kuzitenganisha. Lazimawaweze kuishi na kutangamana kama Wakenya. Elimu ina jukumu kuu la kuwezesha vijana kujenga hisia za uzalendo nautaifa kwa kuondoa mivutano na kukuza mielekeo chanya ya kuheshimiana itakayowezesha jamii kuishi pamoja kwautangamano na kujenga uzalendo ili kuchangia uhai wa taifa.2.Kukidhi mahitaji ya kijamii, kiuchumi, kiteknolojia na viwanda yanayochangia maendeleo ya kitaifa.Elimu inafaa kuwaandaa vijana wa nchi kutekeleza wajibu wenye umuhimu katika maisha nchini.Mahitaji ya kijamiiElimu nchini Kenya lazima iwatayarishe vijana kwa mabadiliko ya mielekeo na mahusiano ambayo yanahitajika kwamaendeleo ya haraka ya uchumi wa kisasa. Kuna uwezekano wa kuwa na mapinduzi kimyakimya ya kijamii kutokana namaendeleo ya haraka ya usasa. Elimu inapaswa kuwasaidia vijana kujirekekebisha kutokana na mabadiliko haya.Mahitaji ya kiuchumiElimu nchini Kenya inafaa kukuza raia walio na stadi, maarifa, ujuzi na sifa za kibinafsi zinazohitajika kuhimili maendeleoya kiuchumi. Kenya inajenga uchumi huru na wa kisasa ambao unahitaji wafanyakazi wa kutosha, walio na maarifayanayohitajika na wa humu nchini.Mahitaji ya kiteknolojia na ya kiviwandaElimu nchini Kenya inafaa kuwapa vijana stadi na mielekeo inayohitajika kwa maendeleo ya kiviwanda.Kenya inatambua mabadiliko ya haraka ya kiviwanda na kiteknolojia yanayofanyika, hasa katika ulimwengu ulioendelea.Tunaweza kuwa sehemu ya maendeleo haya ikiwa mfumo wetu wa elimu utalenga kimakusudi maarifa, stadi na mielekeoitakayotayarisha vijana kwa mabadiliko ya yanayoendelea ulimwenguni.a)b)c)Mali ya serikali ya KenyaHauuzwix

3.Kutoa nafasi ya kujiendeleza na kujitosheleza.Elimu inapaswa kumwezesha mtu kutambua, kukuza na kuimarisha kipawa chake ili aweze kujiendeleza na kujitosheleza.Inafaa kuwawezesha watoto kukuza uwezo wao. Kipengele muhimu cha maendeleo ya kibinafsi ni ujenzi wa tabia ifaayo.4.Kuwawezesha wananchi kuimarisha maadili na amali za kijamii na kidini.Elimu inakusudiwa kukuza maarifa, stadi na mielekeo itakayoimarisha upataji wa maadili na kuwasaidia watoto kukuawakiwa wenye nidhamu, wanaojitegemea na raia wakamilifu.5.Kuimarisha usawa wa kijamii na uwajibikaji.Usawa wa kijamii kwa mfano, usawa wa kijinsia huimarika watu wa jamii na jinsia zote wanapopata elimu sawa.Elimu inafaa ikuze usawa wa kijamii na uwajibikaji wa kijamii kutokana na mfumo wa elimu unaowezesha fursa sawa yaelimu kwa wote. Inafaa kuwapa watoto wote fursa mbalimbali na zilizo na changamoto kwa mazoezi ya pamoja naushirika katika huduma za kijamii bila kujali jinsia, uwezo au mazingira ya kijiografia.6.Kukuza uthamini wa tamaduni mbalimbali nchini Kenya.Elimu inafaa kutoa nafasi kwa wanaosoma kuelewa, kuthamini, kukuza na kudumisha tamaduni faafu na kudondoa zilepotofu kulingana na jamii ya wakati uliopo ili kujenga jamii ya kisasa.7.Kuimarisha utambuzi wa uhusiano wa kimataifa na kukuza mwelekeo chanya kwa mataifa mengine.Kenya kama nchi mojawapo ya jamii ya kimataifa inakusudia elimu iwaelekeze Wakenya kutambua na kuthaminimahusiano ya kimataifa kwa kuzingatia mikataba, uwajibikaji, haki na manufaa yanayoambatana na ushirika huo.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwixi

8.Kustawisha mwelekeo chanya kuhusu afya bora na uhifadhi wa mazingira.Elimu inakusudiwa kujenga mielekeo ifaayo miongoni mwa vijana kuhusu udumishaji wa afya bora na mazingira kwakujiepusha na mienendo inayoweza kudhuru afya ya mwili na akili. Elimu inafaa pia kuimarisha mielekeo chanya kuhusuukuzaji na uhifadhi wa mazingira. Inafaa kuwaelekeza vijana wa Kenya kukubali haja ya mazingira safi.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwixii

MATOKEO YA KIWANGO CHA KATI CHA ELIMU YA MSINGIKufikia mwisho wa kiwango cha kati cha elimu mwanafunzi aweze:1. Kutumia ujuzi wa kusoma na kuandika, ujuzi wa kuhesabu na kufikiri kimantiki ifaavyo katika kujieleza.2. Kuwasiliana kikamilifu katika miktadha mbalimbali.3. Kudhihirisha ujuzi wa kijamii, kiimani na kimaadili kwa ajili ya mahusiano mema.4. Kutalii, kubadilisha, kusimamia na kutunza mazingira ifaavyo kwa ajili ya ujifunzaji na maendeleo endelevu.5. Kufanya usafi, kufuata kanuni zifaazo za usafi na lishe ili kuimarisha afya.6. Kudhihirisha mienendo ya kimaadili na kuonyesha uraia mwema kama wajibu wa kiraia.7. Kuonyesha ridhaa kwa mirathi mingi na tofauti ya kitamaduni nchini ili kuleta mshikamano wa kimahusiano.8. Kudhibiti masuala mtambuko katika jamii ifaavyo.9. Kutumia ujuzi wa kidijitali ifaavyo kwa madhumuni ya mawasiliano na ujifunzaji.KAULI KIINISomo la Kiswahili litampa mwanafunzi wa daraja la awali la Shule ya Upili umilisi katika shughuli za kila siku. Umilisi huuutajengea haiba na uwezo wake wa kuwasiliana na kuhusiana katika jamii, kitaifa na kimataifa. Aidha, litamwendeleza kielimuna kumwandaa kwa ulimwengu wa kazi. Somo hili litampa mwanafunzi hamasa ya kumudu na kufurahia lugha na fasihi kwakuzihusisha na tajiriba na mazingira yake. Hali kadhalika, litampa mwanafunzi maarifa ya kijamii na kitamaduni. Mwanafunziataweza kujieleza na vilevile kupata fursa ya kutoa huduma kwa jamii.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwixiii

MATOKEO YA KIJUMLA YANAYOTARAJIWA KATIKA DARAJA YA AWALI YA SHULE YA UPILIKufikia mwisho wa daraja ya awali katika Shule ya Upili, mwanafunzi aweze:1.kujieleza ipasavyo kwa kutumia lugha ya Kiswahili kwa njia ya maandishi na mazungumzo2.kuwasiliana ipasavyo katika miktadha mbalimbali ya kijamii3.kujenga desturi ya kusoma na kufasiri maandishi kwa ufasaha4.kutumia lugha kiubunifu kusimulia na kuandika tungo mbalimbali5.kushiriki katika shughuli za kijamii zinazochangia ujifunzaji6.kutumia teknolojia ipasavyo katika ujifunzaji na mawasiliano ili kukuza ujuzi wa kidijitali7.kutumia maadili yanayohitajika maishani kupitia stadi za lugha ya Kiswahili8.kufurahia na kuthamini lugha ya Kiswahili kama lugha rasmi, ya taifa na kimataifa.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwixiv

1.0: USAFI WA KIBINAFSIMadaMadaMatokeo MaalumNdogoYanayotarajiwa1.1 Kusikiliza 1.1.1Kufikia mwisho wa madanaKusikiliza ndogo, mwanafunzi aweze:Kuzungumza na Kujibu a) kutambua vipengele vyakuzingatia katika(Vipindi 2)usikilizaji wamazungumzob) kutambua vipengele vyakuzingatia katika kujibumazungumzoc) kutumia vipengelevifaavyo katikakusikiliza na kujibumazungumzod) kuchangamkia kushirikimazungumzo katikamiktadha mbalimbali.Mapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiMaswali DadisiMwanafunzi aelekezwe: kutambua vipengele vya kuzingatiakatika kusikiliza (k.v. kusikiliza kwamakini, kumtazama mzungumzaji kwamakini ili kupata ishara za uso, kutikisakichwa kuonyesha kusikia kauli,kutumia maneno au vihisishi vyakumhimiza kuendelea kuzungumza (k.vehe), kuepuka vizuizi vya mawasiliano(k.v. kutazama nje), kumtazamamzungumzaji ana kwa ana, n.k.) akiwapeke yake, wawiliwawili au katikakikundi kutambua vipengele vya kuzingatiakatika kujibu mazungumzo (k.v.kutumia lugha ya adabu, kutomkatakalima mzungumzaji, ubadilishanajizamu ufaao, kujibu kwa kujikita katikakiini cha swali/mazungumzo, n.k.)akiwa peke yake, wawiliwawili aukatika kikundi kusikiliza mazungumzo kuhusu suala1. Je, unaposikilizamazungumzounapaswakuzingatia nini ilikupata ujumbeunaowasilishwa?2. Unazingatia niniunapomjibu mtukatikamazungumzo?Mali ya serikali ya KenyaHauuzwi1

lengwa katika kifaa cha kidijitali (k.v.simu, redio au vinasa sauti) hukuakizingatia vipengele vya kuboreshausikilizaji wa mazungumzo kusikiliza na kujibu mazungumzo (k.vkutoka kwa mwalimu, wenzake aukutoka kwenye vifaa vya kidijitali)ipasavyo kuigiza mazungumzo (k.v. ya simu)kuhusu suala lengwa akiwa katikakikundi kwa kuzingatia vipengelevifaavyo vya kusikiliza na kujibumazungumzo kushiriki mazungumzo na mzazi aumlezi kuhusu suala lengwa kwakuzingatia vipengele vifaavyo vyakusikiliza na kujibu mazungumzo.Umilisi wa Kimsingi Unaokuzwa Mawasiliano – mwanafunzi anapoeleza kwa uwazi alichokisikiliza kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia vipengele vifaavyovya kujibia mazungumzo. Ushirikiano – mwanafunzi anaposhiriki na kuchangia katika mazungumzo kwenye kikundi. Ujuzi wa kidijitali – mwanafunzi anapotumia vifaa vya kidijitali kusikilizia mazungumzo mbalimbali na kutambua vipengelevya kusikiliza na kuzungumza vilivyozingatiwa. Ubunifu – mwanafunzi anapopendekeza vipengele vya kuzingatia ili kuhakikisha usikilizaji faafu. Kujiamini – mwanafunzi anaposikiliza mazungumzo na kuyajibu ipasavyo bila woga. Pia anapochangia katika shughuli yakikundi.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwi2

Hamu ya ujifunzaji – mwanafunzi anaposhiriki mazungumzo na wenzake, mzazi au mlezi na kujifunza njia bora zakusikiliza na kujibu mazungumzo.Maadili Heshima – mwanafunzi anapoheshimu maoni ya wenzake katika shughuli za kikundi. Pia anapoheshimu zamu ya wenzakekatika mazungumzo. Uwajibikaji – mwanafunzi anapotunza vifaa vya kidijitali anavyotumia katika mazungumzo. Umoja – mwanafunzi anaposhiriki na kuchangia katika shughuli za kikundi.Masuala Mtambuko Usafi wa kibinafsi – mwanafunzi anaposikiliza, kushiriki na kuigiza mazungumzo kuhusu suala lengwa. Pia anapotumiaipasavyo vipengele vifaavyo katika kusikiliza na kujibu mazungumzo.Uhusiano na Masomo Mengine English, Indigenous Languages na Foreign Languages – dhana ya kusikiliza na kujibu ni mojawapo ya masualayanayoshughulikiwa katika masomo haya. Integrated Science, Health Education na Home Science – usafi wa kibinafsi ni mojawapo ya masuala yanayoshughulikiwakatika masomo haya.Vigezo na Viwango vya Kuzingatia katika KutathminiViwangoKuzidisha MatarajioKufikia MatarajioVigezoKukaribia MatarajioMbali na MatarajioKuweza kutambuavipengele vyakuzingatia katikausikilizaji wamazungumzo.Anatambua baadhi yavipengele vyakuzingatia katikausikilizaji wamazungumzo.Anatambua, kwakusaidiwa, baadhi yavipengele vya kuzingatiakatika usikilizaji wamazungumzo.Anatambua kwa wepesivipengele vya kuzingatiakatika usikilizaji wamazungumzo.Anatambuavipengele vyakuzingatia katikausikilizaji wamazungumzo.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwi3

Kuweza kutambuavipengele vyakuzingatia katikakujibu mazungumzo.Anatambua kwa urahisivipengele vya kuzingatiakatika kujibumazungumzo.Kuweza kutumiavipengele vifaavyokatika kusikiliza nakujibu mazungumzo.Anatumia kwa wepesivipengele vifaavyokatika kusikiliza nakujibu mazungumzo.Anatambuavipengele vyakuzingatia katikakujibumazungumzo.Anatumia vipengelevifaavyo katikakusikiliza na kujibumazungumzo.Mali ya serikali ya KenyaAnatambua baadhi yavipengele vyakuzingatia katika kujibumazungumzo.Anatumia baadhi yavipengele vifaavyokatika kusikiliza nakujibu mazungumzo.Anatambua baadhi yavipengele vya kuzingatiakatika kujibumazungumzo kwakusaidiwa.Anatumia, kwakusaidiwa, baadhi yavipengele vifaavyokatika kusikiliza nakujibu mazungumzo.Hauuzwi4

MadaMada Ndogo1.21.2.1 UfahamuKusoma wa Kifungucha Simulizi(Vipindi 2)Matokeo MaalumYanayotarajiwaMapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiKufikia mwisho wa madandogo, mwanafunzi aweze:a) kudondoa habari mahususikatika kifungu chaufahamub) kupanga matukioyanavyofuatana katikakifungu cha ufahamuc) kufanya utabiri na ufasirikutokana na kifungu chaufahamud) kueleza msamiati katikakifungu cha ufahamue) kuchangamkia kusomavifungu vya ufahamu ilikukuza uelewa wa habari.Mwanafunzi aelekezwe:1. Kwa ninikusomakifunguchaufahamuchasimulizitunasoma kwenye kitabu au kifaa cha kidijitali (k.v.ufahamu?redio, simu, n.k.) akiwa peke yake,2. Je, ni mambowawiliwawili au katika kikundiganiyanayoweza kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini,wapi, lini, n.k.) katika kifungu cha ufahamukukusaidiacha ifungu cha kifungu cha ufahamu cha simulizi akiwaufahamu?peke yake au katika kikundi kufanya utabiri na ufasiri kutokana nakifungu cha ufahamu cha simulizialichosoma akiwa peke yake au katikakikundi kueleza msamiati (k.v. maneno na nahau)katika kifungu cha ufahamu cha simulizi nakuueleza kwa kutumia kamusi akiwa pekeyake, wawiliwawili au katika kikundi kusoma vifungu simulizi mtandaoni aukwenye vitabu kuhusu suala lengwa akiwaMali ya serikali ya KenyaMaswali DadisiHauuzwi5

na mwenzake au katika kikundi kishaatambue na kueleza maana za msamiati wausafi wa kibinafsi kulingana na muktadhawa matumizi kumsomea mzazi au mlezi sentensi kuhusuusafi wa kibinafsi kisha kumuelezea maanaza msamiati wa suala husika kimuktadha.Umilisi wa Kimsingi Unaokuzwa Mawasiliano – mwanafunzi anaposhirikiana na wenzake katika kikundi kudondoa habari mahususi. Ushirikiano – mwanafunzi anaposhirikiana na mwenzake katika shughuli za kikundi. Kujiamini – mwanafunzi anapotumia msamiati wa suala lengwa kwa usahihi katika muktadha maalum. Uwazaji kina na utatuzi wa matatizo – mwanafunzi anapobashiri na kufasiri kutokana na kifungu cha ufahamu. Ujuzi wa kidijitali – mwanafunzi anaposakura mtandaoni na kusoma vifungu kuhusu suala lengwa. Hamu ya ujifunzaji – mwanafunzi anapomsomea mzazi au mlezi kifungu na kuutambua msamiati wa suala lengwa.Maadili Heshima – mwanafunzi anapoheshimu maoni ya wenzake katika kazi ya kikundi. Upendo – mwanafunzi anapowapa wenzake nafasi ya kushiriki katika shughuli za ujifunzaji katika kikundi. Uwajibikaji – mwanafunzi anapojitolea kuchukua nafasi mbalimbali katika shughuli za kikundi. Pia anapotunza vifaa vyakidijitali anavyotumia. Umoja – mwanafunzi anaposhiriki na kuchangia katika shughuli za kikundi.Masuala Mtambuko Usafi wa kibinafsi – mwanafunzi anaposoma matini kuhusu suala lengwa na kuzingatia ujumbe.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwi6

Uhusiano na Masomo Mengine English, Indigenous Languages na Foreign Languages – kusoma kwa ufahamu ni mojawapo ya masuala yanayoshughulikiwakatika masomo haya. Integrated Science, Health Education na Home Science – usafi wa kibinafsi ni mojawapo ya masuala yanayoshughulikiwakatika masomo haya.Vigezo na Viwango vya Kuzingatia katika KutathminiViwangoKuzidisha MatarajioKufikiaMatarajioKukaribia MatarajioMbali na MatarajioKuweza kudondoa habarimahususi katika kifungucha ufahamu.Anadondoa habarimahususi katikakifungu cha ufahamukwa urahisi.Anadondoa habarimahususi katikakifungu chaufahamu.Anadondoa baadhi yahabari mahususi katikakifungu cha ufahamu.Anadondoa baadhi yahabari mahususi katikakifungu cha ufahamukwa kusaidiwa.Kuweza kupanga matukioyanavyofuatana katikakifungu cha ufahamu.Anapanga matukioyanavyofuatana katikakifungu cha ufahamukwa urahisi.Anapanga matukioyanavyofuatanakatika kifungu chaufahamu.Anapanga baadhi yamatukio yanavyofuatanakatika kifungu chaufahamu.Anapanga baadhi yamatukioyanavyofuatana katikakifungu cha ufahamukwa kuelekezwa.VigezoMali ya serikali ya KenyaHauuzwi7

Kuweza kufanya utabiri naufasiri kutokana na kifungucha ufahamu.Anafanya utabiri naufasiri kutokana nakifungu cha ufahamukwa urahisi.Anafanya utabiriAnafanya kwa kiasina ufasiri kutokana utabiri na ufasiri kutokanana kifungu chana kifungu cha ufahamu.ufahamu.Anafanya kwa kiasiutabiri na ufasirikutokana na kifungucha ufahamu kwakusaidiwa.Kuweza kueleza msamiatikatika kifungu chaufahamu.Anaeleza msamiatikatika kifungu chaufahamu kwa urahisi.Anaeleza msamiati Anaeleza baadhi yakatika kifungu cha msamiati katika kifunguufahamu.cha ufahamu.Anaeleza baadhi yamsamiati katika kifungucha ufahamu kwakuelekezwa.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwi8

MadaMadaNdogoMatokeo kia mwisho wa mada ndogo, Mwanafunzi aelekezwe: kutambua matumizi ya herufi kubwa namwanafunzi aweze:a) kutambua matumizi yakikomo (k.v. kutumia herufi kubwaherufi kubwa na kikomokuanzia majina ya watu, mwanzoni mwakatika matinikila neno kuu katika anwani ya kitabu;b) kutumia herufi kubwa nakikomo; mwishoni mwa sentensi yakikomo ipasavyo katikataarifa n.k.) katika maneno, sentensi namatinivifungu kwenye matini andishi au zac) kuonea fahari matumizi yakidijitali akiwa peke yake, wawiliwawiliherufi kubwa na kikomoau katika kikundikatika matini ili kufanikisha kuandika maneno, sentensi au vifungumawasiliano.kuhusu suala lengwa kwa kutumia herufikubwa na kikomo ipasavyo akiwa pekeyake au katika kikundi kuandika kifungu kifupi kwa kuzingatiaherufi kubwa na kikomo ipasavyo kwenyekifaa cha kidijitali (k.v. tarakilishi) nakuwasambazia wenzake kwenye mtandaoili wakitolee maoni kushirikiana na wenzake kusahihishakifungu kuhusu suala lengwa ambachohakijatumia herufi kubwa na(Vipindi 2)Mapendekezo ya Shughuli za UjifunzajiMali ya serikali ya KenyaSwali DadisiHerufi kubwana kikomohutumika vipikatikamaandishi?Hauuzwi9

kikomo ipasavyokuwasomea wenzake kifungualichoandika na kuwataka waandikemaneno na sentensi zinazostahili kuwa naherufi kubwa na kikomo kushirikiana na mzazi au mlezi kutafitimtandaoni au kwenye vitabu vya ziadakuhusu matumizi ya herufi kubwa nakikomo katika maneno, sentensi navifungu. Umilisi wa Kimsingi Unaokuzwa Mawasiliano – mwanafunzi anapowasomea wenzake kifungu kwa ufasaha na anaposhiriki katika mijadala na wanafunziwenzake na wazazi. Ushirikiano – mwanafunzi anaposhirikiana na wenzake katika kusahihisha vifungu. Ujuzi wa kidijitali – mwanafunzi anapotumia kifaa cha kidijitali kuandika kifungu na kukisambaza mtandaoni. Ubunifu – mwanafunzi anapoandika vifungu vyenye matumizi yafaayo ya herufi kubwa na kikomo. Hamu ya ujifunzaji – mwanafunzi anaposhirikiana na mzazi au mlezi wake kutafiti mtandaoni kuhusu matumizi ya herufikubwa na kikomo katika matini. Uwazaji kina – mwanafunzi anapotumia herufi kubwa na kikomo katika kifungu alichokiandika.Maadili Heshima – mwanafunzi anapoheshimu maoni ya wenzake katika kazi ya kikundi. Upendo – mwanafunzi anapowapa wenzake nafasi ya kushiriki katika shughuli za ujifunzaji darasani na katika kikundi. Uwajibikaji – mwanafunzi anapojitolea kuchukua nafasi mbalimbali katika shughuli za kikundi. Umoja – mwanafunzi anaposhirikiana na wenzake katika shughuli za kikundi.Mali ya serikali ya KenyaHauuzwi10

Masuala Mtambuko Usafi wa kibinafsi – mwanafunzi anapoandika kifungu kuhusu suala lengwa kwa kutumia herufi kubwa na kikomo ipasavyo.Uhusiano na Masomo Mengine English, Indigenous Languages na Foreign Languages – matumizi ya herufi kubwa na kikomo ni mojawapo ya masualayanayoshughulikiwa katika masomo haya. Integrated Science, Health Education na Home Science – usafi wa kibinafsi ni mojawapo ya masuala yanayoshughulikiwakatika masomo haya.Vigezo na Viwango vya Kuzingatia katika KutathminiViwangoKuzidisha MatarajioKufikia MatarajioKukaribia MatarajioMbali na MatarajioKuweza kutambuamatumizi ya herufikubwa na kikomokatika matini.Anatambua matumiziya herufi kubwa nakikomo katika matinikwa urahisi.Anatambuamatumizi ya herufikubwa na kikomokatika matini.Anatambua matumiziya herufi kubwa nakikomo katika baadhiya matini.Anatambua matumizi yaherufi kubwa na kikomokatika baadhi ya matini kwakusaidiwa.Kuweza kutumiaherufi kubwa nakikomo ipasavyokatika matini.Anatumia herufi kubwana kikomo ipasavyokatika matini kwaurahisi.Anatumia herufikubwa na kikomoipasavyo katikamatini.Anatumia herufikubwa na kikomoipasavyo katika baa

Mali ya serikali ya Kenya Hauuzwi iii DIBAJI YA WAZIRI WA ELIMU Mtaala ni kigezo muhimu kinachotumiwa na nchi kuwawezesha raia wake kujimudu. Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Kenya kati

Related Documents:

5 Department of Astronomy & Astrophysics, The University of Chicago, Chicago, IL 60637 U.S.A. 6 Centro Federal de Educac a o Tecnolo gica Celso Suckow da Fonseca, CEP 23810-000, Itagua ı, RJ, Brazil 7 Centro Brasileiro de Pesquisas F ısicas, CEP 22290-180, Rio de Janeiro, RJ, Brazil 8 Institut d’Astrophysique de Paris, Sorbonne Universit e, CNRS, UMR 7095, 98 bis bd Arago, 75014 .

Banking on Cloud A discussion paper by the BBA and Pinsent Masons Outside of banking, public cloud computing has proven to be a driver of innovation, enabling new competitors, products and more flexible business models. By comparison, banks have been understandably slower in migrating products and services and leveraging the benefits of the public cloud, taking time first to focus on assessing .

SKILLS OF COUNSELLING MICROSKILL MODEL Kinesics and Focusing are included D. John Antony, OFM, Cap. Anugraha Publications Anugraha (Tamilnadu Capuchin Institute for Counselling, Psychotherapy and Research) Nochiodaipatti Post, Dindigul – 624 003, Tamilnadu, India 2003 . 2 . 3 D. John Antony, OFM.Cap., 2003 Other Books by the Author: 1. Dynamics of Counselling Microskill Model TA & NLP are .

A Level Biology is an excellent base for a university degree in healthcare, such as medicine, veterinary or dentistry, as well as the biological sciences, such as biochemistry, molecular biology or forensic science. Biology can also complement sports science, psychology, sociology and many more. A Level Biology can open up a range of career opportunities including: biological research, medical .

burn it. 1064, E. Morke comes to Northampton. r 1087, E. Hug Grantmesnih ol ravagef . s The meanin Hamtug ofn is not necessaril the home-towny or ,-enclosure. The root ham-ha meanings manys and is both head-word and deuterotheme in th mene name. Cf. Byrn-hams of Byrn-hom, , and Hama. The patronymi Hemingc ma comy e fro Hamm - and it is very likel thayt the origina Hamtun *Hamantun wal ofs .

The Chemical and Biological Hazards Management Group fulfills, for the University, all of the legal requirements pertaining to the use of hazardous substances. Membership and remit of this Group is given in the University Health and Safety Policy (2010). The membership of this committee is given in Appendix2 . 3 3.2 Head of School/Unit The Head of the School/Unit is responsible for .

Sensory circuits can make such a difference to students with physical and sensory needs that we urge you to use these, alongside other quality resources, to support pupils in your school develop and learn Sensory Circuits: A Sensory Motor Skills Programme for Children by Jane Horwood is a good investment for getting started

History Ancient Egypt –Hieroglyphics representing personality types Hippocrates –identified 4 psychological styles based on bodily fluids Carl Jung –published “psychological types” in the 1920’s Myers-Briggs –Mother daughter team that developed one of the first assessments related to Jungian types Dr. David Keirsey –Temperament Theory –4 types